@@sabrizamilalmendhry waiyyaaka akhuu nkariimu abuu mundhiri jaoo nilikuambia unitumie namba yako ya wassap lkn haujanitumia ila nakukubali sana kwa kazi yako ya kuuelimisha umma
Sheikh Qasim Mafuta na ndugu yake mwenye kadi ya sisiemu(haddahumALLAH) wote ni mahizbi kwa kule kumili upande wa siasa za Kidemokrasia ambayo ni nidhamu ya makafiri(ad dumkratia millatulkufr).
Nshanga Sana Hwa vijana wa Tashadud ,Wakimtaja Sheikh Wao ,Anapewa Cheo Chake Cha Usheikh ,Lk. Akitjwa Sheikh Salim Barahiayani Hakuna haja ya Kupewa Cheo Cha Usheikh Ita tu ata akitwa mjinga Sheikh Salim Swa tu, Hkika Huu Ni Uovu Mbaya Sana Kwa hwaVijana hawa Swafiqah ,Hizbu Asalaf Kila asiye kuwa Wao sio sheikh
Kijana upo kila ,Mwambie Muambie Hizbu Saalaf Mwenzio , Hivi Hawezi Kumpa Sheikh Salim cheo Chake Cha Usheikh Au kisa Kaenda kinyume na Sheikh wenu Na Usheikh Salim Ukampotea ?
,mashekh wote wako kinyume na mafunzo Dinoi hawaambiani Acha wape watoto WA marhum janjira haki yao hakuna haya moja mkweli wote mtihani wote wako ki maslah kwa hiyo wanalindana lakini Allah anayashudia
Hawwa wanalingania chama si hiyo dawa kama wasemavyo wao ukisema dawa salafia tunayoijuwa sisi kitambo walianza shekhe wetu kabla yao Al maruhum nasoro bachu kitambo katika hiyo dawa waisemayo wao kuwaita watu katika kitabu na sunnah na kupinga shirki na kukataza bidah hivi kwa mtu mwenye akili timamu unaweza mwambia shekh nasoro bachu akufanya dawa salafia atakuona mwendawazimu Fulani, Ila Hawa wanakuambia walimfata marehemu nasoro bachu kulingania hiyo dawa subutu, wakati huwo wengine hawajazaliwa wengine wanapiga mawlid kama huyo mafuta shekh salimu anae mbeza na kumzulia urongo ndo alomtoa pale tamta katika usufi na ndo katika watu waliokuwa wapinzani mafuta no moja kupinga sunnah Leo anajifanya mjuaji muongeaji
@@AbdulIssa-o7e hahaha,, nitajie risala moja ya usulu sunna iliyofundishwa na Mashekh zako,ww endelea kusikiliza propaganda za hao wanasiasa na wanaharakati wa dini
@@BilaliIloko ww wawaona wanaharakati lakini ni watu wanalingania kitabu cha Allah na sunnah wanakataza shirki na wanapinga bidah sasa kipi cha kuwatoa walichoharifu salafi swaleh bidaah ipi walozuwa au shirki ipi wamezuwa so peopaganda
Nasikitika sana kuona mashekhe wametufikisha pabaya Ali ya umakundi imekua kubwa kuliko kufundisha Allah awaunganishe kama mwanzo baadae ya kutoka ktk makundi ya hovyo
Wewe unasikitikia makundi ambayo alishayasemea mtume.... Lau ungekuwa unajua uhalisia wa mambo.. usingetaka hakki iungane na baatwil... tunajikinga kwa Allaah
Ummati Muhammad mtauwana kwa ujinga wenu🚮 Mnacho kipanbania hajina maana kwenye dini ya Allah, Bali naziona faida za madhehebu/manhaji…. Ina sio dini🚮🚮🚮
