ELLEN G WHITE: "WAKATOLIKI NI WATU MAKINI, MUNGU HUTENDA KAZI PAMOJA NAO."

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 317

  • @SamOguro
    @SamOguro 7 днів тому

    Tafadhali bwana Danieli, omba Roho wa Mungu akuongoze ujue ukueli. Sabato sio ya waadventista peke ya, Sabato ni ya kila binadamu aliyoumbwa. Tafadhali jua kuwa baada Mungu kuumba Adam na Hawa, walionyeshwa Sabato na Mungu muumbaji.

  • @MajaliwaYusuphlushika
    @MajaliwaYusuphlushika Місяць тому +3

    Ashukuliwe Mungu naona ameamua kukufundi Roho ya unabii songa mbele soma na jumbe za afya, tokeni mijini, elimu ya kweli, pambano kuu .Japo hiyo nukuu umeitumia vibaya lakini Mungu ameamua kukufundisha

  • @elizabethkimwemwe7847
    @elizabethkimwemwe7847 Місяць тому +4

    Ndugu unayesema Mungu hahangaiki na siku hujajua unachokisema,Mungu aliibarikia siku ya Sabato akaitakasa ni siku pekee iliyotengwa kama siku ya kumbukumbu ya uumbaji imetengwa kwa makusudi ya ibada,ni moja ya amri kumi za Mungu.

    • @andrewmwakitwange6968
      @andrewmwakitwange6968 Місяць тому

      Unatafuta sifa kwa ulimwengu utazipata, na uje unashindana na Mungu,
      Mungu wa haki atakulipa kwa kazi yako ambayo unalitumikia tumbo kwa mgongo wa Mungu,
      Utalipwa tu,
      Mungu hawezi kunyamaza,
      Umeweka kidore kwenye jicho la Mungu,
      Bwana akuhurumie kwa upotoshaji huo.

  • @WelldanneSiwatu
    @WelldanneSiwatu 25 днів тому

    Ubarikiweeeeeee saaaaana

  • @JoanNestory-h4v
    @JoanNestory-h4v Місяць тому

    Mungu akutunze sana

  • @benedictormasatu2951
    @benedictormasatu2951 Місяць тому

    Uko vizuri sana kimaandiko na historia

  • @Pauli-fr9id
    @Pauli-fr9id Місяць тому +1

    Marko 2:27-28.Sabato ilifanyika kwa ajili ya Mwanadamu si Sabato kwa ajili ya Mwanadamu.Basi Mwana wa Adamu ndie Bwana wa Sabato pia.Kama wewe ni Mwanadamu mfuate Bwana wa Sabato.Yesu

    • @marthadaniel4904
      @marthadaniel4904 Місяць тому

      🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻

  • @petermgonja8547
    @petermgonja8547 Місяць тому +2

    Mwalimu wew fundisha kwa nguvu Sana, ila ukipata wapumbavu watakuelewa unavyoharisha

  • @hassankanyolo8162
    @hassankanyolo8162 Місяць тому +4

    Wewe umejaaaa Giza totoro

  • @ayengobenjamin8014
    @ayengobenjamin8014 Місяць тому +1

    Unaangaika sana kujitetea, ndipo unapojikoroga. Wa-R.C Watakufundisha Kuwa walibadilisha Sabato toka jumamosi kwenda j2.

  • @EustaKimoshi
    @EustaKimoshi Місяць тому +2

    Wasabato mnaemdelea kuwa na hasira badala ya kutafakari mafundisho ya Mwl Daniel

  • @elgringo8592
    @elgringo8592 Місяць тому +1

    Total darkness mungu akufunulie mwl.Daniel

    • @ibrahimgwasma1223
      @ibrahimgwasma1223 Місяць тому

      MUNGU siyo (mungu )hivo mpige kwa hoja otherwise unataka kuleta fujo

  • @mhojandugunamiti7645
    @mhojandugunamiti7645 Місяць тому +3

    Kwahiyo unamaanisha hata yohana alitokewa na Mungu jumapili, unatumia nguvu nyingi sana kudanganya watu omba msamaha kwa Mungu akusamehe

    • @BAYYINATDMTV
      @BAYYINATDMTV  Місяць тому

      Ndiyo Alitokewa na Yesu Jumapili Uf 1:10

    • @donaldmwahalende4841
      @donaldmwahalende4841 Місяць тому +1

      ​@@BAYYINATDMTVbblia inasema siku ya saba ni sabato ya Bwana wako, jumapil sio siku ya saba

    • @BAYYINATDMTV
      @BAYYINATDMTV  Місяць тому

      @@donaldmwahalende4841 Jumapili ni siku ya Bwana (Uf 1:10

    • @BAYYINATDMTV
      @BAYYINATDMTV  Місяць тому

      Kwa sababu kwenye Agano Jipya Sabato ilikomeshwa, haipo tena.

    • @DAVID-hc1ov
      @DAVID-hc1ov Місяць тому

      @@BAYYINATDMTV Hiyo sio siku ya Jumapili, kasome vizuri

  • @fredrickgitonga1972
    @fredrickgitonga1972 Місяць тому

    Hebrews 4:9
    [9]There remaineth therefore a rest to the people of God.
    Basi, imesalia raha ya sabato kwa watu wa Mungu.

