ASalaam,Aleikum.Dada Twaiba nimekusikiliza vizuri sana.Ninachotaka kusema ambacho nina Experince nacho ni Kukopa Kwa Riba Ni hatari sana katika biashara,So Unatakiwa kujua Allah amekuondolea hiyo mali ili akulipe mali safi,na unatakiwa kumshukuru sana Mwenyezi Mungu,You see today you have good bussine and Allah watch and guide you,Endelea kutoka sana sadaka utapata mafanikio mengi sana Inshallah,sadaka inaongeza mali na baraka,Riba inaongeza umasikini na balaa kila aliyekopa huishi kwa wasiwasi hawana raha.Allah akusimamie.
@@twaibaahmed2836 twayba mimi nimekufatilia sana mda mref da tayba mashallah umepitia mengi lkn mimi kama nimehis alie kufanyia hvyo nimeunganisha story kama namjua. Kipind cha kuanzia 2015. Ulipataga rafiki wakike. Na ulikuwa unapromote sana insta ni nayeye ulinifanya ninfatilie. Na app ulipo sema anadanganya. Familia ya kifalme. Yani wallah allah atamlipa huyu dada. Pole kwa yote
Hata mimi sitaki marafiki katika maisha yangu ni heri niwe mpweke kuliko kuwa na marafiki zamani wakati nikiwa na marafiki niliwakaribisha vizuri nyumbani kwangu wakaniibia simu zangu na pesa sasa hivi sikaribishi mtu yeyote nyumbani kwangu
Wema ulotendea watu na jinsi ulivyojitolea mda wako na kusaidia watu mungu atakulipa aunty..wewe ni Mtu Mwenye roho nzuru sana na mwenye kupenda kusaidia watu sitosahao wema wako juu yangu na marhemu mwangu allah atakulipa insha allah
Dadangu pole sana hio ni mitihani ya mungu shukuru sana usilaumu sana marafiki sio wote wabaya kumbuka kwenye maneno yako ulisema kuna mtu alikupigia simu aka kwita ukaanza maisha tena kwa hivyo wewe ulipata rafiki mbaya
Mashallah twaiba nilivaa gauni la harusi kutoka kwenu kipind mko tanga kila la kher twaiba ila mungu huwa hamtupi mja wake ht ufanyiwe mabaya vip mungu atakupa ujasiri na kukuinua
Alipangalo Allah mwanadam hauwezi kulipanguwa dada walizani wamekuwangusha hawakujuwa kuwa Allah atakuinuwatena kwamara ya pili Allah azidi kukufungulia milango ya Ridhki 🙏🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
Twayba MashaAllah umenyoosha mazungumzo kwa hikma kubwa na umezunngumzo kwa busara sn.. Allah atazidi kukusimamia ktk biashara zako.Aaaamin.. Love from.oman🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲💕😘
Twayba pole sn yani tujipe pole hauko pekeyako nami yamenkuta huo hutapepeli hasa sie au mie niliokuepo huku hugahibuni ni mtu wa karibu sn hanakutapeli bila huruma Allah hatakusimamia hisharah Twayba lvu.
Lingine dada epuka sanaa NA mikopo ya Riba maana allah anachukizwa NA mali za riba,, atakuja kukupandisha kwa kasi atakushusha tena kwa kasi,,, epuka na mikopo ya riba allah hapendi abisa NA aliahid kumporomosha mwenye kutumia mali za riba
Aunt twaiba Maisha twakupenda from kenya...you're story is really inspiring Mungu aendelee kukufungulia na njia usizotarajia. Ayafakinishe malengo yako....twakusubiri Kenya insha Allah...branch yako..lots of love dear....❤❤
Tajiri waupendo,Tajiri wa Nafsi,Tajiri wa hekimaaa.... mashallah ddngu umetufunzaa kitu hapaa ddngu,,,,siku zote kikulacho kinguoni mwako ,adui kawaida hatoki mbali ila hawajui Huwa wanadhulm watu Kisha Allah analipa haphapa. ....
