Je akina Kisugu Mziwanda watakuelewa? Nawengine wamejificha ni hatari kwa kusifia hata kama Timu inafanya vibaya. Ila kwa kupiga Picha na Wachezaji wasio wasajili hilo ndio janja janja Yao
Kweli kabisa Hawa viongozi wanatuona sisi mashabiki hatuna akili yaan viongozi wamekua wapiga ngonjera wapiga porojo mambo yakijibga kabisa kuleta siasa kwenye mpira
Huwa mara kwa mara nasema Simba tusajili watu wa kupambana. Quality ya wachezaji iwe 1. Wachezaji wenye ball control nzuri 2. Wachezaji wenye nguvu 3. Wachezaji wenye speed 4. Wachezaji wenye stamina Pili Simba isajili wanachama sisi ambao ni mashabiki tunataka uanachama tuchangie club yetu. Tuchague viongozi vijana wenye mapenzi na Club.
Simba viongozi wetu hawaielewi tasnia wanayoiongoza. Kuwa profeshno hakuhitaji aina ya viongozi tulionao kwamba mtu yoyote anayeweza kudanganya watu siku ya uchaguzi basi achaguliwe aingie katika safu ya uongozi wa Simba. Tunatakiwa tupate watu wenye wa Simba lakini wanaojua uongozi wa mpira. Tunahitaji viongozi bora sio bora kiongozi.
Wachezaji waloanza kusajiliwa simba ni wale wa bei chee ukiangalia mchezaji akiwa mzuri dau likiongezwa kidogo timu haina uthubutu wa kumchukua kama manzoki azizi kii adebayo water bwalya hiii inaonyesha jinsi gani wao wapate balance kwenye usajili wapige pesa uwezi shinda nusu final na wachezaji wa kuokoteza
Ufunge Al ahly kikosi cha mabilioni kwa wachezaji wa Mia mbili Mia mbili tena wa kuokoteza wachezaji wazuri mnapiga nao picha afu hawasajiliwi huo ni uwongo
Mnaonge sana mpaka viongezi wemesha wazowea wanawaona madunduka kuweni namaamuzi kuwatoa viongozi wanaozalilisha simba yanga shirikisho moja kacheza fainali klabu bingwa mpaka nusu fainali sisi tunajua yanga wapo nusu
Shinda niviongonzi tu dube apo muchukueni uyo kwanin watuletee wachechani wabali awajui mupila wanayo checha kadodo sioni viongonzi watoke tu niwezi ay wanalisha matumbo yao awana faida na simba
Kaka yangu mimi nakuona mishipa ya shingo inakutoka kuliko mwenye Simba Mo yake shida yote ya nini ? Hiyo mwenye tim yake Mohamed Mo hana hata wasi wasi ila wewe mishipa ya shingo inakutoka bure maplesha juu

Hawana uo ubavu , we kama analetwa Manzoki kwa danganya toto .... Unafikiriii Wanauo ubavu na uthubutu wa kufanya hivyoo 😂😂😂😂, juzi wamempeleka mayele kwenye kambi Yao ili kupunguza stress 😂😂😂
Machawa wako studio kumezeshwa nyimbo za masiifa kwa viongozi..subirini k mziwanda, pasi milioni, mzaramo, kisugu, Dr Mo
SIMBA tangu amejiuzuru BABRA tunayumba sana, kwenye ligi yetu tumeshuka sana hata CAF tumeshuka SANA
Je akina Kisugu Mziwanda watakuelewa? Nawengine wamejificha ni hatari kwa kusifia hata kama Timu inafanya vibaya. Ila kwa kupiga Picha na Wachezaji wasio wasajili hilo ndio janja janja Yao
Makuunga mkono ni kweli viongozi hamna simba . Viongozi wabadilike waboreshe timu
Kweli kabisa Hawa viongozi wanatuona sisi mashabiki hatuna akili yaan viongozi wamekua wapiga ngonjera wapiga porojo mambo yakijibga kabisa kuleta siasa kwenye mpira
Tupaaze sauti ,wasitulete wachezaji wa mitumba hata sijui ni grade Gani 😢😢😢
Ila kuna watu wana akili za kuungaunga,Yanga watawapita na kuwaacha hapohapo kwenye robo mbaki mnakusanya hizo robo.
Kwangu me naona mo Haina shida ila shida ipo kwa wa2 wliopo kama Mangungu,Try again ,na hyu bwana kajula hao ndo wanao2uumiza pale msimbazi
Viongozi wa Simba so Bora wampe timu mo tunataka Simba imala
Viongozi wa Simba tupeni namba ya kuchangia timu yetu Ili tupate pesa ya kutosha kwa ajili ya usajili msimu ujao
Muindi uyo inabidi aende hana faida uyo
Mmh,mmh,mmh
😂😂😂😂😂😂mwandishi umetisha
Huwa mara kwa mara nasema Simba tusajili watu wa kupambana.
Quality ya wachezaji iwe
1. Wachezaji wenye ball control nzuri
2. Wachezaji wenye nguvu
3. Wachezaji wenye speed
4. Wachezaji wenye stamina
Pili Simba isajili wanachama sisi ambao ni mashabiki tunataka uanachama tuchangie club yetu.
Tuchague viongozi vijana wenye mapenzi na Club.
Ivi nyinyi mnao sema Mo haondoke hao wachezaji mtawapa mishahara,Maisha yenu yanawa shinda alafu mna sema Mo haondoke mtawa lipa mishahara
Muhindi na mpira wapi na wapi 😅😅😅😅
Uyu mangungu namwenzie wasenge awana mpango
Wajina upo sawa
Kwa Nini hugombei uongozi hapo Simba,wewe,na wenzio wasema kweli?
