Hakuna ubishi,kama vile umeimbwa jana tu! Hongera zao Sikinde na RIP wote waliotangulia mbele ya haki,hakika kazi yao inaendelea kuishi mioyoni mwetu wapenzi wa Muziki wa Sikinde.
Nakumbuka mbali sana kipindi hicho Tanzania ikiwa na maadili ya kutosha ,mtoto ni wa wote yaani ni wa Jamii yote akikosa yeyote anamkataza na kumchapa ,kipindi wazazi wanatoa malezi bora kwa wototo siyo leo hii wazazi wanatoa matunzo kwa watoto
Miziki hii huwa yanikumbusha mbali saaaaaaana. Enzi ambazo maisha yalikuwa ya gharama ndogo, ugaidi ulikuwa nadra saaana na watu walikuwa na umoja saaana.
Nani mwingine anasikiliza mwaka 2019? Huu ndo muziki, nakumbuka miaka ya 80 tulikuwa tunakaa maeneo ya Mafiga, Morogoro. Mara nyingi ilikuwa tukimaliza kucheza kombolela, jioni tunaanza kushindana kuimba nyimbo hizi. Udogo, raha sana! Stress free
Machozi yananitoka Jaman nikiwakumbuka mrehemu wazazi wangu. Mungu aweke mahali pema na kuwasamehe mazambi yao.. Mm nimekua kiongoz wa familia dah Dunia kweli mapito
Nakumbuka mbali sana nikisikiliza nyimbo hizi maisha yametufanya tupotezane na Jamaa tuliokuwa nao pale kijini ndugu tuliokula pamoja sahanimoja kulala pamoja kwenye mkeka nakumbuka sana Nyumbani
Timeless one. Takes me back to the days of Billy Omalla of then VoK. He always played this song and we sat back to enjoy it. May his soul rest in peace.
Daaaa namkumbuka sana marehemu baba yang alikuwa anaimba hadi rahaa huku mm nikiwa nacheza ewe mola wangu mpunguzie adhabu za kabrii baba yngu na wote walotangulia mbele za haki amiin amiin
We played this song on that sad afternoon, on 6th March 2021, we had just laid dad to rest. I lost hope and felt unbearable grief, yet today I am still here. Learning to live with the loss and navigating a new life in the USA. Muziki wa zama unavuma.
It is 9th January,2021, 16 years since I got a very bad bus accident but survived and listening to this golden old music of Marquis Original 80's. It reminds me the primary school life.
My dad used to listen this song 🎵 when I was a young boy and interestingly I also loved it! But most of the children in todays life only 2% can recognise this as good music; but the fact remains.... old is good, and even gold sometimes 😂
Nakumbuka enzi hizo Njombe tunaishi maisha mepesi sana, so innocent!Tunakusanyana the whole family tunaisunguka radio kusikiliza these kind of musics!Nostalgic!If only I could turn back the hands of time…….!
Reminds me of Voice of Kenya (VOK) in the 80s. Watangazaji waliobobea zama hizo kama akina Sophie Clay, Gladys Erude, Amina Faki, Elizabeth Obege, Eddy Fondo, Anunda Sakwa na wengine
Kila nisikilizapo hizi nyimbo huwa nakumbuka Enzi zile tunatengeneza magari ya waya, matairi ya ndala. Enzi zile tunatengeneza mipira ya manailoni. Enzi zile tamu, Enzi zileeeee RTD is the big thing in town. Mungu wangu nasikia machozi yanakaribia kunichuruzika..
Niko Kenya na nakumbuka huo wimbo nikiwa shule ya msingi na ni kweli sikuwa najali maana baba na mama walikuwa wananichunga. . .lakini sasa niko mzee wa miaka 57 na nimepitia mazito na ya kuvunja moyo lakini ni kawaida. Najikuta sasa nategemewa vile nilivyotegemea marehemu baba na mama. Tuliwapenda Marquis Original
Aaaah.Sauti nyororo.Maneno mazuri.Tulikua tukiskiza kwa KBC Radio.muziki kweli chenye nashika roho.!!!!! Siku hizo mungu alikua karibu nasii.Leo hii janga tupu.!!!!!
