MDAIWA wa Kumtapeli Rafiki yake AJIBU kuhusu hili, TWAIBA afunguka haya, ni vuta nikuvute kati yao

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 399

  • @kidawasalim9144
    @kidawasalim9144 2 роки тому +23

    Mimi ni Psychologist with 18 years experience maelezo ya Twaiba ( Thuwaybah ) ni Ukweli, hayo maelezo kesi iko polisi ichukuliwe hatua iwe mfano kwa wengine. Bi Khadija Naif amekamata msahafu kutoa kiapo kuaminisha watu anacho ongea - kukamata Msahafu sio kiapo cha Dini ya Ki-Islamu. Pole sana Twaiba! sio watu wengi wenye Ujasiri ulonao na uwezo wa kuinuka baada ya kutapeliwa, heshima kwako Stay Positive.

    • @Worldunite
      @Worldunite 2 роки тому +1

      Hata mie nina uzoefu wa kisaikolojia na nilibaini hivyohivyo

    • @twaibaahmed2836
      @twaibaahmed2836 2 роки тому +1

      Katika waongo duniani khadija naif ndio rais wao

  • @mapishiyalulu9696
    @mapishiyalulu9696 2 роки тому +46

    Hii historia ya Twaiba na Khadija iwe ni fundisho kwa wengine wote,nasema hivyo sababu mie mashoga niliachana nao toka naishi Oman.mashoga hawana muamana usijaribu kutoa siri zako kumpa,usielezee future plans zako.nilivorudi Tz sikutaka kuwa na shoga,ila nilikuwa na wateja tu,sikuwa na tabia tena na kuwa karibu sana na watu. Twaiba alikuwa rafiki yangu wa mtandaoni,ile mpaka Leo tupo pamoja,hajawahi nikosea hata siku 1. Tunaheshimiana sana. Kuna wakati alinipiga block. Baadae akarudi mwenyewe,akaniomba msamaha,kumbe yote ilikuwa amri ya khadija. Alifundisha wengi waniblock na kuniongelea vibaya bila kosa lolote. Maneno aloongea Twaiba mengi Yana ukweli. Kesi hii nadhani muamuzi ni Mungu tu.Pole sana Twaiba ukarimu wako ndiyo ulokuponza

    • @binaljabirmshihirzanzibar8369
      @binaljabirmshihirzanzibar8369 2 роки тому +2

      Naam nkwel kabsa maneno yako sahihi inshaallah kher

    • @tousihhhh6765
      @tousihhhh6765 2 роки тому +1

      huyo taperi my ni mchawi sana siunajua watu wenye kaz zautapeli ndug

    • @binaljabirmshihirzanzibar8369
      @binaljabirmshihirzanzibar8369 2 роки тому +2

      @@tousihhhh6765 yeah my inshaallah kher Allah ataleta kher yake inshaallah kher

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 2 роки тому

      Hata anavyoongea anaonekana taperi tu! Mi nimemkataza mwanangu aache mashoga na nashukuru Mungu amenisikia, nimependa hii iwe fundisho Kwa wasichana/wanawake wengine. Huyo Hadija si aje Bongo kujibu mashtaka kama kweli yeye sio guilt?

  • @asfarsham9556
    @asfarsham9556 2 роки тому +8

    Pole sana Twaiba,huyu inaonesha ulimsomea ya mbayana.mana hukumtaja kajibainisha mwenyewe. SUBHANALLAH.

  • @ashooraashoora1180
    @ashooraashoora1180 2 роки тому +8

    Mashaa'Allah dd angu Allah anakutia nguvu unajieleza kwa kujiamin sanaa tena Allah kakuondolea jaziba unaongea kwa makin
    Hakika mwenye subra yupo pamoja na mwenyez Mungu

  • @salwamohammed4422
    @salwamohammed4422 2 роки тому +5

    Mashaallah twaiba sasa kimeeleweka nimekupata vizuriii ya safarihii nimeipenda ushahidi tumeuwona kilicho baki ganuki aje tz aletwe

  • @ummohamed4404
    @ummohamed4404 2 роки тому +13

    Twayba Mungu atakulipia . Mshitakie Mungu tu.

  • @mariamselemani1366
    @mariamselemani1366 2 роки тому +3

    Khadija nitapeli saaana mungu atakuubuwa muda sio muref twaiba muachiye mungu manjibu utayaona

  • @lastborn7810
    @lastborn7810 2 роки тому +4

    Naam na alokupa jina la twaiba wala hajakosea❤️❤️upo twaiba kama jina lako habibti 😘😘

  • @wangaregatuhi5507
    @wangaregatuhi5507 2 роки тому +12

    Nampenda Twaiba ana majibu mazuri, ni kweli utajuaje kama ana madereva , huyo tapeli jamani kamuibia Twaiba Hana hata aibu jamani.