Mchezaji kama saidoo anachezaje dk 80 Kwa ubora Gani?
Simba viongozi wetu hawaielewi tasnia wanayoiongoza. Kuwa profeshno hakuhitaji aina ya viongozi tulionao kwamba mtu yoyote anayeweza kudanganya watu siku ya uchaguzi basi achaguliwe aingie katika safu ya uongozi wa Simba. Tunatakiwa tupate watu wenye wa Simba lakini wanaojua uongozi wa mpira. Tunahitaji viongozi bora sio bora kiongozi.
Kaka.nakubarina.na.ww.asirimia.ww.ongea.umeongea.kwer
K mziwanda vipi tom boy ataolewa au maana alisema msimu huu tutakula biriyani 😅😅😅😅😅😅
Sisi tunafainali sawa na robo nne
Wachezaji waloanza kusajiliwa simba ni wale wa bei chee ukiangalia mchezaji akiwa mzuri dau likiongezwa kidogo timu haina uthubutu wa kumchukua kama manzoki azizi kii adebayo water bwalya hiii inaonyesha jinsi gani wao wapate balance kwenye usajili wapige pesa uwezi shinda nusu final na wachezaji wa kuokoteza
😂tangu lini wazee wakoongoza mpira,jamani Simba wapeni uongozi vijana.
Ufunge Al ahly kikosi cha mabilioni kwa wachezaji wa Mia mbili Mia mbili tena wa kuokoteza wachezaji wazuri mnapiga nao picha afu hawasajiliwi huo ni uwongo
Mnaonge sana mpaka viongezi wemesha wazowea wanawaona madunduka kuweni namaamuzi kuwatoa viongozi wanaozalilisha simba yanga shirikisho moja kacheza fainali klabu bingwa mpaka nusu fainali sisi tunajua yanga wapo nusu
Kaka nimekuelewa vema big up umesema kweli
Shinda niviongonzi tu dube apo muchukueni uyo kwanin watuletee wachechani wabali awajui mupila wanayo checha kadodo sioni viongonzi watoke tu niwezi ay wanalisha matumbo yao awana faida na simba
Nimecheka mnooo ‘wamechukuzana na makanzu yao’
Sahihi mwanasimba...
Viongozi hao waondoke tu miaka 4 ni mingi kumalizia
Sasa mayele angaliweza ku press kama anavyosema angalikaa bench😅😅 makolo hamna hata mikakati.
Kaka umesema ukweri
😂😂😂😂 aseme asisemeee ........................
tajiriiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii, wamechukuzana kupiga piga picha
Simba hatuna viongozi wa mpila trai agen,i mangungu hawawezi kutupereka mbere😂😂😂
Aliwaletea Manzoki ndo upuuzi ulipoanza.
Mo tunaomba urudi Simba sc iwe kama misimu 4 iliyopita.Hao viongozi wabadilike bwana.
Simba tuna viongozi vipofu
Hawana jipya viongozi waachie ngazi pumbavuuu
Shunduu we Yanga wapo juuu kuliko dunduka nakuambia yanga watafika nusu fainali kabla ya simba chukua hioo!
Mwekezaji mwekezaji mwekezaji sio mtu wa mpira achie wengine
ukweli usemwe
Mhindi na mpira na wap,😃😃😃
HATA kwa MAYELE mumelishwa MATANGO POLI 🤣🤣🤣🤣
Mo tunaomba utuondolee hawa watu kwann unawaleaa,??
Msemaji wenu ameyasikia haya?
Kaka yangu mimi nakuona mishipa ya shingo inakutoka kuliko mwenye Simba Mo yake shida yote ya nini ? Hiyo mwenye tim yake Mohamed Mo hana hata wasi wasi ila wewe mishipa ya shingo inakutoka bure maplesha juu
Hilo unalolisema kwa Moo ndiyo tatizo moo hafai aachie timu ila kwa maneno haya sema ukweli MOO AONDOKE AACHIE TIMU KASHINDWA TIMU TUNAOGOPA NINI
Watu wanashindwa kusema ukwelii mm naona mo ndo tatizo letu kubwaa tusiwe waoga mo atuachie team yetu yeye ndo tatizo la kwanza
Wachezaji wanalogwa kk .
Kwani huo uchawi sisi Simba hatuujui??
Kwani huo uchawi sisi Simba hatuujui??
Nyinyi si wapumbavu au mambumbumbu au mabunduka
Ww nilisenge 🐸
Kwaann walimuuza sakho
Ili wamnunue Pa Omar jobe
Ao viongozi wajinga sana pumbavu tupu hao viongozi na mwisho yatawakuta.yakuwakuta
Mashabiki wa Simba sc wanafiki, baadae mtaanza mtaanza kusema viongozi watusamehe.
Kaka wewe mkelili
Juzi alikuwa anajisifu ana mapambio kibao , huyu nae ndo wale wale sema Leo amechafukwa kile kwa kile kilichofanywa na yanga 😂😂😂😂 .....
Viongoz wa simba ni wasenge wote na hawajitambui kenge hawa
Saidia kusajili wewe kama unaoona waliopo hawafanyi kazi.
mpir hujui kungwi
😂😂😂 asaidieee
Wewe kweli Mbumbu Mtu Anaongea Vitu vya Msingi Wewe Unaleta Utopolo