Maafisa watatu wa trafiki wakamatwa wakila hongo

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 лют 2018
  • Purkushani ilitokea katika katika barabara kuu ya Kajiado kuelekea Namanga pale maafisa wa Tume ya maadili na kupambana na ufisadi walipowafumania maafisa watatu wa polisi wa trafiki wakipokea hongo. Juhudi za maafisa hao kukwepa kutoroka hazikufua dafu, Na kama anavyotuarifu mwanahabari wetu Kadzo Gunga shughuli hiyo ilisheheni vioja tele.
    Citizen TV is Kenya's leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered.
    This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world.
    Follow us:
    citizentv.co.ke
    / citizentvkenya
    / citizentvkenya
    plus.google.com/+CitizenTVKenya
    / citizentvkenya

КОМЕНТАРІ • 472

  • @shirleykanani9046
    @shirleykanani9046 3 роки тому +59

    Anasakata densi kwa furaha😂😂😂

  • @mokhalidisak8672
    @mokhalidisak8672 5 років тому +17

    Kenya without corruption isn't Kenya

    • @prophetprophesy7415
      @prophetprophesy7415 3 роки тому

      Beloved, I don't know you in person but God know you. God ministered to me in a revelation when I was on your profile to see things around you,I saw blessings but spiritual attacks holding onto them,in prayers,i saw a woman in the realm of the spirit monitoring and plotting delay in your life, with an evil mirror, and with motive to destroy. But as I speak to you now her time is up, Render hand of favour with Anything you can afford or give to these motherless foundation (TWINS ALIVE FOUNDATION) in Rivers state Nigeria before 2DAYS with faith, as I Rise my hands towards heaven and pray for you they shall serve as point of contact wherever you are, you will receive double portion of grace to excel and total restoration of breakthrough in your life and in the life of your family. Ask for their acct details and help them call the MD in charge of the orphanage to get their details on (WhatsApp or call them now on +2348157404923) tell him I sent you. For it is not by might nor by in power but of the spirit saith the lord (zechariah 4:6). You shall testify to the Glory of God in your life. God bless you in Jesus name

  • @josephinemuringo2453
    @josephinemuringo2453 3 роки тому +31

    Kudos guys, now spread your wings across the country, otherwise this is just a drop in the ocean.

    • @jumabahati9355
      @jumabahati9355 2 роки тому +2

      I wonder naskia matiangi ni wazir mchapakaz wakat kila mahali watumishi wake(Kenya ) wanaongoza kwa hongo

    • @dancanngugigitonga9393
      @dancanngugigitonga9393 Рік тому +1

      Hey

    • @sanka2569
      @sanka2569 Рік тому

      @@jumabahati9355 66666666666666

    • @zachariamutua
      @zachariamutua 6 місяців тому

      ​@@jumabahati9355trrtt5trryr g to to t😮

  • @olidershitawa9822
    @olidershitawa9822 3 роки тому +2

    Nimekwama hapo pa kusakata densi🤣🤣🤣🤣🤣

  • @tigerwoodsabu2393
    @tigerwoodsabu2393 2 роки тому +6

    Good work
    But it's happening almost on every road in Kenya. Alot of work still to be done

  • @lucygichuki7547
    @lucygichuki7547 6 років тому +10

    Wamelaaniwa na kizazi chao..wauza damu za watu pesa... Mungu awaona 😎

  • @IsaacNdunguNdegwa
    @IsaacNdunguNdegwa 26 днів тому

    pole sana kwao wote

  • @mkamaboy2016
    @mkamaboy2016 3 роки тому +5

    Anachukua anaweka waaahh😂😂

  • @Maina_lenny
    @Maina_lenny Рік тому +2

    Well done

  • @nyabetamokaya2424
    @nyabetamokaya2424 2 роки тому +2

    Anasakata densi kwa furaha 😂😂😂

    • @edwintouches
      @edwintouches Рік тому

      Nimecheka dah 😂😂😂😂😂

  • @barasaelly1384
    @barasaelly1384 3 роки тому

    EACC wameona hapa siwatembelee Barbara Kama vile ya Lwakhakha,Cheptais, Sirisia, Chesikaki, Chwele. Shida si kubeba ama jinsi ya kubeba. Bora 50/-

  • @frankjohn8706
    @frankjohn8706 3 роки тому

    Kazi nzuri kukomesha Wala rushwa ndio kukomesha rushwa halisi

  • @grasgrass464
    @grasgrass464 4 роки тому +1

    hawa wanajiita mapolice na ndio wezi sugu nduniani wauwanji

  • @mwimikimwele4390
    @mwimikimwele4390 Рік тому +1

    Twataka maafisa wa Eacc watembee kwa masoko ya mwingi .kiui North wajionee maajabu vile polisi wanaokota pesa bila aibu

