MKURUGENZI ALIYESAMEHEWA NA JPM AONGEA KWA HISIA “MUNGU NI MWEMA, SIKUTEGEMEA”

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 14 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 115

  • @venancemalima1181
    @venancemalima1181 3 роки тому +2

    Hongera na pole.Mungu ni mwena yawezekana haukua umekosea sana katika maamuzi yako.

  • @JOHNKAPAGATV
    @JOHNKAPAGATV 3 роки тому +18

    🤣🤣🤣🤣wanaosema wamefurahi kumbe ndio wambea wenyewe

    • @godsonmahela6915
      @godsonmahela6915 3 роки тому

      Msukua ndio alikuwa ana kuchongea

    • @mauajames4670
      @mauajames4670 3 роки тому

      Hakika kaka hao ni wanafiki wakubwa hao hao walifurahia leo hii tena kujifanya malaika

  • @babayakeanna8595
    @babayakeanna8595 3 роки тому

    Pole kaka Mungu ni mwema piga kazi

  • @lucasbarabara7303
    @lucasbarabara7303 3 роки тому +5

    Hongera mkurugenzi kahama, ukilia leo kesho utacheka

  • @shabansamwi9891
    @shabansamwi9891 3 роки тому +7

    haki ya nanii jamaa czani kama ten atafanya utopolo😜😜

  • @pitargamba9208
    @pitargamba9208 3 роки тому +5

    Shida wadau hamfatilii habari , huyu si yule wa Msukukuma hap ni mkoa shinyamga kule ni Mkoa wa Geita kwa Msukuma.

  • @majaliwamtoni5168
    @majaliwamtoni5168 3 роки тому +2

    Hao hao wanaompongeza ndo walikuwa waampiga vita.

  • @jamesakhabuhaya6194
    @jamesakhabuhaya6194 3 роки тому +3

    Hapo ndo unapojua kuwa raisi haaga upendeleo

  • @alexkihongola798
    @alexkihongola798 3 роки тому +3

    Kilio cha mwenye haki kimesikika mbinguni.

  • @athumaniomari2833
    @athumaniomari2833 3 роки тому +4

    Asante sana mwenyezi MUNGU mkuu

  • @abuubakalmtangenange4389
    @abuubakalmtangenange4389 3 роки тому +5

    Umeona kama umesahewa na Mwenyezi Mungu

  • @namirihamisi3899
    @namirihamisi3899 3 роки тому +4

    Unacheka nao na wabaya ni haohao duu namkumbuka marehemu Issa matona.

  • @abdallahsaid8157
    @abdallahsaid8157 3 роки тому +1

    Kutumbuliwa ni khatari sana hasa inapokuwa hadharani kama afanyavyo rais wetu.
    Usiombe ikukute hiyo ishu!!!

  • @victormushi6641
    @victormushi6641 3 роки тому +2

    WANAOMKUMBATIA NDIO WANAFIKI WENYEWE HAO, HONGERA YA NINI WKT MLITAKA AONDOKE

  • @babafemie4576
    @babafemie4576 3 роки тому +1

    Wabongo wanafki Sana km sio wao waliokuwa wanapiga majungu..

  • @zahirallyzorro5305
    @zahirallyzorro5305 3 роки тому +5

    Kiongozi wa Watu huangalia Utendaji zaidi!

  • @lightmashauri1725
    @lightmashauri1725 3 роки тому +8

    Samehe saba mara sabini....

  • @radhiambwana8787
    @radhiambwana8787 3 роки тому +2

    Akili kwakichwa! wazuri nawabaya nihao hao.

  • @dynesssteve9754
    @dynesssteve9754 3 роки тому +1

    Msukuma itabidi ajifunze kitu kujipendekeza kwa maboss cyo poa

  • @sundayandrew1787
    @sundayandrew1787 3 роки тому

    Hongera sana rafiki yangu Anderson

  • @florencekashaija7539
    @florencekashaija7539 3 роки тому +1

    Kazi na heshima.