Da Twaiba mabaya ulofanyiwa hakika ni makubwa mno mm KADHALKA dadio nimefanyiwa kuanzia na mtt nilomlea na nikamkodia veil hapo dukani kwako 2014 lkn leo hii ndio ADUI no one kashiriki kuniharibia maisha yangu leo hii wale watu wabaya woote m-mungu kawafagilia baharini woote. Sina rafiki niliitafuta mpk sh 100. Lkn leo ALHAMDULILLAH kikubwa ni DU'AA na SUBRA. Jmn matukio yanafanana kbs ila kwa style tofauti tofauti. M-mungu azidi kukulinda.
Dada asante. Upo vizuri na nimejifunza sana kwako. Ni ukweli kabisa rafiki ni mbaaya saana na ni zaidi ya ibilisi. Hapaswi kuijua password. Even me sihitaji rafiki wa kuzifuatilia password. Watu wabaya saaana
Yaan ukimtegemea allah kwa kila jambo allah huku onyesha kila baya NA jema Na kila jambo linalo tokea kwenye maisha yako huwa linasababu yake allah ndye mjuzi wa mambo,,,, unaweza kuona jambo ni baya sana kwenye maisha yako kumbe lile unalo li chukia ndo lina kher kwako
Pole sana mumy Allah akulinde pia nashkuru nimejifunza mengi mazur nimfano wa kuigwa umepitia mapito kama mama angu Allah awape kila la kher na walinde
Milioni 600 Na Leo uko strong Tumshukuru mungu kwa kila Jambo. Na Tujifunze kuhusu Mikopo Ukikopa Mabenk jua Hubaki Salama Hela za Mikopo Zinakatika kisu Kimoja unabaki Zero.
Hizi interview kaka unazipatia Sana nashauri achana na coverage ya story za Instagram na twitter Fanya hizi unazipatia Sana nitaongea na sky aongeze budget uwe unazunguka Mikoani 😂😆😆😂😆
The boss lady mpanaji tanzania nzima mungu akuzidishie kher na barka tele inshaallah kipenzi cha wengi huna ubaya na mtu tunakupenda da twaiba wetu❤❤❤❤❤❤
Twaiba hongera Allah akuzidishie kwa kuzidi kunizindua na maneno yako stori yako inafanana kama yangu kwa mbaali Hata mm niliapa kua na madeni hata deni dogo Mimi nalichukia na jambo lolote baya ukilichukia mwenyezimungu anakuepushia
Wastara haumbuki Abadan..mwanga huyo kawanga mchana ..hajui km watu wameaga makwao eee kaula wa chuya @twaiba haki imetendeka mungu kaleta kheri yake apambane tu na Hali yake....ss tunamwambia tumejipanga team twaiba oyeeee 😍
Tenaaaa ..vizuri .na tuko nyuma yako sister tuko pamoja na ww ..Hana jipya huyo na vizuri hukumtag maana angepata ujiko usiomuhusu ..na vizuri uko juu na 🙄 utaendelea kuwa juu ,.. ❤️na huo ndo mwanzo ajipange tuuu sn..Mana mji unawenyewe huu alikurupuka na katoka patupu 🤣🤣.
Marafiki tujue vyakukaa nao. Rafiki zungumza nao cheka nao furahi nao lkn mambo yako iwe biashara, ndani mwako, ndugu, wazee na familia yako yote kwa ujumla usimpe! Hata km yy atazungumzia yake. Na marafiki wabaya hua na stori za kutunga ili wapate zako za kweli wakufisidi.
ASalaam,Aleikum.Dada Twaiba nimekusikiliza vizuri sana.Ninachotaka kusema ambacho nina Experince nacho ni Kukopa Kwa Riba Ni hatari sana katika biashara,So Unatakiwa kujua Allah amekuondolea hiyo mali ili akulipe mali safi,na unatakiwa kumshukuru sana Mwenyezi Mungu,You see today you have good bussine and Allah watch and guide you,Endelea kutoka sana sadaka utapata mafanikio mengi sana Inshallah,sadaka inaongeza mali na baraka,Riba inaongeza umasikini na balaa kila aliyekopa huishi kwa wasiwasi hawana raha.Allah akusimamie.
