Unafanya Diet ili upungue? Unajitesa bure na unakosea unapofanya hivi! Msikilize Mtaalam wa Lishe

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 вер 2024
  • Unaipenda kazi yetu na ungependa kutuunga mkono? Sasa unaweza kutuchangia kiasi chochote kuanzia shilingi 500. Fuata link hii hiveticket.web...
    Tunashukuru kwa kuwa Mwana SnS unayejali

КОМЕНТАРІ • 112

  • @strong8534
    @strong8534 Рік тому +20

    Sky kwa kweli média yako inajua kitu ambacho jami inakihitaji. Tunafaidika na mengi na kujifunza vingi kupitia sns ktk nyanja nyingi tofauti: health, sports, entertainment, tecnologia, politics, general knowledge, etc...

  • @mwajumaamanzi2198
    @mwajumaamanzi2198 Рік тому +6

    Dk Fatma ana points ila ampe nafasi na mwenzie ama la basi wapangiwe presentation zao kwa muda tofauti kila mmoja awe na nafasi
    Ila big up kwa maarifa haya

  • @nsanyarasheeed8693
    @nsanyarasheeed8693 Рік тому +9

    Nafurahi napooa vijana tuliotoka hood moja tunapiga hatua hongera ISSA MBAGA kwa kutoa elimu now.

  • @ngwacahnyagwaswa9979
    @ngwacahnyagwaswa9979 Рік тому +8

    Nimempenda muuguzi makini very humble

  • @ahz6907
    @ahz6907 Рік тому +6

    Muuguzi makini yupo makini sana.very composed and to the point...

  • @echolude
    @echolude Рік тому +1

    Watching this from the States as a Kenyan. We need this kind of information and insight expediently. Love how well they treat Kiswahili and share information in the proper context with eloquence and humor.

  • @jacquelinesamson
    @jacquelinesamson Рік тому +1

    Very interesting wataalamu wote wameeleza vizuri sana Congratulations Asanteni kwa kutuelimisha

  • @biglizer
    @biglizer Рік тому +5

    Dr wa kihindi ,anachekesha,yeye ndio kila ktu anadakia

  • @hamoudcreator6343
    @hamoudcreator6343 Рік тому +18

    Nutritionist Fatema anaweza pia kufanya stand up Comedy 😂😂😂
    Kwa wanaofanya Diet😂😂😂

  • @zayumar2955
    @zayumar2955 Рік тому +7

    Asantenii jmn mbarikiwe ngoja nianze mfumo huu kibonge mie 😂😂😂

  • @rjb31
    @rjb31 Рік тому +5

    #SnS Never disappoint 🧠🔥

  • @muniramuniraally5357
    @muniramuniraally5357 Рік тому +6

    Dada anaongea sna Jmn taratbu na mpe mtu uhuru wa kuongea sio kuingilia mtu akiongea mh

  • @SeekerMaulid
    @SeekerMaulid Рік тому +1

    Docta Fatma. Nimekuelewa vizuri sana.

  • @strong8534
    @strong8534 Рік тому +4

    Interesting conversation. Big up bro Sky

  • @shanatatrigger6537
    @shanatatrigger6537 Рік тому +9

    Huyo Muhindi anaongea sana japo anatoa somo zuri ila anambana sana mwba haongei 🤣🤣🤣

    • @ilhamkhan4361
      @ilhamkhan4361 Рік тому +1

      Its true she dont allow him to talk she dominates the whole interview

    • @exclusivetv7918
      @exclusivetv7918 Рік тому

      Sas n mzaramo lazima aongee

  • @hajilipamba7261
    @hajilipamba7261 Рік тому +1

    Big up kaka issa Allah akuzidishie elimu na akupe ufahamu

  • @hassaniissa9444
    @hassaniissa9444 Рік тому +2

    Dah aise wako vzr sana nimewasikiliza hatua kwa hatua ila jamaa nimemkubali katoa helimu yakueleweka sana SNS tuko pamoja mnajitambua na mnatutambua nini familia yenu kitu inataka