    • @BAYYINATDMTV
      @BAYYINATDMTV  Місяць тому

      Anzia mstari wa 7- 9 halafu uitaje hiyo siku nyingine ya baadaye ni ipi ili tuijue Sabato iliyotajwa kwenye mstari wa 9. Usirukie tu mstari wa 9

    • @amanipeace6642
      @amanipeace6642 27 днів тому

      Hujaelewa maana ya huo mstari we mjinga

  • @WilliamGideme
    @WilliamGideme Місяць тому +1

    Mungu hahangaiki na siku ya kuabudu kwa jina kama jumatatu, jumatono nk. Ila siku moja katika siku saba ikipsngwa na kukubaliwa ni sawa tu.

    • @BAYYINATDMTV
      @BAYYINATDMTV  Місяць тому

      Sawa. Rum 14:5-6

    • @MajaliwaJackobo-e4l
      @MajaliwaJackobo-e4l 2 дні тому

      Hongera Sana Rafiki,,kwa neno lako. Inaonekana unajua kuchunguza maandiko Sana Lakin ujue Hilo Ni neno lako na siyo Neno la BWANA,,,,Neno la BWANA li Hai tena Imara.

  • @SHIJAKULOLAKAMTELYA
    @SHIJAKULOLAKAMTELYA Місяць тому +1

    Naomba tuingie katika mdaharo kuhusu sabato

  • @ChristopherMasonganya
    @ChristopherMasonganya 26 днів тому

    Usilolijua litakusumbua ndivyo unavyosumbuka pole ndugu ipo siku mungu atakufunulia

  • @SamweliJosephwambura
    @SamweliJosephwambura 28 днів тому +1

    Mitume warikusanyika jumapir kwasababu ya hofu ya kuuwawa sio kwaajiri ya ibada oky acha kupotosha uma Mungu hatakuacha salama

    • @BAYYINATDMTV
      @BAYYINATDMTV  28 днів тому +1

      Waliogopa kuuwawa na akina nani si Wasabato?

    • @petrosanga5049
      @petrosanga5049 27 днів тому


    • @amanipeace6642
      @amanipeace6642 27 днів тому

      Kwa hiyo unahisi walikusanyika jumapili wakiwa wanakunywa chai

  • @BanyangaMohammed
    @BanyangaMohammed Місяць тому

    Kweli iyo sabato waisha isimamisha kamasanamu hafwandishe Neno la Mungu tena ama kumufundisha Yesu ile sabato ibaokowe basi

  • @yohanamwakanyelenge3786
    @yohanamwakanyelenge3786 Місяць тому +1

    Soma vizuri rafiki kitabu hicho kitakusaidia uwe msabato mbingu zinakusubili

    • @edelassenga8515
      @edelassenga8515 Місяць тому +1

      Duuuu we unashangaza kweli. utaenda mbinguni kwa kusali jumamosi tu au kwa kutenda mapenzi ya Mungu? Hebu waacheni wakatoliki, mnatuonea wivuuu hakuna kingine kwa sababu tumewaacha mbali sanaaa. Msipotubu na kumtafuta Yesu kwa bidii na kuokoka mtaangamia na sabato yenu. mi nawatahadharisha tu.

  • @Mr_Africanman
    @Mr_Africanman Місяць тому

    🎉🎉 napata madini

  • @EricMoreka-q6q
    @EricMoreka-q6q 10 днів тому

    Hawa ndugu zetu wasabato wanahitaji kuongozwa sala ya toba ili wampokee roho mtakatifu waliyemkataa awasaidie kupata tafsili kamili ya neno la mungu.wakorintho wa kwanza 2:10

  • @japhetndoro6533
    @japhetndoro6533 Місяць тому +2

    Huyu atapoteza watu wengi Sana

    • @BAYYINATDMTV
      @BAYYINATDMTV  Місяць тому

      @@japhetndoro6533 Kuwaaambia ukweli ndiyo kuwapoteza? Kuna anayetoa maandiko ya Yesu kushika Sabato baada ya kufufuka ili nionekane ninapoteza watu?

    • @YusuphLyanga-e8j
      @YusuphLyanga-e8j Місяць тому +1

      ​@@BAYYINATDMTVbaada ya kufufuka yesu hakukaa sanaa alipaa kwenda kwa baba,,,mitume waliendelea kuishika sabato

    • @janekimwetich
      @janekimwetich Місяць тому +1

      ​@@BAYYINATDMTV swali yangu zile amri zingine 9 unakubali zipo ama nazo ziliishia msalabani tuendelea kuiba na kutoheshimu wazazi , in short wew unapikia shetani campaign

  • @hezronmwakanosya3397
    @hezronmwakanosya3397 Місяць тому +4

    Chaniei Yako ifutwe kwa haifundishi kweli inapotosha

    • @BAYYINATDMTV
      @BAYYINATDMTV  Місяць тому

      Ifutwe kwa sababu inafunua uongo wa Wasabato?

    • @petermochengo8647
      @petermochengo8647 Місяць тому

      ​@@BAYYINATDMTVuongo gani wewe watumiwa na shetani

    • @janekimwetich
      @janekimwetich Місяць тому

      ​@@BAYYINATDMTV uzuri hao wasabato washakufunza ukweli siku ya mwisho utasema ukusikia

    • @BAYYINATDMTV
      @BAYYINATDMTV  Місяць тому

      ​@@janekimwetichkipi walichonifundisha? Umewasikia wakitoa aya Yesu aliitunza Sabato baada ya kufufuka? Wametoa? Hebu wakumbushe!!