Hii story baada ya kuvuka huu mtihan nimejifunza na siko na mikopo alhmdulilah ni barak kwa mungu
@@twaibaahmed2836 twayba mimi nimekufatilia sana mda mref da tayba mashallah umepitia mengi lkn mimi kama nimehis alie kufanyia hvyo nimeunganisha story kama namjua. Kipind cha kuanzia 2015. Ulipataga rafiki wakike. Na ulikuwa unapromote sana insta ni nayeye ulinifanya ninfatilie. Na app ulipo sema anadanganya. Familia ya kifalme. Yani wallah allah atamlipa huyu dada. Pole kwa yote
@@salamamuharram192 na mimi nahisi au ni yule dada anaeishi dubai 😀
@@twaibaahmed2836 love you twaiba,,, Allah azidi kufanyia wepesi
@@twaibaahmed2836 Pole sana dada, story yako inasikitisha sana dada. Ila una imani kubwa sana Mashaallah, na Allah amekulipa, hongera sana dada
I love this interview she is an astonishing human being, we need more people like her may allah protect her amen
Inspiring sana
Hata mimi sitaki marafiki katika maisha yangu ni heri niwe mpweke kuliko kuwa na marafiki zamani wakati nikiwa na marafiki niliwakaribisha vizuri nyumbani kwangu wakaniibia simu zangu na pesa sasa hivi sikaribishi mtu yeyote nyumbani kwangu
Huyu dada ana hekima sana na hofu ya Mungu kubwa sana ndani yake! Mungu azidi mbariki kwakweli 🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Pole habbty mimi siwezi kukusahau ulinipa crown 👑 ya biharusi wangu bureeeeeee Mungu akuzidishie zaidi.
Pole sana mama umepitia changamoto nyingi marafiki sio watu kabisa duu 😭
Mashallah da twaiba kipenzi cha wengi na una moyo mzuri boss lady wetu kipenzi chetu mpambanaji sana allah akulinde na watu wabaya
Wema ulotendea watu na jinsi ulivyojitolea mda wako na kusaidia watu mungu atakulipa aunty..wewe ni Mtu Mwenye roho nzuru sana na mwenye kupenda kusaidia watu sitosahao wema wako juu yangu na marhemu mwangu allah atakulipa insha allah
Pole sana ila pia asante kwakutushtua umenikumbusha kuwa mali bila daftar hupotea bila habari
Mashaallah unamoyo mzur sana mzur wa sura mpaka rohoo allah azidi kukusimamia inshaallah
Amin Amin Amin
Kabisa twaiba ana moyo msafi
Mashallah da twaiba roho yako nzuri na swadaka zako ndio kinga yako allah aibarik kazi ya mikono yako huna ubaya na mtu allah akuzidi upo
Mashallah mashallah utabaki kuwa juu da twaiba kipenzi cha wengi mwenyew maveli ya kisasa pambaeee tunakupenda mpaka nairobi
Dadangu pole sana hio ni mitihani ya mungu shukuru sana usilaumu sana marafiki sio wote wabaya kumbuka kwenye maneno yako ulisema kuna mtu alikupigia simu aka kwita ukaanza maisha tena kwa hivyo wewe ulipata rafiki mbaya
Mashallah twaiba nilivaa gauni la harusi kutoka kwenu kipind mko tanga kila la kher twaiba ila mungu huwa hamtupi mja wake ht ufanyiwe mabaya vip mungu atakupa ujasiri na kukuinua
Kweri kabisa rafiki ni adui namba moja Dada. Pole sana Dada yng
Hongera my dada kwa subra Mwenyezi Mungu hamtupi mja wake
Alipangalo Allah mwanadam hauwezi kulipanguwa dada walizani wamekuwangusha hawakujuwa kuwa Allah atakuinuwatena kwamara ya pili Allah azidi kukufungulia milango ya Ridhki 🙏🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
Kabisa
Twayba MashaAllah umenyoosha mazungumzo kwa hikma kubwa na umezunngumzo kwa busara sn.. Allah atazidi kukusimamia ktk biashara zako.Aaaamin..
