PAMBANO KAMILI: HASSAN MWAKINYO vs TSHIBANGU KAYEMBE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 14 сер 2020
  • Mabondia Hassan Mwakinyo (Tanzania) na Tshibangu Kayembe (DRC) wamepambana alfajiri ya Agosti 15, 2020 katika ukumbi wa Mlimani City kuwania ubingwa wa WBF Inter Continental Super Welter.
    Pambano ni mizunguko 12 na limemalizika kwa Mwakinyo kupata ushindi wa pointi kutoka kwa majaji wote watatu.
    Pambano lilikuwa MUBASHARA kupitia #AzamSports2
    Furahia matangazo ya pambano zima tangu kuingia kwa mabondia hao hadi kumalizika kwa mahojiano baada ya pambano.
    Pia unaweza kutazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa:
    ► bit.ly/2wB6zmR
    Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
    ►INSTAGRAM: / azamtvtz
    ►INSTAGRAM: / azamsports2
    ►TWITTER: / azamtvtz
    ►FACEBOOK: / azamtvtz
    ►WEBSITE: www.azamtv.co.tz
  • Спорт

КОМЕНТАРІ • 157

  • @gkash8590
    @gkash8590 4 роки тому +5

    Safii sanaa Mwakyimo yupo vizuri sanaa, kayembe nae kajitahidi. Maoni yangu kwa commentary, jaribuni kushauri pande mbili zote hata kama mwakyimo ni wa kwetu, nikimaanisha katika kutoa ushauri mkitoa, balance pande zote kwa mabondia na mengineyo pia, wacongo na mashabiki wa nchi nyengine mbalimbali wanatizama, muda mwingi ushauri ulikuwa unatolewa kwa mwakinyo afanye nini ili kushinda. Ila audience sio watanzania peke yao, wengine watataka kusikia pia. Kila round kwa kila bondia kuna mazuri mart mabaya yamefanyika na yote ni vizuri yawe wazi.

  • @furahambughi4977
    @furahambughi4977 4 роки тому +10

    Safi sana Mwakinyo!
    Kayembe yuko vizuri, ndio maana alikuwa undefeated kabla ya leo.
    Ila watangazaji wanazidisha upendeleo wa bondia wa nyumbani! Sio vizuri kwenye mechi za kimataifa. Japo hata kwenye mataifa mengine utawakuta commentators kama hawa, na wao huko wanalaumiwa pia, japo ni ngumu pia kutangaza bila mihemko. Hata mimi yawezekana nikashindwa kujizuia. Nyumbani ni nyumbani!
    HONGERA MWAKINYO!!!!

    • @rehemaconeriocostance9011
      @rehemaconeriocostance9011 4 роки тому +2

      Umelion ilo mwenzangu

    • @begaca
      @begaca 3 роки тому +1

      Hassan fundi

    • @abdallahsalawe8771
      @abdallahsalawe8771 2 роки тому

      Hhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhuhhhhhhhhhhhhhhhhuhhhhhhhhhhuhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhuhhhhhhhhhhhhhhhhhuhhhhhhhhhhhuhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhuhuhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhuhhhhhhhhhuhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhuhhhhhhhhhhhhhhhhhuhhuhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhuhhhhhhuhhuhhhuhhuhhhhhhhhhuhhhhuhhhuhhhhuuhuhhhhhhhhhuuuuhhhhhhuhhhhhhhhhhhhhhhhuhhhhhhhhhuhuuuhhhuhhhhhhhhhhhhhhuhuhuhhuhhhhhhuhuuuhuuuhhuhhuhhhhhuuuuuuhuhhuhhuhuhhhuhhhhhuuuhhuhu

    • @abdallahsalawe8771
      @abdallahsalawe8771 2 роки тому

      Huuuuu

    • @user-vr2uj9cn7o
      @user-vr2uj9cn7o 4 місяці тому

      Tanzania muko na habari sana huyu jamaa mwakinyo nimeona pambano zake naeza muita Jina jipya mweather Wa Tanzania coz is next level 💯🤛👊🤝✍️

