This is a definition.. Ya kupenda kupindukia.. Kufa kuoza.. Na kupenda kupindukia.. Mawazo yangu yote ni juu yako nipokee.. Na macho yangu yote ni kwako usinipotee.. By Once Again the best tz musician rn😂
Hakuna urafiki wa mwanaume na mwanamke hata siku moja na mwanaume siku zote anatengeneza faida ya badae na mwanaume hakuonyeshi mapenz kwa siku moja mnaweza kwenda kwa mda mrefu sana lakin siku moja lazima akule tu
This is a definition..
Ya kupenda kupindukia..
Kufa kuoza..
Na kupenda kupindukia..
Mawazo yangu yote ni juu yako nipokee..
Na macho yangu yote ni kwako usinipotee..
By Once Again the best tz musician rn😂
Hakuna urafiki wa mwanaume na mwanamke hata siku moja na mwanaume siku zote anatengeneza faida ya badae na mwanaume hakuonyeshi mapenz kwa siku moja mnaweza kwenda kwa mda mrefu sana lakin siku moja lazima akule tu
Khadj namuelew cn❤😂😢
Ila Kayla anaongea point sann
Khadij umeongea point
Urafiki wa mwanamme na mwanamk upo nina rafk angu tok utoton till now we have 21 years na hakn alomuonesha mwenzake bad behaviour 😊
Dah najifunza vingi sana
Hajakwambia tu lakin kunasiku utajaa ndo utajua kwamba mwanaume ni fisi
Ndio kabisa
Wa pili 🎉
Upo