KAKA HALALI WA DIDA SHAIBU AJITOKEZA NA KUMPA ONYA KALI ALIYEJIFANYA KAKA WA DIDA JANA MSIBANI,

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 206

  • @KhadijaBunto
    @KhadijaBunto 6 годин тому +21

    Ewaaaa huyo ndiyo kaka halali wa Dida, pole kaka Hussein Allah awape subra wewe na Abdallah 🤲🤲🤲

  • @GeorgeElias-p5o
    @GeorgeElias-p5o 6 годин тому +26

    Yule Mzee kayamwaga ndugu wameamua kumkataa😂😂😂

  • @safiyanirram-pf3sv
    @safiyanirram-pf3sv 5 годин тому +9

    Kaka anaonekana kaumia sana walhai poleni sana wafiwa Mungu awape subra lnshallah

  • @BahatiIsangu
    @BahatiIsangu 3 години тому +7

    Pole sana kaka kiukweli ww ndo kaka kamili yule mzee ni chizi kabisa poleni sana

  • @saudaaddey7402
    @saudaaddey7402 5 годин тому +9

    Kwa kweli jitu zima lili ropoka vibaya je ange Kuwa mtoto wake ange thubutu kujieleza vile sisi tupo nje ya nchi tulijua tu yule mlevi kavimbiwa chakula cha msiba ni kwa sababu watoto wa Marehemu da Mariam tunawajua.

  • @Mariam-w9s3b
    @Mariam-w9s3b 7 годин тому +41

    Kwa mwenye akili unajua kabisa yule ndugu Yao umesikia akisema mama Yao mkubwa alisema kuwa mnamjua akili zake ivyo itoshe kuwa ni ndugu Yao sema kalopoka

    • @annasolomon9855
      @annasolomon9855 4 години тому +1

      Kuna mfano yule Mzee wasimkatae, wamekata wakajadili Ili kuja kuukwepa ukweli wa kaka mkubwa.😊😊

    • @annasolomon9855
      @annasolomon9855 4 години тому +3

      Wanamfanano na familia 😅

    • @elizabethchabluma-zw5qz
      @elizabethchabluma-zw5qz 4 години тому +1

      Yanawahusu nini iwe kweli au si kweli, ya kwenu yanawashinda

    • @annasolomon9855
      @annasolomon9855 4 години тому

      @@elizabethchabluma-zw5qz hayatuhusu lakini Mzee keshasema ukweli unaofhihirka Ili wengine wapone.. hujui Kuna kitu kinweza kuja kama kuharibu lakini kikawa fundisho kwa wenye kuumwa Ili wasiache dozi Kuna madhara kama hayo..

    • @Zainab-u9q
      @Zainab-u9q 4 години тому +1

      Maelezo yanajionyesh ndug yao sema wanamkana hapa na inaonekan yule baba hayupo sawa

  • @hamidudigogo5863
    @hamidudigogo5863 6 годин тому +14

    Shida yule wana mkana sababu kamwaga ule ubaya ubwela kaumwaga sasa wanaona bora wamkane 😂😂😂

    • @KhadijaMzuri
      @KhadijaMzuri 5 годин тому +2

      Sasa yule kamwaga ubwela je na mange kimambi mana yy nae katoa siri kubwa kila mtu kashangaa kua dida alikua na ukimwi kaacha kula dawa ndio mana kafa mange unamwambia nn

    • @DianaBright-r2h
      @DianaBright-r2h 54 хвилини тому

      ​@@KhadijaMzurikwani mange si alisema ni ugonjwa wa moyo kwani alisema ukimwi?

