Ninachokupendea sheikh wetu wallahi kwenye raddi unazozitoa unatumia hekima na lugha muafaka na yenye kumridhisha msikilizaji tofauti na yule anaetia matusi ,kebehi na kejeli .Namuomba Allah akuhifadhi sheikh wetu Muhammad Bachu.
Kwa Hakika kila Zama Allah analeta mtu wa haki kwa mujibu wa Quran na Sunna anayeweza hata kuwarekebisha wale wenye kupotosha dini Kwa kuelemea upande mmoja Wa maandiko. Mtu huyu aliyepewa kipawa cha kuweka wazi ni Muhammad Bachu. Allah amjaze kheri na elimu zaidi na kila lililozuri na amuepushe na shari mbalimbali.
Daawa ya Kisalafi ni nzuri isipokuwa inaharibiwa na watu wachache wenye kushika fatwa ya mwanazuoni mmoja na kulazimishia kila mtu amfuate hali ya kuwa kuna fatwa za Wanazuoni wengi. Na jambo la pili ni kule kujizatiti ktk kugawa umma na kukufurisha watu. Yaani utakuta mtu hata kama ni Salafi kafanya kosa moja basi ndo inakuwa sababu ya kutengwa kwenye kila kitu kana kwamba hana heri yoyote ambayo anaifanya. Allah akuwezeshe Sheikh Bachu uzidi kutuonyesha njia ya haki ili kuwadhibiti wapotoshaji wanaojiita Masalafi kumbe ndani yake ni upotoshaji mtupu.
Shekh Muhammad Allaah akuhifadhi na akulinde nakila shari. Kitu nilicho gundua, nikwamba watoa coment wengi ni mabupuru matupu, hawana elimu hata ndogo, na niwashabiki tu, wala hawana shida na haqqi. Bali hawajui hata kidogo kua kwenye jambo fulani linalo jadiliwa haqqi iko upande upi. Mtihani huu. Na weeeeengi wanaliwa na kutafunwa na HASAD ndani ya nyoyo zao, masufi na majadida, wakimtazama Shekh Muhammad Bachu Maashaa Allaah yuko vizuri sana sana sana, na anaeleweka na anafatiliwa na watu wengi kuliko hata Shekh Qassim Mafuta na Salafi yeyote wa Tanzania na Kenya. Na ukamilifu ni wa Allaah Azza Wajalla peke yake. Sasa wakiona mambo yanaenda vizuri kwa Shekh Muhammad, na anaongea vitu vya msingi, wao huumia nyoyoni mwao, na kutamani aharibu au akosee ili wamsakame!!! Sasa mutaumia sana, maana Shekh Muhammad Bachu Allaah amhifadhi na ampambe kwa afya njema, na amzidishie Maarifa ktk Dini na inswaaf na adlin ktk kupambana na mienendo mibovu yenye ushamba ndani yake, akikosolewa, na ikawa kakosea kweli hana kibri, na hilo liko wazi, ana jirudi nawala hafanyi inadi. Sasa Shekhe Muhammad Bachu kaa ukijua kua, kuna timu imeandaliwa kwa ajili ya kuyakrashi maneno yako na shakhswiya yako, kwa kutoa kejeli na dharau na matusi, kila unapoongea, ili kuiondosha ile ladha ya maongezi yako, na kutaka kuzitoa fikra za watu kwenye hoja unazo zitoa. Mi nakwambieni ndugu zangu, masalafi wana majeraha makubwa sana ya Ruduud alizo fanyiwa Shekh Qassim Mafuta na kuzalika maswali sita kwenye zile ruduud na majibu yaka kosekana hadi leo. Akaja kujitia kimbelembele yule kijana Solaka, nae ndio mambo akayavuruga zaidi. Sasa wanatamani atokee Shekh amjibu Shekh Muhammad Bachu, na majibu hayo yaoneshe kumkanyaga na kumgaragiza Shekh Muhammad Bachu, ili wapumuwe kidogo, maana wana yakini kua mashekhe zao kila ajae anadhalilika, sasa wanamihemko ya ajabu kweli. Na niwaambie tu wanao jidanganya, Wallaahi Shekh Muhammad Bachu sio kama wanavyo muelezea wasio mpenda, sifa zote mbaya ni kutaka kumuangusha tu kwenye masikio na macho ya watu. Ivi munadhani nikweli kua Shekh Muhammad Bachu hana hadhi ya kujibiwa na Shekh Qassim Mafuta kama wanavyo dai majadida?!!! Jawabu nikwamba hawana majibu ya kumjibu, ndio ukakuta porojo hili. Kama Shekh Qassim ana Elimu nyingiiiiiik, anajua kuliko yeyote, si awape majibu wanafunzi wake ili waje wamnyooshe Shekh Muhammad Bachu, na wamfunge mdomo kuhusu kuwasema kwa kuwakosoa wao masalafy???? Masalafi saizi kuna baadhi ya mambo wanapo yaongea hawazingatiwi na hao wanafunzi wao wanaosoma kwao, wanawaitikia tu, lkn wanajua khasaa yakwamba hapa Mashekhe zetu mh! Shekh Muhammad ukikosolewa kwa haqqi likubali kosa lako, kama ulivyo fanya kwenye barzanji. Allaah akubariki.
