Martha Mwaipaja - Sipiganagi Mwenyewe (Official Video)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 вер 2024
  • Ukiwa kama ndugu wa karibu kutizama wimbo wangu unaokwenda kwa jina la sipiganagi mwenyewe Mungu akubariki.#MarthaMwaipaja#SipiganagiMwenyewe#MusicVideo.

КОМЕНТАРІ • 4,2 тис.

  • @annendungu3728
    @annendungu3728 2 роки тому +8

    Heri kupiganiwa,kutetewa na Bwana. Vita sio yangu. ...

  • @flossykaruga8345
    @flossykaruga8345 Рік тому +5

    Mungu amenipigania vitu mingi ..siwezi jipigania mwenyewe hakika.

  • @georgesmwambakamangala660
    @georgesmwambakamangala660 2 роки тому +4

    Aki kweli. Mungu ni baba. Ye ni ushindi kwa kila vita.

  • @WYCLIFFEOKONDO
    @WYCLIFFEOKONDO 4 місяці тому +85

    Hakika kama umepiganiwa na mungu kwa maisha yako nipe like........from kenya kanairo vita napiganiwa na baba aaah..

  • @user-ly9kr2jq4b
    @user-ly9kr2jq4b Рік тому +3

    Amen 🙏🙏 dada kweli mungu amenitoa mbali siwezi msahau kwa maisha yng

  • @nelsonmmbaga6886
    @nelsonmmbaga6886 4 роки тому +1082

    One of my best Gospel Singer! Kama wewe ni shabiki wa matha mwaipaja na Kama unaamini kwamba hupigani mwenyewe gonga like twende pamoja

  • @FabianDirector
    @FabianDirector Рік тому +59

    Kama una mkubali Martha naomba like hata 💯 zinatosha

  • @muikambamargreat1835
    @muikambamargreat1835 6 місяців тому +52

    Whos here 2024 kupiganiwa na baba❤

    • @Neemabigail
      @Neemabigail 3 місяці тому +2

      🙏🙏

    • @milgredmwakila2119
      @milgredmwakila2119 Місяць тому

      @@Neemabigailnnnnmmmnnqqqmnnmqnnnnnnqnqqnqnnqqqqnnnnnnnqqqqqnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnqqq

    • @maureenolande5205
      @maureenolande5205 5 днів тому

      Mwenzio vita nimekatazwa, natetewa na Baba💯🙏

  • @princes6045
    @princes6045 Рік тому +61

    Wanaopiganiwa na Baba wa like

  • @sandragithinji3156
    @sandragithinji3156 4 роки тому +366

    Wonderful song...kama unaamini kua upiganagi mwenyewe ila Baba ndiye ukupigania. Gonga likes za Martha hapa tukiendelea kuskiza na kusoma comments...

  • @edsonchrissofficial__6613
    @edsonchrissofficial__6613 4 роки тому +506

    Mimi wa kwanza kam hupiganagi mwenyew like apa Mungu akubariki

  • @ghostg5993
    @ghostg5993 Рік тому +3

    Ameen dada mwaipaja hakika huu wimbo hunituliza sana by the time I start thinking huwa najisikia nayo sana keep it up

  • @mirriammawia7595
    @mirriammawia7595 4 роки тому +30

    Wapendwa tuzindi kupinganiwa na Mungu❤❤like za Martha zi wapi jameni????

  • @kicmarthawa6659
    @kicmarthawa6659 2 роки тому +97

    Amina Amina. Ukisikiliza huu wimbo akika unapata nguvu ya ukimya kwa maadui zako na kukaa na kuangalia mungu anavyo wachapa maadui zako. Jamani kumtegemea mungu ni rahaa sana.LIKES ZENU KWA MARTHA MWAIPAJA 2022.

    • @hitamungujeandamascene5710
      @hitamungujeandamascene5710 Рік тому

      KUSEMA NI KWEMA KUNYAMAZA NI ZAIDI.