Power Nguzo nakushukuru sana jinsi unavyotuburudisha na kutukumbusha enzi zetu sisi wa 45+. Sasa nisaidie kutuwekea wimbo wa TOT Band (Achimenengule) chini ya marehemu Banza Stone,jina nimesahau ila walikuwa wanaimba "SINA UKOO MIMI SINA NDUGU WA DAMU WALA KABILA WALA UBINI ....."
Udogo wangu miaka ya 80 hapo kizingo Mombasa baba alikuwa akifungulia RTD mwendo wa saa saba mchana baada ya Habari nyimbo ni hizi. Kweli walikuwa wanamuziki wa kweli.
This song win mind joy and it takes my memory back in early 90s nilikuwa namsikia mama yangu akiimba sana wimbo huu mara nyingi akiwa anajifanyia kazi zake. Baadae nikawa nausikia kwenye kipindi cha lala unono from RTD.
kila ninapo sikia nyimbo hizi,,namkumbuka xana kaka yangu,fest bon,wetu,,kwa sasa hatukonae tena,,eee,,munguilaze roho za malehemu kaka zetu,, mahalipema peponi,,Amina,,
Sikia sauti zilivyotamu, vyombo vilivyopangika halafu ujumbe murua kabisa. Nilikuwa Sumbawanga miaka.hiyo kipindi km mchana mwema, jioni njema dah hizi zilikuwa golden days
Hii ni Maquis original na sikinde yaani kwa yaani kwa Dunia ya leo ni kama diamond na ally kiba waungane watoe kitu. haiwezekani.zamani lkn zamani iliwezekana kwa wazee wetu .
Wadungu wenzangu, kila wakati ninapo u sikia wimbo huu akili urundi reverse mpaka mwanzo wa maishani wakati nilikua mdongo. Haki nampa huyu Makumbele Lulembo marks mengi zaidi kwa utunzi wake kibao. Bado pia naulumbuka wimbo wake "Makumbele na pia Makumbele no 2 habao naupenda sana. Makumbele juu juu zaidi
Ahhh!!! Jamani, huu muziki no way ukweli. Inanikumbusha Manisha yangu Mombasa Likoni. Nilipo Kuwait nikiishi na ndugu yangu mkubwa KIZINGO karibu na OCEANIC HOTEL.
our good presenters in vok like, brother said ali matano, gladys erude, mdj eddy vondo, etl used to play these numbers especially during salamu za mchana.
Zina ishi, maana alitunga kwa kuzingatia matukio halisi sio ya kufikiria kama sasa,wali beba uhusika ktk swala zima la utunzi na kigezo kikuu ni nidhamu kilihusika,vija wa sasa wame kosa ubunifu wame baki kuwa wakalilifu tu vya wenzao na uvivu wa kufikiri
Enzi za utawala wa Baba Moi 🇰🇪 yapendeza kwa JK Nyerere tunatoka tz Tarime tunavuka kusoma Kwa Mzee Moi hakuna gogoro na maziwa twanywa kwa shule,Dunia salama hakuna wauaji wee Mungu iombee tz
Power Nguzo, we thank you so much for taking us back to our childhood memories, though now we are grown up we witness the reality. God bless you. However, if you can give us the list of those involved in preparation and production of this great work we will be thankful.
Hadi tunamaliza 2024 wimbo huu wa Orchestra Marquis bado unakonga nyoyo zetu
Nakubaliana wewe 100%
Nipo hapa kushabikia maoni yako.....wimbo mtamu mno, tafakari ya kumbukumbu halisi
Hakuna ubishi,kama vile umeimbwa jana tu! Hongera zao Sikinde na RIP wote waliotangulia mbele ya haki,hakika kazi yao inaendelea kuishi mioyoni mwetu wapenzi wa Muziki wa Sikinde.
na Maquis band.
Sanaa sio tu 2024 bali nisiku zote na miaka yote ijayo utakuwa na maana uzito usio punguwa
Nakumbuka mbali sana kipindi hicho Tanzania ikiwa na maadili ya kutosha ,mtoto ni wa wote yaani ni wa Jamii yote akikosa yeyote anamkataza na kumchapa ,kipindi wazazi wanatoa malezi bora kwa wototo siyo leo hii wazazi wanatoa matunzo kwa watoto
Wazazi sisi tujirekebishe
Miziki hii huwa yanikumbusha mbali saaaaaaana. Enzi ambazo maisha yalikuwa ya gharama ndogo, ugaidi ulikuwa nadra saaana na watu walikuwa na umoja saaana.
