Choma Mafuta Milele: Njia 4 za Kupunguza Uzito na Kitambi Milele Bila Kujitesa (Zimewasaidia Wengi)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 сер 2024
  • Katika video hii nimekufahamisha njia 4 ambazo unazowezatumia kupunguza uzito na kitambi 'milele' kwa namna ya kudumu bila kujitesa kwa kutumia njia zisizokuwa salama kwa afya yako.
    Contact: 0767759137

КОМЕНТАРІ • 906

  • @bentaadhiambo82
    @bentaadhiambo82 3 місяці тому +13

    Hasante sana kujitoa naujuzi wako kutujuza kuhusu kuishi maisha mazuri bila magonjwa..mungu akulinde pia

  • @franciscamuindi9266
    @franciscamuindi9266 3 місяці тому +4

    Wow thanks for this lesson I will start doing so especially for the raw food like kachubari

  • @MajutoAbdul
    @MajutoAbdul Місяць тому +2

    HABARI Dr,Nimelipenda sana SOMO LA LISHE ...GOD BLESS YOU Dr...Thank...!

  • @user-ec6ow2cx7c
    @user-ec6ow2cx7c 2 місяці тому +5

    Ubarikiwe doc sasa nitajikaza kukula kachumbari na hayo machani chai nijitahidhi nimalize kitambi

  • @arafatsaid962
    @arafatsaid962 2 місяці тому +7

    Daktari wa ukweli utamjua tu, kaka una presentation nzuur. Hongera doctor mwenzangu.. wape tiba kaka

  • @hasnakid
    @hasnakid 3 місяці тому +7

    Shukran san Dr wet hakika umetup somo zur.

    • @DrNatureclinic
      @DrNatureclinic  3 місяці тому +1

      Nimefurahi kuwa umependa! Share kwa wengine pia

    • @user-le6xw9kt9f
      @user-le6xw9kt9f 2 місяці тому

      Jambo docta nitaipa wapi mimi Niko Congo nisaidiye baba

  • @cidmalach6695
    @cidmalach6695 2 місяці тому +1

    Greetings from 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪
    Hii ni habari njema kweli! Nitafuata hayo uliyoshauri... Nitawajulisha na wengine. 🙏🙏

  • @AslaidahMgwilanga
    @AslaidahMgwilanga Місяць тому +1

    Asanteeee doctor barikiwaa mno....kwa darasa zuriii

  • @vickyedwine8071
    @vickyedwine8071 2 місяці тому +3

    Dr Asante kwa maelekezo mazuri.

  • @SamwellubigisaLubigisa
    @SamwellubigisaLubigisa Місяць тому +4

    Doctor nimekuelewa vizuri sana ila hapo naomba unisaidie ushauri tu! Nilipima nikaambiwa madonda ya tumbo na nikazuiliwa kula baadhi ya matunda. Sasa hapo itakuwaje nikitumia matunda?

  • @mayungaagnes5660
    @mayungaagnes5660 5 днів тому +1

    Dr.mimi nina hipdips nataka zitoke kabisa je nikitumia hii njia yatausha au ni njia zipi zitanisaidia kuondoa hipdips hizi kuna muda nakosa ujasiri nisaidie njia ya kupunguza au kuondoa

  • @AfirenAfiren
    @AfirenAfiren 3 місяці тому +17

    Sasa wengine tuko warabuni, unakula hata saa nane usiku naamka saa kumi na mbli, hapo ni Mungu sasa

  • @mwanashamwanyumba9100
    @mwanashamwanyumba9100 3 місяці тому +4

    Asante kwa ushauri mzuri nimeupenda sana

  • @eunicechege6839
    @eunicechege6839 Місяць тому +1

    God bless you doc watching from kenya🇰🇪🇰🇪 thanks 🙏

  • @costanciamwita3854
    @costanciamwita3854 24 дні тому +2

    Asante brother,hata tusipokunywa hiyo easy chopper.ile njia ya kwanza tu niikifuatilia kwa kina nitapungua kiulaiiiiiiiini kabisa

  • @athumanikadaika5817
    @athumanikadaika5817 3 місяці тому +3

    Shukrani sana dr.
    Allah akubarik.

