Daaaaah wasaf nawapenda kwa ubunifu wenu kuna mda unaingia you tube unakosa cha kuangalia ila kwa staili hii uwezi kosa cha kuangalia 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 wasafiii 🙏🙏
I just feel loving Gigy, she is so Social and pure Loving, wachana na hao wengine wakujionyesha kila wafanyayo bado kujionyesha kwa choo tu wakiny,,,,, Big Love to you Gigy nikiwakilisha Kenya 🇰🇪 😍 ❤ ♥
Mashallah Mashallah Pendeza Mamiiiii 😍 😘 Na kukubariki sana Mwanangu M.mungu akubariki sana ktk kazi zako na akupe Uzima na Afya njema ulee mtt wako kwa amani
Sema ukweri tokea pindi limeaza Gigy money ameua...kila mwamba anamjua uyu ndo super star 💕💕
Amna anawahi kutoka na kujitaja jina
Yap
Ukipiga matukio lazma watu wakujuee
I love gigy she is so real and beautiful... Wasafi TV on top.
Ya but her behavior is ghetto.
Nimecheka sana Interview nzuri Big up sana
kama Unatamani kumuona Diamond Platnumz (SIMBA) kwenye show hii Fnya ku like twende sawa
Wakimleta diamond huko mtaani hicho kipindi hakitafanyika.
@@moshkeily1864 ngumuu sanaaaa maan anafahamikaaa sanaaa kipind kitakuw fujo
Itakua sio show Yan itakua vita akitoka kwa mtu mmoja tuu watu buku watajaa
Balaaaaaaaaaaaaaaaa
Hapo itakuwa balaa zito watu watajaa
I love the way giggy talks to people with respect and love
Firdaus sheikh right 🥰🥰🥰
Wamenichekesha sana😂😂
Frankly speaking Gigy~Money she's a super talented amazing gorgeous lady I'm very much proud of her lots of love from Kenya 😍 😍 😍
From Kenya🇰🇪 Giggy always makes my day I love her madness😍❤❤❤❤
namb yko plz
Instablaster
Waliomuona mtoto wa gigi mrembo tujuane hapa😘😘😘😘😘
Maila mzuri bahna
Salha mrisho Aish 😍😍😍😍
Yes her daughter is so cute Ma Sha Allah,Allah amuekee
@@mariachares6315 jahl physical hlhlhldkdksl
Kama unakikubal hiki kipind cha HIVI NI KWEL gonga like twende Sawa
Asante
Asant
ua-cam.com/video/ipgLjVSQHqM/v-deo.html
Asanteeh
Gonga like km unamkubali mo town sanya
Gonga beat leoo wamejitahidi sanaa mr blue king fire 🔥
I like your Job gigy
I love u so much❤💕
Wow baby mayra jmn uko namamy ake mashaallah katot ketu ako 👌👌👌💞💞💞💓💓
Kiukwel ichi kipindi cha wasafi nikizuri sana jamn kama MTU hukipendi daaaaah utakuwa mchawi ambaye duuuuh apana aise
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu kwa kumfikishia ujumbe wa neema ya wokovu hata kama amepinga ili message sent and delivered.
Gigy jeshi la mtu mmoja wasafi itabaki kuwa juu maana wanaenda na mazingira na maisha yetu,
Hadi raha love u gigy next tuekeeni na wema sepetu
My favourite show ...from🇰🇪🇰🇪🇰🇪🔥🔥
ua-cam.com/video/ipgLjVSQHqMf/v-deo.htmley
Gigy mimi nataka kukutana naye 😖💕 gigy mimi nakupenda sana
Nakupenda gigy,, sauti yako naipendaaa hataree
The story book + hivi ni kweli 💥💥💥💥
Gigy is so honest
Love her😘
kiukweli gigy money uko vizuri sana 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Daaaaah wasaf nawapenda kwa ubunifu wenu kuna mda unaingia you tube unakosa cha kuangalia ila kwa staili hii uwezi kosa cha kuangalia 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 wasafiii 🙏🙏
Sahihi
Real broo
Lol😂😂😂yaan hk ukiptapta mitaa ya comments 😳👌💥
UA-cam hukosi cha kuangalia bana
💪
Kipindi kizuri Sanaa hiki gigy ni Kiki unakubalika Sanaa alafu huna maringo big up wasafiiii✋✋✋❤️wcb4life
Gigy akisifiwa anawahi kutoka fasta Mana anaona huyo jamaa akiendelea kuongea Mara anaamkosoa ndomana anawah
Apa gigy umefeli
😁😁
Yap hapo nimeishik yaani akisifiw anajiskia happy.