  • @arseneboss383
    @arseneboss383 4 роки тому +8

    I understand journalists can favor home team , but here it was even more , I think journalists turned out to be fans instead of them doing their jobs, it was all about Mwakinyo this Mwakinyo that , yaani even when Kayembe was doing well than Mwakinyo still Kayembe didn’t get credit and respect he deserved. Kayembe deserved some respect from journalists, which wasn’t the case

  • @ashuramuhammed3257
    @ashuramuhammed3257 2 роки тому +2

    Mm naomba pambano na mwakinyo from Zanzibar mkoa wa kaskazin %

    • @mammam4701
      @mammam4701 2 роки тому

      🤣 🤣 🤣 🤣 Umepata tayt

  • @bruhmelectronicstz5047
    @bruhmelectronicstz5047 4 роки тому +2

    I have been following boxing abroad naona mwakinyo Aki improve

  • @abdulisinga1597
    @abdulisinga1597 4 роки тому +11

    Mimi ni mbongo lakini huyu jamaa yuko vizuri.

    • @magisterialdj7551
      @magisterialdj7551 4 роки тому +1

      Alafu Tena jamaa alikuwa na piga zile sehemu hatari Sana , jamaa Yuko vizuri tuuu!

    • @pauloaseno6467
      @pauloaseno6467 4 роки тому

      Mwemedi ally

  • @georgemadinda8514
    @georgemadinda8514 4 роки тому +3

    Azam nyinyi mnataraji kujipanua zaidi kuwa kimataifa. Mnasikilizwa na kutazamwa nje ya mipaka. msitangaze na kuchambua kishabiki

  • @iddymiraji7183
    @iddymiraji7183 3 роки тому +2

    Kaz nzuri 🤛🤳💪

  • @shadrackzablon5983
    @shadrackzablon5983 2 роки тому +1

    Mwakinyo anani inspire sana sasahv kufwatilia na kuipenda boxing

  • @shaabanramadhan6770
    @shaabanramadhan6770 4 роки тому +5

    Mwakinyo kila day anazidi kubadilika zaidi kingumi

  • @zananabalozi670
    @zananabalozi670 3 роки тому +2

    Still champion in the world

  • @fakihassani3
    @fakihassani3 3 місяці тому

    Hassan yuko sawa sana

  • @chididayo8976
    @chididayo8976 4 роки тому +3

    Fight of the year

  • @bobobiboss8453
    @bobobiboss8453 4 роки тому

    Papa Simon kimbanga 🇨🇩 vraiment Oui

  • @misherymsuya1974
    @misherymsuya1974 4 роки тому +1

    Hongera sana

  • @bobobiboss8453
    @bobobiboss8453 4 роки тому +1

    🥊 12 vraiment Oui

  • @JosephMumuza
    @JosephMumuza 3 місяці тому

    Mnaupendeleo sana ninyi WA shenzi wantanzania sana

  • @jabirihalifaonlinetv4511
    @jabirihalifaonlinetv4511 4 роки тому +2

    Good sana

  • @flova7022
    @flova7022 2 роки тому +1

    Naomba tutoe mpaka ulowekwa na makoloni.. toeni likifaransa ...tuongeee wote kilingala au Kiswahili Kongo na Tanzania wote ni one blood.. na ni ndugu

  • @salumnameno4677
    @salumnameno4677 3 роки тому

    Yes

  • @hassanisemindu1945
    @hassanisemindu1945 4 роки тому +10

    Wachambuzii Mnapendeleaa Bhn kila Mda Mwakinyoo Mwakinyoo Kila Mda Mwakinyoo Anamsoma mala Ampige 2mboo Hv nyieee Mashabikii Auu💉

