Mm nmegungua tukiacha ushabiki kumb na ukwl tunaujua hongera Sana Mzee wangu kwa kuongea real points miaka 💯 mzee wangu sio lazma tuongee kishabiki kila siku big Upo
Safi safi safi sana GB 64 watatuamisha kweli wao wapumbavu na sisi hatuwezi kuwa wapumbavu kama wao watoke kwani wanachonga'ng'ania nn? Daya yenu iko jikoni mamae
Kqka umeongeya kwa uchungu nq umeongeya point tupu ahmedi ali akuskilize vizuri hakika umeongeya kwq facti kaka ahmedi ali ajifunze kwako kuongeya🎉🎉🎉🎉🎉
Ila hilo la kukubali kirahisi vile hata mimi nilishangaa badala ya kumkomalia Refa aende kwenye VAR wanashangaashangaa tuu yaani walinikera kishenzi. Lile goli angekuwa Mwarabu usingechezeka pale kwanza kungekuwa na vurugu. Wachezaji wetu wamekaa kama vifaranga vya kuku haki inatpiganiwa Come on next time wakikubali kizembe tunawashenyeta kwakweli si hatuwezi lala tunaota mechi inaendelea kwasababu yao😂
hapa kusema mamelod wamekubali kuwa lile goli hii kamba, jamaa wanafurahi kututoa tumetolewa kihujuma ila tutajipanga ila kwa hali ilivyo hizi timu kubwa zitakuwa zinawaza kukutana na timu zetu
Leo kolo huyo kawambia ukweli alie kuwa na masikio na amemsikia kolo ana kitu hasipuuzwe ana macho pia ana maono yanayo endelea kwa yanga baada ya 3 years wanaweza kabisa ku- kompit na hao wanao jiita ma Gaint of afrika.Big- up ww kolo mjanja huwezi kupata kombe la afrika mapambano ayaongoze mzee dalali ili hali vijana wenye nguvu wapo mkiendelea kuwaachia hao wazee basi hendeleeni kuvumilia maumivu.
Na wewe kuna kitu unapata nini? Hawa wana mapenzi ya dhati na Timu yao. Wanavyoongelea kwani wanaongelea kwa Mechi Moja wana uchungu hawa kwa mapenzi waliyonayo kwa Timu yao Timu imefungwa nje ndani na jana imefungwa na Mashujaa. Wewe unataka ifungwe mala kumi ndiyo Waongee. Tunataka Timu hizi mbili zote ziwe Juu, hapo hata timu zingine zitapigana nao wafikie hatua za Yanga na Simba. Ndipo mpira wa Tanzania utapaa. Mwanachama - YSC
UPO SAHIHI VIONGOZI WA SIMBA NI WABABAISHAJI TUU. WANAWAZIDI YANGA KWA USAJILI. YANGA AKIHUSISHA MCHEZAJI TUU ANAMCHUKUA. KUHUSU MAYELE SIMBA WANASIASA TUU
Sasa wewe Gb 64 unawalaumu wachezaji wa yanga kutomzonga refa dhidi ya Mamelodi mbona sisi Simba dhidi ya Orlando Pirates tulifungwa goli la offside mbona wachezaji wetu walizubaa hawakumzonga refa? Huu ugonjwa ni wa Watanzania wote tulivyolelewa. Tunatakiwa tujifunze kutoka kwa Waarabu.
Kaka gb tusaidie kupaza sauti Hawa viongozi sio hata mwekezaji sio mwekezaji sahihi miaka mitano anawekeza nini Kila siku robo robo kweli na wachezaji wenyewe unga mtupu na yeye anapiga kelele nitamtaja anaeniludisha nyuma mbona hamtaji turuke nae nayeye niwale wale
Mm nmegungua tukiacha ushabiki kumb na ukwl tunaujua hongera Sana Mzee wangu kwa kuongea real points miaka 💯 mzee wangu sio lazma tuongee kishabiki kila siku big Upo
Umeongea kiwanamchezo cna hongera
Safi safi safi sana GB 64 watatuamisha kweli wao wapumbavu na sisi hatuwezi kuwa wapumbavu kama wao watoke kwani wanachonga'ng'ania nn? Daya yenu iko jikoni mamae
Kwa mara ya kwanza umeongea ukweli kabisa
Gb leo nimekuelewa cjawahi kukuelewa congrats huu ndio mpira i wish nipate namba yako kwa pongezi 20k
huyu ndio shabiki anayejua mpira,ahmed ally pia hamfikii huyu jamaa.
