Mch.Katekela:TUMIA MAOMBI NA KANUNI HIZI KUVUNJA MIHURI YA KICHAWI•MUHURI WA 7•MBINU ZA KUJINASUA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 жов 2024
  • KUHUSU KITABU NA JINSI YA KUKIPATA TAFADHALI WASILIANA NA MCHUNGAJI AMA PROMOVER TV UTAPATA UTARATIBU.
    MAGROUP YA MARAFIKI WA MCHUNGAJI KATEKELA BONYEZA LINK KUJOIN:-
    -GROUP NO.1 BONYEZA chat.whatsapp....
    -GROUP NO.2 BONYEZA chat.whatsapp....
    KAMA UNASHINDWA KUJOIN AMA KWA LOLOTE UNAWEZA KUWASILIANA NASI KWA NAMBA HIZI.
    -Namba ya Mchungaji Katekela ni +255 756 275 511
    -Namba ya promover tv ni +255784074462
    #ShuhudaZaJacktanMsafiri #JacktanMsafiri #PromoverTV

КОМЕНТАРІ • 183

  • @christinezuma5588
    @christinezuma5588 Рік тому +3

    Navunja roho zinazo fatilia maisha yangu katika jina la Yesu.

  • @MamaSharma-y9y
    @MamaSharma-y9y Рік тому +1

    Shalom Mungu akubariki akutiye nguvu

  • @adilimihinga7873
    @adilimihinga7873 Рік тому +1

    Ahsante sana 'mchungaji mzalendo'

  • @KissaMwaijibe
    @KissaMwaijibe Місяць тому

    Barikiwa sana mtumishi wa jehova

  • @rosajacquessimbenga
    @rosajacquessimbenga 2 місяці тому

    Bwana yesu asifiwe mchungaji katekela! Mimi naomba kwa huruma zake Mungu uje kututembelea hapa Mozambique msumbiji baba🙏🏾

  • @kalumunateonest-lc3nn
    @kalumunateonest-lc3nn Рік тому +1

    Mungu awabaliki mr. And katekella

  • @consolatamedard6593
    @consolatamedard6593 Рік тому +1

    Mungu akufunike kwa Mbawa zake mtumishi

  • @jack-mx8et
    @jack-mx8et Рік тому +1

    Bwana Yesu asifiwe mtumishi mafundisho yako nimeyaelewa yananihusu mimi kabisa

  • @Reginajohnson19884
    @Reginajohnson19884 Рік тому +1

    Ubarikiwe mtumishi maana unacho Sema ndio ninachopitia Asante kwa maelekezo wa kusimamia hivi vita

  • @deusmiburo8735
    @deusmiburo8735 Рік тому +2

    Mchungaji Mungu akuongezee miaka ya kuisji ili tuendelee lucina matunda yako, amen!!

  • @mwalimubarakajustin745
    @mwalimubarakajustin745 Рік тому +4

    Shuhuda zako zinakuza kiroho Muchungaji. Naomba Mungu wetu atuzidishie watumishi wa namna hii katika mataifa yote, kwani twaelimishwa zaidi. Ubarikiwe na Bwana, akukumbuke katika haja za moyo wako.

  • @marymwasha3878
    @marymwasha3878 Рік тому

    Mungu akubariki sana Mtumishi wa Mungu.Nimesikiliza Mahubiri yako kwa kina.Nimejua kuwa ni hakika Mungu anakutumia ili kuharibu mateso yaliyowekwa kwa watu wa Mungu bila kujifahamu.Mungu akutunze sana,na kuimarisha huduma yako.Watu wafunguliwe katika mikatale ya mwovu shetani.