😢
True kabisa my friend
Kweli. Mambo yalibadilika. Shida tu.
Nakumbuka mbali sana huzuni na raha vyote kwa pamoja miaka inakwenda kasi nakumbuka miaka ya 80 mwisho na early 90s,mungu ni mwema bado nipo
"Hata Baba Mungu pia aliumba dunia,
binadamu na viumbe vingine, alifanya kazi"
❤❤❤
Nani mwingine anasikiliza mwaka 2019? Huu ndo muziki, nakumbuka miaka ya 80 tulikuwa tunakaa maeneo ya Mafiga, Morogoro. Mara nyingi ilikuwa tukimaliza kucheza kombolela, jioni tunaanza kushindana kuimba nyimbo hizi. Udogo, raha sana! Stress free
Yeah Old is Gold🥇
Kweli Sasa nimekua naona shida nyingi duniani! Wakati kazi yangu ilikuwa kucheza na kupika ugali wa tope! Asante Sana Maquis original!
Those days life was good yawa
Machozi yananitoka Jaman nikiwakumbuka mrehemu wazazi wangu. Mungu aweke mahali pema na kuwasamehe mazambi yao.. Mm nimekua kiongoz wa familia dah Dunia kweli mapito
Pole Mwinyi Kadhi
Nakumbuka mbali sana nikisikiliza nyimbo hizi maisha yametufanya tupotezane na Jamaa tuliokuwa nao pale kijini ndugu tuliokula pamoja sahanimoja kulala pamoja kwenye mkeka nakumbuka sana Nyumbani
Nzuri sana, inanikumbushana mbali sana, Mungu wabariki wanamuziki hawa popote walipo.
I remember the days my Father used to listen to such songs on his Philips radio .Now he is dancing with the angels.You are greatly missed dear Dad
memories
Don't say more my sister. I can relate to this like it was yesterday. Phillips 📻 was the word. Rest with the angels to our dads
Their was a a radio station called Rwanda- Burundi playing this songs.,.that was in1979.….my father had redio sanyo chui.
@@andrewmaranga2335ama
Look
2022 still bado inavuma
I'll forever miss my late father. Whenever I hear this I see him.
Timeless one. Takes me back to the days of Billy Omalla of then VoK. He always played this song and we sat back to enjoy it. May his soul rest in peace.
Daaaa namkumbuka sana marehemu baba yang alikuwa anaimba hadi rahaa huku mm nikiwa nacheza ewe mola wangu mpunguzie adhabu za kabrii baba yngu na wote walotangulia mbele za haki amiin amiin
My father made me addicted with such kind of songs☺️😊 any body at 2020?😅😅 hiz nyimbo zina rakha yake buana😍
Wewee am 1 of them on my 40s!.
Yaani nikisijiliza hizi nyimbo Zazamanni na mwona babangu na wazee waeika yake wakidance kweli hunipeleka nbali
Sijui nini kiliusibu muziki huu wa dansi wa aina hii mpaka kufa dah naumia mwenzenuu
Kweli ningekuwa mdogo nisingejua hata tatizo la COVID - 19, Mungu awabariki popote kina Nguza, Kitima na wengine
This takes me back to the good old days when my father was alive,,with his Sanyo Box radio...when life was ❤❤❤
We played this song on that sad afternoon, on 6th March 2021, we had just laid dad to rest. I lost hope and felt unbearable grief, yet today I am still here. Learning to live with the loss and navigating a new life in the USA. Muziki wa zama unavuma.
It's been two years.....na kuepuka siwezi..usinicheke...
Pole Christine
Pole sana jipe moyo mkui
It's a great song
Nabwire reminds me of a neighbour mumias
Mungu awaweke mahali pema peponi amina
It is 9th January,2021, 16 years since I got a very bad bus accident but survived and listening to this golden old music of Marquis Original 80's. It reminds me the primary school life.
