GB64:MANGUNGU| TRY AGAIN TUACHIENI SIMBA YETU TUMECHOKA|SERIKALI TUNAOMBA MTUSAIDIE TUMELIA SANA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 кві 2024
  • KWA HABARI NA MATANGAZO
    TUPIGIE SASA
    0753393036 CALL
    0625466848 WHATSAPP

КОМЕНТАРІ • 529

  • @Bashitetako
    @Bashitetako Місяць тому +21

    Duh huyu mtu sina cha kuongeza 💯🙌🙌🙌🙌

  • @allysudi6401
    @allysudi6401 Місяць тому +5

    GB mungu akumbliki kaka umeongea ukwli mtupu umeongea kwauchungu sna at mm inaniuma sna simba inakokwnda inapotez ufalume wke

  • @amosjulius3263
    @amosjulius3263 Місяць тому +6

    Umetuwakilisha wanasimba wote Asante baba

  • @user-vv9wb9he2x
    @user-vv9wb9he2x Місяць тому +26

    GB 64 Ahsante Kwa kuongea ukweli wapo mashabiki wa Simba wanaufahamu ukweli lakini wanaacha kuongea ukweli kwasababu yakutulizwa na pesa za viongozi

    • @mwanangusana
      @mwanangusana Місяць тому +3

      Huyu nae c ndo wale wale 🤣🤣 ila Leo ka amka na akili yake ya asili , mawingu mawingu ya mvua yanamsaidia ila jua likianza kutoka na kichwa kikapata jua aahh utashangaa atayo yaongea 🤣🤣🤣🤣

    • @SHABANIMALIMA
      @SHABANIMALIMA Місяць тому +1

      😂😂😂😂 Teacher aka GB64 ogopa MUNGU ni technologia yaani umeshau kabisa kama ulisha wahi kusema Kocha BENCHIKHA ni Bonge lakocha kuliko hata ROBERTEHNO ukasema BENCHIKHA ni bora kuliko ROBERTEHNO BENCHIKHA anajua kuwa funga AL AHLY VP tena halafu Si mlisema AL AHLY mlisha mzoea hawasumbui ukatoa na takwim Kabisa Baada ya kutoa nae SaremarambilikwenyeMichuanoya Afcrican Football League (AFL) ukasema una muweza kwa kocha mlie nae Benchikha Leo hii Benchikha una mfananisha na torch ambayo hainawaki haina charge hongera kwa kula matapishi yako

    • @user-vv9wb9he2x
      @user-vv9wb9he2x Місяць тому +2

      Aisee

    • @barakajoseph7086
      @barakajoseph7086 Місяць тому +1

      😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊

    • @barakajoseph7086
      @barakajoseph7086 Місяць тому +1

      😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊

  • @user-yy7sw8tx9u
    @user-yy7sw8tx9u Місяць тому +14

    Ongea Mzee ukweli wote tunakuelewa robatinyo alijitaidi kuwafichia aibu Sasa wajiuzurutu

  • @user-md7sd3hk6l
    @user-md7sd3hk6l Місяць тому +32

    sasa naanza kumu elewa mchome ndiyo shabiki wa kweli ana sema ukweli wote tuli kuwa tuna muona m baya kumbe msema kweli

    • @mwanangusana
      @mwanangusana Місяць тому

      Chezea posho 😂😂😂, Nina wasi wasi amekatwa huyu ameondolewa kwenye mfumo wa posho la vijana wa mapambioo,,,,, hujifanya ana fact na evidence, tulimwambia ukiwa na hoja mtindi na facts za kuchezea singeli 🤣🤣mwisho utaaibika , ukiwa na hoja za uongo mwisho ukweli utajitokeza tu , lilikuwa suala la muda tu ila sasa ndo muda wake , maji na mafuta yameanza kujitenga 😂😂 oblongata yenyew Inamgomea Gb64 chache sanaaa uongo unamdhuruu 😂😂😂