Kwa ukweli Abuu Ruduu anamakosa mengi sana katika Qur an. Tusiwe washabiki wa kipumbavu kipumbavu chukua Elim na Mas hara ya Yenye ufafanuzi juu ya Elim
Tatizo lenu enyi wanafunzi wa Ustadh Bachu ni kwamba mnatanguliza ushabiki katika Dini badala ya kusikiliza na kufuata haqq. Sheikh wenu alikosoa neno sahihi ھذيان na kulirekebisha kwa neno lisilo sahihi ھَذْيَان Aliporekebishiwa makosa yake, ilikuwa ni waajib kuchukua na kupokea hiyo haqq kisha akubali makosa yake na amshukuru huyo aliyemsahihishia. Lakini badala akaja na mapya kwamba sio yeye pekee mwenye makosa bali hata Abuu Ruduud anayo makosa😂 bila kufahamu kwamba kosa la Abuu Ruduud ni kosa linaloweza kutokea kwa kila mwanadamu (sabqu lisaan) na HAJAKOSOA NENO LILILO SAHIHI KWA KULIREKEBISHA KWA NENO LISILO SAHIHI
@SugowFarah-up3db ungelisikilza tangu mwanzo wa Mada hii ungejua sababu kwann na yeye aliamua kuonesh makosa yake. Kwa sabab Abuu Ruduud katoa Raddi tatu kwa neno هذَيان mpk hii Leo katoa Raddi nyengine anamkosoa sehemu nyengine katika lugha kwamba hana kazi ya kufanya , kwasababu makosa ya lugha kila mtu anakosea mpka masheikh wa kubwa wanakosea , kwaiyo Sheikh Muhammad ndipo alipoamua kumuonesha kwamba kila mtu anakosea mpka yeye pia mweny diploma ya Lugha
Binadamu ameumbwa dhaifu na mwenyekukose,, hakuna binadamu hata mmoja katika dunia yetu asiekosea au ambaye hajawahi kukosea. Kama alikosea mtume s.a.w na Allah akamuelekeza, jee mimi na wewe itakuaje. Tumtake msamaha allah na turudi kwa Allah kwani sote niwakosaji na Allah ndie mkamilifu na mwenye kusameh. ALLAH ATUSAMEH KWA MAKOSA YETU INSHA ALLAH
Shekh mohammad Allah akuhifadh kiukwel tupo tunao kukubali sana kwa nasaha n mawaidha yako mazur enyew hawa majadida wana tabu sana kias cha kua wana tufanya sisi wa chini kuwaeleza hawa marika zetu ina kua ngumu kutuelewa kwa fikra wanazo wapa juu ya salafi wema walio tangulia wame sababisha maulama wana tukanwa na kukejeliwa kwa sababu ya misimamo yao n kauli zao ngumu kiukwel hawa jamaa wana haribu sifa za masalaf wema na sisi tunao fuata nyao zao wana tutoa bila ata kuangalia wame kua mahakimu
Al Akhy Bachu Kasu ni kweli makosa yanatokea kwa kila mtu Kunasiku hata Sheikh Abul Fadhil Kassim Mafuta alipokuwa ananukuu "Matnu Uthulu Thalatha" na alirududiwa na mrududiji alisema yeye hawezi kumrekebisha baada ya kurejesha audio mara nyingi. kwahiyo la muhimu kujitahidi nikupunguza makosa ya ulimi Baraka llahu fyk
yaani me kinachonishangaza ni kuwa kwanini hawa watu hawampendi Muhammad bachu,siku zote atakapofanya makosa huwa hukubali lakini wao sasa ndio kizaazaa,huwa wanakaa kimya kujifanya kama vile hawajapatana na ubainifu and this happens everytime these guys are corrected......
Dakika ya 26 ya video hii ... 😂 ... Nimependa Ibnush-Shaykh Bachu alivyopita, zaidi ni vile alivyomalizia ... Allah awahifadhi wote wawili (Shk. Abuu Ruduud & Shk. Bachu)
Bismillah kumbe nimegundua kitu kuhusu makosa wanayo msemea Mohamed bachu kumbe kosa lake yale aliyo yasoma anayatoa kwa watu ila yalivyo kaa kwenye vitabu hakua na makosa ila alivyo yatoa ndo anaonekana anamakosa sasa Mohamed bachu hana makosa wanayo msemea na wakitaka kukosoa basi wakosoe vitabu bachu yeye anayasoma tu na kweli yapo waache kumzuria mengine ishaallah
AlhamdulILLAAH... Hatimae Muhammad Bachu umekiri kuwa ulikosea baada ya kutajiwa vitabu lakini hapo kwa tabu mno! Usitutoe kwenye Mada Raddi hizi ni kwasababu Ulikuwa unakataa hujakosea kuhusu هذيان Bango la Raddi la Sheikh Hassan Jamada
NDIYO. Ujue shekh wetu. Muhammad bachu Hawa watu hawana. Adabu. Ety. Dilele na mfuasi wake mwenye. Channel ya salafi. Wsmekuita. Mwijaku. Subhanah llah
Jazakallah akhy! Bila shaka atakua ameshika adabu yake mtoto mdogo😅😅😅 Na huku kwenye maswala ya ligha ni nje ya mada sheikh wasikupeleke huko huo ni mpango wao wa kututoa kwenye mstari ili tusahau aibu aliyoipata sheikh Kassim Mafuta(Allah amuongoze)😂
Wee hujielewi Kama Abuu madudu anajuwa lugha angalifanya utumbo huo ?? La ajabu zaidi anaibafilisha quran. Allah amsamehe. Ila mwambie huyo Abuu madudu arudi kwa shekh Mohammed Bachu kastafiidi. Hakuna aibu kwenye kujifunza akijifunza leo itamsaidia kesho.
