WAMASAI WAKIAMSHA NGORONGORO NA KUFUNGA BARABARA, MAGARI ZAIDI YA 100 YAKWAMA "TUNAMTAKA RAIS"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 354

  • @isamony58
    @isamony58 2 місяці тому +44

    Hongera wamasai komaeni mpate hskiyenu

  • @ngakenyatinayai
    @ngakenyatinayai 2 місяці тому +31

    very nice wamasai wenzang

  • @Werema3760
    @Werema3760 2 місяці тому +40

    ■NALIONA MAANDAMANO MAKUBWA TZ🇹🇿. mwaka kesho kuna kimbembe. KUNA MABADILIKO YSIYOTEGEMEWA KISIASA.

    • @edwardmwambene3748
      @edwardmwambene3748 2 місяці тому +1

      Uwoga akuna maandamano tz

    • @edwardmwambene3748
      @edwardmwambene3748 2 місяці тому +1

      Uwoga akuna maandamano tz

    • @silasmarandu1485
      @silasmarandu1485 2 місяці тому +1

      Kwa kauli ya Nape hapa Bado sioni kama tunaweza !
      Tujitokeze kwa wingi kujiandikisha kupiga kura, hakuna njia nyingine

    • @marieconnect6389
      @marieconnect6389 2 місяці тому +1

      @@silasmarandu1485 kweli kabisa.

    • @marieconnect6389
      @marieconnect6389 2 місяці тому +1

      @@silasmarandu1485 adui ukishamjua mbinu yake ni zaidi ya nusu ya kumshinda. Nape ulikosea sana kutamka yale maneno. Mbinu hiyo itakuwa ngumu kutekeleza baada ya kujulikana hadharani.
      Watu wakajiandikishe kwa wingi

  • @enockmlyuka6475
    @enockmlyuka6475 2 місяці тому +77

    Mambo yakifikia hatua hii, ambapo watu wako tayari kufa kwa ajili ya kutafuta haki yao, ni muhimu sana busara itumike zaidi kuliko kutumia nguvu na vitisho!

    • @hamadsheni8997
      @hamadsheni8997 2 місяці тому +5

      Sheria y kuondoka vijiji ndani y hifadhi za wanyama itungwa toka mwaka 1970.

    • @lulanjamd3886
      @lulanjamd3886 2 місяці тому

      ​@@hamadsheni8997Wamasai ni kwao hifadhi imewafata wapo hapo kabla 1970

    • @angelatarimo1969
      @angelatarimo1969 2 місяці тому +2

      Kweli wananchi wananyanyasika wakiwa ndani ya taifa Lao ni bora hekima itumike hakika

    • @lucymtui8680
      @lucymtui8680 2 місяці тому +10

      Kumbe ni kweli rais kàuza hifadhi zotee

    • @josafko2259
      @josafko2259 2 місяці тому

      ​@@hamadsheni8997wengi unajua tumezaliwa miaka ya karibuni,hatufahamu kama hizo sheria tayari zilishatungwa,elimu katika sheria ndo shida kwetu

  • @LaurentLushingemasanja
    @LaurentLushingemasanja 2 місяці тому +41

    Paka dakika hii tayari tumeona tofauti kati ya uongozi wa Samia na R.I.P magu😢

    • @khamisikhamisi7225
      @khamisikhamisi7225 2 місяці тому +2

      John pmb joseph maguful 2tamkumbuka!!

    • @MagesaJunior
      @MagesaJunior 2 місяці тому +3

      Alisema tutamkumbuka kwa mazuri na wala sio kwa mabaya

  • @Ars-t2k
    @Ars-t2k 2 місяці тому +6

    Hongereni sana Wamasai.mna haki yakupigania Ardhi ya Mababu zenu.

