Baba Olivia Episode 02//She turned 13 and BEGGED her Dad for the first time Party!!Single Dad story.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 тра 2024
  • #Gabozigamba au Author kwenye story, amekua akiamini kwamba hakuna haja ya kumfanyia mtoto sherehe ya kuzaliwa, Olivia binti yake wa pekee anamlilia baba yake akiomba kufanyiwa sherehe baada ya kutimiza miaka 13.Itikadi na imani za ki Africa zina msumbua nafsi baba yake.
    #Catalina au Mama tina anajikuta matatizoni baada ya kupuuzia ushauri wa mume wake wakiwa kwenye shuguli maalumu usiku.
    Karibu kuitazama tamthulia ya pekee Tanzania BABA OLIVIA.
    #henrymwakajumba
    ..................................................................................
    Gabozegamba, also known as Author in the story, has always believed there is no need to celebrate his child's birthday. However, his only daughter, Olivia, begs him for a party after turning 13. His African traditions and beliefs trouble his conscience.
    #Catalina, or Mama Tina, finds herself in trouble after ignoring her husband's advice during a special event at night.
    Tune in to watch the unique Tanzanian drama, BABA OLIVIA.
    #henrymwakajumba
    For business:
    mwakajumbafilms@gmail.com
    instagram: / henrymwakajumba
  • Фільми й анімація

КОМЕНТАРІ • 714

  • @NelsonManase
    @NelsonManase Місяць тому +92

    Gabo mtu serious kwenye move zake kama unakubliana na mimi gonga like

  • @homemadestory4871
    @homemadestory4871 Місяць тому +157

    Filamu kama hizi nchini Tanzania hua hazipewi nafasi kwa ukubwa na zikipewa upatikanaji wake hadi uwe na king'amuzi sjui tutaendelea lini jamani😢

    • @mussakatala
      @mussakatala Місяць тому +2

      Kwelii kk😢

    • @homemadestory4871
      @homemadestory4871 Місяць тому +2

      Huenda upande wa digital marketing hatujajipanga wao ndio wataalamu bana

    • @henrymwakajumba
      @henrymwakajumba  Місяць тому +25

      Kama umesha subscribe basi umefika nyumbani, vitamu vinakuja na tuna hitaji support yenu!! 🙏🏾🙏🏾🙏🏾

    • @homemadestory4871
      @homemadestory4871 Місяць тому

      @@henrymwakajumba litakua jambo jema kwasababu ishu ya kuacha kaz na kukaa ktk king'amuzi ni kazi nyingine hyo pia tisingependa kuona mkitoa kazi mna invest muda na pesa then tuangalie bure hatutoendelea natamani tupige hatua tufkie kudownload& kustream kama wenzetu

    • @MomaDedu
      @MomaDedu Місяць тому +3

      Yani wameweza sana

  • @bizzyjunior_tz
    @bizzyjunior_tz Місяць тому +64

    Toka Kanumba Aondoke Leo nimeona movie ya viwango kama vyake ....Gambo keep shining 🌟

    • @henrymwakajumba
      @henrymwakajumba  Місяць тому +1

      Asante sana, Shukran 🙏🏾🙏🏾

    • @michaelCmichael255
      @michaelCmichael255 5 днів тому

      Safri ya gwaru.... and so many more. Jamaa anajua kitambo. Ni upepo tu hakuukamata vizuri.

