PART 1 - NIMEFILISIWA na RAKIFI wa karibu sana, wamenitapeli MILIONI 600, Walijua NITAKUFA kabisa

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 9 січ 2025
  • #twaiba
    TAZAMA PART 2 YAKE KUPITIA LINK HII .... • PART 2 - NIMEFILISIWA ...
    TAZAMA PART 3 YAKE KUPITIA LINK HII ... • PART 3 - UTAPELI MZITO...
    TAZAMA PART 4 KUPITIA LINK HII ... • PART 4 - ITAKULIZA kwa...
    TAZAMA PART 5 KUPITIA LINK HII ... • PART 5 - RAFIKI amevun...
    TAZAMA PART 6 KUPITIA LINK HII ... • PART 6 - Afanyiwa tuki...

КОМЕНТАРІ • 292

  • @samiraabdallah7452
    @samiraabdallah7452 3 роки тому +12

    Mashallah huyu dada ni mtu mziri sana mm Nipo Kenya hatujawahi kuonana ila nimeongea nae kwa simu tu lkn alinionesha utu. Mungu azidi kukufungulia Twaiba🤲

  • @hajraramadhan4482
    @hajraramadhan4482 3 роки тому +23

    My lovely teacher jamani huyu mwalimu wangu nimesoma kwake 2015 makeup alinifanya nifike mbali Sana Sana Allah amuweke mpaka Leo hii kufika hapo am proud of you my lovely teacher😍

    • @ameeranassor1619
      @ameeranassor1619 3 роки тому

      I hope alomtapeli sio yule rafiki yake anaejiita mke wa pilot kila siku Yuko kwenye ndege

    • @fatmaahmad1526
      @fatmaahmad1526 3 роки тому

      @@ameeranassor1619 00ì

  • @omardully425
    @omardully425 3 роки тому +35

    Ni mtu mzuri sanaa na nimefurah sana twaiba kurud n allah azid kumfungulia rizki za hala in sha alllah ❤️❤️

  • @roshianroshan4369
    @roshianroshan4369 3 роки тому +13

    Nimejifunza mengi sanaa kupitia stori ya dada Twaiba. Dada anatoa huyu mashaAllah ndo mana mungu anamuongezea. Kwenye strategy za baishara we kiboko dada na mm nitafanya kama wewe. Hongera dada

  • @hijamwinyi3233
    @hijamwinyi3233 3 роки тому +3

    Twaiba kipenzi changu mfanya biashara mkubwa tanzania mwenye nguo pambee za mahafusi allah azidi kukufungulia miangaza ya kher inshallah kipenzi changu una moyo mzuri nakupenda da twaiba🥰🥰🥰🥰🥰

  • @joycekisamo4896
    @joycekisamo4896 3 роки тому +11

    Very inspirational. Nimempenda huyu dada.
    Alafu kaanza biashara siku nyingi lakini anaoneka mdogo na moto 🔥 ...beautiful 😍

  • @iddysinare3857
    @iddysinare3857 3 роки тому +10

    Hongera sana kwa Kupambana na kurudi upya!hii inatufundisha kila mtihani una kheri na wewe hongera sana🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @salmaabdallah9998
    @salmaabdallah9998 3 роки тому +3

    Asante umetuonesha njia sahihi ya kupambana na kujua lipi baya lipi zuri twaiba ndo kioo chetu yote tunajifunziaa kutoka kwakee tunakupenda saaaaanaa❤️💋

  • @newaccount9060
    @newaccount9060 3 роки тому +8

    Maa shaa Allah Mungu azid kukupa ushujaa unamagaun mazur sana hongera na mm harus yangu mwez wa pili ntakuja kuchukua gaun kwako magaun mazur sana

  • @aminasaidy6579
    @aminasaidy6579 3 роки тому +5

    Mashaallah Mungu amtupi mja wake no one ☝️ like u @Twaiba hata wakuchafue vipi awawezi ziba kudra za Mungu kwako hongera sana kwa kazi nzuri wewe Ndio mama lao wengine wote wataiga tu lkn narudia tena hakuna mtu wa kubadili moja ikawa ziro Mungu atakupigania zaidi in sha Allah 🙏🏽✨🥰

  • @teemoney219
    @teemoney219 3 роки тому +6

    Mashallah aunty yangu mimi kiboko kabisa kwa kazi nzuri na za uhakika twaiba classic ndo habari ya mjini hakuna asie lijua hilo mzuri mwenyewe mashallah yeye mpk kazi zake

