Mt. Kizito Makuburi- Inavuma (official video)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 вер 2024
  • St, Kizito catholic Choir, Makuburi catholic church ,Dar es Salaam Tanzania
    Inavuma ni utunzi wa Bernard Mukasa na kuimbwa na Kmk Makuburi katika toleo la pasaka la 2009 lenye jina yuko Galilaya

КОМЕНТАРІ • 221

  • @JosephKauzeni-ys4jt
    @JosephKauzeni-ys4jt 7 місяців тому +2

    Na sauti zitavuma kuutangaza ukuu wa MUNGU katoka maisha yetu. Asante sana Kwa nyimbo hii hata isiwe pasaka bado unaimba akilini. Ukumbusho wa mambo sana

  • @wilminaanyango5157
    @wilminaanyango5157 6 років тому +2

    Nifuraha kwangu kusikiliza nyimbo hizi Qatar ,zinanijenga kiimani zaidi...Mwenyezi Mungu awazidishie neema mzidi kulitukuza Jina lake amina

  • @zachariagerald
    @zachariagerald  13 років тому +5

    Amina..tunashukuru sana kwa kufurahishwa kwako na ufundi wetu. Ubarikiwe sana kila usikilizapo nyimbo zetu, kwa pamoja tumsifu Mungu wetu..mt. Kizito.

  • @Raphookash
    @Raphookash 4 місяці тому

    Sauti inavuma ,,twaimba alleluia na kukuchezea baba ❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉 milele daima atukuzwe💖💖💖💖🔥🔥🔥🔥

  • @claramwanyalila328
    @claramwanyalila328 10 років тому +2

    Huyu organist, yuko juu hakika hongera kaka wewe

  • @aplus01ltd68
    @aplus01ltd68 3 роки тому +1

    Sauti tamu. Mungu awabariki

  • @GasperNyambo
    @GasperNyambo 2 дні тому

    I was here in 2024, 9/9✅📌🔥🔥🔥🔥🔥

  • @lavinierasto4169
    @lavinierasto4169 2 роки тому +1

    Nyimbo hii inaniburudisha sana nawaapenda sana waimbaji mungu awabariki

  • @pilisungwa6072
    @pilisungwa6072 4 роки тому +1

    Hongera pia kwa mshoboz mungu awabariki sana

  • @lucyadhiambo5582
    @lucyadhiambo5582 4 роки тому +11

    Who is still listening amd loving this year in 2019? My all time favourite choir

  • @stephenthangwa5253
    @stephenthangwa5253 Рік тому +1

    Aki hi song inanikumbusha lfe yarmo

  • @christianmagehema3471
    @christianmagehema3471 3 роки тому +1

    Asante kwa ujumbe kwa kuimba

  • @user-oq9ij2mw9i
    @user-oq9ij2mw9i Рік тому +1

    Hongereni sana kwa wimbo huu mzuri sana

  • @tommusyoki5564
    @tommusyoki5564 2 роки тому +1

    Waw. This song was late done as "sauti inavuma" by St Joseph the worker...

  • @matalasolidale5308
    @matalasolidale5308 4 роки тому +2

    wimbo mzuri sana

  • @modestusulanga5021
    @modestusulanga5021 8 років тому +13

    nyimbo zingine zinakosha nyoyo zetu, asante kwa wimbo mzuri kwaya ya mt. kizito na shukran zimfikie mtunzi wa wimbo huo mr. Bernard Mukasa

  • @MrMosca01
    @MrMosca01 13 років тому

    nyimbo zenu zimenifurahisha sana mungu awabariki

  • @immaculataroeser3067
    @immaculataroeser3067 7 років тому

    Mt.Kizito Kwaya Mavulunza sina wa kuwafananisha mnanikonga roho yangu kwa nyimbo hizi za Pasaka .Hongereni sana Mungu awabariki.

  • @patrickmukambilwa584
    @patrickmukambilwa584 5 років тому

    Basimwalimuwetu walimu uwa kwa ajili yazambi zetu ilitupate wokovu kwamaana tulikuwa wakosefu tupate kumuomba mungu msa maha ilitupate kuwa wenye furaha sikuzote zamai sha yetu

  • @erneuslugusi1259
    @erneuslugusi1259 8 років тому +3

    yaaani kuimba Ni raha Kama wimbo huu wa sauti inavuma Ni nomaa pongezi Mr .Bernald Mkasa respect katika utunzi

  • @rabackmedia1988
    @rabackmedia1988 10 років тому +6

    MUNGU awabariki na awape nguvu ya kuzidi kutuhubiria kupitia nyimbo [ Na tumsifu YESU Christo milele ........Amina ]

