Msishideni hazigatii ulimegu wa umuhimu wa watu ❤❤❤❤❤ babake mungu amuweke peponi❤❤❤ mpaka leo watu wamsikiliza babake❤❤❤❤❤❤❤❤❤hanaadabu sana❤❤❤❤❤❤❤shukrani ustadha musini❤❤❤❤❤❤❤❤
Wallahi naiskitika sana kwa njia ya ndugu yetu anatumia. Allah amhifadhi ndugu Bachu na kiburi. Allah amwafikie kuwa na karibu na watu wema ambao watampa nasaha ya kuwa na adabu kidhogo na heshima. Bahati mbaya. Uslubu na njia ambao anaotumia ndugu yetu Bachu siwo njia ya mtumme صلى الله عليه وسلم
Nyi masufi pambeni na uzushi Wenu yule amumuwezi nkamwe mnachochokasirika anaumbua Yale mnayoyaficha kwenye vitabu anawaambia watu kweli ndo roho zinaenda mbio mbio pamba neni huu so wakati wa kudanganya watu tena
Al akhy, ebu tuoneshe kibri cha Bachu kiko wapi. Bachu amejibu hoja ya Sheikh wenu Said Ali Hassan kwa ufasaha na kwa kujenga hoja sasa kibri kiko wapi, au ulitaka Sheikh wenu asijibiwe kwa kuwa yeye ni mkuuuuuuuubwa sana kama mnavyosema..? Amini nakwambia kwenye Uislam Sheikh mkubwa ni yule tu anayefuata njia sahihi na ya haki basi.
@@FaaidaTVtz ni sahihi hawa ndo walivyo masufi kauli ya shekhe haipingwi hata kama kakosea wao wanaichukuwa hivyo hivyo arafu huyu bachu kwakuwa analingania wasoyataka wao ndo kageuka anakibri angekuwa mlinganizi wao asingeambiwa yote hayo
بارك الله فيك يا أخي العزيز Maneno mazuri nto جزاكم الله خيرا Allah amhifadhi Sheikh Ustad Hasan. Ningependa sana angepeleka nguvu zake ndugu yetu Bachu kwa mambo ambao yataleta manufaa badala ya kuwashambuliya wanaziwoni Dharau na kudhalilisha watu siwo katika mafundisho ya Bwana Mtumme Muhammad صلى الله عليه وسلم
Shekh Muhammad Bachu ametutowa ujingani kwa mambo mawili la kwanza kwa siku ya arafa ili tupate fadhla za arafa na la pili ni maulidi kupiga matwari na kula pilau Allah amuhifadhi sheikh Muhammad Bachu
Acha ubaguzi ndugu yangu, uislamu umekataza kubagua watu kwa utaifa, urangi, ukabila, usehemu Hayo ni maneno ya wasio kua waislamu, eti msa tutamtoa ndo umesema nin sasa
Assalamu alaykum warahmatullahi wabarakaatu Sheikh naomba unipe link au uniandikie swali na jibu yote kwa ukamilifu alioulizwa Sheikh Ibn Uthaymeen na alivojibu yeye Sheikh Ibn Uthaymeen kwa ukamilifu Shukran
shekh m bachu hanaadabu kakosa hekma na busara kwenye elimu anaizalilisha dini na wanadinipia, anajifanya anaelimu kuliko wengine anapoelekea kubaya ,akiamua kuelimisha atumie njia ya private nasio kujionyesha kwenye mitandao iyo ndo hekma,kwamaan anajiona yeye mkamilifu kuliko wengine,achungesana.
Sisi wasikilizaji tuna Ona Mohammed Bachu yuwajitahidi kututoa kwenye ujinga sisi waislamu wadogo wadogo ambao hatukubahatika kupata elmu... Fatwa za Bachu Zina nguvu kuliko zenu....
