Ma sœur mais moi aussi j'aime tes chansons avec des choses qui se passent dans mon pays cette chanson là me console vraiment que dieu te bénisse abondamment 🇨🇩🇨🇩🇨🇩 particulièrement à l'est de la RDC 🇨🇩😇😇
Marthe mwaipaja u never disappoint, you are the queen of gospel songs. God bless you🙏 Wakenya kujeni tubarikiwe hapa na mnipe likes huu msimu wa maandamano.🇰🇪🇰🇪
Martha Martha Martha ,you do casing very focast ,keep it moving and burning ,true golpel through singing.finally we have the official video.this is a true call❤🎉 from 🇰🇪
Martha martha martha..how many times have i called you?you are such a blessing in our lives❤I feel blessed with your songs.Big up dear.Much love from Kenya
Feeling heartbroken. This song has blessed my heart and I'm trusting God because " Ni wewe umenikubali..... Ni wewe umeniitika.... ( Mungu Baba) 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Amen 🙏 na Mungu akubariki sana kwa kugusa moyo wangu kupitia nyimbo zako, naomba kama naezapata kibali machoni pa Bwana Mungu na machoni pako, nipate kukutana na wewe ili nipokee hiyo Neema ambayo umeibeba. Naitwa joyvictory kutoka Kenya ndo nimeanza kuimba na wewe dadangu ndio my role model katika uimbaji, yaani ukinikubalia naomba kuimba nawe hata kama ni wimbo mmoja nipokee hayo mafuta na nijue ni wapi Nina upungufu katika uimbaji wangu. Mungu akubariki sana dadangu
This is One Kind of a Soul. You are such a blessing to all. 100% of Kenyans 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 love you. Continue being a blessing to all. Much love from Kakamega Kenya 🇰🇪 🇰🇪 😊😊😊😊😊😍
Hongera Dada yetu unajua sana kutuonyesha Furaha ndani ya maisha yetu kupitia huduma yako ya Gospel 🥰 Napenda sana nyimbo zako sina mafundisho mazur sana Mungu akupe Afiya njema
I just like the simplicity in this Lady, As she gives the strong message through her praise, Dada Martha Mungu akizidishie milele ,maana unajua kujipunguza na kunyenyekea mbele zake na kumpa sifa, maana ni yeye amekuiitika
Naomba kuuliza japo kwa upole , dada huyu mwenye sura ya kupendeza na sauti yenye kumtoa nyoka pangoni na kumweka mapangoni kama anaye mchumba❤❤❤❤❤❤😊😊😊😊
Nice one... Hakuna wimbo wako nitauskia nkose kuupenda... May God bless you so much uendelee kuwa katika viwango vya juu...♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️one love from Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Shalom , muchas bendiciones para ti hermana Martha quisiera poder entender el idioma , pero se que son hermosos cansion , siento la presencia del espíritu Santo . Escuchando tu cansiones Saludo desde , República Dominicana 🇩🇴 ❤️
I'm here celebrating a new month of July 01/07/2024 💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃 Wimbo mzuri sana , barikiwa sana dadangu. More grace,more anointing upon you and your ministry..... Listening loud and clear nkiwa Middle East Israel- Jerusalem 🙏🙏💃💃💃💃
Nyimbo nzuri,ujumbe 💯, Kenya 🇰🇪 tupo ndani♥️♥️♥️♥️♥️♥️
Tubarikiwe pamoja
My mentor spiritually...Gd work.blessings..
