Rais Magufuli alivyotembelea eneo la ujenzi wa Ikulu Chamwino Dodoma

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 14 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 46

  • @ismailahmed5133
    @ismailahmed5133 3 роки тому +1

    Mungu akupokee na akusamehe kwa kile ambacho ulimkosea Mwenyezi Mungu ,,, tuko nyuma yako

  • @edwardedward2520
    @edwardedward2520 7 років тому +4

    Big up sana mh. Rais Dodoma litakuwa jiji muda so mrefu watanzania wa maeneo jiran watumie fursa mh. Anaona mbali. Ameweka alama within a very short time.

  • @hassanovajunior6972
    @hassanovajunior6972 7 років тому +4

    my president live long

  • @lameckjacksongolani280
    @lameckjacksongolani280 7 років тому +2

    Mungu akupe nguvu raisi wetu na afya njema chapa kazi! tunakukubali sana!

  • @frankdickson9880
    @frankdickson9880 7 років тому +4

    Mungu katukumbuka Dodoma

  • @saraad5572
    @saraad5572 7 років тому +3

    Dodoma oyeeeeeeeee

  • @YamunguYb
    @YamunguYb 7 років тому +3

    Mungu azidi Kukulinda Rais wetu

  • @benezethbwikizo3158
    @benezethbwikizo3158 7 років тому +1

    safi sana raisi

  • @anuaryally6177
    @anuaryally6177 5 років тому +2

    Jamani demokrasia gani iliominywa tujifunze kufuata sheria ukivunja sheria utachukuliwa atua ya kisheria kimfano mbowe anawaamasisha wananchi eti tuwashe moto kuanzia dar es salaam iwe mfano mikoa mingine itafuatia yaani maasi fujo vurugu kwa jina lingine gasia au maandamano yasiyo lasmi sasa iyo ni demokrasia na inajenga nini zidi ya ualibifu wa watu kupola mali za watu umma ndio democracy iyo uhuru huo na anakwambia nitaongoza mapambano mpaka ikulu kumtoa rais je democracy iyo au huaini wa kutaka nchi isitawalike kama vile sasa libya syria Somalia congo sudani ya kusini centre africa republic ilaq kuwatengenezea njia wazungu mabebelu wajichukulie mali bwete bwete na kujiendelezea kwao alafu wanajiita nchi zilizoendelea kumbe uchizi wetu kwa manufaa ya wachache tamaa ya madaraka unawapa faida mabebelu baadae wanakung'ong'a kweri mijitu meusi ni mijehu unakubali kuwapoteza wenzako kwa kuaidiwa utapewa uraia uraya wenzetu wametulia wote wanapendana wanajenga mataifa yao kwa kutuvuruga sisi awaumizi kichwa kujenga kwao wanaumia mafuta kwa warabu madini afrika na gesi wanakula bata kupitia kwetu

  • @saidabdalla8996
    @saidabdalla8996 4 роки тому

    Huyu mzee kichwachake kimetulia sana

  • @gospalflavour7304
    @gospalflavour7304 7 років тому +1

    Wazo zuri sana
    Japo naona kama jiji la dae es salaam litabaki na ukame mkubwa na mianya ya fedha itafanyiwa ubadhirifu endapo serilali yote itahamia dodoma
    Itakuwaje Baba?

  • @onesmomwacha9594
    @onesmomwacha9594 7 років тому +8

    nakukubali sana kwa sehem kubwa mh Rais wewe ni mzalendo. but kitu nisichokipenda ni kimoja tu. kukamatwa kamatwa kwa wabunge wa upinzani.. mh rais uchapaji kazi wako ungetosha kutufanya tukupende hata bila kuminya demokrasia

  • @avitimushi1541
    @avitimushi1541 7 років тому +1

    Aisee Rais Dr. Pombe na Waziri Mkuu Majaliwa mumeweza kufanza kweli kuhamia Dodoma. Hilo wazo la reli ya mjini ni wazo la maana sana. Nalisubiria kwa hamu kuona linatekelezwa.