  • @lucymtui8680
    @lucymtui8680 2 місяці тому +30

    Lissu amesema jama wameuza ifadhii

  • @MeryMelubo
    @MeryMelubo 2 місяці тому +17

    Hakika sana wanangorongoro Mungu atutangulie

  • @MasoudyMichael-ox7xl
    @MasoudyMichael-ox7xl 2 місяці тому +21

    Polepole watu wakichoka mateso watakuja kuamua mustakabali wa maisha yao kwasababu viongozi wote ni machawa hawawezi kusema ukweli

    • @NeemakimathKimath
      @NeemakimathKimath 2 місяці тому

      Kweli ata waziri mkuu alikujaga akuw na maamuzi yoyote zaidi yakupigwa na kuuwawa tumechoka uwiiiiiiii

  • @WiliamMasalu-gs2ov
    @WiliamMasalu-gs2ov 2 місяці тому +4

    Hongereni sana wamasai, sisi huku Kahama nduhu tabhu inatuumiza.
    Ni wilaya inayoliingizia Taifa kipato kikubwa lakini mazingira yake ni duni, barabara mbovu, miundo mbinu mh?

  • @ommimg2467
    @ommimg2467 2 місяці тому +3

    Safi sana ndugu zetu tuko pamoja👍

  • @goromamussatvonline
    @goromamussatvonline 2 місяці тому +6

    akuna kupita mpka masai wajibiwe OMBI lao.✊✊✊✊

  • @festohaule9716
    @festohaule9716 2 місяці тому +6

    Tanganyika itakulilia milele na milele JPM...Hii ni ardhi yao na urithi wao..kwanini tuawapa thamani wageni kuliko wazawa!!!

  • @YusufLubangula-yn6tq
    @YusufLubangula-yn6tq 2 місяці тому +10

    KUMEKUCHAA! KUMEKUCHAAA! Jamani Kumekuchaaaa!🤔Heeeeee!🔥😟🥺🤔

  • @SaitotiKesoi
    @SaitotiKesoi 2 місяці тому +11

    Ndugu zangu wa ngorongoro nawapa pongezi sana kwa uamuzi mlio amini na kufanya maandamano

  • @daudimchileg307
    @daudimchileg307 2 місяці тому +10

    Sio wamasai tuuu, watu tulisha choka saaana na CCM ipo siku, watanzania hawa wataamuka bila kuambiwa na mtu. Wote tutakuwa barabarani mabomu yataisha muda ukifka

  • @gladistaemanueliy6336
    @gladistaemanueliy6336 2 місяці тому +7

    Mungu wangu naomba uwasikilize ndugu zetu wamasai

  • @ikulunimahalipatakatifu7642
    @ikulunimahalipatakatifu7642 2 місяці тому +22

    Wamasai ni watu wapole sana na wastaharabu, Wahusika msiwachukulie poa wapeni heshima yao ,

  • @EliudiLetimo
    @EliudiLetimo 2 місяці тому +9

    Hongerani sana wana Ngorongoro
    Mnalalamikia watalii kuchelewa kufikia Serengeti siyo kuchelewa tu hata uwezekano wa kulala kwenye magari lipo

    • @rkcomercialenterprises3209
      @rkcomercialenterprises3209 2 місяці тому +2

      Siyo kulala kwenye magari,warudi kwao,charity starts at home. Haki ya wamasai ni mhimu kuliko watalii.

    • @marieconnect6389
      @marieconnect6389 2 місяці тому

      Home is home. Kila mtu analilia nyumbani kwao. Hata vipngozi wetu wanaebdeleza kwao walikozaliwa. Home sweet home

  • @gadoluhanga5106
    @gadoluhanga5106 2 місяці тому +2

    Poleni sana Ndugu Wamasai, ni masikitiko kilicho watokea pia kwa hawa wageni kutoka nchi za nje sidhani kama watapeleka habari njema za kuitangaza Tanzania na vivutio vyake kama ipasavyo, hii issue ni sensitive sana hivyo Uwongozi unatakiwa kuchukua hatua haraka

  • @mtukufusafari5535
    @mtukufusafari5535 2 місяці тому +7

    Ata kenya walianza hv hv

  • @navioma4882
    @navioma4882 2 місяці тому +8

    Tumekuchoka mama samia

  • @rehemamayemba131
    @rehemamayemba131 2 місяці тому +13

    R.I.P John Pombe Magufuli

    • @ramadhanimandoa716
      @ramadhanimandoa716 2 місяці тому

      Hamn lolote

    • @marieconnect6389
      @marieconnect6389 2 місяці тому +1

      @@ramadhanimandoa716 wewe una lolote,kwenye kichwa chako? Liseme wazi lisikike lipimwe. Acheni comment za kitoto

    • @marieconnect6389
      @marieconnect6389 2 місяці тому

      @@ramadhanimandoa716 kama huna la maana la kusema kwani lazima useme? Jamani vipi?