Assalaam alaykum warahmatullah wabarakatuh. Mtoa hoja umejitahidi katika kumtetea sheikh wako Ustadh Said Ali Hassan laakin haujavunja hoja ya Muhammad Bachu hata moja. Ustadh Said Ali Hassan ametoa hoja yake hadharani kwenye media sasa wewe ulitaka ajibiwe msikitini kwake peke yake.? Kwa ukubwa unaompamba nao asingethubutu kupotosha hadharani kuhusu Arafa, Sheikh Bachu yuko sahihi kumjibu hadharani kwa sababu kakosea hadharani na wala hakumvunjia heshima kama unavyotaka wewe ionekane. Kama heshima amejivunjia yeye mwenyewe kwa kuanza kupotosha hadharani.
Angalieni nyinyi masufi makhurafi hamtaki kufanyiwa raddi kwa uzushi wenu sasa lazima mwambiwe ila mkikosa kuambiwa ndo mnasema eti dharau mkiwasoma masheikh zetu mtajua kua nynyi wanafunzi tuu kubalini kurudi nyuma mfanye tawba kwa Allah sababu ya uzushi mmezidisha sana
Kupitia vitu vingi sana alhamdulillha tumemjua ikiwemo ujinga ulodhihir kwenye maulid na kukataza baadhi ya vitu vya kijinga ikiwa pa1 na masufi kuwaaminisha wa2 kwamba Mtume wa Allah aonekana hata ukiwa macho.
SHEKH unamuita BACHU ni muongo lakini wewe pia mbona wasema uongo umesema BACHU ametukana mashekh ili iwe hukusema uongo hebu tuambie tusi Gani ametukana mashekh mbona nyinyi watu wa Bidaa mwapenda kutumia hili neno kuwa anatukana mashekh
Ukweli tu unuma.. haki watu wanaielewa sasa... hadithi nyingi za uwongo za watu watwarika zinabainishwa simameni kwenye haki alokujanayo mtume enyi watu wa twarika. Acheni ibada za kuzuwa zuwa فان كل بدهة ضلالة
Kwa hiyo nyie hamuezi kuanzisha mada mpaka bachu aongee ndio mupate mada? Na hamupati usingizi kufikiria vipi mummalize bachu? Basi Allah atamlinda kwa husda na chuki zenu mpaka haqqi ifahamike
Sasa wewe umekuja kuvunja hoja ya shekh au umekuja kutupotezea muda tu na maneno tupu kama waweza Lete hoja nanibara zilizoaomwa Sio maneno tupuu bila hata kunukuu KITABU hata kimoja unasema unathibitusha kitu Gani na huna hatq KITABU wathibitisha Kwa maneno tupu unamuita mtu muongo Kwa maneno tupu
Maa shaa allah.. sheikh bachu na sheikh Ali ni viboko vya makhurafi kumbee😂😂 Bachu anawakosesha usingizi kumbee.. Mmi binafsi sheikh bachu namuelewa sana juu anongea kihoja na kisomi. Wwe ungefundisha tuu na uache kuongelea bachu hio ni michambo hujafunza kitu
@@yusufathman2478 MWENZENU aloenda kwenye niqash kule kenya akasema hadith غريب maana yake ni hadith ngeni sanah 😂😂😂 Afu ni sheikh ni huyo wa KISARAFI mkiwa mnataka majadiliano muwe mnasoma na vitabu NA MNAELEWA MNAVYOVISOMA kwa maana sahihi sio potofu ndo mana MASALAFI JADIDA WANAWAITA NYIE MAHIZBY إنا للّة وإنا إلية راجعون