  • @dsound255
    @dsound255 6 годин тому +21

    Yule hakusema ni baba mmoja ila shida ni ule UBAYA UBWELA A.K.A UPUPU alio umwaga

    • @salomewandya7257
      @salomewandya7257 6 годин тому +1

      🤣🤣🤣ubaya ubwela

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 5 годин тому +2

      Namkumbuka tena hakuongea kwa ubaya, alisema anamshukuru mjomba ake ambaye ni baba ake Dida, labda pale aliposema dida labda hakuwa anatumia dawa vzr ndicho kilichompelekea kifo

    • @chumchum1526
      @chumchum1526 5 годин тому +1

      😂😂😂😂bado tuna msiba ujue

    • @OmaryHussein-e2f
      @OmaryHussein-e2f 5 годин тому +2

      Nimaradhi tu kama maradhi mengine jamaa aliongea ukweli

    • @RabiaSaid-sh1km
      @RabiaSaid-sh1km 4 години тому

      𝐘𝐞𝐲 𝐚𝐥𝐢𝐬𝐞𝐦𝐚 𝐤𝐦 𝐤𝐚𝐜𝐡𝐮𝐤𝐮𝐥𝐢𝐰𝐚 𝐧 𝐁𝐚𝐛 𝐲𝐚𝐤𝐞 𝐝𝐢𝐝𝐚 𝐤𝐮𝐭𝐨𝐤 𝐤𝐢𝐣𝐢𝐣𝐢𝐧𝐢 𝐚𝐤𝐚𝐦𝐥𝐞𝐭𝐚 𝐦𝐣𝐢𝐧𝐢 𝐤𝐰𝐚𝐡𝐢𝐨 𝐤𝐚𝐬𝐞𝐦𝐚 𝐧𝐢 𝐤𝐦 𝐤𝐚𝐤 𝐲𝐚𝐤𝐞

  • @NamiriNamiri-oz4xs
    @NamiriNamiri-oz4xs 5 годин тому +6

    Polenta sanq kwa msiba mungu Awape.Subra katika kipindi hiki kigumu ndugu yangu haina haja ya kuleta mtafar7ku jambo limeshapita tuseme Al hamdulillah Dawa hata za vidonda usipozitumia jibu linakuja hakunywa dawa haina haja ya mtafaruku wapendwa wangu.

  • @mwanahkombo9496
    @mwanahkombo9496 2 години тому +4

    Kaka uko vizuri na mungu akuzidishie imani

  • @MohadiTv
    @MohadiTv 6 годин тому +13

    Jamani tutafuteni ela ili ukifa kila mtu aseme ni ndugu yako😅

    • @linnerphilip4260
      @linnerphilip4260 6 годин тому

      Hata kama huyu ni mweusi ila kafanama na didda

    • @annasolomon9855
      @annasolomon9855 4 години тому

      Yule Mzee alieropoka ni ndugu Yao Kuna mfanano mkubwa tu .. wanamkataa wamekata wakapanga Ili kuukwepa ukweli wa Mzee 😊😊

  • @Nuru9568
    @Nuru9568 Годину тому +2

    Allah atupe mwisho mwema Aminah🤲

  • @ummySheikh72
    @ummySheikh72 6 годин тому +16

    Alisema ni mtt wa mjomba wake! Sio kaka baba mmoja mama moja😅 yule yuko sahihi wameamua kumkana tu.

    • @annasolomon9855
      @annasolomon9855 4 години тому +1

      Wamemkana kwa kusema ukweli.. 😊😊

  • @queenmilan2024
    @queenmilan2024 5 годин тому +6

    Mbona anafanana na Yule kaka

  • @reynaaalrawahi4137
    @reynaaalrawahi4137 3 години тому +2

    Sahihi hussein. Waislm dhambi kumweka mtu mimi baba yangu kafa sijamuona nimefika nimekutwa ameshazikwa

  • @georgeichinge8599
    @georgeichinge8599 5 годин тому +9

    iyo anamkana ndugu ye. wakato wanafanana hadi sauti

  • @annamussa185
    @annamussa185 4 години тому +5

    Shikamoo Ukimwi 😢kama mlimpeleka Sinza Parestina Basi ni ukimwi Fangasi zimemuua

    • @bhm675
      @bhm675 4 години тому +2

      Duh so wote tunaoendaga Palestina tuna ukimwi 😮😮

    • @ziadasalimu1730
      @ziadasalimu1730 3 години тому

      Jamani nyinyi ha! Tumuwachie mungu tu

    • @AshuraIssa-p7v
      @AshuraIssa-p7v 3 години тому

      Mhhhhhhhh

    • @sophiamunga4520
      @sophiamunga4520 3 години тому +1

      Dah,wew nusu niweke na emoj ya kucheka

    • @lilyrose7983
      @lilyrose7983 2 години тому

      Kwani Palestina wanatibiwa ukimwi peke yake?

