Happiness Takes Over Single Father's Daughter Inspires Village//Baba Olivia Ep 09

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 лип 2024
  • #gabozigamba #BabaOlivia#Olivia #bongomovie
    Katika kipindi hiki cha kusisimua cha Baba Olivia TV, upendo wa baba mmoja kwa binti yake unasababisha wimbi la furaha ambalo linaunganisha kijiji kizima. Shuhudia jinsi uhusiano wao wenye nguvu unavyohamasisha jamii kuungana pamoja, na kuunda sherehe ya furaha na umoja.
    Baada ya Olivia kufukuzwa kanisani kwa kusimamia msimamo wake kwenye tamthilia aliyoibuni kwa shauku, anafanya uamuzi wa kijasiri. Badala ya kukata tamaa, anachukua tamthilia yake hadi katikati ya kijiji, akiwaalika wote kujiunga na kufurahia onyesho hilo.
    Katikati ya sherehe hizi, ndoto za Olivia na marafiki zake zinakuwa jukumu la pamoja kwa kila mtu, ikionyesha nguvu ya umoja na juhudi za pamoja. Hadithi hii ya kugusa moyo ni ushuhuda wa jinsi upendo, uthabiti, na roho ya jamii vinavyoweza kushinda vikwazo vyovyote na kuleta furaha ya kudumu.
    .................................................................................................................................
    In this uplifting episode of Baba Olivia TV, a single father's love for his daughter sparks a wave of happiness that unites the entire village. Witness how their strong bond inspires the community to come together, creating a celebration of joy and togetherness.
    After Olivia is unjustly kicked out of the church for standing her ground on a stage play she passionately created, she makes a brave decision. Instead of giving up, she takes her play to the heart of the village, inviting everyone to join in and enjoy the performance.
    Amidst the festivities, Olivia and her friends' dreams become a shared mission for everyone, showcasing the power of unity and collective effort. This heartwarming story is a testament to how love, determination, and community spirit can overcome any obstacle and bring about lasting happiness.
    For business:
    mwakajumbafilms@gmail.com
    / henrymwakajumba
    #BusinessTips #FatherDaughterDuo #Entrepreneurship #SmallBusiness #Gabozigamba #BabaOlivia #BusinessLessons #Inspiration #FamilyBusiness #motivation
  • Фільми й анімація

КОМЕНТАРІ • 759

  • @HamicyAthuman
    @HamicyAthuman 22 дні тому +57

    Ngoma ndio inazidi kua tamu yani hapa nime subscribe pia nime turn on notification mkiweka tu nipo. Jmani Like za kutosha🎉🎉🎉🎉

    • @henrymwakajumba
      @henrymwakajumba  21 день тому +6

      Nakweli hapa mambo yana noga si mchezo zijazo zamotot sana

    • @AluluYankami-cc7xt
      @AluluYankami-cc7xt 19 днів тому

      Fanyin kwel EP ya 10

    • @HamicyAthuman
      @HamicyAthuman 19 днів тому +2

      Shimo la Jirani ni zuri alafu laini hako kamsamiati nimekaelewa

    • @AyshaTt-zp7yu
      @AyshaTt-zp7yu 19 днів тому

      😅😅😅😅😅

    • @EdgarZawadi-dz4fn
      @EdgarZawadi-dz4fn 16 днів тому

      @@henrymwakajumbasamaaan director hii movie mazingira ni ya moshi nimeyapendaa❤❤❤❤

  • @BarakaIssa-m5s
    @BarakaIssa-m5s 22 дні тому +106

    Jamani mimi mgeni kuomba like bas hata moja tu inatosha

  • @NasilaStylish
    @NasilaStylish 15 днів тому +8

    Jamani olivia anakipaji jaman yani anaonesha uhalisia kwanzia vitendo mpaka maneno yan mpaka laha yani utazan ni babaake kweli🥰🥰