  • @shemsasuleiman4108
    @shemsasuleiman4108 2 роки тому +15

    Tizama mwenzie katulia anajibu maswali kwa uhakika yeye ana hemukwa kama shetani kapewa chano nimeamini matapel wana maneno dah mungu tulinde nao matapel kama khadija naif amiin

  • @malkoabdi
    @malkoabdi 2 роки тому +17

    I believe this women so true ✊🏿👍🏿👍🏿👍🏿

  • @wadantas386
    @wadantas386 2 роки тому +8

    Kuna maneno anayoongea yule mwana dada adija ni uongo mara anasema alikuwa ana gari mbili na bakery alimuachia twaiba khaaaa yule dada jmn mara anasema yy ndo aliomba urafik sasa utamuamini vip mtu ambae hana undug nae mara nmempa hati ya nyumba duuuuh uyo ndug tu mm cwez muachia ata mkataba wa chumba 😁😁😁 ila da adija acha uongo mwiz www

  • @ashsworld2492
    @ashsworld2492 2 роки тому +18

    Twaiba ni ndugu yangu wa Tanga tunamjua vizuri hana tabia za utapeli. Ila khadija tunajua ni tapeli na ndugu yake wa damu amehakikisha ni tapeli hana mbele wa nyuma. Khadija tulishamshtua mapema kabla ya Twaiba kumsema kuwa sio mke wa mtoto wa mfalme. Mke wa mfalme utavaa fake stuff. Mke wa mfalme anakuwa na stylist wake na ana shop designers tu. give us a break.

  • @aishandayishimiye5127
    @aishandayishimiye5127 2 роки тому +5

    Da uyo dada akiingia katika maisha yako umeumia kama jini wa ahadi na mababu tena kwa kiapo cha dam hadi vituku vitasota lahaula mtihani jamani twaiba pole sana

    • @jamilaaboubakar5979
      @jamilaaboubakar5979 2 роки тому

      Akikuvaa huyu umekwisha khadija naif..kashalaanika..hata ukimuangalia uso wake anaongea kwa hofu..limekuwa bovu msura

  • @tucaasi
    @tucaasi 2 роки тому +5

    Khadija mrongo. Ameahidi wengi pesa na mazawadi lakini mwisho wa siku hamna chochote. Unalishwa block unachufuliwa jina au utapewa vijisababu.

  • @fatmahchambo3131
    @fatmahchambo3131 2 роки тому +3

    Huyo Khadija ni jini makata, Allah amlaani na Mtume amshindilie kwa kumdidimiza mwenzie, malipo ni hapa hapa dunia.... ahera hesabu

  • @noru9028
    @noru9028 2 роки тому +14

    Yule khadijq ukimskiliza tu unajua ni muongo anachokiongea akielewek mble nyuma nyuma mbele Dada twaiba Allah atakulpa malipo hapa hapa dunian

  • @zuleikhakhamis3303
    @zuleikhakhamis3303 2 роки тому +8

    Bora ata uyo Ganuki asingemjibu Twaiba mana anadhihirisha dhahiri kama muongo mwizi mana Twaiba hakumtaja jina anasema tuu uyo mtu apo kajishtukia Mwizi mkubwa kaongea kujikosha kwa kua Twaiba ashaongea aibu yake ishajulikana ma wa2 ndo walomuadhirisha mana wanamjua hana akili acngejibu🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @zahrasalim5533
    @zahrasalim5533 2 роки тому +13

    We want justice for twaiba

  • @umranim5854
    @umranim5854 2 роки тому +8

    Mimi simjui taiba wala hadija lakini muongo kati yao ni hadija

  • @binaljabirmshihirzanzibar8369
    @binaljabirmshihirzanzibar8369 2 роки тому +1

    Huyo Khadija Allah atamuoneshaa inshaallah fidunia wali akhera kwa uwezo wa Allah Allah yupp pamoja na ww inshaallah kher 🤝🏼

  • @faykabasredeh6842
    @faykabasredeh6842 2 роки тому +15

    mashaallah Twayba anakumbukumbu sana na anaongea points zote vizur kabisa, anajibu kiutulivu Allah akupe subra na upate haki yko…

    • @jeybullaz9323
      @jeybullaz9323 2 роки тому

      Aaniin yaa rabal aalamiin

    • @salimsalim8421
      @salimsalim8421 2 роки тому

      Ameen Ameen Ameen yarab

    • @jamilaaboubakar5979
      @jamilaaboubakar5979 2 роки тому

      Yule ana hekma sio yule..anasafria nyota ya mwenzake tuchukueni mafunzo kuamini watu.mpenda madolari 💲💰 litakufa kinyama .kumbe mashetani yaliyoshindikana..yule khadija litamkuta jambo gumu mno! Shetani mkubwa sisi ndio watu wa upande wa mama zao tunamjua kila kitu chake.🙄🙄🙄.anadanganya mitandao...family wasema hawa siku yao chache duniani...