Hili jamaa limejawa chuki kwa barahian Hadi limewatia ujinga Hadi wafusi wake.kwanza linajifanya ndilo lenye elimu kuliko wote.lilipigwa radio na Issa was gongolamboto halijajibu Hadi leo hili sufi
yule,shk barahiyan ni intelejent sana, yaani ww mafuta ya taa, upate ujiko kupitia simba wa Sunnah barahiyani! Chimbuko lako lenyewe limetokana na usufi , unapoteza muda tu
Kila alie isema vibaya daawa salafy kaangukia patupu tukiangalia nyuma huko Akina sheikh aly bahero sh Muhammad bahero sh barahiyyan sh kishki wote wameshindwa kuporomosha daawa pamoja na umaarufu wao Sasa hivi kabaki mwanafunzi wa ibtidaiyyah Muhammad bachu ndio ataka kupambana na daawa bila ya elimu
@@ibrahimjumaa538 makundi yote mapotevu yanapungua wallah akhy fanya utafiti uone kama kuna siku ulimuona mtu Salafy ale soma vizuri manhaj kisha akatoka kwenye usalafy akenda kwenye ushia au sufi
@@ibrahimjumaa538 mimi kipimo changu cha kujua haqq ni kipimo alicho kitumia hiraqly mfalme kwa kuuliza swali muhimu sana Je uislamu waongezeka au wapungua? Je amewahi yeyote katika uislamu kuacha uislamu wake kwasababu ya dunia? Majibu ya hayo maswali ukiyapata utajua manhaj gani iko sawa
Dr Islam amewaambia mueke hoja mezani kwenye aqidah, mbona hamujaweka mpaka sasa munazunguka, wekeni hoja mezani ni jambo gani linamtowa mtu kwenye sunnah watu wajadili, kwenye maneno yanawazuoni walivyo kubaliana
Acheni mihemko ktk dini soma kisha elimu yko ikuongoze ndio mana elimu za zama hiz hazina baraka wala manufaa kw w2 ambao sio waislam tuangalie je ndio mwnendo wa mtume alikuw anaishi?na ndio namn alikuw anafny mahojiano ivyo!mnajivish kam w2 wa sunna lkn tabia sio nzur
Ust Kassim Mafuta tafadhali wacha Fitinah na Chuki.. Jibu maswali ya Sheikh Muhammad Nassor Bachu kwanza. Mbona unamkimbiya ? Huna Hoja bali maneno mengi ambayo hayana Kichwa wala miguu
@@AbrahamanSaidi-uf1dw Hawa Majadida hawana mpango kwani Sheikh Muhammad Nassor Bachu ni kiboko yao. Ust Kassim Mafuta ndio ajibu kitabu cha Dr Islam. Wamepata Aibu kubwa hawa Majadida.
Tunajuaje kuwa hao wameshushwa? Maana hata wewe shekh qasimu mafuta ilikuwa ukija mikoani huku watu kibao na moray kuwa shekh la kisalafy limekuja Ila sasahivi watu hawana hamasa ile, vipi nawe umedondoshwa?😂😂😂😂😂
Hivi Sheikh Qassim Mafuta Na Barahiyan wanazungumza kweli? Sema Sheikh Qassim Wallah namdhania kuwa mtu wa khery na in shaa Allah one day ntafanya ziara nikamuone Na kumsalimia nkipata fursa.Naomba kujua pia Dr.Islam alifuatwa private kulinganiwa da'awatussalafiyyah?
@@Hamis-ks1sy Yaah! Dr Islam ashawahi kunasihiwa privately kabsa na Abuu Haashim akishirikiana na Abul Fadhwil...!!! The same thing kwa Kishki, wote hao washanasihiwa! Akina Msellem woote, yan hakuna aliyeachwa! Ndo mana wakipinda wanaraddiwa hadharani...!!!