  • @soumah_bajaji_body_disegner
    @soumah_bajaji_body_disegner 22 дні тому +50

    waungwana ote tunao uelewa uepo wa gabo katika filamu tz tu juane apa😂😂

  • @nguyamtwartz5413
    @nguyamtwartz5413 22 дні тому +28

    Ka Olivia kameunganisha waya kaona baba atachelewa😂😂

  • @OmaryKingo-hr7kw
    @OmaryKingo-hr7kw 22 дні тому +126

    Wakwanza mimi 😂😂leoooo na msicoment coment yangu wala msi like😂😂😂

  • @MagaoKingojoKingojo-fr9vo
    @MagaoKingojoKingojo-fr9vo 22 дні тому +24

    Jamani kwahio tuzo zimepita ama maana hii inahitaji tuzo kiukweli ❤️🥰🥰🙏🙏

    • @henrymwakajumba
      @henrymwakajumba  21 день тому +2

      ❤️❤️❤️❤️❤️

    • @vumiliarichard9347
      @vumiliarichard9347 16 днів тому

      ​@@henrymwakajumbaepisode ya 10 inatok Lin jamn au mm ndo siioni

  • @selemanseed2476
    @selemanseed2476 17 днів тому +5

    GABO na KANUMBA ndio waigizaji nnaowatambua Tanzania miaka 60 ya uhuru..🇹🇿🙌🏼

  • @user-xu2kh2xu2e
    @user-xu2kh2xu2e 12 днів тому +3

    jamn mimi ni mgeni ila sio sana naombeni hata like moja tuui

  • @FATHMA-ef5zg
    @FATHMA-ef5zg 21 день тому +4

    Mwalimu sio kwa kudeka huko mbele ya baba olivia nawapenda kiukweli😍♥️💝

  • @user-mm4ut9yp2w
    @user-mm4ut9yp2w 22 дні тому +12

    Shimo kama shimo walio elewa tukutane kwenye comments😂😂😂😂 bila D mbili huwezi elewa

  • @ukhtymwana40
    @ukhtymwana40 22 дні тому +36

    Team strong wakwanza wenu leo 🎉🎉 nawapenda sana wana gulf

  • @chrstopher4598
    @chrstopher4598 22 дні тому +27

    Olivia Mungu akupe maisha marefu unakitu kikubwa🫶🫶🫶🫶🫶🫶🫶🤣

  • @NaziaMudi
    @NaziaMudi 22 дні тому +12

    Nizuri ila mnatupa wakati mgumu wakusubiria wiki nzima jamani tupeni ata kwa wiki malambili ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

    • @ZainabSalum-tv2mu
      @ZainabSalum-tv2mu 22 дні тому

      Umeona eee bora wangekua wanatoa Kila baada ya siku kadhaa au Kila siku

  • @MSWAKIMSWAKI
    @MSWAKIMSWAKI 22 дні тому +10

    Bora mwaya Olivia ulivyo mwambia baba maana mwalimu wawatu kila anavyojitahidi baba anajifanya haoni 😄..kama unamjua mtaje 😜

  • @yussufshaaban9417
    @yussufshaaban9417 22 дні тому +23

    Kuna w2 watasema wao wa mwanzo 🎉

  • @JamalHamidu-h2x
    @JamalHamidu-h2x 22 дні тому +7

    I have never commented before but due to Olivia talent I have to salute for. Bravo

  • @ALIMOHD-bk9lr
    @ALIMOHD-bk9lr 22 дні тому +8

    Mie na mwalimu tuu kiukweli. Shukriya Gabo kiukweli huyo mwalimu Bora basi tuuuuu

  • @almaarifonlinetv
    @almaarifonlinetv 22 дні тому +6

    Gabo huyu mtoto Oliva usimuache. Kijana ana confident na uwezo mkubwa sana. Mtoto anajua nini anatakiwa kufanya.

  • @KendrickShaban
    @KendrickShaban 22 дні тому +6

    We mtu kaitwa achimbe shimo la Janet eti yye kaenda kuchimba arthi🤣🤣🤣

  • @retiekadarling992
    @retiekadarling992 22 дні тому +7

    Like nayo ni kitu ya kumnyima mtu kweliiii 😅😅😅

  • @bettykihwele7713
    @bettykihwele7713 22 дні тому +24

    Baba Olivia ,filamu yenye uhalisia kabisa wa maisha ya Africa .

