MUME WA DIDA AONGEA KWA UCHUNGU, TUMEZAA MTOTO MMOJA, NIMEUMIA SANA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 лют 2025

КОМЕНТАРІ • 195

  • @verenabusanda4044
    @verenabusanda4044 4 місяці тому +12

    Aiseeeee....bora baba yake mzazi yupo

  • @wahidatwalib4822
    @wahidatwalib4822 3 місяці тому

    Mwanamume ana Hekima kubwa MashaAllah ❤

  • @MwanaHamis-y4e
    @MwanaHamis-y4e 4 місяці тому +6

    Pole sana na pole kwa familia Allah ampe kauli thabiti

  • @yusuphally6420
    @yusuphally6420 4 місяці тому +16

    Pole Brother Juma Mchopanga Kitemuche uwe na subra katika kipindi hiki kigumu Inna lillai wanna Illai Rajiun

  • @bettymalema8487
    @bettymalema8487 3 місяці тому

    Poleni sana duu!

  • @JacklineShirima-hn1yt
    @JacklineShirima-hn1yt 4 місяці тому +42

    Hvi huyu dada mtangazaji akili zipo kweli kama nyumbu vile unamchosha mtu na maswali ya kipuuzi

  • @Amina-r7t6r
    @Amina-r7t6r 4 місяці тому +6

    Huyu mtangazi angepata yule kaka yake dida akaongea mpaka akachoka kushika hiyo mic😅😅maswali ata ayaeleweki yani

    • @kalundaluhanga4923
      @kalundaluhanga4923 4 місяці тому

      Kaka yupi maana kuna Yule wa "dida hakuwa anameza dawa" au yule wa "mtoto wa dida nitakaa naye Mimi maana ni dida aliniambia"

    • @aishasalim2878
      @aishasalim2878 4 місяці тому

      ​@@kalundaluhanga4923😂😂😂mara akaleta ya p didi

  • @MwajumaBihel
    @MwajumaBihel 4 місяці тому +4

    Mungu akurehemu dada d

  • @JosephJumbe-w6h
    @JosephJumbe-w6h 4 місяці тому +13

    Waandishi wengine bhana unauliza swali eti taarifa za
    Msiba ulizipokeaje? Badilisheni maswali kuna mtu anaweza kupokea taarifa za msiba kwa furaha? Hata kama hampendi marehemu hawezi kujibu amepokea msiba kwa furaha. Badilikeni watangazaji!!!

    • @FaizaChama
      @FaizaChama 4 місяці тому +2

      Eti jmn. Hakili nikitu muhimu sana

  • @MichelleMobasa
    @MichelleMobasa 4 місяці тому +2

    Mtangazaji n msenge lakin baba wa watu kajibu kwa hekima kila kitu ubarikiwe sana

  • @DoriceEdward-l6s
    @DoriceEdward-l6s 3 місяці тому

    Mmmh wote wslikuwa na mapua makubwa ila chaajabu mtoto amezaliwa na kapua kama kangu

  • @OfficialA83640
    @OfficialA83640 4 місяці тому +61

    Ndy namjua Mchomps leo Wallahi sijawahi mjua😢

    • @EdwardMushi-w2l
      @EdwardMushi-w2l 4 місяці тому +2

      Huyo mchops ndio kaka yake j moo

    • @ElizabethWamcha
      @ElizabethWamcha 4 місяці тому +3

      Nami pia

    • @EdwardMushi-w2l
      @EdwardMushi-w2l 4 місяці тому

      @@ElizabethWamcha kaka yake Jay mo

    • @nerryabel7512
      @nerryabel7512 4 місяці тому +2

      Nami ndio nimemuona leo,hata mie nilihisi Samira baba yake atakuwa mchopanga.R.I.P Dida😭😭

    • @masalakulwa7601
      @masalakulwa7601 4 місяці тому

      w​@@EdwardMushi-w2lwee kumbe

  • @sygtamks1643
    @sygtamks1643 4 місяці тому +4

    Huyu mtangazaji akili zake hazina Afya maswali yake hayana tija😢

  • @DIANAMADEGE-hx3hy
    @DIANAMADEGE-hx3hy 4 місяці тому +11

    Yaaan huyu dada Anakeraaaaaaaa

  • @floridakagemulo3183
    @floridakagemulo3183 4 місяці тому +4

    Maswali aliyouliza ni sahihi lakini siyo wakati sahihi kuuliza. Subiri msiba upoe.

