Huyu Mtumishi ni nothing but MOTO FIRE 🔥💥💥💥kombora kombora la yesu kristo! Umeteuliwa kwa nyakati kama huu for the glory of God! Asante Mungu wetu hatuna sababu yakuenda Jehanamu tena!! Yesu kristo mwana wa Mungu kupitia huyu Mtumishi wa bwana amempasau wazi shetani na hila zake zote!! Asante Jesu kristo kwa upendo wako mkuu kwetu. Be blessed!!!
Asante sana mungu kwa mtumish wako Amiel kuputia kwake nimefunuliwa mambo ambayo sikuwa nimefunuliwa naamini kila laana kinyume na maisha yangu itapigwa na nguvu za moto wa yesu christo for sure it's a powerful revelation be blessed man of God Amen
Nashukuru sana jack tana na mtumishi amiel kwa somo zuri nazidi kupata maarifa; lakini wapendwa mkipata nafasi sikiliza masomo haya kutoka kwa josephati gwajima( jitu la mbinguni) √akili iliyologwa. √ koo tata √ laana ya familia √ kesho iliyopiga kona √ vifuniko vya kichawi √ viapo vya kichawi √ kalenda za kichawi √faida za kufunga na kuomba √ viwanda vya uharibifu √ haikuwa hivi tangu mwanzo √kwanini ukawagusa masihi wa BWANA
Amen balikiwa sana mtumishi wa MUNGU balikiwa sana kaka Jacktan Kwa kazi kubwa tunabalikiwa Tunajifunza na kuinuka kiimani kupitia promover tv MUNGU azidi kukuinua na kukupa hitaji la moyo wako mtumishi
Bwana YESU asifiwe.. Mutumishi jacktan Musafiri aksanti sana ❤️... Mutumishi Amiel Mungu akupe nguvu ya kutu fundisha tena..na tena..💃ndjo iyi ina itwa tshakula ya maana..ina djenga kweli.. Aksanti ❤️na wapenda sana💃💃
Amen Amen Amen Mungu azidi kukuweka kweli kwa aajili ya wengi hatukua tunajua ila siri yakufungwa na aina hizo za laana imefichuliwa na shetanibkweli hana chakwake tena ila YESUUUUU ametupokea tulio wake Mungu atusaidie sana kuishinda dhambi kweli mubarikiwe sana watumishi wa Mungu mr Jacktan promover tv na mtumishi Amieli Kitekela kweli mi mkenya hehee laana yaukabila inatusmbua I say hnaenda mahali kuomba kazi unakosa kisa kabila lako tu waah vile vile naweza sema wa afrika tunakataliwa haswa nchi ya ugenini kisa sisi waafrika lakini naamini siri tumeigundua nikuivunja kwa Jina la Yesu na tutakua huru hatutaomba kazi tukataliwe kwa Jina kuu La Yesu lipitalo majina yote
Promover TV nawapeni hongera kwa kazi mnayoifanya,,ila nami nina jambo lizito sana limeumiza moyo wangu na ningetaka kuli share maana mimi ni Mchungaji na ninaamini wapo wachungaji wengi wanapitia kama hivi nlivyopitia.naombeni mnipe nafasi nami niongee na dunia yote.sitaki kuyataja hapa kwa message ila nkipewa nafasi kwa promover TV ntamimina moyo wangu ili vijana wengi wasaidike..
Asante sana mtumishi wa Mungu Mungu akubariki sana, somo zuri sana tutaendelea kuomba na kuvunja laana zote mpaka kieleweke katika jina la Yesu Kristo na kwa Damu yake.