  • @teddymatisha6781
    @teddymatisha6781 2 роки тому +8

    Ukishatapeliwa ndo akili hukomaa + mwanzo wa kujikomboa + hatua ya juu hufuata.... Shukuru pale unapotapeliwa

  • @ummyira9653
    @ummyira9653 2 роки тому +4

    Na huko Dubai mnakaa kweny flat ndio mana hajawahi kupost anapoishi ye ni kujipost kweny vikao na sherehe za watu tu aonekane wa juu aonekane msomi kumbe tapeli baba yak wa morogoro huko mama yak znz wamekaa kkoo atamuongopea nani anatoka royal family lol asituone cc watot wadogo

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 2 роки тому +3

    Pole sana kipenzi changu, Allah ataleta majibu mda si mrefu, na Allah Amlaani uyu (ganuki firaun) Siku si nyingi, subra yako ndio jibu, Allah atamuadhibu hapa hapa Duniani ukimshuhudia inshallah, naandika hii sms kwa hisia kali za hasira, Allah amuonyeshe adhabu mda si mrefu ya hapa Duniani inshallah🙏

  • @fatmasayid8895
    @fatmasayid8895 2 роки тому +18

    Khadija muogope mungu utafika mbinguni umechoka

  • @familylove5417
    @familylove5417 2 роки тому +3

    Hahahahaha huyu twaiba alirogwaa 😂😂😂yani mtu hana Ata passport ya dubai alafu ndo royale familie hahahhahahahahhaahahahhaah
    Saiv nimecheka so poa

  • @yasminoluoch169
    @yasminoluoch169 2 роки тому +4

    In Sha Allah mmy mola atakufanyie wepesi 🤲

  • @najmaalabri8835
    @najmaalabri8835 2 роки тому +3

    Pole habibty Allah akufanyie wepesi

  • @sitiabubakar2892
    @sitiabubakar2892 2 роки тому +8

    Ni huyo huyo khadija naif jini mwenye sura Saba Hata akajitetea vipi tungoje karma yatajitokeza tu

  • @faizabaishe5172
    @faizabaishe5172 2 роки тому +1

    Pole sana my sister, Allah Kareem, Allah akupe subra mithhani yote yaliolufika, InshAllah nikiwa London United Kingdom.

  • @stellah3844
    @stellah3844 2 роки тому +3

    Duh huyo Ganuki kweli ni Professional

  • @lastborn7810
    @lastborn7810 2 роки тому +15

    Kweli kweli Aunty hata mie nimeolewa oman naishi kwa bataka.... Na hio bataka hata wenye nchi pia wanayo lakini wao hua wanayo na passport.... Na inakua kwa mkataba inategemea unakaa kwenye nchi kwa mda gani... Kama mie nimeolewa huku na nina watoto sasa kwaio kila baada ya miaka 2 nabadilisha iyo bataka mume wangu muomani analipia kisha naengezewa miaka miwili ya kuishi nchini......
    Na Kabla ya kuolewa nilikuja huku kwa familia yangu Nilikaa miezi mi3 na nilipewa hio bataka yaani uyo khadija anakaa lakini sio raia na shauri yake mambo anayo yafanya uae atashikwa
    Aunty twaiba pole sana sote tupo pamoja na wewe nimesikiliza kuanzia episode1 mpaka saivi wala hujabadilisha kitu kwenye mmaongezi yako ya mwanzo na yaleo❤️❤️ tunapendana Aunty twaiba Allah bless you❤️🥺

    • @waheedahtanzania4912
      @waheedahtanzania4912 2 роки тому +1

      Swahihi habibti swadakta ❤️ umejua kuifafanua uzuri hiyo bataqa (kitambulisho)bila shaka Esco ataelewa zaidi maana kila mara alikuwa akimsumbua Anti Twaiba ampe akione ampe akione 😂😂mie kimoyoni nikasema bila shaka Esco hajakielewa hicho kitambulisho 🚶🚶

    • @tinatina8193
      @tinatina8193 2 роки тому

      Unaishi Oman wapi?

  • @bbccaa4156
    @bbccaa4156 2 роки тому

    Hii ni sawa na hadithi ya arifu rela urela yaani mwenye tamaa ya kupata kikubwa kakutana na mpigaji hiyo na wewe chagua ni stiry ya wapigaji unapakwa mafuta ili urainike pole sana twaiba mwenyezi mungu atakurejeshea vyote inshaallah

  • @yourboyayyad3197
    @yourboyayyad3197 2 роки тому +2

    Next episode please🙌🏼😂 najikuta nimeangalia video zote za Twaiba.Pole sana Twaiba😭

  • @khayriyamussa682
    @khayriyamussa682 2 роки тому

    Nia safi hairogwi Allah yupa1naww aunt Twayba kwakweli juu yamaelezo yako niwazi upo sahiih huyo Khadija natapeli mwenye cheti chake hasa looh hasidi kweli Hana sababu...