  • @alexsbrian570
    @alexsbrian570 Рік тому +1

    If eacc can extend this to government ministries i think kenya can be a good country

  • @mackmillan9040
    @mackmillan9040 3 роки тому +2

    Malipo ni hapa hapa duniani

  • @fahadtimimi9335
    @fahadtimimi9335 4 роки тому +1

    Kazi nzuri

  • @davidkiplagat30
    @davidkiplagat30 Рік тому +1

    This is correct & it is happening every where in Kenya , stop this bad behavior

  • @galary8688
    @galary8688 2 роки тому

    Kazi nzur sana

  • @allysingu4179
    @allysingu4179 6 років тому

    Duh nomaa

  • @mbaroukabdi4907
    @mbaroukabdi4907 5 років тому +2

    Good very good

  • @chalzsamtv
    @chalzsamtv Рік тому +1

    Good work citizentv

  • @rumpelstiltskn5574
    @rumpelstiltskn5574 6 років тому +15

    ...hawa wasee kweli wanapenda kazi! Those smiles tell all 😂😂😂😂

  • @ogutumose
    @ogutumose 2 роки тому

    Njoo hapa Mombasa aswa lights kongowea, bamburi mwisho kuna askari jina Joseph mnene based bamburi police huyu jamaa ni mlafi

  • @kennethobizi2998
    @kennethobizi2998 Рік тому

    Hufisadi.hahimalizwi na kushika wadogo ufisadi.inamalinzwa.kutokajuu muwache.kudanganya kwa kwa kushika wadogo anza juu

  • @eckmavocary7399
    @eckmavocary7399 5 років тому

    Nice

  • @ifgodsayyes.nobodycansayno1796
    @ifgodsayyes.nobodycansayno1796 2 роки тому +1

    KENYA BURE KABISA.

  • @kennedymwangi604
    @kennedymwangi604 Рік тому

    Hii Tabia Bado Iko haijaisha I say ........plzz waendee na huo msako coz ata uku twetu wako...

  • @TeacherNyoks5258
    @TeacherNyoks5258 6 років тому +3

    Mbona hawaendangi pale jogoo road ukipita kort la makandara kidogo tu kuelekea donholm ucku saa tatu ivi...tufifty ndoo tunasemanga Apo kwa matatu za kubeba abiria...

  • @risperwangeci586
    @risperwangeci586 2 роки тому

    Good job

  • @geraldkamaunjunge1814
    @geraldkamaunjunge1814 6 років тому +1

    Nice job mulika mwizi

  • @salimharrasy7047
    @salimharrasy7047 2 роки тому

    Good job.

  • @innocentkenyan3960
    @innocentkenyan3960 6 років тому

    Apo sawa

  • @martinlango174
    @martinlango174 Рік тому

    This good work

  • @gladysmunyiri4555
    @gladysmunyiri4555 Рік тому

    Why can't the government do it the American way? There should be tickets given to drivers who has defective cars on the road, and you pay your fine in the next 24hrs, failure to which u can't drive that car, and you go to garage right away. If it's over speeding, you get a ticket and pay it within the next 1 hr, en of u overspeed again, u get another ticket of Abt 300ksh. In this case, every driver gona be very careful, and no bribes at all cost. Kenyans we encourage these police to take bribes from us. To the traffic officers who get bribes, sack them, or demote them . May take though

  • @daudiminde8596
    @daudiminde8596 3 роки тому +3

    doh anasakata dence tena 😂😂😂

  • @khaminwasamwellichina2686
    @khaminwasamwellichina2686 2 роки тому

    Good work 👍

  • @frankjohn8570
    @frankjohn8570 3 роки тому

    Ingefanyika na huku siku moja tupate raha maana wapo tunawaona na maisha yao yako vzr na jeuri wanayo

  • @salumhongo3955
    @salumhongo3955 3 роки тому

    Daaah! Pole yao

  • @geraldmaingi509
    @geraldmaingi509 2 роки тому

    Kip ZACHARY, WHAT A SAME FROM THOSE VOPS?. ADHARANI JAMANI.

  • @zippyjepps2750
    @zippyjepps2750 3 роки тому +10

    But surely this is only at one point, but it happens all over the country. These guys are really finishing poor Kenyans for if you don't comply they write a lot of untrue mistakes to you. The Courts also listen to them, Citizens are suffering. Traffic police are just enriching themselves, they really have no business being on our roads.

  • @hassantamimu6538
    @hassantamimu6538 4 роки тому +1

    duh!

