CHEKI DIAMOND ALICHO KIFANYA KWA CHRISTINA SHUSHO MBELE YA MAASKOFU, ZUCHU ANUNA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 сер 2024
  • #Mwanahabari digital Fuatilia Channel ya habari za kijamii,siasa zinazohusu Tanzania
    Akaunti zetu za mitandao ya kijamii
    Instagram: habari_digital,
    Facebook:Mwanahabari digital
    Twitter:HabariDigital
    Kama huja subscribe bado, tafadhali fanya hivyo na msahuri mwenzako pia

КОМЕНТАРІ • 756

  • @bronick5810
    @bronick5810 3 місяці тому +241

    Mimi kama mchungaji kutoka Kenya nasema hivi, wengi wa wasanii wa nyimbo za injili sio Tanzania tu bali ata hapa kenya, walianza na Roho lakini sasa wanamaliza kwa mwili kwa sababu ya pesa . Tumhofu Mungu jameni

    • @bethmainaheagahinya8888
      @bethmainaheagahinya8888 3 місяці тому

      Vivyo hivyoo ilivyoo kwa Wachunganji pia na ndio maana makanisa yamejaa kila pahali juu kila mmoja ataka hicho chondo cha toleo...... Mala fungu lakumi mara toa thabihu mala toleo lakujikinga mala toleo la shukrani makanisa yamembaki na matoleo kuliko vile neno takatifu la Mungu Sasa YESU akasema Msinililie Mimi njililieni nyinyi wamo duniani..... Kila Mtu ajililie ajikosoe anapo kuja kumkosoa mwenzio... Ahsante Ahsante sana

    • @fbontucshkim2011
      @fbontucshkim2011 3 місяці тому +8

      Nashangaa sana jinsi wasanii wa nyimbo za injili wanaona ni sawa kushirikiana na wale wa nyimbo za kidunia,some I maandiko vizuri

    • @fbontucshkim2011
      @fbontucshkim2011 3 місяці тому +5

      Someni maandiko vizuri

    • @godieres
      @godieres 3 місяці тому +19

      Light and darkness cannot be together not unless they are both dark,I rest my case

    • @neemamajana3078
      @neemamajana3078 3 місяці тому +14

      Tusihukumu wengine tusije kuhukumiwa sisi, Mathayo 7:1-5

  • @user-lm5cr1mi9i
    @user-lm5cr1mi9i 3 місяці тому +64

    Tukisema sana pia tutakosea mungu anawajua walio wake

  • @matendomwera
    @matendomwera 3 місяці тому +12

    Rudi malangoni mwa Mungu nyimbo zako hazivutiye tena kama Zamani ulikuwa naimba na watu wanaingiya kiroho

  • @nasmiriti3141
    @nasmiriti3141 2 місяці тому +7

    Hapa nyavu ya yesu kashika diamond Amen Hallelujah

  • @yetu10
    @yetu10 3 місяці тому +9

    Katika Uinjilisti Christina ako Sawa Wacha Watu Wote wajue Habari ya Mungu.. Mungu anawataka Wote tumjue na Tumtukuze ❤️👍🙏

  • @bethmainaheagahinya8888
    @bethmainaheagahinya8888 3 місяці тому +5

    Christina i really love your Ministry you're such a great Woman of God hua naomba tu Siku Moja kuongea nawe i love you shusho

  • @kungujoel7989
    @kungujoel7989 3 місяці тому +8

    Christina was so humble in the past nowadays she is so proud 😢

    • @Adija-ur8uf
      @Adija-ur8uf 2 місяці тому

      Na nguo tight kwa mwili kweli

  • @PeterEwoton-tj1wn
    @PeterEwoton-tj1wn 3 місяці тому +9

    May God save diamond that when his days draw near...can acknowledge Christ for his future eternity...