    • @TegemeaFutemakatifu
      @TegemeaFutemakatifu Місяць тому

      Mchome unataka kumpa Sifa za Bure tu, ila huyu ndo mwanasimba Halisi, Ila sio Mchome yule anatumika tu Wala sio mwana Simba yule

  • @lukamkongwi9234
    @lukamkongwi9234 26 днів тому +2

    Uko vizur Sana

  • @khadhiriramadhan5984
    @khadhiriramadhan5984 27 днів тому +1

    jamaa anapointi saana sema viongozi wa simba watamuuwa kwa tamaa zao atapewa kesi ngumu ili apotelee jela niukweli mtupu anaongea clip zoote point saana kaka mungu akueke inshaallah ♥️ ❤

  • @samsonnyihita3985
    @samsonnyihita3985 Місяць тому +4

    Asante Sana kaka shida kubwa viongozi

  • @user-vt2jy1ts5k
    @user-vt2jy1ts5k Місяць тому +3

    Pole sana ukiona mwanaume atoa povu kiasi hiki jua imeuma leo ndio umeona mda wote ulikuwa uwoni duuuuu

  • @Izaangonyan
    @Izaangonyan Місяць тому +13

    Gb 64 nashindwa niandike nini ila itoshe tu kusema uko sawa sawa na ninakuombea 🤲🤲 kwa Mungu akulinde na kukuongoza vyema 🙏🙏🙏

    • @EmanuelGelvas-iq4me
      @EmanuelGelvas-iq4me Місяць тому +3

      Jamaa shujaa Sana yaan anaongea points sana

    • @SHABANIMALIMA
      @SHABANIMALIMA Місяць тому +1

      Mkiachiwa timu mtaweza kuiongoza acheni ulevi🏃Kuongoza ⚽ wa miguu kazi kubwa

  • @user-cl5yq6ne3q
    @user-cl5yq6ne3q Місяць тому +5

    Kweli hayo maviongozi yatokee wabadiri wengine

  • @estonsaimon6671
    @estonsaimon6671 Місяць тому +5

    C.E.O wa Simba ndio kabisa hamna kitu

  • @user-ze1gq4vj5t
    @user-ze1gq4vj5t Місяць тому +6

    Sema kaka mm niko mozambiq inauma sana

    • @mwanangusana
      @mwanangusana Місяць тому +1

      Wewe si ulisema sio mtz Wala sio shabiki wa kolo 🤣😂😂😅
      Sema kipi kikusikitichasho .....
      Dawa inawaingia vzr kolozmelody 🤣😂😂, bado apo ila endeleni kupaza sauti mpaka janja janja iondoke pale udundukani, mkiendelea na uzuzu wetu Yale ya manzoki yatajirudia kwa mayelee, kataeni umbumbumbu juzi mlikuwa mnakataa ukweli wa mwina kaduguda 😂😂😂

  • @saidmoussa909
    @saidmoussa909 Місяць тому +7

    Kwanini team hapewi Mzee Dalali..Jamani kosa Sio MO kosa ni Management yenu...Na boards mzima ni mbovu... Kwanza mangungu na Try Again hawafai kuingoza Simba..

    • @mwanangusana
      @mwanangusana Місяць тому +1

      Hawatoki na Wala hamna ubavu huo 🤣🤣🤣, nyie ndo wa kulingishiwa mchezaji kweliii aletwe manzoki kwa magharama yote kuja kupumbazwa mwisho unamkuta sawadogo 🤣, okwa, Charamba, chasambi 🤣🤣🤣🤣 unawatoa wachezaji wazuri unaletewa wa kawaida mnapata wapi ujasiri wa kumuacha jean Otto's Baleke unamuacha Moses Phiri Kisha unawaleta akina fred vunja bei 🤣 na jobe kweliii ??? Unamuacha Mohammed Musa Unamleta karabaka 😂😂😂 duuuuuu ndugu zanguni msipokomaa mtaendelea kulia Kila wakatiiiii 😂😂😂