Love from.oman🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲💕😘
Twayba pole sn yani tujipe pole hauko pekeyako nami yamenkuta huo hutapepeli hasa sie au mie niliokuepo huku hugahibuni ni mtu wa karibu sn hanakutapeli bila huruma Allah hatakusimamia hisharah Twayba lvu.
Lingine dada epuka sanaa NA mikopo ya Riba maana allah anachukizwa NA mali za riba,, atakuja kukupandisha kwa kasi atakushusha tena kwa kasi,,, epuka na mikopo ya riba allah hapendi abisa NA aliahid kumporomosha mwenye kutumia mali za riba
Wewe ni shupavu Mashallah umejua kuongea.Mungu atakustiri kwa kila baya.
Aunt twaiba Maisha twakupenda from kenya...you're story is really inspiring Mungu aendelee kukufungulia na njia usizotarajia.
Ayafakinishe malengo yako....twakusubiri Kenya insha Allah...branch yako..lots of love dear....❤❤
Tajiri waupendo,Tajiri wa Nafsi,Tajiri wa hekimaaa.... mashallah ddngu umetufunzaa kitu hapaa ddngu,,,,siku zote kikulacho kinguoni mwako ,adui kawaida hatoki mbali ila hawajui Huwa wanadhulm watu Kisha Allah analipa haphapa. ....
Da Twaiba mabaya ulofanyiwa hakika ni makubwa mno mm KADHALKA dadio nimefanyiwa kuanzia na mtt nilomlea na
nikamkodia veil hapo dukani kwako 2014 lkn leo hii ndio ADUI no one kashiriki kuniharibia maisha yangu leo hii wale watu wabaya woote m-mungu kawafagilia baharini woote. Sina rafiki niliitafuta mpk sh 100. Lkn leo ALHAMDULILLAH kikubwa ni DU'AA na SUBRA. Jmn matukio yanafanana kbs ila kwa style tofauti tofauti. M-mungu azidi kukulinda.
Dada asante. Upo vizuri na nimejifunza sana kwako. Ni ukweli kabisa rafiki ni mbaaya saana na ni zaidi ya ibilisi. Hapaswi kuijua password. Even me sihitaji rafiki wa kuzifuatilia password. Watu wabaya saaana
She is a very strong lady
Hongera saaaana dada. Mvumiliv hula mbivu
Una moyo mzuri sana utoaji wako usiache na upendo ulio nao kwa watu endelea kuwasaidia wagonjwa na wasio jiweza Mungu atazidi kukuongezea
Kweli kikulacho kinguoni mwako lkn binadam tunachangamoto sana.