  • @amam2211-
    @amam2211- Місяць тому +23

    Baba olivya unajuwa sna Mungu hakusimamie kwa kila jmbo

  • @tropmedia8376
    @tropmedia8376 Місяць тому +25

    Kwa movie Hii sina cha kusema zaid ya respect for you all 🙌

  • @halimaamini8015
    @halimaamini8015 Місяць тому +20

    Huyu dada mwalimu mzuri jamani anataka kufanana na mke wa beka happy

  • @kelvinchadulaga310
    @kelvinchadulaga310 Місяць тому +24

    Olivia nimempenda anajiamin sana wooow😂😂😂😂❤

  • @georgejohn6070
    @georgejohn6070 Місяць тому +28

    Mwalimu ana jicho flani mashallah

  • @user-hn8un7yw8y
    @user-hn8un7yw8y Місяць тому +20

    Naomba mwendelezo wa hii series ni bonge kubwa la movie. Kama huna D mbili uwezi kuelewa

  • @rweyemamurweyemamu680
    @rweyemamurweyemamu680 Місяць тому +11

    Naomba sana sana huyu mtoto Olivia msimuache, she's very very talented naomba tafadhali endeleeni kumkuza

    • @henrymwakajumba
      @henrymwakajumba  Місяць тому

      Asante sana, Kuna kazi zake nyingine zinakuja usikae mbali🙏🏾

  • @eliassylvester8150
    @eliassylvester8150 Місяць тому +9

    Teacher wamoto sana ana macho ya kwendaa😋

  • @patricksamba6831
    @patricksamba6831 Місяць тому +12

    Movie nzuri Bora ila elimisha vizuri ila haijisha vizuri wetengeneze part 3

    • @henrymwakajumba
      @henrymwakajumba  Місяць тому

      Juma 3 part 3 itakua hewani,Subscribe ili usipitwe!

  • @samiuhassan8153
    @samiuhassan8153 Місяць тому +11

    Mbn movie kama ni nzuri hii au mnaonaje🥺🥺

  • @rubythebosslady8113
    @rubythebosslady8113 Місяць тому +10

    This is the best film..Mwandishi amefaulu…

  • @edwardouma1630
    @edwardouma1630 Місяць тому +21

    Asante Kaka nimejifunza kitu kidogo apa am from Nairobi Kenya 🇰🇪🙏

    • @henrymwakajumba
      @henrymwakajumba  Місяць тому

      Thanks so much for watching, please subscribe if you didn’t, 🙏🏾🙏🏾

  • @ommie_nyzer
    @ommie_nyzer Місяць тому +10

    Uyo teacher kiboko😍

  • @rizikladyherson8451
    @rizikladyherson8451 Місяць тому +72

    Ila mwalimu mzuri nyie❤❤❤

    • @henrymwakajumba
      @henrymwakajumba  Місяць тому +3

      Asante kwa kumpa Mauwa yake! ❤️🙏🏾🙏🏾

    • @samsifuni
      @samsifuni Місяць тому

      Nlijua nimeona mwenyewe

    • @ruppyphinna4809
      @ruppyphinna4809 Місяць тому

      Sana Masha'Allah ❤️❤️❤️

    • @shadrackmasigaTV
      @shadrackmasigaTV Місяць тому

      Kweli nimeona anashawishi san🔥

    • @MsodokiAli
      @MsodokiAli Місяць тому

      Uhaakika mwalimu ni kazuri san

  • @clemenciajuma2895
    @clemenciajuma2895 Місяць тому +10

    Mwalimu ni mzuriiiiii adi rahaaaaaaa ❤❤❤❤❤

  • @samuellasway
    @samuellasway 20 днів тому +4

    Filamu nzuri sana. Naomba jina la huo wimbo uliopigwa kwenye birthday party. Nimeupenda❤

  • @kidatokassim7616
    @kidatokassim7616 Місяць тому +12

    Mwalimu mwalimu .....kuna wanawake wameumbwa bana

  • @ALIMOHD-bk9lr
    @ALIMOHD-bk9lr Місяць тому +28

    Filamu hii tunaifahamu wale ambao tupo matured only

  • @user-dr1uk8hv3w
    @user-dr1uk8hv3w Місяць тому +17

    As a filmmaker hii tamthilia iko very cinematic 😮 unaweza cma aijaandaliwa na wabongo naifananisha na Tamthilia za kumekucha za kna john ribber , big up sana kazi ni kubwa naiona ikienda vairow

  • @YoungblackPeople-qf7vx
    @YoungblackPeople-qf7vx 13 днів тому +4

    Huyo mwalimuu huyoo umu owe❤

  • @alfredjoshua8625
    @alfredjoshua8625 Місяць тому +7

    Hii filamu ni nzuri sana ina mafunzo mengi sana ndani ya jamii yetu.