  • @JacobMorogoro-is7kj
    @JacobMorogoro-is7kj Місяць тому +4

    ❤❤❤❤Ahsante

  • @matridamwalyoyo1735
    @matridamwalyoyo1735 Місяць тому +2

    Mtangazaj nunua mike za earphones ytashukilia hivo mpk lini

  • @user-ei3ry9dy2w
    @user-ei3ry9dy2w Місяць тому +2

    Nakuelewa teacher

  • @habibrwegoshora6624
    @habibrwegoshora6624 Місяць тому +5

    ONGERA KWA KUANZA KUWA NA UONO ...UMEANZA KUWA KAMA WANANCHI

  • @JustoNyaguti-ov8xp
    @JustoNyaguti-ov8xp Місяць тому +2

    Akili nyingi sana brooGb64

  • @user-wp2ww7mf7r
    @user-wp2ww7mf7r Місяць тому +1

    Upo vizuri kaka

  • @chidyboy798
    @chidyboy798 Місяць тому +2

    Yani wewe tatizo huwa unang'ata na kupuliza kaka kuwa muwazi kama mwenzio miraji huwa unasifia hadi unavuka mipaka kaka

  • @pendolingi9055
    @pendolingi9055 Місяць тому +1

    KK SEMA ukeli uwogozi mbaya wanasigizia wachezaji waogo Bora wageni wanajitaidi

  • @bulengwamisiri5630
    @bulengwamisiri5630 Місяць тому +2

    Hao viongozi waachie timu

  • @REginamasamathias
    @REginamasamathias Місяць тому

    Sema kaka tunazalilika ❤

  • @patrickmmary
    @patrickmmary Місяць тому +3

    INAUMA Sana Sana Sana Kama

  • @babyredbabyred7084
    @babyredbabyred7084 Місяць тому +10

    Mungu akupe maisha marefu kaka

  • @touches4lifeonlinetv46
    @touches4lifeonlinetv46 28 днів тому +1

    MPIRA WA SIASA HATUTAKI
    HABARI YA KUPIGA PICHA NA WACHEZAJI HATUTAKI MLIANZA A NA MANZOKI KISHA DUBE MARA MAYELE HATUTAKI MPIRA WA KAMPENI

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 Місяць тому +2

    KOCHA WA SIMBA TUTAMPOTEZA KWA UZEMBE WA VIONGOZI. USAJILI MBOVU SANA.

  • @DeviKita
    @DeviKita Місяць тому

    Wambie kak viongozi wanatuuwa yan

  • @stanslausbereghe3819
    @stanslausbereghe3819 Місяць тому +1

    Mlikuwa mnaicheka yanga, mlikuwa hamjielewi. Ongeeni sana. Yanga mbele kwa mbele!

  • @omarylukindo5306
    @omarylukindo5306 Місяць тому +3

    Waambie na wakina kisugu maana wao kusifia2 mkiungana wale wanatoka2.ila wenzako wakina pasi milioni wakizunguuka wakipewa buku20 wanapamba uongozi

    • @jaffjeff6912
      @jaffjeff6912 Місяць тому

      😂wanapewa posho nzito
      GB64 posho hapewi

  • @georgeuswege5905
    @georgeuswege5905 Місяць тому +2

    Nikurekebishe Yanga hatuchezewi, Yanga ndo tunawastua muake kwenye usingizi mzito wapono kupenda kusifia ujinga

  • @biggievandar254
    @biggievandar254 Місяць тому +4

    Hujskia yanga wakitukana viongozi taja Hilo Simba lako yanga wako vizuri sana

    • @laninjeje8290
      @laninjeje8290 Місяць тому

      We mkundu wewe na mama yako anatombwa dunia nzima, GB64 anaongea ukweli kabisa

    • @biggievandar254
      @biggievandar254 Місяць тому

      @@laninjeje8290 Asante sana ubarikiwe mm sitakutusi juu sijafunzwa hvyo ila ukweli mchungu Simba mbovu pamoja na viongozi yanga nimoja tu Africa