@@yusufathman2478 والحديث الغريب هو الذي فيه نوع من التفرد Embu nenda kasome bana 😀😀😀 HUNA UJUAOLO UNASUMBUA NA COMMENT ZA MIHEMKO Kasome wanazuoni wa hadith WANAZUNGUMZIAJE HADITH HIYI UKISIKIA HADITH GHARIB SIO NGENI 😂😂😂🙌🏾 mkiambiwa msome hamtaki unatafsiri MAMBO YA WANAZUONI KWA HAWA ZAKO 😂😂😂🙌🏾
@@darajanida mawahabi wanatuambia tufuate sunnah ya mtume s.a.w na tuebukane na bid'a na hio si kitu mbaya, lakini masufi wanatuhimiza tuombe makaburi na tufanye kila namna ya bid'a kama maulidi na hio ni kupotosha ummah
kinachoendelea sasa kwa masufi ni wivu wa kuona mtoto mdogo ana elimu kubwa na tunakwambieni mtoto anajituma sana kutafuta elimu ni haki yake kuwafunika na nyinyi someni tu mtakua kama yeye
Uyo bachu ana elimu ipi? Watu wa kuonewa wivu huwaoni mwehu weye? Mzee bachu ana elimu gani ya kufanyiwa chuki mjinga wew? Em nitajie japo kitabu Cha kutawadha mkojo tu Cha bachu ukitaja kitabu Cha kutawadha mkojo Cha bachu niwekee na namba yako niitume muawamala. 1m
Tatizo kubwa hatutaki kusoma sasa tukimsikia bachu twaona asoma jamani tusomeni bachu bado hajujua swarfa na nakhau sawa wafuasi wa bachu acheni kutukana watu
Mashekhe acheni ayo mambo yenu ya ufasiki munayofanyiana mitandaoni kama kik nyote mshapata na viewer wengi mushawapata, hebu tafuteni mambo bora kwa waislam muwafnye.
MWENZENU aloenda kwenye niqash kule kenya akasema hadith غريب maana yake ni hadith ngeni sanah 😂😂😂 Afu ni sheikh ni huyo wa KISARAFI mkiwa mnataka majadiliano muwe mnasoma na vitabu NA MNAELEWA MNAVYOVISOMA kwa maana sahihi sio potofu ndo mana MASALAFI JADIDA WANAWAITA NYIE MAHIZBY إنا للّة وإنا إلية راجعون
Kwanza bachu akizungumza wallah hana nahau na iliuyafamu maneno ya mtume lazima uwe na nahau kasome nahau weweeeee mbana nahau tu hujui utakuja masialla hayoo wewe
Mashallah jazakallah akhy Muhammad bachu ujumbe umefika Wacha waliye haki imefika .
Allah amuhifadhi sheikh bachu na azidi kukupa nguvu ya kutuelimisha
Pumba kabisa
BACHU ALLAH AMHIFADHI
Kwangu mimi ni ukweli wake niliouwona Alhamdulillah Allah amuhifadhi
Msishideni hazigatii ulimegu wa umuhimu wa watu ❤❤❤❤❤ babake mungu amuweke peponi❤❤❤ mpaka leo watu wamsikiliza babake❤❤❤❤❤❤❤❤❤hanaadabu sana❤❤❤❤❤❤❤shukrani ustadha musini❤❤❤❤❤❤❤❤
Bacho Allah akuhifafhi
Fukuzwa Hutu zanzibar na sahiv kahamia kwa mashoga zake Mombasa na tanga 😂
HAMUWEZI TUDANGANYA WATU TUSHAA ELIMIKA NA BACHU ALLAH AMHIFADHI
Wallahi naiskitika sana kwa njia ya ndugu yetu anatumia. Allah amhifadhi ndugu Bachu na kiburi. Allah amwafikie kuwa na karibu na watu wema ambao watampa nasaha ya kuwa na adabu kidhogo na heshima.