  • @uiptv365
    @uiptv365 Місяць тому +6

    Yaani walipoulizia cake iko wapi, aibu nilipata Mimi 😢😂😂🙌🏽, Ila Nimependa the way jerani wa mwanamke alivyosema “as long ni cake na mtoto yuko happy” that’s all matters 💪🏾🙌🏽❤️💯
    Kila week Kama mbali 🙈😂, ebu fanyeni twice a week

  • @christinamgeni9228
    @christinamgeni9228 14 днів тому +3

    Mwalimu ni mzurii jamni gwaa apate tano zakee

  • @renatusmwanakatwe-gl9xb
    @renatusmwanakatwe-gl9xb Місяць тому +5

    Kuna cha kujifunza hapa hakika penda saana Gabo hakuna mtu akaanngalia filamu hii akachukizwa.

    • @henrymwakajumba
      @henrymwakajumba  Місяць тому +1

      Asante sana, Tafadhali share na kwa wadau pia!🙏🏾

  • @Tinga_Tinga_Makonde
    @Tinga_Tinga_Makonde Місяць тому +7

    King Makonde from Mozambique 🇲🇿 I love this movie

  • @ZulphaMkwizu
    @ZulphaMkwizu Місяць тому +5

    Bonge la combo,...Gabo na Dude this people wanajua bana🎉🎉

  • @yusufsuwi5350
    @yusufsuwi5350 Місяць тому +5

    Kiukweli hz ndo filamu angalau zinaweza kufika kimataifa
    Changamoto niloiyona kubwa
    Wahusika Yan inaonesha waz ni maigizo maana wamejitenga sn hasa filamu imeigizwa ktk eneo finyu
    Tamthilia inapendeza kuwe na watu wengine hata km wawe wanapita tu

    • @henrymwakajumba
      @henrymwakajumba  Місяць тому +1

      Asante sna kwa mchango wako! Tutalifanyia kazi! 🙏🏾🙏🏾

    • @maulidstondo2770
      @maulidstondo2770 Місяць тому +1

      Ila sio kila Tamthilia iwe na lundo LA wasanii, kikubwa ni dhamir tuu

  • @RizikiZiki
    @RizikiZiki Місяць тому +5

    Olivia 😂😂😂kana cekesha ujuwe eti barua ingekua ndefu ingenoga mtoto uyo anaweza Masha Allah ❤

  • @shadrackmasigaTV
    @shadrackmasigaTV Місяць тому +7

    Mwalimu anashawishi Roho ❤🔥🔥🔥🔥🔥 number ya kiatu tuma ahahahahahahahhaha

  • @henrymwakajumba
    @henrymwakajumba  Місяць тому +4

    Habari! umejifunza nini kwenye hii tamthilia? Dondosha maoni yako na usisahau kusubscribe Asante! 🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾

    • @user-pz8vz2tq2u
      @user-pz8vz2tq2u 10 днів тому

      Single dad's wote tuwaheshimu na tunawapenda pia❤

  • @WilliamsBIRIKURE
    @WilliamsBIRIKURE Місяць тому +9

    Majilani kama Hao bola mtu awakose kbsaaaaaaa ila tunapaswa kufanya kma bba Olivia ❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @user-ys2tv8pv7u
    @user-ys2tv8pv7u Місяць тому +2

    It's so great bro acha Wengine tutafute pesa ndipo tuingie kwenye filamu

  • @drisakamwakitalima1937
    @drisakamwakitalima1937 Місяць тому +23

    Hadi mwaka wa kuzaliwa kumbe una long story na hamsemi😂

  • @user-xl5ze7yr2v
    @user-xl5ze7yr2v Місяць тому +6

    Filamu ime chukua mazingira ya uwalisia gabo ana jua

  • @AllyWaziri-g3s
    @AllyWaziri-g3s 16 днів тому +2

    Pachawangu Gabo ulivyo silias naukicheka tunasanana mpaka lafuzi matamsh ufikiliaji kuamua❤❤❤❤❤

