Joti umefanya vizuri kuwaongeza wachekeshaji waliopotea muda mrefu kama asha boko kwenye hili jambo lako, na huyo mwengne anaongea kama wamakonde hii ni nzuri.
Sas rafiki yangu joti sikuhizi hata komedi zako sio nzuri umeyaweka mazee hayo hayawez hata kuchekesh rudisha bwan wakina sopa nakipande toa zito na na hilo zee
Kanyinyi herufi za Qur'an unaxitamka vizuri Maashallah. MUNGU akubariki.
Htr nimeshangaa sana😂
Nimependa kanyinyi alivyosoma quran mashallah
Anajua na anayamka herufi vizuri Maashallah.
Mashaallah
Mashallah❤
Leo nipo top 3 kwa wakenya. Anguka nayo🎉 Wapi likes zetu Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
😂😂😂😂
Na anguka nayo😂😂
1 legee😂
Mmm
Badala ya kwenda kuokota miili ya ndugu zako umesimamisha mshipa unaomba likes🤦🏾♀️
Hivi nyie Mnaoomba hizi LIKE zinawalipa Kiasi gani???
Ole wenu Mlike hii Comment😊
@@dr_ridhiwan mbinu za kivita naona umeambuli 26😁😁😁
@@chaggastar9236 Kwanini walkie?¿?
@@chaggastar9236😂😂😂Anazo 129
31 Ila sijui faida yake nn?
Leo joti kashinda kila siku ana fale😂😂😂
Anafeli akiwa kama nishai😂😂
😂😂😂😂
@@hawafelician7363 😁😁
Joti hana mpinzani.na TV yake ni kubwa ina million na kitu
Joti umefanya vizuri kuwaongeza wachekeshaji waliopotea muda mrefu kama asha boko kwenye hili jambo lako, na huyo mwengne anaongea kama wamakonde hii ni nzuri.
Da mwene huyo akiwa mwene na Asha boko hatariii😂😂😂
SAHIHI
Mbona Asha yupo kweny sinema tu nyingi mpya
KANYINYI KASOMA VIZURI SANA QURAN MASHALLAAH. Ila hapo kaoa yeye hajaoa mwarabu 😃😃😃😃😃😃😃😃😃
😂😂😂😂😂😂
Kanyinyi kaisoma vzr sana qur'an mashallah❤🎉
Mm namba 10 Leo
wapi likes za wakenya
Umetisha bro joti n group lako
Joti kama BABU😂😂😂
Nishai mitwango kitombangile muarabu wa Facebook 😂😂😂😂😂
😂
Ila joti ni mbunifu sanaa
Mchekeshaji maarufu kama muarabu like kwake ❤❤❤
Mwarabu hunuki hata mafuta ya taa😂
Hii comment nimeona kabla hiyo sehemu haijafika🤣😂😂😂😂 nimecheka kabla🤣🤣🤣
@@missdija4959 😝😝
Nanga mjinga eti mda uo😂
"Hata chui mkali lakini anazaa" 🤣🤣🤣 Joti una mbinguyako.
Kachukuwa wawili badala ya mmoja 😂 joti chizi kweli😂😂
Wa kwanza toka drc kalemie ❤❤❤😮😮
Basi hapo kwenye Ngoma Doris hua anapenda 😂😂😂
Kazi nzuri sana joti asha Boko like zangu Inshallah nasubiria kutoka 🇰🇪
huo muda,muda ukifika huwezi kuogopa
Suzi anapanikigi sana anakeraaaa😢 heebuu ajaribu kuwa kawaida sio kila sehemu anapayuka
❤❤❤❤❤❤❤❤makopa mengi kwa jotiii❤❤❤
Suzy anatumia nguvu sanaaaaa anapitiliza..
😂😂 Mwarabu gan hata mafuta yataa hunuki. Kazi nzuri Joti tv ❤️❤️
Namba one
Joti on 🔥🔥 congratulations My brother 🙏🙏
Kanyinyi yaliyomo yamo
Maashallah😅
#Joti ni best comedian Tanzania 🇹🇿 nzima. Kama unamkubali comment na like hapa tuwe sawa
#3 na sitaki likes...hahaha
Uskute ni mwarabu fighter 😅😅😅😅😅😅😅😅
Mwarabu gani ata mafuta taa hunuki wee 🤣🤣🤣
Kazi nzuri sana hongereni sana
iyo ishawai kutokea mtani kwetu 😁😁🤣🤣🙌
Joti wewe ni kiboko wa comedian big up
😂😂😂😂😂😂😂😂 Joti Mshenzi, eti hiyo picha nilikua kıjana na miaka 20. Hela za mwarabu umekula, kapambane na babu 😅
Lilian Mambo vp
Video imefika kati joti hajaonekana, tunapenda joti ashiriki kuanzia mwanzo
Sas rafiki yangu joti sikuhizi hata komedi zako sio nzuri umeyaweka mazee hayo hayawez hata kuchekesh rudisha bwan wakina sopa nakipande toa zito na na hilo zee
Wewe tulia ujui watu kaa kushoto..