  • @mkambamaulid447
    @mkambamaulid447 2 місяці тому +2

    Hongereni saana Wamasai wa pande hizo ipo cku tutafika mwisho kama mpaka Wamasai waona kuna dhuruma kazi ipo

  • @abelkilawe9596
    @abelkilawe9596 2 місяці тому +3

    HAKKI Kwanza

  • @fikiriadriano4251
    @fikiriadriano4251 2 місяці тому +8

    Hapa ndo utaona tofauti ya watu wengine na wamasai, Hawa kama wakiamua huwa hawarudi nyuma"

  • @raismalingumutz8473
    @raismalingumutz8473 2 місяці тому +1

    Mungu ibariki tanzania

  • @viootanzania9080
    @viootanzania9080 2 місяці тому +4

    Wachache wananufaika na taifa letu bora masai waendelee kukaza mpaka kieleweke

  • @sleeprelaxation8431
    @sleeprelaxation8431 2 місяці тому +2

    watanzania tunaishi kwa umaskinim na tukiwa wapole wajukuu vyetu hali yao itakua mbaya zaidi. hongera kwa wamasai

  • @DouglasMkude
    @DouglasMkude 2 місяці тому +11

    Ukeona hayo tujue uchungu umekaribia mwenye D 2 amenielewa

  • @MohammediKihimbwa-bj4pf
    @MohammediKihimbwa-bj4pf 2 місяці тому +7

    Majeshi ya Tanganyika yamejengwa ili kupiga raiya na siyo mafisadi mtu anaenda jesh ili akafate mshahara mitaani ajila Amna na maisha magnum awo wanajeshi cc ndiyo tunawaripa Kodi Sasa wanawezaje kupiga raiya na uyo fisadi aripi ushuru yeye fisadi apigwi anapigwa raiya zichapwe jaman adabu itakuja

  • @EmmanuelChrispin-bo5xh
    @EmmanuelChrispin-bo5xh 2 місяці тому +2

    Hongela wa masai

  • @laisimoleli1839
    @laisimoleli1839 2 місяці тому

    Poleni sana ndugu zanguni Mungu awape nguvu ya kutetea ardhi yenu

  • @najashdawood9680
    @najashdawood9680 2 місяці тому +1

    Never give up 2 fights ✌

  • @gerevasliyunga9831
    @gerevasliyunga9831 2 місяці тому +2

    Tanzania yetu jamani,,,,kwann haya mambo yanaanza kutokea huku kwetu,,,poleni wote wenye changamoto

  • @MSOMBAAlon-gh3ps
    @MSOMBAAlon-gh3ps 2 місяці тому +2

    Kazi kweli kweli

  • @abedysteven4930
    @abedysteven4930 2 місяці тому +2

    Serekali jaribu kuckiliza wa2 ! Msijione mabwenyenye kwa kukalia vti vya juu na Huku hamtekelez shda za wa2

  • @masensethethird
    @masensethethird 2 місяці тому +3

    ILA VIONGOZI RAIS ANATAKAJE WAZUNGUZU WANAKUDANGANYA UNAKOPA KILA SIKU MBN KWA MAGU HAYA HAYAKUEPO EWE KIONGOZI FUMBUA MACHO UTALIPIA HII DAMU

  • @EmmanuelMbogoni-n3f
    @EmmanuelMbogoni-n3f 2 місяці тому +6

    Mamlaka ya Ngorongoro inasema Shughuli zinaendelea..na uyu mwendesha watalii anaonesha apo magali ya watalii yamekwama..Akili za kuambiwa changanya na za kwako.....