    • @gabrielsaelie8091
      @gabrielsaelie8091 Місяць тому

      ​​​@@BAYYINATDMTVbila shaka unaamini au unajua haiwezi kufutwa maana channel yako imeasisiwa na kudhaminiwa na lusfer na wewe ni wakala wa huyu lusfer

  • @DAVID-hc1ov
    @DAVID-hc1ov Місяць тому +1

    Amri za Mungu zinapitwa na wakati? Yeremia 31:35-36; Mathayo 19:17. JITAFAKARI

  • @sulimankarusi8345
    @sulimankarusi8345 Місяць тому +1

    Wachristo wa Kenya wa jumapili wasabato moja wawo ni Ndacha.

  • @abelmoturi52
    @abelmoturi52 10 днів тому

    Leo hiyo madha imekuchanga mwalimu Daniel. tafauti ibada na siku . Tangu Jadi siku ja kwanza jumapali ilikua but kile was charged ni ibadan na rest

  • @AgathaHaule
    @AgathaHaule Місяць тому +3

    Mwalim hongera kwa kuwafafanulia watu wengine hawajui. Wale wanaokuuliza topic ambazo hazihusiani na sabato achana nao. Wanaona umewapiga utosini wanataka kukuchanganya.

    • @michaellumumba1779
      @michaellumumba1779 Місяць тому +1

      Wewe bado hujaelewa mchakato wote...kuna mambo ambayo unafaa kuelewa...Ukweli wa neno la MUNGU utabaki...sabato na sheria yote ni ya MUNGU. System ya upapa imehusika sana kuleta mafundisho kinyume na maandiko. Kwa mfano kuomba Maria etc.naomba unieleze alama ya mnyama ni nini?

    • @MiziziMti
      @MiziziMti Місяць тому

      Kuomba Maria nini?

    • @michaellumumba1779
      @michaellumumba1779 Місяць тому

      @@MiziziMti Wanasema ewe maria mama wa MUNGU tuombee sisi wakosefu sasa na wakati wa kufa kwetu! Maombi kama hayo na rosary pamoja na sanamu na kuomba watakatifu waliokufa wawaombee kwa YESU.

  • @dennisezakiel3380
    @dennisezakiel3380 Місяць тому

    Mwl Daniel nakuamini sana japo mm ni msabato

    • @stevenmkingi8588
      @stevenmkingi8588 Місяць тому

      Wacha unafiki kama kweli wewe ni msabato je hujuwi uništi nadati za mwisho.

  • @CollinsOnyango-ep8kk
    @CollinsOnyango-ep8kk Місяць тому +1

    Si jui naeza kuambia aje lakini mm sitaki nikufuate ama kusikia haya unayosema lakini nivile naofia unapoteza watu wamumungu inanikera sana

    • @BAYYINATDMTV
      @BAYYINATDMTV  Місяць тому

      Inakukera ninapomnukuu Ellen White akiwasifia Wakatoliki?

    • @B...boy_tz4352
      @B...boy_tz4352 Місяць тому

      ​@@BAYYINATDMTV Mungu akusamehee tu make ata kunukuu hujui umekurupuka tu huko ulikotoka

  • @NicodemusMutua-pf8kp
    @NicodemusMutua-pf8kp Місяць тому

    Unasoma maandiko vizuri, alafu unaanza kudaganya.Utapoteza watu nao watadaganyika katika uongo wako.

  • @Fm-MornStar2014
    @Fm-MornStar2014 Місяць тому +1

    26:55
    MWALIMU wakati mwingine Wakristo/na hata baadhi ya wachungaji wanasubiri kila kitu waambiwe (hata kama wanapotoshwa) na viongozi wao ndio waamini chochote wanachoelimishwa. Hawafanyi utafiti kabisa.

  • @japhetndoro6533
    @japhetndoro6533 Місяць тому +1

    Hujui elen white ww kubali ufundishwe

    • @justinchepesi6312
      @justinchepesi6312 Місяць тому +1

      Mwl Daniel, mwanzo 2 Mungu imewekwa vigezo vya siku ya Ibada mbona hautaki kusonma? Pia soma kutoka 20 8_ 12, pia kumbuka kifo cha Yesu ni mpango wa wokovu wa mwanadamu baada ya dhambi

    • @BAYYINATDMTV
      @BAYYINATDMTV  Місяць тому

      Mungu Alikuwa anafanya ibada?

    • @DAVID-hc1ov
      @DAVID-hc1ov Місяць тому

      @@BAYYINATDMTV Kutoka 20:8-11; Zaburi 95:6-7

    • @ahadimalamso4155
      @ahadimalamso4155 Місяць тому

      Sabato si​ siku ya Ibadan ni siku ya kupumzika. Ibadan ni siku zote. Hujui kwamba hujui.@@BAYYINATDMTV

  • @OsiahMwaipopo
    @OsiahMwaipopo Місяць тому

    Mwl,miye nakushauri uhangaikie sana dhambi kuliko kijbu hoja,maana unaonekana kudili na wasabato badala ya kudili na dhambi

    • @BAYYINATDMTV
      @BAYYINATDMTV  Місяць тому

      Ninakuomba wewe shughulikia hilo pia kwa sababu mimi na wewe wote ni watumishi. Mimi nimechagua kuanza na kujibu hoja halafu mengine yatafuata. Si sawa?