    • @pascalmwaigombe-xc4nt
      @pascalmwaigombe-xc4nt Місяць тому

      Eti yanga nzuri msenge tu wew.gb64 anaakili kuliko ata baba ako matako yako

  • @user-mh7si3fi9b
    @user-mh7si3fi9b 28 днів тому +1

    Safi sana Gb 64 ukweli ndo uo

  • @allymtanga8127
    @allymtanga8127 Місяць тому +3

    LEO NDO MTAJUA MAANA YA DAIMA MBELE NYUMA MWIKO 😅😅😅😅

  • @mwakilamwaki1718
    @mwakilamwaki1718 Місяць тому +2

    Uyu alikuwa anawasifia sana wachezaji awa tena kwa kutukana wenzake leo analialia

  • @mudhihirugara8845
    @mudhihirugara8845 Місяць тому +2

    Mshabiki simba huna nafasi simba simba inawenyewe hatauongee vp haisaidiii unaharibumateyako

  • @EmanuelGelvas-iq4me
    @EmanuelGelvas-iq4me Місяць тому +2

    Point Sana yaan umeongea ukweli Sana ❤

  • @charleskuyeko4400
    @charleskuyeko4400 Місяць тому +2

    Gb 64 umekosea kidogo. Mapaka siyo wale 21 ambao hawajakaribishwa kutoa ushauri. Mapaka ni Bodi iliyopo sasa. Hao ndiyo wameshiba dagaa pamoja na mapanya yao.

  • @simonzelote5998
    @simonzelote5998 Місяць тому +2

    Huyu jamaa kaongea ukweli try again na mangungu ni tatizo usajili gani huu wa akina saido Fred job kazi gani hii

  • @salimmalaka256
    @salimmalaka256 Місяць тому +6

    KUHUSU ROBERTINO WALIMUONEA LAKINI NA HUYU BENCHIKA TUTAMLAUMU KWA LIPI??? UWOZA NI VIONGOZI WETU SIMBA

    • @peterkapel5332
      @peterkapel5332 Місяць тому

      Hajamlaumu amaesema Benchika ni Tochi ambayo haina Betri

    • @peterkapel5332
      @peterkapel5332 Місяць тому

      Robetinho alikua ni tochi yenye angalau betri

  • @generozakatima5849
    @generozakatima5849 Місяць тому +6

    Ww siulikua unasifia timu yenu bora kulikon leo povu linakutoka! 😂😂😂

    • @angellomarcel5677
      @angellomarcel5677 Місяць тому +1

      😂😂 alisema ni Bora lkn imemuangusha acha atoe GESI😅

    • @MabulaMichael-iu2bi
      @MabulaMichael-iu2bi Місяць тому +1

      🤣🤣🤣🤣..kumbe na ww ulimwona mara ya kwanza eh 🤣🤣

    • @issakikwazi-jm5rq
      @issakikwazi-jm5rq Місяць тому

      kaa kimya nyumbu wewe mambo ya simba hayakuhusu

    • @MabulaMichael-iu2bi
      @MabulaMichael-iu2bi Місяць тому

      @@issakikwazi-jm5rq SS nyumbu c wanajuaana ushwahi kuona nyumba anajibizana na binadamu , so hata ww ni nyumbu ukibishana na nyumbu mwenzako 😅

  • @hamisibrahim9879
    @hamisibrahim9879 Місяць тому +2

    Ongea kaka

  • @EmmaSichone-vg9gy
    @EmmaSichone-vg9gy Місяць тому +2

    Nimeanza kukuelewa

  • @mustaphawelder7022
    @mustaphawelder7022 Місяць тому +1

    Hahaha leo tena serikali, mm nakuja kugombea uongozi ili nitoe uozo wote ndan ya simba

  • @boazgodfrey865
    @boazgodfrey865 Місяць тому

    Nimekuelewa kaka!!

