MWAKINYO ALIVYO MCHANA HARMONIZE // NITAKUPIGA KAMA MBWA KOKO // TAZAMA HAPA....

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 9 тра 2024

КОМЕНТАРІ • 137

  • @Pachomuhamed
    @Pachomuhamed 11 днів тому

    Nakukubalisana champion brother mwakinyo mmungu akuzidishie hekma kwakweli wewe nimfano wakuigwa binafsi nakukubali sana

  • @kebbymwalimu
    @kebbymwalimu Місяць тому +4

    Hakika usemayo mwanangu,mpige umchakaze ili akome kuchezea, Mwakinyo 🤲🙏🙏🙏😇😇😇😇

  • @user-qu1dz2ed1b
    @user-qu1dz2ed1b Місяць тому +2

    Hassani mwakinye wewe ni noma 😮😮😮😮

  • @mirajikawimba8648
    @mirajikawimba8648 Місяць тому +4

    Mwakinyoo uyo mtt.akijipendekezaa tuu maliza kz.moja .minyama inamdanganyaa

  • @LWAGATv
    @LWAGATv 14 днів тому +1

    Nice

  • @eduardomala150
    @eduardomala150 Місяць тому +3

    Dunia imefikia pabaya! Iweje mwana masumbwi apigane na mwana muziki?
    Haswa, sisi wanamme tuna nini? Mimi ni raia wa Msumbiji, nampenda sana Konde boy kutokana na kazi zake mzuri anazozifanya kwenye mziki , lakini kwa jambo hili yeye anaonekana wazi kwamba amekosea, na anaendelea kukosea. Kama kuna demu ambaye wawili hao walikutana, basi wayamalize, kwani sisi wanamme ni jambo ambalo hutokea kila siku, lakini tunapotezea, kwa sababu, kila siku wanazaliwa warembo wengi.

  • @user-ii6sp2nn1m
    @user-ii6sp2nn1m Місяць тому +5

    Shida ako mwakinyo unamaneno mengi sana ya kiswahili mpaka unaboa

    • @user-ih7nl5nv3c
      @user-ih7nl5nv3c Місяць тому

      Iyo ndio sanaa mzee lazma awe na maneno ili awape chachu wapinzani wake

  • @paskalmaganga9225
    @paskalmaganga9225 Місяць тому +1

    Uko sawa sana Me nakuelewa vizuri

  • @BwindomanenoJulius
    @BwindomanenoJulius Місяць тому +3

    Acha na kuma harmo uyo ni msenge

  • @user-wg7yw6bb2g
    @user-wg7yw6bb2g Місяць тому +1

    ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉 mwambie kabix haache domo

  • @MwanaishaKilesho
    @MwanaishaKilesho Місяць тому +1

    Nakukubali kaka mungu atakupa nguvu

  • @chrisbulugu577
    @chrisbulugu577 29 днів тому +2

    Hahahaha😂 Usiweeee

  • @paskalmaganga9225
    @paskalmaganga9225 Місяць тому +1

    Ndio tena akijileta hakikisha iwe mwisho kabisa huruma weka pembeni💪🏻💪🏻💪🏻

  • @AbediAlute-rg8lb
    @AbediAlute-rg8lb Місяць тому +1

    ❤Bwana ee nenda. kaawue huyo ni mtoto mmakonde tuu

  • @ZuhuraYahaya-kf1fs
    @ZuhuraYahaya-kf1fs Місяць тому +2

    Jamani we kanyaga tu

  • @DavidMwanyika
    @DavidMwanyika Місяць тому +1

    Kwa hamonaiz kumpiga mwakinyo hyo ndoto

  • @KhalfiniHemed
    @KhalfiniHemed Місяць тому +1

    Nakubali san kaka mwakinyo katika washabiki wako na me ni mshabiki wako nikisema namba mmoja nitakosea ila naweza kusema kwenye washabiki wako kumi bora na me nimo

  • @user-fx2wq2yx5r
    @user-fx2wq2yx5r Місяць тому +1

    Mwakinyoo mbona maneno mengi unaogopa nini konde kasema akuogopi we kinukishe unaongeza sana

  • @user-is1mp7cc7c
    @user-is1mp7cc7c Місяць тому +1

    Hakika sijawahi ona kijana mukarimu na mwenye Hekima kwa kizazi chetu cha Leo kama wewe jemaa, nakukubali zaidi