  • @happykazungumenzamenza1277
    @happykazungumenzamenza1277 Рік тому +2

    Ubarikiwe sana mtumishi mtumishi wa Mungu kwa kutupa elimu yakutufungua macho

  • @queenesther2639
    @queenesther2639 Рік тому

    Amina Asante Mtu wa MUNGU

  • @marymatekwa6867
    @marymatekwa6867 Рік тому +3

    Bwana Yesu Christo apewe sifa na utukufu nikikusalamia mtumishi wa Mungu Kwa uwezo wa Mungu Baba asifiwe Sana Sana nashukuru Mungu aliyekutoa Kwa Giza ili uje kunifahamisha yale nisiyoyajua barikiwa Sana pamoja na Jamii yako, na naomba Kwa mapenzi ya Mungu Baba mafundisho yako, Kanisa lako lifike pande zote duniani nikikuombea afya njema na, nguvu na mamlaka ya kueneza injili ya Yesu Christo, Nina furaha Nyingi naesaongea Sana Ubarikiwe sana Mary kutoka Kenya Lakini wakati huu niko Saudi Arabia God bless you brother Amieli

    • @teklalumalanja1752
      @teklalumalanja1752 Рік тому

      Tutapataje vitabu? nakitabu Cha kurudisha msukule kipo?
      21

    • @christinamwasota1742
      @christinamwasota1742 Рік тому

      Bwana yesu asifiwe mtumishi was bwana mimi Niko mbeya na napenda sana kujifunza kwako nitapataje vitabu vyako???

  • @christinezuma5588
    @christinezuma5588 Рік тому

    Sitamilikiwa na muhuru wa damu katika jina la yesu

  • @lauraingosi1428
    @lauraingosi1428 Рік тому +1

    Asante sana promover TV kwa kujitolea kwenu kufanikisha kazi ya Mungu.

  • @nancyokemwa2470
    @nancyokemwa2470 Рік тому

    Good teaching

  • @yobike9680
    @yobike9680 Рік тому +1

    mtumishi naitanji maombi na hisi nguvu za giza zinanizingila katika maisha yangu naomba usaindishi kimaombi(iruma kutoka nairobi kiambu)

  • @pastorypancras9010
    @pastorypancras9010 Рік тому +1

    Yaani nakukubali sana mchungaji mungu akubaliki sana uzidi kuwepo tupate kukombolewa kutoka kuzimu nawashukuru promover mungu awabaliki sana mungu awe nasi

  • @maureenmgeni
    @maureenmgeni Рік тому

    Amina na Amina

  • @irinealex559
    @irinealex559 Рік тому +1

    Duh Mungu akubariki sana, kuanzia sasa naona mafanikio yangu kuanzia sasa na nitafanya kazi za mikono

  • @jesusgirl9416
    @jesusgirl9416 Рік тому +4

    Mungu akubariki Promover na Mchungaji Amiel

    • @rebeccamunyasya6543
      @rebeccamunyasya6543 Рік тому +1

      Amen. Mafundisho poa wengi tumekwamia hapo hapo tu!

    • @oellyomondi
      @oellyomondi Рік тому

      Jee mchungaji kama mtu anajikuta anapiga miayo wakati wa maombi ni ishara ya mapepo.hii hali unitatiza sana

    • @eliwajadaniford8044
      @eliwajadaniford8044 Рік тому

      @@oellyomondi pastor hicho kitabu Bei gan

  • @bernedettenuru4903
    @bernedettenuru4903 Рік тому +1

    Asante mimi Pia nataka kitabu

  • @agnesshawa7219
    @agnesshawa7219 Рік тому

    Mchungaji MUNGU akubariki na akulinde

  • @tuselacksiman7616
    @tuselacksiman7616 Рік тому

    Asante yesu kwa neema hii hakika sitabaki Kama nilivyo,,, hakika nimekombolewa kwa Damu ya yesu

  • @tamarali8325
    @tamarali8325 Рік тому +2

    Barikiwa sana Pastor Amieli . Jacktan Barikiwa sana na Audax Barikiwa sana. Ninawapenda Bure

  • @antoinettendayizeye5884
    @antoinettendayizeye5884 Рік тому +1

    Asante sana ubarikiwe

  • @sallyeringo33
    @sallyeringo33 Рік тому +1

    YOU HAVE OPEN MY EYES BE BLESSED

  • @fayngovi5377
    @fayngovi5377 Рік тому

    Amina ni kweli

  • @laurasoka760
    @laurasoka760 8 місяців тому +1

    Amina

  • @agneskainga143
    @agneskainga143 Рік тому

    Amen 🙏🙏 nashukuru mungu Kwa ajili yako umenifundisha Mambo mengi Sana ya kiroho

  • @jamesngichiri755
    @jamesngichiri755 Рік тому

    Ubarikiwe sana,kitabu nawezaje kukipa nikiwa kenya

  • @leahenockmrina5381
    @leahenockmrina5381 Рік тому

    Amen mtumishi wa Bwana Yesu Kristo napokea baraka
    Mungu wa mbinguni akubariki kwa kazi yako Amiel

  • @dokasa9176
    @dokasa9176 Рік тому +1

    Mungu akubariki na akulinde kutoka kwa mikono ya adui.