  • @ReginaUshaky
    @ReginaUshaky 6 годин тому +2

    Mh uongo Kama alikuwa sio ndugu asingekuwa na udhibutu wa kusema yote hayo.kwa nnmsingemshtak tuyaache yamepita mungu ampumzishe kwa aman

  • @MussaHussein-s4u
    @MussaHussein-s4u 4 години тому +2

    Poleni kwa msiba familiar ya shaibu na majirani

  • @alhabsi6430
    @alhabsi6430 7 годин тому +3

    Kweli maneno yako kaka

  • @kautharyally1729
    @kautharyally1729 7 годин тому +5

    Wameamua tuu kumkanaa 😂😂😂maana yule sio chizi mpaka akurupuke

  • @asteriashios1852
    @asteriashios1852 5 годин тому +1

    Pole sana hayo majamaa hayakosekani kwenye misiba hivyo usijali mungu awape utulivu

  • @Adje244
    @Adje244 Годину тому +1

    Huyu ndio kaka wakweli macho yamevimba kwa kulia😢😢

  • @YousraSalimMohamad
    @YousraSalimMohamad 5 годин тому

    Mashaallah kaka unae,kmaa Allah awape Subirah

  • @michietz6120
    @michietz6120 6 годин тому +5

    Alicho ongea yule na huyu hakuna tofauti ni kile kile na ikiwa hamjui amejuaje kama yule hayupo sawa?

  • @ummySheikh72
    @ummySheikh72 6 годин тому +4

    Mtamgombania kwakuwa mama yake kaacha Mali nyingi,hapo ndio mjomba atasimamia na vinginevyo.😊

  • @AllySalum-j9y
    @AllySalum-j9y 6 годин тому +2

    Jamaniiii wacheniii tunguuu wafamiria waturizeee kichwaaa kutwaaa kuwaojiiii mpakaaa wakatahaneee unduguuu tenaaa kwajiriii yenuu yureee kasemaaa nauyuuu anasemaaa akunaaa arichohongezaaa magonjwaaa ndohayooo mnatakaa ninitena

  • @aminamaulid7371
    @aminamaulid7371 Годину тому

    Inna lillah wainna ilayhi raajiuun ☝, Allah awapengu na Subra zaidi katika kipindi hiki kigumu.

  • @ramadhanimpapalika7131
    @ramadhanimpapalika7131 7 годин тому +2

    Ŵanafanana sana...ila mtoto si maamuzi ya upande wa kiume??? Damu kwa mjomba tena???😂😂😂

    • @ireneshao7950
      @ireneshao7950 6 годин тому +1

      Labda upande wa baba hawaku husika na malezi ya mtoto

  • @AffectionateCap-fk8tx
    @AffectionateCap-fk8tx 2 години тому +2

    Pole sana Husein kuondokewa na dada yako.

  • @EmmanuelDastani
    @EmmanuelDastani 3 години тому +1

    Sasa ao ndugu wanamkataa nini mbona yule mzee kajieleza vizur waache makasiliko bhna😂

  • @ViolethMazengo-nd8cy
    @ViolethMazengo-nd8cy 6 годин тому +3

    Pia ata ukitizama kama vile wamefanana

  • @HidayaMzima-n8w
    @HidayaMzima-n8w 6 годин тому +2

    Yan MTU hamumjui anapataje nafac ya kumuona dokta na kupewa habari za mgonjwa

  • @BachuBachu-mq2ko
    @BachuBachu-mq2ko 7 годин тому +3

    MENGI TUTAYASIKIA

  • @MwazoaMwazoa
    @MwazoaMwazoa 6 годин тому +2

    Alichokua nacho Dida katika mali chache Alizonazo zote zinamstahiki Binti yake.Hata wasafi wamfungulie Account na chakumpa Aekewe kwenye Account yake.Pia wamsimamie binti yake Masuala ya Elimu na ushauri pia.Ili kuepuka fitna dhulma na matatizo

  • @OmanSohar-d7z
    @OmanSohar-d7z 3 години тому +1

    Ankle kaogeya vizury sna😊😊

  • @latifamuhunzi4061
    @latifamuhunzi4061 6 годин тому +5

    Kaka kama ana n'gan'gania madaraka hivi....