Kwa damu ya Yesu naomba rehema na msamaha juu ya mababa walio tangulia ni kweli walifanya dhambi lakini Yesu Mimi naomba msamaha baba unisikie kabisa, - sasa nakuja kuwapasua kila wasimamizi wakike wakiume wanaosimamia mateso ya familia kwa jina la Yesu,nawachana chana chana achia akili,achia utashi achia,taifa achia kabila achia koo,achia taifa ,achia watumishi,achia vijana,achia nawapasua mabondeni nawapasua milimani nawapasua mjini nawapasua mitoni nawapasua njia panda nawapasua hospitalini,nawapasua achia mikono achia miguu achia macho na masikio naongea na kuzimu natuma malaika mwenye upanga wa moto wawapasue katika jina la Yesu hakika hamtaniweza
Ndio sababu wakristo wengi wanaishi kwa Shida wakihama makanisa kwa kukimbilia upako!! hakuna suluhisho huko suala ni kutambua nna ya kupambana vita hii!!
Sababu 3 za laana 1)Matokeo au matunda ya dhambi Za binadamu 2)Mateso Kwa familia, jamii, ukoo ambayo kianzilishi ni mtu mmoja aliyetenda jambo fulani 3)Agano katikati ya shetani na malaika zake kummiliki mtu ili kumpotezea mafanikio Aina 7 za laana 1)Laana Za ukoo-=Kiini ni mababu 2)Laana ya kabila= Asili fulani itesayo kabila 3)Laana za ardhi=Hatia inayokabidhi watu wengi ikisababishwa na nguvu za kafara ya damu iliyomwagwa ardhini 4)Laana ya nchi= Maagano yanayofungwa nchini kama mkataba utakayounda tabia ya nchi usika, mktaba unaunda uchifu, utemi uitwao sa..nist na satanisti na kutolewa kafara ya nguvu ya kisatanisti . Hii laana uondoa amani na mafanikio ya nchi. 5)Laana binafsi= Mateso inayompata Mtu Kutokana na hatia aliyosababisha yeye mwenyewe 6)Laana ya taorati =Mateso inayojidhirisha mbele zako kutokana na dhambi ulizifanya kitambo labda kabla hata hujaokoa, zinaletwa kwako kuzuia connection na baraka zako 7)Laana isiyo na sababu= Mateso unayofungiwa kutokana na: (a) Udhaifu wako katika nguvu na mamlaka ya imani . Udhaifu ni kutokujitambua wewe ni nani na unafanya nini (b) Mateso unayofungiwa kutokana na mafanikio yako unayoyapata Ili Kushinda hizi roho ukishazitambua ishi kimyume.. Asanteni Jacktan na Amieli.. Tueleze pia ulizitumiaje hizi laana haswa kwa kuwadhuru walokole..
@@myself4128 Amiel alieleza kwamba wanatafuta dhambi gani ilikufunga zamani, ukiomba wanakukumbusha sasa badala ya kuendelea maombi unaanza kutubu tena, naona hii ni ile kimombo wanaita "guilt". Tusisahau pia Daudi akiomba akisema "usiniesabie dhambi za ujana wangu" Pia ni rahisi waangushe Mtu Kwa dhambi ya kale kama vile akiekuwa Kahaba wanamtia hali ya vikwazo arudi kwa usherati na ukahaba na kumnasa tena... Labda jacktan na Amiel wanaeza fafanua zaidi..
Mr Jactan nilifstilia story ya misikule vipi nikiomba mchungaji alete ibada kwetu siku moja je babangu kama alivhukuliwa msikule anaweza rudi aki mi bado nahisi babangu yuko nimekutana na ushuhuda mwingine pale kuwa mtoto alikufa akiwa darasa la pili na anapatikana miezi miwili iliyopita baada ya miaka 15 waah nisaidieni kuomba
Mara mafutaara wakimbilie chumvi ni shida tuu kama wapagani! Akisikia Mganga kafungua kanisa anajiunga mara nabii mara mtume yaani wanafuata upepo tuuu
Pia mimi jameni nimejaribu kufuatiliA Mtumishi kwa WhatsApp ila sikupata majibu..niliambiwa yupo geita naomba kujua geita ipo pale arusha kabla ufike mianzini ama ni vpi, kwa kweli na muhitaji mno huyu Mchungaji.