  • @NoorEesa
    @NoorEesa Місяць тому +5

    The song please very nice inaitwaje😂😂😂😂na hiyo kulia ya mke wa jirani😅😅😅😅

  • @user-yf2ht3li9t
    @user-yf2ht3li9t Місяць тому +6

    Aiseeeee ni bonge moja ya move inafundisha na inachekesha keep it up bro 💪

    • @henrymwakajumba
      @henrymwakajumba  Місяць тому

      Asante sana, Subscribe ili usipitwe na mwendelezo!

  • @violethmushy-zs2qy
    @violethmushy-zs2qy Місяць тому +2

    Asa ndy imeishaje hv jmn atoe part 3 ..bhn wabongo ndy wanafeligi apo tu

    • @henrymwakajumba
      @henrymwakajumba  Місяць тому

      Hapana haijaisha, hii ni Tamthilia inaendelea mpaka utachoka! Juma 3 episode ya 3 itakua hewani subscribe usipitwe!

  • @BenjaminMetanyau
    @BenjaminMetanyau Місяць тому +11

    Hii movie nzuri san hakika nimepiga salute🤜🤛

  • @user-cf3nx4vc7k
    @user-cf3nx4vc7k Місяць тому +2

    Gabo my men favorite actor since.....

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 Місяць тому +3

    Ahsante sana nime jifunza. Kitu kidogo ila mtoto kafurah uyo🎉🎉

    • @Mary-ug6oc
      @Mary-ug6oc 23 дні тому

      Kweli hata Mimi nimejifunza

  • @user-zj3oh4xn9j
    @user-zj3oh4xn9j Місяць тому +5

    Nimechek saaan oliva avyowatishia kwamb uyo mtu amekufa yaan kila mtu mbiooo😂😂😅

  • @user-pp9vz1kv9x
    @user-pp9vz1kv9x Місяць тому +5

    olivia lazima aje kubeba tuzo huyu🙌

  • @revocatuspeter-ky4gx
    @revocatuspeter-ky4gx Місяць тому +1

    Kiukweli Tangu kanumba atangulie mbele za haki nlikata mkataba kabsa na BONGO MOVIE but LEO sababu ya GABO ❤️❤️💯💯💯💥💥♥️💌💌

  • @m.mmarckus6298
    @m.mmarckus6298 Місяць тому +7

    Katarina comedy.alafu mwanao aweke video mtandaoni😂😂😂

  • @shalooboyburundi
    @shalooboyburundi Місяць тому +6

    ayis zuri firamu nimeyipeda

  • @MREVENTPLANNER-gy4di
    @MREVENTPLANNER-gy4di Місяць тому +2

    Director umejuwaa kuipikaa hii kazii 🎉🎉🎉🎉

  • @hadijaamini
    @hadijaamini Місяць тому +33

    Nimependa mwenyekiti alivyonyamazishwa na pande la cake 😂😂😂😂😂

    • @henrymwakajumba
      @henrymwakajumba  Місяць тому

      😅😅 msosi ndio kila kitu!