  • @AbdallahArizona
    @AbdallahArizona 10 днів тому

    Kiswahili chao nakipenda sana

  • @sabbob574
    @sabbob574 Рік тому +3

    Well presented. Thanks Doctors

  • @Winstonfying
    @Winstonfying Рік тому +4

    Watu makini 👏👏

  • @msangodiesel3132
    @msangodiesel3132 Рік тому +2

    Shukurani zangu kwako kwa tv yako vipindi vyote viko kwa mfano dj sma,mama tell Yule Dada mhaya ninamwelewa Sana

  • @eaglecrown6470
    @eaglecrown6470 Рік тому +1

    Safi Sana doctors wetu🙏🏿🇹🇿😊

  • @charlesmakuri792
    @charlesmakuri792 Рік тому +7

    Huyu dada anavitu Virginia kusaidia jamii na huyo Jamaa nae yuko vizuri

  • @fhyubhhh2881
    @fhyubhhh2881 Рік тому +3

    Ahsante sana Fatma

  • @fatmakombo9793
    @fatmakombo9793 Рік тому +1

    Muko vizur sana madockta wetu jamani elimuu nzur sana muliotupa

  • @dearmama4336
    @dearmama4336 Рік тому +1

    Dr Fatma unakiherehere mfyuuuu

  • @sghdrdhidf7603
    @sghdrdhidf7603 Рік тому

    Nimewapenda na nimewaekewa mungu awalinde awazidishie kila hatua nitawatafuta

  • @abcmnbb2610
    @abcmnbb2610 Рік тому

    🍒🍒:::::asante 🍒🍒
    🍒🍒:::kwaushauri mzuri sana 🍒🍒

  • @aishaibrahim5607
    @aishaibrahim5607 Рік тому +1

    Ndo naangalia leo kha mmemchamba dda wawatu jpo sijaona kosa lake kikubwa anajaribu kumkumbusha mwenzie anaposahau

  • @ChekanaoYahaya
    @ChekanaoYahaya Місяць тому

    Asanteni sana

  • @ediusgabriely615
    @ediusgabriely615 Рік тому +3

    very educative interview🥰🥰 Thank you guys...

  • @marianmartin7483
    @marianmartin7483 Рік тому

    Safi sana, mko vizuri sana.

  • @hamsikrasheedi1796
    @hamsikrasheedi1796 Рік тому +5

    wa kwanza ku comment 😂🤞🏼

    • @Anayrah7203
      @Anayrah7203 Рік тому +2

      Umeelew somo au ndo umekimbilia ku comment

  • @pikanaauntzuu1466
    @pikanaauntzuu1466 Рік тому +4

    Ata ni unga wa ngano fresh kutoka makete unaweza nunua ngano ukasaga unga wako mwenyewe kuliko wa madukani

  • @devothadeogratius3684
    @devothadeogratius3684 Рік тому +3

    Impressive

  • @deborajohn7285
    @deborajohn7285 Рік тому +6

    Muuguzi makini

  • @salimsaid3292
    @salimsaid3292 Рік тому

    Thanks Doctors keep it up

  • @peninashungu6633
    @peninashungu6633 Рік тому +2

    Safi

  • @maryamtanzania9743
    @maryamtanzania9743 Рік тому +2

    Nimewapenda mno

  • @efrahfarahahmed8960
    @efrahfarahahmed8960 Рік тому +2

    MashaAllah

  • @pikanaauntzuu1466
    @pikanaauntzuu1466 Рік тому +5

    ATTA NI UNGA WA NGANO USIO ISIYOKOBOLEWA

  • @lujobilz7482
    @lujobilz7482 Рік тому +6

    Hii dada nimeipenda sana eti kumbe imeweka dawa ya kuharisha😅😅😅

  • @mariamtambwe8665
    @mariamtambwe8665 Рік тому +1

    I am late to see this video. Dear GOD I really need this . Nataka awe doctor wangu kbsa

  • @niriacatering172
    @niriacatering172 Рік тому

    Shukrani

  • @adamj9723
    @adamj9723 Рік тому +2

    ❤️🙏

  • @maryfides591
    @maryfides591 День тому

    Jamani mbona mnatuchanganya sana sasa tumuerewe nani naninani mkweli kuusu diet?