Hawwa hawqlinganii usalafi wanalingania chama chao hiko, ili uwe salafi ujiunge na chams chao hiko so dawq salafi kama wwnavyodai hakuanza yey mafuta, walianza watu kitambo yey anapiga natwari pale shamsia,tamta wakati huwo jisufi shekh barahyani analingania kitsbu na sunnah, marehemu nasoro bachu kitambo kwenye hiyo dawwa waisemayo wao japo mashekh wetu hawakufanya ria, ndo mjue hawa wametajwa na shekh uthaymeen kataja dalili zao, fatuwwva hizo shekh kawataja wao kila dalili wanayo kuthibitisha ndo kile kikundi alicho kitahadharisha shekh wanawatoa watu katika sunnah na kuwatia upotevuni dalili nyingi shekh kaelezea meisho kadai hawoo so masalafi kituu. Et mnadai watu wwlingania dawq salafiya daww hiyo wametangulia shekh zetu kuwaita watu katika tawheed na kupunga bidaah na kukataza shirki, ndo ujue hili kundi ni la fitna tupu wanadai et wao ndo walienda kumlingania hii dawq marehemu nasoro bachu subuhana llah!! Sifa yao hawa ni urongo na hiyana, shekh anafanya dawa toka miaka 80 huko analingania kitabu na sunnah sasa usalafi upi na dawa ipi wanayotaka wao labda dawwa ya uchawi lakini kama ahlsunnah ni kitabu na sunnah kitsmbo marehemu nasoro bachu anafanya hiyo dawa wwngine hswajazaliwa waliozaliwa wanapiga maulid na khitima. Ndomana nasema haww wanslingania chama so daawa wasemayo wao fujo zote hizo wanakutaka ufate kikundi chao so mtume na maswahaba ahaahaha😂😂 daah tusomeshe watoto usalafi wa kweli mans mtihani kweli
@@abouswaleh7375 chama chenu hiko kinaitikadi za kikhawariji kasoro wale wanauwa ndo tofauti hapo Ila itikadi ya kuwakufurisha waislamu na kuwatoa katika dini hiyo mpo nao sawa tuuh
Allah akuhifadhi Sheikh Abul Qassim
Baarak Allah fiyk
Namuomba allah amuhifadhi shekhe wetu qaasimu mafuta nembo ya daawatussalafiyyah afrika mashariki
Amin baarak Allah fiyk
@@sabrizamilalmendhry waiyyaaka akhuu nkariimu abuu mundhiri jaoo nilikuambia unitumie namba yako ya wassap lkn haujanitumia ila nakukubali sana kwa kazi yako ya kuuelimisha umma
@@abduwahabi7019 Hamna salafia yahivyo huyo ni jadida
@@abiabi9353 niyapi maana ya zalafiya jadisa?
Sheikh Qasim Mafuta na ndugu yake mwenye kadi ya sisiemu(haddahumALLAH) wote ni mahizbi kwa kule kumili upande wa siasa za Kidemokrasia ambayo ni nidhamu ya makafiri(ad dumkratia millatulkufr).
Baarakallahu fiyka sheikh wangu
Amin Wafiyk baarak Allah
Muwaongo tulikuepo alikimbiaaaaa shekh acheni uongo hahah
Nshanga Sana Hwa vijana wa Tashadud ,Wakimtaja Sheikh Wao ,Anapewa Cheo Chake Cha Usheikh ,Lk. Akitjwa Sheikh Salim Barahiayani Hakuna haja ya Kupewa Cheo Cha Usheikh
Ita tu ata akitwa mjinga Sheikh Salim Swa tu, Hkika Huu Ni Uovu Mbaya Sana Kwa hwaVijana hawa Swafiqah ,Hizbu Asalaf Kila asiye kuwa Wao sio sheikh
Mafuta jibu maswali ya shkh Muhammad bachu
@@Vuyaa-v6w
Swadaqta
Ni Ajibu maswali!
Maneno mengi hayatofaa.
Sijui ni Hasadi na ikiwa ni Fitinah na Chuki basi awache hayo Ust Kassim Mafuta.