    • @TeclaMarco
      @TeclaMarco 6 годин тому

      Kweli kbsa

    • @HadiaAme-x5f
      @HadiaAme-x5f 5 годин тому

      Kuna mali apo

    • @BimHamdi
      @BimHamdi 2 години тому

      Hata mimi nimeliona hilo yule mtoto baba yake akisema anamtaka hawatokua na nguvu kisheria

  • @nelicekelly6289
    @nelicekelly6289 2 години тому +1

    Ni kwasabab ya umaarufu wake ndomana watu wanaongea wanachojua Ili kupata kiki tu

  • @AmirliAmirli-p1z
    @AmirliAmirli-p1z 3 години тому +1

    Huyu mwandishi emu akasome kwanza yani yupo ovyo sana kwenye kuuliza maswali

  • @shabanimadobe972
    @shabanimadobe972 4 години тому +1

    Alafu mwandishi wa ovyo sana et anasikiliza pembeni ndyo ana hoji kumamae

  • @rahmambugi2322
    @rahmambugi2322 2 години тому

    Mungu amechuma tunda lake waandishi acheni kukuza maneno tumuombee apunguziwe azabu za kaburi, sisi tulimpende mungu alimpenda zaidi.🙏

  • @JeminAbraham-f1o
    @JeminAbraham-f1o 5 годин тому +1

    We mtangazaji nakupenda lk hilo vazi msibani nguo imebana kweli jamani kujifunza ni kifo sasa umeona fashion show

  • @salimakida95
    @salimakida95 6 годин тому

    Kaka ameongea vizuri sana,haumi maneno

  • @itzsnazzyjazzy472
    @itzsnazzyjazzy472 4 години тому +3

    Lkn yule mfanyikazi wa dida boutique alisema alikuwa na dida na kaka yake dida mdogo aliomba karatasi na kalamu Sasa hiyo karatasi na kalamu aliandika nini kama sio usia jamani

    • @susans4490
      @susans4490 2 години тому +1

      Ss unataka kila kitu cha familia wakiweke mitandaoni?je ww ungeyasema yote

  • @DulaRashid-r5z
    @DulaRashid-r5z 5 годин тому

    Sawa bos upo na kwenti

  • @ShazmaRamadhan-w4o
    @ShazmaRamadhan-w4o 5 годин тому +3

    Baada yakuongea na cm dah!! Ukute aligombana na mpenz wake

  • @samiraramathan-bd5bc
    @samiraramathan-bd5bc 6 годин тому +1

    Yaani ukifa naukiacha Mali ndugu wanakua wengi kufa kapuku uwone kila mtu hakujui msibawako wanasusua

    • @HadiaAme-x5f
      @HadiaAme-x5f 5 годин тому +1

      Na ukifanya masihara wananyang'anya hadi mali zote za mtt

  • @mwajumampokileomckapela7541
    @mwajumampokileomckapela7541 4 години тому +1

    Ni ndugu yao vizuri tu wanamkataa kwakuwa katoa siri za mgonjwa

  • @judithtitomalyeta4000
    @judithtitomalyeta4000 2 години тому

    Mhuuu jamani kweli

  • @hamidudigogo5863
    @hamidudigogo5863 6 годин тому +3

    Hapa kuna jambo MTOTO babake yupo kwanini atake jukumu kulibeba yeye sheria zipo waza mbona hapa huyu mtoto wa dida tutakuja sikia anzaaaa kumbaa kwa jamii mana watu pesa wata zipoga zote cha kufana NASIBU yamsimamie huyu mtoto kihusu pesa na mali za mamake hawa wajomba ni waku wangalia sana

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 5 годин тому

      Fedha Kaka anataka majukumu 😅

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 5 годин тому +3

      Kikubwa mtoto sio mdogo sana asaidiwe tu mali zisiingie kwa ndugu kwa visingizio kumlindia watamdhulumu tumeyaona mengi

    • @KhadijaBunto
      @KhadijaBunto 5 годин тому +2

      Huyu mtoto miaka yote amekuwa akilelewa na mama yake na marehemu bibi yake na wajomba zake,hatuwezi jua tatizo ilikuwa Nn kwa baba yake, mengine ni mambo ya kifamilia hamna sababu ya kuyajaji sana, wenyewe watajipanga, sasa kusema mjomba ana jambo sio sawa.