  • @zachariakishiwa4154
    @zachariakishiwa4154 Місяць тому +1

    Kweli mwamba uyo nyandundo akipendekeza mpelekee moto akome😅😅😅😅😅😅

  • @DaudiSaid-bj7dh
    @DaudiSaid-bj7dh Місяць тому +1

    Kaka not too late kula kiboga kile mtoto mzuri yule na kipini chake puani na kiuno ndo usiseme. Acha kuremba kula kitu kakaaaaaaaaa

  • @elizabetty-rt7py
    @elizabetty-rt7py Місяць тому +2

    Pole baba huyu msanii hamo anatuta pakufia

  • @Hamisi-on7xl
    @Hamisi-on7xl Місяць тому +1

    Konde acha tamaa kaziyako mzik,siyo ngumi utachapwa

  • @user-jq9rj4dm5u
    @user-jq9rj4dm5u Місяць тому +2

    Mwakinyo🐐💯

  • @AbdiMohammed-gm3ik
    @AbdiMohammed-gm3ik Місяць тому +2

    Wewe angalia mchezo wenye umuhimu kwako

  • @Hamisi-on7xl
    @Hamisi-on7xl Місяць тому +1

    Mwakinyo mama Yako kasema kampe heshima Yako,👊

  • @saidmikota4138
    @saidmikota4138 Місяць тому +1

    No...no ..no ...mwakingo mdogo wangu Mimi NI shabiki wako lkn Kwa hili sikuungi mkono,,,,,utapiganaje na bishoo WA mziki?

  • @ChimmeJulius
    @ChimmeJulius Місяць тому +2

    Oooh kila mtu afanye kazi yake acheni kik

  • @SAIDRAMADHANSALUM
    @SAIDRAMADHANSALUM 29 днів тому +1

    Acha zarau ww mwakinyo utakujaa utakuja umiee

  • @modrikabdallah
    @modrikabdallah Місяць тому +1

    MWAKINYO hamonarzi mpige aijui tanga vzuri,

  • @ChigaBoy-dw8zc
    @ChigaBoy-dw8zc Місяць тому +1

    Mnajiaadaa sana na hii dunia mbona ulaya hawako hivi dula nani na ww nani

  • @ChigaBoy-dw8zc
    @ChigaBoy-dw8zc Місяць тому +2

    Mbona wengine wanakupiga

  • @BakariHamisi-ke6zv
    @BakariHamisi-ke6zv Місяць тому +1

    Ndugu yangu Mimi ninacho kwambia uyoamonahizi achana nae wewe nakuomba kwamungu fanya yako naakizingua zahidi pija bundugo Moja hili awe mareemu kabisa Kila laeri kwenye kazi yako

  • @francismajiji
    @francismajiji Місяць тому +2

    Nitakupiga Sio kauli ya kumwambia mwanaume,mbona tunakuona maneno mengi vitendo hakuna , halafu wakijitokeza kina harmonise ndio unawapania vipi kina mfaume kina twaha visingizio kibao . Tumekuzoea Bondia maneno mengi, kwenda zako

  • @AbdiMohammed-gm3ik
    @AbdiMohammed-gm3ik Місяць тому +1

    Iyo kawaida mti wenye matunda ndo wenye kupigwa mawe la muhimu angalia ilokukabili kawaida kuna mbinu nyingi zakutolewa mchezoni hili chepesi li

  • @user-bg5ky2dj1i
    @user-bg5ky2dj1i Місяць тому +1

    Boya huyo hatukati viuno apigane nakajala❤ 3:52

  • @AmusedForestBridge-zo6ox
    @AmusedForestBridge-zo6ox Місяць тому +2

    Yao Yao atakupigia weww

  • @user-wr5kl7em4m
    @user-wr5kl7em4m Місяць тому +2

    Twaha alihitaji pambano na mbona ni tofauti na jbu

  • @RahimHassan-bh3mm
    @RahimHassan-bh3mm Місяць тому +2

    Huyu chinga inatakiwa anyooshwe ili aache zarau kama mziki umemshinda akalime korosho

