TAJIRI AFUNGA NJIA ya MTAA kwa GETI - WAMLILIA MAMA SAMIA - "ANASEMA HAKUNA MKATE MGUMU kwa CHAI"..

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 112

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  2 місяці тому +1

    Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 2 місяці тому +2

    Shida nchi hii kila tatizo wananchi wanataka raisi awa saidie kama vile hakuna wawakilishi wa wananchi serikali za mtaa/kata/wilaya😢 😊

  • @missmoona4497
    @missmoona4497 2 місяці тому +1

    Kitu ambacho hatujui binadam miongon mwa sadaka pia hata njia ni sadaka na hata ukaona mwiba njian au jit limekaa vibaya njian ni hatar kwa atakae pita ukaviondosha wapata thawabu Maashallah, sikuambii ww unaeziba njia watu wasipite, Allah Akbaru MUNGU atunusuru hii ardhi yoote niya M/MUNGU jmn kwann tunajisahau hivyo kana kwamba tukifa tunakwenda navyo? Hili ni somo kubwa sana tuwe na utu jmn ukifa kila kitu tunaviacha hapa hapa🙌🙌 marehem hasemwi haya sasa hawa wooote wanakulalamikia ww mfu😭😭😭😭😭hapana kwakweli MUNGU atupe mwisho mwema🤲🤲🤲

  • @husseinkarim7663
    @husseinkarim7663 2 місяці тому +8

    Ingekuwa mheshmiwa Slaa angefika siku ya pili, lakini ......

  • @jumanesaidi7635
    @jumanesaidi7635 2 місяці тому +12

    Wakati umefika, Serikali ingeunda kitengo maalum kushughulikia watu, na mambo ya namna hii.
    MAKONDA (mtu mmoja) ALIFANYA MAMBO TULIYAONA, HAKI ILIPATIKANA KWA WENGI, MPAKA LEO ARUSHA WANAMLILIA.

    • @HawaAhmed-yj8wo
      @HawaAhmed-yj8wo 2 місяці тому

      Watu wanamlilia! Kwani kawaje hadi wanamlilia?

    • @jumanesaidi7635
      @jumanesaidi7635 2 місяці тому +1

      Makonda alitaka haki itendeke, na juhudi zake ilikuwa ikitendeka, ndio maana wapenda haki wakimlilia Kwa huzuni kumkosa.

    • @florencemeza6540
      @florencemeza6540 2 місяці тому

      Kaa pembeni utajuaje? Wakati inaonyesha humpendi?​@@HawaAhmed-yj8wo

    • @HawaAhmed-yj8wo
      @HawaAhmed-yj8wo 2 місяці тому

      @@jumanesaidi7635 kumkosaje jamani? Hebu ngoja ni search Yuko wapi maana naona hunipi jibu.

    • @HawaAhmed-yj8wo
      @HawaAhmed-yj8wo 2 місяці тому

      @@jumanesaidi7635 nishamuona hajambo na anaendelea na majukumu yake.

  • @kesterkanyala7718
    @kesterkanyala7718 2 місяці тому +6

    SIKU HIZI...KAMA HUNA HELA...HAKI HUPATI KWA HARAKA.
    -IWE HUDUMA HOSPITALINI, SERIKALINI,AU MTAANI....
    -UTAPELEKWA HUKU,HUKO,KULE,HAPA,....ILI MRADI UKATE TAMAA
    -KUMBUKA: BILA HELA,HAUPATI .!!

  • @victoriafaronendakwamakond4816
    @victoriafaronendakwamakond4816 2 місяці тому

    Jamani mama Samia kaweka wa wakilishi si wapo

  • @bakariomari24omar21
    @bakariomari24omar21 2 місяці тому

    Watu hawamjui mungu.hilo ndio tatizo.sasa umwfanya dhuluma na ushakufa ila umeacha watu wanalia Kwa zulma yako

  • @ChristerKoku
    @ChristerKoku 2 місяці тому +6

    Hapana,mama rais Samia hawezi kushughlikia kila vitu,kwani serikali yamtaa,DC,RC wanafanyakazi gani? Hao wenyeviti ni watu wa rushwa,ndo chanzo cha migogoro ya ardhi kote nchini wapuuzi sana.