  • @dinakaluka4794
    @dinakaluka4794 7 років тому +2

    mapendo aaisee sauti inavuma pande zote zinatetemeka kweli ameen mbarikiwe Mt kizito wow

  • @janethmassawe106massawe7
    @janethmassawe106massawe7 6 років тому

    Najivunia sana kuwa mkatholic Mungu awabariki nyimbo nzuri sana nasikia furaha sana nahisi kama nko mbinguni ktk kiti cha enzi nasikia furaha ndani ya moyo

  • @lizbosire4524
    @lizbosire4524 8 років тому +23

    mt.kizito iyo sauti imevuma sana hata nikakosa usingizi juu ya furaha moyoni,am so blessed ,am a . kenyan I love catholic music,am proud being in catholic ,thanks brethren God bless you
    my prayers for you good health n success

  • @zachariagerald
    @zachariagerald  11 років тому +2

    Asanteni sana nyote, wairima tutakuja Nairobi end of may this year, tutatembelea makadara parish, karibu sana

    • @jepkemei
      @jepkemei 3 роки тому +1

      Karibuni tena Nairobi.

  • @zachariagerald
    @zachariagerald  13 років тому +1

    Amina..tunashukuru sana Donat, kwa kufurahishwa kwako na ufundi wetu. Ubarikiwe sana kila usikilizapo nyimbo zetu, kwa pamoja tumsifu Mungu wetu..mt. Kizito.

  • @jaredauma7975
    @jaredauma7975 2 роки тому +1

    awesome music

  • @veevee_vee
    @veevee_vee 7 місяців тому

    This song reminds of my childhood. very nostalgic

  • @butungo1
    @butungo1 10 років тому +10

    This song reminds me of my six months in Sweden. I used to listen to it now and then

  • @butungo1
    @butungo1 12 років тому

    Katika nyimbo zote za Kizito nilizowahi kuzisikiliza, wimbo huu mmeutendea haki sana kwa kila kitu...uniformity, costumes, tradition ya Kihaya, Kinanda, ngoma n.k. Hongera sana wanakwaya

  • @philipkisega3819
    @philipkisega3819 10 років тому +2

    mungu awabarik sana kwa kutunga nyimbo nzuri za kujenga maadili na kuwahamasisha watu wampokee mungu kuwa bwana na mokozi wa maisha yao amen

  • @zachariagerald
    @zachariagerald  13 років тому +9

    Amen, Thank you very much, Glory to God, and many blessings to you through our songs.

    • @es7790
      @es7790 3 роки тому

      Wimbo mtamu sana. Tuwekee lyrics

  • @AgainstAnfield
    @AgainstAnfield 8 років тому +3

    wimbo mtamu sana,sauti za kuvutia,densi ya kupendeza pongezini sana najipata nacheza densi pia

  • @johnsadiki2657
    @johnsadiki2657 Рік тому +1

    KMK Makuburi my all time favorite choir. I'm blessed by this song.

  • @Sr_emilyjeptoo
    @Sr_emilyjeptoo 3 роки тому +2

    Anybody here 2021👍🙌

  • @paulmakombe8453
    @paulmakombe8453 10 років тому +4

    Nafarijika saana navoona nakusikia wakritu wenzangu mkidumisha mila ya kumtangaza kristo kwa njia ya uimbaji

  • @davidchasimba4515
    @davidchasimba4515 8 років тому +2

    Naburudika na kuzidi kuabudu.Hongera

  • @neemamwamoto6789
    @neemamwamoto6789 6 років тому

    Huu wimbo mwaka jana uliimbwa kanisani pasaka. kanisa zima niliona limehamasika kwa furaha. kadharika na mwaka huu uliimbwa tena nikatoka nje kutafuta CD hatimaye nikaupata. Ni wimbo mzuri sana

  • @lizlin2372
    @lizlin2372 10 років тому +4

    NIMEBARIKIWA NA WIMBO HUU

  • @jamesmntangi332
    @jamesmntangi332 7 років тому

    Huu wimbo kiboko jamani! Mt. Kizito hongereni sana kwa kazi zenu!

  • @gabie4715
    @gabie4715 2 роки тому +1

    Very beautiful song. Thank you so much

  • @eutropiaemmay4122
    @eutropiaemmay4122 8 років тому +4

    najivunia to be a catholic christian,congrants waimbaji be blessed

  • @dalmaciousmachongo5995
    @dalmaciousmachongo5995 6 років тому +1

    hongera st kizito nyimbo zenu za tutuliza roho zetu

  • @muendoandrew
    @muendoandrew 10 років тому +9

    hii kwaya noma sana..sijui niwaite jembe au...safi sana salamu nyingi toka Roma..

