Mch Moses Magembe - AINA NNE ZA MIOYO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 24 чер 2023
  • Ibada ya Jumapili Asubuhi katika kanisa la Gospel Campaign Centre TAG Majumbasita Ukonga - Dar es salaam chini ya Mch Moses Magembe.
    Ujumbe:AINA NNE ZA MIOYO
    Andiko: MATHAYO 13:1-9 MATHAYO 13:18-23
    Mnenaji: MCH MOSES MAGEMBE
    Tarehe: 25.06.2023

КОМЕНТАРІ • 19

  • @ommykibona8026
    @ommykibona8026 6 місяців тому

    Ubalikiwe Sana 🙏

  • @fatumaremy
    @fatumaremy Рік тому +3

    Amena bb rev.moses magembe ubarikiwe sana bb yangu ❤🙏🙏

  • @taitusjohn1197
    @taitusjohn1197 Рік тому +1

    Hongera baba Kwa mafundisho yako muluwa,karibu katavi tuna hamu na wewe

  • @pascalselemani8132
    @pascalselemani8132 Рік тому

    Tazania imebarikiwa sana na watumishi wa mungu kabisa tunakupenda sana baba mchungaji tunahaja nawewe huku congo drc kinshasa

  • @henrytarimo9802
    @henrytarimo9802 Рік тому

    Ameni mtumishi nimeelewa. Asante kwa mafundisho yenye uweledi wa MUNGU wa kweli

  • @TumainiThomas-sg3rd
    @TumainiThomas-sg3rd Рік тому

    Asante kRISTO kwà vyombo vya ko vya kazi Tanzania neema yako isivipungukie

  • @martinakyoo148
    @martinakyoo148 Рік тому

    Zidi kubarikiwa sana Pastor Moses Magembe

  • @raphaelmasasi966
    @raphaelmasasi966 Рік тому

    Amen mtumishi wa Mungu nabarkiwa sana

  • @ndayizeyefredina-ni8uf
    @ndayizeyefredina-ni8uf Рік тому

    Mungu awaongoze kwakazizake.

  • @charleskasomambuto2807
    @charleskasomambuto2807 Рік тому +1

    Amina Mchungaji ujipange na Katavi

    • @theopistaundole1985
      @theopistaundole1985 Рік тому

      Mungu akubariki mch huwa nakuelewa sana nafuatilia mafundisho yako

  • @theopistaundole1985
    @theopistaundole1985 Рік тому

    Ubarikiwe mtumishi wa Mungu

  • @rahelbenson2565
    @rahelbenson2565 Рік тому

    Amina baba barikiwa 🙏

  • @GWAKISASTEPHENMWAKILASA-wn3qy

    Barikiwa baba

  • @joshuamwangobola2991
    @joshuamwangobola2991 Рік тому

    KILINDI -TANGA tunatamani mtufikie,huyu mtumishi hana masihara inapofikia habari ya Imani.Mungu amtunze hatuhitaji usanii kwenye mambo ya neno la Mungu.

  • @aprow2059
    @aprow2059 Рік тому

    Uje na iringa

  • @thehopetv2930
    @thehopetv2930 Рік тому

    Nakupenda sana baba, hii ni hazina ya Bwana nimejifunza leo jambo kubwa katika somo lote

  • @TumainiThomas-sg3rd
    @TumainiThomas-sg3rd Рік тому

    26:32

  • @salomefabian8708
    @salomefabian8708 Рік тому

    Mtumishi tunaomba uje na Lindi mjini, tumekuwa tukikufatilia kwenye mitandao, tunahitaji utuhudumie live.