    • @NoorEesa
      @NoorEesa Місяць тому

      😂😂😂😂😂😂😂

    • @RizikiZiki
      @RizikiZiki Місяць тому +1

      😂😂😂 nakwambiya weaca tu

    • @beautifulafrica6886
      @beautifulafrica6886 Місяць тому

      🤣😂🤣😂🤣😂🤣😂💞💞💞💞

  • @rukiasaid9130
    @rukiasaid9130 Місяць тому +3

    sema aka katoto olivia kaigizaji safi sana ,,mungu asimama mbele yake

    • @henrymwakajumba
      @henrymwakajumba  Місяць тому

      Asantee kwa mauwa 🙏🏾🙏🏾❤️❤️

    • @sylviaoum2943
      @sylviaoum2943 Місяць тому

      Yupo vizuri sana... very bright n confident

  • @user-ov7ge3ci6f
    @user-ov7ge3ci6f Місяць тому +3

    Utulivu mzul sauti njo angani anga ni jeupe salama kutoka kahama

  • @ThomasMayungaCharles
    @ThomasMayungaCharles Місяць тому +2

    Movie ipo vizuri sana kongole kwa atunzi na hii pratform kutuletea movie bora❤❤❤❤

    • @henrymwakajumba
      @henrymwakajumba  Місяць тому

      Asante sana kwa kuangalia! Utusaidie kushare kwa wengine na ku subscribe kama bado 🙏🏾🙏🏾

  • @hassanihussein2731
    @hassanihussein2731 Місяць тому +4

    Uyo Olivia kabisa sasa 🙌🙌🙌👏👏👏👏

  • @salimNdendya
    @salimNdendya Місяць тому +3

    Movie nzuri sana

  • @AbdulyWalker-ei2xl
    @AbdulyWalker-ei2xl 5 днів тому

    Yaani zile chanel za azam tv wangechukua azam two na sinema zetu wangeweka hizi tamthilia nadhani tungefika maahala fulani hiv mashallah lakini wanaweka za za kutuluk tu wakina mama kimbo wanamafundisho gani kwenye jamii

  • @omaryshabandaud5235
    @omaryshabandaud5235 Місяць тому +4

    Dah inakua siku nzur kwangu

  • @YoungLutta
    @YoungLutta Місяць тому +3

    Huyu mama akilewa analiaa daaaaah kama shangazi2

  • @tilaboymatata3411
    @tilaboymatata3411 24 дні тому +2

    Mmmh move kalii iiase gabo mwsmba sana

  • @AmiriMchikirwa
    @AmiriMchikirwa Місяць тому +4

    Jirani anaendesha Passo

  • @user-dg9js4cb7e
    @user-dg9js4cb7e Місяць тому +2

    Kazi nzuri, mwalimu mzuri hadi natamani nirudi shule

  • @MwanumaHaji
    @MwanumaHaji Місяць тому +4

    Huyu mwalim dah had natamni kumjuwa

  • @user-zc1sy7ls3n
    @user-zc1sy7ls3n Місяць тому +1

    The teacher is beautiful

  • @user-hx7iv3ne6l
    @user-hx7iv3ne6l Місяць тому +4

    Zigamba ma mwanao mmecheza asee nimewapenda bure

    • @henrymwakajumba
      @henrymwakajumba  Місяць тому

      Asante sana, usisahau ku subscribe basi?🙏🏾🙏🏾

  • @Tuyisengejeanjoyeux
    @Tuyisengejeanjoyeux Місяць тому +5

    Bwana gabo mimi nakupenda Sana hakuna muigizaji east Africa kama ww mimi from burundi nakuangalia sana