    • @martinaochieng5986
      @martinaochieng5986 10 років тому +1

      I really love the song I replay continuosly utunzaji bora sana

  • @AnnamaryAndrea
    @AnnamaryAndrea 4 місяці тому

    Mna2konga mioyo sana hakika mungo abarik kwaya yenu

  • @frankkamili7654
    @frankkamili7654 3 роки тому +1

    Kristo tumaini letu

  • @magretpeter9924
    @magretpeter9924 4 роки тому +1

    God bless you all

  • @paschaljulius6461
    @paschaljulius6461 7 років тому +4

    I'm blessed with my listening to this choir.
    It is the best song I feel like I am walking past the heaven.
    God bless the singers and grant them with the gift of eternity

  • @sunguttronald5289
    @sunguttronald5289 Рік тому +1

    A very good song for reflection

  • @mutamacharles8211
    @mutamacharles8211 10 років тому +1

    Ahsante sana Zach kwa kueneza Injili ya Kristu......Sauti hiyo na IVUME Milele na milele... Amina..

  • @happinessngoitanile9248
    @happinessngoitanile9248 7 років тому

    mbarikiwe zaidi na zaidi wapendwa, Mungu azidi kuwalinda na kuwapigania muwe washindi daima, sauti inavuma pande zote, nice sanaaaaa

  • @tonnytonito1536
    @tonnytonito1536 4 роки тому +1

    I can't get enough of this song🙏🙏🙏🙏 God bless you guyz kazi safi

  • @immaculataroeser3067
    @immaculataroeser3067 7 років тому

    Hakika ni Yeye ni Mwamba hasa.Heshima ,enzi na utukufu ni wake hata milele na milele

  • @milesleo8360
    @milesleo8360 Рік тому +1

    i like the beat more and the rythm

  • @denniskkirwa2558
    @denniskkirwa2558 5 років тому +1

    I love the dancing by the man in red at 5.00. Beautiful song altogether. Hongera!!!!

  • @تاتوجمعه
    @تاتوجمعه 5 років тому

    Safi sana mpinga kinanda mungu akubariki

  • @jovinamgashe1883
    @jovinamgashe1883 7 років тому +2

    sauti imevuma kweli maishani mwangu. Mungu awazidishie nguvu

  • @nyhamapagi9694
    @nyhamapagi9694 8 років тому +9

    aise mnaimba vizuri mdumu katika iman ya kweli na muimbe kwa kimanisha mungu awabariki

  • @Gosbert100
    @Gosbert100 13 років тому

    Kazi nzuri sana. Tunawashukuru sana na Mungu awabariki sana. Wimbo nzuri mno hata malaika mbinguni wanamsifu Mungu kwa wimbo huu.

  • @fredenceserapion8791
    @fredenceserapion8791 10 років тому +8

    Nawashukuru sana.Mimi ni mpenzi wa nyimbo zenu.kila mkirekodi album mnaonesha kupanda zaidi ya iliyopita.Mungu awazidishie ili muendelee kumsifu.Kristu Tumaini letu.

  • @zachariagerald
    @zachariagerald  13 років тому +2

    Asante sana kwa kuzipenda Osca, Mungu Akubariki sana.

    • @kennoscar8319
      @kennoscar8319 2 роки тому

      Oscar you say? 😂😂😂😂.....10 yrs and still counting!!!!!

  • @simonmlelwa440
    @simonmlelwa440 2 роки тому +2

    Blessed ..

  • @mutamacharles8211
    @mutamacharles8211 11 років тому

    Ukweli mtupu! SAUTI YA INJILI IZIDI KUVUMA MILELE NA MILELE AMINA.TUMSIFU YESU KRISTU.MILELE AMINA

  • @silvermacho4654
    @silvermacho4654 4 роки тому +1

    Blessed 2020

  • @immaculataroeser3067
    @immaculataroeser3067 7 років тому +3

    Hakika nyoyo zinakongeka sana kwa wimbo. huu vizuri sana

  • @Samkigen
    @Samkigen 11 років тому

    Na Bwana aibariki jumuia ya Mtakatifu Kizito.

