MBWADUKE: SURPRISE! SIMBA YAKWEA ZAIDI VIWANGO VIPYA UBORA CAF/ YATIMULIA VUMBI VIGOGO KIBAO...

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 28 вер 2024
  • Usisahau ku-subscribe, ku-coment na ku-like...

КОМЕНТАРІ • 101

  • @victorgogadi55
    @victorgogadi55 3 місяці тому +37

    Miaka yote hizo ranking za timu hakuna mchambuzi yoyotę ameweza kufafanua madaraja ya timu kama huyu mwamba Mbwaduke, best & top mchambuzi na analyst TZ Bravo Bro!

    • @Ba63828
      @Ba63828 3 місяці тому +2

      What a magic analysis!

    • @yayananajota5838
      @yayananajota5838 3 місяці тому +2

      King of mathematics 👑🇫🇯

    • @shaibubakari4265
      @shaibubakari4265 3 місяці тому +2

      Kaka nionavyo Ni kipaji mtu anazaliwa navyo ukiongeza na elimu na ufuatiliaji wa Mambo yanavyoenda

    • @sweetbertrwiza5982
      @sweetbertrwiza5982 3 місяці тому +1

      Hata kama una kichwa kama cha Jemedari utaelewa tu

    • @sweetbertrwiza5982
      @sweetbertrwiza5982 3 місяці тому +1

      Yaani huyu jamaa alichelewa wapi? Azam wapewe maua yao maana ndio wamemwibua na wakampa ajira ya uchambuzi kabisa

  • @khatibushomary6507
    @khatibushomary6507 3 місяці тому +1

    Asante mbwaduke wewe ndio mchanbuzi Bora,wengine wote ni ushabiki tu unawasumbua,bravo sana

  • @IsaacPhilemon-mt7bk
    @IsaacPhilemon-mt7bk 3 місяці тому +2

    Hongera sana mwamba kwa ufafanuzi mzuri ulio bora,ambaye hata elewa basi anaubishi wa asili.❤️❤️❤️❤️

  • @jamesupanganamundu7073
    @jamesupanganamundu7073 3 місяці тому +3

    Mchambuzi Bora Tanzania....wengine ni blabla na hawana fact....big up mbwaduke.

  • @saidsuleiman1753
    @saidsuleiman1753 3 місяці тому +2

    Dah Simba tunaichukulia poa sana Tanzania haipewi heshima yake inayostahili, najaribu kuwaza kama Yanga ndio ingekuwa inashika nafasi ya sita ingekuwaje nchini

  • @Salisalum
    @Salisalum 3 місяці тому +2

    Mbwanduke, nimekupima muda sasa. Wewe ni mchambuzi bora sana wa mpira nchini Tanzania.

  • @kiambaboy783
    @kiambaboy783 3 місяці тому +1

    Nakushukuru sana nilikua sielewi uto wako mbali sana wanalakujifunza kwa simba

  • @sharobarowcb5251
    @sharobarowcb5251 3 місяці тому +1

    Nakukubali sana, hakuna mchambuzi kama wewe Africa Mr Mbwaduke

  • @prosperidinya5864
    @prosperidinya5864 3 місяці тому

    Asante Kwa elimu hii muhimu. Upo vizuri sana.

  • @Marwawilliam
    @Marwawilliam 3 місяці тому

    Bravo kaka kwa kazi nzuri

  • @AndrewLikiti-yb2ws
    @AndrewLikiti-yb2ws 3 місяці тому

    Brother Mbwaduke,uko VEMA SANA Mkuu 🤜🤛

  • @ayubukassim7995
    @ayubukassim7995 3 місяці тому

    Upo vizur sana kaka yani mtu asipokuelewa atakuwa chizi huyo Asante sana

  • @boazballa9551
    @boazballa9551 3 місяці тому

    Hongera Mbwaduke kwa uchambuzi bora

  • @AllyMwinyi-rx8gr
    @AllyMwinyi-rx8gr 3 місяці тому +3

    Huyu jamaa nimwamba anajua mashaallah

  • @InspirationalGreyElephan-lo7mk
    @InspirationalGreyElephan-lo7mk 3 місяці тому +8

    Anachotufundisha huyu jamaa ni kwamba fanya kazi yako kwa weledi, kila kitu kitakuwa sawa, hajipendekezi kwa giant yeyote lakini watu wa timu zote wanavutiwa naye, guys we need to keep real always. Thanks brother