    • @muhamedjaffar5653
      @muhamedjaffar5653 2 місяці тому

      Kweli kabisa iyo situation ilishawai kutukuta wakati tunakaa mburahat .madoto bar iliziba ukut wa nyumba na nyumba na seriakali ya mtaa ukiwaambia wanzungusha.rushwa mbelek

  • @AwaziRajab
    @AwaziRajab 2 місяці тому

    Umoja Ni Nguvu Wananchi Inafika Muda Tuache Kulia Kama Watoto Ikiwa Aliefanya Katenda Kosa Iweje Mlie Ikiwa Kafanya Kosa Nanyi Malizeni Tatizo Mpaka Ahame Kununua Vieanja Pande Mbili Mtu Mmoja Sio Kigezo Cha Kuziba Njia Njia Ieshimike Waziri Wa Sasa Mzaliwa Wa Mkoa Gani Mana Tangia Kutoka Silaa Hata Simsikii Kama Yuko Waziri Uyo Jeuli Wananchi Mnalia

  • @Tango696
    @Tango696 2 місяці тому

    Mzee ana hasira sana check anavyohema sana

  • @malugukushaha6764
    @malugukushaha6764 2 місяці тому +3

    Ifike wakati wananchi tuwe wakali na siyo kuililia serikali. Wakati mwingine maamuzi magumu yanahitajika hata kuharibu nyumba zake zote. Upuuzi aina hii hauvumiliki hata kidogo.

    • @hemedisalim5522
      @hemedisalim5522 2 місяці тому

      Mnaharibu nyumba zake zote afu wanakimbia mtaa au inakuaje alafu huwez kufanya uharifu kisa Una hasira sheria haipo ivo

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 2 місяці тому +7

    Tatizo kubwa watu wanafanya njia katika Viwanja vya watu, siku mwenye kiwanja akiamua kujenga wanapiga kelele za kuzibiwa njia!!

    • @joyce55727
      @joyce55727 2 місяці тому +3

      Ndio ivo pia mm nakiwanja watu wamekigawa kati kati wanapita sasa mm sipo tz nikilud tu najenga ukuta

    • @obed_artz5418
      @obed_artz5418 2 місяці тому +4

      Upo sawa lakini kwa kesi hii inaonyesha hata kweny ramani za mipango miji njia ipo sasa kwann yeye azibe" wenye haki wapewe haki yao njia sio mwenye pesa atese wasio na pesa

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 2 місяці тому

      @@joyce55727 kuna kiwanja changu watu walishafanya njia , nimeshaziba na ukuta, na kuna kingine tena najiandaa kujenga ukuta,,,

  • @didasseveline9013
    @didasseveline9013 2 місяці тому +2

    Dar ni miongoni mwa majiji yenye ujenzi horela watu wanajenga %kubwa wataalamu wa ujenzi hawawasaidii mabosi wao na %kubwa ya mafundi hawazijui sheria za ujenzi

  • @aminahussein9155
    @aminahussein9155 2 місяці тому +4

    @Samia Suluhu Mkuu wa majeshi naomba tusaidie habari kama hizi tunaomba huzikomeshe🙏🙏🙏

  • @momylaviel
    @momylaviel 2 місяці тому

    Mwenyekiti apigwee

  • @PhilkevinFelix
    @PhilkevinFelix 2 місяці тому +3

    Hao wanakijiji kwa nini wasimtoe huyo Mwenyekiti kwa kumpigia kura ya kutokuwa na maoni nae?

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 2 місяці тому +2

    Huyo mwenye kiti Alishapewa rushwa.Ashikwe😢 Anaiharibu C CM😅

  • @nourannouuran3514
    @nourannouuran3514 2 місяці тому

    Mwenyezimungu tulinde tusidhulumiwe,tusidhulumu dunia imejaa wababe

  • @PrinceHendry-hp8vv
    @PrinceHendry-hp8vv 2 місяці тому +9

    Ngoja na yeye akakose barabara ahera utu ni kitu kizuri sana hivi vitu tutaviacha binadam tupendane Mali na vyote tuvionavyo vya maana tutaviacha kama tulivyovikuta

    • @rumdeesonsoa1811
      @rumdeesonsoa1811 2 місяці тому

      Huyo alitakiwa ashughulikiwe na wananchi hapa hapa duniani. Sio kila jambo ni la kumuachia Mungu

    • @nourannouuran3514
      @nourannouuran3514 2 місяці тому

      Hili nalo neno

    • @PrinceHendry-hp8vv
      @PrinceHendry-hp8vv 2 місяці тому

      @@rumdeesonsoa1811 sasa huwez kumshuhulikia kama ilikua haki yake hapo ubinadam wake ndo ungeamua akijua ipo siku ataacha kama alivyoacha

  • @umranim5854
    @umranim5854 2 місяці тому

    Mlikuwa wapi kumshtakia dr slay ana maliza tatizo kwa siku moja

  • @dignakanje4508
    @dignakanje4508 2 місяці тому

    Mmemtoa silaa kiboko yawatu wenye dhulma naardhi,mtoa hk.Kwann mlimtoa slaa jmn shida nn au ndio njama zamatajiri hizo.