  • @halimamohammed4108
    @halimamohammed4108 2 роки тому +2

    Huyo khadija mm sijamuelewa chamsingi wapelekekane mahakama I ndio tutajua kama yy hajamtapeli

  • @mannunamannu945
    @mannunamannu945 2 роки тому +16

    Esco amejipangaa kabisaa na hii interview yule mtangazaji wa mange alikua anaburuza tu hajui kuinterview kabsaa

    • @kazkaz1943
      @kazkaz1943 2 роки тому

      Yule rey hata kusikiliza interview za twaiba hakusikiliza esco ni kichwaaaa yule rey hamna kituuu

    • @husnasaidoldrajesh7942
      @husnasaidoldrajesh7942 2 роки тому +1

      Taiba nikuamini hii story yako.ALLAH atakulipia.hasbiallah wanemalwakil.mombasa kenya

    • @seedysaid6588
      @seedysaid6588 2 роки тому

      @@husnasaidoldrajesh7942 share na marafiki mpaka tumwone huyo mwizi khadija ganuki

  • @hadijagere
    @hadijagere 2 роки тому +5

    Yani ndio naanza kumsikiliza huyo khadija wajina anaonekana rimbukeni ,mshamba flani hivi anapenda kujionyesha 🤨🇸🇦🇸🇦🇸🇦

  • @brigidmua2548
    @brigidmua2548 2 роки тому

    Marafiki sumu....Asanteni

  • @saifsawafi2773
    @saifsawafi2773 2 роки тому +6

    Mke wa royal family ana mipaka. Huyo Khidija hana mipaka kwa hiyo si mke wa ki royal. Anatumia sana uongo kwa kujifaa (manipulator). Kamtafuteni Kule Rashidiya (Dubai) labda ndio anapoishi.

  • @adamabui6121
    @adamabui6121 2 роки тому

    Nimesiliza hii simulizi video zete sita. Sister kwanza mzuri mashalah uko na dini vizuriii. Ila labda huo ulikua ni mtihani kwasababu ulikua na uwezo wako na ulikua huhita kujitia mazonge. Labda kulipita mambo ya kishikina Allah yaallam. Siamini shirki na naichukia sana sana. Maisha mafupiii sana. Pole na mitihanii haki ya mtu haipotei.

  • @aminaothman2136
    @aminaothman2136 2 роки тому +4

    Mtangazaji perfect

  • @sabrasaleh1823
    @sabrasaleh1823 2 роки тому +3

    Ttwayba umenifrahisha walla.! ety Ganuki anaishi kwa permit 🤣🤣🤣

  • @ummyira9653
    @ummyira9653 2 роки тому +12

    Na alichokua anafanya kumlipia twaiba naa kumpa vizawadi alikua anapretend ili twaiba amuamini zaid kuona ni rafiki wa kwel anampenda na kumjali kumbe khadija alikua na malengo yak na hzo pesa anazotapeli ndio hzo anazolipia kwahyo alikua anajua anachokifanya ni unafki hao ndio marafiki wanafki wanajifanya kukupenda atakuletea hichi kumbe anataka akunase kama kweny mtego kama ndege wanavorushiwa mtama wakafata hlf wakadakwa kweny mtego ndio alichokua anakifanya khadija naif nafikir tumemuelewa vzr kwakwel na marafiki desgne hio wapo wanatak urafikir na mtu kwa lengo maalum

  • @ummohamed4404
    @ummohamed4404 2 роки тому +7

    Twayba huyo muachie Mungu nitapeli.wewe endelea na mahakamani.Na ujilinde na huyo tapeli asije kudhuru aweza tafuta watu wakakudhuru.maana Khadija ni adui mkubwa .jiangalie habbty

  • @mohamedvuaa1579
    @mohamedvuaa1579 2 роки тому +3

    Uyo c knife uyo ni panga au zaidi ya jambia la kimanga anamakali pandezot ila leo limekua butu na kwa uwezo wa Jalali litakatika kwa kutu

  • @leylahleylah4599
    @leylahleylah4599 2 роки тому +6

    Kama kaweza kutumia ulimi kutapeli atashidwa kutumia ulimi huohuo kusema uwongo...Hadija ni profession wa utapeli hivyo hashindwi kutumia lugha za kuwahadaa watu wamwamini...kwanza ukimwangalia tu utamgunduwa kuwa ni muongo...afu twaiba hakumtaja hadija kwenye Interview yeyote..Lakini kajitokeza mwenyewe that's mean ujumbe wa ulimfikia na anahusika...mjanja mjanja sana.

  • @judithmaziku363
    @judithmaziku363 2 роки тому +9

    Ukwel utabki kuwa juu dhadija muongo

  • @shaimarahmed8394
    @shaimarahmed8394 2 роки тому +2

    Babu Khadija Ni muongoo bila kumjibu watu washamuona Kama muongo balaaa... Royal gani akuache holelaa wakati umechkua hela si angefungwa huko asingeona jua

  • @aliismail7147
    @aliismail7147 2 роки тому +4

    Assalamualaikum Niko tayari kama Iko deni yoyote ya twaiba kulilipa please muhusika anitafute roho safi kabisa

  • @OmanOman-rp3zp
    @OmanOman-rp3zp Рік тому

    Ww khadija mungu atakulipa

  • @ibrahimsurur9822
    @ibrahimsurur9822 2 роки тому +5

    Bataga ni residence permit kuishi kwa inchi za kiarabu na lazima awe na kafil au sponsor ikiwa kaolewa basi mume na kafil