Wallah, katika makosa ambayo watu sipendi wakosoane ni masuala ya lugha, ila kwa vile kayataka mpatie tuu. Hata mm nilikerana na watu kwa makosa ya kijinga kama hayo. Allah atuongoze. Ameen
Unaonaje hawajamaa wakifanikiwa kupandikiza uongo kwa watu wa kawaida kuwa Muhammed bachu ni hizb asisikizwe au dr islamu asisikizwe ,uoni kwamba kundi kubwa litakosa faida kusoma kwa hawa jamaa na wasipojitetea itaonekana ni kweli kama walivyofaulu kwa Nurdin Kishki ila kwa abu mu'awiya kwa kuwa alijitetea hawakumuweza
Kuna maswali haya ebu yatafakari 1. Alieuanza huu mjadala wa makosa ya lugha ni nani? 2. Hizo audio za Abuu Fawzan ni za mwaka gani? 3. Ikiwa unaona kuwa kutoleana makosa ya kilugha ni jambo lisilofaa kuliendea, kwanini umeenda kuyafukua huko makosa ya unaemradi? 4. Kwanini unamtengenezea mazingira ya yeye asikujibu kwa kumtuhumu atakua mnafikiq, kibri au hana haya? Waogopa nini? 5. Je hujaelewa mpaka sasa kwanini masheikh wakubwa wanakupuuza pamoja na wewe kulazimisha wakujibu? 6. Hilo la imam suyuutw kwani ulikua unajadiliana na nani hapo mwanzo kabla ya kulazimisha na yeye aingie? Mche Allah
Sijaona kosa lolote hapo kwa Abuu Ruduud. Wenye masikio tumesikia akitamka fat-ha ُيَھَب na hata kama angekosea kwa kuweka sakna basi bado sheikh Ruduud hangefikia kosa kama lako kwasababu angeingia kwenye mlango wa ijtihaad na sabqu lisaan ila wewe kosa lako kubwa ni kule kukosoa neno sahihi ھذيان kwa kulirekebisha kwa neno lisilo sahihi Na hapo kwa kuelezea kuhusu watoto hajatamka neno "Allaah Amesema " bali ametamka maneno haya "Na Allaah anampa لمن يشاء kumaanisha hayo ni maelezo ya sheikh Ruduud wala sio aya ya Qur'aan.
Yarabi yani apa mnakubali kuwa mwanadamu anayo mapungufu asa nyinyi kumbe mnayakini kuwa makosa yapo katika ulimi na uwandishi na lugha kuweni na insafu suyuti je mmefunga na nini
Ni kweli si angeliacha bango lipite, na ndo kaanza kukosoa kwenye lugha ya bango sasa jamani asijibiwe juu ya ukosoaji wake wa lugha ya bango, ajabu alipokua anakosoa akakosea hapohapo, Sasa BAADA ya kuona kakosea amekiri makosa, BAADA ya kukiri ukiriji wake ndo huo haya amefumua makosa mengine kwenye audio za nduguye za nyuma hukoooo kwenye khutba na darsa zake ili iwe nini, jambo lilitakiwa aandae video ya kukiri pekee mjadala huishe, Kafumua mengine tena sasa, ilijambi lisihishe tatabbuu hii imezidi sasa
Huyu si Abuu ruduudi ni Abuu madudu. Dah ana diploma ya lugha kweli huyu, au kakopia huyu. Mbona diploma yako haikukudaidia mwenyeo itasaidia wanafunzi wako???
Daawa ya shekh Nassor unaijua wewe unakumbuka jinsi alivopambana vikali na watu wa bid,aa hebu tafuta uone alivopambana Allah amsamehe makosa yake na amuingize peponi Amin
Nani kadhalilika kwenye neno Hadhayaani kama ulivyosema kwenye audio yako ya kwanza sheikh Muhammad ???? Na uliwakosoa wenzio kwa dhulma , sasa kama ushamba mbona itakua wewe ndio umeuanza Sheikh Muhammad , mbona majibu yako yanakurudia wewe mwenyewe Sheikh wetu , naomba utueke wazi tuendelee kukuamini Sheikh Muhammad.
Ninachokupendea sheikh wetu wallahi kwenye raddi unazozitoa unatumia hekima na lugha muafaka na yenye kumridhisha msikilizaji tofauti na yule anaetia matusi ,kebehi na kejeli .Namuomba Allah akuhifadhi sheikh wetu Muhammad Bachu.
Wallahi napata faraja kumsikiliza sheikh Muhammad. Allwah amjaalie umri mrefu. Ameen yaa rabbi
Allah akuhifazi sheikh muhammad bachu from Moçambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Kwa Hakika kila Zama Allah analeta mtu wa haki kwa mujibu wa Quran na Sunna anayeweza hata kuwarekebisha wale wenye kupotosha dini Kwa kuelemea upande mmoja Wa maandiko.
Mtu huyu aliyepewa kipawa cha kuweka wazi ni Muhammad Bachu. Allah amjaze kheri na elimu zaidi na kila lililozuri na amuepushe na shari mbalimbali.
