UTATA KUHUSU NENO LA AUDHBILA MINNA SAYTWANI RAJIYM KUWEPO KATIKA QURAN MILION 5 ZILIWEKWA JIBU LA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 лют 2025
  • #hudaonlinetv #news • UTATA KUHUSU NENO LA ...
  • Розваги

КОМЕНТАРІ • 46

  • @MaloHasani
    @MaloHasani 12 годин тому

    Hakuna Aya inayosema audhubillah mina shaitwan rajiym ,,

  • @maftahmusa9513
    @maftahmusa9513 2 дні тому

    WEWE NAFIKIRI UNASIFA ZA KUPIGA RAMLI UNAUNGANISHA UNGANISHA VIPANDE VYA AYA KAMA WANAVYOUNGANISHA WAPIGA RAMLI KWA KUTUMIA QURAN BACHU KASEMA LETE AYA SIO KUUNGANISHA NENO HUKU NA HUKO LETA ANDIKO KAMA ILIVO BISMILLAHI KATIKA QURAAN NDIO DAI LA BACHU

  • @MaloHasani
    @MaloHasani 12 годин тому

    Malemba ukichukua kipande Cha Aya sura tofauti ukaunga ndo unahesabu Aya , iyo ni Aya Yako ,

  • @AzizaAziza-x1w
    @AzizaAziza-x1w 12 днів тому +1

    Muhammad bachu unafanya masihara na kur an unaificha haki unatetea batili muogope Allah kur an unaiknusha leo hii

    • @Mubarak-e6p
      @Mubarak-e6p 8 днів тому

      Wewe hujielewi. Lete Aya Moja kwa Moja أعوذبالله من الشيطان الرجيم. Leteni acheni khiyana.

  • @farishfarish258
    @farishfarish258 11 днів тому +1

    Bachu Allah akuongoze upo xahihi hayo maneno xio Aya huyu malemba ni msaniiii

  • @ramadhanihamisi3977
    @ramadhanihamisi3977 3 дні тому

    Jamani shekh Muhammad bacho kaleta ushahidi ktk vitabu vya wanazuoni watatu na ww tuletee hicho unachokisema unakisema kwa ufaham wa mwanazuoni gani ktk wanazuoni waliotangulia ?

  • @AzizaAziza-x1w
    @AzizaAziza-x1w 12 днів тому +1

    Bachu kumbe unachotafuta nikupazwa hayo maneno yote yamo ktk kur an leo hii unayakataa na kuna wimbi la wajnga wanakusapot Alla atusamehe kweli hakuna mkamilif

    • @kasimubangu1875
      @kasimubangu1875 7 днів тому

      Unatakiwa kwqnza uelewe mzozo upo wap we bidada

  • @سعيدعلىحسن-س3ظ
    @سعيدعلىحسن-س3ظ 6 днів тому

    Bachu ana uchache wa elimu

  • @somosomo4860
    @somosomo4860 11 днів тому

    Umelazimuishwa kuweka Audhubillaminasheytanirajim kabla ya kusema Basmala kulingana na Surah *_A-Nahli_***: Ayah ***_98_*
    فَإِذَا قَرَأۡتَ ٱلۡقُرۡءَانَ فَٱسۡتَعِذۡ بِٱللَّهِ مِنَ ٱلشَّيۡطَٰنِ ٱلرَّجِيمِ
    *Na ukisoma Qur’ani mwombe Mwenyezi Mungu akulinde na Shetani maluuni.*
    Usia shangaae kwani alisema iyo sio ayah akiwa amekataa Basmala sio Aya ambeye imeandikwa ameziona na anapinga.

  • @hassanmohamedabdalla4108
    @hassanmohamedabdalla4108 12 днів тому

    الحمد لله، والصلاة والسلام على رسول الله، وعلى آله وصحبه، أما بعد:
    فالاستعاذة ليست آية من القرآن الكريم باتفاق العلماء، قال القرطبي رحمه الله تعالى في تفسيره: ... أجمع العلماء على أن التعوذ ليس من القرآن ولا آية منه، وهو قول القارئ: أعوذ بالله من الشيطان الرجيم..