  • @manyanyangassa1895
    @manyanyangassa1895 Місяць тому +1

    Nakuelewa sanaa

  • @SubiragaKabango
    @SubiragaKabango 17 днів тому

    SsC ni timu ya waungwana na wacha Mungu! Kelele za chura hazimtoi mamba kwenye maji! Bali Tuzidi kuwaombea wachezaji wetu!

  • @jonathansirkintungi7434
    @jonathansirkintungi7434 Місяць тому +2

    Huyu alinyimwa tiketi ya kwenda Misri njaa inamwuuma.

  • @user-wk2bg8zf3l
    @user-wk2bg8zf3l Місяць тому +3

    Simba nguvu moja ❤❤❤❤,najua ipo siku tutafurai😢😢😢

  • @msurimtenukila6745
    @msurimtenukila6745 Місяць тому +2

    Dah, upo sahihi Gb 64 😮😮😮

  • @SelemaniSaid-ip6se
    @SelemaniSaid-ip6se 27 днів тому

    🎉🎉🎉ongea brother

  • @piuslugata4931
    @piuslugata4931 28 днів тому

    Umeongea ukweli kwa kweli hatutakubali watumize kwasababu ya maslai yao viongozi waondoke

  • @touches4lifeonlinetv46
    @touches4lifeonlinetv46 28 днів тому +1

    VIONGOZI ACHIENI NGAZI UJE UONGOZI MPYA

  • @user-dk1rm6ik5s
    @user-dk1rm6ik5s Місяць тому +1

    Kweli kabisa vingozi wetu wana zingua Sana sajili zetu zajanjanja

  • @user-it7jz4fc6q
    @user-it7jz4fc6q Місяць тому +2

    Gb 64 uko sawa

  • @rehemambwanji3883
    @rehemambwanji3883 Місяць тому +1

    Kwakweli hii hainogi inaumiza sana

  • @mussandikumana3561
    @mussandikumana3561 Місяць тому +2

    Simba tangu kumtowa Hadji Manara aijawa sawa na apo apo Yanga alianza kuchuwa ma kombe yote mwaka miwili ingekuwa uwezekano upo Manara angerudi ile Simba sio iyi

    • @laninjeje8290
      @laninjeje8290 Місяць тому

      Acha ujinga mbwa wewe, zeruzeru Haji Manara ndo atasajili wachezaji??

  • @jamesmaneno2281
    @jamesmaneno2281 Місяць тому +6

    Daaa aise mpka machozi yamenitoka jamaa kaongea kiuchungu sana b4 we mtu kaka

  • @leonardlunguya7112
    @leonardlunguya7112 Місяць тому +1

    Hayo machungu uliyonayo kaka GB64 ndiyo tuliyonayo mashabiki wote.Lakini Rais Samia hawezi kuingilia masuala ya michezo.
    Hapo wanachama wakutane wawatimue hao akina Try Again,Mangungu na huyo CEO Kajula.Kama hawataki kuachia timu ni kuwatimua Kwa mawe na Kwa fimbo tu.
    Kwa kweli Viongozi wa Simba wanakera mno Tena mno.
    Halafu yamekaa kimya tu.