  • @rahmaally3286
    @rahmaally3286 3 роки тому +10

    Masha Allah twaiba😍🥰 ndio mpango mzima nimeingia lile duka sijawahi ona est Africa nzima mwanamke wewe sio mchezo wallah twaiba ni wewe tu hapa bongo hakuna kama wewe yaani maneno yako matamu yananifanya siku nzima niwe nakusikiliza tu mpaka bando langu limesha 😆Allah akuvushe kwenye kila gumu Ameen 🥰🥰🥰

  • @latwintz
    @latwintz 3 роки тому +7

    Shujaa atabaki kuwa shujaa...wapezi muje kwa wingi mambo ni moto .magauni pambe kabisa ... 😘 Kila saiz zipo...Bei ni ya kutupa kabisaa...pendeza mdada na White dress 😍

  • @khadijasaid5461
    @khadijasaid5461 3 роки тому +1

    Mungu lazima akupiganie Twaiba wewe ni mtu mzuri sana na una roho nzuri sana mcheshi na mkarimu

  • @salmaabdallah9998
    @salmaabdallah9998 3 роки тому +5

    Twaibaa Habarii ya mjinii Mahasidiii wakae pembeni acha tuendelee na kheri zetu❤️

  • @hassanhamidubarwany
    @hassanhamidubarwany 3 роки тому +2

    Pole sana kwa mitihani uliyoipitia pia hongera sana kwa mafanikio uliyonayo, Allah akubariki.
    Mtangazaji nawe uende ukasomeee kazi yako ya uandishi maana unarudia kuuliza maswali hayo kwa hayo tu kama vile mnyororo wa Baiskeli unarejea mule mule kwenye Jembe lake. Mwenyezi Mungu awabariki nyote kwa ujumla.

  • @nashpointdesign940
    @nashpointdesign940 3 роки тому +10

    Kheir ipo nawe daima... Hasbiyallahu Waneemal Wakeel 🙏🏽🙏🏽🙏🏽

  • @raniakhan5463
    @raniakhan5463 3 роки тому +4

    The real definition of super woman . U 're the role model of many young ladies now. Allah akuweke zaidi inshaa Allah

  • @meera_zanzibar_beauty96
    @meera_zanzibar_beauty96 3 роки тому +1

    Mm ni mdg na pia nafnya biashara nimepitia mengi na makubwa lkn InShaaAllah nitfta ulichosema na nitasimama na mungu InShaaAllah nitafika ninapotaka kufikaaa uishi miaka mingi ❤️🙌

  • @jenyyusuph4973
    @jenyyusuph4973 3 роки тому +7

    Pole sana dada MUNGU AKUINUE TENA NA TENA MALI YA MTU HAIPOTEI

  • @kassimabdallah72
    @kassimabdallah72 3 роки тому +11

    Ukiwa na nia safi!!! Hakika mungu anakulipa kwa nia yako !! Mungu akusimamie siku habibty !!! Akili de na hasad za walimwengu!! Siku zote changamoto za maisha zina tupeleka kwenye Neema zaidi!!Tunakupenda ❤️❤️ @

  • @rosehillary8742
    @rosehillary8742 2 роки тому

    Nampendaga sana Twaiba hata cjawahi husiana na ww but unayofanya ni mazuri. Pole na hongera sana 🥰🥰🥰🥰🥰

  • @twaybachellah914
    @twaybachellah914 3 роки тому +1

    Wajna.. Majina yetu sisi wakina Twaiba ni majasiri sana.. Mungu akuzidishie pacha wangu

  • @faridamngereza5592
    @faridamngereza5592 3 роки тому +1

    Pole kwa yaliyokukuta mitihani imeumbiwa binadamu kama huna ndugu was kike mi ndo nduguyo yasamehe yote na ALLAH. atakujaaalia alhamdulillah

  • @sidrasidra8616
    @sidrasidra8616 3 роки тому +4

    Mama jasiri nime kupenda bure Mash'Allah! Utawasikia wenzetu mi namuiga Zari 🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️

  • @subirajohn728
    @subirajohn728 3 роки тому +5

    Mwenyezimungu ndiyye mtoa riziki watu watakurudisha nyuma kwa hila zao lakini Mungu ndiye mambo yote hatimaye wanajikuta wanaangaika tu!

  • @aishandayishimiye5127
    @aishandayishimiye5127 3 роки тому

    Pole sana hayo yalinikuta kutapeliwa nakupenda kwa kufunguka nilikuwa najiuliza mbona sikuoni mtandaoni Sasa nimekuelewa Pole sana.