  • @victoriafaronendakwamakond4816
    @victoriafaronendakwamakond4816 2 місяці тому

    Sio vizur kuziba njia jamani

  • @monicambuya-sq9ms
    @monicambuya-sq9ms 2 місяці тому

    Haya sasa kiburi cha uzima kilimdanganya hiyo barabara kaenda nayo sasa ?

  • @MonadiNadi-j6s
    @MonadiNadi-j6s 2 місяці тому

    Maneno yke ya kishujaa ndio ameenda nayo ujeuri sio mzuri mbona hakwenda na hicho kiwanja au hyo nyumba.ishi na watu vzr utapata aman dah polen sana

  • @HawaAhmed-yj8wo
    @HawaAhmed-yj8wo 2 місяці тому +6

    Kwakua ramani ina barabara haki ni ya wananchi. Ila wananchi wengine hua wanakuza mambo kwa ubaguzi binafsi tu

    • @nishaabdula5015
      @nishaabdula5015 2 місяці тому +1

      Kbs alafu unakuta iyo swhwmu mtu ni yk na anaamua kuek ageti lkn wnanchi wnagumia kufos na kumpangia jinsi y akujenga

    • @HawaAhmed-yj8wo
      @HawaAhmed-yj8wo 2 місяці тому

      @@nishaabdula5015 tabia za ubaguzi na mara nyingi hua wakiona mgeni anawazidi uwezo wanaamua kumchukia na kuanza lawama za uongo

  • @nourannouuran3514
    @nourannouuran3514 2 місяці тому

    Hivi slaa kwa nn ametolewa?

  • @Yassinseleman
    @Yassinseleman 2 місяці тому

    Nasema mtu akikataa na kwakwe wananchi nao wawe na msimamo asipite kwenye ardhi ya mtu nje ya kwake akitoka apae Sheria ikiwa hivi watu tutajenga na kuacha sehem za kupita na kuchezea watoto wetu usipo taka na kwako usitembee kwenye ardhi nje ya kwako maana wenzako nao wamelipia

  • @saidhamza5318
    @saidhamza5318 2 місяці тому +3

    amekufa ameacha mgogoro mkubwa na majirani ..haya malalamiko km ni ya haki sijuw huko aliko inakuwaje.

  • @dignakanje4508
    @dignakanje4508 2 місяці тому

    Kawaida tu kwamatajiri wte sasaivi.Wamejikuta wanajimegea viwanja wenyewe wanajiamulia kufunga mpka mtaa,nakuona wakumfanya llote.Wenyekiti wamtaa,mabalozi wtu niwabaya niviongozi wenye kupenda hla nawawasadia matajiri kuwa jeuri .

  • @simonchristian6319
    @simonchristian6319 2 місяці тому +5

    Watu hawajifunzi na haya matakataka ya duniA,fungua njia watu wapite

    • @nishaabdula5015
      @nishaabdula5015 2 місяці тому

      Kuna wt. Wnapenda kugombea aridhi ss hl kajwnga na kazibanjia lkn yy kazha kuca na kasha iacha

  • @DianaHyera
    @DianaHyera 2 місяці тому

    Sasa si mpite njia nyingine ndugu zangu, Sasa tajiri mwenyewe Mungu si kampenda zaidi

  • @RehemaRehema-n2s
    @RehemaRehema-n2s 2 місяці тому +1

    Msaada gani ramani mnayo inayoonyesha kuwa barabara hiyo ni halali bomoeni hapo

  • @hamadsheni8997
    @hamadsheni8997 2 місяці тому +2

    Hpo mchawi ramani.

  • @Zuuh4286
    @Zuuh4286 2 місяці тому +4

    𝐀𝐫𝐢𝐝𝐡𝐢 𝐭𝐮 𝐡𝐢𝐢 𝐣𝐚𝐦𝐚𝐧 😢😢😢😢

  • @husseinkarim7663
    @husseinkarim7663 2 місяці тому +5

    Inaelekea nyinyi ni watu wazuri, wakati mnajua kuna njia kwa nini hamkuuziwia kujengwa geti, yeye anajenga mngebomoa kwa nguvu. Jenga ,,bomoa, angeogopa

  • @tumainimwaifunga3884
    @tumainimwaifunga3884 2 місяці тому

    Huyo Mwenyeki msimchague

  • @RonnieBertin
    @RonnieBertin 2 місяці тому

    Hakuna plan. Selikali inauza viwanjwa hovyo. Rushwa tu inaongea

  • @abdullaomar9606
    @abdullaomar9606 2 місяці тому

    Mimi naona busara imetumika, na hakuna mafaniakio. Sasa wananchi fanyeni mkutano mkielewana mumuarifu mjumbe kwamba mnakwenda kulibomoa lile Gate, na muende mkalibomoe alafu Marehemu akawashitaki.