  • @samwellekuraa32
    @samwellekuraa32 Місяць тому

    Mathayo 23:13-14

  • @georgeasalla8542
    @georgeasalla8542 Місяць тому +1

    Siku ya Saba ni takatifu na siku ya kwanza pia ni takatifu, hakuna kufanya kazi siku hizo,
    Kutoka 12:16

    • @japhetndoro6533
      @japhetndoro6533 Місяць тому +1

      We'we nawe hata naona pia wapotezwa na mwakema wasema siku zote ziko Sawa Mungu anasema ikumbuke siku ya sabato sio zikumbuke VIP ww wapotezwa ukiona achana na mwakema mwongo huyu

    • @moshifrank9622
      @moshifrank9622 Місяць тому

      Siku haitakuokoa mbona bado uko gizani wewe​@@japhetndoro6533

    • @georgeasalla8542
      @georgeasalla8542 Місяць тому

      Ni maoni yako, kama siku hizo zimetamkwa kuwa ni takatifu na hamri ikatolewa watu wapumzike siku hizo,
      Je ni ubaya gani wasabato wakichagua siku ya Saba na
      Wakristo wakachagua siku ya kwanza za juma?

    • @B...boy_tz4352
      @B...boy_tz4352 Місяць тому

      ​@@georgeasalla8542😂😂😂 wewe nae ushapotezwa tayali

  • @ThadeusKisangi
    @ThadeusKisangi Місяць тому

    Baba ongea Dunia inapotea. Brainishing watu wamekuwa mazuzu. Hananja nampenda sana yule baba anasema ukweli kama wewe

  • @BanyangaMohammed
    @BanyangaMohammed Місяць тому

    Hatuokolewe kwakushika sabato tuna okolewa kwakumwamini Yesu

    • @amonfaustine4371
      @amonfaustine4371 Місяць тому

      Ukimuamini yesu atakufundisha kushika SABATO ndugu

  • @gabrielfurahas5723
    @gabrielfurahas5723 Місяць тому

    Yaani kama kuna watu wa kuhurumiwa niwewe. Unayoyasema huyaelewi nakushauri utenge mda ujifunze . Mada za kisabato huziwezi kabisa

  • @japhetndoro6533
    @japhetndoro6533 Місяць тому

    Soma mhubiri 7:1 wewe ndio hujui Mungu anasema heri siku ya kufa kuliko siku ya kuzaliwa wewe kama wamsherekea yesu siku ya kwanza unaacha sabato umepotea ww

  • @simonmhagama-vl7cb
    @simonmhagama-vl7cb Місяць тому

    Hamma ukweli wala nini , kipondi cha Nyuma nilikuwa siijui sabato ya Bwana lakini kupitia mitandao nikejua Bwana Aliagiza niitunze sabato

  • @magigemesanga2284
    @magigemesanga2284 Місяць тому

    Yeyote anayetukana ni wa sheria, sio wa imani.

  • @warningoflastdays254
    @warningoflastdays254 Місяць тому +3

    Majibu yanakuja kama kawaida

    • @francisjoseph1074
      @francisjoseph1074 Місяць тому

      Wasabato mliitwa na bishop ngonyani mwende mkatetee Mada ya sabato mkaishia mitini kenge nyie

    • @Alexfadhili6404
      @Alexfadhili6404 Місяць тому

      @@francisjoseph1074Wewe ni mfwasi wa Kristo Yesu au ni mwislam? Mbona umeita watu makenge???

  • @CharlesMafwimbo
    @CharlesMafwimbo Місяць тому

    Nenda kaso.e ufunuo 22 yote utjifahamu

  • @SHIJAKULOLAKAMTELYA
    @SHIJAKULOLAKAMTELYA Місяць тому +1

    Njoo Mwanza Sengerema kijiweni tujadiliane kuhusu sabati, na kuanzishwa kwa jumapili

    • @BAYYINATDMTV
      @BAYYINATDMTV  Місяць тому

      @@SHIJAKULOLAKAMTELYA Unaweza ukajiunga kwenye mtandao ili tujadiliane huko?

  • @ERICKMAGETA-rz2eg
    @ERICKMAGETA-rz2eg Місяць тому

    Acha kutafsiri neno la Mungu
    Kama unavyofanya utahukumiwa vibaya

    • @BAYYINATDMTV
      @BAYYINATDMTV  Місяць тому +1

      @@ERICKMAGETA-rz2eg tafsiri wewe

  • @FrenkfrenkFrenkfrenk-sf4hl
    @FrenkfrenkFrenkfrenk-sf4hl Місяць тому +1

    Wasabato msiwe wapumbavu wa akili kaz ya kuumba ilikuwa ya mungu alisha umba kwisha iy sasa sisi tunaumba nini sisi kaziyetu kusifu na kuabudu tu mungu upokea maombi mda wowote cku yoyote

  • @michaellumumba1779
    @michaellumumba1779 Місяць тому

    Wasabato wanafurahia kufufuka kwa YESU kwa sababu katika kifo cha YESU deni limelipwa.Waliomfukuza YESU ni wayahudi wale waliokataa kwamba YESU si mwana wa MUNGU. Sheria ya ROHO wa uzima imetuweka huru mbali na sheria ya dhambi. Sheria ya MUNGU haibanduki.

  • @MaryMwende-de3qc
    @MaryMwende-de3qc Місяць тому

    Wewe mwakemwa umemkataa mungu mumbaji kwa kukataa sabato yake ambae ni jumamosi na ata iko mbinguni.