  • @user-uy5iy7ny8j
    @user-uy5iy7ny8j 2 місяці тому +3

    Asante Daktari kwa masomo ya kiafya

  • @zuweinatmohammad2832
    @zuweinatmohammad2832 13 днів тому +2

    Asante dr

  • @user-vc1yp9oe5d
    @user-vc1yp9oe5d 3 місяці тому +7

    Ahsante sana

  • @nasirmohamed1589
    @nasirmohamed1589 3 місяці тому +11

    Hakuna kupungua bila mazoezi na diet na intermittent fasting.madawa mtadanganyana mpaka yesu arudi

    • @chayogasperi9783
      @chayogasperi9783 3 місяці тому +2

      Mwanzoni alisema atakupa maelezo ya kupungua uzito bila diet wala mazoezi ,
      Mbele anakupa maelezo ya kula na aina ya vyakula , ni janja janja tu

    • @ruthmsechu9239
      @ruthmsechu9239 2 місяці тому +1

      Anaitwa Yesu not yesu

    • @nasirmohamed1589
      @nasirmohamed1589 2 місяці тому +1

      @@ruthmsechu9239 kamwambie mama yako kumamako

    • @elizabethsanga9184
      @elizabethsanga9184 2 місяці тому

      Point

    • @tatuaamuuinyi9633
      @tatuaamuuinyi9633 Місяць тому +1

      Kupungua bila mazoezi inawezekana sanatu

  • @lucymuigua1753
    @lucymuigua1753 2 місяці тому +2

    Thanks Dr. For the teaching. Very informative.

  • @maelezokitabwire8855
    @maelezokitabwire8855 Місяць тому +2

    Asante Doctor kwa ushauri wako.nitajitahidi ili nipunguze uzito.siku izi napima 90kg nimeongeza 22kg

  • @heavenlightmalisa1112
    @heavenlightmalisa1112 3 місяці тому +5

    Asante

  • @everinamathias81
    @everinamathias81 5 місяців тому +4

    Asant kwa elimu nzuri mm pia naitaji kupungua dr

  • @LucyNjeri-w5k
    @LucyNjeri-w5k Місяць тому +1

    Asante sana doctor

  • @catherinejabeya4455
    @catherinejabeya4455 2 місяці тому +2

    Asante kwa ushauri mungu akubariki nimejifunza mengi

  • @gabriellyadam9415
    @gabriellyadam9415 Рік тому +7

    Barikiwa sana dr

  • @pacifiquebarengayabo6205
    @pacifiquebarengayabo6205 3 місяці тому +5

    Ubarikiwe sana

  • @user-nj2rj9qj9b
    @user-nj2rj9qj9b Місяць тому +1

    Doctor nashukuru kwa maelezo Mazuri,, naomba kujua wewe ndio umeimba Kwenye malango vyema mtumwa mwema sauti nzuri ya ajabu itasikika.

  • @neemarobert9999
    @neemarobert9999 5 місяців тому +5

    Somo nzuriii sanaaa

  • @AngerinaJohn-xg1hj
    @AngerinaJohn-xg1hj 3 місяці тому +6

    Tusaidie docta

  • @eunicechege6839
    @eunicechege6839 Місяць тому +1

    Thanks so much Dr

  • @RamlahNassoro
    @RamlahNassoro 2 місяці тому +2

    Shukraan sana doctor Allaahu baarik

    • @DrNatureclinic
      @DrNatureclinic  2 місяці тому

      tuwasilianw kwa simu/whatsapp +255767759137

  • @zamilahemed
    @zamilahemed Місяць тому +3

    Ss mbona parachichi lina mafuta sn

  • @user-ut5tu4su7w
    @user-ut5tu4su7w 2 місяці тому +2

    Asante kwa darasa zur hiyo dawa ni sh ngap nana ipataje nipo dar

  • @HarrietMmoji
    @HarrietMmoji 3 місяці тому +1

    Thanks for sharing am going to try it immediately, how can i get the product (easy chopper)

    • @DrNatureclinic
      @DrNatureclinic  2 місяці тому

      Tuwasiliane kwa simu/whatsapp +255767759137

  • @veronicageorge8062
    @veronicageorge8062 4 місяці тому +25

    Doctor vp kuhusu maji ya moto yanasaidia kupunguza uzito na kitambi

    • @DrNatureclinic
      @DrNatureclinic  4 місяці тому +9

      Hapana.. ni nadharria tu zisizo na mashiko kwa uhalisia

    • @ishajivraj560
      @ishajivraj560 3 місяці тому

      dr naomba nba yako​@@DrNatureclinic

    • @eunicegerminus193
      @eunicegerminus193 3 місяці тому +4

      Ndy mm nimejaribu ile yenye mchanganyiko wa limao na tangawizi

    • @marthaayuma7065
      @marthaayuma7065 2 місяці тому

      Doctor Vipi kwa mtu ambaye Yuko na vindonda via tumbo?