  • @allygoodboytzsdoneintanzan3970
    @allygoodboytzsdoneintanzan3970 Місяць тому +1

    good 👍 speeches

  • @MeshackKaboja
    @MeshackKaboja Місяць тому +1

    We nae kawaida sana sijawahi on Natali yoyote nimanenotuu

  • @neemaray4264
    @neemaray4264 Місяць тому +1

    daa niaibu Sana watu tumekesha kwajili yako afu mechi amuna tumeumia sana

  • @leylaruhabaye9017
    @leylaruhabaye9017 Місяць тому +1

    Nenda ukampige hana adabu mana hata.aliyemuumba hamuheshimu aliyemtowa nanjilinji hamuheshimu

  • @ChenchiKing
    @ChenchiKing Місяць тому +4

    Eeeh Na Wew Wacha Kutisha Watu Bana😂😂😂

  • @rajabually8894
    @rajabually8894 Місяць тому +2

    Wewe unaesema mwakinyo
    Anaogopesha watu ingia ulingoni tukuone unamtetea msemge njoo ww

  • @denisishengoma4157
    @denisishengoma4157 Місяць тому +1

    Piga uyo mbwa

  • @bigemagomabigemagoma6312
    @bigemagomabigemagoma6312 Місяць тому +1

    Achana nae huyo mmakonde mshamba tu

  • @SaimonMrema
    @SaimonMrema Місяць тому +1

    Mwakinyo hakikisha unampa kua kabisa iwefundisho kwahuyo fala wakimakonde

  • @hassanMohammedi
    @hassanMohammedi Місяць тому +3

    Kumpiga harmonize sio kipimo chako mpige kwanza kiduku alafu ndo uweke onyo we muoga

    • @DaudiSaid-bj7dh
      @DaudiSaid-bj7dh Місяць тому

      Shule muhim sana. Kiduku ni professional na ni biashara kwahiyo maslahi kwanza. Huyu mkata viuno ni adabu na contents so lazima afundishwe jinsi ya kuheshim kazi za watu. So kuweni waelewa.

    • @awadhsalim2680
      @awadhsalim2680 Місяць тому

      Kiduku mpiganaji ww? Mtu analenga ngumi ata haangalie yule anatumia nguvu na mipresha tu.

    • @rajabually8894
      @rajabually8894 Місяць тому

      Sasa huyo kiduku ana kipi nayeye unaemuonea Gere anan? Kiduku aweke pesa kama huyu chinga tupigane nae na sio yeye tu aje nawewe tuone kama mwapona nyie?

  • @user-ck4zl2vl2v
    @user-ck4zl2vl2v Місяць тому +1

    Mwakinyo mchakaze huyo ashindwe hata kula, akizindukie kcu,

  • @Kuminamoja1995
    @Kuminamoja1995 Місяць тому +3

    Punguza jazba na mdomo utafika mbali dogo

  • @adamkapolo8817
    @adamkapolo8817 Місяць тому +1

    Mmakonde msenge sana huyu dogo acha akafirwe

  • @awadhsalim2680
    @awadhsalim2680 Місяць тому +1

    Roho zisikuumeni saana. Kwan kumpa Hassan haki yake ya kuwa yy kwa africa ndio no one kinakuumizeni na kukupunguzieni nn jamani ???

  • @Peterjoram246
    @Peterjoram246 Місяць тому +1

    Kaka mwakinyo usihof harmo ni msenge

  • @KihangoIsmail-qn2uh
    @KihangoIsmail-qn2uh Місяць тому +1

    Watanzania wenzangu acheni kushangilia mambo ya kipuuzi ngumi na chuma ni vitu viwili tofauti kwa wabe a vyuma wengi wao uwa wanaishia kupigwa na mabondia tena kiulaiiini

  • @ibrahking14
    @ibrahking14 Місяць тому +2

    Ukonaogeya nini wewe utawezana na harmonize wemtoto hahaha kkkk

  • @mnubiabdallah7419
    @mnubiabdallah7419 Місяць тому +1

    HASSAN bila kumpiga huyo shoga atakusummbua sana dawa ni kumtandika tu

  • @albertjosephat3106
    @albertjosephat3106 Місяць тому +2

    Na mm n muuza kuku nitakupgia nataka pambano na mwakinyo

  • @DegeFogasta
    @DegeFogasta Місяць тому +1

    Duu Yaani Kama una elimi na maarifa utakuwa mjinga wa kiasi Gani unavyojibu unakubali kupigana na mtu ambaye fani yake ni muziki ,mmakonde kataka hawasibitishie washabiki wako Kama unamuogopa twaha kiduku na wenye hakili watakubali sasa kaka wewe ni muhoga na usisunutu kupigana nae twaha itakuwa ndio meisho wako wa kuacha ngumi mmakonde hanakuzihaki tu na wangekupiga mabaunsa wake bahati yako mkim ie hivyo hivyo twaha Yuko tayali kupigana hata bule ongea na tangaza Kama unavyotangaza kwa mmakonde nazaniwanamasumbwi wote watafanya sherehe ya kukukaribisha katika ulimwengu wa kuzalilika muhoga mkibwa mmakonde kakupima tu na umeshaingia kingi unamuogopa kiduku chao,, ni jaguar fogastar