  • @ashachitemo7816
    @ashachitemo7816 2 місяці тому

    Umeoja ni nguvu utengenao ni udhaifu mngekuwa mnabomoa kila alijenga huku Kuna mtu alikuwa anajenga usiku asubuhi raia wanabomoa mpaka akaacha

  • @alexjackson5960
    @alexjackson5960 2 місяці тому +2

    kumbe massawe hakuna cha ajabu kawaida yao kwa ardhi

  • @maswamills3161
    @maswamills3161 2 місяці тому

    Ofisi ya ardhi INA kazi Gani na mipango miji?????

  • @R10_Rajab
    @R10_Rajab 2 місяці тому

    Yaani badala ya kulia kwa Wakuu wenu wa wilaya na Mkoa au waziri mnalia kwa Samia kila kitu Samia Samia huyo kila kitu?

  • @emmanueltillya2017
    @emmanueltillya2017 2 місяці тому +4

    Nendeni mahakamani,mtamshtaki msimamizi wa mirathi.hili sio jambo la kumpelekea mhe.raisi.

  • @rosehaule6765
    @rosehaule6765 2 місяці тому

    Alikufa kumbe na.jeuri yote kashidwa.kujeuria.kifo hakika Mungu ni mkuu tumshukuru...amerest in peace akazikwa wapi😂😂😂 hiinndio dunia tunapita

  • @arafakhamis3336
    @arafakhamis3336 2 місяці тому +1

    Mwacheni kaburin inambana ardh aloingagania

  • @ziadasalimu1730
    @ziadasalimu1730 2 місяці тому

    Huyo mzee aliyejenga kumbe ashafariki azabu kubwa anayo mana wenzie wamwaga machozi Kwa jili yake

  • @jeremiamwankusye9260
    @jeremiamwankusye9260 2 місяці тому +1

    Mama samia hadi barabara za mtaa 😢

  • @shabanponera2895
    @shabanponera2895 2 місяці тому +2

    Na bado huyo mwenyekiti mtamchagua tena

  • @makondorshimora5017
    @makondorshimora5017 2 місяці тому +4

    Kwani ramani ya makazi hapo kutoka jiji inasemaje?
    Au huwa ramani hubadilika kutokana na matakwa ya mtu anapojisikia kufanya mabadiliko kwa manufaa ya huyo mtu?

  • @mawazoaliselemani
    @mawazoaliselemani 2 місяці тому

    Mwamba Huyu Hapa😂😂😂kaziba njia

  • @mugishamajeba9628
    @mugishamajeba9628 2 місяці тому +4

    Mushikeni mwenyekiti mupige gumi arafu muanze kufatiria

  • @chemstry409
    @chemstry409 2 місяці тому

    SLAA YUPO WAPI?....😂😂😂

  • @wemaMichael-fr4th
    @wemaMichael-fr4th 2 місяці тому +2

    Hao wakina mama wanaenda kwenye serehe

  • @cngeze
    @cngeze 2 місяці тому

    Hivi mtu ukimfungia njia mwenzako unasikiaaje lakini ?

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 2 місяці тому

    Shetani kampenda 😢 huyo ndugu 😢

  • @shabanponera2895
    @shabanponera2895 2 місяці тому +3

    Yaani na hili hadi rais aingilie?

    • @FahadAbubakari
      @FahadAbubakari 2 місяці тому +1

      Ndio tz hiyo yani hadi vitu vya diwani anatakiwa raisi afanye hili linaonyesha watu hawafahamu hata kazi ya raisi

  • @RehemaMasunga-ml7kt
    @RehemaMasunga-ml7kt 2 місяці тому +2

    Yaani viongozi wa chini wote wameshindwa hadi rais ashughulikie😊

  • @ScopionScopion-zj9cd
    @ScopionScopion-zj9cd 2 місяці тому

    OCD nenda kamshike umuweke ndani hata kama anakesi nyingne wewe mfungulie hiii halafu huyo tajili mumuereze serikali ya magufuli haichezewi ukimuonea mnyonge umejionea mwenyewe

  • @abdallahmmary8591
    @abdallahmmary8591 2 місяці тому +4

    Mwenyekiti huyo mshenzi mlimchagua wanini an hy familia hawana dini kibiri cha nini muhuska mwenyewe kafa je wanashindwa kuelewa kuwa hy alitangulia anapata adhabu? Ujinga mkubwa

  • @rasmgz2367
    @rasmgz2367 2 місяці тому

    Lipueni nyumba hizo na petrol awo watoto wake ni wachezi alafu sijuhi kwa nini watu wanakuwa malimbukeni wewe una pesa kanunue poli ujenge uwe na peace, unakuja jibana kwa watu uwezi kuishi na majilani...