  • @paulineakoth6534
    @paulineakoth6534 4 місяці тому +27

    I Iong for the days that I wasn't yet born again but I could just put wakuabudiwa. The spirit of God was in her old songs. Nowadays, wah! Mungu atusaidie. Let's notie to the Most high

  • @lmkigondu
    @lmkigondu 3 місяці тому +2

    I can’t believe that this is the once humble and pious Christina Shusho, who once criticized Kenyan gospel singers for being worldly and who is now even dressed like a mermaid! God have mercy. 😢😢

  • @FunnyAquariumFish-ih3in
    @FunnyAquariumFish-ih3in 3 місяці тому +14

    Christina shusho nakupenda sana nyimbo zako nzuri endeleza upendo kwa wote maana yesu hakubaguwa aliwalisha wote neno la mungu wa milele

  • @nemesapollo4846
    @nemesapollo4846 4 місяці тому +12

    mond brand kubwa mno, haipingiki. big up

  • @ChristinaOnditi-el3xo
    @ChristinaOnditi-el3xo 4 місяці тому +9

    Diamond platnam simba mwenyewe hata ujanguruma lkn imejulikana upo. Wakuache miaka 800 . Mungu akubariki sana diamond

  • @MadinahBabirye
    @MadinahBabirye 4 місяці тому +5

    Papa Jesus,I'm really happy for this son of God.

  • @reubenblessing8940
    @reubenblessing8940 3 місяці тому +4

    God is the ultimate judge..i leave it to Him to decide

  • @user-bu6cs5nv5h
    @user-bu6cs5nv5h 3 місяці тому +1

    Mungu ni mwema kwa kweli.. binafsi nimependezwa na hili jambo!
    Hongera sana Christina Shusho, nimeuona ujasiri.. watu wanaoongea ya kuongea, Wao kama wao wasingeweza hata kuongea na kumuwasilisha Mungu mbele ya Watu wakuu kama hawa, Kudos sanaaa!!🙌🙌🌟🔥

  • @jeraldjensen6504
    @jeraldjensen6504 4 місяці тому +49

    Ila tukiangalia Kwa jicho la pili Christina shusho kamtangaza MUNGU katika ya watu wasio mjua MUNGU, huu ni uinjilisti mkubwa sana God keep you

    • @user-zm4vd4uw4e
      @user-zm4vd4uw4e 3 місяці тому +1

      Huyo ambaye Amjui Mungu labda wewe Acha Uongo potea mbali wana Wa Uasi

    • @jedidahbintidaudi8241
      @jedidahbintidaudi8241 3 місяці тому +1

      dah jmni dada wa watu Mungu wtu aendelee kumnyanyua. maana yeye anawafikia hao wengine ni ngumu. ni muwakilishi wa Ufalme Wake Mungu wtu

    • @godlovemalekela17
      @godlovemalekela17 3 місяці тому +1

      Yupo vzur

    • @amosdickson6318
      @amosdickson6318 3 місяці тому

      Nadhani huelewi, ukielewa utauliza, niko wapi huku?

    • @stanelykariuki-ue3cw
      @stanelykariuki-ue3cw 3 місяці тому

      Uijilisti wa kishetani

  • @user-fl3jx8wr4p
    @user-fl3jx8wr4p 4 місяці тому +3

    ❤️❤️ safi sana maman Christine anapo kua karibu na mtu wetu DIAMOND PLATNUMZ SIMBA tuna sikiya furaha mingi sana kwakweli mungu awabariki na aendelee kuwapa afia bora milele na nguvu yakuendekea kuimba nyimbo nzuri ♥️♥️

  • @AganzemugishoAvecDieunou-gf1fq
    @AganzemugishoAvecDieunou-gf1fq 3 місяці тому +1

    Dr Bukavu j bcp ma sœur Christina shusho

  • @carolinekhayeshe989
    @carolinekhayeshe989 3 місяці тому +10

    Precious people of GOD ALMIGHTY, let us repent and go back to the old rugged cross of JESUS. We should not modernize the cross of JESUS by mixing light and darkness that's apostasy.JESUS is coming let us repent and prepare the way.