@@pastorpraisehappiness2157 Ooh pole sana Praise kwa kutojua ramani ya Tanzania. Yaani distance ya Arusha na Geita ni kama labda Mombasa na Kisumu. Geita ipo south west ya Lake Victoria.
Asante sana mtumishi wa Mungu Mungu akubariki sana, somo zuri sana tutaendelea kuomba na kuvunja laana zote mpaka kieleweke katika jina la Yesu Kristo na kwa Damu yake.
Huyu Mtumishi ni nothing but MOTO FIRE 🔥💥💥💥kombora kombora la yesu kristo! Umeteuliwa kwa nyakati kama huu for the glory of God! Asante Mungu wetu hatuna sababu yakuenda Jehanamu tena!! Yesu kristo mwana wa Mungu kupitia huyu Mtumishi wa bwana amempasau wazi shetani na hila zake zote!! Asante Jesu kristo kwa upendo wako mkuu kwetu. Be blessed!!!
Asante sana mungu kwa mtumish wako Amiel kuputia kwake nimefunuliwa mambo ambayo sikuwa nimefunuliwa naamini kila laana kinyume na maisha yangu itapigwa na nguvu za moto wa yesu christo for sure it's a powerful revelation be blessed man of God Amen
Nashukuru sana jack tana na mtumishi amiel kwa somo zuri nazidi kupata maarifa; lakini wapendwa mkipata nafasi sikiliza masomo haya kutoka kwa josephati gwajima( jitu la mbinguni)
√akili iliyologwa.
√ koo tata
√ laana ya familia
√ kesho iliyopiga kona
√ vifuniko vya kichawi
√ viapo vya kichawi
√ kalenda za kichawi
√faida za kufunga na kuomba
√ viwanda vya uharibifu
√ haikuwa hivi tangu mwanzo
√kwanini ukawagusa masihi wa BWANA
Amen balikiwa sana mtumishi wa MUNGU balikiwa sana kaka Jacktan Kwa kazi kubwa tunabalikiwa Tunajifunza na kuinuka kiimani kupitia promover tv MUNGU azidi kukuinua na kukupa hitaji la moyo wako mtumishi
Ameeen
Bwana YESU asifiwe.. Mutumishi jacktan Musafiri aksanti sana ❤️... Mutumishi Amiel Mungu akupe nguvu ya kutu fundisha tena..na tena..💃ndjo iyi ina itwa tshakula ya maana..ina djenga kweli.. Aksanti ❤️na wapenda sana💃💃
Amen,asante pia
Hakika nimebarikiwa sana kwa ufafanuzi huu wa aina 7 za laana. Ubarikiwr Mtumishi wa MUNGU. Amen.
We have been waiting,for this,most Christians don't know this.
Amen Amen Amen Mungu azidi kukuweka kweli kwa aajili ya wengi hatukua tunajua ila siri yakufungwa na aina hizo za laana imefichuliwa na shetanibkweli hana chakwake tena ila YESUUUUU ametupokea tulio wake Mungu atusaidie sana kuishinda dhambi kweli mubarikiwe sana watumishi wa Mungu mr Jacktan promover tv na mtumishi Amieli Kitekela kweli mi mkenya hehee laana yaukabila inatusmbua I say hnaenda mahali kuomba kazi unakosa kisa kabila lako tu waah vile vile naweza sema wa afrika tunakataliwa haswa nchi ya ugenini kisa sisi waafrika lakini naamini siri tumeigundua nikuivunja kwa Jina la Yesu na tutakua huru hatutaomba kazi tukataliwe kwa Jina kuu La Yesu lipitalo majina yote
Pokea Salamu Dada
Mungu akubaliki sana mtumishi wa mungu hakika hili litatuweka sawa kujua nini maana ya laana
Ameni....barikiwa sana mtumishi wa Mungu kwa kazi kubwaa hii....hakika ni mafundisho ya kutufunua fikra na kujenga imani kubwa ktk Yesu Kristo.Amen
Yesu wa Galilaya atuondolee laana
Promover TV nawapeni hongera kwa kazi mnayoifanya,,ila nami nina jambo lizito sana limeumiza moyo wangu na ningetaka kuli share maana mimi ni Mchungaji na ninaamini wapo wachungaji wengi wanapitia kama hivi nlivyopitia.naombeni mnipe nafasi nami niongee na dunia yote.sitaki kuyataja hapa kwa message ila nkipewa nafasi kwa promover TV ntamimina moyo wangu ili vijana wengi wasaidike..