  • @asiamikidadi4964
    @asiamikidadi4964 3 роки тому +4

    Nimejifunza mengi kupitia video hii kweli subra na kujiamini vinatakikana katka utafutaji wewe ni mfano wa kuigwa dada Twaiba nami nataman siku moja nije kuwa kama wewe in shaa Allah,pole kwa mitihani ulopitia na hongera kwa uvumilivu wako mpaka kufika hapa ulipo sasa 😘😘😘😘

    • @rosebernard7983
      @rosebernard7983 2 роки тому

      Ukweli Mimi pia nimesikiza nimejifunza kitu Yani wewe dada Mungu akujalie Kila la heri uzidi Ivo Ivo hakika Mungu hatokupungukia hata siku Moja

  • @ummyira9653
    @ummyira9653 3 роки тому +3

    Masha allah Somo zuri sana hakika mungu hulipa kwa moyo hakuna yoyote anaepita kwako asijue roho yako ya upendo na uchangamfu mungu azidi kukufungulia milango ya kheri zaidi na kila hasid bc allah amlipe malipo yanastahiki kwa ubaya wake hakika mungu ndio mlipaji na alipangalo mungu hakuna awezae kulipangua hat kama ukitaka kumshusha mtu kinguvu madhali mungu amemueka juu bc atakua juu tu na kikubwa atajifunza mengi ktk hasad mm nasema wamin Shari hasidin idhaa hasad tupo na ww mamy na tutazid kukusaport usimame juu zaid ya ulipokua na kwa uwezo wa mung utakua mahasid waone aibu mana mwisho wa ubaya ni aibu na kumpiga chura teke ni kumuongezea hatua big up mamy allah azidi kua nawe ktk kila hatua 🙏

  • @mozasaid3869
    @mozasaid3869 3 роки тому +3

    Pole sana dada, Hasidi hana sababu, Na hasidi hachoki,

  • @winniemwasenga
    @winniemwasenga 3 роки тому +13

    Ni kweli Mimi pia Kuna mtu alinidanganya uzuri pesa alokula ni laki 1 tu. Biashara za hadithi mbaya sana

  • @latwintz
    @latwintz 3 роки тому

    Mashaallah mashaallah dada wangu huyo Allah akufungulie zaid ..vitu vilidamshi...mahasid imekula kwao 😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍

  • @aminaaboud5461
    @aminaaboud5461 2 роки тому

    Daaa pole.. Asante.

  • @khawlaabdulrahman1047
    @khawlaabdulrahman1047 3 роки тому +2

    Mashalllah twaiba mungu atakupa afiya na rizki halal inshallah utarudi kama mwanzo

  • @mariamkasim2126
    @mariamkasim2126 3 роки тому +3

    Pole sana da twaiba mungu hamtupi mja wake dada.Allah akujaalie.afya uendelee kupambana na mahasidi wazid kuumia.inshaall

    • @kadulathumani7517
      @kadulathumani7517 3 роки тому

      Very good interview. Ni mfano mzuri na fundisho kwa maisha kwa sisi wanawake.

  • @samraally2018
    @samraally2018 3 роки тому +2

    mashaallah ni mfanya biashara mzur na mkarim na hamasisha sana ni ngumu mtu kudumu kwenye game muda mrefu kama yy na hachuji

  • @fatmakhalef3450
    @fatmakhalef3450 3 роки тому +2

    Pole sana Allah atakulipia . Amin

  • @roshianroshan4369
    @roshianroshan4369 3 роки тому +4

    Twaiba Classic hakuna kama wewe apa kwetuuuuuu🔥🔥🔥

  • @kalengashoppingcenter1108
    @kalengashoppingcenter1108 3 роки тому +9

    Pole Dada Mimi nilitapeliwa laki 5 safari ya south Africa pale Mpakani mwa Mbeya na Malawi Border, Jamaa aliniconvisi tukiwa Zanzibar

  • @vailethysanga4969
    @vailethysanga4969 3 роки тому

    Dada twaiba waoooo .nakujua vinzur unaroho nzuri sana dada .wifi ake Mariam

  • @zainishakilama6387
    @zainishakilama6387 3 роки тому +2

    Inshalah mwaka huu mungu akuzidishie boss

  • @salmaalnaamani2786
    @salmaalnaamani2786 3 роки тому

    Subhanna'Allah hamna kama dhulma lakini mwenyezi atakulipia Dada kweli roho unauma ila mkabidhi Allah ndio atakulipia

