Це відео не доступне.
Перепрошуємо.
Baba Olivia Episode 03//Single Father & Daughter rescue A Helpless Man who caries a secret.
Вставка
- Опубліковано 1 чер 2024
- #GaboziGamba (Baba Olivia) Anachelewa kazini baada ya kumsaidia mtu alie poteza fahamu.Bila kujua huyo mtu ame patwa na nini, anapiga simu kumuita mwenyekiti wa kijiji ambae nae anapendekeza mtendaji wa kijiji anatakiwa kuwepo hapo kutoa utatuzi ya sinto fahamu hiyo.Hofu inazidi kati yao kwani Kuna kijana alie kuja kumuuliza binti wa jirani anaonekana kama sio mtu wa kawaida na hakuna anae jua dhumuni lake kuu.
-----------------------------------------------------------------------------
GaboziGamba (Baba Olivia) is late to work after helping a person who had lost consciousness. Without knowing what had happened to that person, they call the village chairman, who suggests that the village executive should also be present to resolve the confusion. Anxiety grows among them because the young man who came to ask about the neighbor's daughter seems unusual, and no one knows his true intentions.
#HenryMwakajumba
For business:
mwakajumbafilms@gmail.com
instagram: / henrymwakajumba
Unachelewesha aisee wangap wapo pamoja na mimi
Wi-fi za bure tujuane tupo na baba Olivia mpaka amuoe mwalimu 😂😂😂😂
😂😂😂 tuko apaa
@@user-eb3mh6oo2n pamoja sana
Na hakikisha hawazimi hiyo WIFI usije pitwa!😂😂😂
@@henrymwakajumba 😄😄 pamoja sana babu yake Olivia 😍
We naweee😂😂😂😂
Jamani wote tunao mkubali gabo na kazi zake gonga like hapa
Namkubali sana
Mbccy 8:17
Aseeh, Gabo muwe mnatuwahishia kututumia hii tamthilia ni nzuri sana
Wanacheleweshaa
From Mozambique 🇲🇿 Hapa wadau wote wa Sison hi Nisha wapa like zenu kasoro Mimi 2. Basi nipeni zangu angalau kidogo
Haaaa vp uko amego
D Mbili kwenda mbele ndio tunafahamu movies za huyu Gabo. One amongst the greatest actor in our region.
Wenye D za kingreza cha Siwema je?😁
Napenda kingereza cha uyu dada alivyo ongea na mzungu 😂
Kama mimi nimependa
Finally the comment I was looking for 😅😅😅😅😂😂😂😂
@@eglinenanjala3921is too much😊
Yani uyoo ndo Mimi kabisaaa 😂😂
kingeleza kipi kaongea 😂😂😂😂
Maudhui mazuri, waigizaji wametimiza wanachotakiwa kufanya kwenye uhusika wao can't wait to see the next episode
Asante sana karibu kwenye Familia!
Kwani nimechelewa kuna wane 4 from Oman 🇴🇲 nishawagaiya like wote bdo mm tu hamjanigaiya
Tupo watumia wifi za bure
@@kabintmpase1544tupo sana😂
😂😂😂😂Kabisa 😂😂jua kali 😂😂bey bey😂😂Mimi nipo na baba olive 😂😂
@@faudhiasalum7279 ww unanionea Kabisa😂😂😂
😂🤣🤣😂🇴🇲🇴🇲🇴🇲❤❤❤🙏🙏🙏🇹🇿🇹🇿🇹🇿💕💕💕
Badilisheni siku ya kupost new episodes at least iwe siku mbili kwa wiki au siku tatu ama ata kila siku episode moja!!! Hayo ndio maoni yangu
Nenda kwa mkojani bro 😂 anapost kila siku
😂
@@almaarifonlinetvkatoa maoni tu upaswi kumjibi hivyo kuwa na hekma
@@almaarifonlinetv😂😂😂
Usijali
Uyu mdadaa Asiyejua kiingerezaa Ndo Anaifanyaa Hii Movie Inogee japoo Badoo Anaonesha kama anajuaa Ilaa Ndo Nmemkubalii
Namkubali sana gabo wote mnao kubaliana na mimi gonga like hapa TikTok napatikana kama mwana wa Adam fb pia hivyo hivyo
Big up sana team nzima kwa Kazi nzuri sana ❤❤🇧🇮🇧🇮
Asante sana!
Mwenyekiti muda wote anawza kula tu😂😂😂
Ww acha tu
Kila mda ana njaa!😂😂😂😂
🤣😂🤣😂🤣😂
😅
Kula kwanza kaz badae😊😊
nawachukia san hawa watu wanao omba likes akii kwan video ni yenuu!!!