  • @mercyzena6356
    @mercyzena6356 3 місяці тому +2

    Your such a wonderful woman of God hivo ndio tutawakomboa waliofungwa kufunguliwa watoke kwa minyororo ya Giza but if your a man of woman of God na umejichanganya usijaribu hii cause kitakuramba vibaya rem Paulo na sila katika matendo ya mitume chapter 16 walipomufunguwa aliye fungwa majaribu walipata sio kidogo but because walijujua wanatumika kwa roho na kweli waliweza kushinda majaribu so kwa wale watumishi munapitia changamoto na munapitelea ndani jiite kamukutano huwezi kua mfungwa na umfungue mfungwa mwenzako

  • @nishstanleyz32
    @nishstanleyz32 2 місяці тому +1

    I love this guy,diamond platnumz❤

  • @tabithamaundu3163
    @tabithamaundu3163 3 місяці тому

    Great ministry you are doing,injili kwa wasio mjua wamjue

  • @JaneLaizer-tb6zl
    @JaneLaizer-tb6zl 4 місяці тому +3

    Christina shusho jitafakari upya ni mwimbaji mzuri Sana laki Hadi hapo unakatisha tamaa mungu akurejeshe upya maana du

  • @lightmashauri1725
    @lightmashauri1725 4 місяці тому +2

    Hongereni sana sana

  • @user-rb2hn4ii1l
    @user-rb2hn4ii1l 3 місяці тому +11

    I myself l love Christina shusho so much ,continue with that heart mamy

  • @Josephatmokomba-us7eb
    @Josephatmokomba-us7eb 3 місяці тому

    AMEN you are right about that pr.

  • @thomasmackenzie8766
    @thomasmackenzie8766 3 місяці тому +20

    When a married woman starts praising another man forgetting that the husband is more important than the other men !! That's a red flag ! It's a shame.

  • @victoriarichard8761
    @victoriarichard8761 2 місяці тому +1

    Nampenda waziri wangu majaliwa every time smiling ataishi sana

  • @estermachea3373
    @estermachea3373 3 місяці тому +2

    Mungu ni WA wote piga kazi usiangalie maneno yao

  • @JoyKita
    @JoyKita 3 місяці тому

    Mungu ni wa wote, hana ubaguzi. Piga kazi Christine.❤

  • @ignatiusmoga9495
    @ignatiusmoga9495 2 місяці тому

    From kenya I fill good coz I ❤ them all watu muwacha kujifanya malaika na kukashifu wengine kama mungu angekuawa binadamu wengi wetu tungeishi mungu habagua yeye ndiye hujua nafsi zetu

  • @user-ny6pv1xu9g
    @user-ny6pv1xu9g 2 місяці тому

    Speaking of gospel diamond

  • @sheldonshikhule327
    @sheldonshikhule327 3 місяці тому +2

    I love your ministry Christina.....may The Lord keep you.......above all let our speech be with grace...amen

  • @EstherTeila1312
    @EstherTeila1312 4 місяці тому +6

    Acheni kuzusha ubaya kwa huyu m2 jamani Yesu anawapenda hvohvo, walivo mana alikufa kwaajili yao, na ananjia nyingi za kumwongoa m2, huenda hyo ikawa mojawapo nan ajiaye, Christina piga injili ila ucmnyenyekee m2, kwaajili ya kipato chake, yangu ni hayo2🙏🙏🙏

    • @jukaelyelisha6311
      @jukaelyelisha6311 4 місяці тому +1

      Kupedwa sio shida shida lazima arudi njia kuu

    • @EstherTeila1312
      @EstherTeila1312 4 місяці тому

      @@jukaelyelisha6311 hakuna aliye mkamilifu, shida ni kujua kama unakosea af ukapuuzia Toba... We ukiona mwenzio kajikwaa kwa kosa fulan mwombee, nawewe huenda una kakwako ambako hujui ila watu wanakushangaa kwacho ko ni kuombeana tu, safar ngumu ina milima na mabonde...

    • @rosejulius7756
      @rosejulius7756 4 місяці тому

      Hajamnyenyekea amemuheshimu

  • @godof2ndchance38
    @godof2ndchance38 4 місяці тому +20

    What does light got to do with darkness. There's a big problem. Two cannot walk together except they agree!