Bahati mbaya. Uslubu na njia ambao anaotumia ndugu yetu Bachu siwo njia ya mtumme صلى الله عليه وسلم
Nyi masufi pambeni na uzushi Wenu yule amumuwezi nkamwe mnachochokasirika anaumbua Yale mnayoyaficha kwenye vitabu anawaambia watu kweli ndo roho zinaenda mbio mbio pamba neni huu so wakati wa kudanganya watu tena
Al akhy, ebu tuoneshe kibri cha Bachu kiko wapi. Bachu amejibu hoja ya Sheikh wenu Said Ali Hassan kwa ufasaha na kwa kujenga hoja sasa kibri kiko wapi, au ulitaka Sheikh wenu asijibiwe kwa kuwa yeye ni mkuuuuuuuubwa sana kama mnavyosema..?
Amini nakwambia kwenye Uislam Sheikh mkubwa ni yule tu anayefuata njia sahihi na ya haki basi.
@@FaaidaTVtz ni sahihi hawa ndo walivyo masufi kauli ya shekhe haipingwi hata kama kakosea wao wanaichukuwa hivyo hivyo arafu huyu bachu kwakuwa analingania wasoyataka wao ndo kageuka anakibri angekuwa mlinganizi wao asingeambiwa yote hayo
Shukran sana ustadh...kinachomueka bachu mjini ni hizo dharau na kejeli...hana lengine na kama analo birii alidhihirishe
Buchu Allah akuhifadh ) Hawa wengine hawana elemu sindano zimewaingia Wacha wapige kelele
Swadakta ndungu yetu Allah atakulipa inshallah kwa hikma zako kwa ilmu unayo soma kwa mafusi,mawahabi hawataki kusoma ndio hawajielewi
mungu akuhifadhi sheikh letu
بارك الله فيك يا أخي العزيز
Maneno mazuri nto
جزاكم الله خيرا
Allah amhifadhi Sheikh Ustad Hasan.
Ningependa sana angepeleka nguvu zake ndugu yetu Bachu kwa mambo ambao yataleta manufaa badala ya kuwashambuliya wanaziwoni
Dharau na kudhalilisha watu siwo katika mafundisho ya Bwana Mtumme Muhammad صلى الله عليه وسلم
Shekh Muhammad Bachu ametutowa ujingani kwa mambo mawili la kwanza kwa siku ya arafa ili tupate fadhla za arafa na la pili ni maulidi kupiga matwari na kula pilau Allah amuhifadhi sheikh Muhammad Bachu
Maa shallah maelezo mufti
Nyama za maulamaa Zina simu.
Sumu
Haki ilifika Allah amhifadhi bachu
Allah amuhifadhi sheikh Hajji upepo
Allah akuhifadhi ost letu,endelea kufanya twakuelewa vzr sna❤
Wallah mahabi mwabambanya hamna ilimu wallah mana mkizunguza nahau hamzipaty mwapiga nnje
Maadam quran na sunna za mtume tunazo uelewa nahau twawaachia nyie makhurafi
Ahasanta Habibi Barakallahu fiyk
Mashallaah shukran sana ustadh muhsin....Bachu akajifunze adabu kwanza...na tutamnyorosha...Na msa pia tutamtoa
Acha ubaguzi ndugu yangu, uislamu umekataza kubagua watu kwa utaifa, urangi, ukabila, usehemu
Hayo ni maneno ya wasio kua waislamu, eti msa tutamtoa ndo umesema nin sasa
الله يحفظك سيخنا محمد با جو
Mchenni Allah, mitandao mmejaza uislamu-siasa za makundi jameni, barabara ya sawa na malengo ya uwepo wa mwanadamu imesahaulika
Bachu nikipenzi chetu allah amuhifadhi katutoa kwenye ujinga
Sana Wallah
@@Hamis-ks1syANAKUTIA KWENYE UJINGA SIO KUKUTOA
Asalamu aleykum ya allah huyu bachu nimrogo😊😊😊😊😊
Mawahabi wote wamenyimwa ufahamu,ndio maana wengi wamekuwa magaid
Shekh Muhammad Bachu amewashinda ilimu nyinyi Muna chuki zenu muogopeni Allah Allah amuhifadhi sheikh Muhammad Bachu
Ilimu gani kama si kejeli
Assalamu alaykum warahmatullahi wabarakaatu
Sheikh naomba unipe link au uniandikie swali na jibu yote kwa ukamilifu alioulizwa Sheikh Ibn Uthaymeen na alivojibu yeye Sheikh Ibn Uthaymeen kwa ukamilifu
Shukran
Hasira nyingi sana
Bach Bado allh ajampa uwongof ila tumuombe allh san
shekh m bachu hanaadabu kakosa hekma na busara kwenye elimu anaizalilisha dini na wanadinipia, anajifanya anaelimu kuliko wengine anapoelekea kubaya ,akiamua kuelimisha atumie njia ya private nasio kujionyesha kwenye mitandao iyo ndo hekma,kwamaan anajiona yeye mkamilifu kuliko wengine,achungesana.