Jamani 😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂yawaaa
Mwenye kiti ati "umetoka uko kote hadi uku kufata privat?" Allahuma Ghufrilahum warhamahum wa-asqanahum filjannah 🙏...kazi nzuri team Gabo🎉🎉🎉
❤️
Ameeeen
Asante kwa muda wako!! 🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾 usituache njiani Subscribe ujiunge na familia ya BabaOlivia! ❤❤
Location ya hii movie ni mkoa gani mkuu
May God bless the whole crew
Ihi movie (series) ni premium kabisa 💯💯🙌🏽🙌🏽
Asante sana ubarikiwe na wewe sana!🙏🏾
Wakwanza Leo nipe like zangu
Mwalimu pisi imenyooka alafu ,mtoto anajuwa sanaaa❤
This woman has made my day ❤😂😂😂😂😂"small sponge" kigodoro ...can't stop laughing 😂😂watching from Kenya 🎉love you ❤TZ people. 😂😂😂
❤️❤️❤️❤️ we love you more!
Nampenda sana olivia❤❤❤❤❤❤❤
❤️❤️❤️❤️❤️
Like kwa kaka gabo ❤❤
Gonga like hapa twende sawa 🔥
Muvi kali sana hongeren
Asante sana tuna shurukuru Sana!
😂😂 mie huyo dada mchaga ndiyo ananiacha hoi😅😅
Niko Ep ya 2 tamthilia ni nzuri sana but mwenye kiti anaonesha hajui neno "PRIVATE"
ila anajua "VERY SERIOUS"😂
Tunaomba mtuletee episod kilasiku mojamoja muv hii nikali sana
Mke wa jran nae n fundi jmn❤❤
MC wa 40 40. Arobaini!
😂😂😂👍🏽
😂😂😂😂
😂😂😂mke wa jiran ananipa rah Kwa mzungu
Gabo zigamba mbona mwamba kbsaaaaaaa ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ anatisha bongo movie
❤️❤️❤️❤️
Wale wa small sponch tujuane😂😂😂
🤣🤣🤣
Mwalimu ndio muimbaji wa. Hii voice nina uhakika ❤
Ndo yeye
Japo nimechelewa but nmeangalia and i enjoyed it...Mungu awabariki nyote mloshiliki katika kazi hii nzuri❤️
Acha leo niwape mimi😂😂😂
Jaman mtuwahishie mwendelezo bas 🙏
Habari huyo mjomba anatisha Gabo namuelewa sana mkali wangu
❤️❤️
Nimekurupa sijakunywa hata chai 😂😂😂 ila Mwenyekiti 😅😅
Aseee nilimiss Sana hi
Like zangu Leo jamani
Ila brother unachelewesha sana kipenzi chetu 🎉🎉
Kweli
Ungepende mala ngapi kwa wiki?
@@henrymwakajumba atreast vipande vi3 au vi4 kwa wik au ikiwezekana kila baada ya siku moja unaachia kipande kimoja
Uyo mwenyekit mbele zake nyuma zetu...ALLAH AMPE KAULI THABITI.INSHAALAH
Kwamb kafariki😢😢
Ndyo
Mie mwenyewe nkataka niulize Mzee amerudi
Inaonekana hii movie imerekodiwa mda mrefu Ila ndio inatolewa sasa maana hajafariki mwaka huu etty
🕯️🕯️🕯️❤️
@@nurusamath310 hii movie ina zaid ya miaka miwil ntangu imetangazwa nafikiri tangu 2021
Mwakajumba, Mimi binafsi nikupongeze kwa utofauti ulonao kuanzia, Location, picha, Sauti. N.k kuna ubora wa Hali ya juu, Level za Netflix 🏌️♂️
Asante sana ndugu 🙏🏾🙏🏾
Tamthilia kaliii sanaaaa lakini mnachelewa sana kutoa episode mpya
Yan sik zot nalia na mapenz kumbe Kun movie nzur tu uk 😀Gabo ww ni noma🔥🥰
Kingereza shikamoo
Katarina😂😂
😂😂😂😂
😂😂😂😂
Leo na mm nimewahi jaman naombeni like zenuuuuu😊
Gabo huna baya Kaka much love from kenya
Upo juuu bro Gabo zigamba
Mbona mnakawizag ivo jmn mambo mazur km haya mnatakiw kutujali mara kwamara jmn dj wetu
Salm nyingi kutoka kahama
Karibu masumbwe
Kwel kaka lhmis moja ntfka apo
Asante sana, share na wadau link ya series!🙏🏾
Jamani series nzuri sana hivi ndio michezo yetu inatakiwa kueti kazi nzuri sana
Shukran sana!
I never thought i would be watching swahili films❤its incrediable
Thanks so much, please Subscribe if not yet to join this family!🙏🏾
Mwenyekiti eti kwahiyo umetoka uko kote umefata private 🤣🤣🤣
😂😂😂
Gabo noma hii movie kali sana jamaa hodar sana.