  • @justinekalunga8488
    @justinekalunga8488 4 місяці тому +14

    Sasa huyu mama anaanza kupotea kabisa.
    Mimi nilikua nazani kwa mba ana muimbia Mungu kumbe ni unafki tu. Anatumikia shetani mu jina la Mungu pole sana. Nuru na giza hakuna ushirika. Pesa zita kuponza usijali unaweza kimbia lakini huezi jificha Mungu. Sitawahi sikiza nyimbo za hawa wanafki.

    • @rosemarinawiliam3289
      @rosemarinawiliam3289 4 місяці тому

      Alishapotea, Ile tu kusema ya kuwa ameachana na mume wake ili amtumikie Mungu ni jambo la kushangaza sana

  • @BraitonMwandata
    @BraitonMwandata 4 місяці тому +14

    Maandiko yanasema ,ujiangalie sana ,na Mungu haangalii mwanzo wako bali anaangalia ,mwisho wa mtu..Mungu awasaidie watumishi wake kumaliza vizuri

  • @robertmukoya9542
    @robertmukoya9542 4 місяці тому +2

    i pray that God may remember you christina shusho, u used to lift our hearts, in east africa you made Jesus be known, consider the old things and repend, for you are aware what you are doing. darkness and light can not dwell together. i pray for you always. 😢😢😢😢😢

  • @carolmutai7248
    @carolmutai7248 3 місяці тому +4

    Christina Shusho ulianza na Roho, mbona ukamaliza na mwili?
    You uplifted our souls with your former songs like Mtetezi wangu Yesu anaishi, Wakuabudiwa, Ee Bwana umenichinguza na kunijua n.k.
    Why did you change my sister?
    What living testimony can you testify to the current generation?
    May God bring a U turn to the former you😢

    • @Jesus_is_KING563
      @Jesus_is_KING563 3 місяці тому

      I even don't feel moved by her songs these days 😢

  • @onisimbomasawe-be4mm
    @onisimbomasawe-be4mm 3 місяці тому

    Kaimba nyimbo nyingi sana nzur lakn yy mwenyew hazijamfunza chochote, nimejikuta nafuta nyimbo zote kwa gari yangu..

  • @user-ig7tb1cf8z
    @user-ig7tb1cf8z 3 місяці тому +1

    Christina ameiaibisha kazi ya msalaba. Nilimpenda sana Christine lakini kwa hili hatasitakikusikiliza nyimbo zake.
    Imetupasa kuhubiri inji kama ikibidi kwa maneno.

  • @BeatriceMwakalindile
    @BeatriceMwakalindile 4 місяці тому +5

    Hata yesu walimshangawa na wanafunzi maana alikuwa akikaa na wasio watakatifu . Ko mpendwa kukaa na wasiowatatakifi kulianza na yesu mwenyewe lengo no kuwaokoaa.

  • @user-uo1wu8gf2y
    @user-uo1wu8gf2y 4 місяці тому

    Shusho hongera sana upo na viwango wacha mungu akutumie

  • @thomasomer7955
    @thomasomer7955 3 місяці тому

    Wewe ni mmoja wa baharini Christine,Mungu alikuondoa kwenye maisha ya shusho sababu alionelea utamwingiza pabaya.

  • @marykamadi
    @marykamadi 2 місяці тому

    This should have hit 1m views in 2days ..

  • @okechukwudaniel6775
    @okechukwudaniel6775 3 місяці тому

    🎉❤ lovers of Christina Shisho and Diamond platinum music 🎵,lets gather here and listen to this new reigning hottest heavenly sound on UA-cam channel, it's title is Beautiful God by Minister Emelie OD

  • @vickgrace4487
    @vickgrace4487 4 місяці тому +8

    Christina Upo na MUNGU USIMIANGALIE WALA KUMSIKILIZA MTU...SONGA MBELE MTU WA MUNGU...DUNIA INAJUABUPO MTOTO WA MUNGU MWENYE UPENDO WA MOYONI...