Tangia nakufahamo wallahi nimetokea kukupenda kama nilivokuwa nampenda marehebu mze
Allah akuhifadhi sheikh wangu Muhammad bachu una hekma ndio maana majadida jibu huwa wana matusi na kejeli hawakuwezi kabisa hao.
MashaaALLAH
ALLAH akuhifadhi Shekh Muhammad Bachu
ماشاء الله حفظ الله يا شيخنا الفاضل
Allah akuhifadhi Akhy safi sana mtoto wa bachu upo sawa
Unafanya kazi nzuri shekh muhammad allah akuhifadhi
MPASUEEEEE MPASUEEEEE MVURUGEEEE MPIGE MAKWAPABYA USOOO..
HIYO NDIO SHIDA YA KUFANYA GHULUWWU KATIKA KUFANYA RADDI.
Muhammad bacu anatumia hikm kwasababu ni mjuzi❤
Uo upotoshaji wake huoni
Ume anza vizuri ume kosea hapo mwishoni 😢 Mjuzi ni Allah peke
Baaraka llahu fik sheikh wng Muhammad Bachu
Daawa ya Kisalafi ni nzuri isipokuwa inaharibiwa na watu wachache wenye kushika fatwa ya mwanazuoni mmoja na kulazimishia kila mtu amfuate hali ya kuwa kuna fatwa za Wanazuoni wengi. Na jambo la pili ni kule kujizatiti ktk kugawa umma na kukufurisha watu. Yaani utakuta mtu hata kama ni Salafi kafanya kosa moja basi ndo inakuwa sababu ya kutengwa kwenye kila kitu kana kwamba hana heri yoyote ambayo anaifanya.
Allah akuwezeshe Sheikh Bachu uzidi kutuonyesha njia ya haki ili kuwadhibiti wapotoshaji wanaojiita Masalafi kumbe ndani yake ni upotoshaji mtupu.
Ndug yang umeongea kisomi sana allah akulinde inaonekana c mjinga kwenye dini yako
@@KhalfanMakota
Allah atulinde sote Akhy.
Mashaalahu honger san shkh wang
Mashallah.... Unajua kuvunja hoja na kuweka hoja
Tatizo wankurupukwa Hawa wezetu , huwa wanjisahau sana. Matokeo yake ni kuaibika km hivi . Asante Simba wa zanzbar
محمد بن ناصر بن باجو حفظه الله تعالی
Ni ابن باشو sio ابن باجو
@@sudially1665 hee باشو hapo si sahihi kaka, ni باجو ndio sahihi
@@sudially1665 kwann iwe باشو
@@AbubakarKhamis-do7xwangalia ilivyoandikwa mwanzo wa video juu ya maneno muhammad bachu TV ameandika باش kaka sio باجو 😂
sawa
بارك الله فيك
Tumeelimika vya Kutosha
Allah (S.W) Akulipe.
Allah akuhifadhi shk Mohammad bachu.ameen
Shekh Muhammad Allaah akuhifadhi na akulinde nakila shari.
Kitu nilicho gundua, nikwamba watoa coment wengi ni mabupuru matupu, hawana elimu hata ndogo, na niwashabiki tu, wala hawana shida na haqqi.
Bali hawajui hata kidogo kua kwenye jambo fulani linalo jadiliwa haqqi iko upande upi.
Mtihani huu.
Na weeeeengi wanaliwa na kutafunwa na HASAD ndani ya nyoyo zao, masufi na majadida, wakimtazama Shekh Muhammad Bachu Maashaa Allaah yuko vizuri sana sana sana, na anaeleweka na anafatiliwa na watu wengi kuliko hata Shekh Qassim Mafuta na Salafi yeyote wa Tanzania na Kenya.
Na ukamilifu ni wa Allaah Azza Wajalla peke yake.
Sasa wakiona mambo yanaenda vizuri kwa Shekh Muhammad, na anaongea vitu vya msingi, wao huumia nyoyoni mwao, na kutamani aharibu au akosee ili wamsakame!!!
Sasa mutaumia sana, maana Shekh Muhammad Bachu Allaah amhifadhi na ampambe kwa afya njema, na amzidishie Maarifa ktk Dini na inswaaf na adlin ktk kupambana na mienendo mibovu yenye ushamba ndani yake, akikosolewa, na ikawa kakosea kweli hana kibri, na hilo liko wazi, ana jirudi nawala hafanyi inadi.
Sasa Shekhe Muhammad Bachu kaa ukijua kua, kuna timu imeandaliwa kwa ajili ya kuyakrashi maneno yako na shakhswiya yako, kwa kutoa kejeli na dharau na matusi, kila unapoongea, ili kuiondosha ile ladha ya maongezi yako, na kutaka kuzitoa fikra za watu kwenye hoja unazo zitoa.
Mi nakwambieni ndugu zangu, masalafi wana majeraha makubwa sana ya Ruduud alizo fanyiwa Shekh Qassim Mafuta na kuzalika maswali sita kwenye zile ruduud na majibu yaka kosekana hadi leo.
Akaja kujitia kimbelembele yule kijana Solaka, nae ndio mambo akayavuruga zaidi.