  • @maslahmohamed9648
    @maslahmohamed9648 6 років тому +2

    EACC doing gud job in this country countiue like that we are supporting you those are disturbing the poor citizenship

    • @ishmailnganga4425
      @ishmailnganga4425 3 роки тому

      Let eacc put the same efforts or more to nab the big fish too but unfortunately we only celebrate when a cop who's has received petty bribe whilst millions are milked everyday. Nevertheless, no small or big thieve is right

  • @polytarimo324
    @polytarimo324 2 роки тому

    Weledi wa kikosi hicho cha kupambana na ufisadi na hongo/rushwa nchini Kenya ukiboreshwa na Tanzania utaokoa madereva wengi wanaonyanyasika

  • @josephmaina8239
    @josephmaina8239 2 роки тому

    Na Bado apa ngong road wanachukuwa hongo race course Kila ASUbui hongo haiwezi Isha kenya

  • @usiniletee
    @usiniletee 2 роки тому

    Matiang'i fika kakamega, kusumu road, bodaboda wanaumia

  • @rodgersboyi7294
    @rodgersboyi7294 2 роки тому

    Very smart

  • @sylviamombo815
    @sylviamombo815 3 роки тому

    Safi sana

  • @marygaspar6429
    @marygaspar6429 5 років тому

    Kenya hoyeee!!

  • @jcsoliste
    @jcsoliste 3 роки тому

    Aibu sana

  • @piusmuendo4738
    @piusmuendo4738 2 роки тому

    Huyo wa kusakata densi Wacha tu..🤣🤣🤣😂😂

  • @felicemwadime9491
    @felicemwadime9491 Рік тому

    Na hawajaacha hii tabia across the country..wanafaa wakomeshwe tamaa mbaya

  • @spottemgottem5781
    @spottemgottem5781 Рік тому +1

    Sakata densii kwa furahaa🤣🤣

  • @stefanokileo1294
    @stefanokileo1294 3 роки тому

    Kenya sio pazuriy

  • @jamalmohamed3400
    @jamalmohamed3400 Рік тому

    Hehehehehe.....balaa Kenya yetu...

  • @francisdaudisibuti1882
    @francisdaudisibuti1882 6 років тому

    Hongera Kenya kwa teknologia hiyo

    • @wazirikiogwe1836
      @wazirikiogwe1836 5 років тому

      Hatahuku arusha baadhi yao ndohivo takukuru wafanye kaziyao watakatwa wengi.

  • @PastorBenWaMigateOfficial
    @PastorBenWaMigateOfficial Рік тому

    Kumbe.! Hawa wangejipata mashakani.

  • @thomasbuseka5144
    @thomasbuseka5144 Рік тому

    Hm kakamega kweli polisi hasira

  • @christophermlaponi534
    @christophermlaponi534 4 роки тому +1

    Rushwa upofusha macho,
    Hata muungrumo wa gari watosha kuusakatia rumba !!

  • @phoenixnetworks2863
    @phoenixnetworks2863 2 роки тому

    Hi,this is correct to matiang'i,,,,,but wakuje machakos junction makutano off mombasa road,,,,,traffic police officers there are taking money as if t
    hey have debts wth matatu driver ad lorries,,,,kindly matiangi,do something to that area please

  • @anyirinkwaya
    @anyirinkwaya 6 років тому +2

    Hatari kweri hapa kwetu rwanda akuna manbo hayo

    • @thevineyard7149
      @thevineyard7149 4 роки тому

      This kenya keep off your comments. Ongea za kwenu Rwanda (genocides)

  • @khalidalow-sn9iw
    @khalidalow-sn9iw Рік тому

    yes

  • @johnmbugua8815
    @johnmbugua8815 3 роки тому

    nice

  • @florencenuru4687
    @florencenuru4687 3 роки тому

    Hawa sijui wataambia Mungu nni bure kabisa

  • @lukamamuya2705
    @lukamamuya2705 3 роки тому +1

    Tz mko vizur

  • @mumranjuskaranja8216
    @mumranjuskaranja8216 4 роки тому

    Soo gready. Na juzi tu walishika mama

  • @victorayieko2194
    @victorayieko2194 3 роки тому +3

    I like how they practice themselves,live band

  • @salimnangawe6984
    @salimnangawe6984 2 роки тому

    Hii ikitokea Tz si maafisa wote watapelekwa Cotini

  • @aminaabubakar4383
    @aminaabubakar4383 6 років тому +1

    Mkuje pia moi international airport mujioneee tukishuka na ndege unasachiwa tena kilakitu inafunguliwa na wakiona ata dress moja ya mtoi wanakusumbua sana paka last time kunamama alichukua 100 riyal yangu hio ni salary yangu ya three days wakati hio iliniuma sanaa na nilipo muuliza akanijibu tunakulia hapa tusaidieni pia

  • @transworldhua6897
    @transworldhua6897 7 місяців тому

    Matiang'i did the best

  • @nkweratv3726
    @nkweratv3726 4 роки тому

    Kenya noma

  • @clevymats97
    @clevymats97 5 років тому +1

    Wamezoea sana Good job

  • @isaacgithii2808
    @isaacgithii2808 2 роки тому

    Kiarie wanjoki

  • @khaminwasamwellichina2686
    @khaminwasamwellichina2686 2 роки тому +1

    Kindly detectives check out on traffic officers manning Manyanja Rd from Donholm to Bee Center near Harris Tervan

