USTADHI SHAFII AMTAFSIRIA QURAN MCH. NDACHA, AMSHANGAA KUSEMA MUNGU WA WAISLAM SIO MUNGU WA KWELI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 45

  • @jimjam-xg7rv
    @jimjam-xg7rv 5 місяців тому +4

    Swadakta sheikh shaffi ALLAH akuzidishiye siha njema hekima na busara ili uzidi kutu elimisha amin 🤲 amin 🤲 YARABI amin 🤲🤲🤲🤲

  • @nassorsharifu9837
    @nassorsharifu9837 5 місяців тому +5

    Allah ameshapiga muhuri katika nyoyo zao hawafahamu

  • @RamadhaniMohamedi-de2vc
    @RamadhaniMohamedi-de2vc 5 місяців тому +2

    Swadakta sheikhe wangu shafii shomali pango mungu akujalie kheri kubwa hapa duniani na siku ya mwisho insha Allah mungu atakupa neema zake🙏🙏.

  • @issarashid7707
    @issarashid7707 5 місяців тому +5

    MaaShaAllah ukweli utabaki tu ukweli hata kipofu anaona katika moyo wake bali atabaki na khulka yake ya ubishi katika mdomo wake ....Allah akuzidishie na akuhifadhi shekh Shafiy

  • @nasseralhabsi1483
    @nasseralhabsi1483 5 місяців тому +1

    Tunamwomba Allah akujaze kila la kheri sheikh Shafi, akuongezee elimu, amin.

  • @salimbahatisha3003
    @salimbahatisha3003 5 місяців тому +1

    Sheikh shafii Allah azidi kukupa maisha marefu na uzidi kuelimisha umma

  • @mwawekomiuda9779
    @mwawekomiuda9779 5 місяців тому

    MashaAllah Wafundishe hao Ostadhi wangu watakuelewa tu.

  • @bukharytwaha680
    @bukharytwaha680 5 місяців тому

    ustadh Shafi Ni fundi kabisa masha Allah,tunaomba kutana na ndacha Kwa swali na jibu hapo hapo

  • @legendaction202
    @legendaction202 3 дні тому

    92:1-3 mungu anasema naapa kwa usiku unapofunika. Xio naapa kwa mwenyezimungu ndacha hana elimu

  • @MbiziKarim
    @MbiziKarim 5 місяців тому

    Asalam alaikhum warahmatullahi wabarakatuhu, naam sheikh wetu SHAAFI , ALLAH akuhifadhi , akujalie mwisho mwema kabisa yaani weeye mwenye hawezi kuelewa mafundisho ,na maongezi yako ya ki DINI baasi huyo kiziwi wakweli kabisa. Duuuh unaneema ya kuelewisha mtuu mambo yakuhusu DINI

  • @legendaction202
    @legendaction202 3 дні тому

    Shafii yuko sawa

  • @KhamisJuma-ni1vk
    @KhamisJuma-ni1vk 5 місяців тому

    Swadakta Sheikh Shafii

  • @dullahbatuf9223
    @dullahbatuf9223 5 місяців тому

    Mashallah

  • @kusweymohamed
    @kusweymohamed 5 місяців тому

    Mashallah ust shaffi unajibu maswali kwa kueleweka yaan kilmu kafiri ndacha kama hataki kuelewa atakua hataki tu kwa sababu atembee na magari makubwa nyumba yafakhari na kadhalik

  • @JuniorTz-s7x
    @JuniorTz-s7x 3 місяці тому

    Penda sana shehe wangu akulinde kwa kila jambo

  • @HamisAbdallah-cj2sc
    @HamisAbdallah-cj2sc 5 місяців тому +2

    ASALAM ALEY KUM MWAMBIE DACHA AFAFANIE MWANZO 6;6 MUNGU ANAUZUNIKA MOYONI !!!

  • @zaburionlinetv6245
    @zaburionlinetv6245 5 місяців тому +3

    Unaweza kuta huyu ndacha ndo vile vikatun vya kwenye tom and Jerry

  • @mozartshukuru8604
    @mozartshukuru8604 5 місяців тому +1

    Shafi huna hoja kabisa
    Kutoka 34
    5 Bwana akashuka ndani ya lile wingu, akasimama pamoja naye huko, akalitangaza jina la Bwana.