Kiziwi hawezi kujibiwa kwa sauti ni kumkalia kimya tu
Haikusaidia kitu lakini shekh.badala yake iligawa watu na haikuwa na mana yoyote.
Kumbe nyinyi ni ccm damu demokras
Baarakallahu fiyk! Hakika Da'awatussalafiyyah hakuna wakuiporomosha In shaa Allah! Hapa ilipofikia ALHAMDULILLAH...!!!
Amin Wafiyk baarak Allah
kashatumiwa kitabu cha pili ajibu kwanza ndo mushughulike na barahiyani
@@auroxenterprises8003 kitabu gani? kwani hiki anachojibiwa si ni kitabu cha pili au???!!!
@@auroxenterprises8003Hata aandike kumi insha Allah atajibiwa vyote labda aandike haqqi
Kijana upo kila ,Mwambie Muambie Hizbu Saalaf Mwenzio , Hivi Hawezi Kumpa Sheikh Salim cheo Chake Cha Usheikh Au kisa Kaenda kinyume na Sheikh wenu Na Usheikh Salim Ukampotea ?
Huyu nae ni Hadhayaan au Hadhyaaan waahed .
,mashekh wote wako kinyume na mafunzo Dinoi hawaambiani Acha wape watoto WA marhum janjira haki yao hakuna haya moja mkweli wote mtihani wote wako ki maslah kwa hiyo wanalindana lakini Allah anayashudia
Allaah Awahifadhi Ma Sheikh wa Ahlus Sunnah Dr Islam na Sheikh Muhammad Nassor Bachu. Alhamdulillah tunapata faida kubwa sana. Maa Shaa Allaah.
Hawwa wanalingania chama si hiyo dawa kama wasemavyo wao ukisema dawa salafia tunayoijuwa sisi kitambo walianza shekhe wetu kabla yao Al maruhum nasoro bachu kitambo katika hiyo dawa waisemayo wao kuwaita watu katika kitabu na sunnah na kupinga shirki na kukataza bidah hivi kwa mtu mwenye akili timamu unaweza mwambia shekh nasoro bachu akufanya dawa salafia atakuona mwendawazimu Fulani, Ila Hawa wanakuambia walimfata marehemu nasoro bachu kulingania hiyo dawa subutu, wakati huwo wengine hawajazaliwa wengine wanapiga mawlid kama huyo mafuta shekh salimu anae mbeza na kumzulia urongo ndo alomtoa pale tamta katika usufi na ndo katika watu waliokuwa wapinzani mafuta no moja kupinga sunnah Leo anajifanya mjuaji muongeaji
@@AbdulIssa-o7e hahaha,, nitajie risala moja ya usulu sunna iliyofundishwa na Mashekh zako,ww endelea kusikiliza propaganda za hao wanasiasa na wanaharakati wa dini
@@AbdulIssa-o7e alafu we hujui,usimfananishe barahiyani na marhum nassoro nacho hata kidogo
@@BilaliIloko marehemu nasoro bachu alilingania nini na barahyani analingania nini nijibu hilo??
@@BilaliIloko ww wawaona wanaharakati lakini ni watu wanalingania kitabu cha Allah na sunnah wanakataza shirki na wanapinga bidah sasa kipi cha kuwatoa walichoharifu salafi swaleh bidaah ipi walozuwa au shirki ipi wamezuwa so peopaganda
Allah akuhifadhi shekhe wetu
Amin Baarak Allah fiyk
Nasikitika sana kuona mashekhe wametufikisha pabaya Ali ya umakundi imekua kubwa kuliko kufundisha Allah awaunganishe kama mwanzo baadae ya kutoka ktk makundi ya hovyo
Wewe unasikitikia makundi ambayo alishayasemea mtume.... Lau ungekuwa unajua uhalisia wa mambo.. usingetaka hakki iungane na baatwil... tunajikinga kwa Allaah
نسأل الله أن يوفقهم
@@AllyRamadhani-jy6oz امين
Uongo hakumfwata ofisini
Sema Dawatu Esraili hakuna wa kuizuiya?