Bruh, I'm in love with this show
ua-cam.com/video/ipgLjVSQHqMg/v-deo.htmle
Aliyeona Gig kabadilika sura jmn kafanana na yule ding aliyecheza film ya GOD MUST BE CRIZEE gonga like
Unamatani nae gigy
I just feel loving Gigy, she is so Social and pure Loving, wachana na hao wengine wakujionyesha kila wafanyayo bado kujionyesha kwa choo tu wakiny,,,,,
Big Love to you Gigy nikiwakilisha Kenya 🇰🇪 😍 ❤ ♥
Gigy mahela bgup a super moman
Kama unaipenda wasafi media basi like hii comment❤️
Mwaaaaaa
B
ua-cam.com/video/ipgLjVSQHqM/v-deo.html
Nampenda gygy bure
Kula basi hiyo wasafi
Gigy Kama Gigy penda sana wewe Mama Mayra❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
ua-cam.com/video/ipgLjVSQHqM/v-deo.html
THIS IS MY BEST SHOW EVER ! I Really love wasafi MEDIA with your programs and shows. You are so creative indeed ! MOTOWN Sanya, safi sana kazi nzuri.
ua-cam.com/video/ipgLjVSQHqMk/v-deo.htmly
Giggy money the hustler
Nakupenda sana Gigy akeee long life to you baby
Mwana anasema bado ajatamba kama umesikia uwo mstari gonga like hapa twende sawa 🇶🇦
I love this one y’all should drop more of this
Kwa kweli mmenifurahisha Sana. Huu ni ubunifu was Hali ya juu sana
Hivi ni KWELI!!!! Bonge la pindi la kjanja zaidiii 👊👊🇹🇿
Wooow! Nimeenjooy Sana'a mo town
Gigy ujue wew n kazur sanaaa afu unajikubaliiii mm nakupendaaaa
Mwenye Jez ya simba nmempenda😍 ila gigy anamashabik jaman 😊
Alie ona gigy kabadilika sura sio ile ya mwwnzo gonga like twende sawa
Yaani kabisa sijui kawaje usoni labda ndio stress za kuachwa na midevu😜😜👀👀
Kabadilika sana sababu ya hayo meno aloweka
Kafanya sajali ya meno nahisi ndiyo imembalidisha
Kumbeee
Kaweka meno
Ila hii ya gigy irejewe bana😂😂😂😂 iko pw mpk inakera
Ichi kipindi wasanii wanaweza kukitumia kama takwimu kuona mashabiki wanawaelewa vp mtaani
Umetisha sana
Ni zaidi ya ukweli
Mwambaaa nimependaaa pamba zako kali kwery umetokerezeaa kupitiliza inapaswa uwee dizainaa mzee kila pamba unayo tupiaa inakukaa vizuli hongera yako kk
35:11 huyo chalii ana vibe la Mr blue kabisa
Simple GIGY penda ww bure 💕💕💕💕💕💕
Yan hana nyimbo ingine ya mkumtambulisha mtu zaid ya Nampa papa
KIPINDI BORA 2020 , On fire !!!!
Hii show ya GIG imevunja rekod na haitatokea km hii...
Gig yuko vzr!