Wakati nilikuwa mdogo sikujua kama kuna shinda wala sikujua kama kutakuwa na BBI.Reminds Mr M.D.J Eddy Fondo. Radio rhumba DJ
Namkumbuka marehemu mama yangu asia darueshi alikua akiimba bend hii mungu amsamehe makosa yake na amuweke mahali pema amin
Mwinyi Kadhi amiin
Ameen
@@happybalo5188 Amen duh dunia mapito ndugu yangu
Riminfs me of My late parents! Playing this song in aphilips kinanda!
Namkumbuka JULIUS NYAISANGA (UNCLE J)na kipindi cha MISAKATO akitoa nyimbo mpya zilizochezwa hadi soksi kuvuka na kiatu kubaki palepale
Wakati nikiwa mdogo sikuwa na jali shida wala raha hizi nyimbo unaweza kuishia kulia ..aloot of memories......
Adi nalia machozi , najiuliza wapi tulikosea kwa Mungu.
My dad used to listen this song 🎵 when I was a young boy and interestingly I also loved it! But most of the children in todays life only 2% can recognise this as good music; but the fact remains.... old is good, and even gold sometimes 😂
Nakumbuka enzi hizo Njombe tunaishi maisha mepesi sana, so innocent!Tunakusanyana the whole family tunaisunguka radio kusikiliza these kind of musics!Nostalgic!If only I could turn back the hands of time…….!
What a time that was. I was a clueless innocent kid and my dad used to play these songs on his National Memory Q cassete player
Saxophone🎷🎷 🎷 na trumpet 🎺🎺🎺 nazo zimeongea sana 🙌🙌🙌
Vijana wa 1995-2000 mnapendana hizi nyimbo tujuane
Reminds me of Voice of Kenya (VOK) in the 80s. Watangazaji waliobobea zama hizo kama akina Sophie Clay, Gladys Erude, Amina Faki, Elizabeth Obege, Eddy Fondo, Anunda Sakwa na wengine
GODFFREY OLALI nilikuwa nasikiliza sana Radio Kenya KBC umenikumbusha mbali na majina hayo. Best ya muziki imekwisha sasa ni kelele na matusi .
Safi sana nakumbuka miaka ya 1980
Exactly my thoughts.Thanks Godfrey
Wacha tuu
Kina sofi ikeye
Kila nisikilizapo hizi nyimbo huwa nakumbuka Enzi zile tunatengeneza magari ya waya, matairi ya ndala. Enzi zile tunatengeneza mipira ya manailoni. Enzi zile tamu, Enzi zileeeee RTD is the big thing in town. Mungu wangu nasikia machozi yanakaribia kunichuruzika..
😂😂😂😂😉
Kweli kabisa hayo magari ya waya!
Umesahau namalingi
John Lunyamila . Sana.lakini Mimi wakati huwo naishi Dar kinondoni mwaka 1992 nafanya Nazi ZAMCARGO
Umesahau magari za mikebe pia,kandanda na mipira za nylon kweli umenirudisha miaka ya themanini.wazee hukumbuka.
This is the best music ever, when I'm down I switch on to this kind of stuff and it brings back my whole self. Old is gold.!!!
Memories, are made of this when radio was the only entertainment
Erick Mwiti ....ni mimi wenu Omuga Kabisae...nikiwaletea muziki wa adhuhuri....nostalgia bro!
@@collinsopiyo9699 Muziki wa adhuhuri, I miss those programs.
Ndugu sote tunaozikumbuka nyimbo hizi tumushukuru sana Mungu,kwani wenzetu wengi ulishatangulia.
Them days, so emotional na mafunzo kibao
Niko Kenya na nakumbuka huo wimbo nikiwa shule ya msingi na ni kweli sikuwa najali maana baba na mama walikuwa wananichunga. . .lakini sasa niko mzee wa miaka 57 na nimepitia mazito na ya kuvunja moyo lakini ni kawaida. Najikuta sasa nategemewa vile nilivyotegemea marehemu baba na mama.
Tuliwapenda Marquis Original
Daah nimekuja huku baada ya baba yangu kunambya nije kuiskiliza kwel nimekuwa sasa nayaona ya dunia
R.I.P Mama Siprosa Odero. You made love these songs.
bongo music started long ago,that's why even today they are ahead!
Exactly! They must have got their skills from these golden songs of the past!