    • @vumiliasaidi7552
      @vumiliasaidi7552 Рік тому

      amen mingi Manungu akipigania tangu utoto wangu hadi mwisho wa maisha yangu

    • @mbakapetermungai2545
      @mbakapetermungai2545 Рік тому

      Wakati nmfungikiwa nausikiza huu wimbo akika wanitia nguvu

    • @hitamungujeandamascene5710
      @hitamungujeandamascene5710 Рік тому

      @@mbakapetermungai2545 huyu ni msanii wa karne ! amepakwa mafuta na Mungu, kwanza kabisa mimi ningebahatika kukutana na yeye ningemutunukia tunu nzuri kwa kuniwezesha kufaidika kujua lugha ya kiswahili kwa methali na misamiati kadha wa kadha .kutoka RWANDA mimi naitwa JEAN DAMASCENE HITAMUNGU Mbalikiwe nyote msiochoka kumfuata dada mpendwa Martha Mwaipaja Amen !

    • @esther5838
      @esther5838 Рік тому

      Ukwel lazima mungu anibariki nikamshinde maadui eeeh mungu niokoe nione ufalme

  • @marymarie9941
    @marymarie9941 4 роки тому +321

    Wow! Huwa wanibariki Sana dadangu, nakupenda Sana dada martha.
    KAMA NA WEWE WABARIKIWA NA HUYU MPAKWA MAFUTA GONGA LIKE TUENDE SAMBAMBA

  • @philipomwoyo4765
    @philipomwoyo4765 9 днів тому +1

    Hakika Bwana anabadilisha 2021 tulikuwa tunalala chumba ambacho mvua ikinyesha usiku inabidi tuamke bt Mungu n nani sai mamangu analala bila wasiwasi n bdo baba anazidi kubadilisha maisha yetu 😢😢

  • @aggreysk7000
    @aggreysk7000 3 роки тому +137

    Napiganiwa na Baba 2021 here we come ..Nani anabarikiwa kama mimi .. Nairobi Kenya

  • @winniek.8855
    @winniek.8855 4 роки тому +307

    Mwaka huu wa 2020...nakuwachia wewe yesu. Sitapigana, sitashindana. Simama kwa zamu yesu.
    Bless you Dada Martha.

  • @misanakulwa4083
    @misanakulwa4083 4 роки тому +143

    Ngonga like twende pamoja kama tumemsoma Matha, nooo kupgana na Mtu2020, na maisha yenyewe mafupiii..

    • @ipmtv3298
      @ipmtv3298 4 роки тому +1

      Unajua mama

    • @chizaedwin8565
      @chizaedwin8565 4 роки тому

      Dada unaweza ongeza kasi

    • @elizabathh6270
      @elizabathh6270 4 роки тому +1

      💯

    • @athumanilawi3254
      @athumanilawi3254 4 роки тому

      Namshukuru mungu kwakweli ananisaidia kwenye mapambano yakidunia from bukwe utegi

    • @etyangariku3554
      @etyangariku3554 4 роки тому +2

      Joshua 23:10_ Kweli sisi hatuwezi kupigana, ni Mungu ndiye hutupigania.

  • @user-jm3df8ry5c
    @user-jm3df8ry5c Рік тому +2

    Hakika utumishi wako kupitia wimbanji umenitoa mbali dada, acha Mungu azidi kukuinua , kuna wakati watu wote waliniacha nilibaki na Mungu tu, God bless you servant of the Most High God💕 love you, Napokea neema hii ya uwimbanji katika jina la Yesu

  • @violinenyakara5028
    @violinenyakara5028 4 роки тому +250

    This song is about me haki, Mungu ananipigia, wapi likes za Martha, she's a blessing