  • @samirrubeya2379
    @samirrubeya2379 13 днів тому +1

    Wacha UJINGA WA NDACHA KUUNGA UNAGA MA AYA...HAKUNA AYA SIO MANENO ...UMEAMBIWA AYA INAYO ANZA AUDHU BILLAHI MINASHEITWANI RAJEEN. KONDOO

  • @faisalmohamed727
    @faisalmohamed727 3 дні тому

    Acha ubishi ulichoulizwa umekielewa wabambanyq na kukata na kuunga ili upate utakacho, wagonjwa.

  • @IddiNkupe
    @IddiNkupe 12 днів тому

    Tatizoooo siyo aya hyo Aundubillahi minasheitwaanirrajiim syo aya bhana malemba

  • @omarbaabad2706
    @omarbaabad2706 12 днів тому

    Bachu na wapambe wake ni tatizo huyu lemba nimemuelewa sana

  • @سعيدعلىحسن-س3ظ
    @سعيدعلىحسن-س3ظ 6 днів тому

    Na kila anae msapoti hawana elimu wakasome

  • @hemedmohammed-e3t
    @hemedmohammed-e3t 13 днів тому

    allah kuinukuu kwa ujumla wake katika qur ani kama ni aya ni kujikinga yeye na sheitwani sisi tumeamrishwa tujikinge na sheitwani kwasababu ni adui kwetu allah hawezi kujikinga na sheitwani sababu ni kiumbe chake qur ani ni maneno ya allah kama angeinukuu kwa ujumla wake ni sawa na kujikinga allah na sheitwani au angeinukuu kama bismillahi kwa barua ya sule imani ingekuwa ni aya bismillahi ni aya sababu allah kainukuu kwa nabii suleimani bismillah imeshuka kwa ukamilifu kutoka lauhil mahfudh mpaka kwa mtume s;a;w hakuna tamko la aya ya audhu kwa ukamilifu kutoka lauhul mahfudh

  • @omarbaabad2706
    @omarbaabad2706 12 днів тому

    Huyu lemba anajua hata kama watamzihaki lakini Yuko sahihi Sana

  • @سعيدعلىحسن-س3ظ
    @سعيدعلىحسن-س3ظ 7 днів тому

    Bachu anakufuru sana watu wenye kuzuka hao mawahabi baadhi yao hawana adabu kabisa

  • @faisalmohamed727
    @faisalmohamed727 3 дні тому

    Hahaha 😅 pimbi atafuta umaarufu.

  • @HemedMasoud-b1q
    @HemedMasoud-b1q 12 днів тому

    Ajielewa lkn huyu malemba?😂😂

  • @hassanmohamedabdalla4108
    @hassanmohamedabdalla4108 12 днів тому

    Jibu su'ala ulioulizwa muhusu shehe wako matusi yalio toka kuwake

  • @YussufYussuf-w9m
    @YussufYussuf-w9m 12 днів тому

    Kwa hiyo ukisema Maryam Musa Adam hiyo Ni aya

    • @mzeerajab9154
      @mzeerajab9154 10 днів тому

      Kwani kuku si kuku na jogoo si kuku?Wacheni ushabiki hii dini si ya mashindano ya kimaskani

  • @jumasaidi3161
    @jumasaidi3161 7 днів тому

    Kumbe mpk uyachanganye ila so aya moja

  • @AbdallaMwagora-sm1rj
    @AbdallaMwagora-sm1rj 4 дні тому

    Bachu mropokaji asiwapotezer muda.

  • @ALLYHATIBU-b5y
    @ALLYHATIBU-b5y 12 днів тому

    Hizo ni aya mbili tofauti shekhe, yeye ametaka uainishe aya inayosema audhubillahi minashaitani rajiim moja kwa moja, bado huja jibu swali. Hakuna aya hiyo katika msaafu hilo ndo jibu sahihi hayo mengine ni maelezo tu

    • @AbdallaMwagora-sm1rj
      @AbdallaMwagora-sm1rj 4 дні тому

      BACHU ni mkufurishaji Hana elimu yoyote audhubillahi minasheytan rajym ni maneno yaliyotoka katika kinywa Cha mtume Muhammad ,na mwenye zimungu pia ametamka maneno hayo yametoka kwake na kuchezewa na akina homonize ni kufru ,Sasa BACHU Kwa kukosa elimu anatafuta umaarufu Kwa kupinga mashekhe.