    • @baidhasuleiman2642
      @baidhasuleiman2642 4 роки тому

      Unataka utwajwe wewe ndie unaepigana roho mbaya tu

    • @zawadhaidary6332
      @zawadhaidary6332 4 роки тому +1

      Roho mbaya tu kuku ww

    • @fatumamwinyi8898
      @fatumamwinyi8898 4 роки тому

      Khaaa xx wamcfie kayembe wanamjulia wap ww vp mcheza kwao hutunzwaa

    • @mwalimukombo2859
      @mwalimukombo2859 4 роки тому

      sio kupendelea na wangekuja na wakongo wakaweka media zao

    • @magisterialdj7551
      @magisterialdj7551 4 роки тому

      @@baidhasuleiman2642 Acha utoto wewe, kazi ya wachambuzi Ni kuchambua kila upande sio kila saa ni mwakinyo tuuu!

  • @amansetembo4672
    @amansetembo4672 4 роки тому +4

    Yaan mwakinyo kuna round ungedevela tu jamaa angekupga K.O ila umekaza aisee we kweli ni shujaa

  • @emmanuelshao7505
    @emmanuelshao7505 4 роки тому +5

    🇹🇿💪💪

  • @MarryThomz
    @MarryThomz 4 місяці тому

    Mwakinyo apigane na ibraa kwanz 😊

  • @aliykuku3552
    @aliykuku3552 3 роки тому

    Hasani kwa uwezo wa mungu atashinda yupo vzuri

  • @fahadfahmy
    @fahadfahmy 4 роки тому +3

    Mchezo huu wa Ngumi Karume aliukataza kule Zanzibar

  • @rahimmaumba5364
    @rahimmaumba5364 4 роки тому +3

    Kwa wanaokataa ushindi wa mwakinyo sio wafatiliaji boxer ,kwa upande wangu mwakinyo kashinda kihalali ila foot steps anahitaji Sana wakati anagadi ..big up mwakinyo ila tafuta pambano ujerumani jina na hela lizidi kua juu,ila aongeze uzito wa ngumu uwe wa ko..big up Sana home boy.. Tanga moja ...

  • @muddyslayo6206
    @muddyslayo6206 3 роки тому

    Noma sana mwakinyo

  • @mukonkoleleymustapha6570
    @mukonkoleleymustapha6570 3 роки тому +2

    pambano nzuri sana, lakini ndugu zangu watangazaji watanzania huu ni mchezo mbona mnaegemea upande moja tuu kwani bondia mtanzania yuko pekeake ulingoni?mjifunze kutangaza boxing kama watangazaji wa inje.

  • @flova7022
    @flova7022 2 роки тому

    Jamni Nani anaujuaa huo wimbo WA kikongo...nimeupenda

  • @maulidiisihaka5242
    @maulidiisihaka5242 4 роки тому +2

    🔥🔥

    • @manoniiganga3552
      @manoniiganga3552 4 роки тому +1

      Tanzania tusipofaata maneno ya watu tunaweza kila idara tuamuen xaxa tunaweza due to the influence of our leadership who supports in different tusks God bless Tanzania

  • @henockmukendi4549
    @henockmukendi4549 Рік тому

    Salut ce bien

  • @lazarojmsele7382
    @lazarojmsele7382 2 роки тому

    Hongera hassan mwakinyo

  • @stevenelias516
    @stevenelias516 3 роки тому

    Safi kabisa mwakinyo

  • @victormwakio7514
    @victormwakio7514 4 роки тому +7

    Mwakinyo should stay to his game plan and keep the jab working, work on defence and unleash some power bomb, congratulations Mwakinyo.