    • @fatumahamadi9628
      @fatumahamadi9628 4 роки тому +6

      Very amenipiginia huyu mungu sijuwi ni mlipe nini jamani

    • @edwinmunyasia7449
      @edwinmunyasia7449 4 роки тому +6

      Haki hii nyimbo niyangu. Mungu ananipigania kwa kila hali Martha be bless

    • @godlovejulius6839
      @godlovejulius6839 4 роки тому +4

      @@fatumahamadi9628 I am

    • @mungesamwel8542
      @mungesamwel8542 4 роки тому +4

      Infact mungu ni kila kitu

    • @AS-om8rc
      @AS-om8rc 4 роки тому +5

      Hakika kama uliniimbia mimi! Much blessing Martha Mwaipaja

  • @SuccesRozie
    @SuccesRozie 3 роки тому +95

    2021 wangapi wanaamini bado Mungu atazidi kutupigania 🙏🙏

  • @gracekhola7639
    @gracekhola7639 5 місяців тому +9

    2024 Mungu atanipigania 😭😭🙌🙌🙌

  • @mariamoraa7891
    @mariamoraa7891 6 днів тому

    Mungu wangu nipiganie kwenye maisha yangu,, waelewa wanaopigana nami,, nipe amani kazini na katika maisha yangu ya kila siku🙏🏽🙏🏽🙏🏽

  • @lilianwanjugu5424
    @lilianwanjugu5424 Рік тому +134

    Mungu amenipigania vitu mingi mno am a living testimony,being in a foreign country (Saudi Arabia) I have seen akinitendea,amenipa kibali kwa nyumba ninayofanya kazi, nashukuru,much love from Kenya(home country)

    • @hellenchiumia9036
      @hellenchiumia9036 Рік тому +3

      @@puritynzilaniofficial m

    • @carolynechebetk5972
      @carolynechebetk5972 Рік тому +2

      GLORY BE TO GOD FOREVER 🙏🙏🙏

    • @joyjoy2334
      @joyjoy2334 Рік тому +3

      Me too. Am in saudi dear Saudi is only God who fight for us fail. To that we are doomed!!!! I thank God for everyone

    • @lilianwanjugu5424
      @lilianwanjugu5424 Рік тому +2

      @@joyjoy2334 prayer is the key,coz God will always fight our battles.

    • @celinenaliaka
      @celinenaliaka Рік тому +3

      Mimi nime piganiwa na baba yangu siku zote mahana sigekua Leo shalom 🙏

  • @omboks
    @omboks 4 роки тому +136

    Wapi likes za team Gospel 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪254 listening from 🇨🇦🇨🇦🇨🇦🇨🇦

  • @kambuajeniffer5300
    @kambuajeniffer5300 4 роки тому +265

    Especially for single mothers people don't have full respect for us . But only God fights for us. Wagapi wakubaliana na mimi?

    • @sarahrichard7608
      @sarahrichard7608 4 роки тому +5

      Amen. The ALMIGHTY GOD is our only refuge and strength in the might name of JESUS CHRIST.

    • @risperomochiemo825
      @risperomochiemo825 4 роки тому +4

      Very true but sir God haezi tuacha anatupigania

    • @dorcaskapus3860
      @dorcaskapus3860 4 роки тому +4

      True

    • @ms.linetmutungakalamu9008
      @ms.linetmutungakalamu9008 4 роки тому +2

      Linet Kalamu

    • @alla1325
      @alla1325 4 роки тому +4

      True speaking especially for us single mothers most of people they don't respect us,bt in all jehovah God is our fighter, waau

  • @ChariteBila
    @ChariteBila День тому

    Ubarikiwe dadangu, aksanti sana kwa uduma mukubwa katika nyimbo zako Tangu 2001" kuna wakati wakuliya......... Nakupenda sana najitaidi sana kufata uduma zako naninabarikiwa hakikanazo. Charité from DRC parc national garamba haut Ouellet.

  • @salhasemeda8050
    @salhasemeda8050 3 роки тому +71

    Miee ni mwisilam lkn waallaah nyimbo za huyuu dada zanigusa mnoo shukriaa kwa allaah na viumbe vyakee🙏🙏🙏💞💞😘

  • @blasidajulius2240
    @blasidajulius2240 4 роки тому +8

    Huu wimbo unanibariki sana kwakweli hta mm sipiganagi mwenyew ninapiganiwa na baba,Kama nawwe unapigana mwenyew twende pamoja🙏🙏

  • @naomiwambui6010
    @naomiwambui6010 4 роки тому +225

    Napinganiwa na yesu, who is still saying that in may 2020

  • @hnmm789
    @hnmm789 10 днів тому

    Nime piganiwa na mungu maisha yangu yote , wa christo wanzangu endeleeni kuamini mungu nimwema atatupigania vita

  • @blandinamnyinga8318
    @blandinamnyinga8318 4 роки тому +49

    Huwa sipigani mwenyewe maana tangu utotoni napiganiwa na babaa""hallelujah"wengi tunapoteza nguvu nyingi kutaka kujitetea na kujisafisha mbele ya wanadamu"acha YESU akupiganie"na matokeo yake watesi wako wote watakuona uking'aa na kupanda kila cku in Jesus name.