  • @Masterfeda
    @Masterfeda 22 дні тому +12

    Bonge la movie inafunza sana sana😊😊😊

  • @user-eo1qy1zh7r
    @user-eo1qy1zh7r 22 дні тому +42

    Movie nzuri sana leo nimewah namimi like kwangu🎉🎉🎉❤❤😂😢😮😅😊

    • @Magrethw-xp4ru
      @Magrethw-xp4ru 22 дні тому

      Ha😂😂😂😂😂😂 goba umetishaaa na shuka umechukua ya mwalimu wowoowow😂🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪

  • @jumaaabdillahi4534
    @jumaaabdillahi4534 22 дні тому +9

    Mwalimu umzuri Masha ALLAH

    • @jumaaabdillahi4534
      @jumaaabdillahi4534 22 дні тому

      Alafu Olivia uko swa na wenzako ila ww Zaidi
      Alafu baba Olivia na Mwalimu mupendane banaa muanze maisha na Olivia wenu

  • @user-jg3ph3ht2d
    @user-jg3ph3ht2d 22 дні тому +5

    Wakenya tupo wangapi huku😂.... anyways good show watching from 🇦🇪🇦🇪

  • @ringstone5388
    @ringstone5388 20 днів тому +2

    Dah!!!! Aiseee kwenye movie hii kuna vya kujifunza vingi sana Baba Oliva Mungu akubariki sana🙏🙏🙏

  • @Bonykarupat
    @Bonykarupat 22 дні тому +7

    Si wanawake wote wako na tabia mbaya babake olivia,Olivia asha kujibu😅😅

  • @phibiojaxbrand
    @phibiojaxbrand 22 дні тому +7

    Think i just became the number 1 fame of this series

  • @fedrickmichael5970
    @fedrickmichael5970 22 дні тому +20

    Neno kwa Olivia jaman

  • @wisemusic2
    @wisemusic2 7 днів тому +1

    huyu mwalimu mzuri kinyama yani daah nimekupenda bure teacher janeth..😂 ila shimo mnaloliongelea sasa duuuh😅😅

  • @LydiaErnest-j1b
    @LydiaErnest-j1b 22 дні тому +5

    Leo Olivia kajua kumuchana baba anajifanya haelew❤

  • @keviBoy-d7k
    @keviBoy-d7k 22 дні тому +17

    wakwanza hapana kutokea Tz

  • @NuruKapinga-nt7wm
    @NuruKapinga-nt7wm 22 дні тому +6

    Olivia anajua sana me kosekana mm tuh humo move ingewashangaza 😂 anyway ngojaa niendelee kuota

  • @magnibrondi3152
    @magnibrondi3152 9 днів тому

    Kazi nzuri sana baba Olivia yani naelimika sana

  • @iddymsulwafurniture6589
    @iddymsulwafurniture6589 19 днів тому +1

    olivia umetisha knomaaa..mzee zigamba hongera kwa kumlea vyema olivia🎉🎉❤

  • @TumaAmin
    @TumaAmin 22 дні тому +6

    Sawa nimecjelewa ila kama kawa like zije au sio 😂

  • @OctaviusJoseph
    @OctaviusJoseph 5 днів тому +1

    Madamu damu alie helewa gonga like apa😂

  • @elishabrand9625
    @elishabrand9625 22 дні тому +11

    We @henly mwakajumba Nataka kuchimba shimo la madam

  • @albinishirima6981
    @albinishirima6981 10 днів тому

    Aise mnafanya vizuri ongereni sana kwa kazi nzuri tupo pamoja

  • @AliNassoro-r9d
    @AliNassoro-r9d 17 днів тому +1

    Anae mpend bb olivia aweke like

  • @martinpaul2770
    @martinpaul2770 15 днів тому +1

    Olivia ni bonge la talent Hongera Mr. Henry Mwakajumba kwa kuona hiko kipaji nmeipenda sana hii tamthilia haichoshi na inafundisha pamoja na kuchekesha