    • @sirpleasureb
      @sirpleasureb 4 місяці тому

      wewe ni kipofu. soma 1 wakorintho 15:33 Mtu asiwadanga nye, “Ushirika na watu wabaya huharibu tabia njema.2 wakorintho 6:14 Msiambatane pamoja na watu wasioamini. Kwa maana kuna uhusiano gani kati ya haki na uovu? Au kuna ushirika gani kati ya nuru na giza? 15 Kuna kuelewana gani kati ya Kristo na shetani? Mwamini ana uhusiano gani na asiyeamini?

    • @Mahershalalhashbazi-kf6xi
      @Mahershalalhashbazi-kf6xi 3 місяці тому

      Pwagu kampata pwaguzi

    • @ceciliahnyaboke271
      @ceciliahnyaboke271 3 місяці тому +1

      Kipofu kaongoza kipofu😢.. lazima ujue Mungu ni mtakatifu

  • @SaintjuniorFilsmaso-rb2tr
    @SaintjuniorFilsmaso-rb2tr 2 місяці тому

    May God be with you 🙏🙏

  • @Milianstore23
    @Milianstore23 4 місяці тому +25

    Kuna watu mnajiona km malaika mmesahau kwamba Mungu anamtumia yeyote kumwokoa yoyote kwa wakat na namna yake, wacheni kujudge watu🤔🤔mnajua Paulo alifanya nn kabla ya kuwa Paulo? wachen mambo yenu bhn kwanza Mungu hana shida na watakatifu anatafuta ambae hajawa mtakatifu amfanye mtakatifu👌👌👌😂kuna watu mtafika mbinguni kwa taabu sana kwa kujitakia

  • @lovintaadhiambo4534
    @lovintaadhiambo4534 4 місяці тому +8

    Shusho hizo Pete ni za Nini?kwani umeingia chama ama? you are heading to the wrong direction,you started well but...watu SI wajinga

    • @EstherTeila1312
      @EstherTeila1312 4 місяці тому

      Kwan mbona hamuulizi na hzo hellen ni za nn, ila watu we amini tu kuwa ni urembo, hayo mengine Mungu ndo anaju, tuombeane tu, mana hakuna aliye mkamilifu

  • @alubathijohanseni
    @alubathijohanseni 3 місяці тому

    Nawapenda otee❤

  • @MaryVick210
    @MaryVick210 3 місяці тому +3

    Compare diamond hapa na ile wimbo yake ya tetema

  • @estherkamau9484
    @estherkamau9484 3 місяці тому +25

    Christina tafadhali vaa nguo ya adabu unapo simama mbele ya wanaume..hao waislamu unasifu hawaezi kukubali mama wakiislamu asimame mbele yao akiwa amevaa hivi...tunaaibisha dini yetu sana...pls can we respect our God🙏

    • @lilianowti5477
      @lilianowti5477 3 місяці тому +3

      Waimbaji wengi wainjili wameasi Mungu Hadi vichapo vyawaandama,Shusho kuwa kama vile awali ulijiheshimu mwanzoni,.

    • @Keringalex
      @Keringalex 3 місяці тому +1

      Samsoni pia katika nyakati zake za mwisho alitaka kuamka kimwili akajipata kumbe Mungu mwenye Nguvu kamwacha kitaaaaaambo. Pole kwa msiba huu wa kiroho dada.

    • @mercykariithi7919
      @mercykariithi7919 3 місяці тому +4

      Haujaelewa shushu amevaa nguo ya marine kingdom amesha jiunga na kina diamond ma freemasons

    • @mercykariithi7919
      @mercykariithi7919 3 місяці тому

      @@Keringalex p lol

  • @yohanamp-ec7im
    @yohanamp-ec7im 3 місяці тому +2

    Shristina shusho ulikuwa mwimbaji mzuri sana ila umeanza kumkosea Mungu, umebeezi kweny hela

  • @magrethmnzava6021
    @magrethmnzava6021 2 місяці тому +2

    Mm nakuombea mema christina shusho
    songa mbele wala usipepese macho kutazama watu wanasema nn...
    Mtumikie Mungu dear ,Mungu ndiye anagawa baraka,na ndiye mhukumu na c mwingine love❤

  • @user-zj9op4fb7w
    @user-zj9op4fb7w 4 місяці тому +18

    Kweli Mungu atusaidie....dada Shusho heshima yako imeisha kabisa .huna uwepo kabisa...

