SIMBA WAWEKEWA DOLA 500,000 KWA KIBU/ MPANZU WAMELAMBA DUME: MASTER TINDWA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 жов 2024
  • KWA MATANGAZO HABARI NA MATUKIO TUPIGIE
    0625466848 AU 0753393036

КОМЕНТАРІ • 17

  • @AbdulyMkomeny-cf6ss
    @AbdulyMkomeny-cf6ss 2 місяці тому +1

    Mambo ni fire kutoka mitaa ya msimbazi huko ubaya ubwela

  • @NoelaJohn-p5d
    @NoelaJohn-p5d 2 місяці тому +1

    Watuchangish hat sis mashabik tutachang

  • @nasibumsuri4155
    @nasibumsuri4155 2 місяці тому +2

    Tunamtaka mpanzu tupo tayari kuchangia.

  • @RHOIDAKALUKWA-bw4jo
    @RHOIDAKALUKWA-bw4jo 2 місяці тому +1

    Kibu ni tapeli Kanyea Kambi ni mhuni

  • @charleskuyeko4400
    @charleskuyeko4400 2 місяці тому +3

    Watu walikuwa wanawazodoa Simba na kuwacheka kukimbiwa na mchezaji sasa lugha zimeanza kubadilika ati Simba walijua kinachoendelea.😂

  • @patrinraura1397
    @patrinraura1397 2 місяці тому +1

    Simba tuna kikosi tishio Hata bila Kibu. MCHEZAJI tayari ameonyesha hana mapenzi na Simba Busara itumike Auzwe $500000 laki TANU ni hela nzuri kwa Klabu

  • @sijaonamjungufinias481
    @sijaonamjungufinias481 2 місяці тому

    Nguvu Moja,ubaya ubwela

  • @chriskudilla5355
    @chriskudilla5355 2 місяці тому

    Monja Liseki, Shaaban Ramadhani na Alphonse Modest

  • @abdulshah918
    @abdulshah918 2 місяці тому

    Simba baba wa tz utopolo mtoto mdogo

  • @AbisinaRashidi-c8d
    @AbisinaRashidi-c8d 2 місяці тому +1

    Halafu yanga wasenge wanalinga

  • @iddiramadhan
    @iddiramadhan 2 місяці тому

    Ubaya ubwela 🦁🔥💪

  • @JumaLitto
    @JumaLitto 2 місяці тому +1

    Sisi tuwekewe pesa zetu chapu tuchukue mpanzu

  • @KamaliNuni
    @KamaliNuni 2 місяці тому

    Jamaa anajua sana huyu

  • @IssaHirsy
    @IssaHirsy 2 місяці тому

    Ubaya ubwela 🔥

  • @SalvatoryMtunga
    @SalvatoryMtunga 2 місяці тому

    Uchambuzi bora kabia siyo kama zile za akina hawaambiliki.

  • @gabrielnybala2165
    @gabrielnybala2165 2 місяці тому +1

    Simba sio timu ya kuletewa ujinga anayemtaka kibu kuvunja mkataba wake ni billion 2.7 na hatumtaki arudi simba sc atajua hajui😂😂