  • @AminaMkumba-u3z
    @AminaMkumba-u3z 4 місяці тому +2

    Samahani sana Masakulia sio kucheka kibozo hicho nimekosea nilimainisha kulipa,siwezi kucheka mtu kufa,kufa ni Kila mtu hata Mimi Kuna siku nitakufa

  • @RehemaKomba-pv2le
    @RehemaKomba-pv2le 4 місяці тому +4

    Waandishi wapuuzi sana hawajui kutofautisha nyakati

  • @echikyabu6154
    @echikyabu6154 4 місяці тому +9

    Watangazaj mpewe script sasa maana mnahoji pumba 2 umbafuuu😢

  • @neymuu3086
    @neymuu3086 4 місяці тому +14

    Una sauti ya utangzaji lkn sio professional rudi darasani hujui kuhoji unahoji pumba

  • @HabibaBb-d3s
    @HabibaBb-d3s 4 місяці тому +3

    Inna riray wainna irey rajiuuun subbunn llah 😭 polen sana wafiwa woote ndugu marafiki majirani 😢😢

  • @RamadhaniKitala-gx6wc
    @RamadhaniKitala-gx6wc 4 місяці тому

    Sasa mtangazaji utamuiz vipi baba heti samirah yupo kwenye hali gani hivi wew ufiwe na mtati wako uatajisikia vizur aaaaah bakisha maneno

  • @AishaMichael-j8r
    @AishaMichael-j8r 4 місяці тому +14

    Samira yupo kweny haliii gan swali gan sas😮

    • @sygtamks1643
      @sygtamks1643 4 місяці тому +1

      Akili zake hazina Afya😢

    • @judyngowi391
      @judyngowi391 4 місяці тому

      ​@@sygtamks1643akili zake siyo timamu

    • @chw2165
      @chw2165 4 місяці тому +2

      Yaani muandishi kakosa maswali ya maana ya kuuliza

    • @AblahmanJuma
      @AblahmanJuma 4 місяці тому

      Ajui kuuliza maswali

    • @marryjames-wl7be
      @marryjames-wl7be 4 місяці тому

      Hawa waandishi baadhi yao wapuuzi sana

  • @LinaLema-c1m
    @LinaLema-c1m 4 місяці тому

    Mtagazaji ovyo mnooo ajijui kabisa

  • @DativaMbowe
    @DativaMbowe 4 місяці тому +2

    Uyu mtangazaji😂😂😂

  • @OclonMgwama
    @OclonMgwama 4 місяці тому +3

    Pole Sanaa

  • @safiyahaji9682
    @safiyahaji9682 4 місяці тому +11

    Huyu mtangazaji jaman arudie semister ya mwisho

  • @laurentinachristopher6064
    @laurentinachristopher6064 4 місяці тому

    Huyu Mtangazaji jamani 😢😢

  • @janemwageni597
    @janemwageni597 4 місяці тому

    Jaman wew dada hiv unauliza ukiwa unawaza nn labda,?msiba hafu unauliza et ulijiskiaj ukweli