    • @feristadaudi6599
      @feristadaudi6599 4 місяці тому +1

      Usipede kuhukumu usije hukumiwa

    • @Jacklinjohn-cr4vs
      @Jacklinjohn-cr4vs 4 місяці тому +3

      Ameishaa kabisaa na hatuhukumuu arudi kwa Mungu

    • @salimaechessa8933
      @salimaechessa8933 3 місяці тому

      Hata mavazi ya kutoa figure aaaah Mungu hayuko hapo

    • @lilianowti5477
      @lilianowti5477 3 місяці тому

      Mtoto anayechapwa ndiye anayependwa,Shusho anapendwa lazima arekebishwe alikoteleza.

  • @lilianowti5477
    @lilianowti5477 3 місяці тому +3

    Mwisho wa safari ni bora kuliko mwanzo.

  • @WakiliMsomi-xt1fq
    @WakiliMsomi-xt1fq 3 місяці тому +2

    Kiristinakistina usimwache huyu mumeo rahana itakumariza dada angu mungu siyo mzarimu

  • @helena8274
    @helena8274 3 місяці тому +1

    Nilipenda sana huyu dada. Lakini sasa ninahuzuni sana. Please turudi vile tulikuwa zamani, tumuogope Mungu sana sana 😢

  • @MarthamichaelMarth
    @MarthamichaelMarth 4 місяці тому +2

    Unaomba wazir mkuu kumchezea mungu unautani na kumsifu mung we dada

  • @marcyasam4368
    @marcyasam4368 3 місяці тому +1

    Nowadays her dress code is so revealing, i love her old songs

  • @jacy543
    @jacy543 3 місяці тому +3

    No sound part ya mwisho why

  • @MaryWuantet
    @MaryWuantet 4 місяці тому +7

    Bora aende secular straight away

  • @margarethshirima5654
    @margarethshirima5654 3 місяці тому +1

    Mpenzi wetu Christina chunga sana, Mungu kampa kila mtu Néema tofauti, Watu kama nasibu Mungu anaweza kuwapa Néema hata dk za mwisho, wewe Christina najua kweli ila kwa ridhaa yako umechagua giza. Nakupenda, na nakuambia kweli,. Wakati tunaendelea kukuombea, jitafakari Mungu atusaidie tuwe na mwisho mwema. Usije shangaa ukamkuta nasibu amelala kwenye ubavu wa Ibrahim na wewe unamwktisha maji kama lazaro na tajiri. Siku nasibu akiujua kweli, utashamshangaa Mungu. Karibu kwa Yesu Nasibu. I know kuna siku tu. Mungu anayaweza yote🙏napita tu jamani🏃tena napita mbio🏃🏃

  • @JumanneJuma-qd1fo
    @JumanneJuma-qd1fo 3 місяці тому +2

    Christina rudi ,unakoenda si salama ,wewe unajua na watu wanajua na Mungu anajua.Umaarufu ,utajiri na heshima ni za hapa Duniani tu.Rudi rudi ruuudi .

  • @celinemwantoassumani2955
    @celinemwantoassumani2955 3 місяці тому +2

    Shusho umepotea ki Roho, anza tu kuimba nyimbo za wasani ya Mungu aikufai tena, ni eri mwisho muzuri kuliko mwanzo.

  • @samwellivoga7027
    @samwellivoga7027 3 місяці тому +1

    Mungu huwajua walio wake na si kila atajae Yesu ni mtakatifu wengine ni siri baina ya mtu na Mungu muhimu wewe na mimi kila mmoja kujisimamia kwa kujua njia yake ni ipi

  • @Annemuema-og9oj
    @Annemuema-og9oj 3 місяці тому +1

    Don't judge people are you God.the same God created nasibu na shusho anawajua vyema kutuliko.barikiweni sana diamond na christina

  • @PaulineBunde
    @PaulineBunde 3 місяці тому

    Very true shusho alipotea njia coz hata Kwa mavasi anayo vaa sio inapendeza mungu inapendeza walimwengu

  • @duncanmaina6407
    @duncanmaina6407 3 місяці тому +16

    Shusho has lost it. I miss the old shusho.