Tunamaliza 2024 na huu wimbo
Ukweli mtupu. Usinicheke ni wimbo una mawaidha ambayo yako valid even decade to come.
Aaaah.Sauti nyororo.Maneno mazuri.Tulikua tukiskiza kwa KBC Radio.muziki kweli chenye nashika roho.!!!!! Siku hizo mungu alikua karibu nasii.Leo hii janga tupu.!!!!!
Seasons pass but such pieces survive for eternity
Ujumbe na ala. Sio leo mwendawazimu anaingia studio na kutoka na kitu kinachoitwa muziki
Utunzi uliosakafiwa kwa ufasaha, Madoido na mbinu za hali ya juu.
wau mmziki ulio pelekwa shule, mziki umekomaa,
Am a parent now I used to like the music so much upto nowadays
Muziki moja mzuri sana. Mungu ilikuwa katikati yao hawa wataalam
Hongera sana
Pure gold. From the golden era of East African music 👏🏿👏🏿👏🏿🔥🔥🔥🔥🎺🎺🎺👌🏾👌🏾👌🏾👍🏾👍🏾👍🏾
Kwa vijana wa jana
When music was music
Power Nguzo nakushukuru sana jinsi unavyotuburudisha na kutukumbusha enzi zetu sisi wa 45+. Sasa nisaidie kutuwekea wimbo wa TOT Band (Achimenengule) chini ya marehemu Banza Stone,jina nimesahau ila walikuwa wanaimba "SINA UKOO MIMI SINA NDUGU WA DAMU WALA KABILA WALA UBINI ....."
majuto huja nyumae because you think when young depending others later you will also pay back either sorrows or happiness!!!!!
Duniani tunapita,,tutawakumbuka daima,,utunzi ulijaa ukweli,nimekumbuka mbali sana miaka hiyo tukiwa tunaishi Mtibwa Sugar.......
Udogo wangu miaka ya 80 hapo kizingo Mombasa baba alikuwa akifungulia RTD mwendo wa saa saba mchana baada ya Habari nyimbo ni hizi. Kweli walikuwa wanamuziki wa kweli.
2020 still hitting airwaves, dedication to my late father and elder brother, you made me addict to such music RIP
This song win mind joy and it takes my memory back in early 90s nilikuwa namsikia mama yangu akiimba sana wimbo huu mara nyingi akiwa anajifanyia kazi zake. Baadae nikawa nausikia kwenye kipindi cha lala unono from RTD.
miaka hiyo ya 80's nilikuwa biharamulo.mama yangu alikuwa anaipenda Sana hii nyimbo.
Mimi nipo manyoni
Nikisikiza nyimbo hizi natamani kuvunja hii micd yahawa wendawazimu wasasa wanaimba matusi tu
chacha Madini Kweli kabisa matusi yamezidi bila aibu utupu umezidi bila haya kelele tupu .
chacha Madini kabisa nyimbo zilikua zamani
Kweli kabisa siku hizi matusi tu
kila ninapo sikia nyimbo hizi,,namkumbuka xana kaka yangu,fest bon,wetu,,kwa sasa hatukonae tena,,eee,,munguilaze roho za malehemu kaka zetu,, mahalipema peponi,,Amina,,
Joyce Moses .Pole sana.MR.A.Y.MSHANA
Joyce Moses . Mimi pia in First born kwetu na tuko9 Niko hai
Kweli nyimbo za zamani ni nzuri
This song makes me cry.
Ilikuwa raha sana enzi hizo
Hii muziki dawa ya roho, moiben Eldoret Kenya , December 1989
Ama kweli sasa nimekuwa ndio naona shida nyingi duniani hawa Maquiz Waltona mbali
WAKATI MUZIKI UNGALI MUZIKI..