  • @ZawadiMussa-o9s
    @ZawadiMussa-o9s 4 місяці тому +5

    Nikweri jamani😂

  • @MariamIbrahim-h7p
    @MariamIbrahim-h7p 4 місяці тому +11

    Mm simpendagi uyu mtangazajie juu ya maswali yakipuuui

  • @gracebucumi-nv9pn
    @gracebucumi-nv9pn 4 місяці тому +1

    Huyu mtangazaji msenge sana😢😢

  • @aishaomary4498
    @aishaomary4498 4 місяці тому +3

    Kaongea vizuri baba wa Samira ila mjomba apana

  • @muna1165
    @muna1165 4 місяці тому +3

    Huyu baba mashallah

  • @bennbenson9296
    @bennbenson9296 4 місяці тому +1

    Hili swala LA HABARI LINA TATIZO KWA SASA, COZ KILA ANAYEJUA KUONGEA ANAWEZA KUWA MHABARISHAJI BILA KUJALI PROFESSIONALISM

  • @AdelinaLuvanga-pi7ec
    @AdelinaLuvanga-pi7ec 4 місяці тому

    Pumzika salama Didah😢

  • @HassanSaid-e1w
    @HassanSaid-e1w 4 місяці тому

    Uyuu dadaa ndimuu ww umuonii mtoto atakaa nani ndio nini ww ujazaa tu unaliwaa

  • @hurumasilasmwamwezi4351
    @hurumasilasmwamwezi4351 4 місяці тому

    Mhhhhhhh MTANGAZAJI HOOOOOOOOOVYO KABISA, Kuna maswali unahoji yana BOAAAAA. Huo ujinga

  • @YusuphMwangobola
    @YusuphMwangobola 4 місяці тому +6

    Waandishi wa mchongo hyo mume au mzazi mwenza

  • @luciafabiannjuu1988
    @luciafabiannjuu1988 4 місяці тому

    kwa hili lililotokea Samira yuko kwenye hali gani? hivi hili ni swali kweli? tufanye yupo ndani anacheza makhirikiri

  • @sakinachamshama1398
    @sakinachamshama1398 4 місяці тому

    Jamani hizi tv maswali gani hayo

  • @rosekapingu-hs5rd
    @rosekapingu-hs5rd 4 місяці тому +1

    Maswali gani hayo. Hayo siyo maswali mazurka. Unachosha mtangazaji

  • @Alisa-wv6rh
    @Alisa-wv6rh 4 місяці тому

    Pole sana

  • @AlHamra-k4u
    @AlHamra-k4u 4 місяці тому +1

    Huyu baba kafanana na bint yake Samira

  • @jasminshemsanga8727
    @jasminshemsanga8727 4 місяці тому

    Huyu dada khaaaa maswal ya ovyo

  • @safiyanirram-pf3sv
    @safiyanirram-pf3sv 4 місяці тому

    Masikini poleni sana kumbe huyu ndo baba mtt wake

  • @VeronicaMayange
    @VeronicaMayange 4 місяці тому

    Maswali yako yanaboa sana haki tena ungenikuta mm ningekirushia hukooo hicho kispika chako 😏

  • @LinaLema-c1m
    @LinaLema-c1m 4 місяці тому

    Mtagazaji wa hovyo sana

  • @JanethJaneth-l9i
    @JanethJaneth-l9i 4 місяці тому +1

    Dk moja msiba umetokea unaanza maswali ya kipumbavu

  • @omanlove3968
    @omanlove3968 4 місяці тому +17

    Huyu mchopsi anaongea kwa hekima hajaropoka kma yule kaka yake

  • @EdnaMbowe
    @EdnaMbowe 4 місяці тому

    ww binti mmbea hufai kuwa Mtangazaji

  • @MshindiiGodfrey
    @MshindiiGodfrey 4 місяці тому

    Huyu mtabgazaji ni mpumbavu embu msimamisheni kazi

  • @LadyMzana
    @LadyMzana 4 місяці тому +1

    Huyu baba amefanana na Joseph Kusaga

  • @HappinessMbassa
    @HappinessMbassa 4 місяці тому

    Nakalivyofunga lemba kama kazee😏

  • @ZuhuraMarande-fl2zw
    @ZuhuraMarande-fl2zw 4 місяці тому

    Waandishi msiwe mnalaximisha kujua ugonjwa Aliougua marehemu jamani mnachoshaaaaa kufa laxima uugue usiuguee utakufa punguzeni kujua ugonjwa utawasaidia nini