    • @mariumseif6751
      @mariumseif6751 4 години тому

      Kwanza ni bora wale hao wajomba waliomlea kuliko huko kwa baba.mbona wakati mama yuko hai mbona huyo baba hata alikuwa hasikiki leo mkamkabizi mali za mama maana walizaa hiyo sio khaki.abaki kwa wajomba alikokulia​@@KhadijaBunto

    • @petermanala6138
      @petermanala6138 4 години тому

      Kwani mama ake marehem si yupo huyo ndio mlezi wake muhimu

  • @sygtamks1643
    @sygtamks1643 2 години тому +1

    Dida toka kifo chamamaake hakuwa namnawala tena nahisi nimawazo yakukosa mama mpaka kapata vidonda

  • @hashimmziray7416
    @hashimmziray7416 6 годин тому +2

    sasa maneno si yale yale tu sema kuvumilia

  • @barbiemdoo6598
    @barbiemdoo6598 7 годин тому +1

    Kugombania ukaka 😅😅

    • @KhadijaBunto
      @KhadijaBunto 5 годин тому

      Huyu ndiyo kaka halali wa marehemu aliyemnyang'anya ziwa na marehemu akifatiwa na mdogo wao wa mwisho Abdallah(Dulla)

  • @wadudi2741
    @wadudi2741 Годину тому

    Hahahahah jamni kiherehere jamni

  • @gracelee565
    @gracelee565 4 години тому

    Asking too many personal questions while he's grieving her sister 😢😢honestly hata kama ni interview ona haya mdada

  • @AshaKhatibu-r8h
    @AshaKhatibu-r8h 7 годин тому +2

    Yule nilisema hajitambui

  • @Randm-
    @Randm- 36 хвилин тому

    Pole..kaka. kafanana na Marehenu ila huyu Mweusi sana..
    Na mjomba Ropo hajakosea😂..alisema vidonda vilipanda mpaka bandama imeoza. Na vidonda vya tumbo vikiwa vikoshamiri hio pia inakua . Inatokkea kama cancer.
    Pumzika kwa amani Dida

  • @justenkehongo8645
    @justenkehongo8645 3 години тому

    Jamaa wamefanana nae sana kweli ni kaka yake na dida sema kaongea ukweli ndio wanamkana

  • @mohamedhassani2179
    @mohamedhassani2179 5 годин тому +1

    Ugomvi wa Mali za dida unaanza

  • @yogwesaid7435
    @yogwesaid7435 5 годин тому +2

    Haya majitu kumbe ni meusi ada dida alijipodoa tu

    • @Zainab-sq1tc
      @Zainab-sq1tc 5 годин тому

      Wanasemaga alikuw anatumia drip za kuw mweupe mwil mzima

    • @susans4490
      @susans4490 2 години тому

      Kwani kwenye familia lazima wote wawe rangi moja?basi huyo pia mrefu dida alikuwa mfupi mijitu bana fyuu

  • @kennethbenjamin275
    @kennethbenjamin275 5 годин тому

    Duh 😂😂😂 bongo vitimbi haviishi

  • @sharifajuma9945
    @sharifajuma9945 2 години тому

    Mmesema amumjui aliend hospitali mbona sasa unasem tena bi mkubwa wenu kasem mwacheni ayupo saw asa mtu msiemfaham umejuaje ayupo saw

  • @shabanimadobe972
    @shabanimadobe972 4 години тому

    Ivi vidonda hupanda kichwani jamani? Mungu atusaidie

  • @mimanyangasa304
    @mimanyangasa304 6 годин тому +1

    Hii pua ya dida kabisaa

  • @CharlesRehani
    @CharlesRehani 5 годин тому

    Kwani shida iko wapi ?