Behind u
Waw!! Another one ...Martha the president of gospel music her songs fades not
Tupo ndugu
Kweli kabisa dadangu Mungu akikubali inatosha Amen ❤ 4:08 to 🇰🇪🇰🇪
Hongera mdogo wangu mungu akuinue
Asante sana dada Yesu ni mwema
@@marthamwaipaja4725 ROSE MAMA NAKUONA HAPA , HEBU MPIGE REMIX #marthamwaipaja4725
Plppp
Tunagoja colabo yenu mama rose
❤❤❤❤❤ my favourite singer plus martha mungu awabariki sana 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Martha nakupenda sana mtumishi wa mungu ubarikiweee sana ❤❤ 👍🙌🙌🙌🙏🙏
So amazing, tunakupeda 🇰🇪🇰🇪
Nyimbo zako dada hubariki dunia nzima...wakenya twakupenda sana🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Mungu azidi kukutumia kutuhubiria kupitia nyimbo nzuri Kenya twakupenda Martha🇰🇪🇰🇪❤️
This woman always delivers 🙌...much love from Kenya 🇰🇪❤❤
Nakupenda sana unavyoimba
Ma sœur mais moi aussi j'aime tes chansons avec des choses qui se passent dans mon pays cette chanson là me console vraiment que dieu te bénisse abondamment 🇨🇩🇨🇩🇨🇩 particulièrement à l'est de la RDC 🇨🇩😇😇
Hapa nipo ndani kabisa ❤❤❤❤ i really love your songs
Amen. Wimbo bora sana kwangu ubarikiwe mtumishi wa Mungu 🎉🎉🎉
Napenda sana nyimbo zako❤ barikiwa sana Mtumishi wa Mungu
Marthe mwaipaja u never disappoint, you are the queen of gospel songs. God bless you🙏
Wakenya kujeni tubarikiwe hapa na mnipe likes huu msimu wa maandamano.🇰🇪🇰🇪
Yes yes
❤
Kazi nzur dada etu mungu akusimamie ❤
Asante Mungu kwa kunikubali pamoja na maombi yangu ❤😊
Every time you release a song ,it's always am in that season. Am in the season of thanksgiving. More grace 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪
No one can understand me how joyfull I feel when im listening ❤❤❤❤ to this amazing gospel our sister may God bless you so so much 🙏🙏🙏🙏
Nakupenda mtumishi wang
Ameen
Asante Mungu kwa makuu uliyowatendea watoto wangu, Umewakubali, umewaitika na kuwaheshimisha Amina❤❤❤🎉🎉🎉
Napenda saana nyimbo zake hakika #tandahimba mtwara tumampenda
Mungu anatambua huduma yako nyenyekea mama nakupenda sana na nyimbo zako
Amen Amen 🙏🙏🙏🙏 good video and good song God bless you my friend ❤❤❤👍👍💯💯
Nyimbo nzuli sana! Love kutoka Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮♥️
Wimbo-singular Nymbo-plural
@@selemanshidda9688 swahili ya Burundi tofauti sana na ya TZ
When I listen this song I found my self 😢
Martha Martha Martha ,you do casing very focast ,keep it moving and burning ,true golpel through singing.finally we have the official video.this is a true call❤🎉 from 🇰🇪
Much love my big sister yani kila siku lasima nitazame nyimbo zako Much more ❤❤from 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪
Ni wewe YESU hakuna mwingine.
for those who are lien to swahili the words "ni wewe umenikubali, ni wewe umeniitika" means "you have accepted me, you have answered me"
Thank you, I like her songs but can't hear anything, i'm poor at swahili😂 i keep watching songs but....😅
Thanks alot
I like her songs but language it's a challenge to me
Thanks alot
Kama unampenda dada martha weka like za kutosha hapa❤❤❤maana anaimba poa saaana🙏
❤️❤️❤️❤️❤️
@@MariamSade-e8t vzr..saaana rafiki..
@@MariamSade-e8t njoo pia kwangu rafiki
Pic ya kinyaki iyo cio pow...kazi nzur sister ...Mungu akutunze ❤❤
Dadangu mungu akuinue kwaviwango vyajuu sana wimbo mtamu mno nimeupenda
I love this song so much 💞 be blessed Mama 🙏🙏🙏
Wangapi wametoka tiktok anyway from kenya 🇰🇪 nakukubali zaidii
Karibu sanq mtumishi, ukija uingilie kuria,moaka tz na keya, karibu bro
Martha martha martha..how many times have i called you?you are such a blessing in our lives❤I feel blessed with your songs.Big up dear.Much love from Kenya
Ni wewe umeniitika ni wewe bwana umenipenda, can't get enough ❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪
This blessed woman of God,the smile on her face the joy she has,Soo lively,the living testimony that God lives.
Hongera sister mathar kwa nyimbo nzuri na inatujenga kiroho
Be blessed,nyimbo zako hua zinanijenga,mungu akuone zaidi🙏🙏🙏
Kenyans where are you nice song blessings from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
here we're 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
I like Martha and her is very encouraging
Kenya tumesema ndio🇰🇪🇰🇪
You're true and vocalist
Beat..100%
Sounds.. perfect
Theme...100%
Talent...100%
Mungu akubariki sana...