  • @SaumuSaidi-z2v
    @SaumuSaidi-z2v 4 місяці тому +1

    Baba ake dida yupo hai

  • @lucyfred2649
    @lucyfred2649 4 місяці тому

    Huyu mtangazaji aludi shule😏

  • @RemyMsuya
    @RemyMsuya 4 місяці тому

    Jaman mbona babu sana

  • @AishaMooh-w8g
    @AishaMooh-w8g 4 місяці тому +2

    Inalilah waina Lilah lajuuni

  • @mwasoprince3459
    @mwasoprince3459 4 місяці тому

    Mjomba karopoka kule kasema........😂😢

  • @wemaMichael-fr4th
    @wemaMichael-fr4th 4 місяці тому +3

    mhhh mbona ni mzee hivyo daa

  • @theresiasanka4400
    @theresiasanka4400 4 місяці тому

    Mhhh huyo mtangazi anaudhiiiiiiii mpaka kero

  • @revinaraphael-bk8fu
    @revinaraphael-bk8fu 4 місяці тому

    Uyu dada mtangazaji mjinga sana ajui vitu vya kuoji

  • @HalimaLiymo-vs7yx
    @HalimaLiymo-vs7yx 4 місяці тому

    Yaani watu wengine kweli hawana huruma , maswali gani haya Sasa!!!

  • @MarthaMkondya-l7r
    @MarthaMkondya-l7r 4 місяці тому

    Huyu mtangazaji mpuuzi kweli maswali yakijiiiinga kama mtrvl

  • @HGvv-bh1ig
    @HGvv-bh1ig 4 місяці тому +1

    Watamgaxaji punguxi kuuliz vitu ambvyoo sioo vya msingi mnaumiza wafiwa kwa maswali mengi sana

  • @RoseGeofrey
    @RoseGeofrey 4 місяці тому +1

    Fupi kali anajibiwa maafande wamenielewa nikisema fupi kali

  • @pengefeza2563
    @pengefeza2563 4 місяці тому +6

    Acheni matusi kwa mtangazaji.
    Kosa lake ni lipi?

  • @sabinadohho9559
    @sabinadohho9559 3 місяці тому

    Uyu mdada hapana aache maswali ya kipuuzi

  • @JanethJaneth-l9i
    @JanethJaneth-l9i 4 місяці тому +1

    Washenz waandish,kila siku maswali hayohayo mpaka keroooo,ulikuwa wap,ulizipata wapi alikuwa wa namna gani hiv mtu anaweza kusema alikuwa mbaya?

  • @abednego3876
    @abednego3876 4 місяці тому

    Aisee vyuo vya waandishi wa habari vina matatizo makubwa sana.