    • @marieconnect6389
      @marieconnect6389 2 місяці тому +1

      Sahihi kabisa.

    • @marieconnect6389
      @marieconnect6389 2 місяці тому +1

      Sijui lini tunaanza kusema ukweli bila chenga za uwongo. Ukweli humuweka mtu huru

    • @marieconnect6389
      @marieconnect6389 2 місяці тому

      Hiyu anasema hivi na yule anaonesha kingine. Nani aaminike?

  • @KileliLaiza
    @KileliLaiza 2 місяці тому +1

    Mungu ibaiki watu wangorongoro

  • @SeminaMoleli
    @SeminaMoleli 2 місяці тому +24

    Serikali ya Tanzania tunataka Leo tujue Hawa watu wa ngorongor wamewakosea Nini mnawayeza ivi mungu awaokoe wamasai wetu ila tusife moyo Kuna cku mungu atatoa jibu

    • @PatrickJulius-uy3yb
      @PatrickJulius-uy3yb 2 місяці тому +3

      Toka hapa na munguwako hongereni wamasai huundio ukombizi unaotakiwa sio mungu mungu atawapigania mungu mwenyewe amekupa akili na nguvu ili ujipambanie

    • @hamadsheni8997
      @hamadsheni8997 2 місяці тому +2

      Nyerere alipitisha sheria ya kuondoa wamasai kwnye hifidhi toka mwaka 1970

    • @hopefully7090
      @hopefully7090 2 місяці тому +4

      Mbona hakuwatoa yeye​@@hamadsheni8997

    • @aboudijaaboudija
      @aboudijaaboudija 2 місяці тому

      kwendraaaa​@@hamadsheni8997

    • @aboudijaaboudija
      @aboudijaaboudija 2 місяці тому

      😂😂😂😂

  • @isaiahisaac7240
    @isaiahisaac7240 2 місяці тому +2

    Ni ndugu zetu ni jamii yetu naikubali sannaa.. Itafuten haki yenu Maadam Inapatikana.

  • @clemencemkondya8561
    @clemencemkondya8561 2 місяці тому +13

    Mheshimiwa Rais wa Tanzania wasikilize hao wananchi .Hiyo mamlaka ya Ngorongoro inamudanganya mheshimiwa Rais samia .

    • @noelluchiba3660
      @noelluchiba3660 2 місяці тому +1

      Leo umeongea point

    • @JoelRichard-hj3bi
      @JoelRichard-hj3bi 2 місяці тому

      Mbona leo umegeuka endelea kua upande wako wa ccm,Jibu liko mbele.​@@noelluchiba3660

    • @OleSumaay
      @OleSumaay 2 місяці тому +1

      Kabisa na taifa litaangamia

    • @samwelmashamba8922
      @samwelmashamba8922 2 місяці тому

      Leo huyu clemence,kapatwa na Nini?😂😂dish limekamata chanel😂

  • @Alphonce223
    @Alphonce223 2 місяці тому +2

    Safi sana wamasai

  • @issaadinaniissa6487
    @issaadinaniissa6487 2 місяці тому +2

    Kumbe nchi ina uwezo wa kutujengea nyumba na bado halinikawa safi tu

  • @AmaniManase-x1i
    @AmaniManase-x1i 2 місяці тому +2

    Hata mm nawaunga mkono maana serikali inaangalia masilahi Yao lkn Wananchi hawaangaliwi wala kusikilizwa

  • @whatisthetruth.8793
    @whatisthetruth.8793 2 місяці тому +2

    Tunaunga mkono , juhudi za ndugu zetu wa kimasai kijipatia haki zao za kimsingi ndani ardhi yao . Samia fisadi tuu wala hakuna anae mtaka Tanganyika

  • @emmanuelShayo-dk6vf
    @emmanuelShayo-dk6vf 2 місяці тому +2

    Safiii kabisaaaaa

  • @christopherkanyalakc8941
    @christopherkanyalakc8941 2 місяці тому +2

    Good work 👏

  • @AllyFwiku
    @AllyFwiku 2 місяці тому +5

    Mh. Rais Samia tunakuomba uwaruhumie hao Watanzania na binadamu wenzetu wasio na hatia. Wanateseka sana.