Yaan ukimtegemea allah kwa kila jambo allah huku onyesha kila baya NA jema Na kila jambo linalo tokea kwenye maisha yako huwa linasababu yake allah ndye mjuzi wa mambo,,,, unaweza kuona jambo ni baya sana kwenye maisha yako kumbe lile unalo li chukia ndo lina kher kwako
Dada kanipa somo huyu,asante dada kwa kutufungua akili,kweli nimejifunza mnooo,ubarikiwe na moyo wako mzuri
Allah aendelee kukuongoza aunty na asante kwa elimu ya maisha kuhusu biashara we 😍❤️❤️❤️keep it up haina kufeli
Amiin
Mwanamke kujiamini aunty yangu mashallah mpambanaji wangu mimi Mungu azidi kukuweka aunty yangu na kazi zako ni nzuri mno na zitazid kufika mbali
asante sana kwa ushauri umenifungua sana,barikiwa
Dada Twaiba, Mungu aendelee kukusimamia. Uzidi kuendelea vizuri
Duuh! Mungu wangu mimi natafuta laki moja nakosa kumbe Kuna watu mmebarikiwa Sana ongera Sana dada Allah akulipe dua zako amiina 🙏
Jamani walokufilisi mungu anawaona.. milion 600 duhhhhhh Allah awalaaaniiiii kabisaaaa. Mwanamke wa shokaaa
Mwenyezi Mungu atakulipia
Pole sana mumy Allah akulinde pia nashkuru nimejifunza mengi mazur nimfano wa kuigwa umepitia mapito kama mama angu Allah awape kila la kher na walinde
Pole sana na mwenyezi mungu akufungulie zaidi. Mimi pia yameni fika wala sihitaji waje kwangu
Pole Sana mwalimu kwangu kwa mitihani ulopitia ,Kama vile unavyosema Allah ndio kilakitu na atazidi kukusimamia inshaallah ,,,
Pole sana jamani mungu yupo malipo hapahapa
Marshallah strong enough God bless you. I have learned a lot from this
Bless you Ameen
Pole sana maisha haya nifunzo ukisikiya ya mwenzako yako unayaona yanaunafuu pole sana big up mamy 👊
Pole sanà dada.lakini kawaida watu wenye roho nzuri upata mitihani Kwa walewale watu unae wapenda mno na kuwaamini.
Hongera sana, nimejifunza kitu.
Nimejifunza mengi sana kupitia simulizi hii asante kw kushare na cc
Hongera kwa biashara nzuri
You lead others follow my dear sis allah akulinde daima na husda za walimwengu 🥰🥰🥰🥰🥰
Tapeli aliyekudhulumu Allah amuadhibu hapa duniani na kesho akhera Aaaamin
MASHAALLAH
🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Aka bachuchu mombasa 001
🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Dada angu mungu Yuko pamoja nawe
Mashallah sorry my dear u will be fine she is too beautiful too
Kweli kikulacho kiunguoni mwako rafiki yako ndio adui yako pole sana mama yngu twaiba
Wastara hasumbuki. Mungu atakupa faraja
Da twaiba nakupenda mnooo jamani Mwenyezi Mungu azidi kukusimamia katika kazi zako amiiin
Alhamdulilah Mungu akubariki na aifadhi kazi yako
Milioni 600 Na Leo uko strong Tumshukuru mungu kwa kila Jambo. Na Tujifunze kuhusu Mikopo Ukikopa Mabenk jua Hubaki Salama Hela za Mikopo Zinakatika kisu Kimoja unabaki Zero.
Pole saana dadake una hekima na busara ndo maana mwenyezi mungu hajakuacha
Utabaki kuwa juu da twaiba wetu
M.mungu atakulipia malipo hapa hapa duniani
Mungu hamfichi dhalimu ,Allahu akbar
Hizi interview kaka unazipatia Sana nashauri achana na coverage ya story za Instagram na twitter Fanya hizi unazipatia Sana nitaongea na sky aongeze budget uwe unazunguka Mikoani 😂😆😆😂😆
The boss lady mpanaji tanzania nzima mungu akuzidishie kher na barka tele inshaallah kipenzi cha wengi huna ubaya na mtu tunakupenda da twaiba wetu❤❤❤❤❤❤
Allah hasimami na dhaliim.Pole ndugu dunia imejaa mahasid.Allah atakuweka juu daima na kila dhalim aangamie.