Mchome na Sam Simba pekeee ndio wanauchungi na timu Yao. Maana wanazingumza ukweli
Kqka umeongeya kwa uchungu nq umeongeya point tupu ahmedi ali akuskilize vizuri hakika umeongeya kwq facti kaka ahmedi ali ajifunze kwako kuongeya🎉🎉🎉🎉🎉
Uchawi nao mwingi viongozi hawashughuliki nawachezaji wawasaidie wanashughulika mambo yao
Apo uko sahihi sana ww katika mashabiki wa Simba ww mwerewa sana tena unajua mpira
Leo umeongea kwa kweli! Unakuaga wapi
asiekuelewa atokuelewa tu
Umeongea ukweli tupu yanga wamezingua wameshindwa kumzonga refa ingekuwa waarabu ile goli mpira ungeitwa kati
Umeongea ukweli kaka
Umesema kweli kabisa
Ukovizuri sana
GB nimekupenda bure baba angu❤❤❤❤
Gb 64 leo umeongea ukweli kabisa
hongera sana broo
Mm pia Simba inaniumiza sana timu yetu viongozi wa mchongo sema hata tufungwe Gori mia mm Simba sihami
Sana mzee nimekuelewa kamanda
Huyu Jamaa zimo kumbe huwa anajichetua tuu😂😂😂.
Ana hoja fresh na anajua ukweli uko wapi dawa imemfaa hebu tarehe 20 tumwongezee Mseto.
Mwanangu ongea bwana
Umeongea vzr yanga wamezubaa
Mwamnyeto ucaptain haumfai kabisa😢
Kabisa
Leo bangi zimetulia
Walienda juxhagaa mayele au kucheza mpira😊😊😊😅😅😅😅
Ila hilo la kukubali kirahisi vile hata mimi nilishangaa badala ya kumkomalia Refa aende kwenye VAR wanashangaashangaa tuu yaani walinikera kishenzi. Lile goli angekuwa Mwarabu usingechezeka pale kwanza kungekuwa na vurugu. Wachezaji wetu wamekaa kama vifaranga vya kuku haki inatpiganiwa Come on next time wakikubali kizembe tunawashenyeta kwakweli si hatuwezi lala tunaota mechi inaendelea kwasababu yao😂
Nan kamuona mchiz aneae sinziaaa
17:59 nakukubari Kaka polesana🎉🎉🎉🎉
Nimekuelewa
Kweli walipaswa wamtie pressure referee na wangefanikiwa hapakuwa na pushing
Wachezaji wetu Manyumbu hata ile ya Simba na orlando yaleyale yamejirudia tena leo wajifunze mamb kama haya hayatakiwi kuzembea
Sahihi kabisa
Kilabu yenye maendeleo inayo fadhiliwa na mhindi? Kila kitu kina asili yake
Tatizo.simba.mtu akisema kweli muna sema.nimusaliti
Brother anaingeya kweli
Nimeanza kukuelewa ckuizi
Hongera kwa kuleta ujumbe mzuri
Misimba huyu jamaa anaongea ukweli
Kuna mchezaji namba 5 alikua offside possession
TatiZo huleweleki kesho una ponda kesho unasifia
Ok ungekuwa Musemaji wasimba ingesonga mbere wew kidogo Uwe kama Ally kamwe nimegusikiliza unamipangirio muzuri Ongera🎉🎉🎉toweni izo gundu za Ahmed anagundu hamuwezi gupatakitu muko n'a uyoshoga kuriko ahangariye Simba anaangariya Yanga ameja nugsi atoke hafayi😅😅😅😅
Brother unaongea points sqna leo
Hamaaa
Yani kweri wachezaji mmezubaa sana mchangamkage
Ongea bb
Wapi mliona mhindi kwenye soka la upinzani?