  • @nurdin.mndeme3447
    @nurdin.mndeme3447 2 роки тому

    hassan 🔥

  • @user-mj9de9eu7o
    @user-mj9de9eu7o 8 місяців тому

    Juu

  • @abbasabdalla93
    @abbasabdalla93 4 роки тому +4

    Mdigo upo juu

  • @PascalJames-my2oe
    @PascalJames-my2oe 3 місяці тому

    Ata hazingia, WA represents wa hovyo2

  • @mcnjovu3525
    @mcnjovu3525 4 роки тому +4

    Kwa Mimi ninaejua ngumi na kuzitizama vizuri hakika mwakinyoamepiga ngumi nyingi sana na anajua kuitumia nafasi yake ingawaje kayembe nae kajitahidi sana ila kwa pambano hili kayembe kabanwa na mwakinyo safi sana

  • @begaca
    @begaca 3 роки тому +1

    Nipo

  • @johnsonbugingo6938
    @johnsonbugingo6938 2 роки тому +1

    🙏🇹🇿❤️

  • @bonabonala5559
    @bonabonala5559 Рік тому +1

    Mwakinyo kumbe kunguru boya 2hata mandonga atakuuuaaa

  • @TALLUBOY
    @TALLUBOY 4 роки тому +1

    Kaka hassan safari hi
    UMETUFULAISHA KAKA
    WATANZANIA KAKA
    wew ndiyo boxing mkubwa
    AFRICAN

    • @amranishabani6790
      @amranishabani6790 2 роки тому +1

      Kweli mwakinyo utaftaji wake ameelekeza kwenye ngumi maana anautendea haki mchezo wake

  • @saidhuma9739
    @saidhuma9739 4 роки тому +7

    Mnaomponda mwakinyo hamjui boxer na sio wazalendo, mmetawaliwa na roho mbaya mmetumwa na mabeberu,

    • @emmapaul1766
      @emmapaul1766 3 роки тому +1

      Uzalendo unaujua au umekaririshwa na yule mpumbavu wenu anaejifanya mzalendo wakati hola

    • @saidhuma9739
      @saidhuma9739 3 роки тому

      @@emmapaul1766 tundu lissu

    • @emmapaul1766
      @emmapaul1766 3 роки тому

      @@saidhuma9739 mamako na hawala yako mgombea wenu huko ccm

  • @harunwa2227
    @harunwa2227 4 роки тому +2

    Namkubal mwakinyo

  • @shabanimkavu3404
    @shabanimkavu3404 5 місяців тому

    Huyu mfaume hamnakitu kabisa mnafiki sana

  • @harunwa2227
    @harunwa2227 4 роки тому +1

    Nakuombea mwakinyo

  • @lassansaimon9094
    @lassansaimon9094 2 роки тому

    safisan

  • @tiodaxnever8586
    @tiodaxnever8586 Рік тому

    Mwakinyo noma

  • @lucyandason9336
    @lucyandason9336 Рік тому

    Lini

  • @bonabonala5559
    @bonabonala5559 Рік тому +1

    Wstangazaji mukuye mu kongo mutakufa mapema

  • @bintiiddy7043
    @bintiiddy7043 4 роки тому +2

    Viwatu vifupi vigum. Kamepigwa ngumi nyingi lakin kamevumlia😂😂😁😁🤣🤣

  • @boniphasfesto4325
    @boniphasfesto4325 3 роки тому

    Mwakinyo Mjanja Sana

  • @fakihassani3
    @fakihassani3 3 місяці тому

    Hizi ndio ngumi sio zile vurugu wanazo shangiria wasojua ngumi na kujiona wanafanya la maana

  • @michaelmanyasi9652
    @michaelmanyasi9652 4 роки тому +1

    Jamani naomba maada kujua jina la wimbo walioingilia team ya akina kayembw

    • @arseneboss383
      @arseneboss383 4 роки тому +3

      The name of the song is : SEMBOLA LOBOKO “ Henry Papa M. ft Michel Bakenda

    • @michaelmanyasi9652
      @michaelmanyasi9652 4 роки тому

      Thanks

    • @althomtegah9512
      @althomtegah9512 4 роки тому

      @@arseneboss383 yaan ww mshez ungejua nikawa napata shida kuutafuta naona umenipata jina lake sjui ulijuaje bigup man

    • @manifongotravellar4745
      @manifongotravellar4745 4 роки тому

      Hongera Sana Mwakinyo wenye wivu wajinyonge

  • @emmanueldrc864
    @emmanueldrc864 4 роки тому +2

    Huyu mkongo yupo good sana.