    • @Zuu673
      @Zuu673 2 місяці тому

      Dokta dar kuna agent?

  • @happykastorykihongo2248
    @happykastorykihongo2248 3 місяці тому +3

    Dr mimi naomba ushauri mimi mwili wangu unajoto sana yaani mda wote namwagika jasho yaani ata nikitoka kuoga akati najifuta maji natawer namwagika jasho tatizo nini?

    • @DrNatureclinic
      @DrNatureclinic  3 місяці тому

      Ni vema ukafika hospital kwa uchunguzi na matibabu

    • @GeorgeAkasha-zx2rj
      @GeorgeAkasha-zx2rj Місяць тому

      Una uzito uliopitiliza au una stress au jambo ambalo linakunyima raha maishani

  • @RehemaCharo-ir6vs
    @RehemaCharo-ir6vs Місяць тому +2

    Weh nilifata maagiza hio kachumbari harari😂 Nlikonda kwa mda mfupi tu❤❤

  • @pstndyambi5630
    @pstndyambi5630 3 місяці тому +2

    Kumbe maelezo yooote yale, meishowe utangaze hiyo mitishamba kwa jina la food suppliment! Haya, unauzaje!

  • @user-kb8wv6kg8g
    @user-kb8wv6kg8g 2 місяці тому +3

    Naipataje na kiasi gani?

    • @DrNatureclinic
      @DrNatureclinic  2 місяці тому +1

      Tuwasiliane kwa simu/whatsapp +255767759137

    • @user-hx9no2bf8o
      @user-hx9no2bf8o 2 місяці тому

      Moshi unapatikana wapi​@@DrNatureclinic

  • @happykazungumenzamenza1277
    @happykazungumenzamenza1277 2 місяці тому +1

    Asante Doc kwa Mafundisho..nakuhusu dawa unatuma Kenya na kwa bei ngani

    • @DrNatureclinic
      @DrNatureclinic  2 місяці тому

      Moshi.. tuwasilianw kwa simu/whatsapp +255767759137

  • @FrancisLazaro-m8f
    @FrancisLazaro-m8f 17 днів тому +2

    Asante kwa somo zuri

  • @user-lz9gz4bp9m
    @user-lz9gz4bp9m 3 місяці тому +3

    Nipo Dodoma naipataje mahitaji sana

  • @eyshamdee6609
    @eyshamdee6609 6 місяців тому +3

    Ezchoper naipataje

  • @ReginaWawa
    @ReginaWawa Місяць тому +1

    Nimekuelewa sana mtumwa wa mungu

  • @ElizabethNyangahu
    @ElizabethNyangahu 2 місяці тому +1

    Thanks another doc

  • @anthonyassenga2365
    @anthonyassenga2365 Рік тому +2

    Mtaalam vipi kuhusu matunda yenye acid nyingi kama tikiti na papai na ndizi mbivu na kachumbari na hasa kwa wale wenye shida ya kujaa ges tumboni?

    • @DrNatureclinic
      @DrNatureclinic  Рік тому +1

      Hayana shida✅ yatakutibu pia. Kama kuna machache ukila yanakusumbua sana.. yaache kwa muda. Kula mengine kisha utaendelea kuyala baadaye kama wiki 3 hivi utakuwa sawa

    • @khaalidcheo5383
      @khaalidcheo5383 Рік тому

      ​@@DrNatureclinic dokta mi.nakuelewa sana allaah akubariki

  • @joycekasimbazi9817
    @joycekasimbazi9817 3 місяці тому +4

    Nimeipenda

  • @carolinechebor8590
    @carolinechebor8590 5 днів тому +1

    Dr nitapata vipi easy chopper Niko Kenya Mombasa

    • @DrNatureclinic
      @DrNatureclinic  5 днів тому

      @@carolinechebor8590 hapo kuna wakala Mombasa Old town wasiliana naye +254 727 398 827

  • @christopherwarutere3489
    @christopherwarutere3489 2 місяці тому +1

    Dr what causes ED & how to reverse it?