Katibu sana, tuwasiliane tu
@@PromovertvTz Ahsante ntawasiliana nanyi hivi karibuni..
Barikiwa sana mimi hayo malaanakaribia yote yana nigusa sijui nitawasilianaje Mtumishi Jactan
Si unakuwa umeharibu Mambo yoote ya Yesu Kristo
Wasiliana na PROMOVER TV
Pole sana ndugu yangu,Mungu akusaidie
Asante sana mtumishi wa Mungu Mungu akubariki sana, somo zuri sana tutaendelea kuomba na kuvunja laana zote mpaka kieleweke katika jina la Yesu Kristo na kwa Damu yake.
Amen zimevunjika kwa jina la Yesu Kristo aliye hai.
Amen
Zivunjike kwa jina la yesu
Amen ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu nikitaka kuwasiliana na wewe mtumishi nafanyaje nko Kenya mm ila nmebarikiwa sana na mafundisho 🙏🙏
Yesu akupe mbawa za tai ,mtu wa mungu
Amina
Amen amen nimebarikiwa sana. Asante Yesu🙌🙌
Ubarikiwe kwa kufunua kazi za ibilisi na mawakala wake
nabi niombea nioleke nimbate ndoa yangu
Mungu akuongezee siku
Barikiweni watumishi wa Mungu
Ooh yes Glory be to God 🙏
Barikiwa sana mtumishi .
Amen 🙏 this is 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 blessings mtumishi Amiel and jacktan am learning alot
Unaonaje tukianzisha group la wasikilizaji
@@highzacknnko9685am in for the idea what's your suggestions
Safi sana na laiti kama wakristo tungejijua kwa kweli tungekuwa na umoja na pasingekuwa dhambi na wala uislmu
Jamani kwaivo jacktan hamkuji Tena Kenya?manake tuliwangojea sana n mtumishi wa mungu Aston
Unaonaje tukianzisha group la wasikilizaji kupeana taarifa mbalimbali?
Tutatoa taarifa kuhusu safari ya Kenya
Amen kwa YESU katekera MUNGU akubariki.
Ameeeen......
Ubarikiwe tena mutumishi wa mungu 🇨🇩🇨🇩🇨🇵🇨🇵
Unaonaje tukianzisha group la wasap
Ubarikiwa mtumishi wa Bwana
Barikiwa sana Mtumishi wa Yesu
Mungu.akurinde
Kwa yesu kunaraha jaman
Mungu tusaidie ututoe kwarana zote
Unaonaje tukianzisha group la wasikilizaji kupeana taarifa mbalimbali
Amen amen jina la bwana lipewe sifa
Ameeeeen
It true n ukweli kabisa pastor nimeonea kwa mwanangu sikosele kwa jina la Yesu ishindwe
Ameeeeen
Amen Amen
Mungu awabariki watumishi wa Bwana wetu Yesu Kristo
Kabisa mtumishi wa Mungu ujumbe nzuri sana
Asante Sana mutumishi wamungu
Asante Yesu kwa kutuletea mtumishi Amiel najifunza mengi kwenye semina hii
Amen glory to God
Amen and Amen I'm blessed 🙌
Amen Amen mtumishi barikiwa
Unaonaje tuanzishe group la wasikilizaji tupeane habari za injili na taarifa zinginle
Amen Amen barikiwa mtumishi wa Mungu
Ameeeen........
Thank you,Lord Jesus Christ.
Mbarikiwe sana. This is so eye opening.. blessings your way....🙌 🙌 🙌 🙌 🙌
Unaonaje tukaanzisha grup la wasikilizaji!!!!