Sasa wanatamani atokee Shekh amjibu Shekh Muhammad Bachu, na majibu hayo yaoneshe kumkanyaga na kumgaragiza Shekh Muhammad Bachu, ili wapumuwe kidogo, maana wana yakini kua mashekhe zao kila ajae anadhalilika, sasa wanamihemko ya ajabu kweli.
Na niwaambie tu wanao jidanganya, Wallaahi Shekh Muhammad Bachu sio kama wanavyo muelezea wasio mpenda, sifa zote mbaya ni kutaka kumuangusha tu kwenye masikio na macho ya watu.
Ivi munadhani nikweli kua Shekh Muhammad Bachu hana hadhi ya kujibiwa na Shekh Qassim Mafuta kama wanavyo dai majadida?!!!
Jawabu nikwamba hawana majibu ya kumjibu, ndio ukakuta porojo hili.
Kama Shekh Qassim ana Elimu nyingiiiiiik, anajua kuliko yeyote, si awape majibu wanafunzi wake ili waje wamnyooshe Shekh Muhammad Bachu, na wamfunge mdomo kuhusu kuwasema kwa kuwakosoa wao masalafy????
Masalafi saizi kuna baadhi ya mambo wanapo yaongea hawazingatiwi na hao wanafunzi wao wanaosoma kwao, wanawaitikia tu, lkn wanajua khasaa yakwamba hapa Mashekhe zetu mh!
Shekh Muhammad ukikosolewa kwa haqqi likubali kosa lako, kama ulivyo fanya kwenye barzanji.
Allaah akubariki.
Toa hoja usitukane bila hoja leta elimu
Mjibu Ali akh, M.bachu
Allahumma amiin
Ww mwenyeo mtupu utamjuaje mtu kuwa yuko vizuri
@@OmarAlly-iz8ot sema baadhi ya wanao comment ni majadidah......
Tungekua masufi tungeweka siku ya maulid yako mohamed bachu ❤
Unatupa rahasana
😂😂😂kwa nini tusiweke tu?
Hahaha
😂
Jazaaka Allaahu khayran
(Allaah Akujaze khayr)
Safi sana unatufaidisha Allah mtukufu akuhifadhi
Kwa ukweli Abuu Ruduu anamakosa mengi sana katika Qur an. Tusiwe washabiki wa kipumbavu kipumbavu chukua Elim na Mas hara ya Yenye ufafanuzi juu ya Elim
😂😂😂shida Hawa mahadadiyah maswaafiqah akina Abuu rudud na wafuasi wao niwashabiki Ila huyu Abuu Dada wallah hajui kusoma qur an. Kabisa aa
Tatizo lenu enyi wanafunzi wa Ustadh Bachu ni kwamba mnatanguliza ushabiki katika Dini badala ya kusikiliza na kufuata haqq.
Sheikh wenu alikosoa neno sahihi ھذيان na kulirekebisha kwa neno lisilo sahihi ھَذْيَان
Aliporekebishiwa makosa yake, ilikuwa ni waajib kuchukua na kupokea hiyo haqq kisha akubali makosa yake na amshukuru huyo aliyemsahihishia. Lakini badala akaja na mapya kwamba sio yeye pekee mwenye makosa bali hata Abuu Ruduud anayo makosa😂 bila kufahamu kwamba kosa la Abuu Ruduud ni kosa linaloweza kutokea kwa kila mwanadamu (sabqu lisaan) na HAJAKOSOA NENO LILILO SAHIHI KWA KULIREKEBISHA KWA NENO LISILO SAHIHI
Mim namkubali Bachu kwaili aliteleza ila mengi yuko sahihi ila ata nyinyi munaangalia upande wenu tu@@SugowFarah-up3db
@SugowFarah-up3db ungelisikilza tangu mwanzo wa Mada hii ungejua sababu kwann na yeye aliamua kuonesh makosa yake. Kwa sabab Abuu Ruduud katoa Raddi tatu kwa neno هذَيان mpk hii Leo katoa Raddi nyengine anamkosoa sehemu nyengine katika lugha kwamba hana kazi ya kufanya , kwasababu makosa ya lugha kila mtu anakosea mpka masheikh wa kubwa wanakosea , kwaiyo Sheikh Muhammad ndipo alipoamua kumuonesha kwamba kila mtu anakosea mpka yeye pia mweny diploma ya Lugha
Bachu amechukua makosa ya kipindi Cha nyuma, kwani nukta ya mjadala ni ya miaka iliyopita au hivi karibuni?
Allah akuhifadhi ili tuzidi kufaidika na ilimuyako
MAASHAA ALLAH tabarakallah sheikh. umenichekeshaaa sanaaa Leo
Hakika imetokea kukupenda sana kwaajili ya allah kama nilivyo mpenda baba yako kwaajili ya allah
Finally, hii nimeipenda sana!!