Acha roho mbaya unataka wazee wakale wapi?
@@mohannadmohammed6631 sio roho mbaya inatakiwa masilah kaz ziende mjini hela kwanz kama kila siku anadirop
Mimi ndo mwarabuuu😂😂😂😂
Joti niko chini ya miguu yako,naomba week ijayo uigize Uke wenza,timbwili kama lote
Ili iyo klip umtishe mtu sio haki hiyo niamri kutoka Kwa mola wetu
@@mbwanahussein98 Ndugu siko huko kabisa,napenda akiigiza kama mwanamke,umenifikiria vibaya,samahani lakini
@@user-ky4rb2lg3h sorry pia Kwa kudhani
Tuliyo sikiya Muharabu kuhitwa Dogo Janja ebu tu like hapa 🤣🤣💃🏽
Kumbe kanyinyi muislamu safi
Pumbavvvvvvvvvvvv 😂😂😂😂😅😅😅
JoTi🎉 Moto sana🎉😂😂
NACHATI NA WAARABU 😂😂😂KUOMBA LIKE TU 😂😂KUOGA AAAAH 😂😂😂😂BIARUSI TULIA UWENDE DUBAI😂😂
Dm please
Joti kashindi kana hayupo atakaye muweza joti❤❤❤❤
Leo wa kwanza like zangu plzzz 🙏
Nanga fundiii😂
Bawasiri bwana harusi😂😂
Ila nanga hicho kicheko 😂😂
Nanga mbona utulii😂😂😂😂
Am born 1st
Mimi wa 20 Leo bigfunicture
Kuview tu kulike na kucomnent aaaaah😂😂😂
Mnatushushia brand😂😂
Elimu kubwa sana hii. Mwarabu kapokonywa mke😂😂😂😂
Jamani joti hatari!!!!!!.
Minyama nyama ya nini hio 😂
Napenda kanyinyi anavyoigiza 😂
Mimi wa mwisho😂😂
Babu Leo amekuwa mwarabu😂😂😂😂
Kanyinyi amewakilisha vizuri dini ya mtume
26 people 😂. Mahusiano ya Online
Wahuni wa zamani utake utaenda usitake utaenda 😂joti 🙌🔥
Kutokea Nigeria naangalia 😂,habarii zenu TZ
Uyu nae nani mzuri uyu nae uyu😂😂😂
Geuza gari geuza gari... Bibi Harusi twende😂😂😂😂😂
Sure !!! Love from Burundi 🇧🇮🇧🇮
😂😂😂😂😂😂😂 joti vraiment 😂😂😂😂😂 tu vas tuer quelqu'un un jour 😂😂😂. Mzee muharabu
Mwarabu mweusi😂😂😂 au ibakie kua jina tu basi😂😂
Alivyoisema eeeeh muarabu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mi ndo mwarabu bhna😂😂😂😂
Umetisha sana joti na nanga😂😂😂😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣mwarabu wa kuchat kweli hili ni funzo mapenzi ya digitali
Joti wewe ndugu yangu uarabu umeutoa wapi😂😂😂
Joti Al thani😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 wewe si mtumzima sasa nakupa mtumzima mwenzio
Omar burkan😂😂
Bro yuko vizuri. Nakubali Sheikh 🇿🇦
Aliyewafungishaa ndoa kimyaa kama ayupoo😅😅😅
nang mseng san😂😂😂😂
Ha ha ha jotiiii, champion,...
😂😂😂😂😂😂😂mwarbu mwiti mybe mwarbu n jina😂
😂😂😂 yani Joti alivyonyofoka kwenye gari kama Aladin😂😂😂
Mbilikimo kafanana na dotto magari
Somo amewafunda tanga nzimaaaaaa😂😂😂😂😂😂😂
Wa kwanza nipeni like
Nanga mpuuzi kabisa, eti rhaaaa rhaaaa 😂😂😂😂
Khaaaaaaa khaaaa hii inasound good
joti miyeyusho sana
Sema we Suzy hebu acha wenge hilo😂😂😂😂huyo mwarabu kabisaa tena nahisi atakuwa mdogo wake Sultan Qaboos 😂😂😂😂
Hapo sawa❤
Hcho kigoma cha Mwsho nmekielewaa😂😂😂😂
nimpenda iy last dance 😂
Kazi Nzur Mr Joti Na Team Yako
😂😂asha boko was too much into the favour
Joti upo vzur sana
Joti falaaaa snaaa 😂
binafsi nafurahia sana mafanikio ya Nanga😅😅😅