  • @saidmikota4138
    @saidmikota4138 Місяць тому +1

    Kwanini kina mfaume na kiduku hukusema uko tayari,,,,wacha hiyo kitu,,,,Leo harmonize ,,,kesho akija Diamond je?..... Kina kiduku level NI tofauti,,,sasa Harmonize ndo uko sawa nae?

  • @shabanisaidi8666
    @shabanisaidi8666 Місяць тому +2

    Mwaikinyo achavitisho

  • @AboubakarKizinge
    @AboubakarKizinge Місяць тому +1

    Achana nae mtoto mdog ajui chochot

  • @KhalfiniHemed
    @KhalfiniHemed Місяць тому +1

    Mwakiyoo msamhe tu huyo mtto tunatakuwa kudili na mabundia wakubwa wenye rikoti kubwa ili tudhi kufika mbali dhaidi kidunia man Tanzania tumemalidha wee ndo mfalme wa ngumi

  • @geraldngangawangari863
    @geraldngangawangari863 Місяць тому +1

    😂😂😂😂😂mtu wakujigamba hajui kitu

  • @AbdiMohammed-gm3ik
    @AbdiMohammed-gm3ik Місяць тому +1

    Lisikuumize kichwa likifika time yake utalishuhulikia my name Abdinho in zanzibar

  • @benjaminpaulo2706
    @benjaminpaulo2706 Місяць тому +1

    Amechanganyikiwa na hela alizonazo

  • @DanKahangu
    @DanKahangu Місяць тому +2

    Utapigwa vibaya na Jeshi wewe atcha maneno mengi

  • @user-uc7eo3wp9o
    @user-uc7eo3wp9o Місяць тому

    Harmo,anamtania tu mwakinyo jamani....

  • @KhayruAli-jl6dq
    @KhayruAli-jl6dq Місяць тому +1

    Nipigie mtu mwakinyo

  • @dannypeter4951
    @dannypeter4951 Місяць тому +1

    Hassan hyo jamaa aje rasmi ulingoni alafu ajue Kuna ngumi na Kuna music tofauti ijulikane

  • @daslamonline4665
    @daslamonline4665 Місяць тому +1

    Mmakonde anatafuta nini

  • @cosmasluwanja7394
    @cosmasluwanja7394 Місяць тому +1

    Tufanye ivi kabla ya hilo pambano na Mghana pigana na mmakonde maana ameomba Dak 2 tuu

  • @ChigaBoy-dw8zc
    @ChigaBoy-dw8zc Місяць тому +1

    Unafiki huo

  • @emmanuelcharles4600
    @emmanuelcharles4600 Місяць тому +1

    Siku ikifika Usimlegezee Uzi twanga Kabisa

  • @fredyjeremia7074
    @fredyjeremia7074 Місяць тому +1

    Oi hatutaki story nyingi, SI tunataka vitendo(wanaume).SI kataka yeye??

  • @BarackChacha-ju6sh
    @BarackChacha-ju6sh Місяць тому +1

    Mm niko nacheki nani hatar usisahau Lisa Cha goriati na daud

  • @zachariakishiwa4154
    @zachariakishiwa4154 Місяць тому +1

    Chimanogo 😅😅😅😅😅😅😅

  • @magneticofficialtz
    @magneticofficialtz Місяць тому +1

    We mpige umng'oe pua awe anapumulia macho😂😂

  • @user-bg5ky2dj1i
    @user-bg5ky2dj1i Місяць тому +1

    Ngumi sio mapenzi zijfiche aje aone

  • @DaudiSaid-bj7dh
    @DaudiSaid-bj7dh Місяць тому +1

    Mtoto sio riziki yule hata wazazi pia wamemshindwa sasa hii ni fursa nzuri ya kupambania jihadi piga ua kabisa mzee wala huna haja kufata sheria za ngumi chakaza kabisa ngoma ife kibudu tukaitupilie mbali maana anaharibu kizazi tu. Mwakinyo tuko nyuma piga mzee