  • @twaibaahmed6439
    @twaibaahmed6439 2 роки тому

    Khadija naef umenidhulumu pesa za mtoto wangu marehem wewe subir hukumu ya Allah tena unaenda kwa mange app unaapa wewe huna hofu ya Allah basi umemdhulumu dadangu unaona haitoshi umedhulumu pesa za marehem Faraj subir hukum ya Allah atatukunja kama alivyomfanya Firaun na kibri zake endelea tu dhulumu watu daganya una siku yako Hasbunallah waneemal wakil ×100

  • @mariamali1887
    @mariamali1887 3 роки тому +8

    Twaiba nani asomjua jamani lbda mgeni tz maarufu mashaAllah. Hongera mpenzi tupe na sisi nasaha.

  • @khadijajuma7142
    @khadijajuma7142 3 роки тому +2

    Bora mlivyorekebisha hiyo head line. Maana sikuingia kuangalia kwa sababu ya head line eti sijui kutapeliwa na mpenzi!!!! Habari hizi zakutapeliwa na mpenzi nilishazisikiliza na kuzichoka sana hadi naona kama baadhi ya wanawake mwalimu bado kipofu.
    Ila mmenishawishi kumsikiliza na Nimejifunza kupitia Interview yake. Allah azidi kukubariki habibty

  • @anethemmanuel4047
    @anethemmanuel4047 3 роки тому +1

    Asante dada kwa ushauli wako mm nishabiki wako mkubwa nakupenda sana

  • @kamikazisalma5209
    @kamikazisalma5209 3 роки тому +6

    Shukran dada kwa ushauri 🤝🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰

  • @aminasalamalekumamina6217
    @aminasalamalekumamina6217 3 роки тому +1

    Mm amina yar kutoka kenya

  • @cristinasofla5090
    @cristinasofla5090 3 роки тому

    Ila kwa upande wangu mm niliogundua tamaa tuacheni jmn matapeli ni wengi sana pole sana twaiba

  • @mumyhendry2919
    @mumyhendry2919 3 роки тому +11

    Mnajifanya hamjamuaona Escoooo alivyopenddza 😂😂😂♥️♥️♥️

  • @cuteiam1509
    @cuteiam1509 2 роки тому

    asalama. aleykumu. dada. angu. pole. sana. kwa. mitihani. umenifanya nilie. sana dada angu.😭😭

  • @youngjaywinfrey9854
    @youngjaywinfrey9854 3 роки тому +6

    Mwenyezi MUNGU azidi kukubariki Twaiba 🤲🏼 Nimefarijika pia kwa Video yako!!! 💕

  • @hijamwinyi3233
    @hijamwinyi3233 3 роки тому +3

    Mashallah allah aibaril kazi ya mikono yako kipenzi

  • @jamillahaidha8184
    @jamillahaidha8184 3 роки тому

    Napenda kumsikiliza huyu Dada wallah visa hivi vimetupata wengi japo kwa namna tofauti lakini zimetuingiza kwenye matatizo mazito maishani,,,, na nlichopenda zaidi unamuhusisha Allah kwenye mitihani migumu kuwa yeye ndio kaleta Allah atuondosheee ambao bado yatutesa maana roho ya wema siku hizi ni kujiingiza matatizoni SUBHANALLAH Waja wengine wamekuwa madwalimu hata huelewi Wanamioyo ya namna gani

    • @vijijivyamaa1037
      @vijijivyamaa1037 3 роки тому

      Tupo sote dear tunateseka mpaka leo sababu ya kuwa na roho ya wema naumia mnoo mpaka lakin Allah Kariim Allah Rahiim anayaona n anayasikia yote

  • @sixbertbudodi
    @sixbertbudodi 3 роки тому +4

    Pengine alikufanyia dawa. Hizo zipo sana hapa TZ. Pole sana. Alikufanya kolo!!

  • @marymanoni5536
    @marymanoni5536 3 роки тому

    Juhudi yako inapendeza sn dd ndio Mana unafanikiwa sn Mungu akufanyie wepesi kwa kila namna nakupenda sn na asante kwa ushauli wako dada

  • @roshianroshan4369
    @roshianroshan4369 3 роки тому

    Mwenyezimungu akulinde na mahasad na mahasid daimaa

  • @aishajuma7813
    @aishajuma7813 3 роки тому +2

    Mungu ni mwema siku zote

  • @mouzahal-alawi6474
    @mouzahal-alawi6474 3 роки тому +1

    Pole sn kipenzi chetu Twayba..
    Hakika wema wako na roho yako nzuri ndio iliyokuponza..lkn naamini aliyekudhulumu amekudagilia njia..yaani ni km kumpiga chura teke.. ww ni stering naamini huuwawi.. umeinuka upya..ila tunamuomva Allah amuangamize huyo adui aliyekuingiza matatizoni.Aaamin

