ANAPOISHI RASHIDA WANJARA/ ANAKUBALIKA MTAANI WANAMUITA TAJIRI / MIAKA 10 SIKUWEPO TANZANIA /

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 192

  • @CalvinNjovu-w6e
    @CalvinNjovu-w6e 2 місяці тому +4

    Una baya cz maisha yote unayaweza una majigambo kikubwa unaishi kwako unajirisha mwenyewe unafanya mambo yako God bless you

  • @chani_tayra_official1860
    @chani_tayra_official1860 2 місяці тому +17

    Uyu dada mzur jamaniiiiii 😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊

  • @AzaAzamhmod
    @AzaAzamhmod 2 місяці тому +1

    Ila rashida wanjara ww ni sabufa hilo lisauti❤❤❤❤😂😂😂😂ila nmekupenda bure bado UNADAI MTOTO WA MOTOOOOOO.MREFU, BODY KINANDA

  • @Nelody77
    @Nelody77 2 місяці тому +4

    Show imetulia sana

  • @janeyjohnson9274
    @janeyjohnson9274 2 місяці тому +5

    Mwenzake Wema watapongezana baadae

  • @mshua337
    @mshua337 2 місяці тому +5

    Mnaomshangaa Rashida hamjawahi kuonja maisha ya uswahilini.Sisi waswahili kututoa huku ni issue

  • @jdny3652
    @jdny3652 29 днів тому

    Hii nimeipenda sana. Imechangamka

  • @OfficialA83640
    @OfficialA83640 2 місяці тому +8

    Haya mmeona waliochezea hela hao sehem wanazoishi halafu mumseme Zai Kijiwe nongwa anakaa uswahilini ahame asubuhtu😂😂😂

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 2 місяці тому

    Nimekupenda sana da shida umemkomesha sana swarehe....inaonekana unajitambua sana...safi sana inaonekana hupendi watu wajue mambo yako safiiiiiiiiiiiiiiiiii....unafanana sana na da hamida leila wa manzese mkavu atari....umemkomesha sarehe..yan da shida wewe mkali sana na hupendi ujinga safii

  • @نجمةموبيبي
    @نجمةموبيبي 2 місяці тому +7

    Jina kubwa , kakaa nje miaka kibao , lakin mmmh , simalizi 😢

  • @neemammbaga227
    @neemammbaga227 2 місяці тому +14

    My sisy zama plus saleh mnajitahid sana na hiki kipindi tunakipenda sana lakin tunaomba next time mtuletee mtu ambaye yuko tayar karidhika na kipindi mbn kate milaya alikubali kutuonesha nyumba nzima na vyumba vingi hatukuona ndani lkn alikubali kutoa ushirikiano sasa hii hapan jmn saleh wa watu kajitahidi sana sana kupata content za vyumban lkn wapi yan mdada anajib maswali kiswahili sana sana mpk hatujapenda 😢

    • @LuckyTemu
      @LuckyTemu 2 місяці тому +2

      Tuambie tuje tukutembelee kwako

    • @hawangunge8104
      @hawangunge8104 2 місяці тому +1

      Kwa kweli yan watu hawajui maana ya kipindi its supposed to be a home tour. Halima did better

    • @VicentAssanal
      @VicentAssanal 2 місяці тому +2

      SI Kila mtu anapenda kuonyesha maisha yake ndomana ya kuwa na vyumba ama chumba na sebule

    • @romanasia1777
      @romanasia1777 2 місяці тому +1

      Anazuga tu...ashakubaliana na mahojiano ndio maana kavaa hako kamaiki kabla Salehe hajafika...kifupi huwa ni kama muvi tu

  • @keyla3641
    @keyla3641 2 місяці тому +8

    Nampenda sana huyu dada

  • @Chombezaflava
    @Chombezaflava 2 місяці тому +1

    Ustar kazi kweli kweli

  • @janesiwingwa3142
    @janesiwingwa3142 2 місяці тому +5

    Kazuri ❤❤❤❤kadada haka.... Dada yetu ❤❤❤❤one love

  • @jrm9448
    @jrm9448 2 місяці тому +10

    Mabinti ndio wajifunze kuwa maisha ya mitandaoni sio maisha halisi. Demu jina kubwa ila maisha ya uswekeni.