    • @sweetbertrwiza5982
      @sweetbertrwiza5982 3 місяці тому

      Na hicho ndicho kinachowashinda wachambuzi wengi

    • @samwelrevocatus1218
      @samwelrevocatus1218 3 місяці тому

      Kumbe wakisajili vizur kuna uwezekano wa kucheza nusu au hata fainali

  • @elishaayubu-fh3vw
    @elishaayubu-fh3vw 3 місяці тому +1

    Enyewe umejaa mathematics Kwa head

  • @StevenPaul-ws3ei
    @StevenPaul-ws3ei 3 місяці тому +1

    Ufafanuz mzur sana,kumbe huw ni hiv leo ndonimeelewa

  • @LilianMasilayo
    @LilianMasilayo 3 місяці тому +2

    Mchambuzi Bora kabisa tz tunajivunia

  • @hilarylaurian7896
    @hilarylaurian7896 3 місяці тому

    Kaka upo vizuri

  • @tegemeo4009
    @tegemeo4009 3 місяці тому +6

    Simba nguvu moja👍👊

  • @RajabuMpango
    @RajabuMpango 3 місяці тому

    Mbwaduke huna baya pamoja Sana😁😁😁❤

  • @AllyMwinyi-rx8gr
    @AllyMwinyi-rx8gr 3 місяці тому +3

    kama kuna mtu mbishi abishe hiyo ndio simbaaaaaaa nguvu moyaaaaaaaa waoooo

  • @AMOSEXAVERY-fm4qm
    @AMOSEXAVERY-fm4qm 3 місяці тому

    Nakupongeza sana.
    Unaeleweka vizuri

  • @TitoRufizi-xb2ub
    @TitoRufizi-xb2ub 3 місяці тому

    Jamaa uko vizuri sana kuliko wachambuzi wengine

  • @kinswemimalingo6837
    @kinswemimalingo6837 3 місяці тому +4

    Brother Mbwaduke, uko vizuri sana ktk uchambuzi na kufundisha. Hata kama mtu kilaza kiasi gani, kazima ataelewa tu.
    Na unatiririka vizuri sana sana.... Big up...!

  • @IpyanaZacharia
    @IpyanaZacharia 3 місяці тому

    Best of the best mbwaduoe

  • @allyngoda761
    @allyngoda761 3 місяці тому

    Katika uchambuzi wa soka uko vizuri Sana kama kuna Kura zinapigwa Namba moja ni yako hakuna ubishi