Ummati Muhammad mtauwana kwa ujinga wenu🚮
Mnacho kipanbania hajina maana kwenye dini ya Allah,
Bali naziona faida za madhehebu/manhaji…. Ina sio dini🚮🚮🚮
SHARRI TU HAMNA DINI YA KUTANDIKANA...
Mbna munaugawa uislamu nyinyi hebu tuweni kitu kimoja .
Hili jamaa limejawa chuki kwa barahian Hadi limewatia ujinga Hadi wafusi wake.kwanza linajifanya ndilo lenye elimu kuliko wote.lilipigwa radio na Issa was gongolamboto halijajibu Hadi leo hili sufi
Na kubainisha huku naomba kuebdelee maana kuna watu wengi hawajui mambo yaliopita baina shekhe qasimu na walinganizi wa bidaa kama barahyaani
Inshaa Allah
Bidaa ya barahiyani ni ipi ,mpaka leo mi sijaijua?
Watu wanauliza shekh bidaa za barahiyani nizipi tupe faida shekh
@@FadhiliIkuki ameanzisha taasisi,,, hahahahahaha
@@abduwahabi7019 ni jambo gani alilolifanya barahyani likamtia kwenye bidda kulingana na maneno ya wanawazuoni walivyo kubaliana,
e bhana tumechoka na hadith zenu …! ikiwa mumeshindwa kusomesha dini kajiungen kweny majukwaa ya kisiasa
Nenda pongwe uone sheikh kassim anavyofundisha dini
Kuna waislam wanatoka mpaka Uganda wanaenda kusoma pongwe na familia zao
Tutoane tu?? Sijui shk kasim anazungumza mambo ya ajabu sana. Hakuna wenye kufuata masalafi kama kina Shk salim Allah amuhifadhi.
Sasa yupi yupo sahihi,Qasim mafuta au barahiani,salafi pia itakua ni uzushi.munatupa tabu kweli masufi hawafai,mbona nyinyi mwasengenyana tu.
Nyote siwo tafakarini tena hiyo sio dini ya kiislam
yule,shk barahiyan ni intelejent sana, yaani ww mafuta ya taa, upate ujiko kupitia simba wa Sunnah barahiyani! Chimbuko lako lenyewe limetokana na usufi , unapoteza muda tu
Kila alie isema vibaya daawa salafy kaangukia patupu tukiangalia nyuma huko Akina sheikh aly bahero sh Muhammad bahero sh barahiyyan sh kishki wote wameshindwa kuporomosha daawa pamoja na umaarufu wao
Sasa hivi kabaki mwanafunzi wa ibtidaiyyah Muhammad bachu ndio ataka kupambana na daawa bila ya elimu
Hii sio Hoja ban, vip kuhusu Mashia wanapungua au wanaongezeka?
@@ibrahimjumaa538 makundi yote mapotevu yanapungua wallah akhy fanya utafiti uone kama kuna siku ulimuona mtu Salafy ale soma vizuri manhaj kisha akatoka kwenye usalafy akenda kwenye ushia au sufi
@@AbuuBakar1 Kuongezeka kwa watu katika kikundi fulani sio dalili ya kuwa hiyo ni Haqq!!
@@ibrahimjumaa538 mimi kipimo changu cha kujua haqq ni kipimo alicho kitumia hiraqly mfalme kwa kuuliza swali muhimu sana
Je uislamu waongezeka au wapungua?
Je amewahi yeyote katika uislamu kuacha uislamu wake kwasababu ya dunia?
Majibu ya hayo maswali ukiyapata utajua manhaj gani iko sawa
@@AbuuBakar1pia hakuna sufi aliesoma na akaelewa kisha akahamia ujadida
Hiii shekhe anayeongea ni wa wapi yaani msikiti gani??