  • @basilisajohn4750
    @basilisajohn4750 Рік тому

    Asante mtumishi Mungu amekufanya kuwa Baraka na daraja la mimi kumpa Yesu Maisha yangu , Ubarikiwe
    From Manyara Babati Tanzania.

  • @RoselineNyachwaya
    @RoselineNyachwaya 4 місяці тому +1

    Amen

  • @bashongomamlelekwa1777
    @bashongomamlelekwa1777 Рік тому +1

    Amina kubwa

  • @joycemmari9155
    @joycemmari9155 Рік тому

    Mungu akubariki Mch.

  • @flavianarwebangira6726
    @flavianarwebangira6726 Рік тому

    Asante kwa mafundisho mazuri juu ya kkuvunja mihuri ya kichawi. Tunakipayaje hicho kitabu

  • @ireneachieng5648
    @ireneachieng5648 Рік тому +2

    God bless you pastor. You have opened our eyes

  • @fatumaminyeko1875
    @fatumaminyeko1875 Рік тому

    Ubarikiwe sana mtumishi wamungu na promover tv

  • @emanuelmsaky8074
    @emanuelmsaky8074 Рік тому

    Mtumishi ubarikiwe Sana tunapataje kitabu

  • @elwinsimumba8356
    @elwinsimumba8356 Рік тому

    Amen nanina shukuru Sana kwa ujumbe muzuri

  • @lilymwasi1221
    @lilymwasi1221 Рік тому +1

    Amen 🙏🙏🙏 Niko Mombasa uniombe

  • @adaadaouko3079
    @adaadaouko3079 Рік тому

    Amen 🙏 natamani sana 🙏 am watching through Qatar 🇶🇦 doha please help me I need those Books 📚

  • @lydiamichael5509
    @lydiamichael5509 Рік тому

    Barikiwa sana mtumishi wa Mungu kwa mafunzo mema hakika mengi nimejifunza toka kwako

  • @frankalkadokizale2536
    @frankalkadokizale2536 Рік тому

    AMINAA UBARIKIWE SANAAAAA MTUSHI

  • @ezekieljob8679
    @ezekieljob8679 Рік тому

    Barikiwa sana pastor naomba maelekezo ya kupata kitabu tafadhali

  • @agnestunu5527
    @agnestunu5527 Рік тому

    Amina mtumishi wa mungu nakufatilia sana nkiwa hapa saudia

  • @sabrinalazaro950
    @sabrinalazaro950 Рік тому

    Kazi zenu Nzuri sana, nawapenda sana, shuhuda zimenisaidia sana, Barikiwa mch. Amiel katekela.

  • @mwajumaamuri974
    @mwajumaamuri974 Рік тому

    Bwana Yesu asifiwe , na Mungu atiye nguvu

  • @Esther-Bri
    @Esther-Bri Рік тому

    AMINA AMINA BARIKIWA Sana Rafiki Yetu

  • @violetnasimiyu8718
    @violetnasimiyu8718 Рік тому

    Mungu akubari sana mtumishi. Hakika nimejengeka kiroho sana kupita wewe .Mungu wetu aonaye sirini akujibu kwa wazi. Umekuwa wa baraka sana. Ubarikiwe mtumishi wa Mungu.Mungu apanue mipaka yako, ukutumie viwango vya juu kadri na mapenzi yake.Amina .

  • @elizabethisrael4256
    @elizabethisrael4256 Рік тому

    Asante baba Katekela

  • @liesharehema5193
    @liesharehema5193 Рік тому

    Shalomu watumishi wa Mungu

  • @nyarcenter4046
    @nyarcenter4046 Рік тому

    Ubarikiwe sana mtumishi wa Bwana,Mungu akupe maisha marefu

  • @dainesykalinga7133
    @dainesykalinga7133 Рік тому

    Barikiwa mno Mtumishi wa Mungu aliye hai.