  • @JumaMti-hm5bg
    @JumaMti-hm5bg 3 місяці тому +3

    Nahitaji hiyo chopper Bei gani,naomba namba ya mawasiliano

    • @DrNatureclinic
      @DrNatureclinic  3 місяці тому

      Tuwasiliane simu/Whatsapp +255767759137

  • @MaryKazungu-id2oo
    @MaryKazungu-id2oo 3 місяці тому +3

    Nitapata vipi ni Kenya

    • @DrNatureclinic
      @DrNatureclinic  3 місяці тому

      Tuwasiliane kwa simu/Whatsapp: +255767759137

  • @StellarMichael
    @StellarMichael Місяць тому +1

    Asante kwa ushauri nitakupataje

    • @DrNatureclinic
      @DrNatureclinic  Місяць тому

      Tuwasiliane kwa simu/Whatsapp +255767759137

  • @manirambonaibrahim2069
    @manirambonaibrahim2069 Місяць тому +2

    Unapatikana aje ao namba ipi nahitaji kutumia iyo dawa nipungue kg

    • @DrNatureclinic
      @DrNatureclinic  Місяць тому

      Tuwasiliane kwa simu/Whatsapp +255767759137

  • @GraceMethuselaNtwale
    @GraceMethuselaNtwale 3 місяці тому +4

    Nimekuelewa naipataje

    • @DrNatureclinic
      @DrNatureclinic  3 місяці тому +1

      Tuwasiliane kwa simu/Whatsapp +255767759137

    • @hasanchobu7715
      @hasanchobu7715 3 місяці тому

      naipataje ​@@DrNatureclinic

    • @lucywanjiku6361
      @lucywanjiku6361 3 місяці тому

      22:32 ​@@DrNatureclinic

    • @asifiwewisayi8580
      @asifiwewisayi8580 3 дні тому

      Docta unapatikana wapi maake tangia nimeaza kuhangaika na kupungua leo ndio nimeelewa somo lako umeeleza vzr niko Arusha tuwasiliane​@@DrNatureclinic

  • @rogersmsuya4803
    @rogersmsuya4803 Рік тому +4

    Naipataje dawa ya kumaliza kabisa kitambi

  • @yuniahkonosi-hi8uh
    @yuniahkonosi-hi8uh 2 місяці тому +1

    Tumebarikiwa sana may God bless you

  • @ayzzoomarykashoro6260
    @ayzzoomarykashoro6260 9 днів тому +1

    Asante daktari

  • @user-mw3rn6tc9u
    @user-mw3rn6tc9u 7 місяців тому +1

    Asante doctor napataje hyo dawa m npo mbal af n kijijini, npo kahama

  • @jaeltheafricanteacher
    @jaeltheafricanteacher 2 місяці тому +2

    Asante daktari,ntajaribu sana

  • @lovenesspetro8257
    @lovenesspetro8257 29 днів тому +2

    Uzito wangu siyo mkubwa Ila tumbo linaongezeka. Nahitaji kupungua tumbo tuu

    • @DrNatureclinic
      @DrNatureclinic  28 днів тому

      Tuwasiliane kwa simu/Whatsapp: +255767759137

  • @AbuuAslam
    @AbuuAslam Місяць тому +1

    Asante sana dr

  • @EvalineOgwuma
    @EvalineOgwuma 2 місяці тому +1

    Thank Dr

  • @magrethmanintveld5477
    @magrethmanintveld5477 3 місяці тому +1

    Asante doctor endelea kutujuza, Ubarikiwe

  • @ashurakiaga7812
    @ashurakiaga7812 3 місяці тому +2

    Dr,Asante kwa SoMo nitajaribu.ila nna vidonda vya tumbo Kuhusu hiyo kachumbali nikiweka chmvi tu badala ya ndimu itakuwa sawa?natumiaga juisi ya bamia ndio naona afazari

  • @ashashaban6484
    @ashashaban6484 Місяць тому +1

    SHUKLAN DOKTA KWA USHAURI MUNGU AKUBARIKI SANA

  • @user-pp7qw8xl1i
    @user-pp7qw8xl1i 2 місяці тому +2

    Asante sana

  • @levinaringoma
    @levinaringoma 27 днів тому +1

    Dr asante, niko Mombasa kenya ntaipatahe hii Ezchoper, please naomba unijibu

    • @DrNatureclinic
      @DrNatureclinic  27 днів тому

      Tuwasiliane kwa simu au whatsapp +255767759137

  • @yuniahkonosi-hi8uh
    @yuniahkonosi-hi8uh Місяць тому +1

    Wawa God bless you 😮😮😮!!