Pongwe tanga markaz ibn taymiyyah
Dr Islam amewaambia mueke hoja mezani kwenye aqidah, mbona hamujaweka mpaka sasa munazunguka, wekeni hoja mezani ni jambo gani linamtowa mtu kwenye sunnah watu wajadili, kwenye maneno yanawazuoni walivyo kubaliana
Akamjibu Dr.Islami ,huyu nae anaonekana muongo muongo sana
Dr ashajibiwa usijitie upofu
Mnajitakasa nafsi zenu ya kwamba nyie ni bora
Mafuta alikimbia haha tulikuepo
Hahaha
Wanaowajua hata hawapati shida na nyie ila mola atafunua ndani ya vifua vyenu mlivokua kua navyo
Acheni mihemko ktk dini soma kisha elimu yko ikuongoze ndio mana elimu za zama hiz hazina baraka wala manufaa kw w2 ambao sio waislam tuangalie je ndio mwnendo wa mtume alikuw anaishi?na ndio namn alikuw anafny mahojiano ivyo!mnajivish kam w2 wa sunna lkn tabia sio nzur
HIZO NI NGUMI ZA NZIGE TU,
HAPO MNAMFURAHISHA IBILISI TU BASI.
NA NYIE WOTE HAPO NI WATU WAKE.
ولا تنازعوا فتفشلوا وتذهب ريحكم.
Yaani Kassimu ndio sheykh ila Barahiyan sio sheykh
,sheikh mafuta atajidu
@@aminaosman3315
Ndio ajibu basi
Hana hoja ust Kassim Mafuta
Awache Fitinah na Chuki
Ust Kassim Mafuta tafadhali wacha Fitinah na Chuki..
Jibu maswali ya Sheikh Muhammad Nassor Bachu kwanza.
Mbona unamkimbiya ?
Huna Hoja bali maneno mengi ambayo hayana Kichwa wala miguu
Bacho ajibiwe nini ?
@@AbrahamanSaidi-uf1dw
Hawa Majadida hawana mpango kwani Sheikh Muhammad Nassor Bachu ni kiboko yao.
Ust Kassim Mafuta ndio ajibu kitabu cha Dr Islam.
Wamepata Aibu kubwa hawa Majadida.
Kumbe Bacho naye sheikh hata neno lugha yenyewe mtihani
@@farajimtana123ila inaonekana kwa lugha ww uko vizuri sanaa maalim
😂😂😂😂 eti bachu
WACHENI KUTUMIKA KWANI MNAGOMBANIA NINI
Tunajuaje kuwa hao wameshushwa?
Maana hata wewe shekh qasimu mafuta ilikuwa ukija mikoani huku watu kibao na moray kuwa shekh la kisalafy limekuja
Ila sasahivi watu hawana hamasa ile, vipi nawe umedondoshwa?😂😂😂😂😂
Wewe mnafiki mkubwa mafuta salafiya jadidah kibaraka wa serekari ya Tanzania 🇹🇿
Jasusi mkubwa
Allah awangamize majasusi
Wewe qassimu mafuta sheikh abuu muawiya rahimahullah alikuhitaji Sanaa mufanye munaqasha kijana ulipoona ngoma nzito Ukatoka mbiooo
Yani shekh kasimu ni mafuta alafu abu muawiya ni shekh sio
Kusema kwako kutoka mbio ni madai yako tu
@@mengihashimu1081 a wapi shekh abuu muawiya alikuwa mwiba wa koo kwa nyie maswaafiqa
@@mengihashimu1081 Kama yeye ni kidume mbona alikataa mdahaloo?? Kwel nyie mahadadiya muna taasub
Mafuta amuogopa shkh Muhammad bachu ndio mana hamtaji
Na ndio mana maswali ya shk Muhammad bachu ni magumu kwa mafuta hayajibiki
Majadida mmepinda sana hamna hoja
,afate nini ? ,
Hivi Sheikh Qassim Mafuta Na Barahiyan wanazungumza kweli? Sema Sheikh Qassim Wallah namdhania kuwa mtu wa khery na in shaa Allah one day ntafanya ziara nikamuone Na kumsalimia nkipata fursa.Naomba kujua pia Dr.Islam alifuatwa private kulinganiwa da'awatussalafiyyah?