    • @reginas1832
      @reginas1832 2 місяці тому +3

      Chura kwake kimkazi hajali kabisa. Shame on her

  • @EdenMboya
    @EdenMboya 2 місяці тому +1

    Anae kushauri ana kupoteza .kuomba sana ni unyonge🇹🇿😭

  • @Leyessu
    @Leyessu 2 місяці тому +2

    Hengereni sana wamasaii wenzangu muwe huru kuva kwa kutetea inji yenu

  • @LloydsTech
    @LloydsTech 2 місяці тому +2

    Afisa mahusiano aangaliwe vizuri na tamko alilotoa maana lina ukakasi #Achunguzwe

  • @naqiahmad26
    @naqiahmad26 2 місяці тому +1

    safi sana. nchi miaka zaidi ya 50 maendeleo hakuna watu wananuka ufukara

  • @MSOMBAAlon-gh3ps
    @MSOMBAAlon-gh3ps 2 місяці тому +2

    Wananchi hawathaminiki wanathaminika wageni kazi kweli

  • @edrickniwamanya5665
    @edrickniwamanya5665 2 місяці тому +2

    Safi sana baba lai

  • @FIDESMARENGE
    @FIDESMARENGE 2 місяці тому +2

    Wanaleta picha mbaya Sana kwa wagen

  • @KijukuuMtemi
    @KijukuuMtemi 2 місяці тому +1

    Ingekua Kenya pashaeleweka

  • @alexmahenge3817
    @alexmahenge3817 2 місяці тому +1

    Serikari yoyote Duniani isiyojari utu Wala kuheshimu ubinadamu hua inamaliza Vibaya saana. Tz Chunga saana saana Maamuzi yenu dhidi ya Hao jamii ya Masai. Acheni kuwaburuza mkizani ndy ufahamu

  • @jumannepaskary3182
    @jumannepaskary3182 2 місяці тому

    Hii story umeibalance vizuri sana

  • @julianndijaraye2634
    @julianndijaraye2634 2 місяці тому +3

    Watanzania hatuwezi mwaga damu kudai haki yetu, njia mbadala na rahisi kupata haki yetu ni hii; "KUANZIA UCHAGUZI UJAO WA SERIKALI ZA MITAA HAINA HAJA YA WATANZANIA KUSHIRIKI KAMPENI ZA WANASIASA WOTE WALA KUSHIRIKI UPIGAJI WA KURA NA HILI TULIENDELEZE MPAKA UCHAGUZI MKUU MWAKANI 2025."

    • @marieconnect6389
      @marieconnect6389 2 місяці тому

      Hapana sikubaliani. Kura zikapigwe kwa wingi sana ili watu watoe madukufuku yao kwenye sanduku la kura. Vinginevyo hao mnaowapinga wachache wataendelea kujishindia kwa urahisi na kuendelea kazi zao.
      Kura zikapigwe tena kwa wingi sana. Na zisimamiwe kwa umakini

    • @marieconnect6389
      @marieconnect6389 2 місяці тому +1

      Kwani kura zisipopigwa na wapinzani unadhani zitawaathiri watawala? Hiyo ndiyo furaha yao. Watapata ushindi wa bure bila kupingwa. Au ndo unachowapigania?

  • @YahayaChima-ji7dk
    @YahayaChima-ji7dk 2 місяці тому

    Tatizo nchi yetu inathamini wawekezaji kuliko wazawa hats Mimi inaniumaga sana hongereni sana Masai komaeni taratibu wataelewa

