Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Endelea dada..you are such an inapieatkon..keep cooking a woman's pride
Asante sana kwa breakfast. Tueleze mchana na jioni, namna ya lunch na dinner
Nimependa asante!
Mchan je na jion?
Dada meg ungeongelea diet ya siku nzima yan asubuhi mchana paka usiku please
Sawa, nitaandaa video yake
Mchana msosi unakuwaje na usiku?
Nikitumia yai moja na maziwa kikombe kimoja maziwa fresh
Mfano mkate unatumia na kimiminika gani mfano juice or chai
Mwishoni nimeongelea chai, tumia chai ya rangi Haina calories nyingi Kama ya maziwa
Asante saana
Wajina wangu hyo smooth umechanganya nn na nn?
Embe, Ndizi na Maji wajina
Kila mtu anakuja na vyake mwingine alsema usile ndizi nanas tikit vina sukar hapa unaambiwa kula duhhh
Peanut butter hainenepeshi dada angu?!
Hapana, inakusaidia kuhisi umeshiba kwa muda mrefu. Ni protein, na pia mafuta ya mimea ni mazuri kuliko ya wanyama
Very Nice👌
Looove your kitchen
Mbona umerka jmos
I like it
Hujaongelea chai
🇹🇰
Asante madam vipi kwa yule anenyonyesha ?
Mbona wewe una tumbo
Swali zuri 😂😂😂
Dada meg napenda san darasa lako LA mapish ukiacha ilo napenda iyo ngoz yako unapaka mafuta gan
Sio Siri ni Revola 😊 Check Clean n Clear products
@@MegatHomeSwahili thank u dear
Samahan da meg nimejarbu kutafta sijaona unaeza kunielekeza n wap naweza ipata
@@doreencompa9566 check maduka ya wahindi
@@MegatHomeSwahili asnt dada leo nimepata
????

Sio Siri ni Revola 😊
Check Clean n Clear products