masufi mnatabu.
Hayaaaa fuateni ara yenuuuuuuuuuuu mausufi
Kutukana mashekh
Masha Allah Habib wetu
Sh muhammad bachu yuko vizuri sana
NDIO KWA UPUMBAVU HAKUNA KAMA YEYE.
Wewe mtume hakuwahi kumtukana muislam wala hakuna swahaba wala taabi-ina bali mtume amekataza kumtukana muislamu nufaasiq
Sasa kama waongoka kwa ufaasiq Kasome dini yako uijue usitegemee darsa ndo zitakazokutoa kwenye ujinga
Wafahamishe ukwell shekhe muhsin huyo mkosefu wa adabu m.s bachu na mungo akuhifadh shekhe muhsin tuzidi kufaidika
Watumwa wa fikra wa bachu Hawana haja ya kusikiliza hoja Bali ni ujuha kwenda mbele
Sisi wasikilizaji tuna Ona Mohammed Bachu yuwajitahidi kututoa kwenye ujinga sisi waislamu wadogo wadogo ambao hatukubahatika kupata elmu... Fatwa za Bachu Zina nguvu kuliko zenu....
Wewe bado mjinga ndio mana jitahidi usome
Assalaam alaykum warahmatullah wabarakatuh. Mtoa hoja umejitahidi katika kumtetea sheikh wako Ustadh Said Ali Hassan laakin haujavunja hoja ya Muhammad Bachu hata moja.
Ustadh Said Ali Hassan ametoa hoja yake hadharani kwenye media sasa wewe ulitaka ajibiwe msikitini kwake peke yake.? Kwa ukubwa unaompamba nao asingethubutu kupotosha hadharani kuhusu Arafa, Sheikh Bachu yuko sahihi kumjibu hadharani kwa sababu kakosea hadharani na wala hakumvunjia heshima kama unavyotaka wewe ionekane. Kama heshima amejivunjia yeye mwenyewe kwa kuanza kupotosha hadharani.
Sheikh Muhammad bachu ametutoa kwenye ujinga
Maoni ya kubalika
Mohd bachu amesingizia sheikh uthaymeen na kufanya uthaymeen ni mtu wa kauli mbili mbili
Mashallah
Sheikh Muhammad bachu yuko vizuri sanaaaaaa.Ameniondoa kwenye wajinga wa kitwariqa na kisufi
Kkkkk bado mwa zama kwa uchinga pole mana chongo ni mfalme kwa vipofu
Angalieni nyinyi masufi makhurafi hamtaki kufanyiwa raddi kwa uzushi wenu sasa lazima mwambiwe ila mkikosa kuambiwa ndo mnasema eti dharau mkiwasoma masheikh zetu mtajua kua nynyi wanafunzi tuu kubalini kurudi nyuma mfanye tawba kwa Allah sababu ya uzushi mmezidisha sana
Umesikiliza ukaelewa lkn au umeziba masikio
Kupitia vitu vingi sana alhamdulillha tumemjua ikiwemo ujinga ulodhihir kwenye maulid na kukataza baadhi ya vitu vya kijinga ikiwa pa1 na masufi kuwaaminisha wa2 kwamba Mtume wa Allah aonekana hata ukiwa macho.