  • @RebbyShebby
    @RebbyShebby 10 днів тому

    Yni kwenye hii movie gabo anaongea taratibu hadi rahaa👌🥰

  • @shabaniiddy5465
    @shabaniiddy5465 22 дні тому +28

    Watu mna wai alafu like Kwan zan Kaz gan

    • @imeldanziku9804
      @imeldanziku9804 21 день тому +2

      Zinaburudisha mioyo 😂😂😂 hasa kanotification kakija shabani liked your comment 😂😂😂

    • @henrymwakajumba
      @henrymwakajumba  21 день тому +1

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @BrendaJimmie-hj1lf
      @BrendaJimmie-hj1lf 20 днів тому

      😂😂😂​@@imeldanziku9804

  • @KinyogoliBinkinyogoli
    @KinyogoliBinkinyogoli 22 дні тому +7

    Naipenda sana hii tamthilia Yani

  • @marialumbanga
    @marialumbanga 22 дні тому +4

    Nampenda olivia na mama jemes 😅😅😅😅

  • @hassanihussein2731
    @hassanihussein2731 22 дні тому +3

    Hii episodes imekua jamoto 🔥🔥🔥🔥 hadi nimesahau kama nampenda mwalimu Janet

  • @hidayamwaya6081
    @hidayamwaya6081 2 дні тому +1

    Nakupeleka kwa polisi hau TRA eti mm mkee wa m2😂😂😂

  • @user-sr8bu1kj5d
    @user-sr8bu1kj5d 22 дні тому +8

    😂mc tunae natunatamba nae iwish iwe yarushwa kila cku😂❤

  • @mrh2812
    @mrh2812 2 дні тому

    Nampenda Olivia jamani❤❤❤ yuk vizuri Sana

  • @ChristinaCrenzi
    @ChristinaCrenzi 21 день тому +1

    Kaz nzur saan hongeren wote mloshlik hi mov nawapend saan 💖💖💖💞💞💞🥰🥰🥰

  • @TimeAbdallah-u5t
    @TimeAbdallah-u5t 16 днів тому +1

    Movie Kali sana

  • @davidyona9555
    @davidyona9555 16 днів тому +1

    bond ya baba na mtoto kwenye hii series ni zaidi ya acting. so perfectly matched.

  • @aishaomar2287
    @aishaomar2287 20 днів тому +1

    Ila kwenye hio sherehe ndugu huyo mama mmemuona alivyoivaa miwani😂😂😂 🙌

  • @MrImma
    @MrImma 22 дні тому +2

    Movie inafundisha sana I like it so baba olivie keep up

  • @khadijayusuph9316
    @khadijayusuph9316 22 дні тому +7

    Jaman tunaomba mue mnatuna ep 2 kwq wik jmn mambo ni meng mjini

  • @AllyKame-rx2zd
    @AllyKame-rx2zd 3 дні тому

    Gabo, kanumba, wakiongozwa na Mzee Majuto, na kipekee JB

  • @nguyamtwartz5413
    @nguyamtwartz5413 22 дні тому +7

    Shimo la jirani lain tumemuelewa😅

    • @JosephJackson-jv1so
      @JosephJackson-jv1so 22 дні тому +4

      Dude hajaongelea shimo la taka 😂
      And gabo he scared kumwambia Janet truth but wanahisia Moja.

  • @zuleikhachibako7346
    @zuleikhachibako7346 22 дні тому +4

    Nan amegundua AJ ni uyo uyo james😂😂

  • @SophyaMsagati
    @SophyaMsagati 21 день тому +2

    Ashaaanza na kupewa masai shuka😂😂😂😂

  • @mashauri.014
    @mashauri.014 19 днів тому

    Filamu Ina zindi kuwa nzuri Sana, ❤❤.. But mwalimu Janet ni mzuri I appreciate her for his beautiful❤❤❤❤

  • @mwashyombo9241
    @mwashyombo9241 22 години тому

    Ila Olivier ana kipaj jaman hakika mwalim ni mzr dude wewe unajua gabo wewe u're the one