@@highzacknnko9685 I think it's a good idea but what's the purpose and the motive behind it.
@@lydiawasai9439 just to share different testimonies,opportunities advice's as well as the word of God
Nabarikiwa sana kwa mafundsho haya Mungu azidi kuwabariki wana promover ...Injili isonge mbele daima
Mungu awe pamoja nawewe
Ameeeeeen....
Kwa damu ya Yesu naomba rehema na msamaha juu ya mababa walio tangulia ni kweli walifanya dhambi lakini Yesu Mimi naomba msamaha baba unisikie kabisa,
- sasa nakuja kuwapasua kila wasimamizi wakike wakiume wanaosimamia mateso ya familia kwa jina la Yesu,nawachana chana chana achia akili,achia utashi achia,taifa achia kabila achia koo,achia taifa ,achia watumishi,achia vijana,achia nawapasua mabondeni nawapasua milimani nawapasua mjini nawapasua mitoni nawapasua njia panda nawapasua hospitalini,nawapasua achia mikono achia miguu achia macho na masikio naongea na kuzimu natuma malaika mwenye upanga wa moto wawapasue katika jina la Yesu hakika hamtaniweza
Asante mtumishi wa Mungu mhubiri lakini pia asante wewe uliyetoa comments ukichana hizo roho chafu. Mungu akubariki sana.
Ndio sababu wakristo wengi wanaishi kwa Shida wakihama makanisa kwa kukimbilia upako!! hakuna suluhisho huko suala ni kutambua nna ya kupambana vita hii!!
Naitaji usaidizi wa maombi🇰🇪
Asante Mtumishi
Unaonaje tukianzisha group la wasikilizaji kupeana taarifa za injili na mengine
Sababu 3 za laana
1)Matokeo au matunda ya dhambi Za binadamu
2)Mateso Kwa familia, jamii, ukoo ambayo kianzilishi ni mtu mmoja aliyetenda jambo fulani
3)Agano katikati ya shetani na malaika zake kummiliki mtu ili kumpotezea mafanikio
Aina 7 za laana
1)Laana Za ukoo-=Kiini ni mababu
2)Laana ya kabila= Asili fulani itesayo kabila
3)Laana za ardhi=Hatia inayokabidhi watu wengi ikisababishwa na nguvu za kafara ya damu iliyomwagwa ardhini
4)Laana ya nchi= Maagano yanayofungwa nchini kama mkataba utakayounda tabia ya nchi usika, mktaba unaunda uchifu, utemi uitwao sa..nist na satanisti na kutolewa kafara ya nguvu ya kisatanisti . Hii laana uondoa amani na mafanikio ya nchi.
5)Laana binafsi= Mateso inayompata Mtu Kutokana na hatia aliyosababisha yeye mwenyewe
6)Laana ya taorati =Mateso inayojidhirisha mbele zako kutokana na dhambi ulizifanya kitambo labda kabla hata hujaokoa, zinaletwa kwako kuzuia connection na baraka zako
7)Laana isiyo na sababu= Mateso unayofungiwa kutokana na:
(a) Udhaifu wako katika nguvu na mamlaka ya imani . Udhaifu ni kutokujitambua wewe ni nani na unafanya nini
(b) Mateso unayofungiwa kutokana na mafanikio yako unayoyapata
Ili Kushinda hizi roho ukishazitambua ishi kimyume..
Asanteni Jacktan na Amieli.. Tueleze pia ulizitumiaje hizi laana haswa kwa kuwadhuru walokole..
laana ya Torati haipo...dhambi ya zamani haiwezi kuhesabiwa sababu ukiokoka unakiwa mtu mpya
@@myself4128 Amiel alieleza kwamba wanatafuta dhambi gani ilikufunga zamani, ukiomba wanakukumbusha sasa badala ya kuendelea maombi unaanza kutubu tena, naona hii ni ile kimombo wanaita "guilt".
