MAGORI ASEMA SIMBA ITAISHTAKI FIFA COASTAL UNION KUHUSU MCHEZAJI LAWI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 жов 2024
  • Mjumbe wa Bodi ya Timu ya Simba SC kwa upande wa Mwekezaji Mohammed Dewji Mo, Crescentius Magori, amepangua hoja dhaifu za uongozi wa timu ya Coastal Union unaodai kuwa mchezaji Lameck Lawi aliyetambulishwa Simba jana bado ni mchezaji wao, na kusema wataishtaki Coastal Union FC na hiyo klabu nyingine ya nje inayomhitaji Lawi. Akihojiwa na E FM.

КОМЕНТАРІ • 44

  • @TomasiklistophaMwinuka
    @TomasiklistophaMwinuka 3 місяці тому +5

    Mwamba mwenyewe Magoli Hadi moyo wangu sahiz unapumua kwakurud mzigoni watu wakazi nafarujika sana

  • @DeusiMorisi
    @DeusiMorisi 3 місяці тому +3

    Yanga ninyi mwaka huu mnakazi kubwa tajiri amerudi mnalo

  • @emmanuelmayunga1518
    @emmanuelmayunga1518 3 місяці тому +3

    Jasusi la mpira linaungurumaaaa😂😂

  • @CharlesAlly-jp1ms
    @CharlesAlly-jp1ms 3 місяці тому +1

    Hakuna raha kama kujua sheria

  • @molenicharles9107
    @molenicharles9107 3 місяці тому +2

    MWAMBA anatema madini🤣🤣💪💪

  • @MrishoMindu-zq7mz
    @MrishoMindu-zq7mz 3 місяці тому

    Jane Huu mpira Sio Danguro. Mjini Moto Zanzibar kabiriti. Iweke kwenye pochi.

  • @makamelila
    @makamelila 3 місяці тому +1

    Viongozi wa coast njaa inawasumbua na haya mambo ya kutumiwq na watu wengine ni mabaya sana wait wamevurunda sasa wanatafuta na wengine wawavuruge lakini sio simba

    • @angazatv2050
      @angazatv2050 3 місяці тому

      Cost Si wapereke ofa kwa simba iwauzie tena

  • @hamisimwakatobe706
    @hamisimwakatobe706 3 місяці тому

    Simba ina viongozi wasomi sana hapa Tanzania kwa hiyo hizo ni inshu ndogo sana kwao

  • @AnnaNdoss
    @AnnaNdoss 2 місяці тому

    Kwani Mbona Wanatamaa

  • @claudsaprapasen9068
    @claudsaprapasen9068 2 місяці тому

    Coast U acheni utoto!

  • @CharlesLutandula-y3c
    @CharlesLutandula-y3c 3 місяці тому

    Nyuma yao yanga yupooo washindwe nawalegeee simba nguvu moja

  • @ZuberyAlly-m2n
    @ZuberyAlly-m2n 3 місяці тому +1

    Costi wababaishaji hawana sela

  • @mswakisaid2320
    @mswakisaid2320 3 місяці тому

    Wameingia tamaa ya mlungula mrefu😂
    Nawashauri wafuate makubaliona ya kimkataba.
    Laa sivyo watafilisika muda si mrefu.
    Mungu awajaalie salama wasifikie huko.

  • @JobnManase-gh2fp
    @JobnManase-gh2fp 3 місяці тому

    Coastal viongozi wao wacheni tamaa na ulafi

  • @hamidmussa838
    @hamidmussa838 3 місяці тому

    Hawa coast washamba sanaa!