  • @JumaMukhtar
    @JumaMukhtar 2 місяці тому +2

    Taarifa haijakamilika eneo alijilikani ni wapi tunasikia hapa hapa nyoosheni maelezo

    • @OfficialA83640
      @OfficialA83640 2 місяці тому +1

      Soma captions na sikiliza vizuri utajua ni wapi sio kukurupuka kutoa lawama tu😂😂😂

    • @RenaldaZeramula
      @RenaldaZeramula 2 місяці тому +1

      Mbezi Makabe

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 2 місяці тому

    Mahalipo NI hapa hapa duniani .😢 huyo ndugu yuko ahera na viwanja vimebaki Duniani😮

  • @Said_Abdul
    @Said_Abdul 2 місяці тому

    Unguzeni nyumba mupate njia

  • @PhilkevinFelix
    @PhilkevinFelix 2 місяці тому +1

    Hao warithi wa huyo marehemu aliyeziba njia hawajui thamani ya majirani. Ipo siku watakuja kuwahitaji tu.

  • @petermakubi
    @petermakubi 2 місяці тому

    Acheni ujinga mbomoeni

  • @philemonmagesa5548
    @philemonmagesa5548 2 місяці тому

    Hapo ni Dar mambo yako hvyo sasa mikoani hali ikoje???

  • @JeremiahKavakule
    @JeremiahKavakule 2 місяці тому +3

    Jerry silaa kazi ipo

    • @Brunn-mh2bq
      @Brunn-mh2bq 2 місяці тому +2

      Jerry Silaa kahamishwa wizara ndugu yangu wewe hujui,?

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 2 місяці тому +1

      ​@@Brunn-mh2bqDU HATA MIMI SIJUWI KAPELEKWA WAPI??

    • @ZUWENADELLOW
      @ZUWENADELLOW 2 місяці тому +1

      Wamekosea sana kumtoa SILAA kwenye wizara ya ardhi😢😢😢

  • @gililwise
    @gililwise 2 місяці тому +3

    Kulikuwa na njia ?maana.lama kilikuwa.kiwanja mkafanya njia ni kosa

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 2 місяці тому +1

      UNAONA RAMANI HIYO BADO UNAULIZA??

  • @AwaziRajab
    @AwaziRajab 2 місяці тому

    Kosa Kijiji Au Mtaa Mmejaa Midume Wanawake Kwanini Mnalalama Na Kulia Kwa Wakosefu Umoja Ni Nguvu Acheni Kulia Lia Kuweni Wakali Mtu Anaweka Geti Wenda Freemason Uyo Lengo Lake Nini Mtu Akipita Usiku Apo Afanye Ujinga Kuweni Wakali

  • @mchawimweusinjomo5533
    @mchawimweusinjomo5533 2 місяці тому

    Mwandish ongea harak kidogo

  • @SwahiliSister-o5v
    @SwahiliSister-o5v 2 місяці тому

    Bomoa bomoa unahusika

  • @florencemeza6540
    @florencemeza6540 2 місяці тому

    Huu upumbavu uliisha enzi ua magufuli, wenue pesa anaamuaanachotaka

  • @nicolauselias9084
    @nicolauselias9084 2 місяці тому

    Rogeni hiyo familia wafe wote waishe ikiwezekana hata ndugu za marehemu huyo wafe wote

    • @fatmafatu1128
      @fatmafatu1128 2 місяці тому

      Nilijuwa wachawi hawezi kosa humu kwenye comment

  • @bintmrisho3526
    @bintmrisho3526 2 місяці тому

    Si mmbomoe bomoeni tu ndo dawa yake

  • @jeremiamwankusye9260
    @jeremiamwankusye9260 2 місяці тому +1

    Nyie nyumbani kwenu mnaweza kutoa njia?Hakuna njia ya bure kwenye kiwanja cha mtu...inunueni

  • @GodJakobTash-mu9zf
    @GodJakobTash-mu9zf 2 місяці тому +1

    Mkome kununua viwanja ambavyo havijapimwa

  • @DICKSONTimoth-xk7rj
    @DICKSONTimoth-xk7rj 2 місяці тому +3

    Usije ukayaamini machozi ya mwanamke narudia tena Usije ukayaamini machozi ya mwanamke never ever