  • @franciscomtambakuluca2830
    @franciscomtambakuluca2830 5 місяців тому +2

    Wewe subir Ndacha atakufundicha

    • @Z.O.666
      @Z.O.666 5 місяців тому +1

      Labda kwa ndoto yako HUHAHE 😂

  • @gibsonmomanyi2692
    @gibsonmomanyi2692 4 місяці тому

    Jamani shafi Allah ni mungu yupi, wacha kueba swali la mwandishi

  • @moshantoj
    @moshantoj 5 місяців тому +2

    Vitu zinaongea kwa UA-cam na hawawezi debate 😂😂😂

  • @NkusiFred
    @NkusiFred 5 місяців тому +1

    Bwana similuzi katuleteye ndacha na majibu yaliyo na umakini

  • @allyway999
    @allyway999 5 місяців тому +1

    Shekhe wangu
    Wasipo kuelewa wanatakiwa waumbwe umpya hao bongo zao hao

  • @Elecovid
    @Elecovid 4 місяці тому +1

    Umeshidwa mdahalooo😂😂😂😂😂😂

  • @tsumamartin6878
    @tsumamartin6878 5 місяців тому +1

    Twangoja mjadhala wako na ndacha

  • @fahadjiddawy835
    @fahadjiddawy835 5 місяців тому +1

    Bwana Simulizi Allah akuongoze na wewe kwenye Dini ya Haki

    • @SIMULIZIZONE
      @SIMULIZIZONE  5 місяців тому +1

      @@fahadjiddawy835 Inshallah

  • @MohamedMohamed-u3t1n
    @MohamedMohamed-u3t1n 5 місяців тому

    yani ndacha hoja zake anawalisha sana matango pori wakristo eti waislamu wana miungu wengi 😂😂😂 yeye anaesema yesu mungu na ana mungu wake ambae alimuabudu yeye ndio anasema ana mungu mmoja😂😂 halafu unasikia haleluya dunian hata muislamu nibaki peke angu na ndacha hawezi kunipa hoja ya kutetea ukristo mana hana hoja yenye nguvu hoja zake zaifu

  • @PeninaElia-v3n
    @PeninaElia-v3n 5 місяців тому +1

    Wewe na kasauti lako hako ka pwani, huwezi simama na Ndacha.

    • @zaburionlinetv6245
      @zaburionlinetv6245 5 місяців тому +1

      Atanyoshwa huyo mropokaji wenu wa Kikuyu Hadi akome

    • @johngerald4677
      @johngerald4677 5 місяців тому

      Hata chembe shafii hamuwez ndacha sijui ata nisemeje

    • @zaburionlinetv6245
      @zaburionlinetv6245 5 місяців тому

      @@johngerald4677 Sasa la kusema Hauna hauoni kama wewe na ndacha wote ni kundi moja? Na kwa HAKIKA hamna cha kusema

    • @nubianqueen6700
      @nubianqueen6700 5 місяців тому

      Kweli ndacha Ana sauti kwa maana bila sauti Hawezi skizwa, hoja zake ni very illogical, makes you see his comprehension level. Iko chini sana.

    • @PeninaElia-v3n
      @PeninaElia-v3n 5 місяців тому

      Ndacha nimemfuatilia sana,Yuko very smart,na ana hoja zenye mashiko

  • @MbiziKarim
    @MbiziKarim 5 місяців тому

    Alafu kiswahili cha wachungaji Hua kina wasi wasi kueleweka , ila kiswahili cha sheikh wa kiisilam Hua kinaelewa swadaktaa . Sijui ni kwasababu gaani?

  • @hamzaswaibu9470
    @hamzaswaibu9470 5 місяців тому

    Kweli Wakristo hawana hoja eti Mungu anasikia Luhga moja

  • @yusuphomary7410
    @yusuphomary7410 5 місяців тому

    Wee Penina wanapoongea wanaume usiongee usilete mambo ya ubaguzi wa maeneo. Huyu ni mwalimu anatusomesha na hajatukana mtu hapa. Penina tunakushangaa acha hizo sikiliza mwalimu kitu anachokisoma.

  • @isaackmlayy6228
    @isaackmlayy6228 5 місяців тому

    nenda kwenye mdahalo acha kuongea kama chiwawa

  • @johngerald4677
    @johngerald4677 5 місяців тому

    Wewe ndo usije thubutu hata kidogo mdahalo nda ndacha bola ata ao wengine kina sule na mazinge

  • @AidanoSilvestreSabiniSabini
    @AidanoSilvestreSabiniSabini 5 місяців тому

    Wewe Shafi, elimu yako ni ndogo tu, kwanini unaitetea kutumia biblia na biblia sio kitabo cha Mungu?

    • @dullahbatuf9223
      @dullahbatuf9223 5 місяців тому +1

      Hajatetea kupitia bibilia anamtolea mifano ambayo muulizaji ameuliza km ni hoja kwamb na kweny bibilia imezungumzwa hivy hivyo km anavyoijaj qurani bs na bibilia itakua pia imekosea .tatiz lako uelewa

    • @MohamedAhmada-ie7ke
      @MohamedAhmada-ie7ke 3 місяці тому +2

      ​@@dullahbatuf9223Wakiristo wengi sio waelewa hawawez kuchanganua mambo kiakili na ndio maana wataburuzwa na wachungaji wao mbaka watajuta