  • @FaniaHassani
    @FaniaHassani 2 місяці тому +1

    Wanjara kama wanjaraaa mama king shayani❤❤

  • @Suburo767
    @Suburo767 2 місяці тому +14

    Swalehe leo umepatikana amna kula wala kuzulula vyumbani

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly 2 місяці тому +2

    Tajiriiiiiii🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳

  • @HadijaJoseph-d1g
    @HadijaJoseph-d1g Місяць тому

    Leo mmenichekesha sana

  • @NapatNapat-x6i
    @NapatNapat-x6i 2 місяці тому +11

    Yaan nimependa kweli Huyo dada leyo Saleh kanyoshwa😂😂

    • @DM.2200
      @DM.2200 2 місяці тому +1

      Na yule dogo mfupi alimnyoosha adi akafunga comment tusikoment 😂😂😂

    • @hatibbaraka3956
      @hatibbaraka3956 2 місяці тому +1

      Naona leo hata hajauliza chakula Salehe,wala hajafika jikoni,kapigwa pini mapema.

  • @AminaMwanaid
    @AminaMwanaid 2 місяці тому +4

    Ila wanjara hata c amini anapoishi huyu dada alitingisha sana ila Age goo sasa

  • @masungaiwvata5835
    @masungaiwvata5835 2 місяці тому +2

    Waigizaji,kama mgeni humtaki hiyo mic hapo kwenye shingo ya dela imekupataje na mtu humjui?

  • @Mamshika
    @Mamshika 2 місяці тому +10

    😂😂😂😂Leo umepatikana salehe na msosi leo hakuna umekoma leo 😂😂😂😂😂

  • @HadijaJoseph-d1g
    @HadijaJoseph-d1g Місяць тому

    Nimemupenda bule dada

  • @Amina-b1z
    @Amina-b1z Місяць тому

    Saleh na yule wa global tv wanapenda kula kula 😂😂

  • @nyakahodenis1473
    @nyakahodenis1473 2 місяці тому +1

    Nimekupenda

  • @elizabethwanjiku7831
    @elizabethwanjiku7831 16 днів тому

    ,😅😅yaani uyu Binti yupo herself. Halazimishii kujifanya anavyoishi kistaa. Saleh Leo Una kipindi kigumu chumbani huingii

  • @Brunn-mh2bq
    @Brunn-mh2bq 2 місяці тому +7

    Mtu unapokatibishwa kwa watu kisha unakaa na miguu unaweka kwenye kochi ni ustaarabu wa wapi?😢

  • @lucasmhagama8166
    @lucasmhagama8166 2 місяці тому +1

    Kashtukizwa ila kavaa mic na mtangazaji unaambiwa uvue viatu lakini cameraman hajaambiwa hivyo

  • @Jassmin-media-official
    @Jassmin-media-official 2 місяці тому +2

    Kaka mpenzi wako yule bonge anauza chakula bona unatabia zakula kwenye manyumba yawatu siku ukiwekewa sumu utakoma unapenda kula sana kah

  • @cdeleo9336
    @cdeleo9336 2 місяці тому +2

    Huyu ujanja mwingi maisha yake ya kawaida mno

  • @mrambadiana9678
    @mrambadiana9678 2 місяці тому +1

    Mremboooo❤😊

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 2 місяці тому +12

    Eehh 😢😢anavyo mwaga pesa kwenye vibao kata kumbe 😢😢😭😭😭

  • @SalomePaulo-z9x
    @SalomePaulo-z9x 2 місяці тому +1

    Sasa mbn anajifanya ataki Kuongea na ametoka na microphone kifuani😂😂😂😂 it means walishajipanga😂