Mm pia
Hahahaa jamaa mjanja sana sio tena Ile Ya Tutaona Mimi na wewe ni nani Allah atamdhalilisha
Binadamu ameumbwa dhaifu na mwenyekukose,, hakuna binadamu hata mmoja katika dunia yetu asiekosea au ambaye hajawahi kukosea. Kama alikosea mtume s.a.w na Allah akamuelekeza, jee mimi na wewe itakuaje. Tumtake msamaha allah na turudi kwa Allah kwani sote niwakosaji na Allah ndie mkamilifu na mwenye kusameh. ALLAH ATUSAMEH KWA MAKOSA YETU INSHA ALLAH
Hhhh wape vitu sheikh wangu nakupenda kwaajili ya Allah Muhammad ❤❤
Shekh mohammad Allah akuhifadh kiukwel tupo tunao kukubali sana kwa nasaha n mawaidha yako mazur enyew hawa majadida wana tabu sana kias cha kua wana tufanya sisi wa chini kuwaeleza hawa marika zetu ina kua ngumu kutuelewa kwa fikra wanazo wapa juu ya salafi wema walio tangulia wame sababisha maulama wana tukanwa na kukejeliwa kwa sababu ya misimamo yao n kauli zao ngumu kiukwel hawa jamaa wana haribu sifa za masalaf wema na sisi tunao fuata nyao zao wana tutoa bila ata kuangalia wame kua mahakimu
Maa shaallah ❤❤❤❤Allah akulipe kheri hawa watu wanasumbua sna mitaani
kaaasim kakimbia mbiooo radi skumbili haipo kimnyaaaa hahahaha imebakia unatafuta umaaarufu😅😅😅 majadida sasaivi tunawapa bachuuu tuuuu awanyooosheeeee
Wanasumbua sana, ila kila ugonjwa una dawa yake watajua hawajui
Ivi uyu bacho aramuwez qasem mafut 😅😅😅😅😅
Kaaasim gani unamkusudia?
@@JapharyMawanza-q3q kassim oil
@@IssahKanyarokwa elimu yake qasim mafuta nikubwa kwa bachu lakin qasim yupo kama hajui sabab anamakosa mengi na akibainishiwa hataki
Wallahi nakupenda kaallah❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Sheikh muhamad bachu unatumia hekima sana kwenye rad zako wenzako wanatumia maneno kama mwanamke malaya kuonyesha hekima hawana
Allah akuhifadhi akhy Muhammad bachu wape haki ilivyooo
Mashaaa Allah umesema kweli
Allah akulinde na akuhifadhi
Kumekucha Alhmadullh Allh AKUHIFADHI Shekh wetu mpendwa
Hilo neno يهب لمن يشاء hapo panasomwa kwa hukmu ya إدغام ila ukiangalia hapo ndugu kapita kwa idh haar, Allah atuongoze
Waleykum salam warahmatullah wabarakatuh
Alhamdulillah kaelewa kama anaelewa..
Al Akhy Bachu Kasu ni kweli makosa yanatokea kwa kila mtu
Kunasiku hata Sheikh Abul Fadhil Kassim Mafuta alipokuwa ananukuu "Matnu Uthulu Thalatha" na alirududiwa na mrududiji alisema yeye hawezi kumrekebisha baada ya kurejesha audio mara nyingi. kwahiyo la muhimu kujitahidi nikupunguza makosa ya ulimi Baraka llahu fyk
Hekma kubwa Muhammad
yaani me kinachonishangaza ni kuwa kwanini hawa watu hawampendi Muhammad bachu,siku zote atakapofanya makosa huwa hukubali lakini wao sasa ndio kizaazaa,huwa wanakaa kimya kujifanya kama vile hawajapatana na ubainifu and this happens everytime these guys are corrected......
Tatizo wanapenda utukufu, sasa ukikubali kosa huyu unakuwa chini ya aliekukosoa na wao hawakotayari kwenye hilo
Jeshi moja Tu Muhammad nassor bachu Allah amuhifadhi na ampe umri mrefu wenye kher wanapambana na mtu mmoja 😂 majadida😮mh
Wallah kwa kupitia radd zako shekh muhammad napata utulivu moyoni
Sheikh majadida wanajipa udhuru wao kwa wao tu
Majadiida wanataman UFE İli wapate KUPUMUA
maana cıo kwa aElimu hii kwako
kila wakijitahid wapii
Alla SW akujalie shekh wetu ibn Bachu
Allah akulipe shekh wetu
Abu rudud ana diklofena na sio diploma😢
Hahaaaaaaa hahaaaaaaahahaaaaaa hahaaaaaa jamani nimecheka sanaaa
Hahahaa😂😂😂
Yani umemtoa kwa on hahahaaaa
Umenichekesha ww kijana wee. 😂😂😂😂
Kwanini
Mashaallah allah akuhifadhi
Dakika ya 26 ya video hii ... 😂 ... Nimependa Ibnush-Shaykh Bachu alivyopita, zaidi ni vile alivyomalizia ... Allah awahifadhi wote wawili (Shk. Abuu Ruduud & Shk. Bachu)
😂😂😂😂mi hapo tu “weee”
Umefanya lamana sana Allah akulipe
La maana lipi kila ucku ukicha huyu Muhammada Bachu anazidi kubainika ujinga wake
Oshaneni tuu😂!!
Lakini Natamani hii mikosoano ya Lugha ifike tamati.