  • @mwakilamwaki1718
    @mwakilamwaki1718 Місяць тому +2

    AJI MANALA aliwalahani

  • @shijamakoye6013
    @shijamakoye6013 Місяць тому +2

    Oya nawewe uwe unasugua meno yani meno yana rangi kama ya mbuzi au ng'ombe

  • @shijamakoye6013
    @shijamakoye6013 Місяць тому +2

    Try again na mangungu mkumbukeni huyu jamaa hata million moja mtumieni atulie sio kama anapenda kupiga hizi kelele ila anatafuta kula kama wanavyokula wakina wakatare, muziwanda, mzaramo na wengine

  • @Xhunjderxilvar
    @Xhunjderxilvar Місяць тому +2

    Jqmqaa anaongea oenty Sana

  • @dorostaferician-jb1sf
    @dorostaferician-jb1sf Місяць тому

    Bila mungu kumuondoa mangungu na try again Simba in shida kusonga mbele

  • @JumaMashombo
    @JumaMashombo Місяць тому

    Ili kuwaondoke kabisa viongozi tufungwe na yanga tena na azam hapo zitajulikana mbivu na mbovu

  • @mwanangusana
    @mwanangusana Місяць тому +2

    😂😂😂 kumbe alikuwa anaitaka safari ya Cairo .......c alijidai 😂 😂 hawatak kulipiwa 😂😂😂😂😂 , mkifungwa tu mnaanza kugombana wenyewe kwa wenyew

  • @mjubachibu
    @mjubachibu 28 днів тому

    😮❤❤nikweli GB64 viongz wanazngua kbc km wamechoka simba waach mbn wachz wazr wap weng sana tatz vngz wanatamaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa wapngz tamaaaaaaaa wataft wachz zr

  • @user-uf3xs2sh5n
    @user-uf3xs2sh5n Місяць тому +1

    Hakika umeongea ukweli uko sawa kabisa Na huyu kocha tulie nae kaja kuiua histria ya. SIMBA ukweli ndio huo

  • @IsackJemus
    @IsackJemus 27 днів тому

    asente sanakwakuogea ukweli na Mungu atakulida

  • @JohnRossan-pk5cl
    @JohnRossan-pk5cl Місяць тому +1

    Hao wana wanaopiga Back voko niwa Nomaaa sana

  • @user-dn9op4tm5h
    @user-dn9op4tm5h 27 днів тому

    Duu gb unaongea ukweli kabisa yaana inafika hatua m mwenyewe mpaka naumia yaan😂😂😂😂😂😂

  • @user-fk4kc8qc1g
    @user-fk4kc8qc1g 27 днів тому

    Gb mumushauli jamani atafute muganga amupe kinga kubwa mana hapo asipoangalia hatukonae tena tunakupenda ndomana tunakushitua Wana sema kizuli hakidumu

  • @user-rt3ff9iq1g
    @user-rt3ff9iq1g Місяць тому +1

    Dah ww na miraji mnaonge vema sana

  • @jumamustapha8254
    @jumamustapha8254 Місяць тому +1

    Mimi yanga damu,lkn gb 64 umeongea kwa uchungu mkubwa yaani kwa hisia kubwa Sana. Pole saaana mtani. Yanga yamekwisha hayo, pambanieni timu tuzidi kuitangaza tz.

  • @user-kw4yn3vq2v
    @user-kw4yn3vq2v Місяць тому

    Pole jaman ipo siku mtafanikiwa

  • @user-fu6rl3dp5x
    @user-fu6rl3dp5x Місяць тому

    Uko vizuri

  • @tatually3609
    @tatually3609 Місяць тому +2

    Waondoke wanasubili nini

  • @SamwelFugugu
    @SamwelFugugu 26 днів тому

    Wanaompinga jb 64 wanakula pamoja naviongoz wa simba

  • @user-rt3ff9iq1g
    @user-rt3ff9iq1g Місяць тому +1

    Ww uko tofauti na machawa kama kisugu sugu uwa aongei kweli

  • @user-ij9sc8cp8v
    @user-ij9sc8cp8v 28 днів тому

    Wenye Simba yao wamekaa kimnya.ama kweli debe tupu haliachi kuvuma.😂😂😂.achana na Simba angalia cha kufanya.