  • @gladysnyakenyanya8758
    @gladysnyakenyanya8758 11 місяців тому +7

    Mwezio sipiganangi mwenyewe napiganiangwi na BABA😢😢 Wapi likes za 2023.

  • @heriethinocent3407
    @heriethinocent3407 4 роки тому +46

    Hongera sanaaaaaaa my Dada
    Hakika Yesu anatupigania
    Nakupenda sanaaaaaaa my Dada
    Napenda sanaaaaaaa huduma yako
    Mungu akuinue juu zaidi ya ulivyo leo

    • @heriethelieza9930
      @heriethelieza9930 4 роки тому

      Mwajina wangu tuko pamoja me mwenye nampnda sana da martha nabarkiwa sana na nyimbo zake

    • @hilderkihiyo5395
      @hilderkihiyo5395 4 роки тому

      napingiwa na mungu mm

    • @mbaralimweco901
      @mbaralimweco901 4 роки тому

      Hakika Martha Mwaipaja "BARIKIWA SANA", Nafarijika mno na nyimbo zako zilizojaa Utume uliotukuka, AMENITENGENEZA HUYU BWANA na sasa ANATAWALA zinasuuza nafsi si haba.Barikiwa MAMAANGÚ

    • @elizabathh6270
      @elizabathh6270 4 роки тому

      Ameeen🙏

  • @davinikwamboka8386
    @davinikwamboka8386 28 днів тому

    Mimi nimepitia Marshall magumu lakini mungu anaendelea kunipiganiaa mungu wangu niwema

  • @jaredombati3508
    @jaredombati3508 Рік тому +55

    I love listening to this inspiring song, hakuna sababu ya kupigana na wenye wivu, tamaa,uchawi,madharau na wenye wako na mipango mibaya kwa maisha yetu, tuwachie BABA mwenyezi Mungu awanyoroshe mwenyewe.

  • @philip_kimani
    @philip_kimani 4 роки тому +21

    Huuu wimbo ni kama nimeimbiwa mimi napitia matatozo, shiki na tabu
    ndugu jamaa wamejitenga na mimi lakini najua Mungu
    atanipigania atafanya njia pasipo na njia asante sana dada Mwaipaji

  • @marymhoja4522
    @marymhoja4522 2 роки тому +10

    Amina sana nimebarikiwa nawaomba na wengine wanaosikliza wimbo huu wamuweke Mungu mbele awe mtetezi ...........hakika hakuna kinachoshindikana

  • @sofiaomwola5706
    @sofiaomwola5706 2 роки тому +2

    Naparikiwa na hizi nyimbo napeda sana sina mboya rooho yagu

  • @jamespeter2639
    @jamespeter2639 4 роки тому +16

    Hata kuwepo 2020 Ni Baba mungu hakuna mwingine wekeni like wapendwa zenu nyingi kwa uwezo wake baba

  • @worshiplibrary7157
    @worshiplibrary7157 2 роки тому +96

    I'm ex muslim. This song make me realize that the Love of JESUS greater than anything in this world. Hallelujah

  • @joelwuodjuma3230
    @joelwuodjuma3230 4 роки тому +53

    Hakika hats mume wangu bado namwambia cpiganagi mwenyewe !

  • @aluochlencer6032
    @aluochlencer6032 Рік тому +1

    Enyewe umbali huu nimepiganiwa na Ebenezer. Santi sana Dada nimebarikiwa

  • @mirriamadoket9191
    @mirriamadoket9191 3 роки тому +33

    Huu wimbo unanipea nguvu ya kuvumilia mengi katika dunia nashukuru mungu kwa yote...ubarikiwe sana.

