MSONDO NGOMA WALIVYOSHEREHEKEA MIAKA 60 - WAZIRI NDUMBARO MGENI RASMI - CHEKI MAUNO JUKWAANI...

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 6

  • @webstersinje7712
    @webstersinje7712 9 годин тому

    Asante sana Manju wa Muziki Masoud Masoud kwa kutufumbua macho na kutukumbusha madini ya historia adhimu ya Bendi kongwe ya Msondo Ngoma....Kunta...Kinte.

  • @papaamarsha1659
    @papaamarsha1659 9 годин тому +1

    Hongera Sana Global Tv

  • @Kabeya410
    @Kabeya410 10 годин тому +1

    Mtangazaji hiyo INSTRUMENT INAITWA MSONDO NAMBA 5.

  • @webstersinje7712
    @webstersinje7712 9 годин тому

    Nauliza Msondo Ngoma na Nadi Ikhwan Safaa cha Zanzibar kipi ni kikundi kikongwe zaidi....Kunta...Kinte.

    • @masoudmasoud9345
      @masoudmasoud9345 5 годин тому +1

      Nadi Ikwaan Safaa ilianzishwa mwaka 1905 ila leo haipo hai. Ndio tofauti iliyopo hapo imekufa naongelea bendi zilizo hai. Ndio message hiyo hapo

    • @webstersinje7712
      @webstersinje7712 5 годин тому

      @@masoudmasoud9345 Nashukuru sana Maestro kwa ufafanuzi mzuri na wa kina....Kunta...Kinte.