  • @samsonwaanda7568
    @samsonwaanda7568 Місяць тому +1

    Wewe hatuna muda wa kubishana na mtu asiyejua ukweli,

  • @benedictormasatu2951
    @benedictormasatu2951 Місяць тому

    Wasabato ni maskini wa historia ya ukristo,usikate tamaa waelimishe wapo watakao elewa

  • @SammyNdegwa-n8b
    @SammyNdegwa-n8b Місяць тому +1

    Amka usingizini ...bado umelala

  • @benedictormasatu2951
    @benedictormasatu2951 Місяць тому

    Wewe ni mkweli sana

  • @B...boy_tz4352
    @B...boy_tz4352 Місяць тому +2

    😂😂😂 huyu mzee sijui aliwaza nini tu mpaka akaanza kufafanua Biblia kingali hana uwezo huo ZAIDI TU ANAPOTOSHA WATU NA ANATUMIA NGUVU NYINGI KUONGEA ila sawa hawa ndio wali wauongo wenyewe waliotabiliwa 2petro 2:1

  • @mbukumagiubukumagu406
    @mbukumagiubukumagu406 Місяць тому +1

    Mwankema elimu yako ndogo sana

  • @JohnNakasala-w1w
    @JohnNakasala-w1w Місяць тому

    Tusikilizeni kwamakini jameni,natuwache matharau sisi tunayaona uongo sisi wenyewe tunayaona giza kabisa,

  • @GeorgeMwampamba
    @GeorgeMwampamba Місяць тому

    Musizan yakuwa nakuja kitanguatoratibari kutimiriza mitume wakipumzika jumapili kiujumla bira poropogada kama utaendelea kumzika jumapili utakuwa imepotea mirere😢😢

  • @jacobmwankenja5466
    @jacobmwankenja5466 Місяць тому

    Mwalimu, wewe usikatishwe tamaa na wasioipenda kweli na hao wote ni wa Sabato, siyo wa Kristo. Mafundisho yako ni faraja kwa tuliokuwa tunshanga watumishi kuwanyamazia wa Sabato kupotosha ukweli , Mwankenja wa Mbeya

  • @StevenKayumbo
    @StevenKayumbo Місяць тому +1

    Uko sahihi sana mtumishi wa mungu kanisa katoriki ukweli like vizuri sana

  • @HellenaMky
    @HellenaMky Місяць тому +1

    Nikweli wakatoliki mko makini Sana kwa kuluhusu ushoga mkovizuri hongeleni. Sasa na wewe danieli funga ndoa na mwanaume mwenzako ilituone Kama uko sahihi.kwa huo ukatoriki.

    • @MiziziMti
      @MiziziMti Місяць тому +1

      Toa andiko hata kutoka kwenye gazeti ukatoliki umeruhusu ndoa ya jinsia moja...natoa tsh 1,000,000

    • @RubenMtuwaMungu-bz8ee
      @RubenMtuwaMungu-bz8ee Місяць тому

      Papa si ameruhusu juzijuzi tu hapa kwahiyo unataka andiko ndani ya biblia ambayo kanisa katoliki wameikanyaga tokea zamani!? ​@@MiziziMti

    • @beatusmisango4128
      @beatusmisango4128 Місяць тому

      Wewe ndugu jaribu kufiri kabla haujaandika jambo. Umejaribu kufanya utafiti hata kidogo? Unadhani duniani kote hakuna msabato aliye shoga? Maana hizo tamaduni zipo kila mahala hasa nchi za ulaya. Wewe endelea kuomba sana . Na hakuna sehemu yoyote wakatoliki wanaruhusu ushoga, hayo ni mawazo unayolishwa bila kutumia akili yako.

    • @amanipeace6642
      @amanipeace6642 16 днів тому

      Mbona kuna ushahidi wa wachungaji Tele mashoga na wasagaji huko Kwa wasabato,ukitaka nikutumie listi halafu mtuambie hiyo ted Wilson karuhusu

  • @amonfaustine4371
    @amonfaustine4371 Місяць тому

    Kwakwel wewe haujui mungu akusaidie

  • @ErnestShija-y2f
    @ErnestShija-y2f Місяць тому +1

    Kanisa Takatifu katoliki lamitume.

  • @fredrickgitonga1972
    @fredrickgitonga1972 Місяць тому +1

    Dola ya kirumi ni kitu kimoja na kanisa la katoleki jua hivo leo

    • @BAYYINATDMTV
      @BAYYINATDMTV  Місяць тому

      Kwa maneno yako tu bila ushahidi?

    • @amanipeace6642
      @amanipeace6642 16 днів тому

      Acheni ujinga wasabato,jua kutofautisha utawala wa rumi na kanisa katoliki,au kama Una ushahidi wa unachosema leta hapa Acha kuropoka

  • @Mr_Africanman
    @Mr_Africanman Місяць тому

    MPINGA KRISTO ni yule anapinga Yesu si mwana PEKEE wa Mungu na anayepinga Yesu Hajasulubiwa msalabani
    1 YOHANA

  • @JosephMahilla-v3g
    @JosephMahilla-v3g Місяць тому

    Naona unatumia nguvu kubwa kupotosha maandiko na kuwapoteza watu wasiosoma biblia na kuielewa. Hakuna mtu makini awezaye kuja kubishana nawe maana roho mtakatifu hawezi kuwepo kwenye mjadala wa namna hiyo, ukielezwa ukweli ukabisha basi hakuna sababu ya kuja kubishana. Nawapongeza wote walioamua kukaa kimya wakuache upige kelele peke yako.

  • @warningoflastdays254
    @warningoflastdays254 Місяць тому +4

    Fuatilia : WARNING OF LAST DAYS Channel itatoa majibu very soon

    • @BAYYINATDMTV
      @BAYYINATDMTV  Місяць тому

      Mtatoa majibu kumpinga Ellen G White? Haya karibuni!