  • @biubwasalim3460
    @biubwasalim3460 Рік тому

    MashaAllah zamni cc ilikuwa nurse midwife ni mwanammke tu

  • @kibodizotz-bh6xg
    @kibodizotz-bh6xg Рік тому

    Nimewaelewa vrz sn nisaiih sn brother sky

  • @theteacherchance6750
    @theteacherchance6750 Рік тому +1

    Yaani Wanalishe na Wauguzi hawa wamekuwa wakweli.
    "Sexual Dysfunction" au "Erection Dysfunction" au "Premature Ejaculation" sio kitaalamu madaktari wangu, ni kwa Kiingereza.

  • @chikudunia6273
    @chikudunia6273 Рік тому

    Namuelewa sana Muuguzi Makini alinifunza mengi ujauzito wangu wa kwanza

  • @khadijashabaninimba7890
    @khadijashabaninimba7890 Рік тому

    Ahsant sana

  • @agkimedicallaboratory
    @agkimedicallaboratory Рік тому +2

    Waoooo

  • @nsiamasawe4578
    @nsiamasawe4578 Рік тому

    Yaani hawa watalaam wote wapo vizuri. Poly clinic kama hela yako haieleweki usijaribu kuhesabu matone ya mvua.

  • @halimaomar3280
    @halimaomar3280 Рік тому

    Mm nliishi na mwanaume kwa mda wa miaka 18 alikua sawa kitendo la ndoa ela alikua na tatizo nlikuja nkaligundua lilimfanya pia hakunishikisha uja uzito mda huo wote nlipotoka nje nkaona tofauti na nkashika mimba nkazaa nae alikua yuakojoa mikojo mingi tena ina harufu ambapo sikuona kwa huyu alonipa mimba mikojo kama hiyo labda lasababishwa na nn nalo hilo

  • @samuelmuthui4699
    @samuelmuthui4699 Рік тому +1

    Huyo dada😄😄😝

  • @millymack1370
    @millymack1370 Рік тому +2

    Part 2??

  • @festusjchunya7246
    @festusjchunya7246 Рік тому

    Mzaramo. ng'ombe anaitwa ngombe!!

  • @mdumashop7423
    @mdumashop7423 Рік тому +6

    dada unaongea sana muachie mwenzio nafasi

    • @pikanaauntzuu1466
      @pikanaauntzuu1466 Рік тому +3

      Sky mwenyewe ndio kampa nafasi kubwa ya maswali kuliko mwanaume maana yy ndio anawauliza

    • @mykidsfitnessuk
      @mykidsfitnessuk Рік тому

      Aki huyu kaka ni mtulivu.Yaani amekuwa interrupted na huyu dada mara nyingi lakini haonyeshi makasiriko au kupoteza mtiririko wa yale anayotaka kusema.

    • @machetebogota4218
      @machetebogota4218 Рік тому

      Kesha sema ye mzaramo ASA unataka aweje jmne lkn Yuko vzr Sana MashallAh

  • @ibrahimaziz7158
    @ibrahimaziz7158 Рік тому +1

    Ngombe kienyeji ipo mzaramu uyo

  • @abubakariali9848
    @abubakariali9848 Рік тому +2

    Ngombe ipo 😆 😂 😆

  • @deusoden3614
    @deusoden3614 Рік тому

    Tafadhali naomba namba za simu za wataalamu zetu.