  • @genovevaraphael
    @genovevaraphael Рік тому

    Mchungaji Wangu Mungu akubariki mnomno nimekuwa nikikufuatilia sana nimekupata sana wew unisubiri injili isiyogoshiwa injili ya Yedu

  • @veronicahkhaikwa4929
    @veronicahkhaikwa4929 Рік тому

    Ameen ubarikiwe na promover TV

  • @rehemambilinyi3523
    @rehemambilinyi3523 Рік тому +1

    Be blessed man of God for good lesson

  • @rehemasuleiman7469
    @rehemasuleiman7469 Рік тому

    Ameen Mtumishi,Mungu akubariki Sana

  • @adaadaouko3079
    @adaadaouko3079 Рік тому

    God bless you n lift u 🙏 higher n higher 🙏

  • @priscahshemkunde7256
    @priscahshemkunde7256 Рік тому

    Barikiwa Sana mchungaji na mungu azidi kukubariki

  • @AmidaCitegetse-fh7ps
    @AmidaCitegetse-fh7ps Рік тому

    Jambo muchungaji munisaidiyeni maombi katika jina la yesu

  • @daudijacob7377
    @daudijacob7377 Рік тому +2

    Baba ninaomba Uyakemee mapepo yote yanayopinga mwongozo huu katoka Kina la Yesu

  • @frorida3106
    @frorida3106 Рік тому +1

    UBarikiwe

  • @sarahjacobs8814
    @sarahjacobs8814 Рік тому +1

    Kinawezaje.kunifkia Kenya na bei gani

  • @roseurassa8390
    @roseurassa8390 Рік тому

    Ubarikiwe Mtumishi wa Mungu nikikufutilia napata amani

  • @asminetaba253
    @asminetaba253 Рік тому

    Asante sana mtumishi wa mungu ushuhuda huu umenitia nguvu sana mungu akubariki sana nakuombeya maisha marefu

  • @gloryfidelis7857
    @gloryfidelis7857 Рік тому

    Watumishi Mungu awabariki watu wa bariadi tunavipataje vitabu

  • @violetnasimiyu8718
    @violetnasimiyu8718 Рік тому +5

    Hakika wewe ni rafiki mchungaji.pia wewe ni wa maana sana mbele ya Mungu.

    • @neemashendu
      @neemashendu Рік тому

      Amina mtu wamungu NAMI natamsni kufunguliwa nisaidie j jkuomba😊

  • @owenomwanawayesu6961
    @owenomwanawayesu6961 Рік тому

    Barikiwa sana Mtumishi.

  • @adaadaouko3079
    @adaadaouko3079 Рік тому

    Amen Amen

  • @hellenngecho4893
    @hellenngecho4893 Рік тому

    Wow thanks very much man of God for sure l have leaned something may God bless you🙏🙏

  • @gahunguleonidas2606
    @gahunguleonidas2606 Рік тому +1

    Asante sana Mtumishi wa Mungu Mch Katekela kwa kuzifunua sili hizi za kuzimu nimesaidiwa sana na ushuhuda huu na Mungu akubaliki sana. Pia ningeomba ikiwezekana ututumie number yako ya what’s up ili tuwasiliane kwa uraisi, Mungu awe pamoja na wewe milele.

  • @lucylyale7169
    @lucylyale7169 Рік тому +2

    Asnt mch leo nimepata namba yako,, barikiwa sn mtumishi wa Mungu,, uje na mkoa wa SIMIYU jmn tunahitaji huduma yako tupone🙏🙏

  • @scotiageraz4469
    @scotiageraz4469 Рік тому +2

    Barikiwa sana mtumishi, napata wapi hicho kitabu? Ni sh. ngapi?