  • @JoyceOkhako-cg4ee
    @JoyceOkhako-cg4ee Рік тому +8

    Hakika Mungu ananipigania sana,ananipitisha kwa watesi wangu pasipo Mimi kujuwa🙌🙌🙌💪💪🙏🙏 barikiwa sana dadangu, nyimbo zako Huwa zinanijenga sana🎉🎉

  • @ruthlihavi2100
    @ruthlihavi2100 3 роки тому +4

    on 27th of may 2021...badoMUNGU ananipigania..

  • @janetwamalwa102
    @janetwamalwa102 9 днів тому

    Kweli fadhili za Mungu ni za milele.. napenda wimbo huu🙏🙏

  • @tumainiayo1639
    @tumainiayo1639 4 роки тому +29

    2020 nipiganie baba,naona mitihani mbele yangu,siwezi Mungu wangu,wewe n baba yangu.

  • @tunujumanne3168
    @tunujumanne3168 4 роки тому +12

    Kuna majira nilitaka kupambana mwenyewe nikasikia sauti imeubeba ushindi barikiwa sana Dada Martha

  • @naominyaboke4293
    @naominyaboke4293 4 роки тому +30

    Mungu nipiganie mimi vita siwezi Jehova ...nitete usiache nizame 🙏🙏🙏 barikiwa sana Martha, can't get enough of this am just rewinding

  • @neemazakrino9411
    @neemazakrino9411 14 днів тому

    Mwaka2024 ni mwaka wangu wa kupiganiwa na baba❤

  • @happynesskibona2679
    @happynesskibona2679 4 роки тому +6

    Kwa kweli huu unanibariki sana ktk maisha yangu na unanitia moyo sana maana ktk hii Dunia Kuna watu ambao kwa macho ya kawaida huwezi kuwatazama bila msaada wa Mungu ee Mungu naomba unipiganie peke yangu siwezi hii vita ni vikali sana kwanguu😭😭😭😭

  • @patienceakinyi9561
    @patienceakinyi9561 4 роки тому +85

    Naamini napiganiwa na baba.baada ya my boyfriend kuninyoga that day ndio nilijua ni siku yangu ya mwisho lakini nashukuru napiganiwa na baba

  • @sarahrichard7608
    @sarahrichard7608 4 роки тому +4

    YESU pekee sliyeshinda yote msalanani atatupigania, atatushindani. Tumwamini kwa mioyo yetu.

  • @pharesbhoke7339
    @pharesbhoke7339 2 роки тому +1

    Hakika data Martha unanibarik sana nakuombea _mch. Phares B. Mtwara .karibu mtw.

  • @cherotichlangat2808
    @cherotichlangat2808 4 роки тому +41

    when you trust God he will always fight your battles.wimbo mtamu sana barikiwa dada kwa maana bila yesu hatuwezi.mimi vita siwezi

  • @leilabasil
    @leilabasil 2 роки тому +5

    This song came nikiwa kwenye kipindi cha betrayal Kali sana,it was my song,Na bado naimba hadi Leo...Asante Mungu,Asante Martha

  • @CatharineNasipwondi-lk2hl
    @CatharineNasipwondi-lk2hl Місяць тому +3

    hallelujah yesu wangu nitetee amen that's true wonderful song amen may God bless you 💪🙏🙏 amen

  • @magrethkapinga1811
    @magrethkapinga1811 3 місяці тому +1

    Mungu endelea kunipa kibali nabarikiwa sanaaa na nyimbo zako Martha ❤

  • @antonythehomeexpert1896
    @antonythehomeexpert1896 4 роки тому +22

    For sure my battles i live hem to God for he's the worrior of my battles he's the burning spear ,mwenzio sipiganagi mwenyewe ninapiganiwa na baba aliye juu binguni.

  • @lembrislaizer9572
    @lembrislaizer9572 4 роки тому +24

    Napata
    Faraja
    Sana
    Kwa
    Wimbo
    Huu
    Barikiwa
    Sana
    San

  • @carolinekendi8144
    @carolinekendi8144 4 роки тому +184

    From Kenya we love you Martha

  • @nadegelonga9398
    @nadegelonga9398 2 роки тому +1

    Napigawa na baba ,kwani vita soyo yetu vita niya mungu.