  • @asiaikhallah1697
    @asiaikhallah1697 Рік тому

    Ragin mmbaga 🔥🔥

  • @nicenice3881
    @nicenice3881 Рік тому +1

    Warudi tena wiki ijayo

  • @omarhababuu3159
    @omarhababuu3159 Рік тому +5

    4 kucoment

  • @janetahmed6948
    @janetahmed6948 Рік тому +1

    wema 😂😂😂

  • @kkkkkkk2714
    @kkkkkkk2714 Рік тому +2

    Sky chicha ipo😂

  • @mussachichajr
    @mussachichajr Рік тому +6

    Rangi ya mtume

    • @fahadfaraj6474
      @fahadfaraj6474 Рік тому +6

      Uswahili unaacha kuskiza vitu vya msingi we unawaza mapenzi tu

    • @saidkaim768
      @saidkaim768 Рік тому +3

      😀😀😀😀😀 kazi unayo ina maana weye umeona rangi tu

    • @ahz6907
      @ahz6907 Рік тому +1

      Kweli kila mtu ana vipaumbele vyake aisee🤣

  • @brunopeter9776
    @brunopeter9776 Місяць тому

    Ugali nusu watu watatu wanne😂😂 Ila sio wasukuma

  • @dismaskimario389
    @dismaskimario389 Рік тому

    Nimempenda huyu binti jinsi alivyojieleza

  • @fhhfhj7719
    @fhhfhj7719 Рік тому

    Muugunzi makini wakupetu tunzo😢😢 wallh

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything Рік тому +1

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍

  • @heavenlightlowassa7433
    @heavenlightlowassa7433 Рік тому

    Fatema juma huyu anaongea kama nn

  • @uhaitvnevergiveup9306
    @uhaitvnevergiveup9306 8 днів тому

    HYO FATUMA HYO MZALAMO ILA YUKO VIZURI HAHAHAH

  • @manish-fp1fb
    @manish-fp1fb Рік тому

    Muuguzi nitakucheki mwanang

  • @J4UPro
    @J4UPro Рік тому +2

    SNS kisima cha maarifa

  • @kelvinjames5357
    @kelvinjames5357 Рік тому

    Ninaomba nisaidie nikutane na Fatima jmn anisaidie yani ninamatatizo mengi kwenye mwili wangu.

  • @feisalabdallah8632
    @feisalabdallah8632 Рік тому +1

    Next time muwe munamzimia Mike uyo Fatima

    • @machetebogota4218
      @machetebogota4218 Рік тому +1

      Mwacheni hamuijui wazaramo walivyo kah. Sikilizeni mada nzuri iyo

    • @nanamohamed9398
      @nanamohamed9398 Рік тому

      😁😁😁

    • @magorymara5515
      @magorymara5515 Рік тому +2

      Dada anaongeza matirio sehem ambayo jamaa angepita bila kuyasema dada nimemwelewa sana

  • @Kibasumba02
    @Kibasumba02 Рік тому +1

    Tanzania inchi yawajinga inatawaliwa nawa hinde nawa arabe. Wa weusi nimuziki na kiki tu

    • @hajjiomary2383
      @hajjiomary2383 Рік тому +5

      Sasa cjakuelwa unamanisha nini unavyosema tanzania nchi ya kijinga hapa bado cjakuelwa ebu nipe elimu yako kidogo coz mimi nimetemebea robo ya dunia na nimerudi tanzania nimeona ndo kunanifaa

    • @malak-lz6kx
      @malak-lz6kx Рік тому +8

      ​@@hajjiomary2383 kwanza kuandika hajui utamuelewa anachosema alafu anachuk na waarabu na wahindi kusudio lake

    • @goodlucksteven6377
      @goodlucksteven6377 Рік тому +4

      Hana akili uyuu mjinga mmoja uyuu

    • @martinmuthii1900
      @martinmuthii1900 Рік тому

      Nawewe pia ukiwemo

    • @malak-lz6kx
      @malak-lz6kx Рік тому +3

      @@goodlucksteven6377 wakati akiumwa anakimbilia uko uko India si ujinga huo banian mbaya lkn kiatu chake dawa

  • @enelicachilale9952
    @enelicachilale9952 Місяць тому

    Lllllllllll

  • @sharonyasin7521
    @sharonyasin7521 Рік тому

    Nyie hamjaja kanda ya ziwa mtu anakula kg ya ugali