  • @ramadhanindago8322
    @ramadhanindago8322 4 роки тому +1

    Mwakinyo yuko poa sana

  • @fariddimalila581
    @fariddimalila581 4 роки тому +1

    Kusema ukweli ukiachana na utam wa hili pambano,hawa jamaa uingiaji wao ukumbini ulikuwa na hamasa sana kuanzia nyimbo waliyoingia nayo jamaa wapambe wake pamoja na ile spirit ya uimbaji wa national anthem mpaka hamasa kutoka kwa kocha wake tshibangu kwa hilo nmewapa big up lakin yote kwa yote mkongo kaonyesha fight nzur na upinzani mkali lakin mwakinyo kapambana na amestahili ushindi

  • @abdulhakimmwango9370
    @abdulhakimmwango9370 Рік тому

    Tanzania ni nchi ambayo inafursa nyingi na vijana wapo wengi wenye kuhitaji fursa hizi.
    Tukizungumza katika upande wa ngumi Katika fursa ya utangazaji
    Hatuna watangazaji wazuri wa ngumi kwani wanatangaza ngumi kama wanatangaza mpira wa miguu..
    Mtangazaji wa ngumi anapaswa kujua misingi na kanuni kamili za ngumi ili aweze kuwasilisha pambano katika njia ya maneno.
    Tanzania we need to be serious kwani ngumi ni moja ya mchezo wenye pesa na LADHA ya Aina yake.

  • @kasigahamisi354
    @kasigahamisi354 2 роки тому

    🇹🇿

  • @hanifamtimbwiliko9856
    @hanifamtimbwiliko9856 2 роки тому

    Kidunda vs katompa

  • @abbasabdalla93
    @abbasabdalla93 4 роки тому +2

    Mwakinyo fighter

  • @onionpeeling5822
    @onionpeeling5822 4 роки тому +1

    Vocals ya mtoa intro haijashiba kabisa it needs lots of water 💧

  • @unambwenaiman5355
    @unambwenaiman5355 4 роки тому +1

    Duuuuhh

  • @kulwabakali4166
    @kulwabakali4166 4 роки тому +1

    Mtangazaji unazidisha chumvi anapeleka nyingine tena anapeleka nyingine tena mwakinyo seem zingine anapigwa yeye mwakinyo da!

  • @kennyman5868
    @kennyman5868 4 роки тому +1

    Naomba pambano na mwakinyo

  • @ErickiSanga-mm2ko
    @ErickiSanga-mm2ko 3 місяці тому

    Myoke amjuw kutangaza kilamda mwakinyo uyobondia mbona amumtaj

  • @leonardmponzi49
    @leonardmponzi49 4 роки тому +1

    Nimependa burudani yakikongo

  • @aminattai2676
    @aminattai2676 4 роки тому +2

    Mcheza kwao hutunzwa

  • @rozina2161
    @rozina2161 Рік тому

    Sai zile huyu mtanzania amepigwa mangumi hamtangazi mcongo akipigwa ndio mwatangaza muache unafiki

  • @diosdanny7409
    @diosdanny7409 2 роки тому

    hi mechi haikuwa na mbabe Bora irudiwe

  • @ibrahimarmour4711
    @ibrahimarmour4711 3 роки тому

    Waandishi mnaushabiki maandazi bwanaaaa jirekebishine ndio uzolendo kwanza ila mnauzidisha mpk mnabowa

  • @narsanjovu4083
    @narsanjovu4083 3 роки тому

    Nisaidieni jina la wimbo alioingia nao kayembe please

  • @aladinho1352
    @aladinho1352 Рік тому

    Are you understanding guys 😁

  • @pauloaseno6467
    @pauloaseno6467 4 роки тому

    Mwad aly

  • @mandachannel9229
    @mandachannel9229 4 роки тому

    Mwabulamboo

  • @ImaJ4-wh8zn
    @ImaJ4-wh8zn 5 місяців тому

    Mwakinyu hamwez twah

    • @fakihassani3
      @fakihassani3 3 місяці тому

      Hujui ngumi weye twaha ana vurugu sio ngumi kaka

  • @semenitheclassic
    @semenitheclassic 4 роки тому

    Hapa hakuna watangazajiii!!