  • @MUDIKIDEVU-fl7ii
    @MUDIKIDEVU-fl7ii Годину тому

    Umekosea we kaka wa Dida ulivokataa kuwayule baba hamumjui hukutakiwa kusema alikuja hosptali

  • @judithtitomalyeta4000
    @judithtitomalyeta4000 2 години тому

    Mbona aliongea vizuri hakusema kama ndugu baba mmoja waandishi na nyie wachonganishi

  • @Zainab-sq1tc
    @Zainab-sq1tc 5 годин тому

    Hahaha dah baba wa watu kapita na upepo

  • @sophiamunga4520
    @sophiamunga4520 3 години тому

    Hawa wanao coment leo ndio haohao walio coment jana au wengine kweli ukishazikwa basi

  • @kassimaliy7343
    @kassimaliy7343 2 години тому

    Upo sahihi kaka sisi dini yetu hatukai na maiti ukifa ni kuzikwa tu

  • @HGvv-bh1ig
    @HGvv-bh1ig 6 годин тому +1

    Km sioo ndy ynu mbn anazotaarifa kmli kma zakoo

  • @halunimnenwa5224
    @halunimnenwa5224 32 хвилини тому

    Diamond nisame ndugu yangu nilikufikilia vibaya kuendelea na show huku msiba ukiendelea kumbe uliomba asizikwe

    • @halunimnenwa5224
      @halunimnenwa5224 31 хвилина тому

      Wamekosea sana Hawa jamaa wakat ni mfanyakaz wako

  • @HidayaNgala
    @HidayaNgala 5 годин тому

    Ila ni kweli yule kaka wa kwanza anaonekana didhi limeyumba

  • @jenyyusuph4973
    @jenyyusuph4973 3 години тому

    Mmm ham a kazi mbona wote watatu mnafanana?

  • @RamadhaniOmary-s7n
    @RamadhaniOmary-s7n 3 години тому

    Mbona mtu akifa mnakua mnamambo mengi kila Moja ndugu yake waache ujinga

  • @justenkehongo8645
    @justenkehongo8645 3 години тому

    Yule jamaa alisema fangasi wamepanda kichwan

  • @sofitanzanian955
    @sofitanzanian955 6 годин тому +3

    Kwani janaulikua wapi

    • @Shuu.A
      @Shuu.A 6 годин тому +2

      Huyu ndio kaka mkubwa na jana ndio mazishi aache kumzija ndugu yake akimbilie waandishi ukiwa mkubwa kila kitu unaitwa weye

    • @OfficialA83640
      @OfficialA83640 6 годин тому +2

      We unaweza msiba km ule kaka uhojiwe uongee au hukuwaona km wapo busy kule Muhimbili hebu acheni mambo huyo ndy Husein kaka mkubwa wa Dida

    • @israelkisaila8401
      @israelkisaila8401 6 годин тому

      ​@@Shuu.AWala SIYO ukiwa MKUBWA,ndo utaulizwa,Mimi ni MDOGO kabisa kati ya watoto 10,ikitokeaga issue,Mimi ndo naulizwa mpaka chumvi ya jikoni😢

    • @sofitanzanian955
      @sofitanzanian955 6 годин тому

      @@OfficialA83640 sasa kama hakuwepo akae kwakutulia siri zimwage

    • @sofitanzanian955
      @sofitanzanian955 6 годин тому

      @@OfficialA83640 utajiju limekuchoma ukweli.utabakia kuwa ukweli.alicha kunywa dawa utajaza wewe apo

  • @aby21111
    @aby21111 6 годин тому

    Ile bwana mbaya sana.Even if he's related to her. He's bad.

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 3 години тому

    Si vizuri kutaja maradhi ya mtu

  • @betrackjasson6698
    @betrackjasson6698 2 години тому

    Kuwa kaka sio lazima muwe ndugu wa damu inategemea yule kaka walikuwa wanaishije ndani ya jamaii watu wanashilikiana hata sis mtajani tuna kaka dada hata baba ambao sio ndugu zetu ila inategemea tunaishia nao vp

  • @abuyunusmohamed6961
    @abuyunusmohamed6961 3 години тому

    Wewe binti hujajipanga kwenye mahojiano.