  • @mugemainyas5241
    @mugemainyas5241 7 років тому

    Mungu aendelee kukulinda rais magufuli na mawaziri wako
    asante sana

  • @mubashdagun8008
    @mubashdagun8008 7 років тому +1

    ww kua na akili msenge hazalishi

  • @kesterkanyala7718
    @kesterkanyala7718 Рік тому

    PUMZIKA KWA AMANI....JPM...!!

  • @a.s.afishfarming6225
    @a.s.afishfarming6225 7 років тому +2

    Kwa utendaji wako tu ungetosha kuwaaminisha watanzania kwamba wewe ni raisi bora ila unaharibu sifa yako kwa kuwakamata wapinzani

  • @eliassamwel9172
    @eliassamwel9172 7 років тому

    Wakamatwe kwani ni walaghai hao

  • @daybrelimite7039
    @daybrelimite7039 7 років тому +1

    mh.raisi unachapa kazi sana lkn una uzalendo na wapinzani wako una minya sana Democracy

  • @mubashdagun8008
    @mubashdagun8008 7 років тому +1

    usimchukie Raisi mchukie mamako alikubali kuwa na bwana lofa

    • @juliethmilimo9279
      @juliethmilimo9279 7 років тому

      Mubash Dagun duuu umenifurahisha sana. wachukie wazaziwao walioshindwa kujituma. wakapata maendeleo haahaaa

    • @onesmomwacha9594
      @onesmomwacha9594 7 років тому

      mubash. wewe ni mbwa kapurwa. me sio lofa na sijawahi kuwa lofa na sintakuwa lofa. mbona we mama yako alizaa na msenge. njoo nikufuge panya wewe

    • @onesmomwacha9594
      @onesmomwacha9594 7 років тому

      mubash. wewe ni mbwa kapurwa. me sio lofa na sijawahi kuwa lofa na sintakuwa lofa. mbona we mama yako alizaa na msenge. njoo nikufuge panya wewe

    • @onesmomwacha9594
      @onesmomwacha9594 7 років тому

      mubash. wewe ni mbwa kapurwa. me sio lofa na sijawahi kuwa lofa na sintakuwa lofa. mbona we mama yako alizaa na msenge. njoo nikufuge panya wewe

  • @godfreybaretelemi6070
    @godfreybaretelemi6070 7 років тому

    anazengua huyo jamaa wenu

    • @twiizamri5317
      @twiizamri5317 7 років тому

      Mmh mlitak rais aweje hakun mtu asiyekuwa na kasoro

    • @man.lule.585
      @man.lule.585 6 років тому +1

      Wanaoua demokras ni chadema na ukawa yao kwa kutoka bungeni wakati rais alipoingia kuhutubia bunge na kusomwa kwa bajeti wanatokaga nje hilo amlioni?

  • @kelvincharles7263
    @kelvincharles7263 7 років тому

    sina muda wa kuomba mm kumuombea Kwa lipi

    • @hassanovajunior6972
      @hassanovajunior6972 7 років тому +4

      Kelvin Charles acha chuki za kisenge pimbi wew

    • @atheistblood8568
      @atheistblood8568 7 років тому +2

      Kelvin Charles 😁😁😁😁😁jaman tz mm huwa sikuelewagi

    • @TheKandoya
      @TheKandoya 7 років тому +3

      njaa inamsumbua huyo

    • @kelvincharles7263
      @kelvincharles7263 7 років тому

      Hassanova junior acha usenge mbwa wewe pimbi mama ako

    • @kelvincharles7263
      @kelvincharles7263 7 років тому

      Agustino haule mamae wewe njaa anayo mama ako huko songea kenge Wewe

  • @felixmsigwa9332
    @felixmsigwa9332 7 років тому

    tushachoka sasa

  • @kelvincharles7263
    @kelvincharles7263 7 років тому

    Hana lolote