Tusisahau pia Daudi akiomba akisema "usiniesabie dhambi za ujana wangu"
Pia ni rahisi waangushe Mtu Kwa dhambi ya kale kama vile akiekuwa Kahaba wanamtia hali ya vikwazo arudi kwa usherati na ukahaba na kumnasa tena...
Labda jacktan na Amiel wanaeza fafanua zaidi..
Watu wote waliokuwa watumishi wa shetani na wakageuka na kuokoka wakiwa watumishi huwa ni watumishi wa kweli.
Amen 🙏🙏🙏🙏
Amen!!!
Thank you for the word. Thank you to the man of God Pastor Amiel and to Promover TV. May the Lord creator of the universe lift you. Amen.
Amen
Amen...
Mungu wetu Ameen..mutumishi anaongeya kirundi Ameenn
Mchungaji ako sawa hafichi dhambi
Ameeeeeeen
AMEN AMEN 🙏
Siyo Mimi
Mr Jactan nilifstilia story ya misikule vipi nikiomba mchungaji alete ibada kwetu siku moja je babangu kama alivhukuliwa msikule anaweza rudi aki mi bado nahisi babangu yuko nimekutana na ushuhuda mwingine pale kuwa mtoto alikufa akiwa darasa la pili na anapatikana miezi miwili iliyopita baada ya miaka 15 waah nisaidieni kuomba
Amen,ongea na Mchungaji
@@PromovertvTz asante sana nitaongea naye
Muona bishop Gwajima yupo huko chamwino arudishe misukule hata anapanga kufungua Kambi huko
@@kimsamespa8490 hmm am not a tanzanian am a kenyan
@@millicentnaliaka so ??
Jamani naomba namba za huyu mchungaji !!
Amieli Jactan
Unaonaje tukianzisha group kwa wasikilizaji
amen
Unaonaje kama tukiunda group la wasikilizaji ili tuwe tunapeana taarifa mbalimbali
Jamani mtumishi ubarikiwe. Nilivamiwa na waliovaa black nikamwita Yesu nikasikia mmoja akisema nimemwua mmoja wao. Hivi Kuna mtu alikufa kweli?
Mara mafutaara wakimbilie chumvi ni shida tuu kama wapagani! Akisikia Mganga kafungua kanisa anajiunga mara nabii mara mtume yaani wanafuata upepo tuuu
Naeza taka kujuwa kabila lako kaka.....hio lugha unaongea nikirundi....hio nyene unachangia ndani
Wewe ni musukuma kweli ama ni muburundi?
Mngu aku bariki san
Mungu akubaliki
...🤔samaani what is KORONGO ??...
Depressed land, like a crater
@@barnaba3037 not exactly crater,
@@highzacknnko9685 did I said exactly?
@@barnaba3037 did I refuse your opinions?
@@highzacknnko9685 it's ok bro, no problem
Mtumishi barikiwa ila tukikupigia hupokei tunashida ya kuongea nawe
Unaonaje tukianzisha group la wasikilizaji tukipeana taarifa za injili na zingine
Mungu akubariki Sana ndugu yangu Akatekela ,Neno limenijenga mno natamani nikuone .
Mwenewachu
Pia mimi jameni nimejaribu kufuatiliA Mtumishi kwa WhatsApp ila sikupata majibu..niliambiwa yupo geita naomba kujua geita ipo pale arusha kabla ufike mianzini ama ni vpi, kwa kweli na muhitaji mno huyu Mchungaji.
@@pastorpraisehappiness2157 Ooh pole sana Praise kwa kutojua ramani ya Tanzania. Yaani distance ya Arusha na Geita ni kama labda Mombasa na Kisumu. Geita ipo south west ya Lake Victoria.
Asante sana mtumishi wa Mungu Mungu akubariki sana, somo zuri sana tutaendelea kuomba na kuvunja laana zote mpaka kieleweke katika jina la Yesu Kristo na kwa Damu yake.
Amen 🙏
Amen
Amen amen
Amen