    • @ALLYHATIBU-b5y
      @ALLYHATIBU-b5y 4 дні тому

      @AbdallaMwagora-sm1rj hoja hujibiwa kwa hoja, aya ilio andikwa audhubillahi minashaitani rajiim mojakwamoja ktk quran hakuna. Maswala ya audhubillahi minashaitani rajiim kutamka mtume au kuepo ktk mafundisho hiyo ni mada nyengine

  • @amadeomarsaide5023
    @amadeomarsaide5023 11 днів тому

    Wewe bado huja leta jibu. Hiyo aya tunasubiri usiungeunge Maneno

  • @سعيدعلىحسن-س3ظ
    @سعيدعلىحسن-س3ظ 7 днів тому

    Mi nawaambia bachu hekima hana man kila kitu kipo wazi

    • @HasaniSasi
      @HasaniSasi 5 днів тому

      Usijijtie hamnazo lete hiyo aya audhubillah mina shaytwan rrajim

  • @IssaKabelwa-zs2ct
    @IssaKabelwa-zs2ct 8 днів тому

    Kumbe mpaka uchanganye
    lete aya kamili inayo sema
    أعوذباالله من الشيطان الرجيم
    usiunganishe lete kwa ujumla
    sio uunge unge sio matamshi
    lete aya sio matamshi kijana
    unatupotezea muda
    tafuta kazi ufanye

  • @omarhaji751
    @omarhaji751 12 днів тому

    Ustadh achana nae bachu uyo cc wazanzibar watu km hawa huwa twawadharau

  • @AthmaniSuleiman
    @AthmaniSuleiman 12 днів тому

    Tafuta Aya nzima

  • @AsiaAsi-s3u
    @AsiaAsi-s3u 12 днів тому

    Kwaahiyo ni aya kwamba imeunganika mbaka mwisho?

  • @HemedMasoud-b1q
    @HemedMasoud-b1q 12 днів тому

    Sasa kwa staili Io ya kuunganisha maneno yanayopatikana ndani ya quran tunaweza kuunga aya nyingi sana😂

    • @jumafaki2891
      @jumafaki2891 12 днів тому

      ndivo ilivo qur,ani Aya zake zinaungana wenyewe Kwa wenyewe bachu hamna kitu hata kwenye Hadith Kuna hukumu inaitwa tadaaruji bachu hayafahamu hayo ndio maana huropokwa tu

    • @HemedMasoud-b1q
      @HemedMasoud-b1q 12 днів тому

      @jumafaki2891 umesikiliza vizur lkn NN kaongea huyo sheikh yaani aya ya qur an uchukue neno kwenye aya moja kisha uchukue neno jingine kwenye aya nyingine uyaunge kisha useme ni aya ndan ya qur an ? Jambo hilo hakuna katika uislam

  • @ayubutwalbu6594
    @ayubutwalbu6594 12 днів тому

    Bachu hana radhi ya mashekhe na akiendelea hivyo ataangamia

    • @TwahirBurhan
      @TwahirBurhan 12 днів тому

      Na wewe ni kama huyo Malemba

    • @TwahirBurhan
      @TwahirBurhan 12 днів тому

      Bachu alisema Audhu billaahi sio aya wewe ndio unakuwa ndumila kuwili tu

  • @HemedMasoud-b1q
    @HemedMasoud-b1q 12 днів тому

    Aya ya welding ya kuunga unga hakuna qur an hiyo

  • @samirrubeya2379
    @samirrubeya2379 13 днів тому

    Pimbi
    HUNA UJUALO ...MTUPUUUU....DEBE TUPU....ALI KAFIRI....UMEAMBIWA AUDHUU BILLAHI RAJEEM....
    TWAREGEA PALEPALE HAKUNA AYA INAYOA ANZA NA AUDHU BILLAHI RAJEEEEM....

    • @AhmadRibaat
      @AhmadRibaat 12 днів тому

      Shekhe muogope mungu, acha mihemko bacho kakufuru kisha Wewe unkurupka muogope allahu