  • @mylifepurpose
    @mylifepurpose 2 роки тому +7

    Escooo hii story umeiweza Sana kaka hongera

    • @sabrasaleh1823
      @sabrasaleh1823 2 роки тому +2

      Hahahaa yy mwenyewe Escooo ameshawah kutapeliwa na mwanamke anaeishi Abudhabi🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @mylifepurpose
      @mylifepurpose 2 роки тому

      @@sabrasaleh1823 hahaha lazima aisimamie ipasavyo btw inasaidia Sana watu kujifunza Mana kila siku watu wanaibiwa kwa namna mbalimbal hii ni fundisho

  • @aminaali3055
    @aminaali3055 2 роки тому

    Kilio ulicholia thwaiba...subra ulio subiri mungu anamdhihirisha hasidi huyo...mungu kamlaani

  • @skukuuebrahim4895
    @skukuuebrahim4895 2 роки тому

    Twaiba mungu atakulipa kama kwao tanga hao ndio waarabu wa kwanza wa duka ya vitambara street 11 Allah atakulipia na huyo tapeli mbwa kuliko chako Allah atakulipa zaidi

  • @seedysaid6588
    @seedysaid6588 2 роки тому +6

    Kama huyo tapeli ni mkweli tunamtaka hapa sio kwa app ya mange....lusu huyo

  • @mariamali1887
    @mariamali1887 2 роки тому +1

    Pole habibty Allah atakufanyia wepesi. Bora ukutane na simba kuliko kukutana na mtu mwenye sura mbili

  • @hassanmwemba3158
    @hassanmwemba3158 2 роки тому

    Hao ndio ma-conwoman, wanajua kuongea, yaani hapa amekutana na bonge la kifaa! namjibu maswali yake yote... ahsante Dada Twaiba :!

  • @dn.n4983
    @dn.n4983 2 роки тому +8

    Hii movie inakwisha lini yaani nzuri inaitaji nobel maana ukimsiliza huu unasema ni kweli ukienda mwingine kweli kabisa jamani hawa wote waende mahakani ndio ukweli

  • @tucaasi
    @tucaasi 2 роки тому +3

    Princess yupi anaishi Dubai kwa permit. Haiwezekani. Huyo Khadija aaache urongo tena serikali ya huko imchukulie hatu kuharibu jina la royal family

  • @billamuristambul1642
    @billamuristambul1642 2 роки тому +5

    Namfaham twaiba tangu yupo tanga mpaka kaenda dar kufanya shuhuli zake namjua yy nafamilia yake nximaa kwanxa kina twaiba nifamilia inayomjuwa mungu naniwatu waimani mnoo sio twaiba tu kuanxia mama yao Allah amrehem Sasa anapotokea mtu akamchafua twaiba atakuwa anajisumbua sana cox kizuri chaonekana nakibaya kitajulikana so hadija naif umepotea step twaiba sio tapeli coz familia yake Haina njaa wanamogorofa haoo tanga na twaiba hakulelewa kwenye utapeli dini wanaijuwa namali wanazo

  • @twaibaahmed2836
    @twaibaahmed2836 2 роки тому

    Khadija ameabika sherehe ya watanzania...hakwenda si bleda wa masifa ya picha kwa aibu ...amejua watanzania wapo na wengi kawatapeli ..uso hana usicheze na kuumbuka...yy si royal yeye si mfanyabiashara? Umeona faida ya maisha ya kuiga twaiba kakuumbua ..tz hutapeli tena ...kila jambo lina mwisho

  • @africanbeauty6556
    @africanbeauty6556 2 роки тому +4

    Mimi naona musumari moja haushiki mita 😃

  • @aminahmohammed3520
    @aminahmohammed3520 2 роки тому +3

    HASBUNA LLAH WANIIMA LWAKIIL ALLAH ATAKULIPA TWAIBA KWA WATU WENYE EKILI MANENO YA UKWELI HAYAYUMBI KHADIJA KAMA KWELI ... WEWE NDIO UMEDHULUMIWA KARIBU TANZANIA .. ILAA TWAIBA ANASEMA UKWELI MAANA TUNAIJUA HII ISHU VYEMA NA ALLAH ANAPOKEA DUA YA ALIEDHULUMIWA

    • @jamilaaboubakar5979
      @jamilaaboubakar5979 2 роки тому

      Atampatia wapi TWAIBA..mtu jasiri mkweli mwenye ..imani yake. mfanya biashara anatafuta shilingi yake ya halali🤢🤢 asubirie tu fimbo ya MUNGU

  • @aysheraden7718
    @aysheraden7718 2 роки тому +3

    Huyu khadija Naif ni tapeli tena konki master huo utapeli wake itakua alikua na bwana wa kinaigeria kafundishwa .