  • @zenamwasekaga7460
    @zenamwasekaga7460 Місяць тому +7

    Nzuri sana tunaomba uwe unatuwahishia basi

    • @henrymwakajumba
      @henrymwakajumba  Місяць тому +2

      Asante sana kila juma tatu itakua hewani, share link kwa uwapendao!!🙏🏾🙏🏾

    • @Shine-minutes
      @Shine-minutes Місяць тому

      Mkuu kwani haiwezi kutoka mara mbili Kwa wiki boss​@@henrymwakajumba

  • @user-fy3zy6wc2q
    @user-fy3zy6wc2q Місяць тому +4

    Mwalimu mzuri jamani❤🎉❤🎉❤🎉

  • @user-pp9vz1kv9x
    @user-pp9vz1kv9x Місяць тому +3

    Nasubiri tu siku Gabo amuoe uyo mwalimu😅

  • @hamzaibrahimu
    @hamzaibrahimu Місяць тому +3

    Da😮nilikua nimezisaliti Bongo movie lakini sasa kwa hii nimerudi lasmi 🎉🎉🎉🎉

  • @PhynolThinker
    @PhynolThinker Місяць тому +5

    Nice flam with nice man🎉

  • @stevenlugojeremia2323
    @stevenlugojeremia2323 7 днів тому

    Nimetokea Kumpenda huyu mwalimu maana ni mzuri kinoma ❤❤

  • @marialumbanga
    @marialumbanga Місяць тому +3

    Hako katoto ka gambo kapo vizur ❤❤

  • @mashauri.014
    @mashauri.014 24 дні тому +2

    Nime ipenda Sana hii, filamu ❤❤❤❤

  • @user-so6md6rm2w
    @user-so6md6rm2w Місяць тому +4

    Jamn nisiwe mnafuki mwalimu ni mzuri haki

  • @gerryjusty6594
    @gerryjusty6594 Місяць тому +6

    Huyu dogo anajua kuigiza aiseee

    • @henrymwakajumba
      @henrymwakajumba  Місяць тому +2

      Ungependa kuona behind the scenes zake akiigiza??

    • @faudhiasalum7279
      @faudhiasalum7279 Місяць тому

      ​@@henrymwakajumbandio ana juwa sana 😂nime mpenda sana

  • @AthanasMhangavi-vb1cs
    @AthanasMhangavi-vb1cs Місяць тому +5

    Ipo vizur aisee🎉🎉🎉

    • @henrymwakajumba
      @henrymwakajumba  Місяць тому +1

      Shukran sana, share na uwapendao nao waenjoy utamu!

  • @selestinimbezi7345
    @selestinimbezi7345 Місяць тому +3

    Oliva kacheza vizuri sana

    • @henrymwakajumba
      @henrymwakajumba  Місяць тому

      Asante sana, Usisahau ku subscribe ndugu! 🙏🏾🙏🏾

  • @peterathanasy6765
    @peterathanasy6765 Місяць тому +1

    We are waiting for party 3 Mr Gabo Zigamba 👏

    • @henrymwakajumba
      @henrymwakajumba  Місяць тому

      Early this Monday Subscribe so you don’t miss anything! 🙏🏾🙏🏾

  • @silasila3111
    @silasila3111 Місяць тому +1

    Ime bidi niifate nikiwa nime lala kwa umakini 😂😂🔥 gabo mzee wangu ❤❤

  • @PascalwaprinceBitha
    @PascalwaprinceBitha Місяць тому +1

    Nikitambo sana natafutaka iiyi compte yako,kazi nzuri kweli 🎉

    • @henrymwakajumba
      @henrymwakajumba  Місяць тому

      Basi umesha fika nyumbani! Subscribe usipitwe zinazokuja!🙏🏾🙏🏾

  • @user-gw9gv6vp8i
    @user-gw9gv6vp8i Місяць тому +4

    Kuna kitu kati ya baba olivia na mawalimu

  • @user-cr6vj7yu2b
    @user-cr6vj7yu2b Місяць тому +1

    Jaman teacher more Than beautiful

  • @salumhassan4309
    @salumhassan4309 Місяць тому +1

    Mwalimu mzuri sana mrembo Fulani ivi

  • @EstherNelson-rc9ks
    @EstherNelson-rc9ks Місяць тому +4

    Ni nzuriii mmetisha❤

  • @Jay_Y_Charles
    @Jay_Y_Charles Місяць тому +1

    Yaani for the talent you have it, even how to manage story upo vizurii sana 💯, it's my first time but i like it pull up... Bado unaweza ila kama ulipotea kwa game but am sure you go to make unbelievable things in bongo movie.. Izi vitu tulizoea kuonaa mbele.