  • @user-yw7uu6mc3m
    @user-yw7uu6mc3m Місяць тому +1

    Hayo nd maneno Gb 64 sasa hayo ndio maneno we umesoma tunafanywa nyumbu,mpira unaingiza siasa miaka 3 team iongozwe na vijana hizo ndio cheche sisi tuko sawa sawa na were hata ukituamb

  • @user-qw5ke5co5b
    @user-qw5ke5co5b Місяць тому

    Msisahau matola nae kichomi pale simba ivi ulisha wai kujiuliza faida yake pale simba. Kunawachezaji wazawa anawakumbatia pale ili ale nao na kuwaingiza wengine kwa masilai yake

  • @user-kv8fz9yy1x
    @user-kv8fz9yy1x 26 днів тому

    Umeongea kweli kaka

  • @kassimntara6901
    @kassimntara6901 Місяць тому +1

    Asante sijui kama kisugu na wezake wanakuelewa?

  • @bakarimwachanga8803
    @bakarimwachanga8803 Місяць тому +1

    kwenda zako pumbavu wee ukiachiwa wewe utaweza kuongoza au umeshiba miogo,kabla ya viongozi hawa simba ilifika hatua ganiii

  • @dorostaferician-jb1sf
    @dorostaferician-jb1sf Місяць тому

    Mangungu na try again ni sawa na njiwa pori hawana adabu hachiaa SIMBA ipone

  • @AbdalahMchunguzi
    @AbdalahMchunguzi Місяць тому +1

    wanbie uwongozi wote pigachini abaki msemaji tu

  • @JumaMashombo
    @JumaMashombo Місяць тому

    Ila nilichokuwa nakuwaza nao yanga wangeinunua tuu simba kama singida alivoinunua ihefu

  • @mrishosinyenge1173
    @mrishosinyenge1173 Місяць тому

    Nice❤❤❤❤❤❤

  • @jumahamad9463
    @jumahamad9463 Місяць тому +1

    MAADUWI NINYENYE WENYEWE KWAHIO BENCHIKA SIO KOCHA MZURI BORA ROBERTINO NIKOCHA MZURI

  • @user-gs6xb2tv7p
    @user-gs6xb2tv7p Місяць тому

    Mwanangu waambie mpila hauna kona kona kaka nakubali xana niko chuga tawijipya lasanawali

  • @nuruabdallahmed9495
    @nuruabdallahmed9495 Місяць тому +1

    Hamia Utopolo akili yako imekwishaingia kutu. Kama unaona Utopolo ni timu nzuri unashindwa nini kuhamia huko ukamfuata Haji Manara? Huna akili kabisa kama unasahau ulichosema ndani ya dakika 24 nani akuelewe. Achana na mapovu. Una kelele kama mwehu.

  • @user-oi8ml4vb3o
    @user-oi8ml4vb3o Місяць тому +1

    Nisawa uritaka viongozi wazeche mpira tumia hakiri ww kwani yanga wanachezaji gani siwanajituma wachezaj

  • @tebelehondo8268
    @tebelehondo8268 Місяць тому +1

    Tatizo lenu watu wa mpra amuwatak mwawataka watu wa siasa Bado ujasema

  • @maikonyondo-gr7gd
    @maikonyondo-gr7gd 28 днів тому

    Kuzaliwa far ndio kujuwampira mbona we mjinga sana huyu apewe uongozi anaweza kuwa mbaguzi ukabila shenzitu

  • @user-jm2ul9ph5b
    @user-jm2ul9ph5b Місяць тому +1

    Mchome mapovu alitukanwa Sana ase kumbe alikuwa ndio mkweli 😂😂😂😂

  • @SelemaniSaid-ip6se
    @SelemaniSaid-ip6se 27 днів тому +1

    kaka unaongea kwakujiamini sana

  • @makambatimbertraderscompan311
    @makambatimbertraderscompan311 Місяць тому +1

    Huyu nae Bangi Nyingi 😂😂😂