  • @dianawebala9381
    @dianawebala9381 Рік тому

    Thank you and be blessed

  • @everinestephano680
    @everinestephano680 Місяць тому

    Mtumish mimi ni muha wa kigoma kasuru kijiji cha songa mbele. Ila baba alihamia dar mwa ka 2000, tukahaia dar es salaam tuko watt watano mm ni wa nne unayosema nakuelewa sana na mengi sana nataman tuzungumze unisaidie maarifa na maombi naitaji sana msaada ili Yesu anikomboe mimi na familia yangu na ndoa yangu. Plz plz plz plz

  • @zacheauskirathimo
    @zacheauskirathimo Рік тому

    God bless

  • @roysaxon4870
    @roysaxon4870 Рік тому

    Asante sana mtumish wa Mungu kwa mafundisho is a mazuri, Mungu akubariki na kukutunza.

  • @agneskainga143
    @agneskainga143 Рік тому +1

    Iyo kitabu itafika kenya 🇰🇪

  • @official_albertina
    @official_albertina Рік тому

    Ubarikiwe sana mtumishi wa mungu🙌🙏sasa ivyo vitabu tutavipata aje??

  • @vianneymukama6396
    @vianneymukama6396 Рік тому

    Barikiwa mtumishi. Naomba kujua vitabu nitavipata wapi? Kwa Dar

  • @selinamalasi9471
    @selinamalasi9471 Рік тому

    Ningependa kupata vitabu niko nairobi kenya

  • @pendohenry3207
    @pendohenry3207 Місяць тому

    👏

  • @mwinzilavincent3774
    @mwinzilavincent3774 Рік тому

    barikiwa sana.. nitumie number ya nairobi nikanunue kitabu

  • @davidmghanga8502
    @davidmghanga8502 Рік тому +1

    Ww ni mtu WA maana sana

  • @pericykiko6198
    @pericykiko6198 Рік тому +1

    God bless you Pastor

    • @kundankiramungure9250
      @kundankiramungure9250 Рік тому

      Ubarikiwe mwana wa YESU wakati wote. YESU. Akutunze. Akulinde Mimi. Niko KILIMANJARO. Ni mtumishi karibu Sana

  • @mpandawiliam5390
    @mpandawiliam5390 Рік тому

    Amina sana, je? Haya maombi yanatakiwa kufanyika Kwa mda gani au siku ngapi?.

  • @mariamwita8237
    @mariamwita8237 Рік тому +1

    Ndugu napenda ujue kwamba Imani ni mtu mwenyewe waebarnia 11:6. Soma sasa

  • @alfredonyango6429
    @alfredonyango6429 Рік тому

    Ubarikiwe mchungaji, hizi vitabu vimefika kenya?

  • @annehaysanday9214
    @annehaysanday9214 Рік тому

    Ameeen

  • @Reginajohnson19884
    @Reginajohnson19884 Рік тому +1

    Yani hayo nimepitia

  • @ferrymalikioli9857
    @ferrymalikioli9857 Рік тому

    Bwana Yesu asifiwe. Mchungaji Katekela. Swali langu ni hili: Nina ndugu yangu ambaye mme wake ni mchimba migodi sasa siku mmoja mume wake, alileta mganga nyumbani bila ya mke kujua. Na baada ya mmewe kumtambulisha mganga. Yule mganga akatoa maagizo ya kwamba mke avue nguo zote, na baada ya kuwa hivyo bila nguo mbele ya huyu mganga na mumewe, wakamwambia avae nguo. Ila hawakumjulisha chochote wala maana ya ili tukio. Ningeomba ufafanuzi juu ya hili Mtumishi Katekela.

  • @naikekangele7117
    @naikekangele7117 Рік тому +1

    Umenifundisha Siri nyingi sana za wachawi

  • @bonifasiemanueli21
    @bonifasiemanueli21 Рік тому

    Namba yako tafadhali

  • @Nshimirimanajeanine-vh7mz
    @Nshimirimanajeanine-vh7mz 5 місяців тому

    Jambo.nina.itaji.mucungaji.unisayidiye.kwama.ombi.yakijijuwa.wakati.wama.ombi.maramingi.najikuta.nigisimama.kati.kama.ombo.najikuta.vita.ina.inuka.mungu.anitiye.nguvu.asante.sana.kwamusada.tapata

  • @FelixMwinuka-p3z
    @FelixMwinuka-p3z 2 місяці тому

    Utakuwa malawi sehemu gami