  • @zuhuraomary3421
    @zuhuraomary3421 4 роки тому +5

    mwenzio cpganag mwnyw😧... mwenzio vita ciijui🙌...kasema nitulie atajibu...🤔🙏

  • @blandinamnyinga8318
    @blandinamnyinga8318 4 роки тому +18

    Msanii ambae ukiacha kumpenda na kumwimbia Mungu""anazipenda nywele zake""so natural and beautiful always.Be blessed Martha in Jesus name.

    • @winfredmunyao.
      @winfredmunyao. 3 роки тому

      I like 👍 her short natural hair too

  • @PaulGitua
    @PaulGitua 4 місяці тому +8

    I have not been going to church for 6 years but this song has changed my behavior sincerely speaking, and to all Martha funs and followers be blessed all❤

  • @marymhoja4522
    @marymhoja4522 2 роки тому +1

    Amina sana ......Naomba Mungu unipigania na mimi

  • @fransavinhonacmela827
    @fransavinhonacmela827 3 роки тому +5

    Yes Napiganiwa na Baba. wewe nipige tu vijembe vyako
    Mwenzio Napiganiwa na Yesu
    Nakupenda sana Dada #♡♡♡♡♡Matha☆☆☆☆♡♡

  • @happynesskibona2679
    @happynesskibona2679 4 роки тому +8

    Kwa kweli sipiganagi mwenyewe napiganiwa Na Baba ktk maisha yangu Asante kwa huu wimbo unanibariki sanaa

  • @liztom5051
    @liztom5051 Рік тому +6

    This song inanipea nguvu na Imani maishani. Mungu nipiganie bila wewe Mimi siwezi

  • @willyngabaha3470
    @willyngabaha3470 2 роки тому +1

    Shalom shalom napenda Sana nyimbo za mwimbaji Martha mwaipaji

  • @bonifacensengiyumva742
    @bonifacensengiyumva742 4 роки тому +5

    Barikiwa sana Dada Martha Mwaipaja, nazipenda nyimbo zako, Mungu akuzidie kipaji Mara dufu am Bonny from Rwanda

  • @brianuniquecop943
    @brianuniquecop943 4 роки тому +21

    Amen...from Kenya...twakupenda Martha...mungu akupeleke mbali

  • @neemawilly1082
    @neemawilly1082 4 роки тому +16

    Amen ,nabarikiwa sana,be blessed dada Martha,hakika sipambani mwenyewe napambaniwa na baba🙏♥️

  • @salomemkilima5732
    @salomemkilima5732 2 місяці тому

    kwakweli hata mimi MUNGU amenipigani na bado anazidi kunipigania.

  • @joelanayoofficial4129
    @joelanayoofficial4129 3 роки тому +5

    I like this song so much.Inanibariki sana.Mola akujalie

  • @judithonyancha6172
    @judithonyancha6172 4 роки тому +7

    Matha unaweza sipagani alone God ako baba wa mbingu na nchi 2020 gonga. tulikes

  • @rebeccanyakunga9354
    @rebeccanyakunga9354 4 роки тому +20

    Nashindaniwa na yesu wangu siku zote halelluya!! Wimbo naupenda mno mungu azidi kukubariki na kukuinua zaidi AMEN

    • @frolasalum5129
      @frolasalum5129 4 роки тому

      Mungu hakulinde dada wimbo huu umenigusa sana kama nilikupa mimi uimbe asante mtumishi wa mungu

  • @magrethkapinga1811
    @magrethkapinga1811 14 днів тому

    Mungu baba Asante kwa kunitengeneza Aksante kwa kuzid kunipa baraka zako za milele

  • @everlinekombe7962
    @everlinekombe7962 4 роки тому +9

    Dada barikiwa sana kwa nyimbo zako zenye upako wa mungu,,

  • @sabinahnyaboigo2125
    @sabinahnyaboigo2125 Рік тому +5

    My favorite song nikisikia hiyo na ninaona kesho iliyopangwa n Mungu l leave everything l doing to listen first, go on mwaaaaaauuuuu 🔥