  • @robertigohe9338
    @robertigohe9338 3 роки тому +1

    Usirudie tena

  • @gabrielmwikanu1160
    @gabrielmwikanu1160 3 роки тому

    Mkurugenzi shukuru Sana huo msamaha,
    Acha Tama Tama za kutaka ufanane na mtu Fulani.
    Fanya kazi ukijua kuwa cheo NI dhamana, Leo unacho kesho atakiacha na kukabidhiwa mtu mwingine
    Mali za umma ziogope Kama ukoma.
    Hata Mimi mwenyewe niliumia Sana ulipokuwa umetimuliwa.
    Muombe mungu Sana na ukatubu .
    Acha malumbano na mihemko ya kushindana na wanasiasa

  • @paskalmasake3342
    @paskalmasake3342 3 роки тому +1

    Sasa alikwenda kwenye mkutano tena ameniga suti kufanya nn au alijua?

  • @mabyserolouchcraig2431
    @mabyserolouchcraig2431 3 роки тому

    Chunga sana wanafki ni wa karibu yk

  • @hellenmgungus2935
    @hellenmgungus2935 3 роки тому

    Sasa wale waliokuwa wanapiga vita sijui watawaambia nn watu

  • @kinglubwaza9618
    @kinglubwaza9618 3 роки тому

    Inatufundisha kutokurupuka katika maamuzi,hasa kiongozi

  • @saidhamad7150
    @saidhamad7150 3 роки тому +5

    Mkurungenzi wa kahama chapa kazi, wasamehe wote!!!!

  • @benedictkayombo2358
    @benedictkayombo2358 3 роки тому +1

    Wewe Ayo haiko Ivo bana usiharibu. Hatutaki uongee wewe acha tuone akiongea unae muongelea

  • @mdomani2404
    @mdomani2404 3 роки тому +3

    sas itakuaje aibu ya mzee msukuma🤣🤣

    • @habibmohamed4766
      @habibmohamed4766 3 роки тому

      Hapo ni Shinyanga yule alikuwa ni wa Geita nyumbu wewe

  • @gabrielisack7786
    @gabrielisack7786 3 роки тому +1

    Kwani ulikuwa hujui kama Mungu ni mwema?Mungu ni mwema kila nyakati hata unapopita kwenye shida yeye anabaki kuwa mwema tu maana Mungu ni mkubwa kuliko matatizo yako.

  • @salmaathuman9156
    @salmaathuman9156 3 роки тому +5

    🤣🤣leo atakuwa na kiwewe nyie kukosa kazi sio mchezo inaweza kuongea pekee yako Kama mwehu

  • @evansbuberwa1235
    @evansbuberwa1235 3 роки тому

    Asnte rais wetu hiyo in busara kubwa Mungu awe nanyi

  • @manaseelias2351
    @manaseelias2351 3 роки тому

    Kweli Mungu ni mwema aso na MTU ana Mungu

  • @kaizamandike8771
    @kaizamandike8771 3 роки тому +1

    Usirudie tabia hiyo mkurugenzi sawa! acha kufurahi kama vile umetwaa ubingwa wa ligikuu

  • @simonsadala2386
    @simonsadala2386 3 роки тому

    Mmmh kwl duniani unafiki ni mwingi jmn walio kuwa wanamponda Mkurugenzi ndo hao hao wanampa hongera na kumharg dunia hiiiii

  • @benmagaya6610
    @benmagaya6610 3 роки тому +3

    Hii Nchi Na Mambo Yake 😀😀😀😀

  • @seifkassim4579
    @seifkassim4579 3 роки тому +1

    Hii nchi ni kipuuzi kweli.kila kitu kinaenda kisiasa tu.uyu wa kusameewa kweli

  • @prettyh7509
    @prettyh7509 3 роки тому

    Na alivyojibu jeuri et gari la mil 400 kitu gani

  • @haydaralijeraj2312
    @haydaralijeraj2312 3 роки тому

    Social distancing amesahau.

  • @festondenga4253
    @festondenga4253 3 роки тому +1

    Hapo rais kakosa msada wa upelezi

  • @farhannjama3808
    @farhannjama3808 3 роки тому

    Kusamwhewa hapo naweza kuelewa lakini kymrudishia gari hapo ndio tatizo, hilo gari lina gharama kubwa ya mafuta na service na vipuli. Bora angemsamehe tu na hilo gari lingepigwa bei kwa watu binafsi wenye uwezo wa kilimiliki.

  • @janetsemahimbo8083
    @janetsemahimbo8083 3 роки тому +1

    Msamehe Makonda pia

  • @chumamihambo8060
    @chumamihambo8060 3 роки тому +1

    Piga kazi mkuu wanafiki wapo na wataendelea kuwepo usiogope

  • @keijoodehustla3259
    @keijoodehustla3259 3 роки тому

    Stori nyingi acheni uhuni

  • @husseinkarim6745
    @husseinkarim6745 3 роки тому

    Hii inaonyesha magufuli ni mtu wa munngu. Hasikii upande mmoja.jitume kwa moyo hana tabu. Makosa madogo madogo anasamehe.

