viongozi ileteni timu Zenji muhimu ni Champion league ndio kiu yetu wanasimba huyu GSM lengo lake ni tofauti na Mo anamalengo ya kuishusha thamani ya ligi tu na kama fedha yote angeiweka kwa mtani na kuwajengea viwanja huo ndio ushindani wa kukuza mpira wetu
Uelewa, Hivi huko Uingereza timu ngapi zinadhaminiwa na EMERATES? Ni timu nyingi huko zinadhaminiwa na Emerates na ligi moja. Mpira umeanzia Ulaya, sasa unawakosoa? Unaonekana unakereka kwa mambo ya kawaida katika football, sasa unaanza kumshambulia mhindii mo mara umsifie, tafadhali mheshimu mo, tusijidanganye mo ni msaada mkubwa kwa klabu. Ahemedy Ally alisema asaidiwe fesal afunge magoli mengi ili awe mfungaji bora, je wazo hilo bado lipo? Sasa ujue mpira ni furaha na huzuni, kelele upunguze.
SIMBA MNAFADHILIWA NA MO AMTAKI TIMU ZINGINE ZIDHAMINIWE SASA HUU UBAGUZI WA KIWENDAWAZIMU ,KAMA UNAFIKI HIVI ...MBONA SIMBA AMEFUNGWA GOLI 7 NA KUTOA POINT 6 KWA YANGA ? MBONA HAO WANAODHAMINIWA NA GSM ? KWANI MMEAMBIWA GSM NI MMILIKI WA YANGA ? MBONA AZAM NI MDHAMINI WA YANGA NA SIMBA ? MBONA AMLALAMIKI ?
Tatizo wanasema dalali aliwachagua watu wa kamati ya ufundi ambao hawana hata kadi kwa huku znz ,kamati za ufundi za Zanzibar hatuna ushirikiano km ilivyokua zamani
Wew kichaa Azam nan kwenye ling
Hili lisenge ongea pointi acha ujinga
Kumbe huyu jamaa ni chiz
Mangungu mchawi amefikia kuokota mpaka vyakula kwenye meza mchawi mkubwa
Huyu kumbe ni mngese nilikuwa sijui
Mmekwisha mhindi na mpira wapi na wapi
viongozi ileteni timu Zenji muhimu ni Champion league ndio kiu yetu wanasimba huyu GSM lengo lake ni tofauti na Mo anamalengo ya kuishusha thamani ya ligi tu na kama fedha yote angeiweka kwa mtani na kuwajengea viwanja huo ndio ushindani wa kukuza mpira wetu
Masikio popo huna lolote maneno ya mukosaji tatalalalala kama njugu kikaongoni ayibuuuuu jipangeni mwakani acheni fujo mjini
Vinyes wametega masikio kwa kripu za watu wa Simba hata haziwa husu nyie vinyes nyie
Uelewa, Hivi huko Uingereza timu ngapi zinadhaminiwa na EMERATES? Ni timu nyingi huko zinadhaminiwa na Emerates na ligi moja. Mpira umeanzia Ulaya, sasa unawakosoa? Unaonekana unakereka kwa mambo ya kawaida katika football, sasa unaanza kumshambulia mhindii mo mara umsifie, tafadhali mheshimu mo, tusijidanganye mo ni msaada mkubwa kwa klabu. Ahemedy Ally alisema asaidiwe fesal afunge magoli mengi ili awe mfungaji bora, je wazo hilo bado lipo? Sasa ujue mpira ni furaha na huzuni, kelele upunguze.
HHHHHHH HHHHHHH HHHHHHH KAKA FUNGA GAME ZAKO ZOTE LEAGUE YA TANZANIA N
Masikio popo klabu ambayo duniani haijulikani kiongozi nani msemaji nani hadi kero
SIMBA MNAFADHILIWA NA MO AMTAKI TIMU ZINGINE ZIDHAMINIWE SASA HUU UBAGUZI WA KIWENDAWAZIMU ,KAMA UNAFIKI HIVI ...MBONA SIMBA AMEFUNGWA GOLI 7 NA KUTOA POINT 6 KWA YANGA ? MBONA HAO WANAODHAMINIWA NA GSM ? KWANI MMEAMBIWA GSM NI MMILIKI WA YANGA ? MBONA AZAM NI MDHAMINI WA YANGA NA SIMBA ? MBONA AMLALAMIKI ?
Mbumbumbu hongera sana rage kwa hili jina huyu dunduka hajui nini anachoongea nenda shule wewe elimu ya watu wazima bado ipo😅😅
Hujielewi hii cripu co ya gongo wazi Kwa hiyo funga domo lako chula we
@@omanbarka1588 sawa mama lakini acha shobo utapata mimba ya mdomo
Tukisema ukweli utoporo wanachukia hakuna ligi kama hiyo ni kweli kabisa
Tatizo wanasema dalali aliwachagua watu wa kamati ya ufundi ambao hawana hata kadi kwa huku znz ,kamati za ufundi za Zanzibar hatuna ushirikiano km ilivyokua zamani
Pana ukweli hapo nyie nyumbu? Mngebeba kombe mngesema hayo?? Timu lenu bovu tu!!