    • @raphaelkessy7360
      @raphaelkessy7360 Місяць тому

      Kwa nondo hizi unajibu 😂😂😂😂

    • @venancemwanya4212
      @venancemwanya4212 Місяць тому

      Ni vizuri majibu yangetoka hapa hapa kama unakauelewa zaidi

    • @japhetndoro6533
      @japhetndoro6533 Місяць тому

      Mwongo huyu mwakema nimshindani sana

    • @Fm-MornStar2014
      @Fm-MornStar2014 Місяць тому

      ​@@BAYYINATDMTV Mwalimu hawa wameshatutabiria kuisha ulimwengu mara kadhaa tangu nizaliwe. Yesu kasema tuwe tayari muda wote maana hatujui siku wala saa, hata malaika hawaijui siku, wala mwana wa Adamu...

  • @morrisabdon7881
    @morrisabdon7881 Місяць тому

    mnahangaka na wasabato, mnapoteza muda tu, hawajui watendalo wanahangaika tu.

  • @japhetndoro6533
    @japhetndoro6533 Місяць тому

    Hebu soma gc568.2 mbona ww yesu anasema niko na kondoo lakini si wazizi hili watatoka huko

    • @BAYYINATDMTV
      @BAYYINATDMTV  Місяць тому +1

      Kwani Yesu alimaanisha zizi ni Wasabato? Yesu alimaanisha watu wa mataifa wasio Wayahudi atawaleta wawe pamoja.

  • @GREGORYNONGOLO
    @GREGORYNONGOLO Місяць тому

    Nimekuelewa mpaka basi, penyewe siyo mkatoliki umefafanua vizuri hivyo, Mungu akubariki Sana endelea kufundisha ukweli

  • @japhetndoro6533
    @japhetndoro6533 Місяць тому

    Huyu mwakema anapotosha watu wengi Sana lakini huyu asiposikiza ujumbe ambao unafundishwa na ndacha na onyango na deme ,mutisya hakika atakuja toa hesabu siku za mwisho

    • @BAYYINATDMTV
      @BAYYINATDMTV  Місяць тому

      Nimewasikiliza tafsiri yao ni potofu na tutaisahihisha.

    • @msafiriaugustino2957
      @msafiriaugustino2957 Місяць тому

      @@BAYYINATDMTV MUNGU hadhihakiwi mahubiri umeyasikia kutoka katika biblia kupitia watumishi wake na hata katika mdahalo ukweli ulikuchoma kupitia mada ya sabato na ukapwaya kabisa ila sasa naona umetumwa uje upotoshe na kushusha chini ujumbe wa MUNGU wa kweli,kaa chonjo ukitaka giza litakuja na kukufunika kwa kuwa hukupenda ukweli uokolewe.something is coming soon

    • @BAYYINATDMTV
      @BAYYINATDMTV  Місяць тому

      Je wakifundisha kinyume na Biblia tuwaache tu waendelee kupotosha watu? Hapana. Tunapaswa tuwarekebishe kwa mujibu wa maandiko

    • @japhetndoro6533
      @japhetndoro6533 Місяць тому

      @@BAYYINATDMTV nimekupa vitabu cya Ellen white soma hivo tena ww hujui elen soma umjue ndugu

  • @venancemwanya4212
    @venancemwanya4212 Місяць тому

    Mimi ckutegemea kama wasabato wangekamatika hivi du!😂😂😂😂😂😂😂

  • @elishamgasa2343
    @elishamgasa2343 Місяць тому +1

    Kiboko Yako ni Pastor Ndacha.. unabii wa kitabu Cha danieli na ufunuo hauujui wewe, kama usipotubu DHAMBI ya kudanganya watu Yesu hatakawia kuja maana hata huyo Roma unaemtetea ndio anaetimiza unabii

    • @dennisezakiel3380
      @dennisezakiel3380 Місяць тому

      😂😂😂😂 weee jamaa huyo jamaa yuko sana , usiongee kwa muhemuko

  • @GodfreyErene
    @GodfreyErene 24 дні тому

    Tatizo ni yule mama aliwadanganya baada ya kuasi ukatoliki

    • @BAYYINATDMTV
      @BAYYINATDMTV  24 дні тому

      Hakuwa Mkatoliki, alikuwa Mmethodist na mume wake alikuwa Mbaptist

  • @witomkuutv1738
    @witomkuutv1738 Місяць тому

    NIKO HAPA MTUMISHI ... MSABATO MWENYE UHAKIKA WA KUWA JUMAPILI SIO SIKU YA BWANA SAWA NA AGIZO LA BWANA .

  • @BonfaceWawire-k6p
    @BonfaceWawire-k6p Місяць тому

    Asante kwa ujumbe wako🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @ErnestShija-y2f
    @ErnestShija-y2f Місяць тому

    Ernest Hulya roho wa mungu aendelee kufunulia zaidi,uko sawa.

  • @marobaraka
    @marobaraka Місяць тому +1

    WAKATOLIKI UNAOWATETEA TUWAPIME KWENYE AMRI..
    Kutoka 20:4-5
    [4]Usijifanyie sanamu ya kuchonga, wala mfano wa kitu cho chote kilicho juu mbinguni, wala kilicho chini duniani, wala kilicho majini chini ya dunia.
    [5]Usivisujudie wala kuvitumikia; kwa kuwa mimi, BWANA, Mungu wako, ni Mungu mwenye wivu; nawapatiliza wana maovu ya baba zao, hata kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukiao,
    MBONA MASANAMU YAMEJAZANA KANISANI NA WANAYASUJUDIA???

    • @nicodemuswidambe5132
      @nicodemuswidambe5132 Місяць тому

      Kwenye kanisa lako hakuna sanamu?? Au hujui maana ya Sanamu?? Lile sanamu la DUNIA pale kanisani cyo sanamu?? Au unafikiri sanamu lazima iwe ya mtu?? Usipo jua kaa kumya. Kaangalia kamusi maana ya Kamusi ya kuswahili.