  • @user-tc9dk5bj3w
    @user-tc9dk5bj3w 4 місяці тому

    May God have mercy on us

  • @JohanesboymsaniiMsanii
    @JohanesboymsaniiMsanii 3 місяці тому +1

    Unyama sana 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @user-hb7mq8lg9e
    @user-hb7mq8lg9e 3 місяці тому

    Sema Hu Mshangaz Shusho Nauelewaga..😍😍😍

  • @lucknesstenga5873
    @lucknesstenga5873 4 місяці тому +4

    ❤❤❤

  • @joycepeter6541
    @joycepeter6541 4 місяці тому

    Wenye kuhukumu mungu awarehemu sana yesu alikuja kwa waliokuwa wabaya wachieni mungu kazi yake siku moja wataokoka.

  • @sheelawaringa1435
    @sheelawaringa1435 4 місяці тому +1

    Kuna mtu aliniabia hatupendi Mungu tunapenda vitu vyake ,I agree.

  • @user-ig1ds2eq4d
    @user-ig1ds2eq4d 2 місяці тому

    We praise people more than God its a pitty that we Look upon men than God
    May God have mercy on us❤

  • @blessedalaf8750
    @blessedalaf8750 3 місяці тому +1

    Christina Shusho like many who've been before her, started in the spirit and is finishing in the flesh. Light and darkness can NEVER mix The Bible warns of being equally yoked with the non believers!

  • @Obujjulizi
    @Obujjulizi 2 місяці тому

    😢😢😢😢😢😢 Christina alishapelekwaa jamani 😢😢😢😢😢😢😢😢😢 kwa sababu ya Pesa tuu akiweee 😢😢😢😢😢

  • @conybebkadaz1339
    @conybebkadaz1339 4 місяці тому +97

    Mimi ndasema ukweli,,, Christina Shusho umeanza kumkosea Roho,,, jifikirie vizuri na umrudie Mungu

    • @donathakihombo4298
      @donathakihombo4298 4 місяці тому +4

      Kweli kabisa

    • @tupokigwemarco7584
      @tupokigwemarco7584 4 місяці тому +6

      Tumuombee maana mm zamani nyimbo zake zilinibariki sana

    • @shabaniismaily1470
      @shabaniismaily1470 4 місяці тому +12

      Kwaiyo ww nani unayejua makosa ya mtu

    • @shabaniismaily1470
      @shabaniismaily1470 4 місяці тому +2

      Kumbuka mema yake ayakuingizi ww peponi muache afanye anachoona yeye sahihi ameshakaa sana kwenye game

    • @conybebkadaz1339
      @conybebkadaz1339 4 місяці тому +8

      @@shabaniismaily1470 Mimi ni mkristu kaaa wengine ninayemwomba Mungu anayeyafungua macho kuyaona yote yamchukizayo,,, kuna wengine pia wanaona haya,,,, ila Mimi sinyamazi,,, namwombea pia huku nikisema ukweli

  • @millekasinga9825
    @millekasinga9825 3 місяці тому +2

    Ukweli wa Christina anaujua Mungu tupunguze kumjudge huyu dada maana macho yetu yana ukomo

  • @wilsonotieno8821
    @wilsonotieno8821 Місяць тому

    Hakuna haja ya kuwanyoshea vidole na kuwatenga ndugu zetu katika kristo(God's ministers). Ibilisi amelivamia kanisa kwa hivyo ni jukumu letu KUOMBEANA mungu pekee anaweza kutupigania

  • @vincentokemwa7308
    @vincentokemwa7308 3 місяці тому +1

    Nahofia Diamond amefanya kitu Kwa huyu Shusho~ Freemason loaded 😢

  • @allykisspro4080
    @allykisspro4080 3 місяці тому

    Hatari sana

  • @agnesscharles7948
    @agnesscharles7948 3 місяці тому +1

    Mungu anasemaje; na kondoo wengine ninao ambao si wa zizi hili. Na mahali pengine Yesu anasema nikipaa juu nitawavuta wote waje kwangu. Nawauliza swali je mnajua ni njia gani ataitumia??????