  • @mwlsizamwampamba3441
    @mwlsizamwampamba3441 14 днів тому +1

    Hayo matunda naweza kusaga juice asubuhi? Na hiyo kachumbali napenda nisage juice je itakuwa sawa?

    • @DrNatureclinic
      @DrNatureclinic  12 днів тому

      Hapana.. juisi na matunda yanafanya kazi tofauti.. juisi inanenepesha

  • @mercylinekerubo6883
    @mercylinekerubo6883 2 місяці тому +1

    Mafundisho mzuri sana doctor ❤❤❤na mtu akitumia maji moto mingi inasaidia nini tafadhali???

  • @user-mi9vt7gt5p
    @user-mi9vt7gt5p 3 місяці тому +1

    Hi Doc, how can i get the medicine? Niko Nairobi

  • @apasianankya5275
    @apasianankya5275 2 місяці тому +1

    Asante sana nawe pia ubarikiwe

  • @christaoman8890
    @christaoman8890 10 місяців тому +2

    Asante sana Docta kwa ushauri mzuri

  • @user-qg5ow3bi2k
    @user-qg5ow3bi2k 2 місяці тому +2

    Samahani Dr, hiyo dawa inapatikana Kwa sh ngapi, na inapatikana , wapi na wapi!?

    • @DrNatureclinic
      @DrNatureclinic  2 місяці тому

      Tuwasiliane kwa simu/whatsapp +255767759137

  • @eduardomala150
    @eduardomala150 3 місяці тому +2

    Nimeipenda sana. Asante

    • @DrNatureclinic
      @DrNatureclinic  3 місяці тому

      Shukran sana. Share kwa watu wengine pia wajifunze

  • @JacklineThobias-h9l
    @JacklineThobias-h9l Місяць тому +1

    Somo zuri sana nimelipenda

  • @KarenClement-om9ip
    @KarenClement-om9ip 2 місяці тому +1

    Plz nahitaji kupunguza tumbo tu!!naomba unisaidie docter nikikaa sawa nitatoa shukran

    • @DrNatureclinic
      @DrNatureclinic  2 місяці тому

      Tuwasiliane kwa simu/Whatsapp +255767759137

  • @manirambonaibrahim2069
    @manirambonaibrahim2069 Місяць тому +2

    Vipi hali dr

  • @kulthummbura6735
    @kulthummbura6735 2 місяці тому +1

    Dr hongera sana maji ya mchai mchai asubuhi kabla hujapiga mswaki je yanasaidia?

  • @theddykessy7419
    @theddykessy7419 Місяць тому +1

    Dr. Nature Mimi sipati usingizi kabisa iwe usiku au mchana nisaidie nifanyeje?

    • @DrNatureclinic
      @DrNatureclinic  Місяць тому

      Pole!
      Kama una uzito mkubwa punguza..
      Pia huenda ikachangiwa na
      - Upungufu wa baadhi ya madini hivyo KULA CHAKULA HAI
      - Ugonjwa fulano:: Mwone daktari karibu akusaidie kubaini pamoja na matibabu

  • @user-qg8jo6bv1k
    @user-qg8jo6bv1k 3 місяці тому +1

    Njia nzuri ya kukonda we tafuta stress au kuwa mteja wa madawa

    • @DrNatureclinic
      @DrNatureclinic  3 місяці тому

      Kukonda inamadhara mabaya kama kunenepea.. kinachoatakiwa ni kuwa na uzito sahihi kwa kuchoma mafuta ya ziada

    • @nasirmohamed1589
      @nasirmohamed1589 3 місяці тому

      Streess inaongeza unene unajua nn wewe fala mmoja tu sikiliza wasomi wakupe faida acha bangi kumamako

  • @user-dr9qe8cp8c
    @user-dr9qe8cp8c 2 місяці тому +2

    ❤❤️👌👍🥰🥰 Safi

  • @user-kp7wu9zc1k
    @user-kp7wu9zc1k 3 місяці тому +2

    Asante dokta

  • @grolylucas6867
    @grolylucas6867 3 місяці тому +1

    Asante Doktar Kwa ushauri mzuri mm nahitaji Easy Chopa shs ngapi Niko DODOMA naipataje?