  • @ergyebuelaaoci1685
    @ergyebuelaaoci1685 Рік тому +2

    Kwaeshima kubwa sana Dada sijui nikupe nini ni Mungu tu ndo atakulipa kukazi uyofanya

  • @erickhaule8680
    @erickhaule8680 Рік тому +1

    Nimebarikiwa 11/02/2023 Mungu hajawahi kutuacha

  • @felistamihayo5802
    @felistamihayo5802 4 роки тому +16

    "Mwenzio sipiganagi mwenyewe napiganiwa na Baba" waooo nakupenda mnooooo❤ Dada Martha

  • @emmaculateweswa2000
    @emmaculateweswa2000 4 роки тому +18

    Huu mwaka 2020 sipigani yesu unipiganie 🙏🙏🙏 am blessed

  • @MsPoline21
    @MsPoline21 4 роки тому +32

    Mimi watanikoma mwaka huu !!

  • @Mariam-c4v
    @Mariam-c4v Місяць тому +1

    Nazipenda sanakwanza his napinganiwa na bb nimeipenda sana❤❤

  • @graysonmghamba6511
    @graysonmghamba6511 4 роки тому +106

    Africa this is our season to show the world how to praise God!

  • @patoblesstv7431
    @patoblesstv7431 4 роки тому +318

    Hata covid 19 hatupigani ,wenyewe ni baba aliye hai
    If you believe like

    • @fmngombaela551
      @fmngombaela551 4 роки тому +6

      Yah

    • @winkitkendi9730
      @winkitkendi9730 4 роки тому +5

      Mungu ni mwanifu vita sio vetu

    • @lucasraphael5030
      @lucasraphael5030 4 роки тому +3

      Rose

    • @erastongede2444
      @erastongede2444 4 роки тому +3

      Yaani Martha kama angekuwa bado hajaolewa aisee ningemuoa kwa gharama yoyote ile

    • @mohamedyissa7924
      @mohamedyissa7924 4 роки тому +3

      @@erastongede2444ni kweli kabisa matha mungu akupe maisha marefu na afya njema pambana mungu you naqe dada.

  • @noahkipkorir4433
    @noahkipkorir4433 2 роки тому +66

    I don't think this woman is a human being she just an angel in a mission ♥️♥️

  • @benouko2721
    @benouko2721 25 днів тому +1

    Nimepiganiwa na Mungu kweli

  • @onesmuskyalo5441
    @onesmuskyalo5441 4 роки тому +46

    Am a living testimony that some years ago our God fight for us,I can't forget,He told Moses tell the Israelites that "the enemies you are seeing, you will never see them again"

  • @mariamsaid5655
    @mariamsaid5655 4 роки тому +4

    Mwenzenu nabarikiwa na huu wimbo jamn asante MUNGU kupitia mtumishi wako Martha mwaipaja

  • @sarahyusufu2626
    @sarahyusufu2626 4 роки тому +48

    NAKUPENDA BURE BILA FEDHA MAMY HATUPIGANI WENYEWE

  • @JosephineHeri-qm3jg
    @JosephineHeri-qm3jg 25 днів тому

    Mimi nimepitia marshmallow mag umu lakini Mungu anaendelea kunipiganiaa mungu wangu niwema

  • @masakimasaki99
    @masakimasaki99 3 роки тому +114

    She is beautiful, she dresses decently and she keeps blessing us with lovely gospel songs.

  • @philip_kimani
    @philip_kimani 4 роки тому +6

    Hahaaaahaaa Eeeeeeeeeeeeeeeeehhh heeeeeee....
    Lalalaaaaaaaaaa
    Mwenzio sipigani mwenyewe na piganiwa na Baba
    Hahahaaaa
    Hallelujah!

  • @bwanjichifundovandamme2497
    @bwanjichifundovandamme2497 4 роки тому +8

    Ukwer ndo huo ata mm cpiganaji mwenyewe anaenipigania ni mungu tuu ubalikiwe Mama mwaipaja

  • @elizabethkamau6086
    @elizabethkamau6086 Місяць тому +1

    Here 2024 to testify huwa ananipigania.. Nrb Kenya