  • @mwamvitamwebeyo5547
    @mwamvitamwebeyo5547 2 роки тому +5

    onyesheni picha yake watu wote dunia nzimaa wamujue,,,,..mbona twayba twamjua miaka mingiii??mimi twayba namjua since 2007..na alikuwa anampamba kila mtu ...huyo khadija muongo

    • @latifajabiri5786
      @latifajabiri5786 2 роки тому +1

      Ingia hata huku UA-cam andika khadija naif utamuona

  • @evachuw8092
    @evachuw8092 2 роки тому +1

    Twahiba ni mkweli kabisa MUNGU ATAKUSAIDIA TU Tanzania nzima tunakujuwa Niko Arusha ila nilikufahamu kupitia rafiki Yako pole sana kwangu rafiki mwiko

  • @halimaauthman9324
    @halimaauthman9324 2 роки тому +4

    Twaiba Allah atakupingania in shaa Allah

  • @skukuuebrahim4895
    @skukuuebrahim4895 2 роки тому

    Mwanamke jasir waki tanga muje mwanamke jasir anatokea tanga pole sanaa taiba mungu yuko na ww

  • @ruqayaruqaya4283
    @ruqayaruqaya4283 2 роки тому +9

    Twaiba dada etu umeongea kitu ambacho ni kweli kbs kutoka moyoni mwako na watu wote tunakuamini yule ganuki mungu anazid kumlaani anaishi km mashaghala tu kuishi na bataka 🤣🤣🤣mungu azidi kumlaani et alikuja saloon na gari yake na dereva 🤣🤣linajifanya liko na maisha mazur et twaiba aliniuzia magari yangu cjui nn yn linajifanya liko na maisha mazuri 🤣🤣🤣ganuki tumekushtukizia kumbuka kuwa za mwiz 39 ya 40 bado kidogo utapatikana mungu mkubwa yn utakufa kifo kibaya ganuki ww mungu atakulaani tunakwambia kila ck

    • @haryanyawu640
      @haryanyawu640 2 роки тому

      Mmeiona wapi hii interview yake jamani ni mpaka upakue iyo app ya mange au

    • @ruqayaruqaya4283
      @ruqayaruqaya4283 2 роки тому

      @@haryanyawu640 ndio mpka appy ya mange

    • @tatujuma8781
      @tatujuma8781 2 роки тому

      @@haryanyawu640 Ata mi sielewi...ukijua Nami nijulishe ..asante

    • @veronicamasanja9809
      @veronicamasanja9809 2 роки тому

      Kwa mtu anae jua kuyachuja maneno twaiba ni mkwel

    • @ruqayaruqaya4283
      @ruqayaruqaya4283 2 роки тому +1

      @@veronicamasanja9809 hakika 🤝😂

  • @salhatriko
    @salhatriko 2 роки тому +3

    ID card iyo ukienda kuishi lazima uwe nayo. Na hiyo card ikiisha na visa yk imeisha unaenda ulipia Tena kama unataka kuendelea kuishi.

  • @ibrahimsurur9822
    @ibrahimsurur9822 2 роки тому +4

    Hiyo msahafu aliyo shika na kuapa itamponza ajuwe hilo

  • @alexandrucarmen3185
    @alexandrucarmen3185 2 роки тому

    Wanzanzibari kwa utapeli ndo zao.wanapenda kudanganya uraiya😲😲😲

  • @hamedhabsi2752
    @hamedhabsi2752 2 роки тому +1

    Mtangazaji jaribu kukaa mbali kidogo na umuulizae. Hasa akiwa Ni Mwanamke

  • @cristinasofla5090
    @cristinasofla5090 2 роки тому +1

    Wao twaiba endelea adi upate chako mamy

  • @maryamabdallah3140
    @maryamabdallah3140 2 роки тому +1

    Marafiki NO!!!!?? Tuongee tucheke then kila mtu apite hivii....

  • @noonebutyou2875
    @noonebutyou2875 2 роки тому +2

    Mtu mwenye akili timamu ataelewa wazi Twaiba ni mkweli, ganuki kuongea kwake, wazi ni muongo tena wakupita kiasi. Naamini maneno ya Twaiba, mtwana ukimfadhili, atakutukana.watu wengi sana wamedhulumiwa na rafiki zao wa karibu kwaajili ya kuwaamini sana. Tena kawaida ya watu waovu, ule uovu wao wote watakubandika nao wewe, lakini naamini mwisho wa ubaya ni aibu. Ganuki anaaibika, atapatapa hajuwi afanye nini.Allah atulinde na hassad, na kila mwenye kumtendea mwenzie ubaya, mabaya yamrudie mwenyewe.. Amiin.

  • @umranim5854
    @umranim5854 2 роки тому +5

    Huyu hadija sauti yake tu anaonekana ni muongo ana tafuta kujisafisha uchafu wake

  • @shi5a_
    @shi5a_ 2 роки тому +1

    M mungu atakunusuru na balaa m mungu yuko nawe

  • @nasraibrahimu9355
    @nasraibrahimu9355 2 роки тому

    Tapel mkubwa uyo kwann alijishuku km so yy tapel kweli uyo khadija

  • @mariamselemani1366
    @mariamselemani1366 2 роки тому

    Khadija tapeli ilo joo jina lake anajulikana kwauwongo nimwizi saaana namujuwa nikisuma mungu amulani

  • @fhyubhhh2881
    @fhyubhhh2881 2 роки тому +2

    Isimamie kesi yako Ttayba!! kwakweli matapeli kama hawa lazma wakomeshwe!! kama Royal family wa dubai au Ganuki wa dubai hapo tutamuona!!