    • @DrNatureclinic
      @DrNatureclinic  3 місяці тому

      Tuwasiliane kwa simu/Whatsapp: +255767759137

    • @DrNatureclinic
      @DrNatureclinic  3 місяці тому

      Tuwasiliane kwa simu/Whatsapp: +255767759137

  • @EsterIshengoma
    @EsterIshengoma Місяць тому +1

    Samahani doc mimi ni mama ninae nyonyesha naruhusiwa kufanya hii dayati

  • @NancyMabera-th5du
    @NancyMabera-th5du 3 місяці тому +2

    Good advice

  • @esterkinunda2275
    @esterkinunda2275 2 місяці тому +2

    How about lipid lowering bld eg atovastatin dr

    • @DrNatureclinic
      @DrNatureclinic  2 місяці тому

      Ukiwa na easy chopper you dont need statins.. inashusha cholestrol faster with no side effeccts. Tuwasiliane kwa simu/Whatsapp +255767759137

  • @dorcaslundumen4370
    @dorcaslundumen4370 2 місяці тому +1

    Asante sana unafanya kazi nzuri. Mimi nipo south ke nitapaje?

    • @DrNatureclinic
      @DrNatureclinic  2 місяці тому

      Tuwasiliane kwa simu/Whtaapp: +255767759137

  • @divinahmusa6710
    @divinahmusa6710 3 місяці тому +2

    Please translate in English

  • @davidmasanjakahumbi9317
    @davidmasanjakahumbi9317 3 місяці тому +1

    One day you can teach us intermintet fasting and its advantage

  • @user-ii1tc7gt9r
    @user-ii1tc7gt9r 2 місяці тому +1

    Dr. Mm nakula kila siku ugali na kachumbari ingawa kunakua na mboga nyingine kwa ufupi sianzi kula kachumbar kama unavyosema hapo napatia au vp?

  • @JoseckNjuguna
    @JoseckNjuguna 3 місяці тому +1

    Good morning doc...i need one nko nairobi

  • @esthermwango3598
    @esthermwango3598 3 місяці тому +2

    Kenyan money ni how much, I'm from Kenya and I need it

  • @pamelasabugo3710
    @pamelasabugo3710 3 місяці тому +1

    Asante kwa elimu yako sasa wa dodoma tutaopataje?

    • @DrNatureclinic
      @DrNatureclinic  2 місяці тому

      Tuwasiliane kwa simu/whatsapp +255767759137

  • @norahndanzi4146
    @norahndanzi4146 3 місяці тому +1

    Dr. Mimi ninanyonyesha mtoto wa miez mi3 naweza kutumia hii formula na maziwa nikawanayo mengi?

    • @DrNatureclinic
      @DrNatureclinic  3 місяці тому +1

      Kuna namna ya ku-modify kidogo. Group la PERMANENT WEIGHTLOSS
      chat.whatsapp.com/EiBLnokVR9H3v4JV1yf1i5

  • @lilsean-lb4ho
    @lilsean-lb4ho 2 місяці тому +2

    Asalam alaykum doctor mimi naipataje hiyo dawa

    • @DrNatureclinic
      @DrNatureclinic  2 місяці тому

      Tuwasiliane kwa simu/whatsapp +255767759137

  • @LucyNyeura-op6mg
    @LucyNyeura-op6mg 15 днів тому +1

    Hiyo dawa ya kupungua ni shilingi ngapi?

    • @DrNatureclinic
      @DrNatureclinic  14 днів тому

      Tshs 50,000 tuwasiliane kwa simu/Whatsapp +255767759137

  • @PlasidaMbilinyi
    @PlasidaMbilinyi 2 місяці тому +1

    Uko vizuri doctor, namba please

    • @DrNatureclinic
      @DrNatureclinic  2 місяці тому

      Tuwasiline kwa simu/Whatsapp: +255767759137