Shekh wangu allaa akulipe na akuzidishie umli wenye manfaa ilituzidi kunufaika
Bismillah kumbe nimegundua kitu kuhusu makosa wanayo msemea Mohamed bachu kumbe kosa lake yale aliyo yasoma anayatoa kwa watu ila yalivyo kaa kwenye vitabu hakua na makosa ila alivyo yatoa ndo anaonekana anamakosa sasa Mohamed bachu hana makosa wanayo msemea na wakitaka kukosoa basi wakosoe vitabu bachu yeye anayasoma tu na kweli yapo waache kumzuria mengine ishaallah
ALLAH AKUHIFADHI BACHU
Sheikh mfunze adabu uyo
Allah akuzidishie muhamadi bachu ufahamu na hikma abuuu faudhani wee mmhh
Allah akuifadhi sheikh wangu
Ameen
Huyu jamaa anajua ALLAH amuhifadhi
Sana Masha'Allah
Watoto wetu wametukuta ndani wamesimama kwenye haki leo wote wanatuona hatufai pamoja na kujitahidi kuwalea kisunna wallahi
AlhamdulILLAAH... Hatimae Muhammad Bachu umekiri kuwa ulikosea baada ya kutajiwa vitabu lakini hapo kwa tabu mno!
Usitutoe kwenye Mada
Raddi hizi ni kwasababu Ulikuwa unakataa hujakosea kuhusu هذيان Bango la Raddi la Sheikh Hassan Jamada
ACHENI UJINGA
@@maalimhamad1297TAJA HUO UJINGA
@@maalimhamad1297walikosea kwenye neno hadha yaan...na hili litabainishwa kwenye darsa inayofuata
NDIYO. Ujue shekh wetu. Muhammad bachu Hawa watu hawana. Adabu. Ety. Dilele na mfuasi wake mwenye. Channel ya salafi. Wsmekuita. Mwijaku. Subhanah llah
ALLAH AWAJALIE YALIYO MEMA...ILA MASHEKHE KAULI KUFIKISHA UJUMBE ZIWE NZURI
قال سهل بن عبد الله رحمه الله.
إن الله خلق الدنيا وجعل فيها جهالا ،وافضل العلم ماعمل به ، والعلم كله إلا ماعمل به ، والعمل به هباء إلا ماصح
Haya tufafanulie ujumbe wako, mahusiano yake na mada hii??
Jazakallah akhy! Bila shaka atakua ameshika adabu yake mtoto mdogo😅😅😅
Na huku kwenye maswala ya ligha ni nje ya mada sheikh wasikupeleke huko huo ni mpango wao wa kututoa kwenye mstari ili tusahau aibu aliyoipata sheikh Kassim Mafuta(Allah amuongoze)😂
Twanbuanba Allah atuhefadhi abuu rududi alitaka kukufundisha kua wakosoa ukweli na kutanganya watu abou ruudud mtt wa bachu amekubali kua amekosea
Wee hujielewi
Kama Abuu madudu anajuwa lugha angalifanya utumbo huo ??
La ajabu zaidi anaibafilisha quran.
Allah amsamehe.
Ila mwambie huyo Abuu madudu arudi kwa shekh Mohammed Bachu kastafiidi.
Hakuna aibu kwenye kujifunza akijifunza leo itamsaidia kesho.
nakupenda sheikh kwa ajili ya Allah
Wallah, katika makosa ambayo watu sipendi wakosoane ni masuala ya lugha, ila kwa vile kayataka mpatie tuu. Hata mm nilikerana na watu kwa makosa ya kijinga kama hayo. Allah atuongoze. Ameen
Kusema sijui pia ni elmu.muhammad bachu Acha na hii midahalo
Hajui nani sasa?
@@kasimubangu1875 bachu.kakosoa bango la sheikh jamada yeye kwa uchache wa elmu kadai kakosea wakati kakosea yeye bachu
Hajui Nini?..
@@saidali9255 Hajui lugha.kashindwa kujua masdar inatumika kama failu
Sheikh Muhammad. Tafadhali Somesha waislamu wanaotaka kusoma haya mas-ala yaweke mbali kufundishwa Dini yauislam
Kweli kabisa
Watuelimishe kwenye vit vya muhim zaid na so kutona makosa kama hiv, kwan hakuna mwanaadam aliyekamilika.
Unaonaje hawajamaa wakifanikiwa kupandikiza uongo kwa watu wa kawaida kuwa Muhammed bachu ni hizb asisikizwe au dr islamu asisikizwe ,uoni kwamba kundi kubwa litakosa faida kusoma kwa hawa jamaa na wasipojitetea itaonekana ni kweli kama walivyofaulu kwa Nurdin Kishki ila kwa abu mu'awiya kwa kuwa alijitetea hawakumuweza
Simba wa makhurafi na majadida wape vitu hawo wamepinda katika man haji arafu wao ndo wanapakazia watu wamepinda.
Allwah amuongezee IQ kubwa sheikh wetu ili tuendelee kujifunza.
Kuna maswali haya ebu yatafakari
1. Alieuanza huu mjadala wa makosa ya lugha ni nani?
2. Hizo audio za Abuu Fawzan ni za mwaka gani?
3. Ikiwa unaona kuwa kutoleana makosa ya kilugha ni jambo lisilofaa kuliendea, kwanini umeenda kuyafukua huko makosa ya unaemradi?