  • @McbarakaeventsTz
    @McbarakaeventsTz 22 дні тому +4

    Huyu mtoto hakika anajua sana kuigiza Olivia anaigiza kama vile uhalisia kabisa 🫡🫡

  • @BarakaUisso-pr7rn
    @BarakaUisso-pr7rn 22 дні тому +20

    Wa pili 🎉tokea Djibouti Naikubal Tz yangu ❤❤
    Alooo

  • @maish6034
    @maish6034 22 дні тому +3

    Mimi ni mkenya hila niko na malalamishi. Mina chelewesha sana Ep.

  • @OctaviusJoseph
    @OctaviusJoseph 5 днів тому +1

    Baba Olivia katisha sana

  • @rashidgona1808
    @rashidgona1808 15 днів тому

    Movie tamu kwel yaan natamani niiangalie kila mda

  • @shabaniommy8720
    @shabaniommy8720 22 дні тому +2

    Kama huna D MBILI unaweza sema hiii movie huielewi lakini kwangu 🔥🔥🔥

  • @Bintabubakar-id2so
    @Bintabubakar-id2so 22 дні тому +2

    Yan mukiangalia hii movie nahis furaha isiyo kifan nawapenda san ❤❤❤❤

  • @mohamedcharming7432
    @mohamedcharming7432 22 дні тому +2

    Kwaiyo tukae tusubiri mpk ijumaa ijayo duh mnatueka sana

  • @paulinekombe3753
    @paulinekombe3753 22 дні тому +1

    Olivia huwa wanifurahisha hongera sana mungu akuzidishie kipaji ❤❤❤

  • @cesymwacha1277
    @cesymwacha1277 21 день тому +1

    Jamani ijumaa kwa ijumaa ni mbali sana jamani uongozi embu jadilini hili mnatusubirisha sana fanyeni hata kila baada ya siku tatu kama wengine wanavo fanya ,embu angalieni ili kwa kina ❤😢

  • @OmanMuscut-ju3xp
    @OmanMuscut-ju3xp 4 дні тому

    Orive hongeyaketu😅mimi kwangu hoi amelanduka kama embe ngwangwa😊❤

  • @joycemachibya4380
    @joycemachibya4380 22 дні тому +2

    Mama Tina achana na huyo mganga atakula hela tu mzungu mwenyewe ungejua anataka akutapeli😂😂

  • @DishaniDisha-zm2gm
    @DishaniDisha-zm2gm 22 дні тому +4

    Kazinzuri sana kabisa 🙏 🙏 🙏

  • @Bintabubakar-id2so
    @Bintabubakar-id2so 22 дні тому +2

    Alafu inauharisia mzm wamaisha yetu ya Africa ❤❤❤

  • @NasebJunior
    @NasebJunior 20 днів тому

    Dah ilo shimo la madame Kila mwanba anataka kuchimba😊

  • @HappynessSimon-zc6yz
    @HappynessSimon-zc6yz 20 днів тому

    Jmn nafurahia ki Olivia,wanapendezana na Gabo km mtu na mwanaee❤❤❤

  • @FabianEric-i8c
    @FabianEric-i8c 21 день тому +2

    Eeeh kumbe hadi Friday ndo inatoka tobaaaa ....mh itakuwa olivia kashakua hadi nije muona tena😂😂

    • @FabianEric-i8c
      @FabianEric-i8c 21 день тому

      Henry mwakajumba respect sana zije kwako mungu akupe nguvu endelea kuleta story nzuri na kuleta burudani kwetu sisi mashabiki zako .Thanks

  • @Anjira960
    @Anjira960 21 день тому +2

    Jamni nampenda Olivia anaongea kama mdogo wang 😂😂

  • @justineonline6556
    @justineonline6556 22 дні тому +3

    Hii movie ilichezwa mda sana , ndio sababu oliva na james wamekua wakubwa now .