  • @heavenlightmushi-xk7ro
    @heavenlightmushi-xk7ro 2 місяці тому

    wow gen z of ngorongoro 🧠nawapenda sana wamasai

  • @EdenMboya
    @EdenMboya 2 місяці тому +1

    Wana sema usimtafute. Anae kuficha ana kueshimu sana

  • @storytownTv
    @storytownTv 2 місяці тому +8

    MBONA LISU ALISHAWEKA WAZI NGORO NGORO IMESHA UZWA KWA WAARABU..😂 NA MI TANO TUNAENDA NAE MPSKA TUTHEME

    • @AmyeSanga
      @AmyeSanga 2 місяці тому

      Tuseme mmaa😢😢😢

    • @storytownTv
      @storytownTv 2 місяці тому

      @@AmyeSanga yaan apo bado..😂

    • @tumainimayala8187
      @tumainimayala8187 2 місяці тому

      Ngorongoro ukiingia tu simu yako inasoma welcome to UAE…

    • @joezeno8
      @joezeno8 2 місяці тому

      @@tumainimayala8187😂😂

    • @ruthdavie1175
      @ruthdavie1175 2 місяці тому

      @@tumainimayala8187 heee

  • @wanchara184
    @wanchara184 2 місяці тому

    Safiii pa1 tunawezaa

  • @KassimAlly-xp4dz
    @KassimAlly-xp4dz 2 місяці тому +2

    Wamasai wana damu ya kikenya tatizo lao ni hawajui kizungu 2

  • @Yusupholondoyelaizer-c2y
    @Yusupholondoyelaizer-c2y 2 місяці тому

    Mungu bariki KAZI ngorongoro yet

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 2 місяці тому

    Safi sana ngorongoro ni mali ya watanzania tena watanganyika wanao itwa wamasai

  • @nichoojr.6747
    @nichoojr.6747 2 місяці тому +1

    Sema Mama Zunguka Mikoani unaongoza watu Eti Zunguka Ata uone watu WA chini Huku Mambo Mengi utasikia😢

  • @GeorgeKulei
    @GeorgeKulei 2 місяці тому +1

    Watuliyoko kwenye hifadhi ya ngorongoro tuseme Mungu utupiganie

  • @TitoRufizi-xb2ub
    @TitoRufizi-xb2ub 2 місяці тому +1

    Safi sana masai aridhi yenu imeuzwa pambaneni

  • @jamesmbaima-i8o
    @jamesmbaima-i8o 2 місяці тому +2

    hiini haki yetu wana ngorongoro atuhami tunasikwa apopalipo sikwa mababu zetu😢😢

  • @MASSEYMEDIA-1
    @MASSEYMEDIA-1 2 місяці тому +1

    hiyo taarifa ya uma ni ya uongo kwa maana watu wapo wengi sana na sio baadhi ya watu na pia hao watu wanaohusika na utoaji wa taarifa kwa serikali huko ngorongoro wote wafutwe kazi maana ni wadanganyifu wote kiukweli hakuna shughuli yeyote iliyoendelea jana ya utalii huko ngorongoro so wakamatwe hao watu wa NCAA wanaopotosha serikali

  • @kelvinwambura8083
    @kelvinwambura8083 2 місяці тому +2

    Safi sana wamasai wanaelimu kubwa watanzania Elimu ya kikoloni inatufanya waoga 😂

  • @emanuelkidali9733
    @emanuelkidali9733 2 місяці тому +1

    Safii saana wamasai wao wanaingiza hela kupitia nyie

  • @RajabuMkonje
    @RajabuMkonje 2 місяці тому +3

    Police hao sio chadema wapigeni muone kama mtatoka hapo😂😂😂😂

  • @rkcomercialenterprises3209
    @rkcomercialenterprises3209 2 місяці тому +1

    Ayo,mbona kwenye mambo kama haya unachelewa sana kuripoti.