Ubarikiwa sana
Nyimbo nzuri kwa vina na mashairi Dada yangu,unaelimisha Taifa Kiimani na kuimarisha Kiroho,Barikiwa
Beat ndo hatari😅😅
good work martha mwaipaja hongera sana
Kabisaaa
I really believe that God is always with me in my heart, according to the masages from the gospel your voice ❤madam 🙏🙏🙏
Napenda nyimbo zake sana zinaninua Kiroho zinanitia nguvu
*Beautiful Song, Team Kenya jambooo.* 🇰🇪❤🎉
Sijambooo
Sijjambooooooooo
Team mwaipaja lotsssss 💕
Ni wewe umenikibali vile nilivyo
🎉
Feeling heartbroken. This song has blessed my heart and I'm trusting God because " Ni wewe umenikubali..... Ni wewe umeniitika.... ( Mungu Baba) 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Feeling the same dear bt mungu wetu ametukubali na ni yy atatuitika be strong sweetheart God love you
Wahoooo 🥰🥰 exactly 💯🧎🧎
I feel like this song shld be played in my wedding coz of what have gone through
Kama unamkubali huyu dada gonga like hapa
Hata mimi nakupenda sana mtumishi💓💞
Hahika niwew ymenikubar MUNGU Wang endelea kunikubali Zaid peke yako ndo mpenZ wa kwel
😂
Uko vzr my
Utatutakatifu, ni wewe pekee Bwana unayenijua🙏🙏🙏♥️💪
Ubarikiwe dada, mukewangu ni mapenzi wa nyimbo unazo imba.
Amen 🙏 na Mungu akubariki sana kwa kugusa moyo wangu kupitia nyimbo zako, naomba kama naezapata kibali machoni pa Bwana Mungu na machoni pako, nipate kukutana na wewe ili nipokee hiyo Neema ambayo umeibeba. Naitwa joyvictory kutoka Kenya ndo nimeanza kuimba na wewe dadangu ndio my role model katika uimbaji, yaani ukinikubalia naomba kuimba nawe hata kama ni wimbo mmoja nipokee hayo mafuta na nijue ni wapi Nina upungufu katika uimbaji wangu. Mungu akubariki sana dadangu
Nice song love from Kenya 🇰🇪 kutoka 14-16 tunakuja uko Arusha Crusade
Karibu sana tutakuws Arusha ..hope mama Martha will come" we❤ Tanzania
The best gospel singer 💫🎉 ubarikiwe sana 🙏🏾🙏🏾
Asante Mungu kwakuwa umenikibali hivi nilivyo nikwa neema Yako tyu❤
Barikiwa mtumishi wa mungu Wimbo huu unanifariji sana
Kitu Safi Mali safi❤️🎉from Kenya with love
Very good song.
kweli Mungu ni mwema tukikumbuka tulipotoka yeye nidio anajua
This is One Kind of a Soul. You are such a blessing to all. 100% of Kenyans 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 love you. Continue being a blessing to all. Much love from Kakamega Kenya 🇰🇪 🇰🇪 😊😊😊😊😊😍
Tunaopenda hii Gospel ifike juu #1 on trending , wajue Mungu yupo tujuane kwa likes 😘❤️
🙏🙏
Violet Wafula from Uganda 🇺🇬 ❤ 🙏🙏🙋♂️🧎♂️🧎♀️🧎♀️🧎♀️
Nabarikiwa Sana na uimbajiwako Yesu akutunze !
she's magical with her style of singing and the magical voice
Nani kama martha mwaipaja nyimbo zake n 🔥🔥🔥🔥hii comment nachia watakao isoma 2030 wajue nilipita hapa
Kama unapenda nyimbo za Martha mwaipaja gonga like hapa ❤❤❤
❤ ❤ Hakika Martha umewaongoa wengi kwa nyimbo zako ubarikiwe sana.