Jmn like zangu kwa Gigy money😘😘😘😘
Love gigi man 💕🔥
Mashallah Mashallah Pendeza Mamiiiii 😍 😘
Na kukubariki sana Mwanangu M.mungu akubariki sana ktk kazi zako na akupe Uzima na Afya njema ulee mtt wako kwa amani
Nawapenda sana Gigi money na Ms motown Sanyaa ❤❤❤❤❤❤❤❤
Who else anapenda 😍 #HiviNiKweli na #TheStoryBook as well????💥🔥🙌😇
I love Gigi anapenda mashabiki wake sanaa Hana maringo God bless you Gigi ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Katika watu ambao nina wakubali kibongo bongo na inter view zao siwezi kukosa bs gigy money na shilole
👍
Wanaongea kweli
Mi na baba levo
Baba levo baba lao
@@johnsilima1629 HALAF BABA LEVO INTAYVU ZAKE ANANYOOKA KWENYE MANENO HAPINDISHI MANENO
Giggy mtu wa watu, nimeikubali hii show
Dah safi sanaaaa. Gigy nmekubali.. Show qal
Unajua sana ivi nikwel bonge la pindi....
Gigy msenge sana eti nimlingie nani nakunya mie
😅😅😅😅😆
One love from Burundi 🇧🇮 Bujumbura
Hahahahahaha naenjoy
Kama unakubari wasafi ndo chama lawana gonga like amini
Kaz Makin big up San wasaf tv🙏sema tunatak mtufikie pande za chuga changamoto ni kwere 🤛
Bila kunionyesha nishakuona......... Amini ninavyo kwambia, msela namkubali kichizi
Nakukubali Msela ww Gigy👌🏾
#Gigy mnyamwez san
Na vision na mission🤣😂
gig kapungua, but I love her💙💙
Show kali
Daah gig noumaaa sana sjui tutakutana lini
Best show ever
Napenda sana hiki kipindi eti Hivi ni kwer nawakubali sana lakin mnatuangusha mwanza vip tunataka mavaibu kama haya ya ka kwa rock city mwanza mwanza
MO town big up braza
jikase upo up sana
Show Kali ever😀
Tujuane wasoma comment kwanza
7:15 this guy talked point. He don't fear
Umetisha gigi
I love you gigy money
Yan uyo jamaa alovaa nguo manjan ni noma
Nimempenda huyu kaka kasema hasikizi secular hongera kaka mtukuze mungu
But listening to secular ain't a bad thing at all👌
Only your actions will define yoou whether u belong to God or secular!👌🙏🇹🇿
@@musicapprentice6682 kifungu gani cha biblia kinasema hivyo?
@@husseinchea5524 ask your actions!👌🙏
@@musicapprentice6682 secular music ni nyimbo za shetani mkristo hafai kuskiza...isome bibilia upate ufahamu
@@musicapprentice6682 Mhubiri 7:5 "Heri kusikia laumu ya wenye hekima, kuliko kusikia wimbo wa wapumbavu"....wimbo wa wapumbavu ni secular music
Gigy katisha sana katika show ya hivi ni kweli
Kama umeona kama Mimi kwamba hawa wasanii huwa wanavaa vigodoro na mamekap kwenye instar wanabadilika wanakuwa tofauti like
22:34 Gigy baada ya kujua jamaa mchungaji kashusha kimini kidogo
nimeonaaa
Albert Material 😂😂😂😂
Marioo wake sasa💓💓💓next please
Jamani Gigy ana kasura kabaya khaa
Asante kwako mukristo Asante kwaku wajulisha
Ila Gigy M,, hatar kainogesha hii pro G,,,,,
Gigy ni 🔥🔥hatar uyu dada
ivi ni kweli na story book vipindi vinatisha ile noma fire juu fire💥💥💥💥💥
I love giggy ❤
😂😂😂😂😂Gigyyy I luv yah baby gal
Gigy👏🏻👏🏻👏🏻
Gigy Bana uko vzr then kumbe upo tofauti nakuona mpole zaid
Show yaki babe gigy money mtuu wa watuu noma
Mchawi namba tuuu😁😁😁
OYA MWANNG HUYO GIGY MONEY FIGHTER NAMKUBALI KINOMA
Bonjour sava gigy from DRC
Nme enjoy sana hii show 🔥