  • @twaibaahmed2836
    @twaibaahmed2836 2 роки тому

    Khadija naif tapeli..alichonitenda mimi siwezi kukubali aendelee kuwaumiza watu

  • @jaanfernandez9269
    @jaanfernandez9269 2 роки тому +4

    Yani hata hujibu maswali straight.

  • @sharifahabsi5004
    @sharifahabsi5004 2 роки тому

    Mungu atakulipa dd twaiba hyo tapeli aishi kwa ikama hko dubai yani bataka shaksia yakulipia kilabaada yamiaka2 mdhamini wake ndio ajulikana nanchi hyo

  • @barakakusa7606
    @barakakusa7606 2 роки тому +3

    Kwa jinsi nilivyosikiliza huu mkasa epsod zote Naamini asilimia zote alichokiongea Twahiba ni sahihi na ukirejea mwanzo utajua ukweli.

  • @UkhtyDidas-maarifa
    @UkhtyDidas-maarifa 2 роки тому +2

    3. Eti aliniambia niseme Amal investor, namie nilipo ulizwa nikasema yes namjua Amal investor. Does it make sense? Au mie naona utoto.

  • @sophiajoseph136
    @sophiajoseph136 2 роки тому

    Huyo dada niliona tapeli tu .. Twaiba Mungu akusaidie upate haki yako.

  • @ummyira9653
    @ummyira9653 2 роки тому +5

    Yan alichokifanya khadija ni kujisumbua na kusahau kua watu wanamjua vzr mpk mama yak na baba yake ss anakaa na kujikosha aonekane mwema hakuna anaemuamini tena anaishi huko kama mgeni tu na ndio mana picha zake zot mara kaenda sehm tofaut tofaut hao watu wanamtambua yy mgeni na anajipeleka kwa watu wa juu na kuact kwa malengo yake huy mwanamke ni kiboko sana Ila anasahau kua uongo wake una mwisho wake kafanya interview kujisafisha na kutaka
    Kumchafua twaiba Ila hajui kama ndio anajichafua zaid khadija watu wanawajua wazaz wako na walikua wakaa kkoo utamdanganya nani mana mpk hao jiran zenu kkoo wanashuhudia huu uongo wako ss unajisafisha vp kweli unakaa na kudanganya watu wazima ambao wanaijua family y'ako jaman na msahafu unashuka dah wew dada ni hatar kwakwel

  • @mwamvitamwebeyo5547
    @mwamvitamwebeyo5547 2 роки тому +1

    Muonyeniji picha yake jamani huyo tapeli khadija...mange unashindwa,,nawew twayba ikiwa huyu ameamua kujibu..nionyeshe picha yake kwa ajili ya faida ya watz na dunia nzima

  • @abbnaiyah6009
    @abbnaiyah6009 2 роки тому

    Mmhhh natamani nimuone uyo ganuke yukoje😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅

  • @salwamohammed4422
    @salwamohammed4422 2 роки тому +2

    Ganuki mungu kamtoa nuru kwenye sura lalke

  • @hidayaswai3119
    @hidayaswai3119 2 роки тому +1

    Twaiba huyu dada anakupotezea muda sana. Fanya huyu ibilisi apite uendelee kutafuta pesa. Mkutane kwenye mafanikio mpz na Mungu mwenye haki afanye hukumu yy aliye haki alipwe na asiye haki alipwe mara 100 ya aliyotenda. Tunamuomba Mungu kwa utukufu wake atujibie hili

    • @jamilaaboubakar5979
      @jamilaaboubakar5979 2 роки тому +1

      TWAIBA AMESHAKUWA JUU KATEMBEE MADUKA YAKE... MPENZI...HAMPATI ILA WACHA WATU WAMJUE...KHADIJA MWIZI HANA HADHI AMEMFANYIA MWENZAKE VIBAYA...ALIM TRUST 😭😭😭😭KHADIJA DUNIA INAKUONA ...IKO SIKU MUNGU ATAMPA KIPIGO YA KAJEJE ..