  • @michaelkasilabwa3096
    @michaelkasilabwa3096 3 місяці тому

    Aisee huyu jamaa yuko vizuri kwenye data

  • @ernestkamata2555
    @ernestkamata2555 3 місяці тому

    Jamaa yuko vizuri sana kwenye data, kama huna data unapiga makelele tu

  • @nicolausisaya
    @nicolausisaya 3 місяці тому

    Daaaaah jama unajua namna ya kuuzungumzia mpira kwa undani

  • @JohnJohn-fs8ex
    @JohnJohn-fs8ex 3 місяці тому +1

    Tunaiombea Simba msimu ujao ichukue kombe la Shirikisho la CAF

  • @braystuskibassa3842
    @braystuskibassa3842 3 місяці тому

    Hatari sana timu zinakimbiza saana aiseee

  • @chedielimrutu6955
    @chedielimrutu6955 3 місяці тому

    Hongera Mzee wa data

  • @cosfubile7859
    @cosfubile7859 3 місяці тому

    Hiiii kwel next level

  • @yusufulimo5737
    @yusufulimo5737 3 місяці тому

    enjoy uchambuzi Bora from mbwaduke next level

  • @SimonJoseph-ww6mf
    @SimonJoseph-ww6mf 3 місяці тому

    Anajua na anajua tena na tena

  • @hurumakibendwa2866
    @hurumakibendwa2866 3 місяці тому

    Big up man

  • @MasterNdangwe
    @MasterNdangwe 2 місяці тому

    Baba we ni mkali tz

  • @abdallahmkodo
    @abdallahmkodo 3 місяці тому

    Kaka ongera

  • @ErastoChilanza
    @ErastoChilanza 3 місяці тому

    Kwahiyo hiyo inasaidia nini kwamba watacheza klabu bingwa au

  • @Farida-jx5nz
    @Farida-jx5nz 3 місяці тому

    Mwamba nakubari

  • @novanickywasanzu5589
    @novanickywasanzu5589 3 місяці тому

    Simbaaaaaa

  • @NicksonNditi
    @NicksonNditi 3 місяці тому

    Chama hakienda yanga hatakuwa ameshuka kiwango

  • @luindabablui7213
    @luindabablui7213 3 місяці тому

    🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁

  • @DeusiMorisi
    @DeusiMorisi 3 місяці тому

    Huyu huwa hawampi bahasha maana akina fulani na radio yao hadi aibu wanavyoipolomoshea simba mmhh

  • @mswakisaid2320
    @mswakisaid2320 3 місяці тому +1

    Umeeleweka mwamba wa takwimu

  • @nelsonmunuo971
    @nelsonmunuo971 3 місяці тому

    Mchambuzi no 1 Tanzania

  • @abdalahhassan5759
    @abdalahhassan5759 3 місяці тому

    Wape elimu wakina hans rafael maana wanapenda timu yao ya wala miogo wanaongea pumba tu wote wababaishaji tu utaona sura zimewakunja kama wanajua vile kongole mbwaduke

  • @graysonjohn1080
    @graysonjohn1080 3 місяці тому

    wewe ni mwalimu

  • @nelsonmunuo971
    @nelsonmunuo971 3 місяці тому

    Safi mtaalamu

  • @juliusmsegu3347
    @juliusmsegu3347 3 місяці тому

    Hii video naomba mzee Mugabe wa Simba yule wakuitwa Ngungu boy asiione maana ataibeba hii nzima nzima Kama ndio mafanikio makubwa zaidi ya uongozi wake.

  • @mohamedmatewele9185
    @mohamedmatewele9185 3 місяці тому

    Mchambuzi wa viwango wape darasa wachambuzi waganganjaa wanaotualibia soka

  • @ernestkamata2555
    @ernestkamata2555 3 місяці тому

    Huyu jamaa bingwa wa data

  • @monicachacha455
    @monicachacha455 3 місяці тому

    waooo

  • @DeusiMorisi
    @DeusiMorisi 3 місяці тому

    Anachambua kama wazungu

  • @josephpilla382
    @josephpilla382 3 місяці тому

    Tueleze na kuhusu Superleague

  • @maombikonga
    @maombikonga 3 місяці тому

    MWALIMU BORA KABISA😀😀

  • @nshaijatedy5512
    @nshaijatedy5512 3 місяці тому

    Leo umeupiga mwing

  • @zuberimwakipesile7108
    @zuberimwakipesile7108 3 місяці тому

    Mbwaduke mwambie jemedari akusaidie kidogo kutoa hiyo elimu kwa wapenda michezo sio kila siku kuongea Majungu tu na kutafuta umaarufu kwa njia ya kumchafua Manara na rais wa timu ya utopolo.

    • @chrispinmkanda6097
      @chrispinmkanda6097 3 місяці тому

      Bingwa Yani mbaka wenye D, mbili wameelewa, hv uelewi kweli au unajifanyisha kuto kuelewa!?

  • @samwelrevocatus1218
    @samwelrevocatus1218 3 місяці тому

    Kuna watu watabisha na hapo

  • @saidikinye8147
    @saidikinye8147 2 місяці тому +1

    Aiseeeh.. wewe jamaa upo serious na kazi yako kiukweli

  • @ElinajaMlaty-qg4sj
    @ElinajaMlaty-qg4sj 3 місяці тому +1

    Unyamaaa

  • @khatibushomary6507
    @khatibushomary6507 3 місяці тому

    Inabidi upate zawadi ya mchanbuzi Bora,mpo utopolo acheni blabla.

  • @nelsonmjuni
    @nelsonmjuni 2 місяці тому

    Mwamba wewe unajua uchambuzi wa soka wengine mhmm wajifunze toka kwako.

  • @DeusiMorisi
    @DeusiMorisi 3 місяці тому

    Sasa wachambuzi wengine wanachambuaga nini haya hawana!!

