nimeutafuta wimbo huu kwa miaka sasa. kausikia mwisho mwanzo mwanzo wa mwaka tisini kwenye ithaa ya taifa (KBC). imenitoa mbali. Remmy ongera sauti yako tutaienzi milele!
Tulipotoka zamani uko sahihi huu wimbo ulikuwa ni wa kufungulia kipindi cha alfajiri RTD enzi hizo, Wimbo mwingine ulikuwa ni ule wa Marijani Rajabu ambao ulikuwa na mashairi yasema " kumekuchaa sasa kumekuchaa wazalendo tuamke tukafanye kazi", Nyimbo hizi wahenga tunakumbuka mbali sana.
nimeutafuta wimbo huu kwa miaka sasa. kausikia mwisho mwanzo mwanzo wa mwaka tisini kwenye ithaa ya taifa (KBC). imenitoa mbali. Remmy ongera sauti yako tutaienzi milele!
Kumbukumbu zisizo sahaulika.!!! Yasikitisha mziki WA sasa ni hayati.!! Hongera Lenny Sura Mbaya.!!
Asante sana Eddie Nassor kwa wimbo huu, Niliutafuta sana.
mwanamuzik bora wa dunia wa mudawote wakukumbukwa daima
Nimekumbuka enzi hizo kwenye KBC idhaa ya taifa
Naomba wimbo uitwao salamu kwao wa orch. Safari sound.
Daktari huyo nakumbuka huu wimbo ulikuwa ukipigwa kila siku alfajiri Redio Tanzania
kwenye miaka ya katikati ya 80s.
Tulipotoka zamani uko sahihi huu wimbo ulikuwa ni wa kufungulia kipindi cha alfajiri RTD enzi hizo, Wimbo mwingine ulikuwa ni ule wa Marijani Rajabu ambao ulikuwa na mashairi yasema " kumekuchaa sasa kumekuchaa wazalendo tuamke tukafanye kazi", Nyimbo hizi wahenga tunakumbuka mbali sana.
August 2019, still listening to this beautiful song with message.
Nakumbuka Idhaa ya Kiswahili KBC Nairobi enzi hizo. Maisha ni fumbo!
Wimbo wa pekee sana. Vizazi vya leo hata ukiwapigia huu wimbo utakimbizwa. Ila huyu bwana ameishi nchi tofauti na watu tofauti. Anajua anacjokiimba.
juni 2002.
Bluuth v6
V6