    • @marobaraka
      @marobaraka Місяць тому

      @nicodemuswidambe5132 wakatoliki wako kinyume na maandiko
      Yesu yuko mbinguni, Mariam yuko kaburini. Wakatoliki wamechonga sanamu ya Yesu na Maria. Na wasujudia sanam, maandiko yanasemaje kuhusu kuchonga sanamu??
      Kutoka 20:4-5
      [4]Usijifanyie sanamu ya kuchonga, wala mfano wa kitu cho chote kilicho juu mbinguni, wala kilicho chini duniani, wala kilicho majini chini ya dunia.
      [5]Usivisujudie wala kuvitumikia; kwa kuwa mimi, BWANA, Mungu wako, ni Mungu mwenye wivu; nawapatiliza wana maovu ya baba zao, hata kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukiao,
      Kwahiyo wakatoliki wako kinyume na maandiko

    • @BAYYINATDMTV
      @BAYYINATDMTV  Місяць тому +1

      @@marobaraka ninawatetea mimi au Ellen White?

    • @marobaraka
      @marobaraka Місяць тому

      @BAYYINATDMTV Ellen White kasimamia maandiko kuhusu sabato ambayo mnadai haina utakatifu bali ni jumapili. Mm nakutaka mwankemwa ww unayo biblia yako sasa mahali panasema ikumbuke siku ya sabato uitakase siku sita fanya kaz. Hapo ufute hayo maandiko maana hayana maana kuwa katika biblia yako maana yame expire.
      Haya maandiko yame expire.
      Kutoka 20:8-11
      [8]Ikumbuke siku ya Sabato uitakase.
      [9]Siku sita fanya kazi, utende mambo yako yote;
      [10]lakini siku ya saba ni Sabato ya BWANA, Mungu wako, siku hiyo usifanye kazi yo yote, wewe, wala mwana wako, wala binti yako, wala mtumwa wako, wala mjakazi wako, wala mnyama wako wa kufuga, wala mgeni aliye ndani ya malango yako.
      [11]Maana, kwa siku sita BWANA alifanya mbingu, na nchi, na bahari, na vyote vilivyomo, akastarehe siku ya saba; kwa hiyo BWANA akaibarikia siku ya Sabato akaitakasa.
      Kum 14:3-21.

  • @MatubaSon
    @MatubaSon Місяць тому

    Wote mnaomuunga mkono huyu jamaa, hakika mnapotea tena jehanam inawakodolea macho, mtaishia huko wote mnaomsapoti

  • @ERICKMAGETA-rz2eg
    @ERICKMAGETA-rz2eg Місяць тому

    Biblia inaposema nina kondoo wengine ambao sio zizi hili nao imenipasa kuwatafuta hayo mazizi yapo unaelewaje

  • @GilbertSise
    @GilbertSise Місяць тому

    Wewe ni mwl,unayemwakilsha yule baba wa uongo,,ibada ya jumapil ilianzishwa na mfalme Constantine wa Roma na siyo papa,,,

  • @mazulacelestine3038
    @mazulacelestine3038 Місяць тому +7

    Mungu akufunulie kweli yake,la sivyo unaenda kupotea, umakini unaosemwa hapa,ni makini wakiamini kwamba wako katika ukweli,, hivyo ndiyo maana wako makini, nina kondoo wangu hawako katika Zizi watakaposikia sauti watarudi kwa mchungaji mmoja

    • @BAYYINATDMTV
      @BAYYINATDMTV  Місяць тому

      Hayo ya kondoo ya kwako Ellen hajasema hivyo. Usimlishe maneno

    • @jacksonmigiro5873
      @jacksonmigiro5873 Місяць тому +2

      Kaka ujambo? Nakuombea uamuke katika usingizi uko ndani, na ulevi na uchafu wa kikatoli, samahani, ashakum si matusi

    • @jacksonmigiro5873
      @jacksonmigiro5873 Місяць тому +1

      Usi ongea uongo wewe nimpinga kirisito

    • @odilomwemeziernest646
      @odilomwemeziernest646 Місяць тому

      @@jacksonmigiro5873 ameeleza kile ambacho mwanzilishi wa usabato alisema kanukuu.

    • @francisjoseph1074
      @francisjoseph1074 Місяць тому

      ​@@jacksonmigiro5873nyie wasabato mnakichaa , na Nani alie waroga?

  • @JonathanMughulirwa
    @JonathanMughulirwa Місяць тому +1

    Ni kama wewe tu uko makini kwa kile unacho kiamini ukizana una amini ukweli kumbe imani ya dhehebu lako ime ku poteza. Wakatoliki wako walio makini sana ila wame potezwa na imani mbovu ya Ukatoliki.

    • @chrisdeoglatias8665
      @chrisdeoglatias8665 Місяць тому

      Ni kwl kabisa wakatolik n makn ktk kushika mapokeo ya dn yao sio Neno la Mungu wsla Roho mt.

    • @BAYYINATDMTV
      @BAYYINATDMTV  Місяць тому +1

      ​@@chrisdeoglatias8665Mapokeo ndiyo yanayotoa nuru kama Ellen White alivyoandika?