اللهم اهدي الصوفي ضاله
SHEKH unamuita BACHU ni muongo lakini wewe pia mbona wasema uongo umesema BACHU ametukana mashekh ili iwe hukusema uongo hebu tuambie tusi Gani ametukana mashekh mbona nyinyi watu wa Bidaa mwapenda kutumia hili neno kuwa anatukana mashekh
Ukweli tu unuma.. haki watu wanaielewa sasa... hadithi nyingi za uwongo za watu watwarika zinabainishwa simameni kwenye haki alokujanayo mtume enyi watu wa twarika. Acheni ibada za kuzuwa zuwa فان كل بدهة ضلالة
Mbona hamumsemi al hatimy alipokua akimtukana sheikh ali bahero ama vile ni mwenzanu muogopeni Allah na kueni na uadilifu
Nasoma comments alafu nawafuatilia sana .( huenda wamesahau)
Eeee bwana hajazarauliwa munatengeneza huruma
Kwa hiyo nyie hamuezi kuanzisha mada mpaka bachu aongee ndio mupate mada? Na hamupati usingizi kufikiria vipi mummalize bachu? Basi Allah atamlinda kwa husda na chuki zenu mpaka haqqi ifahamike
naswaha yangu tusivunje udugu wetu kwa jambo la kupita.Eid itakuja na itaondoka ila udugu ukiondoka ni ngumu kuurudisha
MWATAFUTA UMAALUFU KWA KUTETE BIDAAA
Piga ujumbe shekh bachu tunafahamu kwakuwa wazi ktk adila zakujitosheleza undeni yenu arafa
Sasa wewe umekuja kuvunja hoja ya shekh au umekuja kutupotezea muda tu na maneno tupu kama waweza Lete hoja nanibara zilizoaomwa Sio maneno tupuu bila hata kunukuu KITABU hata kimoja unasema unathibitusha kitu Gani na huna hatq KITABU wathibitisha Kwa maneno tupu unamuita mtu muongo Kwa maneno tupu
Nawaona mawahabi wanavyo haha kukoment ila safarihii wasipewe nafasi jino kwa jino hadi waelewe
Kazi mzr mashallah kama wakiachwa wanazidi sifa
Shida ya buchu hajielewi
Chizi fresh
Sheik kua makini na MAWAHABI watakulipua.
Yaani masufi bna Akimrekebisha mwasema anamtukana baba ake akikaa kimya nongwa mnatakaje sasa?
Musidanganywe na comments zetu ndio zikawapamoyo wa kutukanana na kukashfiana mitandaoni.
Acheni porojo
al habiibi JAZAAKA LLAHU KHAYRA bachu asipobadilika mwisho wake utakua mbaya
Kufuata na kubainisha haqi haipeleki mtu pabaya bali bid'a wenu
Acha chuki kwa bachu
Huyu Bachu hajui kama nyama za wana zuoni zina Sumu. Mtizameni tu mwisho wake.
Munamtetea
Kawaida anaesema kweli huchukiwa nyinyi hamutaki ukweli
Maa shaa allah.. sheikh bachu na sheikh Ali ni viboko vya makhurafi kumbee😂😂
Bachu anawakosesha usingizi kumbee..
Mmi binafsi sheikh bachu namuelewa sana juu anongea kihoja na kisomi.