  • @fellybonny5618
    @fellybonny5618 2 місяці тому +3

    Kwake pazur sana

  • @spreadlove5300
    @spreadlove5300 2 місяці тому +3

    Salehe leo Rashida kakutoa jasho la meno mmmh 😑😑😑 ya leo kalii 🤣🤣

  • @ruqaiamohammed345
    @ruqaiamohammed345 2 місяці тому +4

    Wanaomsema rashida naona akili zao hazina akili mlitaka aishi masaki / o / bay ? Mfyuuu rashida wa uswaz anaishi kiuswaz vile vile mrad anapumua nyie wenye maisha mazur kaen na maisha yenu

  • @MonadiNadi-j6s
    @MonadiNadi-j6s 2 місяці тому +3

    Hapo kwao familya jmn .mm nampenda mrefu mwenzangu🙏👌👌♥️

    • @naimaislam552
      @naimaislam552 2 місяці тому

      Warefu tujuane ❤❤❤❤

    • @salmaalimusa6809
      @salmaalimusa6809 2 місяці тому

      ​@@naimaislam552😢😢sisi wafupi twende wapi?

  • @theresiatemba3706
    @theresiatemba3706 Місяць тому

    mnao sema ndani kubaya mnataka kuweje

  • @mawlodafarida
    @mawlodafarida 2 місяці тому +1

    ❤❤❤❤

  • @sabrinasabrina8395
    @sabrinasabrina8395 2 місяці тому +8

    Anaongea kama mzee wa ngenga

  • @AsiaMkwawa
    @AsiaMkwawa 2 місяці тому +3

    Saleh leo hamna kula wala nini😂

  • @almasbakari5359
    @almasbakari5359 2 місяці тому +1

    ase uyu dada anachekeshaaa

  • @Neemajames-jo6vw
    @Neemajames-jo6vw 2 місяці тому +4

    Ila umezeeka ila unajikaz tu

  • @RonnieBertin
    @RonnieBertin 2 місяці тому +2

    Alafu ndo wanajiita waandishi wa habari. Ni. Usenge tu wanaojua tu

  • @ummullaqsa974
    @ummullaqsa974 2 місяці тому +4

    Unaenda wap we bibi eeeeh😂hapakuhusuu🤣🤣🙌saleh umenyooshwa n umbea wk😂

  • @hamedatanzani6
    @hamedatanzani6 2 місяці тому +5

    MTU mwenyewe anaringa mashauzi mengi Bora usingeenda

    • @Mzuri_002
      @Mzuri_002 2 місяці тому +2

      Anaboa kweli,maswali yote hamna analojibu anakwepa tu

    • @ZABIKHASCHOOLS
      @ZABIKHASCHOOLS 2 місяці тому +1

      Yaani anachosha hajui watu wapo kazini

  • @Officialjidaa-sn9cs
    @Officialjidaa-sn9cs 2 місяці тому +1

    Oyoooooooo

  • @shadrackjuliuskaboya5239
    @shadrackjuliuskaboya5239 2 місяці тому +2

    Sauti lake kwa haraka haraka nilizani bonge la mbibi alivyo kuja kutika ndo nikaona msichana

  • @OfficialA83640
    @OfficialA83640 2 місяці тому +1

    Dah nimecheka Salehe leo umepatikana lkn kweli mengine tuyapunguze Rashida nimekupenda mno sio km kwa Hassanali hd chumba cha mkewe kafungua mpaka kabati la nguo aah sio poa tena na mdada anamsafishia hd chumbani aibu gani ile😂😂

  • @AzaAzamhmod
    @AzaAzamhmod 2 місяці тому

    Kwako kuzuri rashida❤❤❤❤❤

  • @EmmyMtila
    @EmmyMtila 2 місяці тому +2

    Nimeshangaa sana kuona amaishi hapo staki kuamin😂😂

  • @khadijahhussan182
    @khadijahhussan182 2 місяці тому +4

    😂😂😂Duuh Ukiskia kazini Kuna kazi ndo Leo kwa salehe 😅

  • @tunajaribu
    @tunajaribu 2 місяці тому +7

    Oh amenikumbusha Tandale kwa bi Nyau hahaa! Ntamkumbusha mume wangu, kumbe ni Nyau alishapunzika.