  • @josephlupasha6228
    @josephlupasha6228 3 роки тому +1

    Repoter unaongea sanaaa

  • @mathiaszakaria7052
    @mathiaszakaria7052 3 роки тому

    Mi siwez furahia uchafuzi wa Kodi za wanyonge tunaoumia ni sisi

  • @pieremchome5202
    @pieremchome5202 3 роки тому

    Hao wanaokumbatia hapo ndo wanafki wenyew,kama usingesahewa wangefurahi sana,kaa na watu kwa tahadhari,maana adui yako ni yule unayekula naye, kucheka naye,angalia sana mkurugenz

  • @mohamedbabu6977
    @mohamedbabu6977 3 роки тому +1

    Mungu hulipa hapahapa

  • @omaryrashid7803
    @omaryrashid7803 3 роки тому

    Millard ayo unakwama wapi mtangazaji hafai

  • @eventelias3566
    @eventelias3566 3 роки тому

    Dedication song: Kigeugeu by Jaguar

  • @tingbatuuka7278
    @tingbatuuka7278 3 роки тому

    hakuiba .alijinunulia gari na watu wakaona.sio wizi

  • @namirihamisi3899
    @namirihamisi3899 3 роки тому +5

    Wamafki wana vikao vyao wameshushuka na uongo wao.

  • @simonkalinga6261
    @simonkalinga6261 3 роки тому

    Usirudie

  • @prfndonje
    @prfndonje 3 роки тому +1

    Tnataka saut ya jpm mwenyewe

  • @emanuelpetro7413
    @emanuelpetro7413 3 роки тому +1

    Na wewe unaongea sana kama lyimo media bwana punguzeni kuongea ongea

  • @salumucharles9655
    @salumucharles9655 3 роки тому

    Tufanye kazi tusile Tena hela za wananchi sound from mkurugenzi Hahaha

  • @zuberikamote2078
    @zuberikamote2078 3 роки тому +3

    Waliomnafikia wamwkua wapoleee

  • @omarylukindo5306
    @omarylukindo5306 3 роки тому

    Endelea kula bata mzee,

  • @chantalnizigama5012
    @chantalnizigama5012 3 роки тому

    Bado mnakumbatiana hivyo??? Corona virus 😷😔

  • @kingtv5600
    @kingtv5600 3 роки тому

    Kwa mara ya kwza magufuli kalogwa na kalogeka mamae wewe wee uchawi upo mzee baba

  • @mussajuma1736
    @mussajuma1736 3 роки тому +1

    Waliokukumbatia wote ndio wabaya wako hawo

  • @ramadhanimbulu6716
    @ramadhanimbulu6716 3 роки тому

    Hongera ya nini sasa!!

  • @dianadayana4661
    @dianadayana4661 3 роки тому +1

    Chezea ugali wewe😉

  • @sudymgeni701
    @sudymgeni701 3 роки тому

    Kale kuku wanao kupa hongera ndio walifurahi ukitumbuliwa

  • @mariajason3547
    @mariajason3547 3 роки тому +1

    Hizo comments za watu sasa 😂😂😂😂

  • @adambakule7066
    @adambakule7066 3 роки тому

    Cjui mbunge msukuma yupo kwenye hali gani? Riziki ya mtu binaadam hawezi kuizia.

  • @lufufumkudesimba6244
    @lufufumkudesimba6244 3 роки тому

    Usiludie tena

  • @humoudmohammad3125
    @humoudmohammad3125 3 роки тому

    .

  • @magrethjohn8576
    @magrethjohn8576 3 роки тому +1

    Hivi huyu mkurugenzi ndo yule aliyeibuliwa na Msukuma???

  • @jumakiatu.628
    @jumakiatu.628 3 роки тому

    uMipAtA.nDo.siO.bAaTi.bAaTi.iYo.jAmAni. uMi.i.pAtA.aiSeE.iYo.dU.aTa.mi.uMitOkA.mAcHoZi.

  • @lucasbarabara7303
    @lucasbarabara7303 3 роки тому

    Hongera mkurugenzi kahama, ukilia leo kesho utacheka