Wwe ungefundisha tuu na uache kuongelea bachu hio ni michambo hujafunza kitu
Acha unafiki Hawa watu watupu kabisa labda dharau
@@HemedSerious mnafiki ni wwe
@@yusufathman2478 MWENZENU aloenda kwenye niqash kule kenya akasema hadith غريب maana yake ni hadith ngeni sanah 😂😂😂 Afu ni sheikh ni huyo wa KISARAFI mkiwa mnataka majadiliano muwe mnasoma na vitabu NA MNAELEWA MNAVYOVISOMA kwa maana sahihi sio potofu ndo mana MASALAFI JADIDA WANAWAITA NYIE MAHIZBY
إنا للّة وإنا إلية راجعون
@@IbraFareed maskini ndugu yangu.. gharib pia ni ngeni kama huna ujualo
@@yusufathman2478 والحديث الغريب هو الذي فيه نوع من التفرد
Embu nenda kasome bana 😀😀😀 HUNA UJUAOLO UNASUMBUA NA COMMENT ZA MIHEMKO
Kasome wanazuoni wa hadith WANAZUNGUMZIAJE HADITH HIYI
UKISIKIA HADITH GHARIB SIO NGENI 😂😂😂🙌🏾 mkiambiwa msome hamtaki
unatafsiri MAMBO YA WANAZUONI KWA HAWA ZAKO 😂😂😂🙌🏾
Uyo bachu hana adabu, yeye kwnz hana sheikh
Ustadh huyu jamaa lazma aambiwe ,anaumbungufu sana wa elimu
Masufi mmepoteza wafuasi kupitia kina bachu na kina bahero mungu awalipe
kila mtu anakaburi lake ndugu yangu epukana na upotovu wa mawahabi
@@darajanida mawahabi wanatuambia tufuate sunnah ya mtume s.a.w na tuebukane na bid'a na hio si kitu mbaya, lakini masufi wanatuhimiza tuombe makaburi na tufanye kila namna ya bid'a kama maulidi na hio ni kupotosha ummah
MWATAFUTA UMAALUFU KWA KUTETE BIDAAA NA BAATWIRI
Bachu aende akasome
Alifu kwa kijiti😂
Mukiambiwa ukweli wakuumeni ehhhh bachu Atawanyoosha Allah atazidi kumpa Elmu Mumjue makusudio yake kwenu …
Hivi maana ya matusi unaijua kweli au wajisemea tu,unajua maana ya hojja unaelewa kweli
Matusi zaidi mnayajua nyny sababu ndio kz yenu
Ei kwani bacho ni mwanachuoni au ni mpambe wa kiwahabi
Mm nashangaaa wajinga wanaosema eti mwehu bachu anaonewa choyo
Juzi aliwatweza kina suyutwi ghazali na sultwaan auliyaa kwa ile klip yke alotoa juzi mpka nkashangaa
We mwenyewe ni mrongo kama nihivyo
Haki imefika ndiomaana mwatapatapa Sasa ndiomaa mwapingana wenyewe. Kwa wenyewe mbona mmemhalifu kadh wenu
kinachoendelea sasa kwa masufi ni wivu wa kuona mtoto mdogo ana elimu kubwa na tunakwambieni mtoto anajituma sana kutafuta elimu ni haki yake kuwafunika na nyinyi someni tu mtakua kama yeye
Uyo bachu ana elimu ipi? Watu wa kuonewa wivu huwaoni mwehu weye? Mzee bachu ana elimu gani ya kufanyiwa chuki mjinga wew? Em nitajie japo kitabu Cha kutawadha mkojo tu Cha bachu ukitaja kitabu Cha kutawadha mkojo Cha bachu niwekee na namba yako niitume muawamala. 1m
@@HemedSerious hasira hasara wala matusi si fani yangu yakurejee mwenyewe mijineno yako mibovu
Mfuateni kadhi wenu acha ubishi
Bachu kawaida yake hajuwi kuongeya kistaarabu mpaka atiye dharau na kijeli hivo ndivo amezowe
Bachu ni mtoto muacheni pengine akisha baleghe ataacha ufudhuli
Tatizo hamtaki kuambiwa ukweli mwache Bachu atufungue macho na hamturudishi tena gizani endeleeni na kukaa gizani!