  • @paulsato7987
    @paulsato7987 Місяць тому

    Hi pastor Daniel Senate kwa mirera imani ya nitumie mungu Asidi kukutumia na kukuongesea nguvu

  • @yohanamwakanyelenge3786
    @yohanamwakanyelenge3786 Місяць тому

    Mung akusaidie akufumbue macho maana umepotoka

  • @justinchepesi6312
    @justinchepesi6312 Місяць тому

    Siku za mwisho watatokea manabii wa uongo

  • @MajaliwaYusuphlushika
    @MajaliwaYusuphlushika Місяць тому

    Atatenda kazi gani kwao na umekubali jumapili ni ya wakatoliki ndo maana unatetea na kukazia wako makini katika yao

    • @BAYYINATDMTV
      @BAYYINATDMTV  Місяць тому

      Unajifanya huelewi? Nilipowanukuu Wakatoliki kwenye Katekisimu yao kwamba wanakusanyika siku ya Jumapili kama Mitume walivyokuwa wakikusanyika. Je hapo ndiyo nimesema ni Wakatoliki ndiyo walioanzisha Jumapili? Punguza ushabiki ili usiwe kipofu.

    • @MajaliwaYusuphlushika
      @MajaliwaYusuphlushika Місяць тому

      @@BAYYINATDMTV swali ni atatenda kazi gani

  • @japhetndoro6533
    @japhetndoro6533 Місяць тому

    Lf 62.2 soma hiyo mwakema utajua Pope ndiye shetani mwenyewe

  • @japhetndoro6533
    @japhetndoro6533 Місяць тому

    Wewe ulishindwa mada Tanzania na ndacha pia na deme ww huwez hoja za ndacha ww wajisifu hutaki kusikiza ww mwakema mwongo tena sana

  • @GODFREYSABAYO-yz4qx
    @GODFREYSABAYO-yz4qx Місяць тому

    Kwani hueliwi heleni jiwaiti amese wapo wengine kwni amesema ote au baadhi yao wanamwamini mungu

    • @BAYYINATDMTV
      @BAYYINATDMTV  Місяць тому +1

      Kama ilivyo kwa Wasabato ambao hata hawajui ni kwa nini wao ni Wasabato.

  • @vicentnyanda828
    @vicentnyanda828 Місяць тому

    Punguza ujinga wa Kiroho Mwalimu.

  • @blues4life633
    @blues4life633 Місяць тому

    Sijaangalia vd lakn kchwa cha hbr cjkpda but mm ni mwanafunzi wako 😢

  • @machoguhameri7757
    @machoguhameri7757 Місяць тому

    Serikali ya Rumi na kanisa katholiki ni wamoja na kwa mfumo wa Rumi Serikali ya Rumi unalipa Ada Vatican papa ni Mkuu wa nchi ya Italia anayo mamlaka makubwa katika nchi hiyo.

  • @raphaelsiumbu9439
    @raphaelsiumbu9439 Місяць тому +2

    🖤🖤🖤🖤🖤🖤🖤🖤🖤🖤
    HUJAPEWA MASWALI WEWE.
    WEWE UMEJIPA KAZI MOJA TU. KUWASHAMBULIA WASABATO
    LAKINI, MUNGU ATAJULIPA
    WASABATO WAPO KIMYA KWASABABU HII
    👇
    2 Timotheo 2:23
    Walakini uyakatae maswali ya upumbavu yasiyo na elimu, ukijua ya kuwa huzaa magomvi.

  • @oscarngowi4750
    @oscarngowi4750 Місяць тому

    Wewe Ni chizi freshi

  • @vinreyal5627
    @vinreyal5627 Місяць тому

    Mwalimu uko sawa wa SDA wangali kwa kivuli..mambo halisi ni kristo. (Mwili)

  • @japhetndoro6533
    @japhetndoro6533 Місяць тому

    Huyu anatumia akiili zake mwenyewe

    • @BAYYINATDMTV
      @BAYYINATDMTV  Місяць тому

      Kitabu cha Ellen White ni akili zangu? Akili yangu ndiyo ilimfanya Ellen G White kuandika haya ninayomnukuu hapa?

  • @japhetndoro6533
    @japhetndoro6533 Місяць тому

    Soma GC 605.2

  • @BanyangaMohammed
    @BanyangaMohammed Місяць тому

    Mwalimu nituye jina yaile kitabu

  • @AlfredAlfred-yd2mg
    @AlfredAlfred-yd2mg Місяць тому

    Wakatoliki mtajuta ni waongo mnaficha ukweli kw tamaa za dunia

    • @vincentdaud9954
      @vincentdaud9954 Місяць тому

      Wewe ni kuku. Hujui historia kanisa. Sabato ilianzishwa 7 .7.1945 siku ya jumamosi saa6 mchana michigani marekani na mwanamke Ellen Gabriel white huyu alikuwa ni mtawa wa Estern othodox. Akaasi na kuanxisha usabato .kabla ya 1945 hakuna . Michagani ndo makao makuu usabato

    • @vincentdaud9954
      @vincentdaud9954 Місяць тому

      Wasabato ni wapuuzi namna gani hamjui historia ya kanisa. SABATO ni dhehebu liloanzishwa na mwanamke Ellen Gabriel white .th 7 .7. 1945 saa6 mchana jumamosi michigani marekani . Someni historia ya kanisa siyo maneno ya mbwa wachungaji wa kisabato waliojaa chuki na wanashindwa kusema ukweli wako busy na unafiki wako .

    • @amanipeace6642
      @amanipeace6642 10 днів тому

      ​@@vincentdaud9954wewe ndio punguani wa historia hata ya kanisa lenu

  • @daudimichael7338
    @daudimichael7338 Місяць тому +1

    Wasabato siyo wakristo, mnateseka mkiwa wapi?