Sikia sauti zilivyotamu, vyombo vilivyopangika halafu ujumbe murua kabisa. Nilikuwa Sumbawanga miaka.hiyo kipindi km mchana mwema, jioni njema dah hizi zilikuwa golden days
Hii ni Maquis original na sikinde yaani kwa yaani kwa Dunia ya leo ni kama diamond na ally kiba waungane watoe kitu. haiwezekani.zamani lkn zamani iliwezekana kwa wazee wetu .
wakati nilikuwa mdogo. those days growing up. the gmaes, the adventures and nothing to worry about. oh how time flies, machozi yananitoka
Nakumbuka Lang'ata
Hi
Still listening today 06/11/2023 a Master piece,a classic one❤
I think is one of best songs.
utunzaji shupavu,wimbo wavuma na bado uko na ladha hadi wa leo
Basi huu ni utunzi wake Makumbele Lulembo baada ya kuhutunga wimbo makumbele. Kweli alikua hodari kwa hutunzi wa nyimbo. Basi kazi kwenu kwa kuzikiza
Nzuri sana hii nyimbo inanikumbusha mbali sanaa
Muziki wa adabu huu. Memories of childhood laid bear
mazee hii nyimbo inanikumbusha nikisoma nrb racecource primary 80s wakati wa eddie fondo maquis u make my day sisemi zaidi.
Wadungu wenzangu, kila wakati ninapo u sikia wimbo huu akili urundi reverse mpaka mwanzo wa maishani wakati nilikua mdongo. Haki nampa huyu Makumbele Lulembo marks mengi zaidi kwa utunzi wake kibao. Bado pia naulumbuka wimbo wake "Makumbele na pia Makumbele no 2 habao naupenda sana. Makumbele juu juu zaidi
It reminds me of my late dad na ile radio yake ya mbao
Radio 277
Pole Ray
Ahhh!!! Jamani, huu muziki no way ukweli. Inanikumbusha Manisha yangu Mombasa Likoni. Nilipo Kuwait nikiishi na ndugu yangu mkubwa KIZINGO karibu na OCEANIC HOTEL.
Jamani kweli siku hazigandi nikikumbuka enzi hizo weacha kabisa
Pumzika kwa Amani babu yangu mzee Dotto Lubimbi ulinifanya nijue hiz nyimbo za mafundisho
Kazi ni uhai kwa kila binadamu toka enzi na enzii eee !!!!! Mziki mtamu sana!
our good presenters in vok like, brother said ali matano, gladys erude, mdj eddy vondo, etl used to play these numbers especially during salamu za mchana.
Great composition, great vocals, great arrangement......
Zina ishi, maana alitunga kwa kuzingatia matukio halisi sio ya kufikiria kama sasa,wali beba uhusika ktk swala zima la utunzi na kigezo kikuu ni nidhamu kilihusika,vija wa sasa wame kosa ubunifu wame baki kuwa wakalilifu tu vya wenzao na uvivu wa kufikiri
Smart sana...i remember golden days
Hongereni wazazi wangu kwani hakika malezi yetu yalijazwa ufahamu mwingi na mashauri ya hizi nyimbo zazamani zenye nafunzo Tele
King kasaloo kianga,jamanii,nimekumbuka mbali,
Mwenyezi mungu awapumzishe kwa amani wote
Enzi za utawala wa Baba Moi 🇰🇪 yapendeza kwa JK Nyerere tunatoka tz Tarime tunavuka kusoma Kwa Mzee Moi hakuna gogoro na maziwa twanywa kwa shule,Dunia salama hakuna wauaji wee Mungu iombee tz
The great maquis in its days,when music was done by real musicians,good old days indeed.tribute to vumbi dekula,nguza vikings n the rest of the team
Mungu awapumzishe Kwa amani, muziki wenu unadumu msiwe na shaka wazee
It gives me emotional ambazo sijui niziiteje
Wazazi wangu mpesa sahi sahi..😢
I miss them days😢
Power Nguzo, we thank you so much for taking us back to our childhood memories, though now we are grown up we witness the reality. God bless you. However, if you can give us the list of those involved in preparation and production of this great work we will be thankful.
Kweli. Mziki Ni kazi. Tarat oil bu Na furaha tuu Sana.
When music was music....this is power..👍
Nyimbo zinakumbusha mbali sanasana...jmn napenda kuzisikiliza nyimbo hz.Dah walifanya kazi nzuri sn
Gone are the days, back in 2003
wow! hizi nyimbo hazikati hamu ya kuzisikiliza duh! tunaashukuru sana kwa kazi zao nzuri wote waliopo na walio tangulia mbele ya haki AMENI.
amen bro
Kweli