  • @upendommbaga7070
    @upendommbaga7070 2 місяці тому +24

    Huyu si kwamba ataki kutembelewa ila anaona aibu jina kubwa lakini hakuna alichofanya, nyumba aifanani na yeye kabsa

    • @hamedatanzani6
      @hamedatanzani6 2 місяці тому +5

      Umeonaee anaona aibu kuonyesha chumbani pengine kuchafu hajatandika😂😂😂

    • @btylove1870
      @btylove1870 2 місяці тому +1

      Kweli kabisa 😂

    • @ummullaqsa974
      @ummullaqsa974 2 місяці тому +6

      Uskute chumbani kapandikiza mijaba ya maji umo😂😂😂🙌kutaka majina t mjini pa kuishi aaaah

    • @DM.2200
      @DM.2200 2 місяці тому +1

      Chumbani kamficha mpenz

    • @ziadasalimu1730
      @ziadasalimu1730 2 місяці тому

      Mimi pia sijamini ha!

  • @shabirikika
    @shabirikika 2 місяці тому +3

    Quality ya video ni mbovu

  • @najathtemo3908
    @najathtemo3908 2 місяці тому +2

    Sijapendra kipindi chaleo hilo lidada linaongea tu hajatuonesha vyumban,choon ,jikon sehemu zanguo kilichonikera zaidi ajampikia salehe wangu chakula😢kaz kumtembeza mitaani tu😢😢😢😢

    • @spreadlove5300
      @spreadlove5300 2 місяці тому +1

      Siku hazifanani mahi 😂😂😂

    • @mariamjoseph3530
      @mariamjoseph3530 2 місяці тому

      😂😂😂😂😂na salehe anavyo penda kula

    • @jacklinechuga2569
      @jacklinechuga2569 2 місяці тому +1

      Amerudi kwao na njaa😅

    • @HadijaJoseph-d1g
      @HadijaJoseph-d1g Місяць тому

      Itakuwa hapiki anakula kwa mama ntilie eti siumeona naonyesha anapokulaga mjonga sana hapendi kupika

  • @HadijaJoseph-d1g
    @HadijaJoseph-d1g Місяць тому

    Ndani kakataa kukutebeza upaone ila nje anakutembeza

  • @AzaAzamhmod
    @AzaAzamhmod 2 місяці тому

    Saleh umepatkana leo no chakula no umbea😂😂😂

  • @BerthaModest
    @BerthaModest 2 місяці тому +5

    Walivyotok kwake mtaani kachachuka hatari😂😂🙌kwake alikuwa naogopa akichek wataingia chumbani lol

  • @MariamIbrahim-h7p
    @MariamIbrahim-h7p 2 місяці тому +1

    Bakueewa life simple sn

  • @GraceKija
    @GraceKija 2 місяці тому +1

    Yn mtu amewekewa maiki arafu anaigiza ataki😂😂😂

  • @BintRasheed1999
    @BintRasheed1999 2 місяці тому +2

    Wapili🔥🔥

  • @emmastraika
    @emmastraika 2 місяці тому +10

    kashtukizwa uku kashavaa mic🤣

    • @RebecaMackenzi
      @RebecaMackenzi 2 місяці тому

      Imenibidi nirudi kuangalia hapo mwanzo, asee uko makini kweli😂😂😂😂😂😂

    • @nikrahayubu-sz3pw
      @nikrahayubu-sz3pw 2 місяці тому

      ​@@RebecaMackenziMie pia

    • @PeterMalima-fc4tf
      @PeterMalima-fc4tf 2 місяці тому +1

      Wabongo maigizo mengi😀😀

  • @happygift9055
    @happygift9055 2 місяці тому +2

    Saleh leo na njaa yako na ulivo mroho😅😅😅

  • @zr7808
    @zr7808 2 місяці тому

    Presenter pls try to not ask people to show their rooms. It's shame, shame shame. Ao ndo tabiya ya wanaume wa tz. Aibu sana tena sana punguza kuchunguza kwa watu

  • @btylove1870
    @btylove1870 2 місяці тому +7

    Watu ukiwaona kwenye mitandao wanakwambia wig million 10, sijui shida sio shida zao! Alafu unatamani maisha yao unajiona wewe umechelewa, please achaneni na maisha ya mitando niyauongo! Huyu dada ni wakuishi hivi kweli🤔??

