MFAHAMU RAIS DONALD TRUMP - KWAKE KUFELI ni DHAMBI - DUNIA ILIMKATAA - KUNUSURIKA KUUAWA...

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 15 гру 2024
  • MFAHAMU RAIS DONALD TRUMP - KWAKE KUFELI ni DHAMBI - DUNIA ILIMKATAA - KUNUSURIKA KUUAWA...
    Wakati sisi tunafarijiana kwamba kufeli ni sehemu ya maisha, kwa Donald Trump kufeli ni dhambi kubwa. Anachojua yeye ni wa kushinda tu! Hata aliposhindwa Urais wa Marekani kipindi kile alisema hajashindwa ila aliibiwa kura.
    Jamaa ni king’ang’anizi wa kushinda. Afe kipa, afe beki, ushindi kwake ni lazima. Daima mbele, nyuma mwiko. Wakati wa kampeni alikoswakoswa kufa kwa risasi lakini kesho yake tulimuona majukwaani akiomba kura. Alipambana mwanzo mwisho kama Mwabukusi. Leo ni Rais wa wa 47 wa Marekani. Cheers Trump!
    💪💯JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV🔥🔥 chat.whatsapp....
    ============================================================
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

КОМЕНТАРІ • 8

  • @yusufuheri6524
    @yusufuheri6524 18 годин тому +1

    Daaaaah maisha Yana maswali magumu sana

  • @yassinkanal
    @yassinkanal 4 години тому

    Noma san

  • @barnabasmboya7688
    @barnabasmboya7688 17 годин тому +1

    Nimejifunza mengi

  • @RubenMtuwaMungu-bz8ee
    @RubenMtuwaMungu-bz8ee 18 годин тому +5

    Nakumbuka kauli moja ya Trump siku anaondoka ikulu ya Marekani alisema kuwa tutaonana wakati mwingine. Baadhi walimdhihaki kwa kusema wakati mwingine upi? Leo karudi ikulu.

  • @MasasiMusa-g5m
    @MasasiMusa-g5m 18 годин тому +1

    Hakika ni mwamba

  • @Ahwgsvsb
    @Ahwgsvsb 3 години тому

    Mbona link ya group haifunguki

  • @RaisiwaoRaisiwao
    @RaisiwaoRaisiwao 18 годин тому +1

    Na nikweli tunaonana 😂