  • @MsNajma-j7e
    @MsNajma-j7e 4 години тому

    Kwan yule mzee kip kibaya aricho sema ni ivyo ivyo vidonda va tumbo na kuusu bia sawa na kuacha dawa iyo inatokea

  • @Legends_Interviews
    @Legends_Interviews 7 годин тому +1

    Kaka wamekuwa wengi😂😂

    • @zainabuabdul7852
      @zainabuabdul7852 7 годин тому

      Huyu ndo kaka yake anaitwa hussein shaibu

    • @AmanaHussein
      @AmanaHussein 7 годин тому

      Pia Mimi ni shangazi 🇰🇪😂😂😂

    • @cdeleo9336
      @cdeleo9336 27 хвилин тому

      Huyu ndo kakayake tumbo moja

  • @ShukuruBruto
    @ShukuruBruto 3 години тому

    Unamkana ndugu yenu kwa kusema ukweli?????ww Huna akili

  • @ZainabLol-wx7xf
    @ZainabLol-wx7xf 5 годин тому

    Ndugu sio lazima kuzaliwa nae

  • @hollymore4904
    @hollymore4904 4 години тому

    mmh mbona huyu ndo kama kanjanja

  • @isaacmwaseba9972
    @isaacmwaseba9972 3 години тому

    Sasa kwani nyie waandishi wa habari huwa hamjiongezi kuuliza kama ni ndugu yake mkarusha hewani.

  • @rayaali7551
    @rayaali7551 9 хвилин тому

    YULE MZEE ALIKUJA KUTAFUTA. UGALI KWA DIAMOND. NDIO AKAROPOKWA SAAANA KWA KUMTETEA NA KU WA CHAWA WA DIAMOND TUU BAAS

  • @sygtamks1643
    @sygtamks1643 2 години тому

    Wewe mtangazaji mbona unamaswali yakimbea

  • @shanizuberi7984
    @shanizuberi7984 3 години тому

    Uchawi uyo na mama Yao mkubwa ndo anawamaliza kala mdogo wake wa Zanzibar na watoto wake wa 7 mhuu

  • @HASSANBAKARI-q9c
    @HASSANBAKARI-q9c 5 годин тому

    Uyo dada si muigizaji uyo,,,aliekti na mlela

    • @natamihambo8077
      @natamihambo8077 4 години тому

      Hata mimi kama namfananisha. Yule machepeleee

  • @shanizuberi7984
    @shanizuberi7984 3 години тому

    Ghafla dida alipogundua mamkubwa wake ndo anaemaliza familia akawa amempa mamkubwa makavu ila mamkubwa alimwambia subiri

    • @lilyrose7983
      @lilyrose7983 2 години тому

      Jamani?Ila na yeye iko cku atakufa tu

    • @cdeleo9336
      @cdeleo9336 24 хвилини тому

      Wewe una uhakika na unachoongea?

  • @dullasultan5263
    @dullasultan5263 6 годин тому +3

    Hata ukiwatazama sura unaona kabisa ni ndugu ila mwamba aliharibu ndo maana wana m'petro😂

  • @flinchclassic1531
    @flinchclassic1531 19 хвилин тому

    Mnatuchanganya

  • @jumajay8496
    @jumajay8496 44 хвилини тому

    Poor interview.

  • @MsNajma-j7e
    @MsNajma-j7e 4 години тому

    Ukiwi na izi dozi zetu unakatika tu

  • @SalmaNguzo-h6h
    @SalmaNguzo-h6h 4 години тому

    Waandishi nao wamezdi kilamtu kumuhoji wengine dishi inayumba ndomana kabwabwaja

  • @linnerphilip4260
    @linnerphilip4260 6 годин тому +1

    Mtu aongee vile afu mseme ety ni uongoo mmmh mna shakaa

  • @aishaomary4498
    @aishaomary4498 4 години тому

    Hakika yule kaka fake apana anatafuta umaarufu kakaentu umeachiwa hiyo ni Amana Allah akupe busara na hekma umlee bint kwa wema

  • @Hot_rod-lies
    @Hot_rod-lies 3 години тому

    Jamania damu mazito kuliko majia huyo kaka nibro tu wake marehemu mungu ajuwa zaidi