  • @ShaniaKing-o5d
    @ShaniaKing-o5d 4 місяці тому

    Mtangazaji hiyo sio fani yako tengeneze mabanda ufuge kuku

  • @JenipherMatiku
    @JenipherMatiku 4 місяці тому

    Rest in peace dida😢😢

  • @MwadawaKarim
    @MwadawaKarim 4 місяці тому

    0:00 0:00

  • @saumsalum7800
    @saumsalum7800 4 місяці тому

    Kakake jay mo mchops

  • @aminamwivita7690
    @aminamwivita7690 4 місяці тому

    Innalilah wahinah illah rajoon 😭😭😭

  • @MamuuKingu
    @MamuuKingu 4 місяці тому +5

    Huyu mbwa wanampaje nafasi yakuhoji wafiwa anakera Sana

  • @Nuru9568
    @Nuru9568 4 місяці тому

    Mtangazaji mtu yupo kweny majonz unamuhoji ujinga😢

  • @ziadayasin711
    @ziadayasin711 4 місяці тому

    We mtangazaji una maswali mazuli una maneno ya kuumiza san

  • @FaridaShisia
    @FaridaShisia 4 місяці тому +2

    Washenzi watangazaji

  • @AminaMkumba-u3z
    @AminaMkumba-u3z 4 місяці тому

    Jaman Dida jaman😂😂😂

  • @linnerphilip4260
    @linnerphilip4260 4 місяці тому +2

    Huyu kspata airtime jmn utadhann hajafiwa😊

  • @SahraIbrahim-nu8pb
    @SahraIbrahim-nu8pb 4 місяці тому +1

    Huyu mtangazaji 😮

  • @MargaretManyanda
    @MargaretManyanda 4 місяці тому +21

    Mtangazaji huyu hayuko professional anaudhi

    • @merinankullua5874
      @merinankullua5874 4 місяці тому +2

      Anawezaje kuuliza mgonjwa alikuwa anaumwa Nini?

    • @wemapingu3622
      @wemapingu3622 4 місяці тому +1

      Waandishi wengine hawajielewi

    • @svt3
      @svt3 4 місяці тому +1

      Tatizo wengi wakichukuwa microphone wanajiita watangazaji ila elimu ya utangazaji zero masomo ni mhimu jameni

    • @khadijanurdin3163
      @khadijanurdin3163 4 місяці тому +2

      Ndo lilivyo hli linakera kweli.

  • @SaumuSaidi-z2v
    @SaumuSaidi-z2v 4 місяці тому

    Labda dw alikuwa hatumii vizuli mn km utatumia pombe ukaacha dozi lazima uzidiwe

  • @TheresiaGeorge-y9o
    @TheresiaGeorge-y9o 4 місяці тому

    Ila
    Mwndishi mh

  • @ferouzmasoud3104
    @ferouzmasoud3104 4 місяці тому

    R.i.p😢😢😢😢😢

  • @didaahmed1033
    @didaahmed1033 4 місяці тому

    Huyu dada yuko sawa kweli? Auliza maswali ya ajabu

  • @floridakagemulo3183
    @floridakagemulo3183 4 місяці тому

    Maswali gani hayo unamchosha mfiwa. Mwandishi umekosa weledi

  • @Naju645
    @Naju645 4 місяці тому

    Mchops leo ndio namuona

  • @veronicalyambiko1476
    @veronicalyambiko1476 4 місяці тому +1

    Watangazaji wetu niwa hovyo mno

  • @Shishinaya1554
    @Shishinaya1554 4 місяці тому

    Rudi shule mtangszaji..😮

  • @rerisamba
    @rerisamba 4 місяці тому

    Nashindwa na huu ugonjwa unao wekwa siri siri

  • @ChikuMashauri-d2f
    @ChikuMashauri-d2f 4 місяці тому

    Uliza maswali ya busara mtangazaji

  • @stellamwakitani2939
    @stellamwakitani2939 4 місяці тому

    Huyu dada arudi darasani jamani.Maswali gani haya

  • @zuwenaabdallah7748
    @zuwenaabdallah7748 4 місяці тому

    Yaan hawa mbengo mxiiew

  • @Hakuzwe
    @Hakuzwe 4 місяці тому

    Sasa maswali gani.umesomeya wapi utangazaji.

  • @jamesmuthomi5025
    @jamesmuthomi5025 4 місяці тому

    Sasa uyu ni babake ama bwanake

  • @hashimudizele35
    @hashimudizele35 4 місяці тому +2

    Mwandishi ana majibu anayoyataka na hayapati....tabu tupu

    • @MymunaMuna-qn5lo
      @MymunaMuna-qn5lo 4 місяці тому

      mungu yani ukiwa marufu nitabu tupu kila kitu wanataka wakijuwe 😢

  • @MaryamSimai-b9f
    @MaryamSimai-b9f 4 місяці тому

    Hajasomea field yake

  • @linnerphilip4260
    @linnerphilip4260 4 місяці тому

    Ukihudhuria msiba wa ex haukui ila ana hekima