  • @christinemutemi2186
    @christinemutemi2186 2 роки тому +1

    A very nice song

  • @allyhamad966
    @allyhamad966 5 років тому

    Hii nyimbo nimeipenda jamani

  • @claramwanyalila328
    @claramwanyalila328 10 років тому

    Makuburi Hoyeeeeeeeeeeeeeeeeee! hongereni sana naipenda sana albam yenu. Mungu awabarikini sana

  • @eddymouhani8255
    @eddymouhani8255 8 років тому +3

    Oh very good it's possible to have partion for sawudi im congolese brazzaville so I like this song im choriste

  • @obubadaphine8423
    @obubadaphine8423 4 роки тому +1

    Sauti zimepangwa zikapangika

  • @muthuititotito9698
    @muthuititotito9698 5 років тому +1

    Very nice songs

  • @salomemarco8552
    @salomemarco8552 6 років тому

    Aaaaleleleleeeeeee,,,,,,,,,, iiyo wimbo mzuri sana, nakupnda mnoo, nmebarikiwa

  • @mutukumuthama393
    @mutukumuthama393 10 років тому +1

    Mko juu. Keep it up! Amina.

  • @annkyeki5972
    @annkyeki5972 7 років тому +3

    Nice songs .God bless u all.Heko kwa mtunzi wenu.

  • @zawadimachariagrace5298
    @zawadimachariagrace5298 8 років тому +2

    vigelegele vya nguvu vina ambatana makofi tunapiga makofi , makofi , makofi tu! wow nyc work

  • @betyjackson3756
    @betyjackson3756 7 років тому +1

    nawapenda san kway hii mungu awabarki sana

  • @johnwanzagi8242
    @johnwanzagi8242 9 років тому +4

    HONGERENI WATOTO WETU...

  • @obishow4138
    @obishow4138 2 роки тому +1

    Nice song.....

  • @seniorfikiry3326
    @seniorfikiry3326 8 років тому +2

    nafarijika sana kusizikiliza nyimbo za kikatoliki

  • @immanueltimothy1873
    @immanueltimothy1873 4 роки тому +1

    I'm here in 2020

  • @dsshirima77
    @dsshirima77 11 років тому

    Mungu awabariki kwa kutumia vipaji mlivyopewa nae kwa kuimba na kumsifu.

  • @regnaalex8722
    @regnaalex8722 8 років тому +1

    naburudika sana na najivunia kuwa mkatholic hongereni sana waimbaji

  • @makovoisrael5938
    @makovoisrael5938 Рік тому +1

    Nipo hapa

  • @georgemilambo5251
    @georgemilambo5251 8 років тому

    mbalikiwe sana wimbo mzuri wenye kubeba ujumbe mzito

  • @clarajames7740
    @clarajames7740 7 років тому +3

    mungu awabariki.

  • @kibanashion8155
    @kibanashion8155 7 років тому

    Napenda sana kwaya najivunia kua mkatolic

  • @akuracharles8632
    @akuracharles8632 4 роки тому +1

    Very peaceful song for souls. Let's do more of these beats and rythm

  • @protuswamalwanjasi9160
    @protuswamalwanjasi9160 4 роки тому +1

    Makuburi choir hoye

  • @janewathiru5504
    @janewathiru5504 9 років тому +4

    Hulala................Gosh i juz love this song especially da rythm eeeeee wacha tu!

  • @nicholasmutune223
    @nicholasmutune223 7 років тому +2

    From Loitoktok Kenya. wonderful sauti, keep up the spirit

  • @marjanrama2450
    @marjanrama2450 5 років тому +1

    Excellent

  • @princeisaac875
    @princeisaac875 2 роки тому +1

    Who is here 2022??

  • @delphineumutoni1461
    @delphineumutoni1461 9 років тому +2

    Ai!!!! Can't stop listening to this song!!!! Barikiweni!!!1

  • @lydiahnyambasora5015
    @lydiahnyambasora5015 9 років тому +1

    i can't stop listening to this song.i love it.. naisikiza mara mia

  • @winifirdamayara2419
    @winifirdamayara2419 6 років тому

    najisikia laha sana kuwa mkatoliki amina

  • @ERICKBIZZYE
    @ERICKBIZZYE 10 років тому +3

    Swt song...mbarikiwe sana

  • @phelisterpatrick3155
    @phelisterpatrick3155 8 років тому +2

    I love your music ..God bless u .#proud being catholic

  • @Fabius_Septimo
    @Fabius_Septimo 6 років тому

    Chaque fois que je savoure cette belle mélodie, mon cœur se remplit de joie!!
    Hongereni sana kwa wimbo huu.Mungu awajalie neema nyingi muweze kuendelea kutangaza Injili.

  • @cleopasmogire7177
    @cleopasmogire7177 3 роки тому +1

    Bravo