Nakupenda sana Marta atanikiwa namawazo ww n mvariji wang ❤❤
😢🎉🎉🎉🎉 honger Mungu 😮 akupe ufunuo uzidi kuimba
AKSANTI MUNGU KWANI WEWE TU UNA STAHILI MAISHANI MWANGU. UMENIITIKI NGISI NILIVYO 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏 WEWE NI BABA
Huku Kenya tunasema kitu kuruka, Yaani kitu iko, kitu therapy. You're a blessing to many. Love from Kenya Kamkunji grounds❤️💙👏👌💪🏼
Ongeza sauti kaka ,kitu therapy
Kabsaaa kaka hapo volume Iko sawa wakenya tumefika
😂wakenya tuko ndani.niko hapa Rongai.nasikiza mdogo tu❤❤
😂😂😂tupo ndani ya therapy 😂
Hallelujah 🙏 kweli kabisa hapa Kenya atawale kote si mungu atawale tu
Amen! Amen! Barikiwa sana kwa kutupa wimbo mtamu na WA kupendeza na kumja mungu,,🇰🇪twakupenda
Dada nakukubali sana Mungu akuongezee neema I love you so much
Aminaa,ninaupenda huu wimbo hats hauchoshi
Hongera Dada yetu unajua sana kutuonyesha Furaha ndani ya maisha yetu kupitia huduma yako ya Gospel 🥰 Napenda sana nyimbo zako sina mafundisho mazur sana Mungu akupe Afiya njema
I always love your songs ❤. They are always a blessing to my life. Hata wakati navunjika moyo huwa zinanitia nguvu. Barikiwa sana dadangu Martha 🙏
Am blessed from Kenya 🇰🇪
Amen
Nandy
I'm blessed all the way from kingdom Riyadh
Wimbo unabariki sana.....Hogera Mwaipaja
Natamani kuwa kama hyu dada,mungu akubariki kwa sauti nzuri
Martha you are blessed to Africa nation😊 Mungu azidi kuuinuwa sanaa hadi maaduwi washangae much❤ from +254 and that is 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
MUNGU azidi kuku pandisha viwango vya juu dada matha
Ubarikiwe sister
This Lady is carrying another Level of Grace.... I am always blessed by your work... Tremendously Beautiful🥰
Indeed Martha. Keep it up❤🎉🎉🎉
Wonderful songs
Barikiwa sana kwa Wimbo wakumsifu Mungu akuinue zaid
Nimeupenda Sana huu wimbo ubarikiwe mama
Mummy daughter goals ❤❤. A great masterpiece of Thanksgiving 👍
I just like the simplicity in this Lady,
As she gives the strong message through her praise,
Dada Martha Mungu akizidishie milele ,maana unajua kujipunguza na kunyenyekea mbele zake na kumpa sifa, maana ni yeye amekuiitika
Beuriful ❤
Imagine, very simple and beariful at the same time, enyewe mungu amekuitika dada matha
On my bedroom,ninalia tuu 😂😂machozi yakidodonga nikisikiza huu wimbo.
Naomba kuuliza japo kwa upole , dada huyu mwenye sura ya kupendeza na sauti yenye kumtoa nyoka pangoni na kumweka mapangoni kama anaye mchumba❤❤❤❤❤❤😊😊😊😊
I wish that one day I will sing with you Martha God bless you and keep you safe ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉 amen
Martha huwa nafarijika Sana na nyimbo zauko, Mungu azidi kukuinua sana
Nice one... Hakuna wimbo wako nitauskia nkose kuupenda... May God bless you so much uendelee kuwa katika viwango vya juu...♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️one love from Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Amen Amen 🙌 🥰🥰from Kenya 🇰🇪
Ni Wewe umenikubali ni wewe Umenipokea🎶
Glory be to God🙏
Nakupenda sana n nyimbo zako you💯💯👋👋👋👋🥰🥰🥰😊
Ubarikiwa sana my sister kwa kumsifu bwana kwa nyimbo Hakka ni jema xana na bwana wa majeshi atakupeleka mbali.uckate tamaaa
Hallelujah 🙏 can't get enough of this song 🙏 hakika n Wewe Mungu umenikubali,uliyeniitika,uliyenitafuta🙏🙏🙏
Here I am again, Thanks Lord for everything 🧎🧎🧎🙏🙏let your will be done Lord hold my hands Father 😭😭
Napenda sana nyimbo zako mamaa..unabariki sana moyo wangu❤
Shalom , muchas bendiciones para ti hermana Martha quisiera poder entender el idioma , pero se que son hermosos cansion , siento la presencia del espíritu Santo . Escuchando tu cansiones
Saludo desde , República Dominicana 🇩🇴 ❤️
God is the Only one who has accepted her
Big up sister Martha the song is blessings to me
Amen rozi muhando nami nakupenda sana na mdogo wako matha amen
Anytime you release a song ,the song gives me goosebumps....the grace surpurses all human understanding🙏🙏
l like this song
Keep up the good work mama Kenyan in the house fanyeni ile kitu please 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Ni wewe umenikubali🤸🏿♀️🤸🏿♀️🙏
Ameen my dada kweli niwewe unatawala kote
Hakika wimbo huu ni wenye kufariji, especially unapo usikiliza ukiwa umetulia, barikiwa sana cute Martha.
I'm here celebrating a new month of July 01/07/2024 💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃
Wimbo mzuri sana , barikiwa sana dadangu. More grace,more anointing upon you and your ministry.....
Listening loud and clear nkiwa Middle East Israel- Jerusalem 🙏🙏💃💃💃💃
Barikiwa Sana Dada nyimbo zako zinainua Moyo Sana,Mungu Anikubali na aAniitike na Mimi,much Love 🇰🇪🇰🇪
Santiiii sana mamaah kwa kutupatia wimbo was kiroho❤❤
Napenda nyimbo zako Amen 🙏🙏🙏🙏🙏