    • @sabrinasabrina8395
      @sabrinasabrina8395 2 місяці тому +4

      Haki ya mungu tuishi Maishal yetu Maisha ya mitandao sio khaaaa

    • @beatricesonga3468
      @beatricesonga3468 2 місяці тому +2

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 atan na mimi nimepigwa n'a butwaa kabisa sikutegemeya kama anaishi uswahilini uyo dada jamani watu wa mitandaoni wasitutanganye kweli

    • @btylove1870
      @btylove1870 2 місяці тому +2

      @@sabrinasabrina8395 Maisha ya kwenye mitandao sio maisha ya kweli kabisa!

    • @btylove1870
      @btylove1870 2 місяці тому

      @@beatricesonga3468 Anaishi uswahilini sana mpaka anaona aibu hat kuonesha chumba au jiko! Akiumwa usiku gari haingi inabidi watu wambebe mpaka barabarani!

    • @mariamkibindo1741
      @mariamkibindo1741 2 місяці тому +2

      Kwakweli kila mtu Aishi maisha yake

  • @JescaMwagama-oc9yt
    @JescaMwagama-oc9yt 2 місяці тому +3

    kaset naliona hapo lamwaka 1977

  • @nyakahodenis1473
    @nyakahodenis1473 2 місяці тому +1

    Ila huyo swaleh amependezana na huyo dada kama dada ake

  • @NIKIZAGloria-l2k
    @NIKIZAGloria-l2k 2 місяці тому +6

    Rashid we naye myaka yote apo ndo kwako

  • @Marjeby
    @Marjeby 2 місяці тому +1

    Acha kumdanganya wewe! Rashida wa Profesa Jay ndiye Rashida huyu?!Rashida wa Jitegemee ndiye huyu😮
    Rashida kazeeka bnaa but the truth Rashida alikuwa mzuri sana for now kazeeka na sauti lake la pombe hilo basi ukimkuta ndani ya OPA yake ile ya mwaka 1998😂😂😂

  • @Maggie824
    @Maggie824 2 місяці тому +1

    I'll sio pake amejificha kwa rafiki yake

  • @hassanisalimpulo2223
    @hassanisalimpulo2223 2 місяці тому +1

    Ritobiti😊

  • @HadijaJoseph-d1g
    @HadijaJoseph-d1g Місяць тому

    Leo umekutana nacho

  • @AzaAzamhmod
    @AzaAzamhmod 2 місяці тому

    😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤NAKUPENDA rashidq

  • @magenisweke3270
    @magenisweke3270 2 місяці тому +1

    🔥🔥

  • @RonnieBertin
    @RonnieBertin 2 місяці тому +1

    Kazi imeanza🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @SalamaNauthar
    @SalamaNauthar 2 місяці тому +1

    😂😂😂😂 Saleh Leo umepatikana umbea wote kwishney

  • @esterMahenge
    @esterMahenge 2 місяці тому +4

    Ila ana jina kubwa wanjala nilijua amejijenga maisha safi kumbe 😮

  • @AshuraYasin
    @AshuraYasin 2 місяці тому +2

    Sijawah kutegema kua da rashida wanjara anaweza kuishi hapa sio kwa ubaya kwa mitikasi aliyofanya town

    • @miriamdavis3893
      @miriamdavis3893 2 місяці тому

      😂😂😂😂

    • @miriamdavis3893
      @miriamdavis3893 2 місяці тому +1

      Kupanga kazi 😊

    • @svt3
      @svt3 2 місяці тому

      Usishae tena labda nyumba yenyewe ya kupanga

  • @MARIAMUBAJUTA
    @MARIAMUBAJUTA 2 місяці тому +1

    Dahh 😂😂😂😂😂

  • @hadija_makange
    @hadija_makange 2 місяці тому +1

    😅😅😅😅😅swalh Leo kajichanganya

  • @LatifaRajabu-l3n
    @LatifaRajabu-l3n 2 місяці тому +2

    Ila uyu dada mkavu

  • @glorymiko6830
    @glorymiko6830 2 місяці тому +1

    Namtafuta dada yako rehema.