  • @khalifasaidi7001
    @khalifasaidi7001 Місяць тому +1

    Watabiri wa kikristo walitabiri mwanamuziki mkubwa wa Tanzania 🇹🇿 ataanguka na kufa hii ndicho kinakwenda kutokea,,,na wale wachungaji walisema matuwake wa karibu ndo sababu,,,ding'ano kazi kwako tutakulilia wewe

  • @mrsinia3064
    @mrsinia3064 Місяць тому +1

    Utakuja kupigwa uuliwe vibaya wewe 😂😂😂

  • @Omary-ee7my
    @Omary-ee7my Місяць тому +1

    Bro wewe kapige Koo tu Ili umulie ofic inayo fanya aende chooni

  • @feisalakbar4759
    @feisalakbar4759 Місяць тому +1

    Oya bro ndindo lini bro

  • @abediWakati
    @abediWakati Місяць тому +2

    Uongo Toka matako

  • @user-bg5ky2dj1i
    @user-bg5ky2dj1i Місяць тому +1

    Achana nahuyo anayetaka kujionyesha kwa watu

  • @OmarMsabah
    @OmarMsabah Місяць тому +1

    konde anatafuta kifo

  • @user-wr5kl7em4m
    @user-wr5kl7em4m Місяць тому +2

    Pigana twaha ng'ombe we

  • @husseinmgoo3074
    @husseinmgoo3074 Місяць тому +1

    Pw

  • @ngurukitv4584
    @ngurukitv4584 Місяць тому +3

    Good job bro follow back God bless you ❤❤❤❤❤❤

  • @user-wb7ey8zd9c
    @user-wb7ey8zd9c Місяць тому +3

    Mwakinyo uwaa

  • @user-sl7lc2ns7c
    @user-sl7lc2ns7c Місяць тому

    Wewe mtwange huyo mmakonde ashike adabu piga hiyo puwa yake imekaa kama taa za pijoti

  • @SEIFKIMAMBI
    @SEIFKIMAMBI 28 днів тому +2

    Hasan mdogowangu achana navichaa wewe nimtumkubwa na ulichokionesha ndio ustaa ulio elimika atakiduku usikubali kupigananae uyo nimshambatu nakukuli sana

  • @user-cj6fi4gy5f
    @user-cj6fi4gy5f Місяць тому +9

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 wewe wakumpiga mudi utakufa ww kwa mudi . Sasa nikuulize kitu kimoja aliye anza kulukiya mwenzake ninani kama siyo wewe kutoka ulingoni wamazowezi na kumrukia ww acha upuuzi mandevu panya 😂😂😂😂

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 Місяць тому +1

    Yaani wewe unajifananisha na ibada? Dah,,,

  • @CKMO
    @CKMO Місяць тому +6

    Bwana wachakutisha watu wewe

  • @user-gj2mq5hp3s
    @user-gj2mq5hp3s Місяць тому +1

    Mimi nataka umpinge mpka ashindwe kuamuka waandae sada Ty

  • @ashuramuhammed3257
    @ashuramuhammed3257 Місяць тому +2

    Mm shabiki Ako lakini unatarabu nyingi Sana ule mpaka piko pambano limeendaje hemu tuonyeshe uwakate mdomo wanao kufuja

  • @ISSAKighanga-yc8dn
    @ISSAKighanga-yc8dn Місяць тому +3

    Eti nilikuwa nauwezo wakupigananao 😂😂😂 mbele ya mud mnyama hutoboi hatakidogo😳

    • @KasichanaKaingu-wx7kr
      @KasichanaKaingu-wx7kr Місяць тому +1

      mudy mnyama.hawamuez huyu anaujuz wakupigana na watu kumi xx mudy n ile minyama hmna kitu we unamchezo hyu jamaa n tikondoo n karateka tna n boxng we.wacha

    • @priscamrekoni3451
      @priscamrekoni3451 Місяць тому +1

      ​@@KasichanaKaingu-wx7kr😬😬😬😬😬😬

  • @jogoomohamed2652
    @jogoomohamed2652 Місяць тому +2

    Acha kuongea napia kudhalau kabila.Ww chukua hatua kama mwanaume acha taharabu