hapa kusema mamelod wamekubali kuwa lile goli hii kamba, jamaa wanafurahi kututoa tumetolewa kihujuma ila tutajipanga ila kwa hali ilivyo hizi timu kubwa zitakuwa zinawaza kukutana na timu zetu
Mtakubali hata kwa lazima 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Daa kari
Khaah 😂😂😂 shabiki wa tp mazembe hatarii😂😂😂
Leo big up sana ningekuwa namba yako ningekupongeza
Uchawi nao mwingi viongozi hawashughuliki nawachezaji
Umegundua kwamba yanga ni timu kubwa
Timu kogwe sio kubwa
Hebu niambieni kika yoyote yenye maendeleo nduniani anafadhili mhindi? Hii ni biashara ya pesa
❤❤❤❤
Kwelwatanzania tumekuwa washamba kuna muda tunatakiwa tukaze na huku ndo kukomaa
Leo kolo huyo kawambia ukweli alie kuwa na masikio na amemsikia kolo ana kitu hasipuuzwe ana macho pia ana maono yanayo endelea kwa yanga baada ya 3 years wanaweza kabisa ku- kompit na hao wanao jiita ma Gaint of afrika.Big- up ww kolo mjanja huwezi kupata kombe la afrika mapambano ayaongoze mzee dalali ili hali vijana wenye nguvu wapo mkiendelea kuwaachia hao wazee basi hendeleeni kuvumilia maumivu.
Kweli watanzaniya tumeumiya mpaka mtani unaumiya
nikweli, simba, hana, wachezaji. wa. wakuifikisha. nusu. Fainali
Mo deuji ameamia kukopesha ela ameisha toka simba amejitoa magugu na twawageni wanalisha matumbo yao tu
Mh 😂😂😂 leyo nimaajabu mpaka wewe kuisifia yanga mh
Huyu mwamba anastahil kuwa ndan ya uongoz wa Simba ubongo wake ni mzima
Mbona GB goli alilofungwa ihef goli la tano si kama lile la mamelod? Mbona hamsemi?
Huo ushawishi ss gb chonde chonde.
Kuna watu wa Simba wanamchukia Mchome kwa sababu anaongea ukweli.
Yote uliyoongea ni kweli
Yaani 6gb umeongea ukweli ingetakiwa wachezaji wamfate refaa. Hakika yanga wamefuzu
Hawa jamaa wanahisi biashara ya mpira ni kushinda tu hawataki kushindwa na wanahisi kuongea kwao ndio bora kuliko wale wanaoisimamia simba
Na wewe kuna kitu unapata nini?
Hawa wana mapenzi ya dhati na Timu yao.
Wanavyoongelea kwani wanaongelea kwa Mechi Moja wana uchungu hawa kwa mapenzi waliyonayo kwa Timu yao Timu imefungwa nje ndani na jana imefungwa na Mashujaa.
Wewe unataka ifungwe mala kumi ndiyo Waongee.
Tunataka Timu hizi mbili zote ziwe Juu, hapo hata timu zingine zitapigana nao wafikie hatua za Yanga na Simba.
Ndipo mpira wa Tanzania utapaa.
Mwanachama - YSC
UPO SAHIHI VIONGOZI WA SIMBA NI WABABAISHAJI TUU. WANAWAZIDI YANGA KWA USAJILI. YANGA AKIHUSISHA MCHEZAJI TUU ANAMCHUKUA. KUHUSU MAYELE SIMBA WANASIASA TUU
Sasa wewe Gb 64 unawalaumu wachezaji wa yanga kutomzonga refa dhidi ya Mamelodi mbona sisi Simba dhidi ya Orlando Pirates tulifungwa goli la offside mbona wachezaji wetu walizubaa hawakumzonga refa? Huu ugonjwa ni wa Watanzania wote tulivyolelewa. Tunatakiwa tujifunze kutoka kwa Waarabu.
Kaka gb tusaidie kupaza sauti Hawa viongozi sio hata mwekezaji sio mwekezaji sahihi miaka mitano anawekeza nini Kila siku robo robo kweli na wachezaji wenyewe unga mtupu na yeye anapiga kelele nitamtaja anaeniludisha nyuma mbona hamtaji turuke nae nayeye niwale wale
😂😂😂😂😂😂😂😂eti inonga yeye jana ndo katoa pass ila gb 64 leo umeongea kimpira🎉🎉
GB64 hapo leo unaongea kama mwana michezo haswa kuna wakati mtu unatakiwa uwe unaongea ukweli unaacha unazi
Uyu jamaaa anajitambua
kuna mwamba pembeni anasinzia
Ahamed akirudi unaufyata
😂😂😂😂😂
Huyu ni mchome mwingine
Goli LA ihefi LA tank mbona hamsemi?
Goli LA ihefi LA tano mbona hamsemi ulidundia wapi?
kawashitakie tff wakupe majibu