  • @ApostleDanielAbukuse
    @ApostleDanielAbukuse 3 місяці тому +1

    if the anointing on you cannot frek sinners then, you are just like them

  • @dominicmulu7953
    @dominicmulu7953 3 місяці тому

    I support Christina period. Those judging her can you stand up and do better.

  • @coj7920
    @coj7920 4 місяці тому +4

    Biblia imetuonya tusiwe uvuguvugu, si baridi wala moto. The same bible says chagua hivi leo ni bwana yupi utamtumikia. Jitafakari dada Christina!!

  • @user-tv3ox1bd9t
    @user-tv3ox1bd9t 3 місяці тому +1

    Nguo ye nyewe mfano wa nyoka,tulio katika roho tunawaelewa hatuitaji kuambiwa,mulianza rohoni mwamalizia mwilini,yesu yu mlangoni

  • @Rehema-oc6bi
    @Rehema-oc6bi 3 місяці тому

    Mungu akubadilishe shusho

  • @Mwakilasa51
    @Mwakilasa51 4 місяці тому +7

    Christina hajui kuwa ashakua bibi et Binti yako😂😂😂😂😂

  • @bakarimmbaga2344
    @bakarimmbaga2344 3 місяці тому +1

    Mmh! Mbona hapo mwanzo alipoanza uimbaji wa nyimbo za injili alikuwa akijisitiri kwa mavazi yenye heshima?

  • @mercynina6288
    @mercynina6288 4 місяці тому +1

    Kichwa cha habari na habari. Mwandishi nimekusamehe

  • @user-cu3lq3ib1f
    @user-cu3lq3ib1f 4 місяці тому +5

    Kwan christina kafanya nn jaman mbona mm sielew yesu alikula na watoza ushuru na alipakwa marhamu na nywele za kahaba sasa mnachooongea ni nn sasa hiv

    • @EstherTeila1312
      @EstherTeila1312 4 місяці тому

      Hakika ww unasoma maandiko, mi cion kosa lake, af usihukumu ucje ukahukumiwa we unajuaje usir wa m2 ma Mungu wake, ila sishangai, hata yesu hawakumwelewa mana aliketi na waovu na aliwapenda sana mana alikuja kwaajilo yao

    • @esthernthambi6846
      @esthernthambi6846 4 місяці тому +1

      Nimependa comment yako from kenya

    • @dollycarol8322
      @dollycarol8322 3 місяці тому

      Hii ni kweli kabisa. Lakini comment section imejaa mahakimu. Yesu alikuja kwa waliopotea sio ajabu upate Diamond kanisani miaka ijayo akihubiri injili.

  • @user-gw3pg3lo6z
    @user-gw3pg3lo6z 3 місяці тому +1

    Mimi Naomba Mungu Asikuwe Anapatiya Wanawake Pesa n'a Kazi za mishala Kubwa Maombi Yangu Mungu Apatie Wanawake, Kazi ya Kuuza Nyanya Kusudi Wabaki Waaminifu kwa Ndoa Zao

  • @benjaminkwizera5662
    @benjaminkwizera5662 Місяць тому

    😢😢😢
    May the Lord be with you ❤️
    Your belief is different.
    How can light be with darkness 😔😢😢

  • @elevenmeela8713
    @elevenmeela8713 3 місяці тому +2

    Ni Nini tu kimekupa kukengeuka upesi kiasi hicho umeanza kiroho Sasa unamalizia kimwili uzoefu wa kuongea usikuponze umeshapoteza tangu ulipoomba kusapotiwa kuzindua albam

  • @Esthermukengere-pz9mh
    @Esthermukengere-pz9mh 3 місяці тому

    Mungu akutazame kwahaya mambo

  • @jeniphagabriel7262
    @jeniphagabriel7262 4 місяці тому

    ❤❤Hongera