4. Kwanini unamtengenezea mazingira ya yeye asikujibu kwa kumtuhumu atakua mnafikiq, kibri au hana haya? Waogopa nini?
5. Je hujaelewa mpaka sasa kwanini masheikh wakubwa wanakupuuza pamoja na wewe kulazimisha wakujibu?
6. Hilo la imam suyuutw kwani ulikua unajadiliana na nani hapo mwanzo kabla ya kulazimisha na yeye aingie?
Mche Allah
Bacho humuwezi Abu Fauzani utaibika Sana
Tunatambua Hilo ndio maana tunaomba ajibu kuhusu imam suyyutwi
Sijaona kosa lolote hapo kwa Abuu Ruduud. Wenye masikio tumesikia akitamka fat-ha ُيَھَب na hata kama angekosea kwa kuweka sakna basi bado sheikh Ruduud hangefikia kosa kama lako kwasababu angeingia kwenye mlango wa ijtihaad na sabqu lisaan ila wewe kosa lako kubwa ni kule kukosoa neno sahihi ھذيان kwa kulirekebisha kwa neno lisilo sahihi
Na hapo kwa kuelezea kuhusu watoto hajatamka neno "Allaah Amesema " bali ametamka maneno haya "Na Allaah anampa لمن يشاء kumaanisha hayo ni maelezo ya sheikh Ruduud wala sio aya ya Qur'aan.
Mimi ckuwa nashaka kuwa njia anayopita ataachwa kukoselewa mfano wa makosa aliyokuwa anasema kwabacho
"hiki ni kiarabu sio kimakonde" 😆
Mashallah darasa ianze
Assalamu Alaykum.
Waislamu acheni kushughulikia mizozo waislamu wanauwawa Palestine bila makosa. Waombewe dua ALLAH awanusuru. Hali sio shwari.
Mashallah
Nadhani Makabila kuyataja sio sahihi usahihi ni Kumlekebisha Muhusika ila tusiingize Ukabila Inshallah
Kushughulika na aibu za watu haya ndio matokeo yake Allah atuongoze kuifata HAQQ
Mashaallah . Daawah ni mxuri sn
Kagaragazwaaaaa
Sanaaa hahaaaahahaaaaaaaaaa mbavuzangu hahahaaahahaaa
Yarabi yani apa mnakubali kuwa mwanadamu anayo mapungufu asa nyinyi kumbe mnayakini kuwa makosa yapo katika ulimi na uwandishi na lugha kuweni na insafu suyuti je mmefunga na nini
Allah akuhifadhi hata kama hawa kupendi
Mawahabi wanakosoana wao kwa wao😂😂,masufi wamewaashinda ndipo mwashambuliana wenyewe kwa wenyewe, mawahabiii Hao 😂
Usikonde hili haliwahusu wacha watu wasunni waekane sawa kisha twaja kwenu ahlul hawaa
Umenena vizur lkn matatizo ww ndo unayoyanzisha acha kutafuta mikasa somesha Bachu!
Ni kweli si angeliacha bango lipite, na ndo kaanza kukosoa kwenye lugha ya bango sasa jamani asijibiwe juu ya ukosoaji wake wa lugha ya bango, ajabu alipokua anakosoa akakosea hapohapo,
Sasa BAADA ya kuona kakosea amekiri makosa, BAADA ya kukiri ukiriji wake ndo huo haya amefumua makosa mengine kwenye audio za nduguye za nyuma hukoooo kwenye khutba na darsa zake ili iwe nini, jambo lilitakiwa aandae video ya kukiri pekee mjadala huishe,
Kafumua mengine tena sasa, ilijambi lisihishe tatabbuu hii imezidi sasa
@@farajichilumba5114 hajakosoa Alisha ngaa tu kiona vile...lakini abuu ruddudi ndio aliyekuja kuleta vichelesho vyake hapa
Huyu si Abuu ruduudi ni Abuu madudu.
Dah ana diploma ya lugha kweli huyu, au kakopia huyu.
Mbona diploma yako haikukudaidia mwenyeo itasaidia wanafunzi wako???
Muhammad bacho wewe ni mjanja sana
Kiukweli huu mlango wa kuwakosoa watu kwa makosa kama haya na kuwaita wajinga majadida ndo wameinzisha kumbe wao wanamakosa kadhaaa
Nyinyi nyote ni mahizbi ila huyu Anaye jiita Abuu Ruduud anamakosa mengi katika Quran Hilo maaruf
Ndugu yangu Mohamed bachu ALLAH akulipe, ila nakuomba Rudi katika da'awa aliyofanya shekh nasoro achana nao masalafi
Daawa ya shekh Nassor unaijua wewe unakumbuka jinsi alivopambana vikali na watu wa bid,aa hebu tafuta uone alivopambana Allah amsamehe makosa yake na amuingize peponi Amin
Nani kadhalilika kwenye neno Hadhayaani kama ulivyosema kwenye audio yako ya kwanza sheikh Muhammad ???? Na uliwakosoa wenzio kwa dhulma , sasa kama ushamba mbona itakua wewe ndio umeuanza Sheikh Muhammad , mbona majibu yako yanakurudia wewe mwenyewe Sheikh wetu , naomba utueke wazi tuendelee kukuamini Sheikh Muhammad.
Allah akuongoze ewe muhammad bachu na wanaokuunga mkono na kukusapoti,Allah akuongoze katika haqqi ewe kijana.
Asalaam alykum sheikh bachu nakusih neno sio kimakonde usirudie maana utahamisha mada kuingia kwenye ubaguzi wa ubara na uzanzibar,nakusih ndugu yngu
Kwani kimakonde sio lugh ,usfike huko ,Kwa iyo kusema kiarabu sio kimakonde ,kaashiria ubaguzi ?
Usimkaribishe Shetani kake
Bora asilirudie kwl.
Kutaja umakonde kweli kateleza nimefurahi ulivyomkumbusha بارك الله فيك