  • @lizahmwangi2197
    @lizahmwangi2197 Рік тому

    Bona siku hizi hamfutili hizi nyagao bado Wana kula pesa kwa Barabara

  • @josphatngeno7059
    @josphatngeno7059 4 роки тому +2

    Congrats Eacc

  • @mtarajiwanambakamumiaswest9124

    Raia ameshika police. Na hii ilikuwa ya nani. Ahh I don't know

  • @richardngendakumana2871
    @richardngendakumana2871 5 років тому

    Daaa polesana africa

  • @hemedially9162
    @hemedially9162 Рік тому

    Not only in Kenya even in Tanzania

  • @ruttokiplagat9548
    @ruttokiplagat9548 3 роки тому

    Hao Walikula Evidence... Hio Pesa Haiezi Ekwa Kama Exhibit

  • @frdausmwawughanga9047
    @frdausmwawughanga9047 Рік тому

    Wamezidi haki Yani matatau kutoka Nairobi mpka kwetu hakuna kuangaliwa kila tukikutana nao nipesa tunapita hawana hata kujua nini Kiko ndani this is to much ndio wanasomea kwani

  • @leonardlangat8517
    @leonardlangat8517 2 роки тому

    Hope ministries would dv

  • @dianajiana4100
    @dianajiana4100 6 років тому +2

    Waaaaah!!

  • @gladyskendi4282
    @gladyskendi4282 4 роки тому

    Mungu haonaye sirini hamewanika

  • @bongomanlevocatus4411
    @bongomanlevocatus4411 4 роки тому

    Jamani jamani tunaomba hawo wa zeee wa kamela waje tanzania na waanze kutembea mikowani watambuka wengi sana

  • @sarahmaina8898
    @sarahmaina8898 3 роки тому +1

    Haiya ii

  • @akapellakabaya2437
    @akapellakabaya2437 4 роки тому +18

    Uyo mwenye anadance 😂😂😂😂

    • @curtwizz
      @curtwizz 3 роки тому

      😂 😂 😂 😂 😂 Bruh Kenya is crazy OMG niggas making money

  • @PaulKaruah-be2ki
    @PaulKaruah-be2ki Рік тому

    Kujeni Thika mjionee wafanya nini siku nzima.Msilalie masikio.

  • @hamzaadrin941
    @hamzaadrin941 3 роки тому

    Mme wazalilisha sana police kumanina zenu

  • @alloysmugoh1701
    @alloysmugoh1701 3 роки тому +1

    Toa 550 hapo ama 10k kwa koti

  • @briankimathi4020
    @briankimathi4020 4 роки тому

    Hi

  • @reubenbusanji2904
    @reubenbusanji2904 5 років тому +2

    Jambo Kenya

  • @nadhirijuma3041
    @nadhirijuma3041 7 місяців тому

    traffic wa kenya wazingua ukisema una unakalishwa barabani mpk jioni wapeni fundisho

  • @morganmutwirimukwanjeru6475
    @morganmutwirimukwanjeru6475 6 років тому +7

    mpaka anasakata densi!mwizi mkubwa

  • @doladola6026
    @doladola6026 2 роки тому

    Wengine wako kwa Airport ire inakaanga mobasa pwani

  • @gracekimani8834
    @gracekimani8834 Рік тому

    Washikwe tumechoka barabara zote kenya traffic police hupokea hongo

  • @georgeochieng8897
    @georgeochieng8897 Рік тому

    Nimbaya sana

  • @masumbukoclement4582
    @masumbukoclement4582 5 місяців тому

    Wapolice Wa Kenya Wanapenda Rushwa Sana Wananyanyasa Wageni kirasiku🥲😭

  • @stevenmwaiko801
    @stevenmwaiko801 6 років тому +3

    😂😂😂😂 huyu anaesakata dance kanifurahisha sana

  • @mercychambon4450
    @mercychambon4450 6 років тому +20

    this is correct for Matiangi ,its part of serving kenyan citizens

    • @bidiiyako6803
      @bidiiyako6803 6 років тому +1

      Mercy Chambon, that's very correct what they are doing, good Job!!

    • @sammymusau1447
      @sammymusau1447 5 років тому +1

      Wanashika samaki wadogo kwa nn

    • @zippyjepps2750
      @zippyjepps2750 3 роки тому +1

      This is where Matiagi need to really work on. "TRAFFIC POLICE SECTOR" THIEVES.😜😜

    • @avrajsagoo5372
      @avrajsagoo5372 Рік тому +1

      Lol all are hand in hand