  • @medadisamson8440
    @medadisamson8440 22 дні тому +3

    Baba Olivia na mwl Janet wanapendana tu ila kuzagamuana aaaaah😂
    Well, when I watched this movie from EP 1 up to now what I see is dedication, investment and lot of effort he put on this.kudos👏 keep it up

  • @jumaabil-yamin8746
    @jumaabil-yamin8746 22 дні тому +2

    Naomba like zangu Wamwisho wenu mie leo😅😅😅😅

  • @IreneMsacky
    @IreneMsacky 21 день тому +2

    Naombeni likes wapendwa ❤️😍😍 maana hii movie ni Atari jamani 😘😘😘😘

  • @raimundovictorinoambrosio3052
    @raimundovictorinoambrosio3052 20 днів тому

    A Olivia é muito sorridente, e a mãe de Tina é muito divertida 😊😅

  • @annaki318
    @annaki318 21 день тому +1

    Nani mwingine kamuona yule bibi alivovaa mawani wakati wa igizo la olivia na mwenzake😂😂😂😂😂

  • @hassanihussein2731
    @hassanihussein2731 22 дні тому +3

    Mlio chelewa kuangalia hii mtaendelea kuchelewa hivo hivo hadi kwenye maisha yenu😂

  • @muhammadmussa7684
    @muhammadmussa7684 22 дні тому +2

    Leo MOJA natka like👍👍👍👍👍👍

  • @salimrashidy3513
    @salimrashidy3513 22 дні тому +1

    Em muache uyo Dude atapeliwe na yeye akili imkae sawa😂😂😂😂

  • @danmpare7778
    @danmpare7778 22 дні тому +2

    Mama Games mm shabiki yake saalana from kenya I really love this woman

  • @JenniferAthanas-t4o
    @JenniferAthanas-t4o 11 днів тому

    Iviii nani mwengne ana feel kam mm kuhus madam na gaboo😂❤❤

  • @user-km2jz1kd2o
    @user-km2jz1kd2o 21 день тому +1

    Dah gabo anajua sanaaaa ad anaboa

  • @AugustinMuswabantu
    @AugustinMuswabantu 22 дні тому +3

    Muuza mashamba tapeli, mganga tapeli😂😂😂

  • @marukizungu
    @marukizungu 19 днів тому +1

    Wazazi wetu wa Africa hawato kuja kuelewa huu ukweli maana mtoto kama Olivier 😂mmmmh bado sio uhalisia ila 😂😂😂😂

    • @henrymwakajumba
      @henrymwakajumba  19 днів тому

      Una dhani itachukua mda gani wazazi kuanza elewa?

  • @reginamichael-eh8yy
    @reginamichael-eh8yy 20 днів тому

    Jamn muvi Kal sana
    Naombn like ht 10❤

  • @safarivahocha8077
    @safarivahocha8077 22 дні тому +3

    Olivia is the next bongo star

  • @sefaniasanga2702
    @sefaniasanga2702 16 днів тому +1

    Baba olivia shikamooo watayarishaji na wote mlio husika kukamilisha

  • @emmanuelkereto4344
    @emmanuelkereto4344 18 днів тому +2

    Movie tamu sana jamani yani natamani kazi isingekuwepo niwe naitizama tu yenyewe lakini sasa mbona niki-search EP ya 10 siipati jamni au inakuaje hapo?????? Ni nzuri sana Olivia anfurahisha sana, Gabo, Mwalimu naye si haba Mashaalah namkubali sana...... {ep 10}?

    • @henrymwakajumba
      @henrymwakajumba  18 днів тому

      Asante sana, ijumaa itatoka episode ya inayo endelea!

  • @user-fp1zk2zp2z
    @user-fp1zk2zp2z 22 дні тому +1

    Ndy 2peni ata matambiko kw win jamani ❤❤❤❤naipenda sana tamthilia hiyo

  • @GiftAbduly
    @GiftAbduly 22 дні тому +2

    Nzur sna ila baba Olivia bana et anataka vijisent vyangu vijisent vipi ivyo😂😂😂 ila Olivia anajua bana❤mama tina we kiboko duuh😅😅