  • @LatifaRajabu-l3n
    @LatifaRajabu-l3n 2 місяці тому +3

    Dada anamsaut uyo

    • @Mzuri_002
      @Mzuri_002 2 місяці тому

      Kma genereta😂

  • @MohamedMkota
    @MohamedMkota 2 місяці тому +1

    Hkn kuraaaa Leo swalehe😅😅😅😅

  • @FarajaChande-e7s
    @FarajaChande-e7s 2 місяці тому +1

    Ata aijanoga

  • @MariaThomas-wm9iq
    @MariaThomas-wm9iq 2 місяці тому +2

    Kumbe mtu wakwe2 jaman Musoma moja

  • @HadijaJoseph-d1g
    @HadijaJoseph-d1g Місяць тому

    Huyu kapanga uswahilini sababu kodi lahisi siyo nyumba yake bora hata angekuja kuishi kigamboni kisota da hata mimi sina lolote niko mtaa wa wenye heshima da kalibu kisota panakuvaa hapo huendani napo. Kabisa eti mc halafu mtangazaji namenginelo halafu uko hapo aibu

  • @SaraSara-i1l
    @SaraSara-i1l 2 місяці тому

    Mbona jina kubwa sana mashauzi mjini miaaka yote

  • @HadijaJoseph-d1g
    @HadijaJoseph-d1g Місяць тому

    Kwanini unapenda kula kwa mama ntilie kwanini usikae ukatulia kwako ukapika chakula kizuli ukala hapo umeniacha hoi bas wewe ni kijiweni makubwa

  • @aairraahseif5648
    @aairraahseif5648 2 місяці тому +2

    😂😂😂😂Very funny 🎉🎉

  • @DM.2200
    @DM.2200 2 місяці тому +3

    Leo na ile siku ya yule dogo mfupi salehe kakomeshwa kimbelembele chote kwisha 😂😂😂

  • @stellamwita7041
    @stellamwita7041 2 місяці тому +1

    Mwana FA ye na mabinti damu damu pia kakutaja

  • @ziadasalimu1730
    @ziadasalimu1730 2 місяці тому

    Jina kubwa ,umetembea mchi nyingi ila bado maisha magumu da! Mungu msaidie

    • @Thisisgrace979
      @Thisisgrace979 2 місяці тому

      Mmmhhh akiba ya maneno jamani

    • @zuhuraa3301
      @zuhuraa3301 2 місяці тому +2

      Sasa hapo ana ugumu upi???.

    • @kwisa4899
      @kwisa4899 2 місяці тому

      Tatizo la wanawake wana chukulia maisha yapo kila siku

  • @mnllyboy_tz9107
    @mnllyboy_tz9107 2 місяці тому +1

    Wa kwanza ku comment

  • @LatifaRajabu-l3n
    @LatifaRajabu-l3n 2 місяці тому +1

    Kwaiy flan ulitoa zawad au ulitoa kwaajili yakusaidiw kufuwa

  • @haskao77
    @haskao77 2 місяці тому +3

    Kwani huwa hamuwapi taarifa mnapokwenda?
    Na kuwaambia kipindi kinavyokuwa, sipendi mijitu isiyo na ushirikiano. Hata yule bibi, wiki mbili zilisopita naye alikuwa mkorofi

  • @mawlodafarida
    @mawlodafarida 2 місяці тому +1

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @keyla3641
    @keyla3641 2 місяці тому +2

    😂😂😂😂😂yanileo raha vichejesho tu