Asante sana 🙏🏾🙏🏾
Ishatoka hii movie broo
Mashaallah kaka upo vizur
😂😂😂😂😂 rest in peace im talking there🤣🤣🤣🤣
Mashallah ❤❤❤❤asante sana washilika mungu abaliki kazi zenu
Asante sana, usisahau ku subscribe ujiunge na familia!
Sawa sawa twende kazi gabo
Hakika wewe ni muigizaji wakipekee unayegusa jamii kwa mambo yanatokea na kuwapa elimu. Mungu akuongoze katika kila njia.
...Iko poah sana we enjoy it inafka tym tunaona week n mbl kusubir bigup bro❤❤❤❤
Asante sana!
Mnao omba like huwa mnazifanyia nini?
Wambie😂😂😂❤
Kazi nzuri sana Baba Biry #Gabozigamba nakubali sana kazi zako kaka mkubwa🔥🔥🔥
Upo vizur kweny movie unazidi kuimarika sana toka bado natafuta hadi hii kwel umegrow sans 🎉🎉
Rest in peace mzee Korongo
🕯️🕯️🕯️🕯️🕯️❤️
Kheee uyo mzungu kumbe ni mwizi 😂🙌🏻 DJ uishi maisha marefu asante
Asante sana na karibu kweye Familia!
Wow❤
Nafrahia sana kukaona hako katoto hakika kana akili San ❤
Asante kwa Mauwa yake!❤️
Namkubali sana gabo
Daaaa jaman
Gabo le meilleur acteur du tanzanie❤
Merci🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Nimuda mwengine tena wakunufahika ❤❤❤❤❤ nguvu moja
Ila mama watoto wawili anajua sana
Kingeteza cha dada apo hataree😂
Sema unachelewa mno kk ad tunasaau🎉❤😂❤🎉
jamaa fundiii snaa Gabozigamba no one
Naipenda kazi Kaká gabo❤❤❤❤
Kama Nigeria Hii muvi❤❤ sana
Asante! ❤️
Yani hili li series lizuri sana yanu kali kinoma utadhani siyo ya bongo, actors wote wako vizuri wame play part safi kabisa yani professional
Asante sana!🙏🏾
Aisee part ya huyo mama na mzungu nimecheka kufa daah Yani watanzania kifunzeni English japo kidogo jmn
😂😂😂
😂😂😂
Ubaya mnatukuza sana vya wenzenu, kuna machina hawajui hata cha kuombea maji wanatembea na wakalimani tupende kiswahili chetu
Anajuwa kingereza ila hapo ana act tu
@@holykim2713we umwkuja vizur 🎉 sio kwamba hajui kiingereza ila character yake ndo imemruhus acheze ivo kiukweli movie imenyooka
Tok Tok to rest in peace 😂😂😂😂
Na Mimi wa nane bhac au ndo wakwanz tuh
Msikawie sana Mr gabo kutoa mwendelezo
Tuekeee kwa wiki ata episode 3 ni nzur sna
Ndy baba olivia 2naomba mfanye ata mara2 kwa week mara1 inakuwa ganzi😢
😂😂🙌🙌 Dah uyu mama kanichekesha sana hii ngeli ilienda na mafuriko 😂😂
Cinéma ni bora lakini unapagwa ❤❤❤❤vibay ❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉
Thank u dj from china naeinjoy usituache njian jmn😢twende mpaka mwisho
Asante sana, Hii utakimbia mwenyewe, Subscribe na share kwa ndugu na marafiki!
jmn mbon mnachelewesha muendelezo nani yupo pamoj na mimi😢
Atleast ata siku 3 tunapata epsode mpya lkn kila week kpande kmoja inapoteza ladha
Fothefothe 😂😂😂ak unajua kuigiza dada
Watu weweeeeeee... Hiii movie ni tamu lakini tunapewa kimoja kwa wiki😅😅😅
😂
Good job brother gabo from Kenya
40 40 yaani arubahini😂😂😂😂
😂😂 Ndomanake!
I’m first one from Uganda 🇺🇬
Welcome to the family!❤️
Fantastic movie
Asante! Tafadhali subscribe ujiunge na familia ya Baba Olivia!
❤❤ movie nzur
Asante sana 🙏🏾🙏🏾
Asante sana 🙏🏾🙏🏾
Tunakubali kz Ila kuhs kupost isitumie mda mlefu
Napenda sini zote nimuone mwalim na bana olivia😅
Haijarishi imechelewa kivipi kikubwa dakika zimeongezeka ndo uzuri zaidi
Baba oliva umeupiga mwingi brother
Asante sana!