nimeguswa na wimbo huu,,, wanaocheza ngoma na kinanda wamebobea,,, pia kucheza kwenu kunavutia haswa wanaume,, Mungu awape uzima ili mkazidi kutuburudisha hata zaidi,,,,
+C Sato wazee weng wapi busy na mambo yao"ikiwepo ushilikina"lkn hawa wamempa mwokoz wao maisha:ni furaha ya ajabu^ i love jesus"ndio kimbilio la wengi
Mungu awajilie muendelee kuimb vzr zaid kwaya safi
Daaaaah sichoki kuuskilza wimbo huu
Kongole wanajoseph Mungu awazidishie wema wake
nimeguswa na wimbo huu,,, wanaocheza ngoma na kinanda wamebobea,,, pia kucheza kwenu kunavutia haswa wanaume,, Mungu awape uzima ili mkazidi kutuburudisha hata zaidi,,,,
May the lord empower u the more
Mungu n mwema
hongeni sana.hii ndo joseph shy mungu awabariki
raha iliojeee ndani ya Yesu
kwamungu hakuna mzee ote niwatoto shukuran amen
Amina sana mbarikiwe
hongereni sana wana wa Joseph Mfanyakazi. ama hakika inavuma daima
Wana kizito wameuimba wimbo huu,lakini hawakuweza kuotoa jinsi mliouimba vizuri saana asanteni.
hahahaa! ni balaaa, hakika si mchezo. Shukrani sana kwenu wanajoseph. Mungu azid kuwabariki.
A well organized song,God is great and MUST be praised always,like the organists fingering
Haleluyaaaah
wimbo mtamu sana huu, asanteni wana Yosefu mfanyi kazi
Asante sana mt.joseph mungu awabariki sana ktk utume wenuu
hongeren sana kwani nimependa sana wimbo wenu Mungu awabariki
mwenyezi MUNGU Awabariki kiujmla
hongereni sana mt joseph
its so blessing,keep it up
hahahaaaa...safi sana. mbarikiwe
jamani ni fulaha ya ajabu kuona bibi na babu wakimtunza mungu mungu awainue
+Aseer Alsamt , Yaani we acha ni furaha kweli, kwa Mungu hakuna mzee wote ni kusifu Mungu bila kikomo. Mubarikiwe sana kwa utume mwema.
+C Sato wazee weng wapi busy na mambo yao"ikiwepo ushilikina"lkn hawa wamempa mwokoz wao maisha:ni furaha ya ajabu^ i love jesus"ndio kimbilio la wengi
uwaao
How can I download this song.
amen
Cd inapatikana wp