Ishi miaka mingi Raisi wetu JPM Angalau wanetu na wajukuu zetu tuwe tunacho cha kuwasimulia tumechoka kusimuliwa reli ya mkoloni daraja la mkoloni shule ya mkoloni kila kitu imara na kizuri ni cha mkoloni ila toka umeanza kama waziri nimeanza kuona habari ya mkoloni itabaki historia kwenye Tanzania ya yetu hasa kwenye utawala wako. Asante Mungu kwenye kile ambacho niliomba nikione na niliamini utaweza sasa umetimiza walisema chama cha CCM kitakumeza ila matokeo yake walichosema hakijatokea vijana walikuwa hawana imanina CCM wala wewe ila sasa wanaimani zaidi na matokeo yake utayaona kwenye matokeo yako ya uchaguzi. Am proud to be born and live in Tanzania and living during your ruling time. Live long and take us to the dream Tanzania which we have been promised with late President JK Nyerere.
Dr John pombe Joseph Magufuli ni jembe la kazi na niwaminifu mno nimezaliwa chato nimekulia chato ninamfahamu vizuri .niwaombe watanzania wamuunge mkono .
Ewe mola tunakuomba zidi umpe ushindi siha afya njema na azidi kuiongoza inchi yetu kua hekma ulo mpa na ukakamavu alo zidi kuonyesha kua ye s raisi bali n mtumishi wetu Allah mpe ushindi tena JPM na tanzania izidi kusonga mbele
Me naomba Rais Magufuli uliongoze Li Tanzania 🇹🇿 letu miaka 50 Li Tanzania 🇹🇿 letu ni Li tajiriii kweli kweli Magufuli Oyeeeeeeeh 💪🏾
Magufuri good president of Tanzania
Wanaohesabu waanzie yangu no 1 Raha sana
Magufuli Hoyee!!
God bless our country and I wish to be the one like JPM for coming days bt through God nothing is impossible I know I can
Kura asilimia 99% moja watagombania Wapinzani.. Sasa Watanzania wamemuelewa Sana Rais wetu Hilo halina ubishi.
Umeprove wrong watu wengi sana ktika akili zao
Ishi miaka mingi Raisi wetu JPM Angalau wanetu na wajukuu zetu tuwe tunacho cha kuwasimulia tumechoka kusimuliwa reli ya mkoloni daraja la mkoloni shule ya mkoloni kila kitu imara na kizuri ni cha mkoloni ila toka umeanza kama waziri nimeanza kuona habari ya mkoloni itabaki historia kwenye Tanzania ya yetu hasa kwenye utawala wako.
Asante Mungu kwenye kile ambacho niliomba nikione na niliamini utaweza sasa umetimiza walisema chama cha CCM kitakumeza ila matokeo yake walichosema hakijatokea vijana walikuwa hawana imanina CCM wala wewe ila sasa wanaimani zaidi na matokeo yake utayaona kwenye matokeo yako ya uchaguzi.
Am proud to be born and live in Tanzania and living during your ruling time.
Live long and take us to the dream Tanzania which we have been promised with late President JK Nyerere.
Kura yangu ipoo kwa Magufuli
CCM safiiiiiiiii
Dr John pombe Joseph Magufuli ni jembe la kazi na niwaminifu mno nimezaliwa chato nimekulia chato ninamfahamu vizuri .niwaombe watanzania wamuunge mkono .
binafisi sina kipingamizi kwako inagawa mm nilikuwa na itikad za kipinzani
Karibu nyumbani kumenoga achana na upinzani kijinga
Jaman Hadi raha Magufuli oyeeeee
Raha sanaa WE Love you Magufuli wetu Baba wa Taifa letu❤️🙏🙏🙏❤️🌹
Mtaimba nyimbo zoooote lkn nyimbo za Captain John Komba hamta zisahau kamweeee
hakuna mpinzani!!!
Kazi nzuri sana presideeeeeeeee
Ewe mola tunakuomba zidi umpe ushindi siha afya njema na azidi kuiongoza inchi yetu kua hekma ulo mpa na ukakamavu alo zidi kuonyesha kua ye s raisi bali n mtumishi wetu Allah mpe ushindi tena JPM na tanzania izidi kusonga mbele
Hongera sana baba yetu rais wetu mzuriii Kura zote ziki kwako baba
Amin
ni mungu wawa kiristor huyo
Mmmm. Kuna watu wana akili ndogo hivi!!! Halafu ni mwanaume. Sijui utakuwa na familia ya aina gani?
Jembe oyyyyeee
Sawa Sawa baba ukweli utabaki kuwa ukweli
Hahaaa watapata tabu sana acha turinge na magufuli wetu jembe lisioisha makali magufuli oyeeeeeeeeee💪💪💪
Jembe
Tafadhali msiite ikulu ya Dodoma white house wewe mtangazaji
huyo ndio baba
Toka mwisho wa Baba WATAIFA ,ndio tena sasa watu wanafurahi kiukweli kama vile tumepata Uhuru.....JPM karudisha matumaini ya wananchi wasio waizi.
Is not a white house is states house my god
binafisi sina kipingamizi kwako inagawa mm nilikuwa na itikad za kipinzani