  • @arseneboss383
    @arseneboss383 4 роки тому

    Were these journalists or fans ? 🤣🤣🤣 journaliste forget that they were here to do journalisms instead being fans

  • @TALLUBOY
    @TALLUBOY 4 роки тому +1

    We we BIG UNAJUA
    KULITANGAZA TANGAZO KAMA
    MBELE DUH ATARI

  • @kulwabakali4166
    @kulwabakali4166 4 роки тому +1

    Wajumbe mbona adi kwenye ngumi mnaongelea upande 1 tu

  • @dazzfex4280
    @dazzfex4280 3 роки тому

    Uyo mfaume mshamba awezi kumzungumzia fundi wa mawe maneno km ayo

  • @josechipa1926
    @josechipa1926 2 роки тому

    mako dinda mako stamina benders chuma mlingot chuma ,,,,,,bay Jose 4G Dom chimbo noly

  • @mussaomary8506
    @mussaomary8506 3 роки тому

    Huu wimbo waitwaje nataka jina lake

  • @narsanjovu4083
    @narsanjovu4083 4 роки тому

    Please naomba mnisaidie jina la wimbo alioingia nao shibangu please

  • @denismsigwa1103
    @denismsigwa1103 3 роки тому

    Mwakinyo ame emrove ila pambano na Tinampay alibebwa

  • @maryflorenceinvestment7532
    @maryflorenceinvestment7532 4 роки тому +1

    Kumbe mm nimemzid mabondia , wte kW umri??

  • @jeanmusamba8448
    @jeanmusamba8448 2 роки тому

    wakongo Mungu kawabariki sana,na nimekaa kwenu watu wazuri sana na wenye akili sana,toeni kifaransa katika wimbo wenu wa taifaa,wekeni kiswahili au lingara.Kifaranza lugha ya wa beleje walioua wazee wenu.Achaneni na lugha za wakoloni.Kiswahili yenu ya kabambe sana acheni francee

  • @fadhilbutu3305
    @fadhilbutu3305 10 місяців тому

    Mwakinyo hunabaya wapo wanaokuchukia kwa mafanikio yako pambana dogo langu

  • @Cwtysadah
    @Cwtysadah 4 роки тому +1

    Mapinduzi makubwa kwenye boxing

  • @geraldsanzala8119
    @geraldsanzala8119 3 роки тому

    Dada kawaita mabondia do you understand you gays? Nadhani sababu ya mkongo kujichubua teh teh

  • @shabanimkavu3404
    @shabanimkavu3404 5 місяців тому

    Mtamuokota chini huyo kayembe hamna kitu

  • @matatasaid733
    @matatasaid733 4 роки тому

    Wachambuzi waongo kaaeni kimya nyie uwoga uwoga kaen kimnya mnaboa

  • @kulwamohammed8746
    @kulwamohammed8746 4 роки тому

    Tanga tunatisha sana

  • @rogerscarlos9230
    @rogerscarlos9230 4 роки тому

    Anayejua jina la song aliloingia nalo mkongo tafadhal anisaidie

  • @bobobiboss8453
    @bobobiboss8453 4 роки тому

    🥊 15 afin

  • @bonabonala5559
    @bonabonala5559 Рік тому +1

    Mimtz napenda mwakinyo apigwe ndio furaha yangu anawaogopaga mpaka kiduku na mwanangu was faida mtukazi mandonga

  • @upendosamson4952
    @upendosamson4952 3 роки тому

    Jaman..naombeni mnisaidie jina la sebene..linalopigwa..wakati shibango kayembe anaingia...ulingon..plz..naomben..

  • @julietjackson93
    @julietjackson93 4 роки тому

    watangazaji acheni upendeleo kila saa mwakinyo