TAZAMA CHUMBA ANACHOLALA BINTI MSOMI MWANABIBI |NAOMBA MTUJENGEE NYUMBA TUNADHALILIKA |NALALA CHINI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 вер 2024
  • KWA MATANGAZO HABARI NA MATUKIO TUPIGIE
    0625466848 AU 0753393036

КОМЕНТАРІ • 14

  • @upendohalvorsen6331
    @upendohalvorsen6331 11 годин тому +3

    Jamani sina lakusema. Kweli nimejifunza kitu na uzee nilo nao. Mungu akuzidishie uvumilivu.❤

  • @fatmaally7252
    @fatmaally7252 12 годин тому +4

    Mashaallah yupo msafi kweli Mashaallah ❤

  • @KhadijaKhamisi-t1f
    @KhadijaKhamisi-t1f 8 годин тому +2

    Nikweli mwanangu umalidadi huficha umasikini hongera mungu atafanya wepesi wake unapendeza kwakwel 🎉🎉

  • @omanoman2044
    @omanoman2044 9 годин тому +2

    Ooh kumbe alfariki duuh mungu wangu

  • @aishaomary230
    @aishaomary230 4 години тому +1

    KiTu ambacho zahir unaniumizaga na kunikera ni kuwakumbushia watu majonzi ya kuondokewa na watu wao wa karib ambao walishaga sahau

  • @yousifyousif-p7f
    @yousifyousif-p7f 11 годин тому +1

    Mungu ibariki hii familia😢 Hadi machozi yamenitoka🙏maisha magumu sana

  • @omanoman2044
    @omanoman2044 9 годин тому +2

    Kwan huyo msichana mam ake yuko wap wamam jaman msikimbie watt wakike mkawaacha na mzee lam huyu na na haya maisha ni magum san duuh had hurum

  • @mbaganileo4125
    @mbaganileo4125 Годину тому

    She so strong WOMAN

  • @fatmaalnabhani3609
    @fatmaalnabhani3609 13 годин тому +4

    Subhanallah , mungu ana rehma iko siku atafanikiwa inshaallah. Amin 🤲🤲

  • @AdamHamis-s2o
    @AdamHamis-s2o 13 годин тому +1

    Pole sana Dada jitahidi masomo mwenyezi mungu atakufungulia zaidi