  • @felicianfrancis9895
    @felicianfrancis9895 Місяць тому +2

    Good movie. Hongera zenu na naamini mwendelezo utakuwa mzuri zaidi. Never disappoint

    • @henrymwakajumba
      @henrymwakajumba  Місяць тому +1

      Asante sana, Mwendelezo ni 🔥🔥🔥🔥 usikae mbali!

  • @SmartVicenzo
    @SmartVicenzo Місяць тому +2

    Waigiza kama Awa ndo tunawaitaji bongo

    • @henrymwakajumba
      @henrymwakajumba  Місяць тому

      Umependa nini hasa kama huto jali kushare? 🙏🏾🙏🏾

  • @user-xn3hu1ef4w
    @user-xn3hu1ef4w Місяць тому +4

    Kazi nzuri mnooo❤😊

  • @NatureMw155
    @NatureMw155 Місяць тому +4

    Uyo mtoto anaweza❤

  • @greennationmedia7987
    @greennationmedia7987 18 годин тому +1

    Hatari hii Bro upo viwango Vingine

  • @jamesngocho1356
    @jamesngocho1356 Місяць тому +1

    Please next episode na ikiwezekana weka hata tano please

    • @henrymwakajumba
      @henrymwakajumba  Місяць тому +1

      Subscribe usipitwe kila Juma 3 Episode mpya!

  • @omitakikoti3645
    @omitakikoti3645 5 днів тому +1

    Mwl mzuri ana sifa zote za mke wangu

  • @user-pp9vz1kv9x
    @user-pp9vz1kv9x Місяць тому +1

    yaan hii kitu inanifurahishaga tu😅uyo dogo wa kiume mjuaji sana😅majirani wanavyojibizana ni raha tupu

  • @charlessweetberth4836
    @charlessweetberth4836 Місяць тому +3

    Naombeni jina la mwalim wa olivia 😊😊

  • @PaulinaMlanga-tr9nt
    @PaulinaMlanga-tr9nt Місяць тому +2

    Hzi pombe jamani .....nmecheka sana ...akilewa analia ,alafu Amelia kweli 🤣🤣🤣

    • @henrymwakajumba
      @henrymwakajumba  Місяць тому

      😅😅😅 siku yako ya kwanza kuonja ili kuwaje??

  • @bennywalase1434
    @bennywalase1434 Місяць тому +4

    Kaka GABO Asante Sana ❤❤❤❤❤

  • @user-lw7ut4qe2y
    @user-lw7ut4qe2y Місяць тому +2

    Kazi nzuri sana ❤

  • @fadhilmandaliabdalla6736
    @fadhilmandaliabdalla6736 Місяць тому +1

    Best 👌 movie 🎬 MashaAllah, tunatarajia mwendelezo mzuri inshaallah

    • @henrymwakajumba
      @henrymwakajumba  Місяць тому

      Asante sana! Tafadhali subscribe kama bado! 🙏🏾🙏🏾

  • @gabagambi
    @gabagambi Місяць тому +12

    Jitahidini kutokuchanganya Kingereza kwenye maongezi Kiswahili ni lugha tajiri

    • @henrymwakajumba
      @henrymwakajumba  Місяць тому +2

      Asante Sana 🙏🏾

    • @Ummuuthaymeen-wk7zc
      @Ummuuthaymeen-wk7zc Місяць тому

      Uwongo kiswahili ni luga maskini

    • @JescaVicent-jo7sj
      @JescaVicent-jo7sj Місяць тому

      😅😅😅😅😂😂 why between my interview u passing around ​@Ummuuthaymeen-wk7zc

    • @salumuhafidhimtabe420
      @salumuhafidhimtabe420 Місяць тому +1

      Kwa Dunia ya sasa ni ngumu kuepuka kingereza kwa mamna yoyote.... ukitaka kuamini badili lugha kwenye simu yako iwe kiswahili

    • @nasrahgdjuma930
      @nasrahgdjuma930 Місяць тому

      @@Ummuuthaymeen-wk7zcwho told you that? Labda kama hujui wewe lugha sema