Mungu akufungulie zaidi inshalla mungu atuondolee watu hawa wenge husda na choyo
Duuh wallh pole nd mitihan tn , Allah atazd kukufanyia wepes inshallh 🙏🤲
Jamanipole Dada Allah atakulipiamaskini
Maneno yako yamenitia moyo sana kweli Mungu ana miujiza aisee GOD is good pole sana sister na hongera kwa mwanzo mpya
Nimependa sana interview, Allah akulipe kher inshallah, nikikwama kimaisha Dada nitakuja unipe kazi inshallah 🙏
Tunakupenda da twaiba wala hutetereki tena kipenzi chetu mpanaji mwenye maveli pambee mjini🥰🥰🥰🥰🥰
Good 👍 job madam boss
Twaiba hongera Allah akuzidishie kwa kuzidi kunizindua na maneno yako stori yako inafanana kama yangu kwa mbaali
Hata mm niliapa kua na madeni hata deni dogo Mimi nalichukia na jambo lolote baya ukilichukia mwenyezimungu anakuepushia
Mashalwa M.mungu akubariki akupe kila la kheri ameen 🙏
Maasha Allah Aunt...Allah kutangulie kwa kila khatua kipenzi chetu...asante SNS
Mama mwaunguja Mzuri sana. Amenipa moyo. Sasa itakuwa nini? Mimi nimempenda🤗🤗🤗🤗🤗
Da twaiba kipenzi chetu boss lady wetu kwenye nguo pambee tanzania nzima
Mh...nalia Huku nikisikiliza interview!! Nimejifunza kitu ndg yangu kipenzi!! Allah akufunike zaid
MashaAllah anty
Mashallah daa azuu munqu akulipe ujira wako pole daa kwa mthihani munqu akusimamiye Tena zaidi na zaidi
Pole xna Twaiba mungu akuzidishie
Wastara haumbuki Abadan..mwanga huyo kawanga mchana ..hajui km watu wameaga makwao eee kaula wa chuya @twaiba haki imetendeka mungu kaleta kheri yake apambane tu na Hali yake....ss tunamwambia tumejipanga team twaiba oyeeee 😍
Kwan huyo hasidi ni yupi
mashaallah,dada yangu Allah akufanyie wepesi kila gum liwe lepesi ..nakupenda sana
Haswa mitihani mingi ni njia ya mafanikio Bonus 💯 pole dada
Mungu atakubaliki dadaangu
Mlango mmoja ukifungwa mwengine unafunguka
Dada ana maneno mazito hakika kama unaakili unamuelewa kiundan
Ni kweli twaiba rafiki ni mtu mbaya sn.
Polee kipenzi mwenyezi mungu azidi kukufungulia miangaza ya kher
Nimekupenda mdada. Hongera
Tenaaaa ..vizuri .na tuko nyuma yako sister tuko pamoja na ww ..Hana jipya huyo na vizuri hukumtag maana angepata ujiko usiomuhusu ..na vizuri uko juu na 🙄 utaendelea kuwa juu ,.. ❤️na huo ndo mwanzo ajipange tuuu sn..Mana mji unawenyewe huu alikurupuka na katoka patupu 🤣🤣.
Mitihan ikija inakuja mfululizo ndio pale usemi wa apewae ndio aongozewae lakin ukishuru Allah hukurudishia maradafu
Subraaa subraaa subraaa haiongopi subraa
Mungu hamuachi muja wake amen 🙏
Hongera dada
Masha ALLAAH
Subira ni muhimu kwenye maisha yetu
Marafiki tujue vyakukaa nao. Rafiki zungumza nao cheka nao furahi nao lkn mambo yako iwe biashara, ndani mwako, ndugu, wazee na familia yako yote kwa ujumla usimpe! Hata km yy atazungumzia yake. Na marafiki wabaya hua na stori za kutunga ili wapate zako za kweli wakufisidi.
Nimejifunza sana, nashukuru
Jamani duka hilo lipo dar sehemu gani magauni ni kazuri sn twaomba kujua
Watu matapeli huwa wana sifa ya kujua kumuapproach mtu sana...Yaani anakuingia lazima ujae! Pole sanaa
Kweli.
Alhamdulillah Allah atakuhifadhi zaidi na zaidi yah hapo
Great woman
MASHALLAH WALAA HAWLA WALAA QUWWATA ILLAH BILLAHI