  • @DeusiMorisi
    @DeusiMorisi 3 місяці тому

    Simba siyonwababaisha kama wengine costal msalimu amri kabla hajafilisiwa

  • @muddsaid-kn2dq
    @muddsaid-kn2dq 3 місяці тому

    mimi nishabiki wa coastal union kindakindaki ila kwa lameki lawi tusishawishiwe tukaingia kwenye mgogoro kisheria tutashindwa tusiingie kwenye huu mtego

  • @mmsfuzzsba3816
    @mmsfuzzsba3816 3 місяці тому +1

    COASTAL WAMEINGIA TAMAA

  • @AbdulrahmanMiraji
    @AbdulrahmanMiraji 3 місяці тому

    Viongozi wa Coastal Union wapewe mafunzo ya kanuni za usajili naona wanaanza kuvimba vichwa

  • @msangazimsangazipapaandomb8761
    @msangazimsangazipapaandomb8761 3 місяці тому +1

    Coastal Union wanatumiwa na upande wa 2. Viongozi wa Coastal wameahidiwa pesa ndefu na mfadhili wa upande wa 2.

  • @CharlesLutandula-y3c
    @CharlesLutandula-y3c 3 місяці тому +1

    Simba niwakimataifa wako makini siyojanjajanja

  • @KakeSimba
    @KakeSimba 3 місяці тому

    Awa kost niwajingasana

  • @ambakisyemwanjemba5787
    @ambakisyemwanjemba5787 3 місяці тому

    Mwenye simba yake ameshaanza mambo yake

  • @DeogratiusMponda
    @DeogratiusMponda 3 місяці тому

    Yànga mnashida

  • @LorynNila
    @LorynNila 3 місяці тому

    Coast sio waelewa

  • @JuhudiKasanga-yq5ks
    @JuhudiKasanga-yq5ks 3 місяці тому

    Rudisha mchezaji wa watu hata mgunda mlimwiba nyinyi majambazi TU wote watoto wa mudi na mudi mwenyewe aibu kweli mpaka costal mnampiga kweli kama kufulia ndo kwishilia mbali kabisa

    • @monelayongola419
      @monelayongola419 3 місяці тому

      Hujui Soka na unaongea kiushabiki. Wenzio wametoa hoja na ufafanuzi. Wewe upo na maneno na hisia zako. HUJAELEWA ufafanuzi au ??. Ikiwa hamriziki. Nendeni FIFA. Mpira Ni wa FIFA sio wa Simba au COASTAL. Mbona kaeleza vzr .

    • @muddsaid-kn2dq
      @muddsaid-kn2dq 3 місяці тому

      huyu jamaa hata ajui watu wanaongea nini kisa kashika kicm chake cha kutachi bas kamsliza ongea vitu vya msingi bro

    • @TegemeaFutemakatifu
      @TegemeaFutemakatifu 2 місяці тому

      Kakojoe ulale maana unatoa Povu hataa Unachoongea hujui

  • @drvaxminja2133
    @drvaxminja2133 3 місяці тому

    Simba inalazimisha tu

  • @janeemmanuel3615
    @janeemmanuel3615 3 місяці тому +1

    Acha uongo

  • @mazengojohn2090
    @mazengojohn2090 3 місяці тому

    Mambo ya kishamba ayo toa hela chukua mchezaji

    • @a.msanga1621
      @a.msanga1621 3 місяці тому

      Shida yako hapo ni uelewa

    • @MrishoMindu-zq7mz
      @MrishoMindu-zq7mz 3 місяці тому

      Sio zabibu hizi. Acha ushamba mgogo wewe kaweke ndonya.

  • @LinusKyando
    @LinusKyando 3 місяці тому

    SIMBA ACHENI UTAPELI

    • @januarysungura8119
      @januarysungura8119 3 місяці тому

      Matapeli wazidi yanga ?

    • @monelayongola419
      @monelayongola419 3 місяці тому

      Kama Simba Ni matapeli, nendeni FIFA mkashtaki . Lkn kiukweli LAWI Ni Mchezaji halali wa Simba s. c. Acheni kupngea kinyuma mwiko bila hoja. Umeshasahau mlilialia kwa MORRISON na tukawashinda Hadi FIFA ??.. utaitaje Utapeli Watu wanafafanua Hadi vifungu na kanuni. NYIE mns uholela ndio maana mnafungiwa hata kusajili . SIMBA wapo smart. Acha kuongea usivyovojua. Sikiliza hoja