gigy money ,DIAMOND simpendi Hata afanye nini Tena na huyo Zuchu nDIO KABISAAA.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 гру 2024
  • #bongo24 #diamondplatnumz #gigymoney

КОМЕНТАРІ • 61

  • @RutyNatalia-uu5uj
    @RutyNatalia-uu5uj 4 дні тому +24

    Mm nampenda sana gigy jamannnnnn sio mnafki 😊❤❤

    • @SaudaKhamisi-wm6xy
      @SaudaKhamisi-wm6xy 3 дні тому

      Umeona mpaka anakufa twampenda😂😂

    • @nicolenabintu2509
      @nicolenabintu2509 3 дні тому

      uyu Gigy mtu mkubwa sana kwa société ya tanzanien

    • @nahlahassan-fd6le
      @nahlahassan-fd6le День тому

      Si useme ukweli TU kama malaya mwenzio, unafurahia anavotukana watu Kila siku na kujichetua

  • @MarthaHombo
    @MarthaHombo 2 дні тому +3

    Nampenda sana huyu dada ❤❤

  • @BarbaraPatience-qt9cc
    @BarbaraPatience-qt9cc 4 дні тому +11

    Amekasirika..... Zuchu amekata shobo yake!! Anaumia tuu ,but utazoea tuu!!! Zuchu ndio kiboko yako shenz........

  • @hidayamjengwa9894
    @hidayamjengwa9894 2 дні тому +2

    Nampenda sana gigy she is so real and very intelligent

  • @NSHIMIRIMANAMARIAMMARIAM
    @NSHIMIRIMANAMARIAMMARIAM 4 дні тому +10

    Acha wivu we Gygy ,kama hamuwapendi Sisi tunawapenda

  • @ZawadiMoris
    @ZawadiMoris 4 дні тому +8

    Sio unavitu vyakufanya umemwagwa usafini kwahiyo umebaki na chuki tu,domo hilo😂😂😂😂

  • @channyanjen9047
    @channyanjen9047 4 дні тому +7

    Inakuwuma Sana Diamond kumsemeya zuchu imekuwumaga sana

  • @pettermollel2531
    @pettermollel2531 4 дні тому +2

    Sawa sawa gigy maneke .., kila mtu ana mafoloji yake .., hiyo nimeipata 😂😂😂

  • @NasmaChambi-ro4el
    @NasmaChambi-ro4el 4 дні тому +5

    Huwapend mbona waziongelea mambo zao wevp😂😂

  • @SadikiMapesa-s5n
    @SadikiMapesa-s5n 4 дні тому +8

    WEWE MALAYA WASAFI WASHAKUKATAA KILUSI NDO MAANA HUNA NURU MCHAFU SANA WATU HAWAKUTAKI

    • @joyhylton7901
      @joyhylton7901 4 дні тому

      Facts!!

    • @Grtudajunior-cw5zp
      @Grtudajunior-cw5zp 2 дні тому

      Kwa kwani pale wasafi hakuna wahuni jamani acheni watu waishi maisha yao shida ya watu mnapenda kuona akijikomba

    • @Mimahmtam
      @Mimahmtam День тому

      @@Grtudajunior-cw5zptena huko so wahun n Wafuska🙌👌

  • @margaretbirenge4081
    @margaretbirenge4081 4 дні тому +6

    Uyu nae sasa😮

  • @MohamediKalanje
    @MohamediKalanje 3 дні тому +2

    Kisa ni wasafi festival hakuwepo halaf kawekwa shishi alaf dah demu huyu ndo kamaindi😂

  • @Doremi_pro
    @Doremi_pro 3 дні тому

    Uyuu dada jmn 💯💯💯 ishi sana dada 🙌🙌🙌🙌🙏

  • @Majid-z8q
    @Majid-z8q 3 дні тому +1

    Iviunawezaje kumchukia mtu usiemlisha tena anakuzidi maisha mbali

  • @comm611
    @comm611 4 дні тому +8

    nasisi. atukupendi.

  • @BossybossyMachuru
    @BossybossyMachuru 4 дні тому +3

    Kama sio zuchuuuuuuu na Diamond una unga kwa meza.

  • @JechaMakameIssa-gs2bl
    @JechaMakameIssa-gs2bl 4 дні тому +4

    Kisa Zuchu kukuambia ukweli unajiweka karibu usijekumchulia Bwana wke ay kuna jengine

  • @jimmyhabarugira4232
    @jimmyhabarugira4232 3 дні тому +1

    Huna adabu ndomana amekukataa
    Ongeya ukweli, tena inakuuma sana

  • @dayana5513story
    @dayana5513story 4 дні тому +1

    Love you girl ❤

  • @MOURICIOUSINDECHE
    @MOURICIOUSINDECHE 3 дні тому +3

    Acha aonge hiyo kitu imtoke

  • @ZuuhMrombo-n4u
    @ZuuhMrombo-n4u 4 дні тому +8

    Km humuelewi huyu dada bac wewe ndy huelewek coz hafek life alafu anaongea ukwel

  • @paizinhosaide-cv9pm
    @paizinhosaide-cv9pm 4 дні тому +7

    Na sisi atukutaki

  • @johnmike6059
    @johnmike6059 4 дні тому +1

    Ukisipo mpenda ww changu mkaa uchi mtandaon anapungukiwa nn upuuzi tu

  • @HadijaCute
    @HadijaCute 2 дні тому

    ❤❤❤❤❤ xna we bint

  • @Kprs-12
    @Kprs-12 4 дні тому +1

    Nakukubali giggles

  • @annmuringo8438
    @annmuringo8438 4 дні тому +1

    I conger you Gygy

  • @pilimwanza8117
    @pilimwanza8117 4 дні тому +1

    She is articulate 👌

  • @Zawadi111Kajumwa
    @Zawadi111Kajumwa 2 дні тому

    Huyu Ni Hasara tu

  • @salmaabuu765
    @salmaabuu765 2 дні тому

    Gigy amekua sasa

  • @DieudonneMbazumutima
    @DieudonneMbazumutima 4 дні тому +1

    Gigy big time

  • @SadikiMapesa-s5n
    @SadikiMapesa-s5n 4 дні тому +1

    Aibu naona mm malaya ww gigy

    • @DM.2200
      @DM.2200 4 дні тому

      Ni kwa vile wewe hatukuoni wala kukujua huenda we ni malaya wa kutupwa ila unamuhukumu mwenzio 😢😢

    • @MariamuJuma-t8z
      @MariamuJuma-t8z 3 дні тому

      Nilitaka nikujibu ilajina lamwanangu tenawakwanza ngoja nikusamehe

  • @JechaMakameIssa-gs2bl
    @JechaMakameIssa-gs2bl 4 дні тому +2

    Ninachojua mm hawa watangazaji kikubwa watakacho kuja kuandika Gigy hali yke mbaya anahtaji msaada na usikute hawa ulokuwa huwapnd sasa ndio wakautowa huo msaada kushinda hao unawapnda mdomo mdomo Dada huo

  • @EverinaBobasha
    @EverinaBobasha 4 дні тому +3

    Nakupenda sana gyg

  • @MariamuJuma-t8z
    @MariamuJuma-t8z 3 дні тому

    Ko nawewe gigy diamond humpendi kwasababu gan

  • @errymusic1119
    @errymusic1119 4 дні тому +5

    Atukupendii nasisi na gu sauti ugoo ka mwanaume

  • @SalhaRamadhani-b5m
    @SalhaRamadhani-b5m 4 дні тому

    Malaya

  • @alphablondponera2367
    @alphablondponera2367 4 дні тому

    Msntal healthy