    • @hidayaswai3119
      @hidayaswai3119 2 роки тому

      @@jamilaaboubakar5979 ni kweli lkn atamliza mpk lini akimkumbusha maumivu aliyomtendea. Natamani awe mwenye furaha muda wote yale alopoza Mungu keshamrejeshea yote na mwanae km Mungu wetu aishivyo amrejeshee mwanae kutoka huko alipo. Namuombea malaika wa kheri wamfuate wamlete ili furaha yake itimie. Namuombea Mungu amrejeshee Jundi faraja yako

    • @hidayaswai3119
      @hidayaswai3119 2 роки тому

      @@jamilaaboubakar5979 ni kweli lkn atamliza mpk lini akimkumbusha maumivu aliyomtendea. Natamani awe mwenye furaha muda wote yale alopoza Mungu keshamrejeshea yote na mwanae km Mungu wetu aishivyo amrejeshee mwanae kutoka huko alipo. Namuombea malaika wa kheri wamfuate wamlete ili furaha yake itimie. Namuombea Mungu amrejeshee Jundi faraja yako

  • @leilamohamed950
    @leilamohamed950 2 роки тому

    Hapo kwenye mnara wa Paris, Esko hana mbavu 🤣🤣🤣🤣

  • @chinaboyzanzibar5328
    @chinaboyzanzibar5328 2 роки тому

    ASSALAAMU ALEYKUM MY SISTER TWAIBA SORRY TO WHAT HAPPENED TO YOU UR FRIEND KHADIJA KUTAPELI YOU MY ALLAH WILL PAID YOU WHAT KHADIJA TAKE FROM YOU MY DUA ALWAYS WITH YOU AND YOUR FAMILY MY SISTER TWAIBA .MY NAME IS SIDIK I AM LIVING IN UK 🇬🇧. I AM ORIGINAL FROM KENYA 🇰🇪 MOMBASA. I LOOK UR VIDEO CLIP AND LISTEN EVERYTHING YOU SAY IS TRUE. MY DUA ALWAYS WITH YOU UR BROTHER SIDIK FROM LONDON 🇬🇧 WS.

  • @UkhtyDidas-maarifa
    @UkhtyDidas-maarifa 2 роки тому +6

    2. Hawa Royal Family account zao hazina Signatory na Signatories? Hivi Royal family wanaweza kutoa $160,000 bila mkaba wa authority yoyote? Watu wapeane tu hela, kwa kupiga simu alafu anaambiwa sawa mpe?

  • @gowgious
    @gowgious 2 роки тому +20

    A.aleykum jamany, me aunty twaiba namjua tumetoka nae mbali sn hajawahi kua na shida na mtu kwa kitu wala mali, na kuhusu kuchangamkia watu ni ukarimu wake anachangamkia wateja ndomana tunampenda, na kilichomponza ni anaamini sana watu mungu amempa roho ya imani sana na kuamini kila mtu. Na maelezo yake ukiskiliza story ina muelekeo tofaut na huyo khadija haeleweki.! Huwezi kuendelea kumkopesha mtu kuanzia dollar elf20 mpk dollar laki1. She doesn't make sense!

    • @ruqayaruqaya4283
      @ruqayaruqaya4283 2 роки тому +4

      Yule firauni ( ganuki) atakufa kifo kibaya sn 😢tunamlaani sote tz na nch za nje na laana zetu hazita muacha salama akae akijua hilo asijione anapumua ss hv lkn mungu atajibu

    • @queentanitah1346
      @queentanitah1346 2 роки тому +3

      Mie simjui physical namjuilia kwenye mitandao lakini miaka zaidi ya 10 nyuma. Kwenye mitandao tu alivyo basi najua 100% sio tapeli, na nina 100% hawezi kusema uongo kisha akaapa no way. Huyu dada amejijengea uaminifu na ukarim. Kuna kipindi nilichat nae nataka kujifunza makeup lakini kwa bahati mbaya akawa hafundishi online na mie siishi Tanzania. Lakini nampenda sana na Allah atamsaidia kwa hali na mali

    • @hadijamandanje6189
      @hadijamandanje6189 2 роки тому +3

      Ukiwa mwaminivu kila mtu unamuona ni mwaminivu

    • @duhrurhhddhheud8575
      @duhrurhhddhheud8575 2 роки тому

      @@hadijamandanje6189 Ni kwel wajina wallah kimenikuta kitu Hadija mm mwee 🤕🤕😪

    • @hadijamandanje6189
      @hadijamandanje6189 2 роки тому

      @@duhrurhhddhheud8575 Mimi ndo sisemi hapa nilipo Niko nahangaika kutafuta suluhisho la tatizo langu

  • @hopeinallah5112
    @hopeinallah5112 2 роки тому +4

    i have googled her all over goodwill ambassador jina la tapeli khadija naif hakuna . goodwill ambassadors ni kina priyanka chopra and the like iweje a nobody like her selected

    • @nusalim3389
      @nusalim3389 2 роки тому

      Tunajua kila kitu,kwanza hio goodwill ambasaddor from Germany halafu imeandikwa kwa kizungu impossible lazima iandikwe ki German,tunajua alifanyaje,na pia wameandika miaka 2 tu Cha Ajabu huyu dubba nguruwe hujisahau na hujinadia Hadi Leo,

  • @zaaiiAhmed
    @zaaiiAhmed 2 роки тому +1

    Jamani ganuki nime mjua kumbe ni yule shoga ulikua ukimpost kipindi cha nyuma tumemjua limama lijambazi hili sura yake inaonesha naona sasa siku ime karibia