  • @marieconnect6389
    @marieconnect6389 2 місяці тому +1

    Kwanza hao wamasai ndani ya mbuga za wanyama ni.kivutio Kikubwa tena cha kipekee sana cha kuvutia watalii toka duniani kote. So kitu cha kawaida kabisa.
    Hiyo pekee ni utalii tosha

  • @ramadhanhassan9308
    @ramadhanhassan9308 2 місяці тому +1

    Hawana kiongozi duu

  • @AminaLucas
    @AminaLucas 2 місяці тому +1

    Please Government solve with good ❤ this is so painful they are human

  • @JosephDandu-sr8tr
    @JosephDandu-sr8tr 2 місяці тому +1

    Wapewe haki yao ni watanzania wenzetu

  • @SajidaAli-g2t
    @SajidaAli-g2t 2 місяці тому +1

    Bora mdai haki mana ngorongoro maji hamna miundo mbinu ni bovu yàan cio mazingira rafik shule n nzur lakin hamna maj 😢

  • @beinafuu6219
    @beinafuu6219 2 місяці тому +1

    Sasa hiyo barua mbona mnasema hakuna kilichotokea jaman.

  • @kimjuiyoung1686
    @kimjuiyoung1686 2 місяці тому +1

    Umoja ni nguvu...wapeni haki zao, naonibinadamu

  • @machintangachibwena5922
    @machintangachibwena5922 2 місяці тому +1

    Royal tou hiyo

  • @wilsonjaphet5547
    @wilsonjaphet5547 2 місяці тому +1

    Tatizo hiyu Rais tulie naye yeye ni kuagiza tu, Hata kutembel3a wananchi yeye hawezi haya mambo yapo mengi sana R.I.P John pombe Jospeh Magufuli

  • @BarakaPeter-r4x
    @BarakaPeter-r4x 2 місяці тому +1

    Huo ni uonevu watu wanahaki yao Wala hawatakiw kumuomba kiongoz yoyote anaestahil kuombwa ni mwenyez mungu peke yake

  • @mustafamasudi8093
    @mustafamasudi8093 2 місяці тому +1

    Hao nao ni nyumbu tu changanya humohumo kwenye hifadhi wawe vivutio vya utalii au wapelekwe kenya Tanzania hatunaga watu kama hao wa hovyohovyo hao ni wanyama wa msituni huwezi kuwatoa humo😊😊😊😊😊 😊😊😊😊😊

  • @alenminja445
    @alenminja445 2 місяці тому

    Nawish Tanzania nzima tungekuwa ni wamasai,haki hawa wapigaji tungeshawapoteza mapema,yaani apa nafanya kurudisha miaka nyuma mpaka namuona Mhe.Edward Moringe Sokoine😢

  • @KasangaKalanga-vo6od
    @KasangaKalanga-vo6od 2 місяці тому +1

    Na bado iko siku tutajitetea Kwa njia nyingine

  • @winiemajengo1679
    @winiemajengo1679 2 місяці тому

    Mungu tupe ufumbuzi wa amani

  • @TadeoEmanuele
    @TadeoEmanuele 2 місяці тому

    Hatuna rais tz

  • @tidomilinga3750
    @tidomilinga3750 2 місяці тому +1

    Hela nyingi sh ngapi inabidi Marisha hao watu bila utu hakuna Hela nyingi

    • @tidomilinga3750
      @tidomilinga3750 2 місяці тому

      Hela nyingi itazidi utu

    • @tidomilinga3750
      @tidomilinga3750 2 місяці тому

      Hao hapo wanapata sh ngapi unasema eti Hela nyingi Yani huoni hao wanavyoteseka we unasoma Hela TU hayo ndio mambo aliyokatazaga mwasisi wa taifa

  • @Teresiamwagange
    @Teresiamwagange 2 місяці тому

    Wanasimamia aman y watarii kuliko raia wao

  • @nassibhussein6150
    @nassibhussein6150 2 місяці тому +3

    Jaman chura kiziwi hata mfanyaje hasikii

  • @norobo205
    @norobo205 2 місяці тому +1

    Leo mpaka watu wamezeekea hapo alafu uwaambie wahame

  • @MagilaiLobangutii
    @MagilaiLobangutii 2 місяці тому +1

    Busara itumike

  • @personpeter2221
    @personpeter2221 2 місяці тому +1

    Delila go

  • @AsungaSteven
    @AsungaSteven 2 місяці тому

    Yaani aibu sana ........wageni wametoa pesa yao then wamekwama ,next time watakuja kweli.
    Serikali iangalie hili kwa jicho la pili aisee.