  • @feiruzmansur3794
    @feiruzmansur3794 2 роки тому

    Pole Mungu atakusaidia inshaAllah

  • @asiaoman3040
    @asiaoman3040 2 роки тому

    Pole my mpk nimelia jmn maisha haya daah😢😢😢

  • @humairamajengo6616
    @humairamajengo6616 3 роки тому

    Aisee pole sana mama hakika nimejifunza kupitia ww

  • @roshianroshan4369
    @roshianroshan4369 3 роки тому +1

    Hongera kwa kusimama kidedeaa

  • @khamisshee5131
    @khamisshee5131 3 роки тому +1

    👍
    🇰🇪🇰🇪🇰🇪
    aka bachuchu mombasa 001
    🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @zabibuamissi1141
    @zabibuamissi1141 3 роки тому

    Aunty nimejifunza kitu kwa maneno yako pole sana 😍😍

  • @khalfanmbaroukmohd4943
    @khalfanmbaroukmohd4943 3 роки тому +3

    Dah pole sana

  • @aminathaabubakarmasoud565
    @aminathaabubakarmasoud565 3 роки тому

    Namfahamu huyu dada Duka lake lipo magomeni anauza nguo aina mbalimbali na za maharusi na anapamba maharusi pia, pole sana kipenzi Allah akufanyie wepesi inshaallah.

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 3 роки тому

    Pole Dadaangu, shukran kwa ushauri wako. 🙏

  • @fatmaibrahim435
    @fatmaibrahim435 3 роки тому +3

    Dada mkubwaaa mm mwenyewe nimejulikana kupitia wewe alhamdulilah wewe ni mtu ktk maisha yangu alhamdulilah umekuja kujuwa mbaya wako alituvuruga sote sasa tuko na wewe bega kwa bega na yule mtu yule mungu atamuumbuwa tu na utasikia mm nakuombea kila siku utarudi kama zamani inshallah

  • @samiaismailmsabah8509
    @samiaismailmsabah8509 3 роки тому

    Pole habbty Allah atakuzidishia

  • @dottohamisi9844
    @dottohamisi9844 3 роки тому

    Pole sana dada namm nimepata kujifunza kitu hapa

  • @gracenizigama8728
    @gracenizigama8728 3 роки тому +1

    Pole dear mungu yupamoja nawe

  • @zainishakilama6387
    @zainishakilama6387 3 роки тому

    Mashalah ana roho nzuri haijawai tokea

  • @hijamwinyi3233
    @hijamwinyi3233 3 роки тому +2

    Polee da twaiba binadamu wabaya

  • @bettymassanja881
    @bettymassanja881 3 роки тому +51

    Ujumbe mwingine, si kila akuchekeaye machoni, ukadhani ni rafiki yako wa kweli.
    Wengi hukupenda kwa ajili ya mali zako, zikiisha tu, ndo wanakukimbia woteee.

    • @ucjvvjcjjvih9934
      @ucjvvjcjjvih9934 3 роки тому +1

      I'm MUNA TZ MASHAALLAH🇹🇿😍💋❤ PAMBE SANA ALLAH YUPO PAMOJA NAWE ATAKULIPIA HASID YOYOTE ATAKUMBUKA SIKU AKIINGIA KABURIN

    • @zuriiafrica
      @zuriiafrica 3 роки тому +2

      Kweli kabisa

    • @saumusalimuhassan2499
      @saumusalimuhassan2499 3 роки тому +1

      Kwakweli my dear

    • @hafsahajiabeid5768
      @hafsahajiabeid5768 3 роки тому +1

      pole Dada ila nia njema hairogwi

  • @ashaomari7465
    @ashaomari7465 3 роки тому

    Mwenyenzimungu akulinde Twaiba.nimefurahi kukuona

  • @ghatimakonge9383
    @ghatimakonge9383 3 роки тому

    Mungu anaekupenda Sana ndg yangu 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @hajratkhalfan2114
    @hajratkhalfan2114 3 роки тому +3