Ndio alifatwa na kuandikiwa barua mbali.mbali
@@AbdulbasitAkida-ui2du then akaikataa da'awa? Mtihan sana
kwanza ajibu kitabu chapi cha radi alichotumiwa na tunataka ajibu Kwa vitabu hatuhitaji porojo
@@Hamis-ks1sy ndio, na kwa sababu amekataa ndio mana yupo kubainishwa sasa.
@@Hamis-ks1sy Yaah! Dr Islam ashawahi kunasihiwa privately kabsa na Abuu Haashim akishirikiana na Abul Fadhwil...!!! The same thing kwa Kishki, wote hao washanasihiwa! Akina Msellem woote, yan hakuna aliyeachwa! Ndo mana wakipinda wanaraddiwa hadharani...!!!
Hawwa hawqlinganii usalafi wanalingania chama chao hiko, ili uwe salafi ujiunge na chams chao hiko so dawq salafi kama wwnavyodai hakuanza yey mafuta, walianza watu kitambo yey anapiga natwari pale shamsia,tamta wakati huwo jisufi shekh barahyani analingania kitsbu na sunnah, marehemu nasoro bachu kitambo kwenye hiyo dawwa waisemayo wao japo mashekh wetu hawakufanya ria, ndo mjue hawa wametajwa na shekh uthaymeen kataja dalili zao, fatuwwva hizo shekh kawataja wao kila dalili wanayo kuthibitisha ndo kile kikundi alicho kitahadharisha shekh wanawatoa watu katika sunnah na kuwatia upotevuni dalili nyingi shekh kaelezea meisho kadai hawoo so masalafi kituu. Et mnadai watu wwlingania dawq salafiya daww hiyo wametangulia shekh zetu kuwaita watu katika tawheed na kupunga bidaah na kukataza shirki, ndo ujue hili kundi ni la fitna tupu wanadai et wao ndo walienda kumlingania hii dawq marehemu nasoro bachu subuhana llah!! Sifa yao hawa ni urongo na hiyana, shekh anafanya dawa toka miaka 80 huko analingania kitabu na sunnah sasa usalafi upi na dawa ipi wanayotaka wao labda dawwa ya uchawi lakini kama ahlsunnah ni kitabu na sunnah kitsmbo marehemu nasoro bachu anafanya hiyo dawa wwngine hswajazaliwa waliozaliwa wanapiga maulid na khitima. Ndomana nasema haww wanslingania chama so daawa wasemayo wao fujo zote hizo wanakutaka ufate kikundi chao so mtume na maswahaba ahaahaha😂😂 daah tusomeshe watoto usalafi wa kweli mans mtihani kweli
POLE SAANA NDUGU YANGU...MAANA WEWE NAKUONEA HURUMA HAHAHAAAA
@@abouswaleh7375 😂😂😂😂 ameritad?
@@abouswaleh7375 jionee huruma ww ulovamia vikundi vinavyodhulumu watu pasipo hakki ukaona ndo manh hajji kumbe ujinga tuuh
@@abouswaleh7375 chama chenu hiko kinaitikadi za kikhawariji kasoro wale wanauwa ndo tofauti hapo Ila itikadi ya kuwakufurisha waislamu na kuwatoa katika dini hiyo mpo nao sawa tuuh
@@AbdulIssa-o7e kwani wewe ushawishi kujiunga , au mwenye kadi za uanachama siyo barahiyani na genge lake aliye tofauti na yy sio mwana sunna