Fungueni kitabu
Alikuwa haradiwi ni mtume muhammad sala na Salam ziwe juu yake tuuuu
Tatizo kubwa hatutaki kusoma sasa tukimsikia bachu twaona asoma jamani tusomeni bachu bado hajujua swarfa na nakhau sawa wafuasi wa bachu acheni kutukana watu
Mashekhe acheni ayo mambo yenu ya ufasiki munayofanyiana mitandaoni kama kik nyote mshapata na viewer wengi mushawapata, hebu tafuteni mambo bora kwa waislam muwafnye.
Nimikufwatilia kwakweli masufiiiiiiiiiiiiiiiii mnachesha😂😂😂😂😂😂😂😂
MWENZENU aloenda kwenye niqash kule kenya akasema hadith غريب maana yake ni hadith ngeni sanah 😂😂😂 Afu ni sheikh ni huyo wa KISARAFI mkiwa mnataka majadiliano muwe mnasoma na vitabu NA MNAELEWA MNAVYOVISOMA kwa maana sahihi sio potofu ndo mana MASALAFI JADIDA WANAWAITA NYIE MAHIZBY
إنا للّة وإنا إلية راجعون
punguzeni makasiriko. Ama mlete markaz nzima imraddi bachu
Uyo bachu ndio wakuletewa markazi.
Backu ni mjinga katika dini yake. Hanailim hana heshema.
Sio vivuri kuwatukana masheikh kama humuamn bas sio lazima umufuatilie
Wewe mwenye Elimu ebu mjibu Bachu sasa kwa hoja ya kielimu.
ww shekh nafkiri ungekaa na kusoma kuliko vijembe bachu anafungua vitabu sio maneno tu
Kisha nyinyi munao support bachu kwanini amefukuzwa Zanzibar sababu ya ufedhuli na kukosa adab.
Nipe habari ndungu nikweli amefukuzwa
@@Biziman-pu4kf haruhusiwi kutoa khutba wala muhadhara na shida sio mtu wakusomesha amezowea ufedhuli ndio akaja msa kwenye jaa la taka.
ukiongea usiwe na hasira kia mpole ili jamii isijue kua umekasirika
Na mtume aliambiwa vivyo hivyo antukana miungu ya makuraish kisa kufafanua haqqi
Nyinyi hamna elim nibala bala tu
Katukanwa wap kwn pamewekwa sawa tu
Mawahabi hawana inswaf na wapenda kubaranganiza mambo walaghai hawajali kudanganya bora maslahi yao yende
Si nilisema kuwa atajibiwa mm na huyu kijana naona ni kama akili zake ni za kifyetu bachu kashabachuliwa akabachuka
Hapa naona kaja na mipasho haina aya wala Hadisi
Bachu yupo sahihi sema kinachowakera ni kueka mambo bayana ambayo ilikua mumeyaficha.
Yaliofichwa ni gani hapo?? Si uyaseme
Fataclip za sheikh bachu utaona yapo bayana
Hakuna yalio bayana...wewe si uyataje...tushawazoea mawahabi kazi ni kufuata hawaa za nafsi zenu tu
Inaone kana kwako bachu ni mtumi….mana mamani ubayana hakuna lolote kwabachu na hana adabu kabissa
Bachu ni Simba wa Mungu yule nyinyi mashekhe ubwabwa ficheni ukweli Njaa itawatia motoni
Huyu bachu ni chizi iko siku utabainika wazi uchizi wake
Bachu mbabaishaji tu... Na km anajiweza aombe munakasha aone😂😂😂
Munaqasha alishafanya nao na hawakutaka uendelee kwa kung'ang'ania point moja.
Huna hoja kumbee,;
Kwanza bachu akizungumza wallah hana nahau na iliuyafamu maneno ya mtume lazima uwe na nahau kasome nahau weweeeee mbana nahau tu hujui utakuja masialla hayoo wewe
masufi hamna kitu ni mbwe mbwe tu zenu.