  • @Abuumustwapha
    @Abuumustwapha 3 місяці тому +1

    Yan leo bwan dah ndo nimeelewa ssa mfumo wakutupandisha juu yan hizi Tim zetu mbili simba yanga vip zinapiga hatua ubarikiwe san mchambuz wetu kipenz aiseee

  • @joshuakitunzi9500
    @joshuakitunzi9500 3 місяці тому +2

    Pongezi kwako mtaalamu wa football analysis💪👏

  • @ezralazaro4967
    @ezralazaro4967 3 місяці тому

    Kwel wewe Ni mwalimu wa mpira

  • @AllyHamisi-c7j
    @AllyHamisi-c7j 3 місяці тому +1

    Big up,mbwaduke,big up simbaaaaaaaaaaaaa❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @omaryseboha
    @omaryseboha 3 місяці тому +1

    Mwamba sana mbwaduke

  • @ShafiiHungo
    @ShafiiHungo 3 місяці тому +1

    Haya safari njema simba sie turiishia fenal kazi kwenu

  • @ramadhanichubi9139
    @ramadhanichubi9139 3 місяці тому

    Yes wewe kuitwa mchambuzi ni sawa kabisa wasaidie na wengine waelewe tofauti ya mchambuzi na mshabiki.Wasaffm si vibaya mkijifunza.

  • @davismuzahula907
    @davismuzahula907 3 місяці тому

    Alafu utasikia utopolo wanakuja na mkeka wao Yanga yapaa nafasi tatu mara tu baada ya mcheo wa ngao ya jamii😂😂😂😂

  • @sweetbertrwiza5982
    @sweetbertrwiza5982 3 місяці тому

    Ukikutana na timu kama Azam hata kama haina point utasema ni kibonde!!

  • @ramadhanimalikikondo5314
    @ramadhanimalikikondo5314 3 місяці тому

    Ndio mchambuzi bora tz
    Nakufatilia toka berlin germany

  • @allyngoda761
    @allyngoda761 3 місяці тому

    Nimekuelewa vizuri Sana mwalimu wa Wachambuzi unatisha Mkuu

  • @GodfreyMwamaso
    @GodfreyMwamaso 3 місяці тому

    Sasa hizi kelele zote za yanga wanazitoa kwenye vyanzo gani vya habari utasikia yanga ni team tishio Africa takwimu za Caf hizo hapo nyinyi tuleteeni takwimu zenu za CCM

    • @mohdkhatib223
      @mohdkhatib223 3 місяці тому

      Tishio na ubora ni vitu tofauti. Simba amepata ubora kwasababu ali maintain kwa miaka takribani mitano anaingia robo ndio maana pointi zake zimekuwa nyingi.
      Ila Yanga ameanza kuwa tishio katika misimu miwili tu lakini kwa kishindo.

  • @BarakaPatrick-qe6se
    @BarakaPatrick-qe6se 3 місяці тому

    Daah imebaki uchambuzi wa usajili tumalizie ❤❤❤

  • @anoldkivuyohiphopmc1957
    @anoldkivuyohiphopmc1957 3 місяці тому

    Nakubali sana mbwaduke nakufuatilia nikiwa Arusha✌️💯🔥🔥🔥

  • @SolomoniDenis
    @SolomoniDenis 3 місяці тому

    Wanatucheka kuishia robo mara nyingi kumbe kuna faida kubwa tumeipata

    • @sweetbertrwiza5982
      @sweetbertrwiza5982 3 місяці тому

      Jipangeni mkikutana na timu iliojipanga kama Azam unafikiri kazi itakuwa nyepesi?

  • @joackimmutulu
    @joackimmutulu 3 місяці тому

    I like way you explain. Nice stuff

  • @ismailhassan5209
    @ismailhassan5209 3 місяці тому

    Mbwaduke we ni bingwa wa wachambuzi

  • @Barakah2590
    @Barakah2590 3 місяці тому

    Hakika nimeelewa br

  • @richboaz
    @richboaz 3 місяці тому

    Wewe ni mwalimu bora

  • @cosmasthomas9164
    @cosmasthomas9164 3 місяці тому

    Shikamoo mbwaduke🔥🔥🔥🔥

  • @CostancioFrancisco-lp6xg
    @CostancioFrancisco-lp6xg 3 місяці тому

    Tiko pamoja mbwaduke

  • @elistarish
    @elistarish 3 місяці тому

    Du,uko vizuri