    Ooh Pole sanaa

  • @lelahsameer767
    @lelahsameer767 3 роки тому +1

    Allh azid kikufungilia kipenz 🥰

  • @fatmarashid160
    @fatmarashid160 3 роки тому +2

    Mashallah twaiba na roho yake Nzuri sana mchapa kazi

  • @Shamsjivanji
    @Shamsjivanji 3 роки тому

    Pole da twaiba kwa yalokupitia

  • @mauwarashid4823
    @mauwarashid4823 3 роки тому +2

    dada nimetokea_kukupenda sana

  • @rahmaally3286
    @rahmaally3286 3 роки тому +1

    Nakupenda kila siku 🥰🥰🥰🥰🥰

  • @aminaamina3972
    @aminaamina3972 3 роки тому +1

    Mashallah Allah akuhafadh inshallah

  • @hamisaally968
    @hamisaally968 2 роки тому

    Kweli dada unayosemaa

  • @dn.n4983
    @dn.n4983 3 роки тому

    Pole sana utapeli hauna dill haki utapata tu ubarikiwe

  • @ayshaaisha7630
    @ayshaaisha7630 3 роки тому

    Dah pole sana dada Allah atakulipia

  • @bimumaulid1171
    @bimumaulid1171 3 роки тому +1

    mrembo tunakukumbuka KARIAKOO ulitaka sana lkn shukuru mungu

  • @vanessalaizer4363
    @vanessalaizer4363 3 роки тому +3

    Kuna comment nimeandika ktk posti moja uko nyuma imekaa ovyo ovyo adi nikajua ni mtu mwingine anatumia jina langu kukomenti, kidogo nimuwashie moto kumbe ni mimi mwenyewe daah😊😊 Uyu daday 👍💪

  • @omardully425
    @omardully425 3 роки тому

    Mashalllah twaiba pekeeee nampenda sanaa hakuna km yeye 😍😍

  • @rehemaothman2200
    @rehemaothman2200 3 роки тому +2

    ma sha Allah

  • @robertnicodemas5853
    @robertnicodemas5853 2 роки тому

    Huyo dada kama vile hayuko vizur akiulizwa swali anajibu lingine

  • @aminasalamalekumamina6217
    @aminasalamalekumamina6217 3 роки тому +1

    Salam alekum pole sana

  • @kingkendrickk
    @kingkendrickk 3 роки тому

    Sns mpo juu.

  • @D-Man.B-Free
    @D-Man.B-Free 3 роки тому +3

    Bongo kama marekani,lugha moja kwa watu tofauti tofauti

    • @binaljabirmshihirzanzibar8369
      @binaljabirmshihirzanzibar8369 3 роки тому

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 nmecheka ile mbaya jmn duh

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 3 роки тому

      Ndo uzuri WA Bongo? Nilikutana na m Scandinavian girl anaongea Kiswahili kama mzaramo, nilichoka aliponambia ametoka kisiwani Mafia! Msichana mdogo WA 20's

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 3 роки тому

    Pole sana

  • @meera_zanzibar_beauty96
    @meera_zanzibar_beauty96 3 роки тому

    Nakupenda sana twaiba❤️😩

  • @iptisamali9612
    @iptisamali9612 3 роки тому +2

    She was my role model since 2017 .i just love her

  • @ummyira9653
    @ummyira9653 3 роки тому

    Huyo ndio mwanamke wa shoka mm ni mmoja wapo nilikua kweny uzinduzi wa duka jipya jaman Masha Allah huyo ndio twaiba Mpya duka zuri la kisasa nguo nzr kila Aina kwahyo mahasid mukae pembeni TU mufanye mengne mungu kashampandisha hatoshuka kwa uwezo wa mungu na in shaa Allah kila ajae kwa Shari mungu aivunje yake dhamira asiweze kutimiza Shari yak wamin Sharri hasidin idhaa hasad

    • @chimamyjey1479
      @chimamyjey1479 3 роки тому

      Wallah hakuna na hatowahi tokea mwanamke km da twaibaa......mahasidi wakajua wamemwezaa kumbe wamejiwezaa wenyewe,pesa wakala na njaa bado wanayo na twaibaa anapandaa Kila asubuh, Allah akusimamie kipenzi Cha wengi , NAKUPENDA SANA sanaaa.....WWE ndio mfano wangu ktk ninayekiangaliaa Kila uchao,kioo Cha jamiiii dda Allah akuzidishie roho ya utu na ya kusamehee .....Bega Kwa bega na wwe kipenzi chetuuu💘💘💘💘

  • @zuwenaomanpingokubwa7899
    @zuwenaomanpingokubwa7899 3 роки тому

    Asalam alaykum nakufahamu mashaalaah upo vizuri